Search This Blog

Wednesday, November 2, 2022

BARAKA MCHACHUKO - 2

 








Chombezo : Baraka Mchachuko

Sehemu Ya Pili (2)





Baada ya kupita dakika chache niliusikia mlango wa chumba changu ukigongwa, nikainuka na kwenda kuufungua. Macho yangu yakakutana na macho ya Zuhura akiwa katika vazi lake la khanga moko ambayo alijifunga mpaka kifuani. Aliniangalia kisha akatabasamu.

“Vipi umeghairi kuoga?” nilimuuliza lakini hakunijibu kitu, alichokifanya akanisukuma na kuingia mpaka ndani ya chumba changu.

Nilifahamu Zuhura uvumilivu ulimshinda kwa wakati huo na ndiyo sababu iliyopelekea mpaka akaamua kunifuata chumbani kwangu. Muda wote nilijifanya kama nisiyejali yaani sikutaka kumuonyeshea tamaa ya aina yoyote ile.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

Kwa usalama zaidi nikaufunga mlango wa chumba changu kisha nikamgeukia Zuhura ambaye alionekana kuingiwa na pepo la ngono. Kabla sijazungumza lolote huku nikijifanya kushangaa uwepo wake mule ndani kwangu, akanisogelea kisha midomo yetu ikakutana na kuanza kubadilishana mate. Lilikuwa ni tukio la dakika tano lakini sikutaka kubaki kizembe, mikono yangu ilikuwa ikijishughulisha kumpapasa huku na kule mwilini mwake ambapo nilizidi kumuongezea mizuka zaidi na zaidi.

Nilimuona Zuhura akianza kubadilika, macho yake alikuwa akiyarembua kiasi kwamba nikazidi kuongeza kasi zaidi na zaidi. Sikutaka kuishia kumpapasa tu! Tena akiwa katika vazi lake la khanga. Nilichokifanya nikamtoa khanga akabaki mtupu.

Zuhura alinitazama kwa aibu kisha akayaziba macho yake, hakutaka kuniangalia usoni. Hilo sikujali hata kidogo, nilichokifanya nikaendelea na kazi yangu ya kucheza na mwili wake ambao kila kiungo nilichokishika alikuwa akishtuka.

Niliona kama sifaidi kitu kwa kusimama, nilichokifanya nikamtupa kitandani, akalala chali kisha na mimi nikamfuatia kwa juu. Zuhura hakuamini kile kilichokuwa kikiendelea, wakati akitahamaki mimi kuwa juu yake haraka nikazichojoa nguo zangu, nikabaki mtupu kama yeye.

Uwanja ulikuwa ni wangu na tena nilipewa uhuru wa kuonyesha uwezo wangu na kipaji changu nilichojaaliwa uwanjani sasa kwanini nisiitumie nafasi hiyo vizuri?

Yaani kila nilipokuwa nikicheza na mwili wa Zuhura kitandani nilikuwa nikimuona mume wake, Omary. Nilitaka muda ambao ningemaliza shughuli yangu amshushe daraja kwa kumuona kama hakuwa akifanya kitu kilichokuwa kikieleweka. Hiyo ndiyo ilikuwa michezo yangu.

Sikuwa mwepesi wa kuanza mechi bila ruhusa, maandalizi yangu yalikuwa sio ya kitoto. Nilikuwa nipo radhi kutumia zaidi ya nusu saa kucheza na mwili wa mwanamke mpaka pale ambapo uvumilivu ulimshinda na kunitaka niingie mchezoni mweyewe hata kwa kunilazimisha.

Hiyo ndiyo ilikuwa desturi yangu na hata kwa upande wa Zuhura, sikutaka kuanza mechi hivihivi bila maandalizi. Nilitumia nusu saa kucheza na mwili wake mpaka pale uvumilivu ulipomshinda. Kama ni kuguna tu! miguno yote aliguna, alilalamika, alijinyonganyonga yaani kila hali alionyesha.

“Baraka jamaniii inatoshaaaaa,” aliniambia kwa sauti ya kulalamika lakini mwanaume ndiyo kwanza kama niliambiwa ongeza kasi.

Niliporidhika nikaamua kuingia mchezoni rasmi. Zuhura akashtuka baada ya kuingia bila kumtaarifu. Sikuwa na muda wa kujitetea tena kwani refa tayari alikuwa amesharuhusu mchezo kuanza. Nikaanza kusakata kandanda safi kunako futi sita kwa sita. Nikaonekana kuwa fundi zaidi wa mchezo. Mashambulizi niliyokuwa nikiyapeleka yalimfanya Zuhura kubaki akitahamaki na kuzidi kulalamika huku akitokwa na maneno yasiyoeleweka.

Mpaka kufika muda huo Zuhura tayari alikuwa ameibuka na ushindi wa mabao mawili huku mimi nikiwa nimeambulia sifuri. Hilo sikutaka kukubali, sikuridhishwa na matokeo hayo. Nilichokifanya nikazidi kupeleka mashambulizi zaidi na zaidi katika lango kuu la timu pinzani ya Zuhura.

Mlinda mlango wake alionekana kulewa sifa kwa yale mabao mawili na kujisahau kidogo jambo ambalo alifanya kosa kubwa bila kujijua. Nilikuwa nimekasika kwa wakati huo, kasi ya mashambulizi nikaiongeza huku nikionekana kuutawala uwanja zaidi tofauti na ilivyokuwa kwa upande wa Zuhura ambaye hata hayo magoli aliyoyafunga aliyafunga kwa kubahatisha kwani hakuwa akijishighulisha.

Huo ndiyo ulikuwa mwanzo wa malipizi yangu, kila nafasi niliyoipata na kupiga mpira kwa ufundi nilikuwa sitoki kapa. Mpaka muda ambao mpira ulikwisha niliibuka na ushindi wa magoli matano huku timu pinzani ya Zuhura akiambulia goli nne ambazo aliridhika nazo.

Tulikuwa hoi bin taabani, muda huo Zuhura alibaki akinitazama huku akitabasamu.

“Baraka hivi ni wewe kweli?” aliniuliza huku akionekana kutoamini kile kichotokea muda mfupi.

“Ni mimi kivi yaani?” nilimuuliza.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

“Nilikudharau bure, sikuwa nafahamu kama unayajua mapenzi kiasi hiki hivi umejifunzia wapi?”

“Sijajifunza popote ni utundu tu,” nilimjibu.

“Mmh! Umemshinda mpaka mume wangu,” aliniambia kisha nikatabasamu. Nilifahamu kwa kazi kubwa niliyoifanya siku hiyo ni lazima kuna vitu nilivifanya ambavyo mume wake hakuwa kumfanyia wala kuwa na dalili zozote za kuja kuvifanya.

“Umenigusa sehemu nyingine ambazo sijawahi kuguswa, Baraka wewe ni mwanaume wa tofauti sana,” aliniambia.

“Kwanini na mbona nipo kawaida,” nilimjibu.

“Hapana inamaana unataka kuniambia hii ndiyo sababu inayokufanya unashindwa kuoa?” aliniuliza tena.

“Sababu ipi?”

“Mapenzi, unajua kufanya mapenzi sijui kama mwanamke aliyelala na wewe anaweza akakuacha kirahisi,” alinijibu.

“Zuhura naona kama unanipamba tu maana mwezi uliyopita nimetoka kusalitiwa na mpenzi wangu, kiufupi nayachukia mapenzi,” nilimwambia kisha nikajifanya kama nimekumbuka tukio lililowahi kuniumiza sana,

“Baraka labda huyo mwanamke hakukupenda lakini kama alikupenda kweli asingekuacha kirahisi, mwanaume umekalika hivyo,” aliniambia kisha akaendelea.

“Baraka nikuulize kitu?”

“Niulize tu.”

“Kwahiyo huna mpenzi?”

“Ndiyo sina,” nilimjibu .

Zuhura alibaki kimya huku akinitazama kwa macho ya huba, hakujua alitakiwa kuanzia wapi kuzungumza. Ukimya wake ukanifanya nielewa kwamba alinipenda na aliogopa kuniambia hilo. Sikujali kitu kwani sikupanga kudumu naye, nilichokuwa nikikihitaji ni kufanya mapenzi naye tu! kwanza alikuwa ni mke wa mtu hivyo nisingeweza kuanzisha mahusiano naye ya kimapenzi.

Niliichukua simu yangu na kuangalia muda, ilikuwa ni majira ya saa kumi na moja jioni. Nilimkumbusha Zuhura kuhusu mume wake kama angerudi muda huo na kumkuta ndani ya chumba changu ingekuwa ni hatari zaidi.

Zuhura hakuhofia kitu, aliniambia kwamba mume wake siku hiyo angechelewa kurudi hivyo nisiwe na wasiwasi hata kidogo. Ingawa aliyeyasema hayo alikuwa ni mke halali wa Omary tena waliyekuwa wakilala na kujifunika shuka moja kitandani lakini sikutaka kumuamini kwa asilimia mia moja. Kama unavyojua tena wasiwasi ndiyo sehemu moja wapo kati ya akili ya mwanadamu.

Nilimwambia Zuhura kuhusu hofu niliyokuwa nayo moyoni mwangu, katika maisha yangu niliwahi kunusurika kufumaniwa, sikutaka hilo litokee kwa Zuhura. Nilichomwambia ni kwamba niliipenda na kuiheshimu ndoa yake, sikutaka kuivunja mara mbili hivyo nilimwambia aondoke na kwamba tungezungumza wakati mwingine. Zuhura akakubali, akachukua khanga yake akajifunga mpaka kifuani na kuondoka zake huku akiwa makini, hakutaka kuonekana akitokea chumbani kwangu. Muda huo alielekea bafuni ambapo alioga na mambo mengine kuendelea.

Baada ya kufanikiwa kufanya mapenzi na Zuhura kwenye ratiba yangu Zaituni ndiye mwanamke ambaye nilipanga afate kisha Nurath. Nilipanga kutembea na wapangaji wote hawa kwasababu walinidharau na kuniona sijui kitu katika ulimwengu wa mapenzi.

Kila mwanamke niliyetembea naye katika nyumba hii nilipanga kumpa mapenzi ambayo yalimuacha kinywa wazi na kujutia kwanini alinidharau kiasi kile.







Kama nilivyofanya kwa Subira ndiyo ambavyo nilifanya kwa Zuhura. Sikuonekana kujali kitu, lengo langu lilikuwa ni kuufunua mwili wake na kufanya kile nilichokidhamiria. Hilo nilifanikiwa tena kwa asilimia mia moja.

Sasa ningeendelea kugandana naye kama ruba mpaka lini? wakati alikuwa ni mke wa mtu? Hilo halikuwezekana tena halikuwezekana hata kidogo.

Wakati nikifikiria kuachana naye na kisha kuanza mitikasi yangu ya kumfukuzia Zaituni ambaye na yeye alikuwa kwenye rada yangu, Zuhura alikuwa tayari amezama mapenzini kama ilivyokuwa kwa Subira.

Alipokuwa akiniona hakuamini kama nilikuwa ni mimi au la. Ufundi nilikuwa nao katika kufanya mapenzi ulimchanganya kiasi kwamba na yeye hakutaka kuniona nikiwa ninamazoea na mwanamke mwingine zaidi yake.

Ingawa alinifuata katika chumba changu na kuniambia ukweli wa hisia zake kwamba alinipenda na hakutaka kuniona nikijenga mazoea na wanawake wengine katika nyumba hiyo. Kiukweli sikuwa tayari kufanya hivyo. Nilichomwambia ni kwamba hilo halikuwezekana na hakuwa na mamlaka ya kuninyima uhuru wa kufanya kitu katika maisha yangu.

“Baraka jamani kwanini uninifanyia hivyo lakini?” aliniuliza huku akiwa ameikunja sura yake.

“Nimekufanyaje tena?” nilimuuliza.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

“Unanifanya niishi kwa wasiwasi mwenzio au hunipendi?”

“Lakini kumbuka Zuhura wewe ni mke wa mtu.”

“Hata kama wewe nijibu kwanza unanipenda au hunipendi?”

“Halafu nikishajibu utafanyaje?”

“Wewe nijibu kwanza nitajua nini chakufanya.”

“Zuhura unaniuliza swali gumu mno, okay sikupendi.”

“Kweli Baraka?”

“Yeah…huo ndiyo ukweli Zuhura, sikupendi kwasababu sitaki kuivunja ndoa yako,” nilimjibu kisha baada ya kumwambia hivyo akainuka kwaghadhabu akatoka nje huku akiubamiza mlango kwa nguvu. Nikatabasamu.

Nilijua fika kwamba Zuhura alipagawa na mapenzi yangu. Kitendo cha kukubali kufanya mapenzi na mimi kwa ridhaa yake hilo ndiyo lilikuwa kosa kubwa ambalo alikuwa amelifanya.

Wakati Zuhura akiwa amezama mapenzini hakujua nyuma kama alikuwepo Subira ambaye na yeye alizama katika mapenzi yangu. Ukiachana na Subira nyuma yake lilikuwepo lundo la wanawake lukuki ambao nilitembea nao na kuwaacha, kipindi hicho nilipokuwa naishi Magomeni.

Hakukuwa kuna mtu aliyeifahamu historia yangu vizuri. Kama ilivyokuwa kawaida ya wanaume wengi kwa upande wangu sikuwa ni mpenzi wa kufuatilia mpira, siasa wala tamthiliya.

Starehe yangu kubwa ilikuwa ni wanawake, yaani nilipokuta watu wakipiga stori kuhusu wanawake na yale mambo fulani fulani hivi akili yangu ilichanganyikiwa vibaya mno. Nilisikiliza kwa umakini na hata kutaka kufahamu undani wa wanawake ambao nilizikia habari zao.

Kutokana na tabia yangu hiyo ya kupenda sana wanawake kuliko kitu chochote hata katika kampani yangu ya marafiki ilikuwa ni ya wapenda wanawake. Huko Magomeni nilipohama nakumbuka nilikuwa nina washikaji zangu watatu, Juma, Dula na Mfaume ambao bado nilikuwa nikiendelea kuwasiliana nao.

Hakukuwa kuna pati iliyofanyika ambayo ilikuwa na wasichana wakali halafu ukatukosa, yaani sehemu ambayo palikuwa na warembo lazima na sisi ungetukuta.

Hapo Tandale nilipohamia sikutaka kuishi mimi kama mimi, nilijichanganya na kuamua kuanzisha urafiki na washikaji baadhi ambao niliona tabia zangu na zao zinaendana.

Isack Mwakyonya huyu ndiye mshikaji wangu ambaye alitokea kuwa wa karibu sana, Tandale. Kwa muda mfupi ambao tulijuana tayari alikuwa ameshanipa data nzima za mtaa huo. Alionekana kupenda sana wanawake zaidi yangu, kila mwanamke wa mtaa huo alikuwa akijua habari zake mpaka kuna muda nikawa najiuliza hivi aliwahi kupata kibarua cha kuhesabu Sensa au?

Wakati ushikaji wetu ukiendelea, nilikuwa tayari nimeshaanza kazi yangu ya kumfuatilia Subira ambaye nilifanikiwa kumpata, nikahamia kwa Zuhura ambaye na yeye sikutumia nguvu nyingi na mwisho wa siku nikafanikiwa kulala naye. Sasa nikawa namfukuzia Zaituni.

Katika kipindi chote hicho nilichokuwa nikiwafukuzia wanawake hao sikuwa nikimwambia Isack lolote. Unajua ni kwanini? Mshikaji alionekana akifahamu mambo mengi sana kuhusu wanawake, nilipokuwa naye alijisifia sana kiasi kwamba nikaonekana kama sifahamu kitu kuhusu wanawake na kwamba nilikuwa zoba.

Sikutaka kila kitu nilichokuwa nikikifanya katika nyumba hiyo kila mtu akifahamu kwasababu ya kuhofia usalama wangu, nilijua kwamba wapangaji wote kumi na mbili nilitakiwa kutembea nao.

****

Ratiba yangu ya wanawake iliendelea na sasa nilihamia kwa Zaituni ambaye mume wake alikuwa ni muajiriwa wa kampuni fulani hapa mjini. Kazi yake hiyo ilimfanya kuwa bize kuanzia jumatatu mpaka ijumaa masaa kumi na mbili ambapo siku ya jumamosi na jumapili ndiyo zilikuwa siku za mapumziko kwake.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

Nilifahamu ratiba nzima ya mume wake ndani ya siku kadhaa ambazo nilianza ukaribu naye. Ingawa alionekana kuwa dharau fulani na nyodo katika uongeaji wake, hilo sikutaka kujali.

Nilikuwa nipo radhi kuonekana nina shobo ilimradi nifanikiwe kumuingiza Zaituni ndani ya chumba changu kwani kwa kufanya hivyo huo ndiyo ungekuwa mwisho wa dharau zake.

Wakati hayo yote yakiendelea Subira alishuhudia kila kitu, alikuwa akiumia sana kila alipokuwa akiniona nikimsalimia Zaituni na hata kuzungumza naye licha ya kuwa nilionekana kama najipendekeza kwake.

Subira alizidi kuumia zaidi na zaidi moyoni mwake pale alipokuja kugundua kwamba nililala kitanda kimoja na Zuhura. Sijui ni nini kilitokea mpaka akafahamu ukweli huo.

Kitendo cha kugundua kwamba nililala na Zuhura aliumia sana na huo ndiyo ukawa mwanzo wa chuki kati yao. Alimchukia mno Zuhura yaani kwa jinsi alivyokuwa akimchukia utadhani kama alichukuliwa mume wake ndoa.

Hilo sikuonekana kujali hata kidogo kwani nilishazoea kuona wanawake wakichukiana na hata wakati mwingine kugombana kwasababu yangu. Niliendelea na mchezo wangu wa kumfukuzia Zaituni mpaka pale Zuhura na yeye alipokuja kugundua hilo.

Siku hiyo nakumbuka nilimsaidia kuchota maji Zaituni na kumjazia katika jaba. Kitendo hicho kilimkasirisha sana Zuhura kiasi kwamba wivu uliyomuingia ulikuwa sio wa mchezo.

Mpaka kufikia wakati huo alikuwa amegombana na Subira kiasi cha kuwekea chuki huku sababu ikiwa haijulikani. Subira alifahamu kila kitu kilichokuwa kimetokea kati yangu na Zuhura na ndiyo sababu iliyopelekea mpaka wakagombana ingawa Zuhura hakulifahamu hilo. Alichokihisi na kukiamini labda ni gubu na hila alizokuwa nazo Subira ndizo zilizosababisha mpaka wakagombana.

Baada ya kuona nimezidi kuwa karibu sana na Zaituni mpaka kufikia hatua nikawa namsaidia kazi ndogondogo, Zuhura alinifuata na kuniambia kwamba alifahamu kila kitu kilichokuwa kikiendelea kati yangu na Zaituni, aliendelea kuniambia kwamba hakupenda kuniona nikiwa karibu na Zaituni kwani kitendo hicho kilikuwa kikimuumiza mno.

“Hata kama hunipendi Baraka lakini unavyonifanyia sio vizuri, unajua kabisa kuwa Zaituni ni shoga yangu halafu unataka kutembea naye,” aliniambia huku akilia.

“Nataka kutembea naye? Embu tengua kali yako, Zaituni ni jirani yangu na nina muheshimu sana kama dada yangu,” nilimwambia huku nikijifanya kumaanisha kile nilichokuwa nikikisema kwa wakati huo. Nikamfuta machozi.

“Baraka najua hunipendi lakini jua kwamba ninakupenda, nakupenda sana Baraka,” aliniambia Zuhura.

“Usijali hata mimi nakupenda pia Zuhura,” nilimwambia kisha akashtuka.





Kitendo cha kumwambia Zuhura kwamba nilimpenda kilimshtua mno kiasi kwamba hakutaka kuamini kama mimi ndiye niliyetamka maneno hayo. Alibaki akinishangaa huku akionekana dhahiri kutoamini kabisa kile nilichomwambia. Ni kama vile alikuwa akitafakari juu ya jambo fulani na baada ya dakika kadhaa kupita akaweza kung’amua jibu, akaniuliza swali kama kweli nilimpenda na nilimaanisha kutoka moyoni.

Hilo halikuwa swali gumu hasa kwa mtu kama mimi ambaye nilikuwa napenda wanawake kuliko kitu chochote kile. Licha ya kwamba nilishamwambia kwamba sikumpenda kwasababu alikuwa ni mke wa mtu nilitabasamu kisha nikamtazama, alionekana kuhitaji jibu la swali lake.

“Ndiyo namaanisha kutoka moyoni mwangu, nashangaa jinsi ambavyo huniamini,” nilimwambia.

“Sio kwamba sikuamini Baraka, Zaituni ni shoga yangu lakini,” aliniambia.

“Sasa kama ni shoga yako?”

“Sitaki uwe na mazoea naye, nipende mimi peke yangu tu,” alinijibu huku akionyesha msisitizo.

Yaani jinsi nilivyokuwa nikizungumza na Zuhura ilikuwa ni vigumu kuamini kama alikuwa ni mke wa mtu tena wa mpangaji mwenzangu, Omary ambaye alikuwa akihangika usiku na mchana kutafuta ili aje kula na mke wake.

Siku hiyo sikutaka kumuacha Zuhura aondoke hivihivi kwani kitendo cha kuingia ndani ya chumba changu kilimaanisha kwamba alikuwa yupo tayari kwa jambo lolote. Kitu ambacho nilikuwa nikikiamini katika maisha yangu ni kwamba hakukuwa kuna urafiki kati ya mwanamke na mwanaume chumbani wala hakukuwa kuna mwanamke mgumu duniani.

Ndani ya muda mfupi ambao nilizungumza na Zuhura tayari akili yangu ilianza kufikiria mapenzi. Nilimtazama kwa macho ya matamanio huku kila kiungo cha mwili wangu kikinukia ngono.

Hakukuwa kuna kitu nilichokuwa nikikihitaji kwa muda huo zaidi ya kufanya mapenzi na Zuhura. Nilichokuwa nikikihitaji ndicho ambacho kilitokea kwa wakati huo, hatimaye nilifanya mapenzi na Zuhura na baada ya kumaliza aliondoka zake na kwenda katika chumba chake.

****

Nilikuwa ni mwenye furaha mno hasa baada ya kuona mpango wangu wa kutembea na wapangaji wote katika nyumba hiyo ulikuwa ukitimia kama nilivyopanga.

Mpaka kufikia muda huo tayari nilikuwa nimeshatembea na Subira pamoja na Zuhura. Ingawa sikutaka kuendelea kuwa nao kimapenzi kwasababu walikuwa wameolewa lakini kila mmoja kwa nafasi yake alionekana kunipenda zaidi hivyo alinitafuta na kunilazimisha tufanye mapenzi zaidi na zaidi.

Hilo halikuwa tatizo hata kidogo na kama unavyojua kwa mwanaume mpenda mademu kama mimi wala halikuwa ni suala la kukataa, kila kitu kilikuwepo ndani ya uwezo wangu sasa kwanini nikatae? Haraka nikakubali na kufanya nao mapenzi huku nikizidi kuonekana kuwa hodari katika mchezo huo wa kunako futi sita kwa sita.

Kama kuwafunua niliwafunua sana wanawake hao, niliujua utamu wao mpaka kuna kipindi nikawa nimezoea. Sikutaka kuendelea kula mlo mmoja huohuo kila siku, nilihitaji kubadilisha mlo na ndiyo sababu iliyonifanya nizidishe mashambulizi kwa Zaituni japokuwa alionekana kuwa na dharau mno.

Ukumbuke kuwa nilifanya yote hayo kwasababu ya kulipiza kisasi katika nyumba hiyo. Katika maisha yangu sikupenda dharau, yaani hakukuwa kuna kitu nilichokuwa nikikichukia kama dharau.

Kama kunidharau tu! wanawake hao walinidharau sana, sikutaka dharau ziendelee hivyo nikaanza kazi yangu ya kuwafuatilia kimya kimya. Hata kama walijuana, hilo sikujali, nilichokuwa nikikizingatia ni dozi ya nguvu ambayo nilitakiwa kuwatembezea kila mmoja kwa nafasi yake.

Zaituni aliendelea kunipa wakati mgumu, kila nilipokuwa nikimchombeza na kumtania utani wa hapa na pale hakuonyesha dalili zozote za kuitikia. Hilo likazidi kunichanganya lakini hata hivyo sikutaka kukata tamaa, niliamini katika ile kauli mbiu kwamba HAPA DUNIANI HAKUNA MWANAMKE MGUMU, ugumu utauweka wewe mwenyewe unayemfuatilia.

Baada ya kupita siku tatu, niliamua kukatisha mawasiliano na Zaituni. Nilifanya hivyo kwa makusudi, niliamini kama Zaituni alikuwa akinifanyia kusudi na kunipima basi ule ndiyo ulikuwa muda wake muafaka wa kuumbuka.

Baada ya kupita siku tatu huku tukiwa hatusemeshani wala hatusalimiani, siku hiyo Zaituni aliniuliza kwamba nilikuwa nina tatizo gani kwani nilibadilika ghafla! Na hakuzoea kuniona nikiwa katika hali hiyo.

Nilimjibu kwamba sikuwa nimebadilika na nilikuwa kawaida kama siku zote.

“Hapana umebadilika Baraka, kuna nini kwani?” aliniuliza.

“Hakuna kitu,” nilimjibu.

“Una uhakika?”

“Ndiyo.”

Zaituni hakujua ni nini kilitokea mpaka kikasababisha mimi kuwa kati hali ile. Wakati akionekana kujali na kunihoji hakujua kama alikuwa kwenye mtego na tayari alikuwa akielekea kunasa.

Muda huo sikutaka kuonyesha mzaha hata kidogo, nilikuwa kauzu hata pale aliponiuliza nilimjibu kwa kifupi. Sikutaka kupoteza muda nikamuaga na kuondoka zangu.

Hiyo haikuwa siku ya kwanza Zaituni kuniuliza na kutaka kufahamu mengi kuhusu mimi. Hilo ndilo nililokuwa nikilihitaji hivyo nilichokifanya nikamwambia kwamba mazingira ya pale nyumbani hayakuruhusu kuzungumza kama ambavyo alivyokuwa akitaka hivyo nikamwambia kwamba tulitakiwa kwenda gesti kwa ajili ya kuzungumza wawili tu. Nilipomwambia kuhusu gesti alishtuka.

“Gesti?”http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

“Ndiyo ili tukazungumze vizuri kwa uhuru au unasemaje?”

“Kwanini isiwe sehemu nyingine mpaka gesti?”

“Zaituni unajua wewe ni mke wa mtu halafu sio vizuri kila mtu akuone uko mahali umekaa na mwanaume kwanza haitaleta picha nzuri,” nilimwambia huku nikimpa sababu yenye mantiki.

“Huko gesti tunapoenda hatutofanya kitu kingine zaidi ya kuzungumza si ndiyo?” aliniuliza.

“Ndiyo niamini,” nilimjibu.

“Sawa,” aliniambia kisha akakubali.

Hilo halikuwa tatizo, tukaenda gesti moja iliyokuwepo mbali kidogo na mtaa huo. Tulipofika gesti hiyo nililipia chumba kwa showtime kisha nikaingia na Zaituni mpaka ndani.

Sikutaka kuamini kile kilichokuwa kimetokea, kitendo cha Zaituni kukubali kwenda gesti na kwa wakati huo tulikuwa ndani ya gesti hiyo kilinifanya niwe na furaha isiyokuwa na kifani.

Awali nilimuona kuwa ni msichana mgumu kuingilika lakini kumbe zile zote zilikuwa ni mbwembwe tu!. Hakuwa na msimamo kama ilivyokuwa kwa Subira na Zuhura.

Baada ya kunisumbua kwa kipindi fulani sasa alikubali na alikuwa ndani ya himaya yangu, nilikuwa nina uhuru wa kufanya lolote lile nililokuwa nalitaka kwa wakati huo.

Licha ya kwamba alifahamu kuwa tulienda sehemu hiyo kwa ajili ya mazungumzo lakini haikuwah hivyo, dhamira yangu ilikuwa ni kufanya naye mapenzi.

Nilimkumbuka mume wake, Jafari alikuwa akirudi jioni kutoka kazini, kwa maana hiyo sikutakiwa kupoteza muda. Zaituni alikuwa akisubiri nianze mazungumzo lakini kiukweli akili yangu ilikuwa imeshahama. Nikaanza kumpapasapapasa mwilini mwake, akanitoa mkono.

“Baraka una nini lakini?” aliniuliza.

“Zaituni hivi unaweza ukaamini kwamba nina hisia na wewe,” nilimwambia.

“Kivipi?”

“Naamisha nakupenda.”

“Wewe Baraka inamaana hiki ndicho ulichoniambia tunakuja kukizungumza?”

“Zaituniiii.”

“Nimefanyaje Baraka?”

“Hivi utamtambuaje mtu ambaye anakupenda, anahitaji kuzionyesha hisia zake kwako.”

“Sijui mimi.”

“Jamaniiiiii.”

“Nini Baraka?”

“Nakupenda.”

“Baraka nimeolewa, mimi ni mke wa mtu nadhani unalijua hilo,” aliniambia lakini sikutaka kusikia, nikarudia kumpapasa huku nikilalamika kama mtu niliyeonewa kwa kufanyiwa jambo fulani la kikatili.

Kadri nilivyokuwa nikimpapasa ndivyo ambavyo na yeye alianza kubadilika, ule ukali ambao alianza kuuonyesha hapo mwanzo akaupunguza. Akabaki akilalamika lakini akaniacha niendelee kumpapasa mpaka pale uvumilivu ulipomshinda.



Siku hiyo ilikuwa ni siku ya kipekee sana kati yangu na Zaituni kwani nilifanikiwa kufanya naye mapenzi kwa asilimia mia moja. Tulipomaliza tulienda kuoga kisha tukajiandaa na kuondoka katika gesti hiyo.

Sikutaka kuongozana naye kwasababu ya kuhofia watu ambao wangeweza kutuona na kwenda kumwambia mume wake hivyo nilimwambia Zaituni kwamba atangulie nyumbani na mimi ningefuata.

Moyo wangu ulitawaliwa na furaha mno, kila nilipokuwa nikiyakumbuka yale mambo niliyoyafanya na Zaituni kule gesti kiukweli nilijiona kuwa kidume maana siku hiyo nilimchezesha ngoma za makabila yote, nyingine hakuzijua hivyo nilimfundisha kucheza.

Nilifahamu mambo mengi sana kuhusu mapenzi, hakukuwa kuna kitu kipya kilichonishangaza, kila kitu nilichokuwa nikikifanya faragha nilikifanya kwa mazoea kwasababu nilitembea na wanawake wengi sana.

Mpaka kufikia kipindi hicho sikuwa na mpenzi wala sikuwa nina ndoto ya kuja kuwa naye kwa siku za karibuni. Sikutaka kujiingiza katika mahusiano ya kudumu kwasababu nilihofia mambo mengi sana lakini kubwa lilikuwa ni hili la kumuepushia maumivu ambayo ningemsababishia moyoni mwake.

Nilijifahamu nilikuwa ni mwanaume wa aina gani ingawa wanawake niliobahatika kukutana nao waliniona kuwa mtu mwema, mpole nisiye na makuu kabisa. Nilipofanikiwa kulala nao na kumaliza shida zangu niliachana nao na sikutaka kufikiria lolote kuhusu wao.

Kama ilivyokuwa desturi yangu kila mwanamke ambaye nilitembea naye ilikuwa ni lazima nichukue picha yake na kuihifadhi kwenye albamu yangu iliyokuwa ina picha za wanawake lukuki.

Baada ya kufanikiwa kulala na Subira, Zuhura pamoja na Zaituni. Nilizichukua picha zao na kuzihifadhi kwenye albamu yangu. Nilifanya hivyo na muda ambao nilitulia kitandani kwangu niliichukua albamu hiyo na kuanza kuziangalia picha za wanawake hao ambao zilinifanya nitokwe na tabasamu pana. Kila picha ya msichana ambayo ilikuwa kwenye albamu yangu nilikuwa tayari nimeshalala naye.

****

Subira na Zaituni waliendelea kuishi kama wake wenza katika nyumba hiyo. Ugomvi wa mara kwa mara ulitokea na hata wakati mwingine kuwekeana nyimbo za taaribu ambazo zilikuwa na maneno ya vijembe, kila mmoja alikuwa akimtumia mwenzake.

Wakati hayo yote yakiendelea mimi nilikuwa kimya nikiwaangalia tu, nilifahamu mimi ndiyo nilikuwa sababu na walikuwa wakinigombea kwa wakati huo lakini sikuwa na jinsi ya kufanya kwani wote walikuwa wameolewa hivyo niliwaona kama wendawazimu.

****

Isack aliendelea kuniona kama boya fulani hivi ambaye nilikuwa sijui kitu chochote kuhusu mademu. Nilipokuwa naye kama kawaida yake hakuacha kujisifia. Mshikaji alijiona kuwa mjanja sana kiasi kwamba kuna kipindi kilifika akanitambulisha kwa mademu zake wote aliyokuwa akitembea nao. Alifanya hivyo kama kunitambia na kunionyesha kwamba alikuwa ni mtu hatari sana kwenye swala la wanawake.

“Hawa mademu wala hawanipasui kichwa,” aliniambia Isack.

“Kivipi?” nilimuuliza.

“Wananipenda, wanipa pesa halafu sio mmoja wote hao niliyokutambulisha wako vizuri mzee baba.”

“Wee acha masihara, usiniambie.”

“Tatizo unaishi kiboya sana wewe, changamkaaaa,” aliniambia Isack.

Sikutaka kumuonyesha kwamba nilikuwa ni hatari kiasi gani kwenye suala la wanawake. Kwa kuwa jamaa alikuwa ni mtu wa kujisifia muda wote, nilimuacha na hivyo niliendelea kuishi maisha ya kitakatifu ambayo nyuma yake kulitawaliwa na uchafu wa hali ya juu.

****http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

Nilimtazama Nurath kwa macho ya matamanio, alijaaliwa sura ya muonekano, umbo la kibantu sanjari na shepu ya kuvutia. Nilipomtazama alinipa wakati wagumu kidogo kwani hata pale alikuwa akitembea nyumba kuliwa kukitikisika na huo ndiyo ulikuwa ugonjwa wangu.

Kama ilivyokuwa kwa wanawake wengine katika nyumba hiyo, Nurath na yeye alikuwa ameolewa na mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Noel. Huyu Noel alikuwa akifanya kazi bandarini, kuna kipindi alikuwa akiingia kazini usiku na hivyo Nurath alikuwa akibaki peke yake.

Katika harakati zangu za kutembea na wanawake wote kumi na mbili waliyopanga kwenye nyumba hiyo huyu Nurath ndiye mwanamke ambaye nilipanga afuate. Nilianza kazi ya kumfuatilia lakini sikutaka mtu mwingine afahamu hilo hivyo nilifanya siri mpaka pale Nurath alipokubali kunipa namba zake za simu.

Kazi ya kumchombeza ikaanza, japokuwa nilikuwa nikiishi naye nyumba moja lakini nilikuwa nikimpigia simu wakati ambao mume wake hakuwepo na kuzungumza naye usiku kucha. Nurath akazoea, nilipokatisha kumpigia simu mara kwa mara kama nilivyokuwa nikifanya, akachukia. Siku moja majira ya usiku akanitumia ujumbe mfupi kisha tukaanza kuchati.

“Sijapenda tabia yako,” alinitumia.

“Tabia gani tena?”

“Ni nini hivyo kunikalia kimya kama tuna ugomvi.”

Nilipousoma ujumbe huo nikatabasamu.





“Jamani hiyo ndiyo salamu?”

“Nimekununia kwanza.”

“Hahaha! Bila sababu?”

“Unajifanya hujui ulichokifanya?”

“Nimefanyaje kwani?”

“Kwanza sitaki kuchati na wewe, usiku mwema.”

Mpaka kufikia hapo nilifahamu Nurath alitaka kubembelezwa na alinifanyia kusudi hivyo nikafanya kama alivyotaka, nikambeleza na kumbembeleza mpaka akakubali, tukaendelea kuchati.

“Kitu kidogo tu unakasirika jamani.”

“Unaniudhi sasa.”

“Basi yameisha mama kisirani.”

“Nani kisirani.”

“Hahaha! Nimekosea kukutumia, sio meseji yako hiyo.”

“Halafu wewe endelea kunifanya mimi mtoto mdogo.”

“Unafanyaje?”

“Nimelala.”

“Vipi nije?”

“Weee ushindweee.”

“Kwani nikija kuna ubaya gani jamaniiiii.”

“Ndani kwangu siruhusu watu kuingia.”

“Kwahiyo wanaingia wanyama au?”

“Hahaha! Mume wangu tu!”

“Maana nilitaka kushangaa.”

“Kushangaa nini?”

“Kwahiyo nije?”

“Uje kufanya nini Baraka?”

“Kupiga stori na wewe.”

“Hapana.”

“Naombaaa jamaniiiiiii.”

“Haiwezekani!”

“Kwanini au mumeo anarudi?”

“Hapana.”

“Sasa mbona unaninyima?”

“Nakunyima ndiyo Baraka.”

“Nataka nije nikuangalie jinsi ulivyolala kitandani.”

“Wewe Baraka hivi hauoni aibu.”

“Aibu ya nini sasa?”

“Ndani kwangu hapana.”

“Basi njoo wewe ndani kwangu.”

“Nije kufuata nini?”

“Tunapiga stori tu!”

“Kheee! Stori gani za usiku huu, ulikuwa wapi mchana.”

“Mbona unanibania sana Nurath.”

“Ndiyo nakubania hivi mfano mume wangu akirudi usiku huu akanikuta nipo ndani kwako unafikiri itakuwaje?”

“Kwani utamwambia?”

“Kuhusu nini?”

“Kuhusu kuja ndani kwangu.”

“Hahaha! hapana.”

“Basi tufanye siri.”

Usiku huo nilichati sana na Nurath mpaka kufikia majira ya saa nane ambapo aliniambia usingizi ulimnyemelea hivyo nikaagana naye na mimi nikalala zangu.

http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

****

Kichwa changu bado kilikuwa kina orodha ndefu ya wanawake ambao nilipanga kutembea nao. Kwa upande wa Nurath kazi iliyokuwa imebakia wala haikuwa na ugumu wowote. Ni kama vile mtu alikuwa amemla ng’ombe mzima halafu akawa amembakiza mkia.

Niliendelea kuwasiliana na Nurath mpaka pale siku moja ambapo nilimwambia jinsi nilivyokuwa nikimuelewa, kwangu alikuwa ni msichana wa kipekee kupita kawaida.

“Mh! Wanaume nyie,” aliniambia Nurath.

“Sure! Nurath! Ninakupenda mno, tatizo lenu mnataka kudanganywa, ukweli hamtaki kuusikia,” nilimwambia kisha akacheka.

“Eti! Tunapenda kudanganywa, aya hebu nidanganye.”

“Ninatamani sana kula nyama iliyonona kama yako, nyama hiyo sijawahi kuila katika maisha yangu na sijui ina ladha gani?”

“Hahaha! Sasa nani kanona?”

“Wewe hapo! Hebu jiangalie kwanza. Hivi huwa unapaka lotion gani?”

“Ya kawaida tu!”

“Maana nikikuangalia unavutia mno.”

“Chizi wewe.”

“Kwahiyo vipi Nurath.”

“Kuhusu nini Baraka?”

“Kunikubalia ombi langu.”

“Haiwezekani Baraka.”

“Serious! Nurath, hebu tutafute sehemu tuongee kidogo.”

“Kwani hapa hapafai?”

“Yeah! Nasikia aibu.”

“Eti nasikia aibu! Wewe unataka wapi?”

“Ndani ya chumba changu.”

“Mh!”

“Nurath pleaseeee.”

Hiyo ndiyo niliiona sehemu sahihi ya sisi kwenda kukaa na kuzungumza pamoja, nilifanya hivyo ili majirani wasitushtukie. Nilipomwambia Nurath sababu hiyo akacheka. Hakukuwa na tatizo lolote lile, Nurath akakubali kisha nikaingia naye ndani ya chumba changu, tukaenda kukaa kwenye kochi.

Kwa jinsi Nurath alivyokuwa, niliona kabisa hiyo ilikuwa siku yake, nilitakiwa kumla haraka iwezekanavyo kabla hajabadilisha mawazo.

“Leo ninataka kuamini,” nilimwambia Nurath.

“Kuamini nini?” aliniuliza huku akishangaa.

“Kama kweli ni tundu la mdomo wa chupa au ndoo,” nilimwambia kisha akaanza kucheka.

Sikutaka kuremba muda huo, sikuhitaji nafasi ya kuongea na Nurath sana, nikajisogeza karibu yake na kutaka kuubusu mdomo wake, akaupeleka pembeni.

“Unataka kufanya nini?” aliniuliza.

“Kwani nilikwambiaje?”

“Hebu acha utani! Haiwezi kutokea, unakumbuka nilikwambiaje?” aliniuliza.

“Nurath hata kuonja ladha ya mate yako unanibania kweli?”

“Huanza na mate baadae utasema nina kifua kizuri unataka kukiona, utaendelea hivyohivyo mpaka chini na mwisho wa siku utanivua nguo na kunila humuhumu ndani ya chumba chako,” aliniambia Nurath.

“Hahaha! Mwanamke muhuni sana wewe! Yote haya umeyajulia wapi?”

“Kwani mimi siwajui nyie halafu nimeolewa hivyo hapana siwezi kumsaliti Noel wangu.”

Aliniambia kama utani lakini alimaanisha. Ni kweli ilishindikana kama alivyoniambia japokuwa nilijitahidi kung’ang’ania mno. Hakukuwa na kilichofanyika mpaka pale Nurath alipoondoka ndani ya chumba changu.

Nilijisikia vibaya mno, nilijilaumu sana kwa kitendo cha kumkosa Nurath hasa katika mazingira kama yale ambayo hali ya hewa iliruhusu kila kitu kutokea.

Kuna muda mwanamke hawezi kukwambia kwamba anajisikia kufanya mapenzi na wewe kwasababu hiyo haijazoeleka. Mwanaume unatakiwa kulijua hilo, inabidi utumie akili kumshawishi mpaka akukubalie.

Niliona nimefanya uzembe mkubwa sana kumruhusu Nurath kuondoka ndani ya chumba changu bila kumgusa, sikujua alinifikiriaje, hilo lilizidi kunichanganya.

Wakati nikiwa katika hali hiyo huku nikijiuliza maswali mengi kuhusu Nurath mara nikausikia mlango wa chumba changu ukigongwa. Haraka nikaenda kuufungua. Nilishangaa kumuona Subira.

“Ulikuwa unafanya nini? Nimegonga mlango mda mrefu umechelewa kunifungulia,” aliniuliza Subira huku akitabasamu.

“Nilipitiwa na usingizi,” nilimjibu kisha nikamkaribisha ndani. Alipoingia akaonekana kushtuka, nikamuona akianza kunusa harufu aliyoihisi ni ya tofauti.

“Kuna nini?” nilimuuliza.

“Hii ni ni pafyumu ya Nurath inamaana alikuwepo humu.”

“Hahaha! Subira bana umeshaanza visa vyako yaani huishi vituko wewe mwanamke inamaana Nurath ndiyo kusema amenunua pafyumu yake dunia nzima?”

“Hapana.”

“Ila.”

“Nimeuliza tu.”http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

“Sawa.”

“Halafu Baraka siku hizi sikuelewi.”

“Hunielewi kivipi?”

“Tangu tufanye mapenzi umenipotezea, hutaki hata kuzungumza na mimi, nimekuwa sina maana tena kwako.”

“Hivi Subira ni kitu gani ambacho hukielewi hapo?”

“Kitu gani?”

“Kumbuka mimi na wewe sio wapenzi Subira, ilitokea bahati mbaya tumefanya mapenzi hivyo naomba pia iwe bahati mbaya tuachane, kila mtu abaki na maisha yake.”

“Baraka unasemaje?”

“Sikutaki Subira kwanini hunilewi?”

“Baraka!”

“That”s my name.” (Hilo ndiyo jina langu.)

Nilichomwambia Subira alidhani ni utani lakini nilimaanisha. Sikutaka kuendelea kuwa naye wakati alikuwa ni mke wa mtu. Japokuwa alining’ang’ania na kuniomba nisichukue uamuzi huo lakini kile nilichokisema ndicho nilichokimaanisha kutoka moyoni mwangu.

Sikutaka kupoteza muda, nilimwambia atoke ndani ya chumba changu kwani nilitaka kuondoka kwa muda huo. Nilifanya hivyo ilimradi nimkwepe Subira, sikutaka kuendelea kugandana naye na wakati shughuli yake ilikuwa imeisha.

Uamuzi huo sikuufanya kwa Subira peke yake bali niliufanya kwa Zuhura pamoja na Zaituni. Wote walionekana kunipenda mno! Kila niliyemwambia kwamba tulitakiwa kuachana na kila mmoja kufanya mambo yake hakukuwa kuna mtu aliyekubali, wote walionekana kunipenda kufa kuoza.

****

Baada ya kupita siku tatu nilimtumia ujumbe mfupi Nurath, nikamuomba nionane naye ili tuzungumze.

“Uko wapi kwani?”

“Hapa ndani kwangu?”

“Njoo ndani kwangu.”

“Mumeo hayupo?”

“Ndiyo wewe njoo ukifika fungua mlango uko wazi.”

“Sawa nakuja,” nilimjibu kisha nikatoka nje kwa kunyata mpaka nikaufikia mlango wa chumba chake, nikaufungua na kuingia ndani.

Nilishangaa kumuona Nurath akiwa hana nguo hata moja, wakati huo alikuwa amejilaza kwenye kochi kubwa. Aliponiona akaniambia niufunge mlango wa chumba hicho na ufunguo, nikabaki nimeshikwa na bumbuwazi, macho yakanitoka! Sikuamini kile nilichokuwa nikikiona kwa wakati huo.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

Nurath alipoona sielewi, akainuka na kuja mpaka pale mlangoni akaufunga mlango na ufunguo kisha akanigeukia. Nilipotazamana naye akatabasamu.

“Unakumbuka uliniambiaje?” aliniuliza wakati huo alikuwa amenisogelea.

“Kuhusu nini?” nilimuuliza huku nikishangaa.

“Uliniambia unatamani kula nyama iliyonona unakumbuka?”

“Ndiyo nakumbuka.”

“Basi huu ndiyo muda wake, nataka nikupe uisikie ladha yake,” aliniambia kisha akanikumbatia kwa nguvu.

Sikutaka kuamini hata kidogo, nilihisi maruweruwe. Haraka sana nikaanza kuzitoa nguo zangu lakini kabla sijamaliza kuivua suruali yangu na kuanza kufanya lolote mara nikausikia mlango wa chumba cha Nurath ukigongwa kwa nguvu. Nilishtuka! Nikamtazama Nurath ambaye alionekana kuchanganyikiwa kwa wakati huo.









ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog