IMEANDIKWA NA : JUMA HIZA
*********************************************************************************
Chombezo : Baraka Mchachuko
Sehemu Ya Kwanza (1)
Nilitulia kitandani huku mkononi nikiwa nimeshika albamu kubwa ya picha zangu ambayo ilikuwa na picha zaidi ya mia tatu. Kwa wakati huo wala sikuwa na shida kuangalia picha nilizopiga mimi au picha za washikaji zangu, nilitaka kuangalia picha nilizokuwa nimepewa na wasichana ambao nilitembea nao.
Nilianza kuifungua albamu ile na macho yangu kutua katika picha ambayo ilikuwa katika ukurasa wa kwanza kabisa, picha hii ilikuwa ya msichana Husna. Husna alikuwa msichana mweupe ambaye kwa kumuangalia tu wala usingejiuliza swali kama alikuwa mrangi au la.
Alikuwa msichana mzuri hasa, hata shepu nzuri iliyojaa mvuto alikuwa nayo. Mwili wake ulikuwa mwembamba huku kwa mbali hipsi zake zikiwa zinaonekana. Pamoja na shepu yake, kasoro ya msichana huyu ilikuwa ni kwamba hakuwa mtaalamu ndani ya sita kwa sita. Kila kitu alikuwa akitegemea kutoka kwangu. Nilipotaka kumgeuza huku, wala hakugoma, alielekea bila tatizo.
Niliiangalia picha ile ya Husna kwa muda fulani na kisha nikaachia tabasamu pana kana kwamba nilikuwa nikiangaliana naye ana kwa ana. Nilipoona nimeridhika, nikaangalia upande mwingine wa albamu ile, macho yangu yakatua kwa msichana Mwajuma.
Mwajuma hakuwa msichana mrembo sana, sura yake ilikuwa ni ya kawaida ila kwenye upande wa shepu yake ndipo hapo watu walipokuwa wakidata. Mwajuma alikuwa ameumbika hasa, nyuma alijazia kana kwamba hakuwa akienda haja kwa miezi kadhaa.
Kifua chake kilikuwa kikubwa sana ambacho mara kwa mara nilikuwa nikipenda sana kukichezea kila tulipokuwa kitandani. Kuhusu kitandani, Mwajuma hakuwa ametofautiana sana na Husna, kwani hata na yeye hakuwa akiweza kufanya mchezo ule kama nilivyotaka mimi.
Kila nilipoingia chumbani na Mwajuma, mechi ilikuwa ikichezwa kwa dakika mia ishirini huku nikiibuka na ushindi wa magoli zaidi ya matano. Sababu ambayo ilinifanya kucheza kwa muda mrefu na kufunga magoli mengi, ilikuwa ni kwa sababu ya umbo lake.
Hata kama haukuwa na lengo la kukaa na Mwajuma kwa muda mrefu chumbani, hakika ungekaa mara tu unapokuwa ukiliagalia umbo lake. Mvuto wake, jinsi alivyokuwa amejazia kwa nyuma ilikuwa ni sababu
tosha iliyowafanya wanaume wengi waliokuwa wakikaa mtaa wa Magomeni kuchanganyikiwa.
Nilimwangalia Mwajuma kwa dakika kadhaa huku nikikumbuka vitu ambavyo nilikuwa nikifanya naye chumbani, niliporidhika, nikaufunika ule ukurasa wa ile albamu na kuufungua mwingine. Kwa hapa macho yangu yakatua kwa msichana Aisha.
Nilikuwa nimetembea na wasichana wengi pale Magomeni, lakini kwa kila msichana ambaye nilitembea naye, washikaji zangu hawakuwasifia kama ilivyokuwa kwa Aisha. Ni kitu gani ambacho Aisha hakuwa nacho? Umbo lake lilikuwa likivutia sana. Jaribu kuvuta picha ya pundamilia wakati unamwangalia kwa nyuma, unamuonaje? Unazionaje hipsi zake? Basi hivyo ndivyo alivyokuwa Aisha.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Nilifanya naye sana, nilimpelekea jaramba kila siku kiasi ambacho mara kwa mara alikuwa akija nyumbani kuvunja naye amri ya sita. Sikuwa na masihara hata kidogo, kila nilipokuwa nikiingia mchezoni, nilikuwa moto mkali. Kila siku nilikuwa nikijifananisha na mchezaji ambaye amekodishwa kuichezea timu fulani, akalipwa vizuri na kupiga kandanda safi.
Aisha alikuwa akijua sana kulitumia umbo lake. Kila siku kazi yangu ilikuwa ni kumsifia. Nilishindwa kabisa kukaa kimya, ningekaaje kimya na wakati kila kitu kilikuwa kikionekana dhahiri? Kila alipokuwa juu yangu, mikono yangu ilikuwa ikizunguka kiunoni mwake, nilimpeleka nyuma na kumvutia kwangu, unajua jinsi nilivyojisikia kwa wakati huo? MZUKA.
Nikaangalia katika ukurasa mwingine, macho yangu yakatua kwa msichana Sabrina. Sijui niseme nini kwa msichana huyu. Nilifanya naye mapenzi katika sehemu nyingi tu, bafuni, kitandani, sakafuni, mpaka baharini tena ndani ya maji.
Sabrina alikuwa mwanachuo wa chuo kikuu cha pale Mlimani. Kila nilipokuwa nikimfuata muda wa jioni, hakutaka niondoke mapema, alitamani niendelee kubaki naye mpaka usiku, muda ambao alikuwa akinisindikiza kuelekea nyumbani. Tulikuwa tukipitia kule kulipokuwa na uwanja wa chuo na kuingia katika kijipori kidogo kilichokuwa pande za kule.
Giza lilikuwa likimchanganya sana Sabriana, alikuwa sawa na mtu ambaye alikuwa akiona kichaka na wakati tumbo linamuuma. Kila ninapokiangalia kile kipori, basi huwa ninamkumbuka Sabrina ambaye alikuwa akipendelea sana kuinama na kuokota majani huku nikiwa nyuma yake.
Nikaachana na Sabrina, nikafungua ukurasa mwingine wa albamu ile. Hapa nikajihisi mwili kufa ganzi. Damu ikaanza kunitembea kwa kasi mwilini mwangu. Suruali yangu katika sehemu ya zipu ikapanda juu. Kijasho kikaanza kunitoka, picha ya mtu ambaye nilikuwa nimeiona hapo ilinichanganya.
Nilikuwa nikiangalia picha ya msichana Tabia. Msichana huyu alikuwa kiboko kuliko msichana yeyote niliotembea naye. Tabia alitisha, nadhani alikuwa hivi kwa sababu alikuwa ametoka katika mkoa uliokuwa umechachuka katika mambo haya, Tanga.
Tabia alijua sana kumpagawisha mwanaume. Kila alipokuwa akiingia chumbani na kukaa kitandani hakuwa akitulia.
Alikuwa mtaalamu sana kunako futi sita kwa sita, alikuwa kama nyigu, mara zote ambazo alikuwa akija chumbani kwangu alikuwa akivaa zaidi ya tano kiunoni mwake. Alizunguka kama feni kwenda kulia na kushoto, alikwenda nyuma na kurudi mbele.
Alinichanganya kiasi ambacho nilikuwa nikipenda sana kumuita magetoni. Alikuwa akijua sana kuimba kwa kushika maiki. Alijua kumfanya mwanaume kupagawa. Kila nilipoangalia picha yake na ndivyo ambavyo nilivyochanganyikiwa zaidi, sikutaka kuendelea kuziangalia picha za wasichana waliobakia, nilichokifanya ni kuifunga albamu ile.
Kwa jina ninaitwa Baraka Kyomo ila watu wengi hasa kule Magomeni nilipokuwa nimetoka walikuwa wakipenda kuniita Baraka Mchachuko. Jina hili lilikuwa limekuja baada ya kuonekana kupenda sana wanawake kuliko kitu kingine. Wasichana wote ambao nilikuwa na picha zao katika albamu yao nilikuwa nikiishi nao kule Magomeni nilipokuwa nimehama.
Kwa sasa siko Magomeni. Nimehamia mtaa wa Tandale kwa Mtogole. Nimepanga katika nyumba moja ya kupanga ambayo ilikuwa na vyumba kumi na mbili vilivyojaa wapangaji. Kati ya wapangaji wote, mimi ndiye ambaye nilikuwa sijaoa na wala sikuwa na mpango huo hata kidogo.
Wapangaji wote ambao walikuwa wakiishi ndani ya nyumba hiyo walikuwa wameoa huku wakifanya kazi katika maofisi yao. Katika siku zote ambazo nilikuwa nimekaa katika nyumba hiyo, nilikuwa nikijifanya mpole nisiyependa wanawake. Kila mwanamke ndani ya nyumba ile alikuwa akinidharau kwa kuwa tu nilikuwa tofauti na wavulana wengine ambao walikuwa wakionekana mchachuko mtaaani hapo.
Hakukuwa na mtu aliyejua asili yangu, hakukuwa na mtu ambaye alijua kwamba wanawake wote ndani ya nyumba hiyo tayari nilikuwa nimekwishawaweka katika rada yangu.
Maishani mwangu sikutaka dharau na ndiyo maana nikaamua kuanza kazi yangu. Sitoanzia nje ya nyumba ile, kwanza nitaanzia ndani ya nyumba ile, nichafue kote na ndipo hapo niende nje ya nyumba hiyo.
Kama walikuwa hawanijui, sasa watanijua kwamba mimi ndiye Baraka Kyomo au Baraka Mchachuko, nimechafua Magomeni yote na kuweka chata katika kila mapaja ya wanawake, sasa nimehamia hapa Tandale, ni lazima nichafue na kisha kuhama mtaa huu unaoongoza kwa ngono Dar es Salaam.
Katika mchezo mzima ambao nilitakiwa kuufanya wala sikutakiwa kuwa na haraka hata kidogo, nilitakiwa kwenda hatua kwa hatua hadi kukamilisha kazi yangu. Sikuwa nikifanya kazi kwa kipindi hiki, nilikuwa katika likizo ya mwezi mmoja ambayo nilikuwa nimeichukua ofisini.
Nikataka nianze huyu na Subira. Huyu alikuwa ni msichana ambaye alikuwa ameolewa na mwanaume ambaye kazi yake kubwa ilikuwa ni kuendesha magari ya mizigo yaliyokuwa yakienda mikoani na wakati mwingine nchi za nje hapa hapa Afrika.
Subira alikuwa msichana mzuri, miaka yake sidhani kama ilikuwa imepita ishirini na mbili. Umbo lake lilikuwa zuri na la kuvutia, ngozi yake ya maji ya kunde ilikuwa ikiongeza chachu kubwa ya kuvutiwa nae. Muda mwingi alikuwa akionekana mpweke na hii ilitokana na safari ambazo alikuwa akizipata mumewe kusafiri.
Halikuwa jambo la kushangaza hata kumuona Subira akiishi peke yake ndani ya chumba chake pasipo mumewe. Maisha yale ndiyo ambayo yalikuwa yakimletea upweke. Hakuyapenda hata kidogo, alitamani awe na mumewe, walale wote na hata kufanya mambo ya kiutu uzima pamoja.
Subira alikuwa na maringo na dharau, kila wakati alipokuwa akiniangalia alikuwa akiibinua midomo yake kwa dharau, jambo lile lilikuwa likinikera kupita kawaida ila nikaamua kunyamaza kwani nilijua kungekuwa na siku yake ambayo angejuta kunifanyia vitu kama vile.
Kiukweli sikuwahi hata kuongea naye, nilikuwa nikipishana naye ukumbini au mlangoni pasipo mtu yeyote kumuongelesha mwenzake. Akili yangu ya kisomi ilikuwa ikifikiria mambo mengi ambayo yote yalitakiwa kufanyika mpaka apatikane ingawa sikujua ningeanza na jambo gani.
“Mamaaaaa...panyaaaa...” Ilikuwa ni sauti iliyokuwa ikisikika kutoka chumbani kwa Subira.
Kama stelingi wa muvi za mapigano makali nikatoka chumbani kwangu na kutoka pale ukumbini. Nikawakuta wanawake wengine ambao walikuwa vyumbani vyao wakiwa wametoka na kuanza kumwangalia Subira ambaye alikuwa na khanga moja tu huku akionekana kuogopa.
“Wewe vipi?” Zuhura alimuuliza.
“Nimemuona panya!” alisema huku akionekana dhahiri kuogopa.
Nilibaki kimya huku nikimwangalia, kwa jinsi alivyoonekana, nilitamani kucheka kwani halikuwa jambo la kawaida kumuona mtu akiogopa kama alivyokuwa akiogopa.
“Sasa si ukamtoe!” alisema Zuhura huku akimwangalia.
“Naogopa!”http://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Basi mwambie Baraka akakutolee!”
“Akuu! Sitaki aingie chumbani kwangu,” alisema kwa nyodo huku akibinua mdomo wake na kukishika kiuno chake.
Nilimmaindi kinoma lakini sikutaka kumwambia kitu chochote kile si unajua na mimi mzigo nilikuwa naumezea mate! Nilipoona amekataa mimi kuingia chumbani kwake, wala sikujali, nikaufungua mlango wangu na kurudi chumbani kwangu.
Nilitulia kitandani, sikuwa na muda wa kupumzika, masikio yangu yalikuwa yakisikilizia nje kuona kama ningeombwa msaada si unajua kwenye kutoa misaada kwa wanawake wanaume tunakuwaga na roho nzuri kama malaika.
“Sasa kama hutaki Baraka akamtoe, basi baki hapo nje mpaka mumeo arudi,” nilimsikia Zaituni na baada ya sekunde kadhaa, wakaingia chumbani na kutulia.
Nikajua tu kwamba mtu aliyekuwa amebaki pale ukumbini alikuwa Subira. Nikainuka na kuelekea mlangoni kwangu kwa ndani na kutegesha msikio wangu kusikiliza kile kilichokuwa kikiendelea.
Tayari akili yangu iliwehuka kupita kawaida, sikutaka kusikia kitu chochote kile zaidi ya kutamani kulala na Subira. Umbo lake lilinipagawisha kinoma, ile kanga moko aliyokuwa ameivaa, nikasema sikubali, kama lawama acha ziwe lawama lakini si kumuacha.
Nikausikia mlango wake ukifungwa na kufunguliwa mara kwa mara, nikajua tu kwamba hawezi kuingia ndani. Nilivyoona kwamba kukaa mule ndani ni kupoteza muda, nikavaa kipensi changu na kutoka, nikajifanya kwenda chooni ilimradi tu mtu mzima niitwe.
Nilipoufungua mlango, akanikata jicho hilo, halikuwa la kawaida, lilikuwa jicho la kuhitaji msaada kutoka kwangu. Wala sikusema kitu, nikachukua kopo la uani na kwenda huko.
Si kwamba nilibanwa na haja, walaaaa, nilitoka kimitego ili niitwe nikatoe msaada. Subira akachuna, niliumia lakini nikasema poa. Nikaelekea chooni, nilipofika, nikasimama tu bila kufanya chochote kile, nilipoona dakika moja imepita, nikarudi.
Nikamkuta amesimama palepale mlangoni. Sikumjali, nikapiga hatua hadi mlangoni mwangu, nikaufungua na kuingia ndani. Nikatulia kitandani huku nikitamani kuitwa na Subira.
Wala hazikupita dakika nyingi, nikasikia mlango ukigongwa, wala sikujiuliza kuhusu mgongaji kwani nilijua tu kwamba alikuwa Subira. Nikamkaribisha kwa sauti huku nikiendelea kuwa palepale kitandani.
Akaufungua na kuingia ndani. Akaniangalia kwa jicho la aibu huku likionekana kujutia yale yote ambayo alikuwa amenifanyia. Mkono mmoja ulishikilia khanga aliyokuwa ameifunga kifuani mwake.
“Naomba unisaidie Baraka,” Aliniambia.
“Kumbe jina langu unalijua! Unataka nikusaidie nini?” nilimuuliza.
“Kumtoa panya chumbani kwangu,” aliniambia.
Nilimwangalia kwa kumkazia macho usoni, aliniangalia kwa aibu. Kitu nilichokuwa nikijaribu kwa wakati huo ni kuisoma akili yake. Nikajikuta nikianza kutoa kicheko cha chini chini ambacho kwa kiasi fulani kilionekana kumchukiza.
“Hebu jiangalie Subira,” Nilimwambia na kuendelea.
“Una mwili mkubwa, u mzuri, unavutia lakini unaogopa panya. Hebu jaribu kumfikiria panya, jaribu kulifikiria umbo lako na lake. Yaani mwili wote huo unaogopa panya! Acha utani Subira. Kamtoe,” Nilimwambia.
“Namuogopa. Naomba unisaidie Baraka,” Aliniambia huku akionyesha dhahiri kuhitaji msaada kwa wakati huo.
“Subira. Yaani unaogopa panya?”
“Ndiyo.”
“Anang’ata?”
“Sijui.”
“Sasa unamuogopea nini?”
“Naomba unisaidie Baraka,” Aliniambia.
Sikutaka kuendelea kumwambia maneno mengine kwani ningemfanya aondoke chumbani mule na kwenda kutafuta msaada sehemu nyingine. Nilichokifanya ni kusimama na kutoka nje pamoja naye. Nikaanza kuufuata mlango wa chumbani kwake, nikaufungua na kuingia ndani.
Harufu nzuri ya manukato ikaanza kuingia puani mwangu. Nikaanza kukiangalia chumba kile, kilikuwa kimekaa kimahaba mahaba. Subira hakuingia chumbani, kila nilipokuwa nikimwambia aingie, alikuwa akibaki pale pale nje. Nilichokifanya ni kumfuata na kisha kumuingiza ndani.
“Nimemuona yupo kule pembeni. Wakati mimi namfukuza, wewe shika fagio, hakikisha unampiga nalo. Umesikia?” Nilimwambia na kumuuliza.
“Sawa.”
Nikaanza kumfukuza panya kutoka katika pembe ya ukuta, Subira alikuwa ameshika ufagio huku akitetemeka kana kwamba kulikuwa na kitu cha hatari mbele yake. Mara panya akatoka katika pembe ile, nikashangaa kumuona Subira akiruka juu huku akipiga kelele.
“Vipi? Mbona haukumpiga?” Nilimuuliza huku macho yangu yakiangalia katika kifua chake kiwiziwizi.
“Namuogopa.”
“Acha utoto Subira. Kama ukimuogopa hatutoweza kufanikiwa kumtoa,” Nilimwambia.
“Sawa, subiri nijitahidi. Mfukuzie huku,” Aliniambia na mimi kuanza kumfukuza.
Kama ilivyotokea mwanzo ndivyo ilivyotokea kwa mara nyingine. Nikamshangaa akiruka juu, ufagio akautupa na kunirukia mpaka wote tukajikuta tukiangukia juu ya kitanda huku akiwa juu yangu. Ndiyo, alikuwa akionekana kuwa na sura iliyojaa woga ila kwa wakati huo hali ikaonekana kuwa tofauti na mwanzo, eti hadi khanga hakuwa nayo mwilini, alikuwa juu yangu kama alivyozaliwa.
“Vipi?” nilimuuliza.
“Naogopa.” Alinijibu huku akionekana dhahiri kuogopa.
Tayari joto la mwili wake likaanza kuniingia, nikajikuta nikipata wakati mgumu. Macho yetu yalibaki yakiangaliana tu kana kwamba kulikuwa na kitu kilikuwa kikitaka kutokea kitandani hapo tulipoangukia.
Nilikuwa nikijisikia katika hali ya tofauti sana. Kifua chake kilichosimama kilinipa mzuka mkubwa kuliko kawaida, ugonjwa wangu wa ngozi kama yake ndiyo ambao ulikuwa ukiniacha hoi.
Nilimwangalia machoni mwake katika kipindi kile ambacho alikuwa juu ya kifua changu huku akiwa mtupu kama alivyozaliwa, akaanza kujisikia aibu.
Unafikiri ningefanya nini katika kipindi kama hicho. Mwili wangu na kila kitu ambacho nilikuwa nacho kilikuwa kikinukia ngono tu. Wala sikutaka kuchelewa kwani kwa jinsi alivyokuwa akichelewa kutokana kifuani mwangu, moja kwa moja nikahisi kwamba kuna kitu alikuwa akikisubiri kutoka kwangu.
Wala sikutaka kuchelewa, nikaanza kukipeleka kinywa changu katika kinywa chake huku nikitaka kuona angeitikia kwa muitiko gani. Sikuamini hata kidogo, kinywa changu kikapokelewa kwa mikono miwili na kuanza kubadilishana mate.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Kadri muda ulivyozidi kwenda mbele na ndivyo ambavyo tulivyozidi kubadilishana mate. Huku kila mtu akionekana kupandwa na ashki, mara tukasikia mlango wa chumba cha Zuhura ukifunguliwa. Kwa haraka haraka akasimama kutoka katika kifua changu na kisha kuanza kuvaa khanga yake.
Nikasimama na kuanza kumwangalia huku tukianza kujifanya kuendelea kumtafuta panya. Wala hazikupita dakika nyingi, tukafanikiwa kumkamata panya yule na kumuua. Ghafla Zuhura akaanza kupiga hodi ndani ya chumba kile, akaingia na kunikuta nikiwa nimeshika panya mkononi.
“Mungu wangu! Kumbe mkubwa namna hiyo!” Zuhura alisema huku akionekana kushtuka.
“Angeweza kula nguo zangu zote,” Subira alisema.
Wala sikutaka kukaa sana ndani ya chumba kile, nilichokifanya ni kutoka na kuelekea nje ambako nikamtupa panya yule. Nikaanza kupiga hatua kuelekea chumbani kwangu huku hamasa ya kufanya mapenzi na Subira ikiwa imenishika rohoni.
Nilikaa kitandani huku nikijaribu kukumbuka kila kitu kilichokuwa kimetokea ndani ya chumba kile. Niliukumbuka vizuri mwili wa Subira, kifua chake kilinichanganya kupita kiasi. Nilikumbuka vitu vingi sana kuhusu Subira, niliona kuwa na umuhimu wa kumchapanao muda wowote ule.
Mpaka katika kipindi mumewe alipokuwa akirudi, nilikuwa macho chumbani kwangu. Akamuandalia mumewe maji ya kuoga. Alipomaliza kuoga, akaelekea chumbani na wala hazikupita dakika nyingi, nikasikia mlango wa chumba kile ukifunguliwa.
Kwa haraka haraka nikasimama kutoka kitandani pale na kisha kuanza kuusogelea mlango, nilikuwa n uhakika wa asilimia mia moja kwamba mtu yule ambaye alikuwa ameufungua mlango ule alikuwa Subira. Nikaufungua mlango kidogo na kuanza kuchungulia, nikamuona Subira akianza kuelekea uani.
Bila kupoteza muda, nami nikaufungua mlango na kutoka kuelekea uani. Nikaufuata mlango wa kuingilia bafuni na kuingia. Subira alikuwa mtupu kama alivyozaliwa huku akianza kuoga.
“Mungu wangu!” Subira alisema mara baada ya kuniona nimemuingilia bafuni mule.
“Usiogope,” Nilimwambia.
“Umefuata nini Baraka. Mume wangu yupo chumbani,” Aliniambia huku akionekana kuogopa.
“Nafahamu. Usiogope Subira,” Nilimwambia.
Mwili wangu wote ulikuwa umepigwa ganzi ya mapenzi. Sikutakiwa kusikiliza kitu chochote ambacho kilikuwa kikiongelewa, nilimwangalia Subira mara mbili mbili, mzuka wa kufanya mapenzi ukanishika zaidi na zaidi kana kwamba nilikuwa mgeni katika mambo yale.
Nikamvuta kwangu na kumkumbatia, nae akaipitisha mikono yake kiunoni mwangu. Nikaanza kumpiga lita kama kawaida huku nikianza kuutomasa mwili wake. Nikaanza kukifanyia kazi kifua chake kwamba akaanza kutoa pumzi nzito.
“Aaaahhh...ssshiiiiiii....” Alilalamika kimahaba.
Sikujali sana, nikakishusha kipensi nilichokivaa na kuwa tayari kwa mashambulizi langoni mwa adui. Huku nikiwa tayari kwa kila kitu, mara nikausikia mlango wa uani ukifunguliwa.
“Subiraaa....” Sauti ya mumewe ilisikika ikiita.
Ghafla, wote tukasimama kana kwamba tulikuwa tumepigwa ganzi. Kwa haraka haraka nikaanza kuivaa bukta yangu kwa kasi kubwa na ya hatari. Mara tukaanza kusikia mumewe akianza kupiga hatua kuufuata mlango wa kuingilia bafuni ambako nilikuwa pamoja na Subira.
Hatukujua ni kitu gani ambacho tulitakiwa kukifanya kwani tayari mumewe alikwishaanza kupiga hatua kuufuata mlango ule wa kuingilia bafuni.
***
Kitu cha kwanza nilichokifanya ni kuangalia juu, choo kile hakikuwa na bati kwa juu kama vyoo vingi vya uswahilini kwetu vinavyokuwa. Wala sikutaka kujiuliza, nikauparamia ukuta katika staili ya Kikomandoo na kuteremkia upande mwingine.
Sikutaka kubaki mahali hapo, nikaondoka na kuelekea mitaani. Baada ya dakika kumi nikarudi. Kabla sijaingia chumbani kwangu, nikaanza kusikika vicheko kutoka katika chumba cha Subira na mumewe, nikaona kwamba hakuna kitu chochote kibaya kilichohisiwa na mumewe.
Nikaingia chumbani na kutulia kitandani. Uso wangu ulikuwa umeelekea juu huku nikiwa nimelala chali. Nikaanza kumfikiria Subira, umbo lake pamoja na kila kitu alichokuwa nacho kilionekana kunivutia. Nikaanza kujuta kwa kumkosa bafuni mule.
Siku iliyofuata wala sikuamka mapema, nilichelewa sana kuamka. Nikachukua taulo langu na fulana na kisha kwenda kuchota maji nyumba ya jirani na kisha kurudi kuoga. Macho yangu yakakutana na macho ya Subira pale ukumbini, alikuwa akijiandaa kwenda sokoni.
“Mhhh! Wewe kweli noma,” Aliniambia huku akijichekesha.
“Haniwezi. Mimi ndiyo mtoto wa kitaa. Twende tukaoge basi,” Nilimwambia.
“Tutaoga siku nyingine. Kwanza naelekea sokoni,” Aliniambia.
“Ungependa nikusindikize?”
“Hauogopi macho ya watu njiani?”
“Wala siogopi.”
“Basi twende.”
“Sawa. Nipe dakika mbili za kuoga.”
“Basi usichelewe,” Aliniambia.
Hivi kama mimi ningekuwa wewe ungetumia kasi gani katika uogaji? Kwa haraka haraka nikaingia chumbani na kuchukua taulo huku Subira akiwa ameingia chumbani kwake. Nikaoga huku mwili wangu wote ukiwa unasisimka kupita kawaida.
Siku hiyo ndio ilikuwa siku ambayo nilioga kwa muda mfupi kuliko siku zote. Nilipomaliza nikaelekea chumbani ambako nikavaa vizuri. Kabla sijatoka chumbani kwangu nikaanza kujiangalia katika kioo changu, nikaridhika kwa jinsi nilivyokuwa.
“Kuna umuhimu wa kubeba mpira?” Nilijiuliza.
“Yeah! Huwezi kujua.....ajali kazini,” Nilijijibu huku nikifungua boksi na kutoa pakti moja.
Nikatoka chumbani. Subira akaniambia nitangulie kwani hakutaka kutangulizana nami kuanzia nyumbani kwa kuogopa macho ya watu. Nikatii amri, nikatangulia mpaka karibu na sokoni huku yeye akiwa nyuma kama hatua thelathini.
Alinunua mahitaji yote ambayo alikuwa akiyataka, baada ya hapo akataka nimsindikize sehemu fulani ambayo wala sikuitambua. Sikuamini mara baada ya macho yangu kuitazama gesti ambayo ilikuwa ikituangalia kwa mbele yetu. Nikayapeleka macho yangu kwa Subira, hakuonekana kuhofia kitu chochote kile.
“Vipi? Mbona umeshtuka?” Aliniuliza.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Hapana. Sijashtuka, ila nimefurahi tu,” Nilimjibu.
“Umefurahia nini?”
“Kwamba tunakwenda kuwa wageni katika nyumba hii muda mchache ujao,” Nilimwambia na kumfanya kucheka.
Alichokifanya ni kunipa fedha na kisha mimi kutangulia kwa kupitia mlango wa siri wa nyuma. Nikamuita Mmasai ambaye alikuwa akilinda sehemu ile na kwenda naye mapokezi. Nikalipia showtime na baada ya sekunde kadhaa Subira akaingia kwa kutumia mlango ule ule huku akiwa amejifunika ushungi.
Tukaingia chumbani huku nikiugusagusa mfuko wangu wa suruali ili kuhakikisha kwamba dhana zilikuwepo au zilipotea ghafla.
“Zipo. Hizi zote lazima zitumike,” Nilijisemea huku Subira akikaa kitandani.
***
Katika maisha yangu nilipanga kutokutembea tena na wake za watu hasa mara baada ya kunusurika kufumaniwa zaidi ya mara tatu. Nilikuwa nikiwagopa sana kuliko kitu kingine.
Unawajua aina ya watu ambao wanakuingilia chumbani wakati ukiwa umejiachia na mke wa mtu halafu wanakwambia ni lazima nao wakuvue na kukufanya? Hali hiyo ndio ambayo ilikuwa ikizidi kuniogopesha katika kipindi cha nyuma.
Kwa sasa nikatokea kuisahamu hali ile, nikataka kuanza kazi yangu kama zamani, kusarandia wake za watu ndicho kitu ambacho nilikuwa nimekianza tena kwa mara nyingine. Nikabaki nikimwangalia Subira pale kitadani, alikuwa yupo tayari kama kondoo ambaye alikuwa akisubiri kuchinjwa.
Nikakaa kitandani na wote kuanza kuangaliana. Kwanza sikuamini kama kweli katika siku ile yule msichana ambaye alikuwa akiniringia, Subira alikuwa kitandani pamoja nami kwa ajili ya kuanza kumfanyia mambo yale yale ambayo nilikuwa nimezoea kuwafanyia wasichana wengine.
Nikamwangalia kwa macho ya mahaba, nae akanirudishia kwa staili ya muangalio ule ule. Sikutaka kuremba kwa wakati huo, ilitakiwa nifanye haraka sana kutokana na muda kwenda kwa kasi ambayo sikuitarajia. Mzunguko wangu mkubwa wa damu ndio uliosababisha nianze kutokwa na kijasho chembamba.
Nikamsogelea na kisha kuanza kubadilishana mate. Hapo ndipo ambapo kulikuwa ugonjwa wangu mkubwa. Katika tukio kama lile basi ndio ilikuwa sehemu ambayo ilikuwa ikinivutia kupita kawaida. Sikutaka kumuachia, nilitaka kumlegeza zaidi ili asiweze kunipa wakati mgumu wa kufanya kile ambacho nilikuwa nimekikusudia.
Subira akaanza kutoa pumzi ndefu na nzito, pumzi zile ndizo ambazo zilikuwa zikinipa hamasa zaidi, nikaendelea kumpiga lita zaidi na zaidi. Nikaanza kuiona vidole vyake akivikunja kunja. Akaanza kupanda juu na kushuka chini. Sikumuacha, niliendelea na zoezi lile zaidi na zaidi.
Nilipoona kwamba alikuwa akizidi kuzidiwa, nikaanza kuchojoa nguo zake moja baada ya nyingine huku nae akichojoa nguo zangu. Ni ndani ya dakika moja tu, wote tulikuwa watupu kabisa. Weupe ambao alikuwa nao Subira ulikuwa ukizidi kunidatisha kiasi ambacho nikajihisi kabisa kumuonea wivu mumewe kwa kubarikiwa kuwa na mke mwenye mvuto kama jinsi alivyokuwa.
Subira alikuwa akitoa miguno ambayo ilinifanya kuogopa, alionekana kuanza kuzidiwa na mambo ambayo nilianza kumfanyia pale kitandani. Nikashtukia nikipelekwa kwa juu na kisha yeye kuja kifuani mwangu. Nikaanza kutomaswa mwili mzima.
Nikaanza kujisikia tofauti mwilini mwangu, Subira alionekana kuyajua mapenzi, akaanza kukichezea kifua changu huku akiendelea kushuka chini zaidi, nilijihisi kuwa tofauti, mzuka wa kufanya ngono ukazidi kunipanda zaidi.
“Subiriiiiii....” Nilijikuta nikimwambia Subira bila kutegemea.
“Nini?”
“Subiri kwanza,” Niliendelea kumwambia.
Akatulia na kuanza kuniangalia usoni, Subira alionekana kuzidiwa, japokuwa alikuwa amekubaliana nami lakini kiakili akaonekana kukataa kile ambacho nilikuwa nimemwambia. Tayari nilikwishaona kwamba mtu mzima nilikuwa nimeanza kuzidiwa, nilichokifanya ni kumuweka yeye chini na mimi kuwa juu yake.
Hapo ndipo nilipogundua kwamba mechi ile haikuwa ya kitoto kama nilivyokuwa nikifikiria, ilikuwa ikihitaji kuwa na pumzi za kutosha ili uweze kucheza dakika tisini. Hapo ndipo nilipoanza kuyakumbuka mambo yangu ambayo nilikuwa nimepewa na babu kabla hajafariki.
Nikaanza kuzipitia sehemu zake zote za mwili ambazo zilionekana kuwa muhimu hasa katika sehemu sekta zote za mapenzi. Nikaanza na unyayoni, nikakaa hapo kwa takibani dakika tatu, nikapanda kwa juu na kufikia magotini. Nilikuwa nikizifahamu sana sehemu ambazo zilikuwa zikimchanganya mwanamke.
Nikaanza kuachea magoti yake tu na kuanza kuayanyonya. Subira akaanza kuchanganyikiwa, muda mwingi alikuwa akiyapandisha magoti yake chini na kuyarudisha chini. Wala sikutoka mahali hapo, nikaendelea zaidi na zaidi, nikaanza kupanda juu.
Nikafika kunako, hapo sikutaka hata kuleta uzembe. Nilijiona kuwa na sababu ya kufanya kila liwezekanalo ili niweze kumteka Subira na kumfanya kuchanganyikiwa kwangu mpaka amsahau mumewe. Subira alikuwa akilalamika kama mtoto, mwili wake mweupe ukaanza kuwa mwekundu.
Sikutaka kumuacha, niliendelea nae zaidi na zaidi mpaka katika kipindi ambacho akang’ang’ania mechi ianze rasmi. Wala sikuwa na jinsi, nikaanza kazi mara moja. Kuna kitu ambacho kilionekana kunishangaza. Japokuwa nilikuwa na kondomu ndani ya mfuko wangu, lakini amini usiamini, wala sikuweza kukumbuka kama nilikuwa nazo mfukoni, NILIZAMA PEKU PEKU BILA VIATU.
Subira alikuwa akijua jinsi ya kucheza mchezo ule. Mchezo ulikuwa umeanza kwa kasi ya ajabu huku akionekana kuumiliki kupita kawaida. Japokuwa nilianza kwa kasi ya ajabu kwa ajili ya kushambulia mfululizo lakini nae akaonekana kuhimili mashambulizi.
Sikutaka kumuachia hata nafasi moja ya kupumua, nilikuwa nikimleta juu na kumpeleka chini. Tayari niliona kwamba mambo yalikuwa yakienda magumu kwa upande wangu, nilichoamua kwa kipindi hicho ni kucheza kwa mashambulizi ya kushtukiza.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Subira alikuwa akikatika kupita kawaida huku muda wote akitaka mikono yangu ishikilie kiuno chake. Shanga zake nane ambazo alikuwa amezivaa nilikuwa nikizipeleka juu na kisha kuzirudisha chini. Ilikuwa ni mechi kali ambayo ilimfanya Subira kulia kwa kutoa miguno ya mahaba.
Kuna kitu nilikuwa nimekishtukia mahali hapo, kitu ambacho alikuwa akikitaka Subira kilikuwa ni kuutawala mchezo mzima, sikuweza kukubali kwani nami nilikuwa nikimpelekea mashuti mengi yaliyokuwa yakigonga mwamba.
Subira akaanza kulalamika kupita kawaida, kasi yangu ilionekana kumchosha kupita kawaida. Nikamlaza chini na kumwangalia kana kwamba nilikuwa nikitaka kumtafuna. Nikamsogelea nakuishika miguu yake na kuiinua kwangu. Nilichokifanya mahali hapo ni kuingia ndani.
Nikaanza kwa kukata viuno huku lengo langu likiwa ni kutaka kupiga pande zote nne kabla ya kuanza kupiga kati mfululizo. Nikaanza na ukuta wake wa kushoto. Niliusugua hasa ukuta ule kwa kasi ya ajabu, Subira akaanza kubadilika, kadri nilivyozidi kuusugua ukuta wa kushoto ndipo nilipomuona akianza kujikunja kunja.
Sikutaka kumuachia pumzi, nikaanza kuusugua ukuta wa kushoto. Kasi ilikuwa ni ile ile na wala hakutakiwa kupumzika hata kido. Alichokifanya mara baada ya kuona nausugua ukuta wake wa kulia, nae akaanza kujivuta kuelekea kulia. Nilitumia dakika tano kuusugua ukuta wa kulia na kisha kuhamia ukuta wa juu.
Nilijifunza mengi sana kuhusiana na wanawake hasa katika kipindi ambacho ulimtaka nae aufurahie mchezo, kila siku nilipokuwa nikifaya mambo yetu na msichana, basi kazi yangu ilikuwa ni kupiga kuta nne zilizokuwa katika sehemu husika.
Wala sikuchukua ujuzi huu kutoka katika filamu za ngono ambazo nilikuwa nikiziangalia sana bali mbinu hii nilikuwa nimepewa na babu yangu.
Nikaanza kuupiga ukuta wa juu, alipoona hivyo nae akaanza kujikunja kwa kuja juu. Tayari mchezo ule niliuona ukiwa umeninogea sana, ukuta wa juu ndio ambao nilikuwa nikiushambulia kwa Wakati huu. Niliushambulia kwa dakika kumi na ndipo nikaja katika ukuta wa chini. Subira alikuwa hoi, kuta zake nne ambzo nilikuwa nimezipiga zilioekana kumpagawisha mpaka katika dakika za mwisho, nikaamua kuingia katikati.
Nilikuwa nimekwishazishambulia kuta nne na sasa nilitaka kushambulia kati. Hapo ndipo Subira akashindwa kuvumilia, ghafla nikamuona akianza kuning’ang’ania na kunivutia kwake. Tayari nilikwishajua ni kitu gani kilikuwa kikimtokea katika kipindi hicho, alikuwa amejipiga mbili za mfululizo.
“Oooooiisssshhhhh.....” Alilalamika huku akinikumbatia kwa nguvu.
Kwa mara ya kwanza nikagundua kwamba Subira hakuwahi kufanya mapenzi na mwaaume mpaka kumfikisha kileleni kama nilivyofanya mimi. Kwa mara ya kwanza katika maisha yake nae akaonekana akipiga bao kama sisi wanaume tulivyokuwa tukifanya.
Subira akabaki akiwa amechoka kupita kawaida, alikuwa akiniangalia huku akiziangalia sehemu zake za siri, hakuweza kuamini kama kweli nilikuwa nimemfikisha kileleni kwa mara ya kwanza katika maisha yake. Hatukutaka kukaa sana, tulichokifanya ni kuondoka mahali pale.
Kuna kitu hapa nilikuwa nataka kukwambia ambacho unatakiwa kukishika sana. Watu wegi wanakimbiwa na wapenzi wao na huku wakiamini kwamba walikuwa wakiwapa kila kitu ambacho walikuwa wakikitaka. Matajiri walikuwa wakikimbiwa na wanawake wao kuwafuata masikini.
Hii ilitokana na ujuzi mkubwa kitandani. Nilikuwa niwaachisha wanawake wengi kutoka kwa wanaume wao kwa kuwa nilikuwa nikiwafikisha kileleni wanapotaka kufikishwa. Kamwe sikuwahi kuchukuliwa mwanamke na hii ilitokana na uwezo wangu ambao nilikuwa nao.
Tukavaa na kuondoka katika nyumba ile ya wageni. Kila mmoja aliondoka na njia zake huku tukihofia kugundulika. Nikafika nyumbani na kisha kwenda kuoga. Kwa shughuli ambayo nilikuwa nimempa Subira, nilikuwa na uhakika asilimia mia moja angenitafuta.
Nilitulia kitandani. Ilipofika saa mbili nikaenda kula kwa mama ntilie kama kawaida yangu na kisha kurudi nyumbani. Huku nikiwa nimejiandaa kulala, mara nikasikia mlango ukigongwa, nikainuka na kwenda kuufungua, alikuwa Subira.
Alikuwa amevaa khanga moja tu huku ndani akiwa hana nguo yoyote. Kwa muonekano hakuonekana kuja hapo kupiga stori, hapana, alikuja hapo kwa ajili ya kufanya kitu kimoja tu, ngono hadi asubuhi. Kwanza nikashtuka, nilianza kujiuliza kuhusiana na mumewe.
Alinionekana kushtukia kwamba nilikuwa na wasiwasi juu ya hilo, alichokifanya ni kuniondoa wasiwasi kwa kuniambia kwamba mumewe asingeweza kurudi nyumbani kwa kuwa alikuwa ameanza safari ya kuelekea Zambia na magari yale makubwa ya mizigo.
“Kwa hiyo?” Nilimuuliza.
“Mechi hadi asubuhi. Gesti ulinifunga ila hapa leo kutachimbika,” Aliniambia.
“Hakuna kitu. Haujui kama umekuja uwanja wa nyumbani. Nakupiga tano mfululizo ili iwe fundisho hata kwa timu nyingine kama yako ambayo imepanda daraja,” Nilimwambia kiutani.
Subira alionekana kuipania mechi ya usiku huo. Kwanza alichokifanya kabla ya yote ni kunivua bukta ambayo nilikuwa nimeivaa, akachukua koni ya Azam na kuanza kuinyonya kwa mbwembwe zote hali ambayo ikaanza kunipa mzuka kwa kuona kwamba kama sitokaza usiku huu basi ningeweza kufungwa hata goli tatu. Nami ninajiandaa vilivyo.
*********http://deusdeditmahunda.blogspot.com/
.
Katika mechi hiyo nilikuwa nimeibuka kinara, jambo hilo likaonekana kumkasirisha sana hali iliyompelekea kukata rufaa na mechi irudiwe, wala sikuwa na jinsi, kwa kiroho safi mechi hiyo ilikuwa ikirudiwa usiku wa leo chumbani kwangu juu ya tano kwa sita.
Nilibaki nikimwangalia Subira ambaye alikuwa akiendelea kuishika maiki na kuendelea kuimba kwa sauti nyororo, muda wote nilikuwa nikiendelea kutoa miguno kwamba nilikuwa nikianza kukamatika kirahisi sana. Sikutaka kubaki hivyo hivyo, tayari Subira alionekana kuwa siriasi kabisa katika kucheza mchezo siku hiyo.
Kichwa changu kikaanza kukumbuka maeneo kadhaa ambayo yalikuwa yakimpa sana mzuka wa ngono, sehemu ya kwanza ambayo ilikuja kichwani mwangu ilikuwa shingo yake. Bado alikuwa akiendelea kuishika maiki yangu na kuendelea kuimba kama kawaida yangu, kila nilipokuwa nikijitahidi kumsogelea na kuanza kuichezea shingo yake, nilipata wakati mgumu sana.
Muda mwingi macho yake alikuwa akiyaleta usoni mwangu, nilimuona akiwa na kiu ya kutaka kuniona ningefanya nini au nilikuwa katika hali gani. Alipokuwa akiishika vizuri maiki yangu, niliinuka kwa juu kidogo na kukitikisa kiuno changu juu kwenda chini.
Tayari nikaanza kuona kwamba nilianza kuzidiwa na hivyo nilitakiwa nibadilishe hali ya mchezo haraka iwezekanavyo. Nikajitoa kutoka mdomoni mwake na kisha kumlaza kitandani. Hapo ndipo nilipoanza kuichezea chezea shingo yake kwa kutumia mdomo wangu.
Asikwambie mtu, shingo ilionekana kuwa sehemu kubwa ambayo ilikuwa ikimchanganya sana Subira. Kila wakati alikuwa akitoa miguno mikali ya kimahaba ambayo ilikuwa ikinipa sana mzuka kupita kawaida. Mikono yangu haikutulia, nywele zake ndefu zilikuwa zikichezewa kupita kawaida.
Katika mambo yote ya mapenzi wala sikuwa mgeni, nilijua fika kwamba wasichana wengi hamu yao kubwa zilikuwa shingoni na kwenye nywele zao. Subira akazidi kutoa miguno ya kimahaba zaidi hali ambayo ilinisisimua zaidi na zaidi.
Ngozi yake nyeupe ndio ambayo ilikuwa ikinipa zaidi mzuka, si unajua nilikuwa mbovu sana na wanawake wenye ngozi nyeupe. Nilichezea sana nywele zake pamoja na shingo yake, mwiho wa siku nikaanza kuhamia masikioni. Hapo ndipo nilipomuona akianza kujinyonganyonga. Wala sikuwa na wasiwasi, nikaendelea zaidi na zaidi.
Ulikuwa ni mchezo ambao nilipenda sana kuucheza, mechi ambayo ilikuwa ikipigwa ndani ya uwanja wangu sikutaka kuidharau hata mara moja kwani niliamini kwamba mimi ndiye nilikuwa na mashabiki wengi kuliko yeye. Niliendelea na masikio yake, nikaamia mdomoni ambako wala sikukaa sana na kuhamia kifuani.
Kama nilivyowaambia kipindi kile, kifuani, Subira hakuwa mnyonge, alikuwa msichana ambaye alikuwa amejaaliwa sana. Nilikuwa nikifanya mtindo wa kuvuta chuchu zake na kuziachia. Kila nilipokuwa nikizivuta, alikuja juu na kusogea zaidi kwangu.
Nilikaa kifuani kwa muda wa dakika ishirini, nikahama na kuhamia tumboni. Hapo napo wala sikutaka kulaza damu. Kwa kuwa alikuwa ameamua kuja kwa lengo moja la kunishinda lakini hapa nikaonekana kuanza kuchukua pointi. Kitovu chake kidogo kilikuwa kikiingia kinywani mwangu huku nikiuruhusu ulimi wangu kuingia ndani na kuanza kukizibua zibua.
Subira alikuwa akilalamika sana. Kelele zake zikaanza kunifanya kuhofia kwamba wapangaji wengine wangesikia na kujua ni kitu gani ambacho kilikuwa kinaendelea chumbani kwangu ila niliamini kwamba wasingeweza kugundua kwamba nilikuwa na nani chumbani mule.
Siku hiyo wala haikuwa na swali lolote, nikaanza kufanya kama kawaida yangu. Nilikuwa na nguvu sana siku hiyo na ninafikiri labda ilikuwa kwa sababu ya kunywa sana mchuzi wa Pweza. Mpaka saa moja linafika, Subira alikuwa hoi kitandani.
“Tunaendelea” Nilimwambia.
“Nimech..oo..kaaaa....” Aliniambia kiuchovu.
“Tunaendelea bwana. Umechoka vipi na wakati mechi ndio kwanza dakika ya ishirini. Tuendelee mpenzi,” Nilimwambia na kurudi tena juu ya kifua chake.
Mpaka mchezo unaisha ilikuwa saa kumi alifajiri ambako akainuka na kuanza kuelekea chumbani kwake. Nilibaki kimya huku viungo vyote vikiuma. Subira huyu huyu ambaye alikuwa akileta dharau ndiye ambaye nilikuwa nimemmega sana siku hiyo.
Huo ndio ulikuwa mwanzo wa kukatika juu ya viuno vya wanawake ambao walikuwa wamepanga katika nyumba hiyo, sikujali kama walikuwa wake za watu au nani, nilichokuwa nikikitaka ni kuwamega kabla sijaamia kwa wanawake waliokuwa mtaani hapo. Mimi ndiye Baraka Mchachuko. Popote kwenye warembo huwa haunikosi.
http://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Nilijua kwamba tayari nilikuwa nimemaliza kazi na Subira japokuwa mara kwa mara alikuwa akiendelea kuja chumbani kwangu. Kwa mara ya kwanza alikuwa na radha ila nilipokuwa nikimzoea zaidi na zaidi, radha ikaonekana kupotea.
Mapenzi ambayo nilikuwa nimempa yalikuwa makubwa sana kiasi ambacho mara nyingi sana alikuwa akipenda kuniangalia huku akionekana kutamani kuja chumbani kwangu. Nilikwishaufunua sana mwili wake huku nikiwa nimeufanya nilivyotaka, kwa sasa sikuwa na habari nae, niliokuwa nikiwataka ni Zuhura au Zaituni ambao nao walikuwa kwenye ratiba yangu ndefu.
Mtu ambaye alikuwa akifuata kwa wakati huo alikuwa Zuhura. Huyu alikuwa mke wa mpangaji mwenzangu, Omari ambaye alikuwa akiishi ndani ya nyumba hiyo. Kama ilivyokuwa kwa Ally, mume wa Subira na ndivyo ilivyokuwa kwa Omari. Muda mwingi hakuwa mshindaji nyumbani, alikuwa akishinda sana katiika miangaiko yake.
Hakuwa akisafiri mikoani kama Ally ila yeye alikuwa akishinda kutafuta kazi mbalimbali kwa ajili ya kupata fedha ya kujikimu na mkewe. Kama kawaida yangu nikaanza kufanya mambo yangu, nilikuwa na ujuzi mkubwa sana wa kuwapata wake za watu, nilijua nilitakiwa kufanya vitu gani kuwavutia wanawake hawa ambao hawakuonekana kuwa na msimamo katika ndoa zao.
Siku ziliendelea kukatika huku mishemishe zangu zikiendelea kimya kimya. Sijui kilitokea kitu gani, Subira akaonekana kuanza kufahamu. Kitu alichoamua kukifanya Subira ni kuonyesha wivu wa waziwazi kabisa. Niligundua kwamba alichokuwa akikitaka yeye ni kuwaonyeshea wanawake wengine kwamba mimi nilikuwa wake, hatua ile ilionekana kunikasirisha sana kwani yeye hakuwa mke wangu wala mchumba wangu.
Subira alijitahidi kufanya kila anachoweza lakini hali haikuonekana kubadilika, moto wangu wa kumtafuta Zuhura nilikuwa nauendeleza kama kawaida yangu. Mara nyingi nilipokuwa nikimuona yupo ukimbini nilikuwa nikimuita chumbani na kuanza kumtania tania.
Hali ile bado ilikuwa ikimkasirisha sana Subira, alijua fika kwamba ilikuwa ni lazima nifanye mapenzi na Zuhura kwani kitendo cha kuingia chumbani kingenifanya kushindwa kuvumilia. Subira alitaka kunimiliki, niwe wake na wala asiingiliwe na mtu yeyote yule.
Hapo ndipo ugmvi wa chini chini ulipoanza. Subira akaanza kuonekana kisirani kwa Zuhura. Zuhura hakuwa akijua kitu ambacho kilikuwa kinaendelea japokuwa alikuwa akiona mara kwa mara alikuwa akigombana na Subira bila sababu ya msingi.
Kwangu, nilikuwa nikiangalia tu, wala sikujali kwamba walikuwa wakigombana au la kwani wanawake kugombana kwa ajili yangu nilikuwa nimezoea sana na wala haikuwa mara ya kwanza. Subira akawa hashikiki, alitamani sana kumwambia Zuhura kwamba mimi nilikuwa mwanaume wake lakini alikuwa akihofia kutokana na yeye kuwa mke wa mtu.
“Unanitafuta. Sawa utanipata tu” Ilikuwa ni sauti ya Subira ambayo ilikuwa ikiendelea kuwakusanya watu ndani ya nyumba ile.
“Mbona siku hizi umekuwa mkorofi sana kama nakuchukulia mumeo” Zuhura alisema.
Subira alionekana kuwa mkorofi sana kwa Zuhura, mara kwa mara alikuwa akipenda kulalamika na kugombana nae, hakukuwa na mtu ambaye alikuwa akijua sababu ambayo ilikuwa ikimpelekea Subira kuwa na ugomvi mkubwa na Zuhura.
Wala sikukoma kabisa, bado nilikuwa nikiendelea kumuita Zuhura chumbani kwangu na kuanza kumtania tania. Zuhura akaonekana kuanza kunizoea zaidi na zaidi, hakujua kwamba kitendo changu cha kumuita chumbani na kuongea nae ulikuwa mtego tu.
Subira akashindwa kuvumilia, kuna siku akataka kuonana nami lakini nikakataa katakata. Wala hakuonekana kuridhika jambo ambalo lilimfanya siku moja kunifuata chumbani usiku. Macho yake yalikuwa meundu huku machozi yakitiririka mashavuni mwake, alichokifanya ni kuniambia ukweli jinsi alivyokuwa ameumia moyoni mwake.
“kwa hiyo?” Nilimuuliza
“Achana nae. Ninakupenda Baraka, najisikia wivu sana” Aliniambia.
“Kwani kuja chumbani kwangu si kawaida tu, wewe unaogopa nini?” Nilimuuliza.
“Mmmh! Haiwezekani awe anakuja kuja chumbani kwako tu halafu ukamuacha hivi hivi. Naomba uachane nae mpenzi. Unaniumiza” Aliniambia huku akiendelea kulia.
Yaani zile zilionekana kuwa kama kelele masikioni mwangu, eti nimzuie Zuhura asije chumbani kwangu kisa yeye, alikuwa na thamani gani kwangu? Kama kumvua nilikuwa nimemvua sana tu. Kwangu tena kwa wakati huo Subira alikuwa kama takataka ambazo zilikuwa zimewekwa pembeni kwa ajili ya kuchomwa moto tu.
“HAIWEZEKANI” Nilimwambia Subira maneno ambayo yalionekana kumshtua.
Jibu lile likaonekana kumkasirisha Subira, akaniangalia huku macho yake yakianza kulengwa na machozi, alionekana kuumia sana moyoni. Alijua kwamba nilikuwa na utaalamu mkubwa sana katika kufanya mapenzi na ndio maana hakutaka nifanye mapenzi na mwanamke yeyote zaidi yake.
Akaamua kutoka ndani ya chumba changu huku akionekana kukasirika, akaubamiza mlango na kuelekea chumbani kwake. Wala sikuonekana kujali, nilichokifanya i kutoka chumbani na kisha kuelekea bafuni. Wala hazikupita sekunde nyingi, mlango wa Zuhura ukafunguliwa na Zuhura kutoka huku akiwa na nsoo iliyokuwa na maji na kuja kule bafuni.
Nikatoka na macho yangu kukutana na macho yake, alibaki akiniangalia huku akitabasamu. Tayari nilikwishaona kwamba Zuhura alikuwa amekwishaanza kuangukia katika mapenzi yangu, nilichokifanya ni kumsogelea, nikaanza kwa kumbusu shavuni, nikamuona akitabasamu tu hali iliyonifanya kuhama kwa haraka sana kuhamia mdomoni mwake. Zuhura hakuwa na jinsi, akajisogeza zaidi na kuanza kupiga lita.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Sehemu hiyo wala haikuwa na amani, nilichokifanya nikaachana nae na kisha kuelekea chumbani. Alitamani kunisimamisha lakini akawa amekwishachelewa, nilikuwa nimekwishaondoka. Nilifanya vile makusudi, sikutaka kumwambia kitu chochote kile, kwa kumfayia kitendo kile nilijua dhahiri kwamba angenitafuta kwa muda wake.
Nikaingia chumbani na kutulia kitandani. Nilbaki nikimfikiria Zuhura, tayari nilikwishaona kwamba nimempata kama ambavyo nilitaka iwe. Kazi yangu ya kutaka kutembea na wanawake wote ndani ya nyumba hiyo nikaona ikianza kutimia.
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment