
Chombezo : Nipe Bhana Sehemu Ya: Tano (5)Mbaya zaidi hata wasimamizi waliokuwa wakifanya kazi pale hawakuruhusiwa kutoka. Walitakiwa kukaa pale mpaka watakapofikia umri wa kushindwa kufanya kazi. Hapo ndipo walipodungwa sindano iliyokuwa na dawa yenye uwezo wa kuharibu kumbukumbu zao. Wengi walitoka pale wakiwa wamechanganyikiwa.Siku...