Search This Blog

Wednesday, November 2, 2022

UTAMU WA SHEMEJI FLORA - 2

 






Chombezo : Utamu Wa Shemeji Flora

Sehemu Ya Pili (2)







"Sikubali hebu ngoja kwanza nikaangalie na kuthibitisha" alisema Rose kusogea hadi hapo mlangoni halafu akaanza kuchungulia ndani kwa kupitia tundu la funguo kwenye kitasa cha mlango!.

Bahati nzuri taa ya humo chumbani kwa Flora ilikuwa inawaka na kwenye kitasa hukukuwepo na ufunguo hivyo Rozi akajaribu kuangalia ndani humo ambapo taratibu alianza kusikia sauti za Mahaba kwenye chumba hicho. Sauti hizo zilimfanya Rose sasa awe na shauku ya kutaka kuona ni kitu gani kilichokuwa kinafanyika kwa wakati huo. Katika kuangahika kwake Rozi akaweza kumuona Flora akiwa amekunjwa na kuinamishwa kwenye Meza ndogo ya vipodozi (Dressing Table) huku Japhet akiwa amemsimamia kwa nyuma yake akimkamatia Kiuno chake ile kisawasawa na mkono mmoja na huku mkono wake mwingine akiwa amezishika nywele ndefu za Shemeji yake huyo na kukibinua kwa juu kichwa chake akimshindilia na 'Gobole' bila hata ya kumuonea huruma.

Rozi sasa Akili zake ziliweza kumruka akatamani kama yeye ndio angekuwa anafanyiwa vile na Japhet. Huko ndani mambo yalizidi kuwa moto Japhet alikuwa analipampu kwa kulizamisha nje na ndani 'Gobole' lake kwenye 'K' ya Shemeji yake Flora ambaye alibakia tu kuzungusha Kiuno chake huku akifumba macho yake kwa hisia Kali na kujiuma midomo yake kutokana na Utamu aliokuwa anaupata kwa wakati huo. "Aaaaashiii Japhet taratibuu jamoniii nasikia rahaaa mwenzioo" Flora alilalama kwa sauti ya mahaba. Kijana Japhet ndio kwanza alizidi kuongeza mashambulizi.

Mambo yalizidi kuwa magumu kwa Rozi hapo mlangoni alipokuwa anachungulia kwani alijikuta mwili wake wote kama vile unamnyevua kwa Nyege alizokuwa anajisikia hata kanga aliyoivaa akujua kama ilikuwa imeshamdondoka mwilini Rozi alianza kujitomasa chuchu za matiti yake yeye mwenyewe huku akijiingiza vidole kwenye 'K' yake iliyokuwa tayari imeshalowana kwa maji ya utelezi.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

Mwishowe baada ya kuona kama vile anajipa tabu sana Rozi akaamua sasa kuondoka hapo mlangoni na kurudi zake chumbani kwake kwenda kulala maana alijiona anajipa shida ya bure kuendelea kuwachungulia. Akaikota kanga yake iliyomvuka na kuivaa vizuri halafu akaenda kuichukua ile bukta ya Japhet na kuondoka nayo lengo lake likiwa ni kumkomoa au kumfikishia ujumbe kuwa walichokifanya na Shemeji yake alikuwa amekigundua. Basi Rozi akaingia mpaka chumbani kwake na kujibwaga kitandani huku akijisikia mwili wake kama vile kuna wadudu wanamtambaa na kumuwasha lakini akujua hata ni wapi kwa kujikuna.

Licha ya mchana na yeye kupewa Mapenzi motomoto na Japhet lakini kwa sasa hivi Rozi alijisikia hamu ya kufanya Mapenzi ikimvaa tena upya na kujikuta akilitamani 'Gobole' la kijana huyo (Japhet) limtemee Risasi kwenye 'K' yake.

"Kesho nitamuuliza Japhet ameanza lini kutembea na Shemeji yake" alijisemea Rozi huku akijifunika shuka vizuri na kujaribu kuutafuta usingizi. Taratibu akajikuta anaanza kumchukia Flora licha ya kuwa ni bossi wake lakini kitendo cha kumuona akifanya mapenzi na Japhet kilimuumiza sana Rozi na kuona kama vile anamegewa Penzi lake kwa kijana Japhet ambaye ametokea kumpenda kwa dhati kabisa ndani ya moyo wake .

Kule chumbani napo Mara baada ya kumaliza kucheza ule mchezo wao Japhet alimuaga Shemeji yake kuwa sasa anarudi zake chumbani kwake kulala.

"Ooho ahsante sana Shemeji kwa Penzi tamu ulilonipatia nakupenda sana Mmmwaaa" alisema Flora huku akimpiga bonge la busu. Japhet yeye aliishia tu kutabasamu na baada ya hapo akatoka humo chumbani kwa Shemeji yake huku akijihisi mwepesi mwili wake. Alipofika sebuleni Japhet alishangaa kutoina bukta yake pale sehemu alipoivua na kuiacha.

"Khaa bukta yangu si niliiacha hapa sasa nani tena kaichukua?" Japhet alijiuliza mwenyewe. Na akahisi huyo aliyeichukua bukta hiyo atakuwa ni Rozi tu na sio mtu mwingine. Japhet akaenda chumbani kwake na hakuweza kumuona tena Rozi.

"Ina maana Rozi atakuwa alikuja kule sebuleni na kuziona zile nguo pale chini na kuamua kuichukua bukta yangu" alijiuliza Japhet halafu akachukua bukta yake nyingine na kuivaa akapanda kitandani kulala huku akiingoja hiyo kesho yake kuona Rozi atasemaje.

Flora naye akaenda bafuni kujisafisha 'Shahawa' alizokojolewa na Japhet halafu akachukua taulo pamoja na Chupi yake pale sebuleni na yeye pia akaingia chumbani kwake kulala huku moyoni mwake akijawa na furaha kupita kiasi.

Asubuhi nayo ya siku nyingine mpya ikawa imewadia Rozi aliamka kama kawaida akaanza kufanya kazi zake za hapo nyumbani ikiwemo usafi wa mazingira na kazi zingine. Rozi bado alijisikia ile hamu ya kufanya Mapenzi na alimtamani sana kijana Japhet ndio ammalizie hamu yake hiyo aliyonayo. Kwa upande wa Japhet naye akiwa bado amejilaza kitandani humo chumbani kwake licha ya kuwa tayari alikuwa ameshaamka lakini aliendelea kubakia hapo kitandani huku akitafakari kile kitendo cha kimapenzi alichokifanya na Shemeji yake Flora usiku wa Jana yake.

"Daah hivi ni kweli nimefanya mapenzi na Shemeji!? nitakuwa nimemkosea heshima sana kaka yangu" alijisemea Japhet kwa majuto ya kujutia kitendo kile. "Hivi kwanini lakini sikujizuia mpaka nikashawishika kufanya vile, ooho kaka yangu nisamehe sana najua upo safarini aujui kinachoendelea huku nyumbani" alisema Japhet huku machozi yakianza kumtoka taratibu. "Yaani hata sijui na Shemeji tutakuwa tunaangaliana vipi usoni, hili ni bonge la aibu kwangu" aliendelea kujisemea Japhet. Wakati akiendelea kutafakari na majuto yake hapo kitandani Mara ghafla Japhet akasikia mlango wa chumbani kwake unagongwa. "Sijui nani tena huyo, Rozi au Shemeji Flora?" Japhet alijiuliza huku akinyanyuka kitandani na kwenda kuufungua mlango. Baada ya kufungua akamkuta ni Rozi amesimama hapo mlangoni. "Vipi Rozi aujambo?" Japhet alisalimia. "Mimi sijambo, vipi na wewe umeamkaje?" Rozi akijibu na kuuliza.

"Nimeamka salama, enhe niambie" alisema Japhet. "Mimi sina cha kukukuambia ila nimekuletea tu hii bukta yako uliyoiacha pale sebuleni jana usiku" alisema Rose huku akimkabidhi Japhet bukta hiyo. "Sasa kwanini uliichukua hii bukta?" Japhet alimuliza Rozi kwa sauti ndogo. "Niliamua kuichukua kwa sababu ya hasira" Rozi alimjibu Japhet.

"Kwa sababu ya hasira! hasira kuhusu nini tena mpenzi wangu?" Japhet alijifanya kuuliza huku akitabasamu. "Usijifanye aujui ulichokifanya na Shemeji yako, kwa taharifa yenu yote nimeyaona" Rozi alisema na kumuumbua Japhet. "Wee Rozi taratibu basi, kwani Shemeji kaamka au bado amelala?" Japhet aliuliza.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

"Yupo chumbani kwake amelala, unafikiri kwa kile ulichomfanyia usiku ataamka mapema? hebu na mimi twende ukanipe Utamu japo kidogo tu" alisema Rozi huku akiingia kwa nguvu chumbani kwa Japhet na kumsukumia kwa ndani kijana huyo ambaye alishindwa hata kumzuia Rozi.

"Sasa Rozi Shemeji akiamka na kutufuma huku chumbani unafikiri itakuaje? hebu subiri kwanza mpaka baadae akienda Saloon kwake nitakutimizia hicho kitu unachokihitaji" alisema Japhet kwa kulalamika. "Sisubiri hiyo baadae wala nini, nataka unitimizie sasa hivi kumbuka Japhet usiku ni mimi ndio nilikuwa wa kwanza kuja humu chumbani kwako kabla hata dada Flora ajakuja kukugongea mlango" alisema Rozi. "Ndio nakumbuka, lakini subiri baadae Rozi" Japhet alibembeleza. "Sitaki nataka unipe sasa hivi, Jana usiku nimeteseka sana Japhet" alisema Rozi huku akianza kuvua nguo zake. Japhet alibakia ameduwaa kwani hata akujua afanye nini maana mchana wa Jana alifanya Mapenzi na huyu binti (Rozi) alipiga Bao tatu na usiku kwa Shemeji yake (Flora) alipiga Bao mbili. Halafu sasa hivi Rose anataka wafanye tena Mapenzi. "Duuh nitakufa hapa nikiyaendekeza haya mambo" Japhet alijisemea moyoni huku akifungua mlango na kukimbia mbio akimuacha Rozi peke yake humo ndani chumbani!.





"Duuh nitakufa hapa nikiyaendekeza haya mambo" Japhet alijisemea moyoni huku akifungua mlango na kukimbia mbio akimuacha Rozi peke yake humo ndani chumbani. Japhet alipofika ukumbini akapitiliza moja kwa moja mpaka uwani kabisa! "Hili sasa mbona balaa tena, ina maana haya ndio matokeo ule ugumu niliokuwa nao au?" Japhet alijiuliza huku akiketi kwenye ngazi za mlango wa hapo uwani. "Hapa nimechokoza moto, tena moto wenyewe ni wa gesi nina kazi nzito ya kuuzima" bado aliendelea kujisemea peke yake kijana Japhet. Akujilaumu sana kuanzisha mahusiano na Rozi Bali yeye alichokuwa anajilaumu ni huku kujiingiza kwenye mahusiano haya yasiyo rasmi na Shemeji yake Flora kwani alijua kwa vyovyote vile ni lazima Shemeji yake huyo atataka tena warudie ule mchezo wa kufanya mapenzi. "Mbona najuta miye jamani, mbaya zaidi ni kwa mke wa kaka yangu" Japhet alijisemea kwa huzuni.

Wakati akiendelea kuyawaza hayo hapo kwenye ngazi alipokuwa ameketi Mara akasikia mlango wa kule chumbani kwake ukifunguliwa na Rozi akapata kutokea ukumbini na kuanza kuja huku uwani alipokuwa Japhet. Rozi alikuwa anakuja kwa mwendo wa taratibu huku akivifunga vifungo vya blauzi yake aliyokuwa ameivua kule chumbani kwa Japhet. "Naona umeamua kunikimbia kabisa, hii maana yake hauna tena shida na Penzi langu si ndio enhe?" Rozi alimuuliza Japhet huku akiwa amejishika kiuno chake kuonyesha amechukizwa.

"Hapana sina maana hiyo Rozi, nilisema subiri kwanza Shemeji aondoke halafu ndio tutafanya hayo mambo naona mwezangu kama vile unalazimisha" alisema Japhet. "Haya poa baba, basi tufanye yameisha lakini naomba ujue usiku wa Jana nimeteseka sana juu ya kulikosa Penzi lako Japhet nakupenda" alisema Rozi kwa hisia Kali za mahaba.

"Hata mimi nakupenda sana Rozi, Jana ni Bahati mbaya tu ile imetokea kufanya mapenzi na Shemeji, lakini sikupanga kabisa itokee vile" Japhet alianza kujitetea hapohapo kwa Rozi. Kabla hata Rozi ajasema chochote Mara ghafla Flora akatokea hapo uwani akitokea chumbani kwake kuonyesha sasa ndio anaamka.

Flora akiwa amevaa kanga moja tu mwilini mwake huku akionekana ni mchovu kupita kiasi kutokana na ile shughuli pevu ya usiku wa Jana yake waliyoifanya baada ya kufika hapo uwani Flora akamuangalia sana Japhet halafu akatabasamu na kumkonyeza kimtindo. "Vipi Shemeji habari za asubuhi?" Flora alimsalimia Japhet huku akimrembulia macho yake mazuri yaliyotoka usingizini.

"Za asubuhi safi tu Shemeji, vipi na wewe umeamkaje?" Japhet alijibu salamu hiyo huku akimuonea aibu Shemeji yake huyo.

"Mimi nimeamka vizuri tu kama hivi unavyoniona" alisema Flora kwa mapozi.

Baada ya hapo Flora akamsalimia Rozi ambaye alionyesha hana uchangamfu kabisa lakini Flora hakuweza kujua ni nini kilichomfanya binti huyo apoteze huo uchangamfu wake. Rozi huku akiwa na fukuto zito la chuki dhidi ya bossi wake huyo (Flora) kwa kulivamia Penzi lake na kijana Japhet. Lakini ndio hivyo tena hakuwa na uwezo wa kumfanya kitu chochote kwani Flora alikuwa ameshika mpini kwa kuwa yeye ndio bossi na Rozi yeye ndio alishika makali kwa kuwa ni mfanyakazi wa ndani tu hapa nyumbani.

Japhet akaingia chumbani kwake na kuchukua mswaki pamoja na sabuni halafu akaingia zake bafuni kuoga ili kujisafisha mwili wake. Flora naye akarudi chumbani kwake kuendelea na mambo yake mengine. Huku Rozi yeye akiendelea na kufanya kazi zake za hapo nyumbani kama kawaida. Akiwa kule bafuni anaendelea na kuoga kijana Japhet akapata kujiapiza kabisa ndani ya moyo wake kuwa hatorudia kufanya mapenzi tena na Shemeji yake (Flora) ili kuilinda heshima ya kaka yake Lukasi aliyopo safarini. "Kutenda kosa sio kosa, Bali kurudia kosa ndio kosa" Japhet alijifariji na misemo ya wahenga wa zamani huku akijitiririshia maji mwilini mwake. Baada ya kumaliza kuoga Japhet akatoka na kurudi chumbani akajikausha maji na kuvaa nguo zake vizuri sasa akawa anasubiria kunywa chai tu. Flora kama alijua vile kwani aliikumbuka vyema ile kazi nzito aliyoifanya kijana huyu (Japhet) ya kumridhisha yeye kimapenzi.

Hivyo Flora akajitoa kwa kila kitu kumfurahisha Japhet akamuandalia chai nzito ya maana yenye mapochopocho ya kila aina. Japhet naye akujivunga kabisa alijichanganya na kuishambulia chai hiyo na kufidia nguvu zake zilizopotea Jana yake kwa Yale makasheshe yaliyofanyika.

Baada ya kumaliza kunywa chai Rozi akaviondoa vyombo mezani hapo huku akiwa amenuna na maumivu yake moyoni juu ya Japhet kufanya mapenzi na Flora.

"Yaani Shemeji Jana umejua kunikuna hapa nilipo najihisi mwepesi najisikia raha kiukweli, natamani kila muda kama vile tufanye tena" alisema Flora huku akiwa anatabasamu. Tayari alikuwa ameshanogewa na michezo aliyofanyiwa na Shemeji yake Japhet. Kwa upande wa Japhet mwenyewe alikuwa anaumiza kichwa na kupanga ni njia gani ataweza kuitumia ili kumkwepa huyu Shemeji yake (Flora) anayeonekana kuanza kumganda kama vile Ruba. "Natamani hata kaka yangu arudi leo kutoka safarini jamani" Japhet alijisemea moyoni kwa huzuni.

Baada ya hapo Flora akajiandaa vizuri na kuondoka kulekea Saloon kwake lakini kabla ajaonondoka akamfuata Japhet na kumpa kiasi Fulani cha Fedha halafu akamwambia: "Hiyo ni shilingi Laki moja Shemeji Japhet utanunua chochote unachotaka, nakupatia kwa kazi nzuri uliyoifanya mwilini mwangu Jana usiku, nakuahidi kama utanifanyia makubwa zaidi ya Yale nitakupa pesa zaidi ya hiyo hapo" alisema Flora huku akimshikashika Japhet kwa mahaba. "Lakini Shemeji unanipa hiyo pesa ya nini? Jana ile ni Bahati mbaya tu imetokea usifikiri itajirudia tena hapa nilipo najuta sana" Japhet sasa aliamua kufunguka.

"Eti unasemajee? sikiliza Japhet kwa kile ulichonifanyia usidhani nitakuacha kirahisi rahisi tu, na kingine ngoja nikuambie kama unataka kuishi humu ndani kwa raha basi utafuata vile ambavyo mimi nataka vingenevyo utaniona nuksi" alisema Flora kwa kujigamba flani hivi. Japhet alichoka hoi akutegemea kabisa kama Shemeji yake atakuja kum'badilikia hivi! "Lakini hebu angalia kwanza kile tulichokifanya Jana ni sahihi kweli, na kaka yangu akija kujua je unafikiri nini kitatokea?" Japhet alihoji.

"Japhet hebu acha ushamba zingatia hiki ninachokuambia vinginevyo utapata taabu sana humu ndani kuhusu huyo kaka yako niachie mimi, naomba utambue kuwa tayari nimeshakupenda sasa sitaki uniudhi" alisema Flora na kumkabidhi Japhet zile Fedha kwa lazima halafu akaondoka. Alipofika kwenye mlango mkubwa wa kutokea nje Flora akageuka na kumuambia Japhet hivi: "Na usiku wa leo tena nitautaka Utamu wako Shemeji" alisema Flora huku akitabasamu na halafu akampa Japhet busu la mbali na kufungua mlango akaondoka zake.

Japhet alibakia pale sebuleni ameduwaa kama vile amepigwa na Bomu. "Hivi huyu Shemeji yupo sawa kweli kiakili?" Japhet alijiuliza huku akiketi kwenye kochi na kuziangalia zile fedha alizopewa.

"Hapa sasa nimeshalikoroga bado kulinywa tu, cha kufanya niondoke haraka sana nirudi zangu Dodoma hata kaka simsubiri arudi nitampigia simu juu kwa juu kumjulisha kuwa nimeshaondoka hapa kwake" Japhet alijisemea moyoni. Mara ghafla akaja Rozi hapo sebuleni akitokea jikoni na kuja sebuleni hapo.

"Sasa baby Shemeji yako ameshaondoka kwahiyo naomba unipe Yale mambo matamu uliyoniahidi kunipa" alisema Rozi kwa madoido huku akimfuata Japhet na kumkalia juu ya mapaja hapo kwenye kochi. "Rozi naomba uniache tafadhali hapa nilipo sina hisia yeyote kabisa juu ya hicho kitu nimevurugwa" alisema Japhet kwa msisitizo. Rozi akacheka kwa dharau halafu akasema: "Japhet hebu acha mambo yako, ina maana Jana ndio ulinionjesha tu halafu ndio aunitaki tena?" Rozi alimuuliza Japhet huku akiivua blauzi aliyoivaa na matiti yake mazuri yenye chuchu za kuchongeka kama msumari yakapata kuonekana.

"Rozi nini unafanya? nimesema sina hisia na jambo hilo Eboo!" Japhet sasa aliamua kufoka kwa sauti. Lakini wapi aikusaidia kitu kwani Mara ghafla akajikuta anavamiwa kwa nguvu mwilini na Rozi hapohapo kwenye kochi.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

"Hizo hisia zako unamuwekea Shemeji yako usiku akirudi aje kuzifaidi, halafu unanidhulumu mimi sio enhe?" Rozi aliuliza huku akiupeleka mdomo wake mdomoni kwa kijana huyo ili apate kumla denda. Japhet alijikuta kwenye wakati mgumu sana wa kukabiliana na Rozi ambaye tayari ameshapandisha 'Maruhani' kwa kulitaka 'Gobole' limsurubu kwa lazima. "Rozi hebu naomba uniachie kwanza tuongee mpenzi" Japhet alijaribu kumlaghai Rozi hata angalau apate kumuachia. Lakini Rozi tayari mikono yake ilishazama ndani ya suruali ya Japhet na alishalikamata 'Gobole' la kijana huyo na sasa alikuwa anaangahika kulitoa tu kwa nje ya suruali.

"Japhet naomba unitimizie mwenzio nna hali mbaya hapa nilipo, na ukikataa nitapiga makelele kwa majirani kuwa unataka kunibaka" alisema Rozi kwa sauti ndogo iliyopoa lakini ikiwa na msisitizo.

Japhet alibakia ameduwaa asiamini kabisa hiki anachokisema Rozi hapa!.





**************

"Japhet naomba unitimizie mwenzio nna hali mbaya hapa nilipo, na ukikataa nitapiga makelele kwa majirani kuwa unataka kunibaka" alisema Rozi kwa sauti ndogo iliyopoa lakini ikiwa na msisitizo.

Japhet alibakia ameduwaa asiamini kabisa hiki anachokisema Rozi hapa.

"Lakini kwanini unanifanyia hivi Rozi, nimekuambia sina hisia kabisa na hicho kitu mbona haulewi lakini?" Japhet aliuliza. Rozi akacheka kidogo kicheko cha kebehi halafu akasema: "Kumbuka lakini uliniahidi nini pale mwanzo, si uliniambia kuwa akiondoka Shemeji yako utanitimizia?" Rozi na yeye pia aliuliza.

"Sawa nakubali kama nilikuahidi hivyo, lakini naomba unihurumie mwenzio niliyoyafanya jana mchana na wewe pamoja na Shemeji Flora usiku kiukweli yameniacha hoi sana" Japhet alijitetea.

"Jana usiku nilipata wakati mgumu sana wakati nilipowachungulia chumbani mkifanya yenu, sasa na mimi leo nataka" Rozi alisema kwa msisitizo huku akiwa bado amemkalia Japhet juu ya mapaja yake. Kijana Japhet akaona huu sasa ni mtihani tena sio mtihani mdogo.

"Basi sawa Rozi nimekuelewa, naomba tufanye usiku saa hizi naomba uniache nikusanye nguvu na nijiweke sawa kihisia" Japhet alisema kwa kutia huruma.

"Hapana Japhet siwezi kusubiri hiyo usiku, najua dada Flora atakaporudi hapa nyumbani atautaka tena huo utamu wako usiku sasa bora nikufaidi mapema" alisema Rozi na kuanza tena kulazimisha kumla denda kijana huyo. Japhet akaona hapa sasa leo amepatikana hana tena ujanja wa kujinasua na huu mtego wa huyu binti (Rozi) anayeonekana kuelemewa na kupagawa kwa Mahaba.

"Ngoja tu nimridhishe kwanza, halafu ndio nitafanya mpango wa kuondoka hapa" alijisemea Japhet kwa sauti ndogo ya moyoni. Taratibu akajikuta anatoa ushirikiano kwa Rozi akaupokea mdomo wa binti huyo na kuanza kunyonyana denda huku mikono yake ikiupapasa mwili laini wa mtoto huyo wa kike.

"Ooooshiii Japhet nakupenda mwenzio usiniache jamaniiii" Rozi alisema huku akiweweseka na kujinyonganyonga juu mapajani kwa kijana Japhet.

Japhet tena hakuwa na muda wa kupoteza akaushusha mdomo wake mpaka shingoni kuwa Rozi na kuanza kuanza kumlamba kwa kutumia ulimi wake akishukia maeneo ya kifuani yalipo matiti mazuri ya binti huyo. Rozi alikuwa yupo hoi bin taabani kwa wakati huu alifumba macho yake kwa hisia kali huku akiinua kichwa chake juu akiangalia darini. Japhet baada ya kuufikisha mdomo wake hapo kifuani kwa Rozi akakutana na chuchu ngumu zilizokuwa zinasubiria tu kunyonywa. Basi bila ya kupoteza muda kijana huyo akaanza kuyalamba matiti hayo taratibu na mwishowe akayabugia kabisa mdomoni mwake na kuzimung'unya chuchu zake kama vile anamung'unya pipi ya kifua.

Hapo Rozi mizuka ikampanda akazidi kumkumbatia Japhet kwa nguvu kifuani kwake na kukikandamiza kwa nguvu kichwa cha kijana huyo hapo kwenye matiti yake alijisikia raha sana alivyokuwa ananyonywa chuchu zake na Japhet.

"Japhet nipee utamuu kakaa nipeee jamaniii mwenzio nimezidiwaa jamaniiii" Rozi alizidi kuweweseka kwa Mahaba.

Japhet sasa akaingia mzigoni rasmi akamvua sketi yake aliyovaa taratibu pamoja na Chupi yake na kumuacha mtupu kabisa binti huyo akamlaza kwenye kochi sebuleni hapo halafu na yeye akaondoa Suruali yake na T-shirt pamoja na boksa akavitupia pembeni bila ya kushangaa Mwanaume akampanua mapaja yake na kuliçhomeka 'Gobole' lake ndani ya 'K' ya Rozi na kuanza kulipampu kwa kusugua nje na ndani yaani kwa kuliingiza ndani na kulitoa nje 'Gobole' hilo na kumuacha binti wa watu akipiga makelele ya Utamu aliousikia.

Basi mpaka mwisho wa mchezo wakajikuta wamemalizana hapohapo sebuleni huku kila mmoja akijisikia ameridhika na huduma waliyopeana.

"Baby ahsante sana nashukuru kwa burudani yako nzuri uliyonipatia" alisema Rozi huku akitabasamu na kumlalia kifuani kijana Japhet. "Na mimi pia nashukuru, nna imani sasa umeridhika?" Japhet aliuliza huku akichezea nywele za binti huyo zilizokwa vizuri kichwani mwake. "Mmh kusema ukweli wangu nimeridhika kabisa kutoka moyoni, lakini kuna jambo moja tu ambalo ndio sijaridhika nalo" alisema Rozi. Hapo Japhet akashtuka sana na kumuuliza:

"Ni jambo jambo gani tena hilo mpenzi wangu?" Japhet aliuliza kwa umakini.

"Kuhusu wewe kufanya mapenzi na Shemeji yako, hivi naomba kujua ni lini mmeanza huo mchezo?" Rozi aliuliza.

Japhet akashusha pumzi ndefu halafu akasema: "Yaani Rozi hauwezi kuamini ni Jana tu usiku ndio tulianza pale alipokuja kujigongea mlango wa chumbani" alisema Japhet. "Mmh ilikuaje sasa mpaka mkafikia hatua hiyo, augopi kama yule ni mke wa kaka yako?" Rozi alizidi kuhoji. "Najua kama yule ni Shemeji yangu na hapa nilipo najutia sana, lakini kwa mazingira ya Jana ilikuwa ngumu sana kwangu kumuepuka" Japhet alisema na akaanza kumsimulia Rozi mambo yote jinsi yalivyokuwa mpaka yeye akajikuta anafanya mapenzi na Shemeji yake Flora.

"Duuh kweli hapo una kazi ngumu sana ya kumuepuka, najua atakusumbua sana" alisema Rozi kwa unyonge na wivu.

"Yaani we acha tu na leo usiku ameniambia atanijia tena na kuhitaji tufanye tena mapenzi kwa mara nyingine" alisema Japhet. "Kwahiyo na wewe upo tayari kufanya naye mapenzi tena?" Rozi aliuliza kwa kukasirika kidogo.

"Hapana sipo tayari hilo jambo litokee tena, nina mpango wa kuondoka hapa ndani ya hii nyumba kabla mambo ayajawa mabaya zaidi na kaka yangu akajua" Japhet alisema. Rozi akashusha pumzi na kuuliza: "Una mpango wa kwenda wapi Japhet, na vipi kuhusu mimi na wewe ina maana ndio basi tena?" Rozi alimuuliza Japhet huku akimuangalia usoni. Japhet akakohoa kidogo na halafu akasema: "Yeah itabidi iwe hivyo, kwani nina mpango wa kurudi nyumbani kwetu Dodoma kwa wazazi" alisema Japhet.

"Hapana Japhet usifanye hivyo tafadhali, ukiondoka utaniacha na maumivu makali moyoni mwangu kwani mwenzio tayari nilishajihesibia nimempata mpenzi wa kudumu ambaye ni wewe halafu tena unataka kuniacha peke yangu kwanini?" Rozi aluliza kwa uchungu huku machozi yakianza kumtiririka kwenye macho yake.

"Sasa Rozi unafikiri nitafanyaje hapa ili kumuepuka huyu Shemeji yangu?" Japhet aliuliza huku akimfuta Rozi machozi kwa kutumia viganja vyake vya mikono.

"Hapana Japhet kwa hilo la kuondoka wewe na uniache mimi peke yangu sikubaliani nalo, kama vipi tutaondoka wote" alisema Rozi kwa msisitizo.

Japhet alishangaa sana halafu akauliza:

"Uondoke na mimi kwenda wapi, na vipi kuhusu kazi yako unayoifanya hapa?" Japhet aliuliza huku akimkazia macho Rozi. "Nitaenda na wewe huko kwenu Dodoma unapotaka kwenda, na hii kazi hapa nipo tayari kuiacha sitaki nikupoteze Japhet wangu" alisema Rozi kwa hisia.

Japhet akabakia anakuna kichwa chake na kujisemea moyoni mwake: "Duuh na huyu binti naye ameniganda sijui hata nitafanya nini" alijisemea Japhet.

"Basi sawa nimekuelewa mpenzi wangu, twende bafuni tukaoge halafu upike chakula tutalijadili hili jambo vizuri hapo baadaye" alisema Japhet na baada ya hapo wakainuka kwenye kochi hapo sebuleni na kuelekea bafuni kuoga.

Japhet kichwani mwake alikuwa na wazo moja tu la kuondoka hapa nyumbani kwa kaka yake ikiwezekana hata kutoroka ikibidi. "Na huyu binti naye nitamtoroka, siwezi kuondoka naye halafu nikaonekana nimemtorosha na ikaja kuniletea matatizo hapo baadaye" alijisemea moyoni kijana Japhet huku wakiingia bafuni kuoga wakiwa wamekumbatiana kwa Mahaba.

Kwa upande wa Rozi yeye alijisikia furaha moyoni mwake kuwa na Japhet na alikuwa yupo tayari kwa lolote juu ya kijana huyo hakuona shida kuacha kazi.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

Basi wakaweza kuingia huko bafuni na kufungulia maji na kuanza kuogeshana wakisuguana kwenye miili yao huku wakicheza michezo ya kimahaba na mwishowe wakajikuta wakajikuta tena wanakata kiu yao ya kimapenzi kwa Mara nyingine hukohuko bafuni. Baada ya kumaliza kuoga wakatoka bafuni na kila mmoja akaingia chumbani kwake kwa ajili ya kubadilisha nguo. Rozi akiwa yupo chumbani kwake akafungua kabati la nguo ili achague nguo ya kuvaa aende sokoni kununua mahitaji ya chakula cha mchana hapa nyumbani ndipo akajikuta akiangalia fedha yake aliyokuwa akilipwa hapa kama ndio mshahara wake ilikuwa inafikia shilingi laki tatu kutokana na kujiwekea utaratibu wa kuhiifadhi fedha yake kidogokidogo. "Hii laki tatu inatosha kabisa kwenda kuanza maisha na Japhet wangu huko kijijini kwao" alijisemea Rozi huku akiziangalia fedha hizo na baadae akazirudishia sehemu anapozihifadhi na halafu akachukua nguo ya nguo ya kuvaa ili aende zake sokoni. Japhet naye kule chumbani kwake alikuwa sasa ndio yupo anapanga nguo zake kwa ajili ya kutoroka hapa nyumbani kwa kaka yake. "Hapa navizia tu Rozi akitoka kwenda sokoni na mimi huku nyuma nasepa zangu saa hizi bado ni mapema sana nitapata basi la kunifikisha Dodoma" alijisemea Japhet huku akiendelea kupanga nguo zake ndani ya begi. "Yaani nikiendelea kubakia hapa huyu Shemeji ataniponza kwa kaka yangu, nitajumjulisha kaka kwa njia ya simu baada ya kufika Dodoma kuwa nimeondoka hapa kwake" aliendelea kujisemea Japhet. Baada ya hapo sasa akaangalia fedha zake alizokuwa nazo na kupanga mahesabu yake. "Hii laki moja aliyonipa Shemeji ndio itakuwa nauli yangu, na hii elfu arobaini kati ya zile elfu hamsini alizonipa kaka wakati anasafiri nitampa Rozi imsaidie kwa matumizi yake" alisema Japhet huku akitabasamu. Mara ghafla mlango wa chumbani kwake ukagongwa. Japhet akalificha begi lake la nguo na kwenda kufungua mlango huo!.



Mara ghafla mlango wa chumbani kwake ukagongwa. Japhet akalificha begi lake la nguo na kwenda kufungua mlango.

Japhet mara baada ya kufungua mlango akaweza kumuona Rozi akiwa tayari amependeza sana kwa ajili ya safari ya kuelekea sokoni. "Mmh nakuona mpenzi wangu umeng'ara sio mchezo" Japhet alimchombeza Rozi huku akitabasamu.

"Ahsante baby kama umefurahishwa na huu muonekano wangu" alisema Rozi.

"Yaani sana tu mpenzi, muonekano wako nimeupenda na unavutia sana" aliendelea kusema Japhet huku bado akiwa amesimama hapohapo mlangoni.

"Ahsante sana, sasa vipi baby si tutaenda wote sokoni unisindikize?" Rozi aliuliza.

"Hapana hatuwezi kwenda wote, hapa nyumbani atabaki nani sasa?" Japhet naye aliuliza. Rozi akatabasamu halafu akasema: "Jamani nyumba si tunaifunga milango yote, tunaenda mara moja halafu tunawahi kurudi" Rozi alisema.

"Sasa tukienda wote na halafu Shemeji akirudi ghafla akikuta hakuna mtu wewe unafikiri itakuaje? hebu nenda tu ngoja nikupe hela ya kupanda bodaboda" Japhet alisema na kurudi chumbani kwake kumchukulia Rozi hiyo hela ya kupandia bodaboda. Rozi naye akingia humohumo chumbani kumfuata Japhet.

Baada ya Rozi kuingia chumbani kwa Japhet akapata kuhisi kitu tofauti.

"Baby zile nguo zako unazoweka hapo kwenye henga ukutani mbona sizioni?" Rozi alimuuliza Japhet kwa mashaka.

Japhet akagutuka kidogo na kumjibu:

"Zipo nataka baadae nizifue kwani ni chafu" Japhet alimdanganya Rozi.

"Hapana Japhet naomba uniambie ukweli, unataka kutoroka enhe?" Rozi sasa aliamua kumpasulia ukweli kwa kumuuliza hivyo baada ya kuhisi kama mazingira ya humo chumbani yapo tofauti. "Siwezi kutoroka Rozi naomba uniamini hiki ninachokisema" Japhet alisema. Rozi akaenda mpaka kitandani kwa Japhet na kuketi halafu akauliza tena: "Pia hata begi lako la nguo nalo silioni, Japhet unataka kunikimbia si ndio?" Rozi alimuuliza Japhet kwa sauti ya huzuni. "Siwezi kukukimbia Rozi, kwani pale mwanzo si tulikubaliana kuwa tutaongea kwa kirefu kuhusu kuondoka pamoja" Japhet naye alizidi kujitetea.

Rozi akaanza kupepesa macho yake mle chumbani na hatimaye akaweza kuliona lile begi la nguo za Japhet alilolificha likiwa lipo nyuma ya kitanda kwa pembeni. Rozi akanyanyuka kitandani na kwenda kulichukua begi hilo na kulitoa.

"Si nilikuambia Japhet kuwa unataka kutoroka, mbona hili begi lako umelificha kule?" Rozi alimuuliza Japhet.

Japhet akabakia kimya anajikuna kichwa na kuona sasa tayari ameshagundulika ikabidi tu amuambie ukweli wake Rozi.

"Ngoja nikuambie kitu Rozi, mimi sina mpango wa kuondoka na wewe" Japhet alisema na kuendelea tena. "Mimi nakushauri ni bora tu wewe ukabakia hapa uendelee na kazi yako, mimi niache niende zangu" Japhet alisema.

"Siwezi kukuacha Japhet uondoke peke yako hapa tutaondoka wote sipo tayari kubaki peke yangu" Rozi alisema.

"Wewe Rozi una kichaa nini unaposema hauwezi kubakia peke yako unamaanisha nini, mbona kabla mimi sijakuja hapa ulikuwa unaishi?" Japhet alihoji.

Basi waliendelea kulumbana humo chumbani huku Rozi akitaka kuondoka na Japhet kwenda huko Dodoma anapotaka kwenda Japhet kwa wakati huu ili amkwepe Shemeji yake Flora na visa vyake. "Kwahiyo sijakuelewa Japhet, ina maana unamkimbia Shemeji yako au unanikimbia na mimi pia?" Rozi aliuliza.

"Nawakimbieni nyinyi wote wawili, mimi sina nguvu ya kufanya mapenzi na wanawake wawili wote kwa wakati mmoja tena mbaya zaidi na Shemeji yangu akiwemo" Japhet aliamua kufunguka na kuweka mambo hadharani.

"Kwani kuna ulazima wowote wa wewe kufanya mapenzi na huyo Shemeji yako? kumbuka huyo ni mke wa kaka yako hata kama anakulazimisha lakini unao uwezo wa kumkatilia sio lazima mpaka ufanye naye inabidi na wewe uwe na msimamo" Rozi alisema. Japhet akashusha pumzi na kuona kweli anachosema Rozi kina maana sana. Rozi akaendelea tena kusema: "Hata ukiamua kuondoka bado utakuwa aujamtendea haki kaka yako kumbuka amekuahidi kukutafutia kazi pindi atakaporudi kutoka safarini, sasa wewe leo unataka kuondoka unafikiri kaka yako atajisikiaje akikukuta haupo?" Rozi alizidi kumuweka kwenye wakati mgumu kijana Japhet. "Sawa Rozi mimi nimekuelewa hicho unachosema, lakini wewe aujui Shemeji ameniambia nini endapo kama nitakataa kuendelea kufanya naye mapenzi" Japhet alisema.

"Usiogope Japhet, Shemeji yako anakuambia hivyo ili kukutisha na wewe uendelee kumridhisha kimapenzi kama yeye anavyotaka kwahiyo usiogope vitisho vyake wewe kuwa tu na msimamo halafu tuone atakufanya nini" Rozi alisema. Japhet akajikuta anayelewa maneno haya ya Rozi na kuona kumbe ni ujinga endapo kama atatoroka hapa nyumbani kwa kaka yake eti kwa sababu ya Shemeji yake na wakati alishakubaliana na kaka yake kuwa atamtafutia kazi na yeye pia (Japhet) awe na maisha mazuri. "Basi sawa Rozi nimekuelewa mpenzi wangu, sitoroki tena nitabakia hapa niendelee kulifaidi Penzi lako" alisema Japhet huku akimkumbatia Rozi. "Nashukuru baby kama unaniahidi autatoroka, lakini nina mpango hapa nitakuambia leo usiku" Rozi alisema. Japhet akawa na hamu sana ya kuujua huo mpango wa Rozi. "Ni mpango gani tena mpenzi wangu?" Japhet aliuliza. Rozi akatabasamu halafu akasema: "Wala usiwe na papara utaujua tu, ngoja ifike usiku nitakuja chumbani kwako kukuambia nina imani mwenyewe utaupenda huo mpango" alisema Rozi.

Basi baada ya hapo Rozi akaweza kuondoka kwenda sokoni lakini kabla ya kuondoka akalichukua begi la nguo za Japhet na kwenda kulifungia chumbani ili huku nyuma Japhet asipate kutoroka.

Japhet tena akabakia sebuleni huku akiwaza na kuwazua. "Yaani sikutegemea kama huyu binti angeweza kunishauri kitu kama hiki, lakini nitawezaje kumuepuka Shemeji humu ndani na vile visa vyake?" Japhet alijiuliza peke yake. Hapo ndipo akaukumbuka ule mkwara aliopigwa na Shemeji yake (Flora) leo asubuhi kabla ajatoka kwenda saloon kwake kuwa kama atakataa kuendelea kufanya naye mapenzi basi ndani ya hii nyumba yeye (Japhet) atapata taabu sana na nyumba yote ataiona ya uchungu. "Ananitisha tu hawezi kunifanya kitu chochote" Japhet alijipa moyo na kuendelea kuangalia TV.

Hatimaye Rozi naye akaweza kurudi kutoka sokoni alipoenda kununua mahitaji ya chakula cha mchana na baada ya kumaliza kupika chakula hicho akampelekea Flora kule saloon kwake na chakula kingine wakaweza kula yeye na Japhet hapo nyumbani. Jioni ilipowadia Japhet baada ya kuona karibia Shemeji yake (Flora) atarudi hapa nyumbani akaamua kwenda kujifungia chumbani kwake kimya. Huku Rozi naye akiwa kwenye maandilizi ya chakula cha usiku.

Kwenye majira ya saa 1:30 za usiku Flora akawasili hapa nyumbani akitokea saloon kwake. "Yaani nimemmiss kweli Japhet natamani nimuone kila muda, kumkosa kumuona mchana kutwa kwangu ni adhabu kubwa" alijisemea Flora wakati akiingia ndani ya nyumba. Alipofika sebuleni akumkuta Japhet tofauti na mategemeo yake alitegemea labda angemkuta hapo anaangalia TV akaamua kwenda jikoni kumuuliza Rozi. Baada ya kufika jikoni akasalimiana na Rozi halafu akamuuliza: "Eti Shemeji Japhet yuko wapi?" Flora alimuuliza Rozi.

"Alikuwa yupo sebuleni anaangalia TV baadae nilimuona anaingia chumbani kwake" alijibu Rozi. "OK basi ngoja nikamuone hukohuko chumbani" alisema Flora na kuelekea chumbani kwa Japhet. "Yaani huyu mwanamke haoni hata aibu kutembea na Shemeji yake!?, mimi ananikera" Rozi alisema moyoni mwake huku akisonya. Wivu tayari ulishaanza kumvaa Rozi baada ya kumuona Flora amerudi hapa nyumbani. Flora akafika hadi kwenye mlango wa chumbani kwa Japhet na kuanza kubisha hodi. "Yaani huyu kijana Jana usiku amejua kunikuna kiukweli, na usiku huu wa leo lazima anikune tena niufaidi Utamu wake" alijisemea moyoni Flora huku akitabasamu na kumsubiri Japhet aje kumfungulia mlango. Mikononi mwake alikuwa amebeba mfuko Mkubwa wa Plasitic wenye zawadi alizomnunulia kijana Japhet ambaye ni Shemeji yake.

Japhet naye akiwa amejilaza kitandani aliweza kuisikia hodi hiyo ikibishwa hapo mlangoni kwake ikabidi anyanyuke kitandani na kwenda kufungua mlango.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

"Nahisi Shemeji atakuwa amerudi" alijisemea moyoni Japhet huku akiufungua mlango huo. Na kweli Mara baada ya kuufungua mlango macho yake yakapata kumuona Shemeji yake Flora amesimama hapo mlangoni huku usoni mwake akiwa amejawa na tabasamu.

"Ooho Shemeji kumbe umerudi karibu sana" alisema Japhet huku na yeye pia akitabasamu. "Nimeshakaribia Shem wangu yaani nilikumiss sana baby, nimefurahi kukuona vipi uko poa?" Flora alimuuliza Japhet. "Mimi niko poa sijui wewe" Japhet alijibu. "Kama unavyoniona ndio nimerudi kufuata Yale mambo yako ya usiku wa Jana uliyonifanyia" alisema Flora huku akimrembulia macho Japhet. Wakati Japhet akiwa bado yupo anashangaashangaa hapo mlangoni akajikuta anasukukumiziwa kwa ndani na Shemeji yake huyo (Flora) na halafu mlango ukafungwa kwa ndani na Flora.

"Shemeji vipi tena mbona sikuelewi!?" Japhet aliuliza kwa mshangao.

"Usihofu utanielewa tu taratibu" alisema Flora huku akiketi kitandani kwa Japhet!.







ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog