Search This Blog

Wednesday, November 2, 2022

BARAKA MCHACHUKO - 5

 







    Chombezo : Baraka Mchachuko

    Sehemu Ya Tano (5)







    Haytham alianza kunisimulia mkasa mzima kwamba alikuwa na mpenzi wake aliyeitwa kwa jina la Abdul Nurdin, mwanaume huyu alimpenda sana na alikuwa ana asili ya kihindi kama ilivyokuwa kwa upande wake yeye.

    Abdul alionekana kuwa mwanaume mwenye maisha ya kawaida, hakuwa na maisha ya kitajiri kama ilivyokuwa kwa upande wa maisha ya Haytham lakini hilo halikufanya mapenzi yao yafike kikomo. Haytham aliendelea kumpenda Abdul kwa moyo wake wote na aliamini kwamba mwanaume huyo ndiye aliyekuwa mwanaume wa maisha yake.

    Alijitoa kwa mambo mengi sana na yote sababu ilikuwa ni Abdul Nurdin. Kuna kipindi kilifikia mpaka akaamua kumnunulia gari la kifahari, akaamua kumpangishia nyumba mpenzi wake huyo ambaye hakuwa na nyuma wala mbele, maisha yalimchakaza vilivyo.

    Aliamua kumpa mtaji wa kufanya biashara ilimradi asikae bure hapa mjini, afanye biashara ambayo ingemuwezesha kupata kipato kitakacho muendeleza kimaisha zaidi na zaidi ya msaada aliyoamua kumpa.

    Maisha yaliendelea, siku zikazidi kukatika. Baada ya kupita kipindi fulani wakapanga kuyaweka mahusiano wazi hivyo wakaamua kwenda kutambulishana kwa wazazi.

    Jambo zuri ni kwamba hakukuwa kuna tofauti yoyote iliyotokea wakati wa utambulisho huo. Wazazi wa pande zote mbili waliridhia hivyo mipango iliyokuwa imebakia ilikuwa ni kwa ajili ya kufunga ndoa ya kiislamu.

    Ilikuwa hivyo na Haytham aliamini Abdul ndiye mwanaume wa maisha yake kufa kuzikana kwasababu alikumbuka kwamba alimtoa kwenye maisha ya tabu yenye dhiki kubwa. Alichokuwa akikiamini ni kwamba Abdul asingeweza kumuumiza na kwamba angeendelea kuwa wake siku zote.

    Baada ya kupita kipindi fulani Haytham alianza kuyaona mabadiliko makubwa kwa mpenzi wake huyo. Ndani ya kipindi cha miaka miwili ya mahusiano yao mpaka kufikia hatua ya kutambulishana kwa wazazi, Haytham alianza kuhisi kwamba Abdul alikuwa akimsaliti na alianzisha mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mwingine.

    Kama unavyojua tena kwamba mtu anapoamua kujiingiza katika mahusiano ya kimapenzi, suala hilo huwa ni vigumu sana kufichika na ndivyo ambavyo ilivyokuwa kwa Abdul. Baada ya kuanzisha mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mwingine mwisho wa siku aliweza kugundulika.

    Hicho kilikuwa ni kipindi cha maumivu kwa Haytham, aliumia sana tena alizidi kuumia vibaya mno.

    Baada ya kuujua ukweli kwamba mpenzi wake alikuwa na mwanamke mwingine aliamua kumuuliza lakini Abdul hakuweza kukubali, alikataa kata kata na kwamba kuna watu walipanga kumuharibia kwa mpenzi wake, Haytham ambaye siku si nyingi walikuwa wakienda kufunga ndoa.

    Kwa kuwa Haytham aliujua ukweli na kila kitu kilichokuwa kikiendelea alikuwa akikifahamu aliamua kufanya uchunguzi wake na kufanikiwa kumfahamu huyo mwanamke aliyekuwa akitembea na mpenzi wake. Kitu kibaya zaidi mwanamke huyo alikuwa na ujauzito wa Abdul.

    Hakukuwa kuna siku Haytham aliyowahi kuumia kama siku hiyo, kitendo cha kumuona mwanamke aliyekuwa akitembea na mpenzi wake tena huku akiwa ni mjamzito hakika kilimuumiza sana, alikumbuka jinsi alivyomtoa mbali kimaisha mpenzi wake, jinsi alivyompa maisha lakini hilo hakujali mwisho wa siku aliamua kumuumiza moyo wake.

    Baada ya kupita siku kadhaa Haytham aliamua kucheza mchezo mmoja. Alichoamua kukifanya ni kupanga kumbananisha Abdul na mwanamke huyo aliyekuwa na ujauzito wake ili siku hiyo ukweli ujulikane na kama kuumbuka basi aumbuke.

    Hilo likafanikiwa, siku moja wakati alipokuwa na Abdul nyumbani, Haytham alianza kulia, machozi yalikuwa yakimbubujika mfululizo mashavuni mwake.

    “Mbona unalia kuna nini?” aliuliza Abdul huku akimtazama Haytham kwa mshangao, wakati huo alikuwa akiyafuta machozi yake.

    “Hakuna kitu,” alijibu Haytham huku akijaribu kuficha.

    “Hakuna kitu? Kivipi? Hebu sema ukweli,” alihoji Abdul.

    “Serious! Hakuna kitu Abdul.”

    “Usinifanye mimi mtoto mdogo, tafadhali niambie ukweli.”

    “Abdul.”

    “Enhe!”

    “Una mwanamke mwingine.”

    “Mimi! Hapana sina mwanamke mwingine.”

    “Una mwanamke Abdul kwanini hutaki kusema ukweli?”

    “Nitasema ukweli upi na wakati sina mwanamke mwingine au unataka nidanganye?”

    “Abdul sema ukweli wako.”

    “Ukweli upi?”

    “Una mwanamke au huna?”

    “Sina zaidi yako mpenzi wangu.”

    “Una uhakika?”

    “Ndiyo kwanini nidanganye?”

    “Sawa,” alisema Haytham kisha baada ya kupita sekunde chache mwanamke mmoja mjamzito akaingia ndani ya nyumba hiyo.

    Abdul akashtuka, hakuamini kile alichokuwa akikiona mbele ya macho yake kwa wakati huo.

    “Unamfahamu huyu mwanamke?” aliuliza Haytham huku akimtazama Abdul ambaye uso wake alikuwa ameuelekezea chini.

    “Kimyaa!”

    “Abdul ninakuuliza unamfahamu huyu mwanamke?”

    “Kimyaaaa.”

    “Abdul kwanini ulinidanganya? Kwanini hukuniambia kwamba una mwanamke wako? Angalia sasa, ona jinsi ulivyoniharibia maisha yangu,” alisema mwanamke yule mwingine mjamzito na kuanza kulia.

    Mpaka kufika muda huo Abdul hakuzungumza kitu, alibaki ametulia tuli kama maji ya mtungi. Aliingiwa na baridi ya ghafla!

    Baada ya kuona amefanya makosa na alimdanganya vya kutosha mpenzi wake, Haytham ilibidi amuombe msamaha kwa yale yote yaliyotokea na kwamba ibilisi ndiye aliyempitia, haikuwa ni akili yake.

    Hilo halikuweza kutokea, Haytham hakuwa tayari kumsamehe Abdul na kuanzia siku hiyo ndiyo ulikuwa mwisho wa mapenzi yao na vitu vyote alivyompa katika maisha yake aliamua kumuachia kama zawadi.

    ***

    Alipofikia hapo Haytham, akaweka kituo kwanza, nikamsikia upande wa pili akilia, ilionyesha ni kiasi gani mapenzi yalimuumiza mno!

    “Usilie Haytham, tafadhali endelea kunisimulia nini kiliendelea?” nilimuuliza huku nikimtaka asiendelee kulia kwa wakati huo.

    “Mapenzi yameniumiza sana Baraka, yule niliyempenda na kumuamini katika maisha yangu ndiye huyo huyo aliyekuja kuniumiza,” aliniambia Haytham huku akiendelea kulia.

    “Pole sana,” nilimwambia huku nikionekana kuguswa mno na simulizi yake ya kweli iliyomtokea.

    “Asante Baraka nimeshapoa,” aliniambia.

    “Unachotakiwa ni kuizoea hiyo hali na kuona ni jambo la kawaida ambalo linaweza kumkuta mtu yoyote kwasababu hata mimi nimepitia mengi katika mapenzi na nimeyaacha kuwa simulizi ambayo sitaki hata kuikumbuka,” nilimwambia.

    “Kwanini? Na wewe pia uliumizwa?” aliniuliza.

    “Ni zaidi ya kuumizwa naweza nikasema hivyo,” nilimwambia.

    “Kivipi? Nini kilitokea?” aliniuliza huku akionekana kuwa na shahuku ya kutaka kujua nini kilichotokea katika maisha yangu mpaka nikaamua kumwambia maneno yale.

    Kiukweli katika maisha yangu sikuwahi kukumbwa na mkasa wowote wa kimapenzi kiasi kwamba nifikie hatua ya kuyachukia kabisa mapenzi kwa kuwa tayari nimeshaumizwa moyoni mwangu.

    Maisha yangu yalikuwa ni ya wanawake, nilitembea na wanawake wengi sana na kuweka chata katika mapaja yao.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Kwa wakati huo Haytham alipotaka kujua mkasa wa kweli uliyotokea katika maisha yangu ya kimapenzi mpaka nikamwambia kwamba niliumizwa zaidi yake, sikutaka kujisumbua akili yangu. Nilichoamua kukifanya nilimsimulia moja kati ya simulizi ya mwandishi Juma Hiza ambaye alikuwa akitamba sana katika kipindi hicho. Simulizi hiyo iliitwa PENZI LA UMAUTI na niliisimulia vizuri huku nikijifanya mimi ndiye Dominick na Julieth ndiye aliyekuwa mpenzi wangu.

    Nilisimulia mambo baadhi yaliyotokea katika simulizi hiyo mpaka kufikia hatua nikamsomesha Julieth na mwisho wa siku kufanikiwa kupata kazi ya utangazaji. Huo ndiyo ukawa mwanzo wa kunipa maumivu na jeraha la moyoni mwangu.

    Nilipomaliza kumsimulia nikavuta pumzi ndefu na kuziachia kwa pupa.

    “Hivyo ndivyo ambavyo ilikuwa,” nilimwambia.

    “Jamani pole sana Baraka inamaana huyo mwanamke unataka kuniambia bado yupo na huyo mwanamuziki?”

    “Ndiyo ila sitaki kuyakumbuka, hebu kwanza tuyaache hayo Haytham,” nilimwambia kisha nikabadilisha mada na kuanza kuzungumza mambo mengine.





    Ukumbuke mpaka kufikia muda huo nilikuwa nina kazi moja tu! ya kuhakikisha nafanikiwa kumpata Haytham. Nilipokuwa nikizungumza naye hakukuwa kuna kitu kingine nilichokuwa nikikilenga zaidi ya mapenzi.

    Nilimwambia kwamba sisi ni binadamu ambao mioyo yetu iliumizwa kimapenzi hivyo tulitakiwa kupata afuweni.

    “Unamaanisha nini?” aliniuliza.

    “Tunatakiwa tuwe wapenzi, naamini hatuwezi kuumizana kwasababu tayari mioyo yetu imeshaonja maumivu,” nilimjibu.

    “Mmh!” aliguna.

    “Serious! Hebu jaribu kulifikiria hili kwa jicho la tatu halafu utanipa jibu siku yoyote,” nilimwambia kisha nikamuaga na kukata simu.

    ***

    Naweza kusema nilikuwa ni mwanaume mwenye uchu sana na wanawake ambaye kila nilipomuona mwanamke amevaa gauni au sketi na mstari wa nguo yake ya ndani kuonekana kwa ndani basi nilichanganyikiwa kinoma.

    Atuganile bado aliendelea kuleta mazoea, kila siku alikuwa ni mtu wa kutafuta njia ya kuleta ukaribu na mimi. Hakujua ni njia gani ambayo alitakiwa kuitumia, kila njia ambayo aliitumia aliona kama alikosea na hivyo akaachana nayo na kutafuta njia nyingine.

    Alifanya kila alilokuwa akiweza, uvumilivu ulimshinda mwisho wa siku ilibidi anieleze ukweli kwamba alinipenda na alitamani kufanya mapenzi na mimi.

    Aliponiambia hivyo nilishtuka, sikutaka kuamini kama mwanamke huyo angenitamkia maneno ya waziwazi kwamba alinipenda na alihitaji penzi langu ingawa na yeye pia alikuwa katika ratiba yangu ndefu.

    Lilikuwa ni jambo gumu kwa mimi kumkataa mwanamke, kwanza ningeanzia wapi kumkataa? Na wakati alijileta mwenyewe? Kilichofuata nilimpa haki aliyokuwa akiihitaji kwa muda huo.

    Kila mwanamke aliyekuwa akiingia ndani ya chumba changu hakuwa akitoka salama, ilikuwa ni lazima nifanye naye mapenzi na kumwambia aniachie picha yake ili niwe naiangalia kila nilipokuwa nikimkumbuka kitu kilichowafanya wanawake wengi kukubaliana na mimi na kunipa picha zao nyingi ambazo nilizihifadhi kwenye albamu yangu.

    Nilijaza picha nyingi za wanawake kwenye albamu yangu, wakati mwingine nilikuwa nikiifungua albamu na kuziangalia picha hizo. Kulikuwa na picha ya Husna, Mwajuma, Aisha, Zulfa, Sabrina, Esta, Fatuma, Subira, Zaituni, Nurath, Zuhura na nyingine nyingi.

    Kwa ujumla mpaka muda huo nilikuwa na picha zaidi ya mia tatu, niliendelea kuzikusanya kama kawaida yangu.

    Muda huo nilikuwa chumbani kwangu, ni saa moja tangu nilipotoka kufanya mapenzi na Atuganile mke wa Nyemo. Nililala naye kwa masaa kadhaa na muda huo nilikuwa nikiyakumbuka yale mauno ya sotojo niliyokuwa nikimpa kitandani.

    Baaada ya dakika kadhaa nikashtuka kama mtu aliyekuwa amekumbuka kitu fulani hivi, haraka sana nikachukua simu yangu na kuingia WhatsApp ambapo nikakutana na ujumbe wa Levina aliyokuwa amenitumia nusu saa iliyopita.

    “Wewe kivuruge wa tandale,” alinitumia huku akisindikiza na emoj ya kucheka na ya kuficha sura. (Wakati huo alikuwa bado online.)

    “Niambie mrembo wa Mabibo,” niliandika kisha nikatuma na emoj ya kutoa ulimi nje.

    “Hahahaha!”

    “Unacheka tena?”http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Nilikumisi jamani Baraka wangu.”

    “Mbona hukunitafuta sasa?”

    “Ndiyo maana leo nimekutafuta baba watoto.”

    Siku hiyo Levina alikuwa ameweka picha aliyopiga selfie, ilikuwa ni picha nzuri ambayo ilinivutia kiukweli. Akili yangu ikawaka.

    “Mmh!”

    “Kwani ni uongo?”

    “Levina hivi unajua kwamba nakupenda.”

    “Hapana ndiyo kwanza najua leo.”

    “Acha masihara bana ujue nipo serious?”

    “Baraka wewe.”

    “Nimefanyaje?”

    “Mmh!”

    “Sawa tu Levina.”

    Sikutumia nguvu nyingi sana kwa Levina, nilihakikisha namvuta na kumfanya anakuwa wangu. Nilimdanganya sana, katika maneno yangu kumi niliyomwambia neno moja ndilo lilikuwa lina ukweli.

    Wakati nikiendelea kuchati na Levina uvumilivu ukanishinda, nikaanza kumbembeleza mpaka nifanikiwe kuonana naye.

    “Kwahiyo nitakuona lini Levina?”

    “Sijajua ila tutaonana tu.”

    “Kwanini kila nikipanga kuonana na wewe inashindikana?”

    “Sijui kwanini?”

    “Au nina gundu?”

    “Hahaha! Labda.”

    “Aisee siku nikikukamata utakoma.”

    “Utanifanya nini?”

    “Nadhani nitakukula, nitakutafuna mzima mzima.”

    “Hahaha!”

    “Wewe cheka tu!”

    “Hivi utaniweza kweli au unaongea tu?”

    “Kwani umesikia ninakubeba mgongoni?”

    “Hahahaha!”

    “Wewe nipe nafasi nikuonyeshe kazi.”

    “Unadhani nitashindwa?”

    “Unavyoomba sasa! Mpaka unatia huruma masikini!”

    “We acha tu, halafu nitumie picha yako uliyopiga leo nikuone.”

    “Unataka kuona nini?”

    “Kiuno chako.”

    “Sawa,” aliandika kisha hakuchelewa, hapohapo akanitumia picha yake iliyokuwa ikimuonyesha akiwa beach tena katika vazi la kuogolea.

    “Utaniua wewe mtoto.”

    “Hahaha!”

    “Yaani nimesisimka ile kinoma, natamani nije hapo ulipo.”

    “Ili ufanye nini?”

    “Nikubembeleze ulale.”

    “Chizi wewe,” aliandika Levina.

    Mpaka kufikia muda huo nilichanganyikiwa, suruali yangu upande wa zipu ilipanda mno. Sikutaka kuona nikishindwa kumshawishi msichana huyo ambaye alionekana kuwa kama sitaki nataka. Hapohapo nikazidi kumchombeza.

    “Levina hivi ni kwanini unanitesa hivyo?”

    “Nakutesa na nini jamani?”

    “Nijibu kwanza swali langu.”

    “Nakutesa na yapi Baraka?” aliniuliza huku akitanguliza na viemoj vya nyani kuficha sura.

    “Una mwili mzuri sana, una mvuto wa kimapenzi,” nilimwambia.

    “Kwahiyo unataka kusema nini?”

    “Nataka nikuone unavyopendeza ukiwa na vazi la nguo ya ndani.”

    “Heee!”

    “Ndiyo kama itawezekana jamaniiii,” niliandika kwa kulalamika.

    “Sasa utanionea wapi?”

    “Hata kwangu.”

    “Wee unataka mkeo aniue.”

    “Sina mke ila ukitaka unaweza ukawa mke wangu.”

    “Mmh!”

    “Serious!”

    “Mh!”

    “Kweli Levina nataka nikuone ukibaki na nguo ya ndani unapendezaje! nakuomba jamaniiiiii,” niliendelea kulalamika.

    “Khaa!”

    “Levina pleaseeee.”

    “Baraka.”

    “Nakuomba Levina. Nateseka sana! Nakuomba unielewe!” niliendelea kumbembeleza.

    “Sawa tufanye kesho, nitawahi kutoka kazini kwahiyo tukutanie wapi?”

    “Unaweza kuja hapa Tandale kwa Mtogole?”

    “Ndiyo.”

    “Basi itakuwa vizuri zaidi, ukifika hapo kituoni nitakufuata.”

    “Sawa,” alijibu Levina.

    Siku iliyofuata sikuwa na jinsi, ilibidi nidanganye ofisini kwamba siku hiyo sikuamka vizuri, nilishikwa na homa ya ghafla. Nilifanya hivyo ili niweze kukutana na Levina ambaye aliniambia siku hiyo angewahi kutoka kazini na kupitia kwangu.

    Baada ya kupita masaa kadhaa hatimaye Levina alinitumia ujumbe mfupi wa kunijulisha kwamba tayari alikuwa ameshafika kwa Mtogole.

    “Umefika mama?” nilimpigia simu na kumuuliza.

    “Ndiyo.”

    “Upo wapi?”

    “Hapa kwa mtogole.”

    “Nakuja,” nilisema na kukata simu.

    Ilikuwa ni majira ya mchana, nilipofika kituoni nilimpigia tena simu na kumuuliza kwamba alikuwa amesimama upande gani. Alinijibu na kisha nikaangaza macho yangu kule aliponielekeza kweli bana nikamuona Levina.

    Baada ya kumuona nilienda kumpokea, nikamkumbatia kisha nikamchukua moja kwa moja mpaka katika chumba changu.

    “Mmh!” aliguna Levina alipoingia ndani ya chumba changu.

    “Kuna nini? Mbona umeguna?” nilimuuliza.

    “Hakuna kitu,” alinijibu kisha akakaa kwenye kochi.

    Kabla ya yote kwanza nilikumbuka kumuuliza kinywaji alichokuwa akikipendelea, akaniambia kwamba nimletee soda, nikaenda kumnunulia na baada ya muda nikarudi na kumuandalia.

    Nikaanza kuzungumza naye, kwanza nikamsifia sana na kumwambia ni kwa jinsi gani alikuwa na mvuto wa aina yake, sikutaka kuishia hapo tu, baada ya kumaliza kunywa soda nikamwambia ahamie kitandani, Levina akakubali, tukaenda kukaa kitandani.

    “Unakumbuka nilikwambia kitu gani jana?” nilimuuliza.

    “Hapana nikumbushe.”

    “Kwamba nataka kuona unavyopendeza ukivaa nguo ya ndani.”

    “Fala sana wewe.”

    “Umevaa ya rangi gani nyeusi au nyeupe?”

    “Nyeupe.”

    “Hebu niione,” nilisema kisha nikaanza kumvua nguo zake.



    Huyu Levina alikuwa kama maharage ya mbeya, hakuniwekea ugumu wowote wakati namvua nguo zake kwa wakati huo. Kiulaini kabisa nilimvua nguo zote kasoro nguo yake ya ndani.

    “Unataka kufanya nini Baraka?” aliniuliza huku akijaribu kuficha kifua chake kwa kutumia viganja vyake.

    Akili yangu ilichanganyikiwa kabisa mahali hapo, jinsi nilivyokuwa nikimuangalia Levina ndiyo kabisa ilichanganyikiwa kupita kawaida. Wakati huo tulikuwa wawili tu ndani na nilikuwa nimeshamtoa nguo zake kasoro ile ya ndani.

    Uchu wa kula nyama ulinikamba kinoma, nikatamani kumrukia Levina lakini nilijua fika asingeweza kunigomea hata hivyo kwa upande wake alionekana kuwa tayari kwa lolote.

    Nikaanza kumpapasa mwilini mwake taratibu kwa kutumia viganja vyangu, Levina hakunikazia hata kidogo, kila kiungo nilichokishika alinionyesha ushirikiano wa hali ya juu.

    Kazi ikabaki kuwa upande wangu, hapo kitandani tulipokuwa tumekaa hali ilianza kuonekana kubadilika. Nilichoamua kukifanya kwa wakati huo nilianza kumshawishi Levina akubali niiondoe ile nguo yake ya ndani mwilini.

    Levina akaonekana kunikazia kidogo, akanishika mkono kana kwamba hakutaka kushuhudia macho yake kile ambacho kilikuwa kinakwenda kutokea muda mfupi.

    Nilikuwa mzoefu wa wanawake haswaa! Tena katika mazingira kama hayo ya msichana kuonekana kunikazia katika hatua nyeti kama hiyo.

    Nilijua kwamba Levina alipata ujasiri wa kunizuia nisiitoe nguo hiyo ya ndani mwilini mwake kwasababu mpaka kufikia muda huo sikuwa nimeshughulika naye hata kidogo, sikuwa nimemuandaa.

    Kitu cha kwanza kabisa haraka nikamuwahi shingoni mwake na kuanza kumnyonya mithili ya mtu ambaye alikuwa akinyonya Ice Cream. Levina hakuonyesha dalili zozote za kuikubali hali ya mabadiliko ya kihisia, aliendelea kuniwekea mgomo baridi.

    Sikuacha, niliendelea kuinyonya shingo yake huku na kule, yaani kama ni muvi basi ndiyo kwanza ilikuwa ikianza. Nilitumia ufundi wangu binafsi, sikuinyonya shingo yake hivihivi, niliongeza manjonjo mengi kiasi kwamba Levina uvumilivu ukamshinda mwisho akaonekana akiyakubali mabadiliko ya hisia zake.

    Nilijua kuutumia ulimi wangu vizuri, nilijua kucheza nao katika shingo ya mwanamke huyu, manjonjo na mbwembwe zote nilizifanya.

    “Aiiishiiii,” Levina alipiga kelele za mahaba, sikuacha, niliendelea na kazi yangu isiyokuwa na mshahara mwisho wa mwezi.

    Sikutaka kuendelea kubaki shingoni tu, isipokuwa niliupeleka mkono wangu sehemu nyingine za mwili wake na kuanza kutalii.

    Niliyajua mazingira vizuri ya mwili wa mwanamke, niliminya hapa kwa juu kwenye magoti, nilipashikilia vizuri lakini wakati mkono wa kushoto ukiwa bize na eneo hilo mkono wa kulia ukahamia upande wa juu kwenye nyonga na tumboni.

    Levina alichanganyikiwa vibaya mno, hakuamini kile kilichokuwa kikiendelea kwa wakati huo. Mwili wake uliwaka kinoma, alipiga kelele za kila aina, miguno yote aliguna.

    Baada ya kuona kwamba nilikuwa nikienda kushinda mchezo nilihamia kufuani, sikumbuki nini kilitokea ili nilishangaa kujiona na mimi nikiwa mtupu tena nikiwa juu ya Levina.

    “Hapo vipi Levina?” nilimuuliza Levina huku nikimtazama usoni, alizidiwa, macho yake yalilegea vibaya mno.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Endeleaa Baraka, endeleaaa” alinijibu kwa sauti ya chini yenye kimahaba ndani yake.

    Sikutaka kuacha, niliuendelea mchezo mwanzo mwisho, nilikuwa mzoefu, niliendelea na utundu wangu kama kawaida.

    Nilikuwa bize na shingo yake lakini hiyo niliona kama vile haitoshi, nikahamia sikioni, Levina akapiga ukelele mkubwa mule chumbani mpaka ikabidi nikafungulie muziki kwenye redio na kuweka sauti ya juu kabisa kuzuia kelele hizo za Levina.

    Mwili ulinisisimka vibaya mno, sikuwa na hofu, nilifanya mambo yote hayo kwasababu Levina alinizuia kuitoa nguo yake ya ndani.

    Nilijua kula masikio vizuri, mara ya kwanza nilihisi uchungu fulani lakini mara baada ya kupita sekunde kadhaa nikawa nahisi utamu wa ajabu.

    “Vipi Levina niisogeze pembeni au niitoe yote?” nilimuuliza huku mkono wangu ukijiandaa kuitoa ile nguo yake ya ndani.

    “Ngoja niisogeze pembeni! Napo kunakuwaga na utamu wake,” alinijubu na kufanya hivyo.

    Hapo ndipo palikuwa na balaa, nilitoka masikioni na kuhamia hapo. Nikaanza kufanya usafi wa uhakika. Nilifanya hivyo kwasababu sikutaka kudharaulika mbele ya msichana huyo ambaye kukutana kwetu ilikuwa ni bahati, sikutaka kuonekana kama wanaume wa Dar wanavyoonekana kuwa ni wazembe, mambo yao ni laini laini.

    Niliendelea na zoezi hilo kwa nusu saa, Levina akachanganyikiwa.

    “Ba…ra…kaa,” aliniita Levina kwa shida.

    “Niambiee,” nilimwambia.

    “Ut..ani..uaa,” aliniambia kwa shida.

    “Usijali ukifa utakufa na utamu wangu, subiri nikuonyeshee,” nilimwambia kisha haraka sana nikafungua sehemu ya kabati niliyokuwa nikihifadhi vitu vyangu muhimu na kutoa mpira mmoja na kuuvaa.

    “Aiiishiiiiii...” alipiga kelele za mahaba Levina wakati nilipoanza kuiingiza mwilini mwake.

    Alinishikilia vilivyo, nilianza kupiga pushapu mithili ya mwanaume aliyekuwa gym akichukua mazoezi.

    Kitanda kilikuwa kikilalamika. Niliendelea na pushapu huku nikipiga pande zote nne. Nilianza kupiga upande wa juu kama pushapu hamsini hivi, halafu nikahama na kuanza kupiga upande wa kushoto, nilipiga kadhaa na kuhamia kulia na baadaye nikaanza kuupiga upande wa chini.

    Muda wote huo Levina alikuwa amening’ang’ania, hakutaka kuniacha kwani zile pande nne nilizokuwa nikizipiga kikamilifu zilimfanya kuhisi kwamba sasa alikuwa mwanamke kamili aliyetakiwa kuridhishwa na mwanaume aliyejua kumkuna kama alivyokuwa akimwacha.

    “Baby! Dont take it out...pleaseee....come on...bang me harder... harder baby...dont take it out...” alisema Levina Kizungu maneno yaliyomaanisha kwamba alikuwa kwenye hatua za Wazungu kutoka, hivyo akanikandamiza juu ya kifua chake.

    Ni ndani ya dakika kadhaa za kuning’ang’ania, Levina akatulia, nguvu zilimuisha na kubaki akiniangalia machoni huku machozi yakimtoka kama mtu aliyefiwa.

    Mchezo haukuishi hapo tu, niliuendeleza, nilikaa juu yake kwa saa moja na nusu, naye akafika alipokuwa akielekea na kukaa pembeni. Tulikuwa hoi taabani, tulibaki tukiangaliana kama mafahari yaliyotaka kupigana.

    “Baraka! You are a real man...una nguvu jamaniiiii...” aliniambia Levina.

    “Mbona nipo kawaida, inaamana unataka kuniambia hujawahi kukutana na mwanaume kama mimi?” nilimuuliza.

    “Ndiyo sijawahi, yaani umenipitiliza mpaka kituo,” aliniambia.

    “Hahaha!”

    Baada ya mapumziko mafupi Levina akaniambia kwamba alitaka kuondoka kwani muda ulikuwa umeenda sana, giza lilikaribia kuingia. Nikaenda kumtengea maji bafuni akaoga, alipotoka bafuni akajiandaa kisha nikamsindikiza mpaka kituoni ambapo alipanda daladala na kuondoka zake.

    Nilirudi chumbani kwangu, nikaenda kuoga na kujipumzisha. Kichwa changu kikaanza kukumbuka baadhi ya mambo niliyoyafanya na Levina siku hiyo, kiukweli nilikuwa mwingi wa furaha.

    ***

    Levina hakuwa ndiyo msichana wangu wa kwanza kuingia ndani ya chumba changu. Alikuwa kama amenifungulia mlango wa kuanza kuingia wasichana wengine wengi ambao mwanzoni niliogopa kuwaleta. Kila msichana niliyemuingiza ndani ya chumba hicho hakuwa akitoka salama, niliwachinja wote.

    Ni ndani ya wiki mbili tu tangu nilipotoka kufanya mapenzi na Levina nikawa nimewaingiza wasichana sita.

    Tukio hilo liliwafanya majirani zangu wanishangae, hawakutaka kuamini kile walichokuwa wakikiona kwamba Baraka mimi niliyekuwa muoga wa wanawake, mpole kupindukia eti! Ilikuwaje mpaka nikawa natembea na wanawake wote kiasi hicho.

    Katika kipindi hicho tayari wapangaji kama vile Nyemo, mume wa Atuganilie. Mzee Saidi, mume wa Mama Latifa. Noel, mume wa Nurath. Ally, mume wa Subira. Omary, mume wa Zuhura na Jafari ambaye ni mume wa Zaituni walianza kuogopa na kuhisi kwamba baada ya kutembea na wasichana hao ningehamia kwa wake zao.

    Hilo liliwatisha kiasi kwamba ilibidi waende kunishtakia kwa Baba mwenye nyumba ambaye hakuwa akiishi mahali hapo. Baba mwenye nyumba alikuwa akijulikana kwa jina la Mzee Mwidini. Alipopewa mashtaki na wapangaji hao ilibidi anifuate na kuniuliza.

    “Umefanya nini Baraka?” aliniuliza Mzee Mwidini huku akionekana kuwa na jazba.

    “Kwani kuna nini Mzee wangu?” nilimuuliza.

    “Mbona wapangaji wenzako wanawalalamika, wanasema umekuwa na tabia mbovu, unabadilisha wanawake. Hii nyumba umeigeuza gesti?”

    “Hapana mzee wangu, unajua sio kila msichana ninayeingia naye humu ndani au ninayetembea naye huko barabarani ni mpenzi wangu, wengine ni marafiki zangu,” nilimwambia.

    “Kwahiyo wapangaji wenzako wanakusingizia sio?”

    “Mimi sijui mzee wangu.”

    “Halafu nimeambiwa unatembea na wanawake sita kweli Baraka? Astaghafilulah! Hukuwa hivi wewe kijana, ulipokuja hapa ulikuwa mpolee.”

    “Hapana mzee wangu.”

    Kazi ya kuzungumza na mwenye nyumba huyu ambaye tayari alishaambiwa kila kitu nilichokuwa nikifanya haikuwa rahisi, nilizungumza naye na kuzungumza naye mpaka nikaamua kumpa kiasi kidogo cha pesa ndipo hapo alipopoa na kunionya kwamba nisirudie tabia hiyo mbaya ambayo kidini ni dhambi kubwa mno.

    “Sawa mzee wangu, nimekuelewa,” nilimwambia.

    “Sawa mimi nakwenda,” alisema mzee huyo na kuondoka zake.





    Huo haukuwa ndiyo mwisho wa Mzee Mwidini kupewa malalamiko na majirani juu ya tabia yangu hiyo ya kubadilisha wasichana kama nguo. Alikuwa akiniita mara kadhaa na kunionya vikali mno, aliniambia mambo mengi sana na kwa kuwa alionekana kuwa ni Mzee aliyeifahamu sana dini ya Kiislamu hakuacha pia kunihusia juu ya Imani.

    “Mwenyezi Mungu hapendezwi na tabia hii, badilika kijana,” aliniambia.

    “Mimi mbona sina tatizo Mzee?”

    “Hawa majirani zako hawawezi kukusingizia, nimekwambia jirekebishe lasivyo utahama kwenye hii nyumba,” aliniambia kwa ukali.

    “Duh! Yamefikia huko Mzee wangu,” nilimwambia.

    “Ndiyo,” aliniambia.

    Licha ya Mzee Mwidini kunionya vikali mara kadhaa mpaka kufikia hatua ya kunitishia kunifukuza katika nyumba yake kama nisipojirekebisha lakini sikuacha tabia yangu.

    Nilikuwa kama dungadunga, nilikuwa mlevi wa wanawake, kila mwanamke niliyemuingiza ndani ya chumba changu na kumlaza kitandani nilijua kumkunja. Nilijua ni kwa jinsi gani ambavyo nilitakiwa kumpelekea moto aliyotastahili na kumfikisha safari yake aliyokuwa akitaka kwenda.

    Mpaka kufikia muda huo walikuwa wamebakia wapangaji sita tu! ambao nilikuwa bado sijatembea nao. Nilijua kuutumia ulimi wangu vizuri, nilijua kucheza na akili zako na mwisho nilifanikiwa kulala nao wote kwa asilimia mia moja. Wakati mwingine walihitaji kurudia mchezo, sikuwa na choyo, walichokuwa wakikihitaji ndicho hicho ambacho niliwatimizia.

    Lilikuwa ni jambo gumu kwa mtu kuweza kuamini kama nilitembea na wapangaji wote katika nyumba hiyo. Lilikuwa ni jambo gumu sana na mtu ungeweza vipi kuamini au kukubaliana na jambo hilo wakati nilionekana kuwa na sura ya kipole? Jinsi nilivyokuwa nikionekana mtakatifu hata ukiambiwa jambo baya lolote nililolifanya usingeweza kuamini.

    Kila siku Mzee Mwidini alikuwa akipewa kesi zangu lukuki, mpaka kufikia wakati huo wanaume hao ambao walikuwa wakienda kunishtakia kwa baba mwenye nyumba huyo hawakujua kama nilitembea na wake zao, wote walikuwa wakihofia usalama wa ndoa zao na kuamini kwamba kama ningemaliza kutembea na wasichana wa nje basi ningehamia ndani na kutembea na wake zao.

    Mzee Mwidini aliishia kunionya na kunitishia kunifukuza. Unafikiri angafanya nini mbele ya pesa? Alipokuwa akija kwa jazba nilijua kumtuliza kwa maneno yangu ya kipole pamoja na kumpa kiasi cha pesa. Huo ndiyo udhaifu niliyoutumia kwa baba mwenye nyumba huyu ambaye na yeye alionekana kuwa mswahili tu.

    “Hawa wapangaji hawanipendi, wanataka nihame katika hii nyumba,” nilimwambia Mzee Mwidini huku nikionyesha sura ya kipole.

    “Una uhakika?” aliniuliza.

    “Ndiyo maana haiwezekani kila siku waje kunishtakia, kwanini wasinifuate na kuniambia mwenyewe.”

    “Lakini ni kweli.”http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Mzee nadhani unanijua vizuri hivi mimi kweli naweza kufanya kitu kama hicho?”

    “Hapana.”

    “Sasa utaamini vipi maneno ya kuambiwa?”

    “Hapa ili tupate suluhisho itabidi niitishe kikao na wapangaji wote, kila mtu aseme kile kinachomkera katika nyumba hii na nitajua nini nifanye.”

    “Bora…tena bora ufanya hivyo mzee wangu, kila mtu awepo siku hiyo.”

    “Lini upo free.”

    “Mimi kuanzia jumamosi siende kazini mzee wangu, nitakuwa nyumbani.”

    “Basi sawa itabidi kikao nikiweke siku hiyo hata hivyo naona itakuwa vizuri maana kila mtu yupo.”

    “Sawa hakuna shida mzee wangu,” nilimwambia.

    Mzee Mwidini aliponiambia kuhusu kuweka kikao cha wapangaji wote nilionekana kukubaliana naye kwa asilimia mia moja lakini kiukweli nilishtuka, niliamini endapo kama angeweka kikao hicho basi siku hiyo ningeumbuka kwani siri zangu zote zingefichuka.

    Niliogopa, nilijua kwamba nilikuwa sina ujanja na kama ni mwizi basi hiyo ndiyo ilikuwa arobaini yake.

    ***

    Hatimaye siku ya Jumamosi ilifika, Mzee Mwidini akaweka kikao na wapangaji wote huku na mimi nikiwa ni miongoni mwao. Kikao kikaanza huku nikionekana kuwa kimya muda wote, sikuzungumza kitu chochote maana kila mtu alionekana kuwa na jazba siku hiyo, kila aliyeulizwa kuhusu mimi alisema kwamba alitaka nifukuzwe.

    “Baraka unalipi la kusema hapo?” aliniuliza Mzee Mwidini kisha akanipa nafasi ya kujieleza.

    “Mimi nashangaa wanavyosema nimekuwa Malaya, wakati nipo bize na kazi zangu hayo yote wanayoyasema ni uwongo mtupu,” nilisema kisha Mzee Saidi mume wa Mama Latifa akadakia.

    “Huyu ni mwongo, yaani katika wavulana vicheche katika mtaa huu basi Baraka ndiyo anayeongoza, halafu humu ndani tunaishi na wake zetu unafikiri akimaliza kula vya nje atawaacha salama wake zetu kweli?” aliuliza Mzee Mwidini kisha Nyemo na yeye akaingilia.

    “Mimi naona aonywe tabia yake hii na kama akishindwa kujirekebisha afukuzwe,” alisema Nyema.

    “Naam, ni sawa kabisa,” alisema Ally huku akimuangalia mke wake Subira.

    “Mzee Mwenzangu mimi naona ulisimamie jambo hili, chukua hatua,” alisema Mzee Kibunduki mume wa Anitha ambaye wiki moja ilipita tangu nilipolala naye.

    Wakati wa malalamiko uliendelea kushika hatamu yake, kila mtu alijua kuzungumza siku hiyo. Kitu cha ajabu wanawake wote walikuwa kimya, hakukuwa kuna mtu aliyethubutu kufungua mdomo wake na kuzungumza kitu.

    Tukio hilo likaonekana kuwa ushindi kwa upande wangu, licha ya kwamba wapangaji wote walionekana kunishambulia kwa maneno huku wakitaka nifukuzwe lakini nilijua kuwakana. Lawama zote walizonipa nilijua ni kwa jinsi gani nilitakiwa kuubuni uwongo ambao ungewamaliza na kumfanya mwenye nyumba kuniamini na kubadilisha mawazo yake.

    Mwisho kabisa Mzee Mwidini alitoa kauli yake ya mwisho, alisema kwamba malalamiko aliyasikia na ili kuumaliza mzozo ule alichoamua kukifanya ni kunionya mbele ya wapangaji wote na kuniambia kama angepewa malalamiko tena na wapangaji yake basi huo ndiyo ungekuwa mwisho wangu wa kuishi katika nyumba hiyo.

    Kila mtu akaonekana kufurahishwa na maneno ya mwenye nyumba huyo. Nilitabasamu kwani nilifahamu kwamba mpaka kufikia muda huo nilifanikiwa kutembea na wapangaji wote hivyo hata kama ingetokea nikafukuzwa tayari ningekuwa nimeacha heshima kubwa na historia kwa wanawake wote kama mwanaume rijali.

    ***

    Siku iliyofuata ilikuwa ni siku ya jumapili, nilitulia chumbani kwangu huku nikijaribu kuziangalia picha za wanawake ambao nilitembea nao. Hii ilikuwa ni desturi yangu. Niliendelea kutulia chumbani kwangu huku macho yangu yakiendelea kutalii katika picha za wanawake hao.

    Kichwa changu kilikuwa na mawazo kwa wakati huo, hakukuwa kuna kitu kingine nilichokuwa nikikifikiria zaidi ya wanawake, kwa wakati huo nilikuwa nikimfikiria msichana, Haytham ambaye nilimtongoza lakini hakunipa majibu yoyote mpaka kufikia muda huo.

    Akili yangu ilichanganyikiwa, nilimfikiria sana Haytham, niliukumbuka uzuri wake, yaani kila kitu chake.

    Sikutaka kuendelea kumfikiria zaidi na wakati namba yake ya simu nilikuwa nayo, nilichoamua kukifanya ni kuichukua simu yangu na kuamua kumpigia. Ajabu ni kwamba namba yake ilikuwa haipatikani, nilihisi labda mtandao ulikuwa ukisumbua, nikarudia kumpigia tena lakini bado ilikuwa haipatikani.

    Nilizidi kuchanganyikiwa vibaya mno. Akili yangu iliwaka kinoma. Nikahisi labda simu yake ilikuwa imeisha chaji na hivyo aliizima na kuiweka chaji kwa muda.

    Ndipo hapo ambapo niliamua kuingia WhatsApp na kuangalia picha ambayo alikuwa ameiweka profile. Ajabu alionekana kuwa online. Nilishangaa!







    Haraka sana niliamua kumuandikia ujumbe na kumtumia Haytham, hapa ni baada ya kuona maneno aliyokuwa ameyaandika status. Ujumbe huo ulionyesha kupokelewa lakini sikuona akiandika na kunijibu lolote.

    Nilizidi kuwa ni mwenye mawazo sana, sikujua ni kitu gani kilitokea kwa wakati huo, kitendo cha Haytham kutokunijibu ujumbe wangu hakika kiliniumiza sana moyoni. Nilikwazika kiasi kwamba mpaka nikaanza kujiuliza ni kitu gani kilitokea lakini sikuweza kupata jibu kwa muda huo.

    Masaa yalienda, mpaka kufikia majira ya saa mbili za usiku ndipo nilipopigiwa simu na namba ngeni, niliitazama namba ile kama muda wa sekunde kadhaa, wakati huo nilikuwa nikijaribu kuikumbuka ilikuwa ni namba ya msichana yupi ambaye nilitembea naye na kumuacha. Nilikumbuka na kukumbuka lakini sikuweza kupata majibu mwisho ilibidi nipokee.

    “Hallo samahani naongea na Baraka?” sauti upande wa pili iliniuliza, ilikuwa ni sauti ya msichana.

    “Yeah…tha’s me,” (Yeah...ndiye mimi) nilijibu huku nikiwa makini kusikiliza.

    “Okay…mimi ni dada yake na Haytham naitwa Mulham,” aliniambia.

    “Haytham…Haytham…okay niambie kuna nini mbona umenipigia simu wewe?”

    “Kuna matatizo yametokea.”

    “Matatizo?”

    “Ndiyo Baraka kuna tatizo limetokea jioni hii.”

    “Tatizo gani?”

    “Ni kuhusu Haytham…” alisema kisha akasita kidogo kuendelea kuzungumza. Nikahisi labda simu ilikuwa imekatwa.

    “Hallo Hallo,” nilisema huku nikiwa naitazama simu mara mbilimbili kuona kama ilikuwa imekatwa.

    “Nakusikia,” alijibu Mulham.

    “Haytham amefanyaje tena?” nilimuuliza Mulham lakini badala ya kunijibu nikaanza kumsikia akilia kwa wakati huo.

    “Unalia nini? Mbona unanitisha sasa? Nini kimemtokea Haytham au amefariki?” nilimuuliza maswali mfululizo.

    “Baraka…Haytham amekunywa sumu,” aliniambia.

    “Kisa nini hebu nieleze vizuri,” nilimwambia lakini ilikuwa ni kama nimemtonesha kidonda, nikamsikia akianza kulia kama mtoto mdogo.

    “Usilie tafadhali hebu niambie kwanini amekunywa sumu?” niliendelea kumuuliza huku nikimtaka anyamaze kwa wakati huo.

    “Hata sisi wenyewe hatuelewi nini kimemsababisha mpaka akanywa sumu, alijifungia mlango chumbani kwake kwenye mida kama ya saa kumi jioni tukasikia akipiga kelele, ikatulazimu kuuvunja mlango na ndipo hapo tulipomkuta akilalamika kwamba tumbo lilikuwa linamuuma. Hivi sasa tumemleta hapa hospitali ya Muhimbili anaendelea kufanyiwa matibabu,” aliniambia Mulham kisha akaendelea.

    “Niliona chatting zako kwenye simu yake nikaamua kuchukua namba yako, nilihisi utakuwa ni mtu wake wa karibu,” aliniambia.

    Kwa jinsi Mulham alivyokuwa akiniambia kwamba mdogo wake Haytham aliamua kunywa sumu na wakati huo walikuwa hospitali ya Muhimbili ambapo Haytham alikuwa akiendelea kupatiwa matibabu nilishtuka sana. Ni katika wakati huo ambapo nilianza kuyakumbuka yale maneno ambayo Haytham aliyaandika na kuyapost kwenye status. Maneno hayo aliyaandika kwa kingereza na yalimaanisha kwamba alikuwa akiyachukia mapenzi na hakuwa na furaha ya yeye kuendelea kuishi hapa duniani na hivyo alitamani kufa.

    “Inamaana Haytham ameamua kunywa sumu kwasababu ya kuumizwa kimapenzi?” nilijiuliza lakini sikutaka kukubaliana na hilo, msichana mrembo kama alivyokuwa yeye asingeweza kuthubutu kunywa sumu na wakati kulikuwa kuna wanaume lukuki waliyokuwa wakimuhitaji.

    “Nashukuru kwa taarifa, umesema mpo hapo Muhimbili?” nilimuuliza.

    “Ndiyo,” alinijibu.

    “Okay nakuja sasa hivi,” nilimwambia kisha nikakata simu.

    Mpaka kufikia muda huo mwili wangu wote ulikuwa umeloa jasho, mapigo ya moyo yalikuwa yakinienda kasi vibaya mno. Nilihisi kuchanganyikiwa, sikujua nini nilitakiwa kufanya. Nikainuka kitandani nilipokuwa nimejilaza kwa wakati huo na kuanza kujiandaa kwa safari hiyo ya kuelekea katika hospitali ya Muhimbili. Nilipomaliza kuvaa nilitoka na kuelekea katika hospitali hiyo.

    Nilipofika hospitalini nilimpigia simu Mulham na kumuuliza mahali alipokuwepo, akanielekeza kisha nikamfuata moja kwa moja mpaka kwenye wodi aliyonielekeza.

    “Poleni sana kwa matatizo,” niliwaambia kwa ujumla na kuwasalimu watu wote niliyowakuta wamekaa nje ya wodi aliyokuwa amelazwa Haytham.

    Miongoni kati ya watu niliyowakuta wamekaa nje ya wodi hiyo, alikuwa ni Mama yake Haytham pamoja na Baba yake ambapo Mulham alinitambulisha kwa wazazi wake kuwa nilikuwa ni rafiki yao mkubwa sana. Wote walionekana kutawaliwa na huzuni kubwa, hali hiyo ikazidi kunisikitisha.

    Baada ya kupita dakika kadhaa nilimwambia Mulham tusogee pembeni kwa lengo la kuzungumza, wakati huo machozi yalikuwa yakiendelea kumbubujika mashavuni mwake, nikamwambia asilie.

    “Hebu niambie vizuri nini kinachoendelea?” nilimuuliza kwa sauti ya chini kidogo.

    “Kiukweli mpaka kufikia muda huu hajui nini kinachoendelea isipokuwa madaktari wametuambia kwamba tuendelee kusubiri ndiyo wanajaribu kuyaokoa maisha yake,” aliniambia Mulham huku akionekana kutawaliwa na huzuni kubwa.

    “Dah!”

    “Ndiyo hivyo.”

    “Ila usijali Haytham atapona, najua anapitia kipindi kigumu sana cha maumivu lakini atakuwa sawa,” nilimwambia Mulham maneno yaliyomshtua kidogo.

    “Ni kweli?”

    “Unajua wakati mwingine siamini hiki kilichotokea, masaa kadhaa yaliyopita nilitumia ujumbe WhatsApp lakini hakujibu, nilihisi labda kulikuwa kuna tatizo lakini sikuweza kuthibitisha hilo. Uliponipa taarifa hii kiukweli imenishtua mno,” nilimwambia lakini kabla sijamaliza kuzungumza simu yangu ikaanza kuita. Nipoangalia mpigaji alikuwa ni Levina, nikasogea pembeni kidogo na Mulham kisha nikapokea.

    “Hallo,” nilisema kwa sauti ya chini.

    “Hallo Baraka uko wapi?”

    “Niko nyumbani.”

    “Nimekumisi sana Baraka nataka nije nyumbani kwako ikiwezekana nilale kabisa.”

    “Ulale?”

    “Ndiyo kwani kuna nini? Mbona kama umeshtuka hivyo?”

    “Hapana sijashtuka ila nimetoka mara moja.”

    “Umeenda wapi inamaana kumbe haupo nyumbani?”

    “Kwani wewe uko wapi?”

    “Niko hapa Magomeni Kanisani, nakusikiliza vipi nije kwako maana nyumbani nimeaga kwamba naenda kwenye birthday ya rafiki yangu hivyo siwezi kurudi mpaka kesho.”

    “Wee Levina acha masihara.”

    “Masihara ya nini sasa wewe niambie nije au nisije?”

    “Duh! nipo mbali na nyumbani sasa.”

    “Mbali wapi?”

    “Muhimbili.”

    “Muhimbili?”

    “Ndiyo.”

    “Kuna nini?”

    “Kuna mgonjwa nimekuja kumuangalia mara moja ila sitakaa sana narudi sasa hivi nyumbani kama vipi wewe tangulia unapakumbuka?” nilimuuliza kisha nikamsikia akianza kucheka.

    “Mbona unacheka?”

    “Baraka unapenda chini sana, yaani nimekwambia nataka kuja nyumbani kwako tayari umechanganyikiwa, nimekudanganya bwana mimi nipo zangu nyumbani nilikumisi tu nina muda sijaongea na wewe,” aliniambia Levina kisha akaendelea kucheka kwa sauti kubwa.

    “Levina acha upumbavu kuna muda sio wa utani unajua,’ nilimwambia kwa sauti ya ukali.

    “Nisamehe Baraka,” aliniambia kisha nikakata simu na kurudi kwa Mulham. Tuliendelea kuzungumza kwa dakika kadhaa na baadaye tukarudi kukaa kwenye benchi ambapo tuliendelea kusubiri majibu.

    Baada ya kupita dakika kadha daktari aliweza kutoka katika chumba kile alichokuwa amelazwa Haytham. Akawaita ndugu wa karibu wa Haytham kisha Mama na Baba yake wakainuka na kuanza kuongozana na daktari huyo mpaka pale walipoingia ofisini.

    Hapo kwenye benchi nilibaki na Mulham. Hofu ilikuwa imemtawala, muda wote alikuwa akitetemeka, mpaka kufikia muda huo hatukujua ni nini kilichokuwa kikiendelea kwa Haytham.



    http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Baada ya kupita dakika kadhaa wazazi wa Haytham walitoka katika ofisi ya daktari huyo. Majibu waliyopewa na daktari yalionyesha kwamba Haytham alikuwa akiendelea vizuri na kwa muda huo alitakiwa kupumzika kwani alikuwa bado hajarudiwa na fahamu zake. Kwa maana hiyo siku iliyofuata ndiyo siku ambayo angeweza kupatiwa ruhusa ya kuondoka hospitalini hapo. Hilo halikuwa tatizo, tuliomba kumuona mgonjwa akiwa katika hali hiyo, tukaruhusiwa kumuona na baada ya hapo niliondoka zangu huku nikiwaahidi wazazi wa Haytham pamoja na Mulham kwamba tungeendelea kuwasiliana katika kila hali iliyokuwa ikiendelea.

    ***

    Levina alichanganyikiwa na mapenzi yangu vibaya mno, hakutaka kuamini kama alikutana na mwanaume mwenye uwezo mkubwa wa kufanya mapenzi kwa dakika zote tisini bila kuonyesha uvivu.

    Baada ya kupita siku kadhaa tangu siku ile aliyonipigia simu usiku na kunidanganya nilipokuwa hospitali (Nilipoenda kumuona Haytham) nilimnunia.

    Tangu siku hiyo sikumtafuta tena, sio kwamba nilikasirika la isipokuwa ndiyo ilikuwa kawaida yangu, sikuwa mtu wa kuweka kambi kwa msichana.

    Kitendo cha kutomtafuta Levina kwa siku kadhaa wala kutojibu meseji zake kwa wakati alikitafsiri kwamba nilikasirika na hivyo alihitaji kuniomba msamaha.

    “Baraka nielewe basi mpenzi,” aliniambia Levina wakati nilipokuwa nikizungumza naye kwenye simu.

    “Nikuelewe nini Levina?” nilimuuliza huku nikijifanya kama sielewi ni kitu gani kilichokuwa kikiendelea kwa wakati huo.

    “Nisamehe nilikuwa katika utani,” aliniambia.

    “Sawa nimekuelewa,” nilisema kisha nikakata simu.

    Nilikata simu kwa makusudi, nilijua Levina asingeweza kuvumilia tukio hilo likitokea na hivyo aliamua kunipigia simu kwa mara nyingine.

    “Mbona unanifanyia hivyo Baraka?”

    “Nimefanya nini tena?”

    “Unanikatia simu jamani.”

    “Oooh! Kwani mazungumzo yalikuwa hayajaisha tu?”

    “Baraka usiwe hivyo pleaseee nakuomba.”

    “Sawa nimekuelewa.”

    “Nikuombe kitu?”

    “Yeah…”

    “Naomba kukuona.”

    “Lini?”

    “Wikiendi hii.”

    “Sawa haina noma,” nilimwambia.

    Nilikuwa huru kuzungumza jambo lolote lile kwa Levina kwasababu tayari alionyesha kunipenda kupita kawaida. Wikiendi hiyo ambayo aliniambia kwamba alitaka tuonane, tulionana kisha tukafanya mapenzi. Ukumbuke Levina sikuwahi kumtongoza kabisa ila nilimfanyia visa na figisufigisu za kila aina mpaka mwisho wa siku akajikuta amenasa kwenye ulimbo wangu na ilikuwa ni vigumu kujinasua.

    Mchezo hukuishia hapo tu, nilijua kwamba mbele yangu nilikuwa na kazi kubwa ya kutembea na Haytham msichana ambaye alinisumbua sana kuliko wasichana wote niliyowahi kutembea nao katika maisha yangu.

    Baada ya kupita kipindi fulani tangu aliporuhusiwa hospitalini sikuacha kutupia ndoano zangu, kila siku ilikuwa ni lazima niwasiliane naye na kumwambia vile vilivyokuwa nikimpenda na kumuitaji zaidi na zaidi.

    Kwa Haytham lilikuwa ni jambo gumu mno kutokea, hakuwa mwepesi kunikubalia kwani moyo wake uliumizwa mno. Nilitumia muda mwingi, nilimdanganya sana, nilifanya unafki wa kila aina mpaka mwisho wa siku nikafanikiwa kufanya naye mapenzi. Katika kuonyesha ujogoo wangu kwa Isack ambaye mpaka kufikia muda huo alishindwa kulala na Fetty, kila siku alikuwa akiambulia ahadi za uongo. Niliamua kutembea na Mulham, dada yake na Haytham.

    Niliendelea na tabia yangu ya kutembea na wanawake wa kila aina. Mpaka kufikia muda huo tayari nilikuwa nimetembea na wanawake wanene, wembamba, warefu, wafupi, weusi, weupe, waswahili, wahindi, waarabu wenye kila aina ya mvuto.

    Baada ya kupita kipindi fulani kutokana na tabia yangu hiyo ya MCHACHUKO yaani kubadilisha wanawake kila siku, nilianza kuwa gumzo mtaa mzima wa Tandale.

    Ni katika kipindi hicho nilianza kuugua mno tena maradhi ya mara kwa mara, nilikuwa nikikohoa sanjari na kupungua mwili.

    Kufuatia maradhi hayo sanjari na homa za mara kwa mara, niliamua kwenda hospitali kupima damu ambapo majibu ya daktari yalibaini kwamba nilikuwa nimeambukizwa virusi vya Ukimwi.

    Nilipopewa majibu hayo nilishtuka! Sikutaka kuamini kile nilichokuwa nikiambiwa, nilihisi kama nilikuwa katika usinginzi wa ndoto.

    “Unasemaje dokta?” nilimuuliza daktari huku nikiwa siamini majibu hayo aliyonipa.

    Daktari huyo hakuzungumza chochote zaidi ya kuanza kunipa ushauri na jinsi ambavyo nilitakiwa kuishi kwa matumaini.

    Kiukweli ninajisikia vibya mno kila nikikumbuka, siamini hiki kilichonitokea katika maisha yangu. Leo hii Baraka niliyesifika kwa sifa ya MCHACHUKO kila kona naishi na virusi vya ukimwi.

    Hii ni hukumu ambayo nastahili kuhukumiwa, ni mengi nimeyafanya katika maisha yangu, nimeutumia ujana wangu vibaya. Nimetembea na wasichana lukuki ambao mpaka leo hii nilipoamua kuokoa na kumtumikia Mungu kwa nguvu zote sijui ni msichana yupi aliyeniambukiza.

    http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Ushauri wangu: Asilimia kubwa ya sisi vijana tunapenda kufanya mapenzi bila kujali kazi na kumkumbuka Mungu katika kila jambo tunalolifanya hapa duniani. Vijana wenzangu, tusiendekeze sana ngono bila kujali kazi na kumkumbuka Mungu.

    Kama mpaka muda huu bado una nguvu na u mzima wa afya mshukuru sana Mungu. Fanya kazi, amini katika imani yako kwani ndiyo pekee itakayoyabadilisha maisha yako kama ukiamua kupambana.



    MWISHO.




0 comments:

Post a Comment

Blog