Chombezo : Baraka Mchachuko
Sehemu Ya Nne (4)
Siku moja majira ya asubuhi nilipokuwa nikienda ofisini posta, nilijikuta nikianza kumtazama kwa macho ya matamanio msichana mmoja niliyekuwa nimesimama naye karibu kwasababu wote tulikosa siti.
Kitendo cha kumkazia sana macho msichana huyo akawa anaangalia pembeni kwa aibu. Tukio hilo likanipa nguvu, nikaendelea kumtazama zaidi na zaidi. Tulipofika magomeni mapipa, abiria waliyokuwa wamekaa siti ya pembeni yetu walishuka na hivyo tukapata siti mbili, nikakaa pamoja na huyo msichana.
“Mambo vipi mrembo.”
“Poa mkaka ila wewe ni mchokozi sana, unajua ilibakia kidogo nicheke kwa ulivyokuwa ukinitazama,” aliniambia huku akiachia tabasamu pana.
“Nisamehe bure tu! na wewe umezidi kuwa mrembo sasa,” nilimwambia kisha akacheka.
“Acha masihara yako hivi katika warembo wakiambiwa watoke kumi na mimi nitakuwemo?”
“Sio kumi hata wakiwa warembo hamsini wewe lazima utakuwa tano bora,” nilipomwambia hivyo akazidi kucheka, akaniambia kwamba kama kweli angekuwa mrembo kama nilivyokuwa nikimsifia basi asingepanda daladala. Aliponiambia hivyo nikatabasamu kidogo kisha nikamwambia kwamba asihofu kwani gari langu nililoagiza kutoka Japan mwezi ujao ningeweza kulipata. Nilipomwambia hivyo akazidi kucheka sana.
Kwa kuwa asubuhi hiyo hakukuwa kuna foleni, kitendo cha kufumba na kufumbua macho tukawa tayari tumeshafika Mnazi mmoja, kama kawaida yangu nikaona ningefanya uzembe mkubwa sana kama nisingeomba namba ya simu.
“Unataka namba yangu ya nini?” aliniuliza.
“Si ili gari langu likishafika niwe nakuja kukuchukua,” nilimwambia kisha akacheka kama kawaida yake, akaniomba nimpe simu yangu, nikafanya kama alivyotaka kisha akaniandikia namba zake.
“Kwahiyo nikusevu jina gani?” nilimuuliza.
“Naitwa Levina,” alijitambulisha.
“Oky basi sawa namba yangu inaishia 78, nisevu Baraka,” nilimwambia.
“Ok haina shida Baraka,” alinijibu.
Baada ya dakika kadhaa hatimaye daladala lilifika Posta, abiria wote tukashuka. Nikaagana na Levina ambaye aliniambia kwamba kwa wakati huo alikuwa akienda Masaki ambapo ndipo alipokuwa akifanya kazi.
Niliwahi kufika ofisini kisha nikafanya kazi zangu kama ilivyokuwa kawaida. Akili yangu haikuacha kumfikiria msichana Levina, ingawa nilikutana naye kwenye daladala na kuzungumza naye kidogo lakini nilijikuta nikianza kupata hisia tofauti.
Nadhani ni kwasababu ya ule urembo wake, alikuwa na macho ya kuvutia sanjari na shepu matata.
Siku hiyo nilifanya kazi mpaka kufikia jioni muda ambao ndiyo nilikuwa nikirudi nyumbani. Nilipokuwa kwenye daladala bado mawazo yangu yalikuwa kwa msichana Levina niliyekutana naye asubuhi kwenye daladala, alichanganya vibaya mno!
Baada ya kupita dakika kadhaa hatimaye nilifika nyumbani, nilikumbuka kupitia kwa mama ntilie ambapo nilinunua na kula chakula kabisa. Niliporudi nyumbani sikuwa na kazi nyingine zaidi ya kwenda bafuni kuoga, nilipomaliza nilirudi na kujitupa kitandani.
Wakati nilipokuwa chumbani kwangu nilimejilaza kitandani, nilichanganyikiwa, mwili wangu ulipagawa kupita kawaida. Nilijiloanisha mno na ili kupunguza machungu nikakumbuka kwamba siku hiyo Levina alinipa namba yake ya simu na sikumtafuta. Haraka nikachukua simu yangu na kuingia WhatsApp kuangalia kama namba ya Levina.
Nilipolitafuta jina lake nikaliona, alionekana akiwa online muda huo na Dp aliweka picha yake hivyo niliweza kumtambua vizuri.
“Levina…” nilimtumia ujumbe huo na baada ya sekunde kadhaa ukajibiwa.
“Niambie wewe mkaka mwenye maneno mengi,” alinijibu kisha akanitumia na viemoj vya kucheka na vya kuziba macho.
“Nipo poa! Kumbe unanikumbuka?” nilimtumia.
“Ndiyo nimeona Dp yako Baraka, sura yako hainipotei bwana yaani umenifanya leo niwe na kazi ya kukumbuka vituko vyako.”http://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Jamaniiiii ndiyo kusema kwamba nina undugu na Mr. Bean?”
“Hahaha ndiyo tena umemzidi hata yeye.”
“Sawa bana halafu hukuniambia unaishi wapi?”
“Sikukuambia?”
“Ndiyo.”
“Mimi nipo Mabibo Hostel.”
“Anha! Kwahiyo kazi unafanyia Masaki.”
“Ndiyo, nipo pale Shoppers Plaza na wewe unaishi wapi?”
“Nipo Tandale ila nina mpango wa kuhama soon.”
“Kwani umepanga?”
“Ndiyo.”
“Hongera.”
“Asante, naweza kukuona kesho?”
“Kesho? Mh!”
“Hiyo mh ni ndiyo au hapana?”
“Nitaangalia kwani nachelewa kutoka kazini.”
“Sawa usisahau kuniambia lakini nitakufuata hukuhuko Shoppers Plaza halafu nimeipenda hiyo nguo yako ya ndani.”
“Umeiona wapi?”
“Kwenye mawazo yangu, nilikuona ukiwa umeivaa, imekupendeza sana, ndiyo ugonjwa wangu huo.”
“Halafu Baraka bwana.”
“Niruhusu basi hata siku moja.”
“Nikuruhusu nini?”
“Japo na mimi nikusaidie kuivua mwilini mwako jamaniiiii! Hivi huoni kazi kila siku kuivua mwenyewe?” nilimuuliza.
“Hahaha! Baraka chizi sana wewe.”
“Niambie bwana au nikusaidie kesho tukionana?”
“Kesho? Mh!”
“Si tukitoka huko Shoppers tunapitia nyumbani kwangu?”
“Tutaangalia kwahiyo tutaenda na usafiri gani?”
“Tutachukua hata uber.”
“Kweli?”
“Ndiyo.”
“Basi sawa basi nitakuruhusu,” alinijibu Levina jibu ambalo lilinifanya nichanganyikiwe zaidi.
Kwa jinsi nilivyokuwa nikichati na Levina na kunikubalia harakaharaka ilionekana kuwa kama kazi nyepesi hivi kumbe ilikuwa ni kazi ngumu vibaya mno. Muda huo Nurath na yeye alianza kunitumia meseji zake lakini sikumjibu kwasababu nilikuwa bize na Levina.
Nilimuomba Levina anitumie picha zake kisha akafanya kama nilivyomuomba, nikaanza kazi ya kuziangalia picha za slay queen huyo ambaye alikuwa anaishi Mabibo Hostel.
Wakati nikiendelea kuziangalia picha za Levina mara nikausikia mlango wa chumba changu ukigongwa. Kwa jinsi mlango ulivyokuwa ukigongwa haikuwa kawaida. Ni kama vile mgongaji aliogopa sauti yake ya ugongaji isisikike.
Kilichonijia kichwani mwangu ni Subira tu. Nikakurupuka na kwenda kuufungua. Macho yangu yakakutana na Nurath ambaye alinisukuma na kuingia ndani.
“Kuna nini?” nilimuuliza huku nikishtuka mno.
“Ulikuwa unafanya nini? Mbona nakutumia meseji zangu hujibu?” aliniuliza huku akiwa amefura, futu.
“Jamaniiii kwani nilikwambiaje?”
“Hebu sogea kwanza hapa,” aliniambia Nurath na akanivutia kwake.
Labda nikwambie siku hiyo ilikuwa ni tofauti na siku nyingine, Nurath alionekana kuchanganyikiwa kupita kawaida. Mwili wake ulikuwa kwenye hatari kupita kawaida.
Akanivuta kitandani, alivalia kitenge alichokifunga kuanzia kifuani mpaka chini lakini kwa ndani hakuwa na nguo yoyote ile.
Nilihisi kama nilikuwa ninaota, nilimuangalia Nurath jinsi alivyokuwa, mapaja yake manene na meupe, nilishindwa kuelewa kama alikuwa siriazi kweli kunipa mzigo wakati huo au alikuwa akinibipu tu.
“Nurath kuna nini? Nilimuuliza.
“Baraka unajifanya hujui nataka nini.”http://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Niambie basiiii.”
“Nataka tenaaa.”
“Nurath unasemaaa…..” nilisema lakini hata kabla sijamalizia sentensi yangu, Nurath akaniweka kitandani, akatoa kitenge chake na kubaki kama alivyotoka kwenye tumbo la mama yake.
Macho yangu yakatua kwenye kiuno chake, kulikuwa na shanga kama kumi na mbili hivi, kiukweli nilichanganyikiwa sana. Nilikumbuka siku ile ambayo nilimpeleka jaramba, siku hiyo pia nilitakiwa kufanya naye.
Sikutaka kuremba wala sikutaka kuchelewa, kwa jinsi Nurath alivyokuwa akionekana tu, alionekana kuwa na uhitaji wa kukatwa kiu yake, hivyo nikaanza kushughulika naye.
Mke wa mtu ambaye alishindwa kuvumilia na kujitunza na ndoa yake mwisho wa siku penzi langu lilizidi kumlevya kiasi kwamba akajikuta akihitaji kuendelea kuvunja amri ya sita kila siku na mimi.
Nilijua kucheza na wanawake hususani wake za watu mpaka nikawateka na kusahau waume zao.
Kitu cha kwanza nilichokuwa nikikifanya ni kutafuta sehemu ya hatari ya mwili wa mwanamke huyo. Nilianzia shingoni kama kawaida yangu, sikuambulia kitu, nikaenda sikioni, hakukuwa kuna hali yoyote ya tofauti iliyotokea. Nikaenda chini ya kiuno, napo hakukuwa kuna kitu. Nikahamia kwenye kitovu napo hakukuwa kuna kitu chochote kile kilichotokea.
Nilichanganyikiwa, wakati mwingine nilihisi kwamba kuna kosa kubwa nilikuwa nimelifanya bila kujua. Hata hivyo sikutaka kuishia hapo, nikaendelea kufanya upelelezi wangu katika mwili wa Nurath.
Nikaenda chini zaidi, nilipofika kwenye vidole vyake hususani kidole gumba, nikasikia kama Nurath akipiga uyowe.
“Ooooh! Aishiiiiiiiiiiiiiiii...huuuuuuuuuu...” Nurath alipiga uyowe mkubwa wa mahaba.
“Nimekupata!” nilisema na kisha nikajiweka bize na eneo hilo matata.
Nurath alikuwa ni mwanamke aliyekuwa akijiweza, kiunoni alikuwa na shanga kama zote, hakuwa mvivu kama walivyokuwa wanawake wengine niliyowahi kulala nao. Kitandani Nurath alikuwa akijituma hasa.
Niliendelea kuwa bize na vidole vyake vya miguuni, nilimkuna hasa na sikutaka kuondoka eneo hilo matata lenye mashamsham na mautamu utamu ya maraha.
Nilifanya kila ninaloliweza siku hiyo ili nizidi kumpagawisha Nurath kiasi kwamba alikuwa akilalamika wakati ambao alikuwa akikaribia kufika kileleni.
Hilo ndilo nililolitaka kuliona, kabla ya shambulizi kuanza nilitaka kuandaa mazingira ya mchezo, nilisafisha kila pembe ya uwanja.
Nurath alilegea, alikuwa hoi na kitu alichokuwa akikisubiri kilikuwa ni kuanza mechi tu. Niliwapanga wachezaji wangu vizuri, niliwaambia kwamba walitakiwa kufanya majukumu yao uwanjani na zaidi ya hapo nisingeweza kuwapa maelekezo mengine.
Mechi ikaanza rasmi. Wachezaji wa pembeni walikuwa hatari sana, waliweza kupeleka mashambulizi ya nguvu kwa adui, muda wote walikuwa bize kiasi kwamba timu pinzani ya Nurath iliona kabisa inazidiwa.
Sikuridhika hata kidogo, nilikuwa mtu hatari sana eneo hilo, nilijua kumchambua mwanamke kama karanga, nilimbeba na kumvuta huku, nikampeleka kule na kupeleka mashambulizi ya ghafla.
Nurath alijua kucheza michezo ya aina yote lakini kwangu nilionekana kumzidi uwezo, nilikuwa balaa kwani nilijua kupiga engo zote na kumfanya kuwa hoi mwanamke.
“Utaniuaaaa Baraka...aishiiiii...” alilalamika Nurath.
Sikutaka kuacha, nilikuwa na pumzi ya kutosha tu hivyo nilikwenda naye kwa saa mbili mfululizo na ndipo nikamuacha.
Nurath alikuwa hoi bin taaban, hamu yote ya kufanya mapenzi ikamuisha na kujisikia akiwa mwepesi kabisa.
Haraka haraka akainuka na kuanza kuvaa kitenge chake, hata hakuniangalia usoni alikuwa akijisikia aibu kwani alihisi kwamba nisingeweza kumfikisha alipokuwa akielekea lakini kitu cha ajabu kabisa, nikampitiliza mpaka kituo chake na kumpeleka mbali kabisa.
“Hivi ulijifikiria nini mpaka ukaja chumbani kwangu?” nilimuuliza Nurath.
“Hakuna kitu.”
“Au ulizidiwa sana nini? Ila angalia sana, chunga mume wako asije akashtukia mchezo,” Nilisema na kumfanya Nurath kucheka na kutoka kuelekea chumbani kwake.
Nilibaki mule chumbani kwangu, niliondoka na kuelekea bafuni kuoga, nilipomaliza nikarudi chumbani na kitu cha kwanza kabisa nilichokifanya nilishika simu yangu.
Nikakutana na meseji nne kutoka kwa Levina, ilikuwa ni usiku sana, majira kama ya saa nane na nusu hivi lakini bado Levina alionekana kuwa Online.
“Baraka.”
“Umelala?”
“Wewe mbona upo kimya?”
“Kwanini hutaki kujibu meseji zangu?”
Hizo zilikuwa meseji nne ambazo alinitumia Levina. Sikutaka kuchelewa, nilikwishajua ni kitu gani ambacho alikuwa akikihitaji muda huo. Levina hakuwa ni msichana wa kumuingilia kizembe kama wasichana wengine ambao nilikuwa nikiwaingilia, nilituliza akili kwanza.
“Vipi leo hulali?” Nilimuuliza, hapohapo nikaona Levina akiandika.
“Nakusubiri wewe tulale wote,” alijibu Levina na
kumalizia na emoj za kucheka.
“Nimekuja mama watoto! Unaendeleaje na hali?”
“Naendelea vizuri baba watoto!”
“Nimeipenda profile yako! Umependeza sana, yaani ni kama umeshushwa kutoka Mbinguni, mtoto tumbo limeingia ndani, kitovu kwa mbali kinaonekana,” Niliandika na kumtumia.
“Uwiiiiiiiii...wewe Baraka utaniua mwenzako!”
“Levina! Kitovu ndiyo ugonjwa wangu! Nahitaji sana nikinyonye hicho chako,” Niliandika hivyo na kumtumia.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Wewe...utanizibua masikio mwenzako!”
“Levina! Serious! Yaani siku ukiingia mikononi mwangu, nakuahidi hautojuta!”
“Kwani utafanyaje?”
“Nitaanza kukuweka kitandani, nitakuja shingoni mwako na kukulamba mwili mzima kama paka.”
“Halafu?”
“Nitaendelea kwa dakika kadhaa halafu nitashuka chini kidogo mpaka kifuani, hizo dodo zitanikoma. Nitaziweka mdomoni mwangu halafu nitauachia ulimi ufanye kazi yake.”
“Mmh!”
“Kazi yangu kubwa itakuwa ni kuzichezea hizo nipples zako! Yaani nitakula nazo sahani moja.”
“Halafu!”
“Nitakuvua nguo zote na kukuacha mtupu...halafu nitakugeuza ulalie tumbo nianze kukulamba kila kona...”
“Mh! Halafu...”
“Nitaanzia shingoni kwa nyuma, nitashuka mpaka mgongoni, halafu nitakwenda mpaka kwenye hiyo milima miwili na kuanza kuilamba nayo, halafu nitasogea katikati ya milima na kuendelea kufanya kazi yangu...” nilimjibu huku nikitabasamu kana kwamba nilikuwa nikizungumza na Levina ana kwa ana.
“Mmh! Yaani katikati ya milima yangu?”
“Yeah! Tena wakati huo nitakuwa na pipi kifua kwa ajili ya kukuletea ubaridi...yaani utasikia baridiiiiiiiiiii...”
“Aishiiiii...Baraka utakuwa huioni pepo! Utakuwa humuoni Yesu, hebu acha hayo mambo yako!” alinitumia Levina kisha nikacheka.
“Levina! Naomba uniruhusu!”
“Ili uje katikati ya milima yangu?”
“Ndiyo! Nataka nikupe raha ambayo haujawahi kuisikia hata siku moja! Yaani nitahakikisha mpaka panakuwa pasafiiiiiiii...”
“Hapana! Umenishinda tabia wewe mkaka, naomba nilale zangu kesho naingia kazini.”
“Levina!”
“Usiku mwema. Bye.” aliandika Levina na kutoka online.
****
Bado niliendelea na tabia yangu ya kupenda wanawake, kwenye nyumba hiyo niliyopanga mpaka kufika muda huo tayari nilikuwa nimetembea na wanawake watano, walibakia wanawake saba ambao na wao pia nilipanga kutembea nao. Mara kwa mara kila wikiendi nilikuwa nikiitumia vizuri kuwachombeza wanawake hao waliyobakia huku lengo langu likiwa ni kuwavua nguo zao za ndani na kuwaacha.
Sikuacha kuwasiliana na Levina, niliendelea kuwasiliana naye kila siku huku nikijitahidi kumsogeza karibu yangu. Ingawa siku iliyofuata nilipanga kuonana naye lakini ilishindikana hivyo sikutaka kukata tamaa kabisa, niliamini kuna siku ingefika kila kitu kingetimia kama nilivyopanga.
****
Kwa kuwa nilikuwa nikifanya kazi ambayo ilikuwa ikilinipa mshahara mzuri mwisho wa mwezi hivyo siku moja moja za wikiendi nilikuwa nikitoka na kwenda mahali fulani kubadilisha mazingira lakini pia nilienda kutafuta mademu kwani hiyo ndiyo ilikuwa tabia yangu mama, sikuwa ni mtu wa kutulia sehemu moja.
Ilikuwa hivyo, siku moja nilimchukua mshikaji wangu Isack na kuondoka naye kuelekea Jangwani Sea Breez kwa ajili ya kutafuta mademu (Hapa ni baada ya kubishana naye sana na kuniona kwamba nilikuwa sijui kitu kuhusu mademu na kwamba yeye ndiye aliyekuwa mkali, siku hiyo jumamosi tukapanga kwenda kuonyeshana nani alikuwa mkali kwenye sekta hiyo.)
Tulichukua Uber ambayo ilitupeleka mpaka huko Jangwani Sea Breez. Muda wote Isack alikuwa akijisifia kwamba alikuwa mtu hatari sana, kama kawaida yake hakuacha kunitajia list ya mademu zake pamoja walivyokuwa wana maajabu kitandani. Siku hiyo sikuwa muongeaji sana, sikutaka kubishana na Isack, nilipanga kwenda kumuonyesha kwa vitendo uhatari wangu kwenye kutafuta mademu wakali huko Jangwani.
Baada ya dakika kadhaa gari likaanza kuingia ndani ya eneo la Jangwani Sea Breez, tukateremka na kuanza kuelekea ndani (Hapa ni baada ya kumlipa dereva Uber pesa yake aliyokuwa akitudai.)
Njiani nilikuwa nikikodoa macho muda wote, kulikuwa na watoto wakali ile kinoma, watoto wa kishua, wazuri, wenye mchanganyiko wa rangi ambao kiukweli waliniacha hoi.
Tulikwenda mpaka sehemu ya vinywaji na kutulia hapo kwa muda, tukaagiza vinywaji na kuanza kunywa kwa madoido. Macho yangu hayakutulia hata kidogo, bado nilikuwa nikiangalia huku na kule mpaka macho yangu yalipotua kwa msichana mmoja mrembo, mtoto wa Kihindi ambaye alikuwa amekaa pembeni peke yake akinywa juisi.
“Oya! unamuona yule mtoto?” nilimuuliza Isack huku nikimuonyesha.
“Mmh! Kazuri! Ila mzee baba utawaweza Wahindi? Ni wabaguzi sana,” aliniambia Isack.
“Mimi nataka nimuonje mara moja na kumuacha, sitaki kuweka kambi,” nilimwambia Isack kisha na yeye akaonekana kuwa bize kutafuta msichana wa kumfuata.
“Sawa ila leo lazima nikuonyeshe kwamba mimi sio mtu wa mchezo mchezo mdogo wangu!”
“Hahahaha! sawa mimi ngoja nimfuate mtoto,” nilimwambia Isack kisha nikapeana naye tano halafu nikaondoka kuelekea kwa msichana huyo mwenye asili ya kihindi. Nilipomfikia, nikakaa pembeni yake na kuanza kuzungumza naye.
“Umejitenga sana, unaonekana mpweke mno! Sharukh Khan kakusaliti nini?” nilimuuliza huku nikimwangalia msichana huyo mrembo ambaye alibaki akitabasamu tu.
“Why Sharukh Khan?” (kwa nini Sharukh Khan?)
“Is the only name I know. Tell me what the hell is going on,” (ni jina pekee ninalolijua. Niambie kitu gani kinaendelea?) nilimuuliza.
“Men! I hate ya’ll,” (wanaume. Nawachukia wote) aliniambia msichana huyo.
“Including me?” (pamoja na mimi?) nilimuuliza.
“Yes! Ya’ll the same,” (ndiyo! Nyie wote mpo sawa) aliniambia msichana huyo kisha nikaanza kucheka kicheko cha chini chini.
“Ok! My name is Baraka!” (Sawa! Naitwa Baraka) nilijitambulisha huku nikimpa mkono.
“Hytham,” alijitambulisha kisha tukaanza kuongea, nilijijua kwamba nilikuwa mtu hatari sana linapokuja suala la kuzungumza na mwanamke, hata kama msichana alikuwa na mawazo tele kiasi gani, nilijua ni kwa namna gani nilitakiwa kumuondolea mawazo na kumfanya kujisikia mtu mwenye furaha kuliko wanawake wote duniani.
Nilibaki nikiongea na Haytham, nilimwambia mambo mengi sana kuhusu wanawaume, mambo ambayo hakuwa akiyajua lakini kwenye hayo yote nilimwambia kitu kimoja cha muhimu sana kwamba kama kuna mchezaji fulani alifanya kitu fulani, hakutakiwa kuuchukia mchezo wa mpira wa miguu bali alitakiwa kumchukia mchezaji husika.
“Unamaanisha nini?” aliniuliza.
“Hutakiwi kuyachukia mapenzi, mchukie yule aliyekufanya ulie kwenye mapenzi,” nilimwambia huku nikiendelea kujifanya mshauri wa mapenzi bora kuliko wote katika dunia hii.
http://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Hakukuwa kuna kipindi nilichokuwa siriazi kama siku hiyo, sikutaka kuleta utani hata kidogo, niliamini kama ningethubutu kufanya hivyo basi ningeweza kuharibu kila kitu.
Haytham aliendelea kunisikiliza kwa umakini wa hali juu, nilimueleza mambo mengi sana kuhusu mapenzi na wanaume jinsi walivyokuwa wakifanya makosa makubwa na mwisho wa siku kuwakosea wanawake na kuwapa maumivu makubwa mno! Mioyoni mwao.
Siku hiyo naweza kusema niligeuka kuwa mshauri wa masuala ya mapenzi maana nilizungumza mambo mengi sana kama ushauri. Haytham hakuamini kama niliweza kufahamu mambo yote yale, alibaki akinishangaa huku muda wote nikionekana kutawala mazungumzo.
Nilifahamu kwamba Haytham aliumizwa kimpenzi tena alikuwa ana maumivu makali mno moyoni mwake, aliwachukia wanaume vibaya mno!
Niliitumia nafasi hiyo kama sababu ya kumshauri na kujitengenezea mazingira ya kuonekana mwanaume mwema tena niliyejaaliwa roho ya huruma kuliko wanaume wote dunia nzima.
Wakati nilipokuwa nikiendelea kuzungumza na Haytham, mara nikamuona Isack akiinuka pale alipokuwa amekaa na kuanza kuelekea mahali palipokuwa na wasichana wengi, walikuwa kama wasichana wanne hivi, walikuwa wamekaa sehemu moja, wote walionekana kuwa ni mademu wakali ile kinoma. Isack alipoona nimezidi kumtazama sana kwa macho ya kumuibiaibia akanikonyeza, nikatabasamu.
Mchezo uliyokuwa ukiendelea mahali hapo ulikuwa ni wa kuonyeshana nani alikuwa mkali zaidi ya mwenzake katika kutafuta demu mkali. Kitendo cha Isack kwenda sehemu iliyokuwa na wasichana wengi waliyoonekana kuwa wote wakali kilinichanganya sana.
“Umeona nini?” aliniuliza Haytham.
“Hakuna kitu,” nilimjibu.
“Kweli?”
“Yeah.”
“Sawa niambie.”
“Kwahiyo ndiyo hivyo kama nilivyokwambia, hutakiwi kuyachukia mapenzi wala kuwachukia wanaume wote katika hii dunia, mchukie yule aliyekuumiza peke yake.”
“Nyie wanaume mpo sawa.”
“Hapana sio kweli.”
“Unajitetea kwasababu na wewe ni mwanaume pia.”
“Mimi nafahamu unasema hivyo kwasababu gani, moyo wako tayari una chuki, unawachukia wanaume ila mimi naamini siku moja utakayobadilisha msimamo wako na kumkabidhi mwanaume mwingine moyo wako utakuja kuniambia.”
“Unamaanisha nini?”
“Mapenzi ni matamu, asikwambie mtu,” nilimwambia maneno yaliyomfanya atabasamu.
“Baraka una vituko sana.”
“Hapana huo ndiyo ukweli kuna siku utakuja kuniambia, utanipa ushuhuda wako.”
“Lini?”
“Mimi sijui ila naamini ipo siku isiyokuwa na jina.”
“Hahaha!”
Kwa jinsi nilivyokuwa nikiongea na Haytham, nilikwishamsoma na kumfahamu alikuwa ni mwanamke wa aina gani. Ni kweli aliumizwa kimapenzi na alikuwa akiwachukia wanaume kuliko kitu chochote kile katika dunia hii lakini swali langu kubwa nililomuuliza ni kwamba kama alikuwa akiwachukia wanaume wote je, ilikuwaje kwa upande wa baba yake mzazi? Maana na yeye pia alikuwa ni mwanaume.
Kwa kifupi nilikuwa ni mwenye maswali mengi sana, nilimuuliza mengi Haytham mpaka kuna muda alikosa majibu akabaki akicheka na huo ndiyo udhaifu wa kwanza niliyoutumia kama tiketi ya kuzidi kumuingia kiakili bila kujua kwamba nilikuwa mahali hapo kwa lengo la ushindani, yaani yale yote niliyokuwa nikiyafanya niliyafanya kwasababu nilitaka kumuonyesha Isack kwamba nilikuwa hatari kiasi gani kwenye kusaka mademu wakali.
Isack aliendelea kufanya yake huku nikijaribu kuusoma mchezo mzima ulivyokuwa ukiendelea. Siku hiyo ilikuwa ni sawa na timu ya Simba na Yanga kukutana kiwanja kimoja, ilikuwa ni lazima mmoja wapo aibuke mshindi.
Baada ya kuona Isack ameanza kunizidi kete kwa kwenda kukaa na mademu wakali ambao walimpokea na kuanza kupiga naye stori mbili tatu mpaka kufikia hatua wakawa wanacheka, nilimchukua Haytham na kuondoka naye pembeni ambapo nilihakikisha Isack hakutuona.
Niliamini kwa kufanya hivyo ningeweza kumshtua Isack na kudhani kwamba labda nilikubaliwa na kuondoka na mtoto wa kihindi kilainiiii.
Hapo pembeni nilipompeleka Haytham nikaanza kupiga naye stori mbili tatu, sikutaka kuchelewa wala kupoteza muda, nikaanza kumwagia sifa lukuki jinsi alivyokuwa mrembo, Haytham akawa anatabasamu tu huku akianza kuzing’ata kucha zake kwa aibu.
Nilimueleza ukweli jinsi nilivyoingiwa na hisia za kimapenzi juu yake za ghafla! Na kwamba hakukuwa kuna msichana kama yeye katika hii dunia.
“Mmh! Wanaume nyie yaani umeniona leo na tayari umeshanipenda?” aliambia Haytham huku akionekana kushangaa.
“Sure! Haytham! Ninakupenda sana tena vibya mno! Tatizo lenu mmekariri, mmezoea mwanaume akikupenda mpaka akufukuzie ndani wiki mpaka miezi ndiyo umkubalie, zama hizo zilipendwa banaa, siku hizi ni zama za ukweli na uwazi.”
“Mmh! Eti zama za ukweli na uwazi, ndiyo unitongoze na nikukubalie leoleo?”
“Kwani kuna ubaya gani? au sistahili kukupenda jamaniii?”
“Mmh! Nyie wanaume lenu moja.”
“Haytham jamaniiiii.”
“Hivi Baraka ni kitu gani ulichonipendea hasa?”
“Haytham kwanza katika maisha yangu sijawahi kutembea na muhindi, ninatamani sana kulala na mhindi, ninatamani kuionja ladha yenu.”
“Kwahiyo kumbe hujanipenda, umenitamani.”
“Mwanaume ili akupende anaanza kutamani kwanza halafu kupenda ndiyo kunafuata.”
“Mmh!”
“Sure! Tatizo lako Haytham hupendi kuambiwa ukweli.”
“Ukweli gani?”
“Ninakupenda, nikubalie.”
“Siwezi Baraka.”http://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Huwezi kufanya nini? Inamaana kumbe na wewe unapenda kuwaumiza wanaume.”
“Kivipi?”
“Hutaki kunionea huruma au unapenda kunisikia hivi ninavyolalamika.”
“Baraka hatuwezi tukawa wapenzi kwa haraka kama unavyotaka.”
“Mpaka lini jamaniii.”
“Subiri kwanza.”
“Nisubiri nini Haytham.”
“Baraka nielewe basi siwezi kukubalia tukawa wapenzi leo leo kama unavyotaka.”
“Kwahiyo?”
“Kuhusu nini?”
“Kunipeleka kwenu wakanifahamu.”
“Heee! Baraka mbona hivyo lakini unakuwa king’ang’anizi.”
“Nakupenda.”
“Kwahiyo kama unanipenda.”
“Serious! Haytham, hebu kwanza nipe namba yako ya simu.”
“Yanini?”
“Ili nikutumie luku.”
“Hahahaha!”
“Nipe basi usicheke.”
“Nope! Siwezi kukupa.”
“Mpaka namba jamanii.”
“Ndiyo siwezi kukupa.”
“Pleaseeeee…”
Hiyo ndiyo ilikuwa njia rahisi ya kupata namba za simu za Haytham, baada ya kuonekana nimekuwa king’ang’anizi nisiyekubali kushindwa mwisho akaamua kunipa namba zake za simu.
Siku hiyo ilikuwa hivyo, nilibahatika kuzungumza na Haytham mpaka kufikia hatua nikachukua namba zake za simu. Kwa upande wa Isack na yeye alifanikiwa kuchukua namba za simu za msichana mmoja ambaye alimsifia sana.
Kazi iliyokuwa imebakia ni kuhakikisha kila mmoja wetu anafanikiwa kumchukua msichana wake na kumpeleka geto, hilo ndilo lililokuwa limebakia.
Baada ya kukaa kwa masaa kadhaa mpaka kufikia majira ya jioni, tuliita Uber ambayo ilitupeleka moja kwa moja mpaka nyumbani.
****
Siku hiyo nilikuwa ni mwenye furaha sana, kila wakati taswira ya Haytham ilikuwa ikinijia kichwani mwangu. Alionekana kuwa ni msichana mrembo sana, kilichozidi kunichanganya zaidi ni asili yake ya uhindi aliyokuwa nao.
“Wahindi mimi nawajua vizuri, ni wabaguzi kinoma, hawawezi akakukubalia mtu kama wewe,” aliniambia Isack huku akinitambia demu mkali aliyempata siku hiyo Jangwani.
“Mbona ameshakubali kitambo tu, bado kumleta magetoni,” nilimwambia Isack maneno yaliyomfanya anicheke kiasi kwamba kuna muda nilianza kukwazika moyoni, sikupenda mtu anidharau.
“Sasa unacheka nini?” nilimuuliza.
“Unajisumbua tu, tangu lini umeona au umesikia muhindi amempenda mtu wa tandale, wewe subiri kutembea na akina mwajuma ndala ndefu,” aliniambia Isack maneno yaliyozidi kunikwaz vibaya mno! Kuna muda nilitamani kumwambia ukweli kwamba nilitembea na wapangaji wa nyumba niliyopanga pamoja na wasichana wengine wengi kadhaa ambao niliweka chata katika mapaja yao lakini nilisita kumwambia hivyo, kwasababu hata kama ningemwambia asingeweza kuniamini hivyo nilipanga kumuonyesha kwa vitendo.
Akili yangu ilichanganyikiwa vibaya mno, iliendelea kumfikiria Haytham kupita kawaida. Alikuwa ni msichana mzuri mwenye asili ya kihindi, alinona, nyuma alifungasha kidogo kiasi kwamba nilizidi kupagawa na shepu lake. Ulifika wakati mpaka nikaanza kujiuliza maswali kichwani mwangu kwamba ilikuwaje huyo mwanaume aliyepata zali la kuwa naye kimapenzi mpaka akaamua kumuumiza?
Kiukweli maswali yangu yalikosa majibu. Mpaka kufikia wakati huo Haytham alikuwa akiwachukia wanaume, hakutaka kuwa na ukaribu nao na kama ilitokea akawa karibu nao basi suala la kuwa wapenzi hakutaka kuona likitokea, moyo wake ulikuwa na majeraha mabichi kabisa.
“Lakini hapana, nitafanya kitu kwa ajili yake, lazima nitoke naye,” nilijisemea nilipokuwa chumbani kwangu, hapa ni baada ya kumkumbuka Isack.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Nilifahamu kwamba nilikuwa nina kazi ya kutoka na Haytham kwa gharama yoyote ile na kama ningeshindwa kutoka naye basi huo ndiyo ungekuwa mwanzo wangu wa kuonekana labda pengine kisu changu hakikuwa na makali ya kukata nyama.
Isack aliendelea kuniumiza akili yangu, baada ya kupita siku kadhaa alianza kunitumia picha WhatsApp za msichana mmoja mrembo, msichana huyo alionekana kuwa ni mrembo lakini kiukweli urembo wake haukuufunika ule wa Haytham.
“Ni nani huyu mzee baba?” niliandika na kumtumia WhatsApp.
“Anaitwa Fetty ndiyo yule niliyempata kule Jangwani siku ile,” alinijibu.
“Sema kweli!” niliandika kisha nikatuma na emoj ya kushangaa pamoja na ya kujilamba.
“Yeah,” alinijibu na kusindikiza na emoj ya kucheka.
Isack hakuishia kunitumia picha za Fetty peke yake tu, aliona kama haitoshi kufikisha ujumbe wake akaanza kunitumia screen Shots za meseji alichokuwa akichati na msichana huyo mpaka kufikia hatua akakubaliwa kuonana naye.
“Wewe jamaa ni fala sana,” niliandika kisha nikasindikiza na emoj ya kucheka.
“Wewe si upo kama sanamu ngoja nikuonyeshe hizi nyama zinavyoliwa,” alinijibu.
“Hivi anaishi wapi?”
“Tegeta.”
“Kumbe hapo tu, nipe namba zake basi nimsalimie shemeji.”
“Fala sana wewe.”
“Kwani ubaya upo wapi jamani?”
“Unapenda vya dezo.”
“Hahahaha!”
“Oyaa! Halafu imekuwaje kuhusu yule demu?”
“Demu yupi?”
“Wa kihindi?”
“Yupo unataka namba zake?”
“Hahaha! Fala wewe, vipi umefanikiwa?”
“Yeah! Nipo katika hatua za mwisho mwisho kabisa.”
“Hahaha! Nitumie picha zake basi nimthaminishe.”
“Haina noma,” nilituma kisha nikaingia kwenye gallery yangu kutafuta picha, nikatafuta picha moja ya mbuzi ambayo ilionekana kama amerembwa fulani hivi na kufungwa kilemba, nilipoiona picha hiyo haraka nikamtumia Isack, nikaona akiipokea na kuanza kuandika.
“Nilijua tu! fala sana wewe jamaa,” alinitumia.
“Unapenda vya dezo wewe,” nilimjibu.
“Hahaha! Umelipiza sio.”
“Yeah!” nilimjibu.
***
Maisha yaliendelea huku nikiendelea kufanya kazi zangu kama kawaida. Wanawake walizidi kunikaa kichwani mwangu, nilikuwa nikiwafikiria wanawake kuliko kitu chochote kile, kama kazi nilikuwa nikifanya tena nilikuwa nikilipwa mshahara mzuri uliyonikidhi mahitaji yangu, sasa ningeshindwa vipi kuwafikiria wanawake na wakati sikuwa ninaishi maisha ya kuwaza kuwaza shida?
Pale nilipopanga ratiba yangu iliendelea, nilifahamu kwamba nilikuwa nina kazi nyingine tena kubwa ya kutembea na wapangaji wengine saba waliyokuwa wamebakia.
Kuna haka kamsemo kamoja wahuni wanapenda sana kukatumia katika maangamizo yao kwamba uzuri wa kutembea na mke wa mtu ni kwamba hata kwa mfano ikatokea mkakorofishana hawezi kwenda kushtaki popote.
Hivyo ndiyo ilivyokuwa, nilifanya kila nililokuwa nikiweza, nilitembea na wanawake waliyopanga katika nyumba hiyo na hata pale ulipofika wakati nilipoamua kuachana nao hawakuwa na mahali pa kwenda kunishtaki, walibaki kuficha siri mioyoni mwao hata kama walijuana, kazi yangu ilikuwa ni kutembeza dozi nyuma nzima.
***
Baada ya kufanya mapenzi na Nurath kwa kipindi fulani kumbe kwa upande wa pili alikuwa akimsimulia jirani yake ambaye pia alikuwa ni shoga yake mkubwa sana. Huyu jirani yake na Nurath alikuwa akiitwa Atuganile. Alikuwa akifanya kazi katika hoteli moja iliyokuwepo Manzese upande wa mapokezi, mume wake aliyejulikana kwa jina la Nyemo Chilongani alikuwa ni mwalimu wa shule ya msingi. Katika maisha yao walibahatika kupata mtoto mmoja wa kike lakini kutokana na mipango ya Mwenyezi Mungu, mtoto huyo alifariki dunia. Tangu walipompoteza mtoto wao huyo Atuganile alipoteza matumaini kabisa ya kupata mtoto mwingine ambaye angeweza kumfuta machozi yake.
Hali ilikuwa tofauti na jinsi alivyokuwa akiamini hapo mwanzo, kila siku alikuwa akifanya mapenzi na mume wake, Nyemo lakini ilionekana ni kama magoli ya Nyemo hayakuwa na nguvu kabisa.
Alikuwa katika kipindi kigumu mno, kila alipokuwa akiwaangalia wanawake wenzake waliyokuwa wana watoto kama Mama Latifa na wapangaji wengine roho yake ilimuuma mno. Hakujua ni siku gani ambayo ingefika na yeye angeitwa Mama kwa mara nyingine.
Stori alizokuwa alizokuwa akipigiwa na Nurath kuhusu mimi zilimchanganya vibaya mno, alichanganyikiwa kila alipokuwa akiniona nikienda bafuni huku nikiwa nimejifunga taulo langu.
Alikuwa na uhitaji mkubwa sana wa kufanya mapenzi na mimi, hakujua alitakiwa kuanzia wapi kuzungumza na mimi maana na yeye pia alikuwa ni miongoni kati ya watu waliyokuwa wakinidharau na kuniona pengine nina element za ushoga na kwamba sikufahamu kitu chochote kuhusu wanawake wala kufanya mapenzi.
Moto aliyosimuliwa na Nurath kwamba nilikuwa nao pindi niwapo kitandani ulizidi kumchanganya mno. Alichanganyikiwa kupita kawaida, baada ya kupita siku kadhaa huku hisia za kufanya mapenzi na mimi zikizidi kumtesa na kumnyima amani, siku moja aliamua kuuvuja ukimya.
“Baraka,” aliniita, ilikuwa ni majira ya jioni nilipokuwa nikitoka kazini.
“Naam,” niliitika huku nikishangaa, haikuwa ni kawaida yake kuniita wala kuzungumza na mimi, sasa ilikuwaje siku hiyo akaniita? Alikuwa na tatizo gani?
Nilijiuliza lakini nilikosa majibu, nikabaki nikiendelea kumshangaa, nikamuona akianza kujiumauma midomo yake.
“Nakusikiliza,” nilimwambia.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Nimesahau nilichokuwa nataka kukwambia, samahani kwa usumbufu,” aliniambia.
Nilitabasamu baada ya Atuganile kuniambia hivyo, nilijua hakuwa ni mwehu kusema kwamba labda alikosea kuniita, jina langu alilifahamu vyema na mpaka kufikia wakati akaamua kuniita ni kwamba kulikuwa kuna kitu alichokuwa akitaka kuniambia.
Sikutaka kujiuliza maswali mengi sana kuhusu Atuganile, nikaamua kuingia chumbani kwangu huku lile tukio nikilipuuzia.
Nilikuwa nimechoka sana siku hiyo, nilikuwa hoi. Akili yangu haikuwa sawa, hata hivyo niliamua kwenda bafuni kuoga ili niondoe uchovu niliyokuwa nao, niliporudi kutoka bafuni nilijitupa kitandani na kuanza kuutafuta usingizi, haikuchukua dakika kadhaa nikapitiwa na usingizi.
***
Niliamka usiku sana, ilikuwa ni majira kama ya saa nane na nusu hivi. Mtaa mzima ulikuwa kimya, kila mtu alikuwa amelala kwa wakati huo. Ingawa nilijaribu kuutafuta usingizi kwa mara nyingine lakini sikuweza kuupata, macho yalikuwa meupe peee! Sikuwa nina lepe hata moja la usingizi.
Baada ya kuona nimeshindwa kuulazimisha usingizi kwa mara nyingine tena nikaamua kuchukua simu yangu. Sikuamini kile nilichokuwa nikikiona, nilikutana na Missed Call tano pamoja na meseji tatu. Nilipoangalia mtu aliyenipigia na kunitumia meseji alikuwa ni Haytham. Nilishtuka!
“Mambo Baraka.”
“Baraka.”
“Nimekumisi jamani.”
Hizo zilikuwa ni meseji tatu ambazo alinitumia Haytham. Nilipozisoma sikuamini macho yangu, kwanza nikaanza kuyapikicha, kitendo cha kukutana na meseji za Haytham tena akianiambia kwamba alinimisi kilinichanganya, nilihisi kama nilikuwa katika usingizi wa ndoto na muda wowote ningeweza kuamka.
Niliendelea kuishika simu yangu huku nikirudia kuzisoma meseji hizo mara mbilimbili huku nikiwa siamini kabisa. Ulikuwa ni usiku sana, nikaamua kumpigia kwa wakati huo lakini simu yangu haikuwa na salio la kupiga, ikabidi nimtumie meseji.
“Nipo poa Haytham.”
“Vipi mzima wewe?”
“Nimekumisi piaaa.”
Nilimtumia meseji hizo lakini hazikujibiwa. Nilifahamu usiku ulikuwa mkubwa sana hivyo kwa asilimia mia moja niliamini kwamba Haytham alikuwa amelala. Hata hivyo niliamini asubuhi atakapoamka angeziona na kuweza kunijibu hivyo sikuwa na presha yoyote, nilichokifanya nikaingia kwenye gallery na kuanza kutazama video mbalimbali za vituko mpaka pale usingizi uliponipitia.
***
Niliamka asubuhi na mapema sana kama ilivyokuwa kawaida yangu siku zote, nikaenda bafuni kuoga kuondoa uchovu, niliporudi nikajiandaa na kwenda kazini. Nilipokuwa kwenye daladala akili yangu ilianza kukumbuka tukio la siku iliyopita, lilikuwa ni tukio lile la Atuganile kuniita na mwisho wa siku akaniambia kwamba alisahau kuniambia hivyo kitu alichopanga kunimbia hivyo nimsamehe kwa usumbufu.
Kutokana na uchovu wa siku hiyo sikuweza kumjibu kitu na mwisho niliamua kuingia chumbani kwangu huku tukio hilo nikilipuuzia. Ilikuwa hivyo, lakini siku hii mpya akili yangu ilianza kutafakari mambo mbalimbali kuhusu Atuganile, alikuwa ni mume wa Nyemo. Sikuwa nina mazoea naye sana kwanza alikuwa ni miongoni kati wa watu waliyokuwa wakinidharau mno, kila nilipokuwa nikipishana naye ndiye alikuwa mtu wa kwanza kuubinua mdomo wake na kunitolea maneno ya kashfa. Sasa kilitokea nini mpaka akaniita na kusahau kuniambia hicho kitu alichopanga kuniambia?
Kiukweli kila swali nililojiuliza lilikosa majibu. Mpaka kufikia muda ambao nilifika kazini bado nilikuwa nikiendelea kumuwaza Atuganile, nilihisi wenda kulikuwa na tatizo lilitokea na hivyo aliogopa kuniambia ukweli.
Nilipokuwa ofisini nilianza kufanya kazi zangu kama kawaida, muda wa kuwaza wanawake niliuweka pembeni kwanza. Nilifanya kazi mpaka ulipofika muda wa Lunch ambapo mfanyakazi mwenzangu, Isabela alinifuata ofisini na kuniomba kunitoa Lunch siku hiyo.
“Vipi umeshinda bet nini?” nilimuuliza kiutani na kumfanya Isabela kuanza kucheka kwa sauti kubwa.
“Umeshaanza vituko vyako, hebu jiandae twende lunch,” aliniambia.
“Lunch wapi sasa?”
“Kfc.”
“Mtumeee.”
“Nini sasa?”
“Aggh! nilisahau kumbe wewe ndiye boss wangu.”
“Hahahaha!”
Sikutaka kupoteza muda, nilijiandaa na kwenda kwenye mgahawa huo wa Kfc ambapo tulitumia usafiri wa Isabela. Tulipofika tuliagiza chakula na kula huku maongezi ya hapa na pale yakishika hatamu yake. Nilikuwa hodari wa kuzungumza sana, nilijua kutumia utani wangu vyema katika mazungumzo ambayo kwa namna moja ama nyingine yaliweza kumteka mtu na kutamani kuendelea kunisikiliza.
Hivyo ndivyo ilivyokuwa hata kwa upande wa mfanyakazi mwenzangu, Isabela. Alikuwa amenizidi cheo ofisini lakini mara zote hakupenda kujiona bora kama walivyokuwa wengine, alinipenda sana na kupenda kuongozana na mimi kwasababu ya utani wangu. Nilikuwa nikimfanya kufurahi kila muda ambao nilikutana naye na kuzungumza mambo mawili matatu.
Isabela alikuwa ni msichana mrembo mwenye macho ya kuvutia ambapo mara zote nilipokaa na kuzungumza naye nilipenda sana kumsifia na kumwambia kwamba mpenzi aliyekuwa naye alifaidi mambo fulani fulani mengi sana. Kwanza kabisa lilikuwa ni shepu lake, macho yake, mdomo wake na vingine vingi tu! ambavyo nilipenda kumsifia sana.
Tabasamu la Isabela halikukauka kipindi alipokuwa na mimi, alikuwa ni mtu wa kutabasamu tu! kila wakati maana kama ni kumwagia sifa basi nilitumia dakika zisizopungua tano, zote nilizitumia kwa ajili ya kumsifia na kumfanya abaki akicheka.
“Hivi bado unaishi Tandale?” aliniuliza Isabela.
“Yeah! Bado naishi vipi kwani unataka kunipangishia nyumba Masaki?” nilimjibu na kumuuliza.
“Hahaha! Hivi Baraka unajua wewe sio wa kuishi Tandale, mshahara unaolipwa wote huo kwanini usiende kupanga nyumba sehemu nzuri?”
“Mimi ni mswahili haswaa! Napenda kuishi Kiswahili Swahili hivyo suala la mimi kuhama Tandale nitalifikiria, nipe muda.”
“Wewe Baraka utakuwa chizi sio bure,” aliniambia Isabela huku akicheka.
“Uchizi wangu unakujaje sasa mbele ya msichana mrembo kama wewe.”
“Serious! Hivi unajiona upo sawa kweli?”
“Yeah! Kwani nipoje au sijavaa nguo?”
“Hahahah! Baraka stop it, utanivunja mbavu zangu,” aliniambia huku akiendelea kucheka kama kawaida yake.
Hapo kabla nilizungumza mambo mengi na Isabela, alikuwa ni msichana mwenye akili sana, alinishauri mambo mengi mno, alinifanya kuwa kama ndugu yake wa damu, alinishirikisha katika siri zake muhimu na hata pale palipotokea tatizo katika mahusiano yake pia hakuacha kunishirikisha ili nimshauri nini cha kufanya. Niliishi na Isabela lakini naweza kusema alikuwa kama dada yangu wa hiyari, japokuwa Isabela alikuwa ni msichana mwenye sifa za kumchanganya mwanaume rijali, alijiachia sana lakini hilo halikunifanya nisahau uwepo wake. Nilimuheshimu sana. Nadhani hii ndiyo sababu iliyopeleka mpaka nikashindwa kumtongoza japokuwa uchu wa kula nyama yake ulinishika.
Siku hiyo aliyonitoa lunch na kwenda kwenye mgahawa huo wa Kfc tulizungumza mengi. Sikuacha kumtania utani wa hapa na pale, alikuwa ni mtu wa kucheka muda wote. Tulipomaliza tulirudi ofisini na kuendelea na kazi kama kawaida mpaka nilipomaliza na kurudi nyumbani.
***
Akili yangu ikaanza kuchanganyikiwa, mpaka kufikia muda huo Haytham hakuwa bado amenitafuta. Inamaana hakuziona meseji zangu? Nilijiuliza lakini sikuwa ni jibu la swali langu. Nilichokifanya nikajiunga dakika kwenye simu yangu na kumpigia, haikuchukua dakika simu ikaweza kupokelewa.
“Hallo Haytham,” nilimuita.
“Abee Baraka,” alinijibu Haytham upande wa pili.
“Mbona kimya sana nini tatizo?”
“Sorry Baraka nimeshindwa kukutafuta kwasababu leo niliamka na kuwa bize hata muda wa kushika simu nikakosa.”
“Ubize unatoka wapi?”
“Nasimamia biashara nyingi Baraka, hivyo nikianza kufuatilia hata muda wa kushika simu nakosa.”
“Acha masihara, umekosa muda wa kushika simu kweli?”
“Ndiyo Baraka nisamehe tu bure.”
“Usijali, niambie.”
“Safi Baraka.”
“Hivi unaishi wapi tena?”
“Nyumbani.”
“Sehemu gani?”
“Kigamboni.”
“Anha! Kumbe.”
“Yeah! Na wewe?”
“Tandale.”
“Sawa Baraka,” aliniambia.
Nilifahamu kwamba Haytham aliumizwa kimapenzi na alikuwa akiwachukia wanaume. Moyo wake bado ulikuwa una jeraha bichi kabisa. Nilichoamua kukifanya nilianza kumjali, sikutaka kuona akiendelea kuwachukia wanaume katika maisha yake.
Japokuwa alionekana kuwa mgumu lakini nilitumia akili kumuingilia, nilizungumza naye na kumuuliza nini kilitokea?
“Baraka ni stori ndefu, sitaki kukumbuka, moyo wangu unaumia sana,” aliniambia.
“Najua lakini naomba uniambie nini kilitokea?” nilimuuliza.
“Baraka,” aliniita.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Naam.”
“Ukweli ni kwamba niliwahi kuwa na mwanaume niliyempenda sana, nilimpa kila kitu alichokuwa akikitaka. Mimi ndiye niliyekuwa nina uwezo wa kifedha zaidi yake hivyo kila kitu alichokuwa akikitaka nilimpa mpaka nyumba aliyokuwa akiishi mimi ndiye niliyempangishia. Nilipanda mbegu ya upendo lakini sikutegemea kama mwisho wa siku angeweza kunilipa maumivu, sikutegemea kama angeniumiza hivi na kunifanya niwachukie wanaume na kuwaona wote wanafanana,” aliambia Haytham kisha akaanza kunisimulia mkasa mzima uliyotokea kati yake na mpenzi wake huyo aliyemuumiza.
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment