Chombezo : Jirani Tam Tamuu
Sehemu Ya: Pili (2)
"Nzuri mme wangu,"
Nilimsogelea ili nimtoe kitambaa nihakikishe kama ndiye mke niliyekusudia,,"
Nilivuta kitambaa juu nikakutana na sula ya Zahara,
Like ndio itakayo leta mwendelezo.
Nilishituka kukutana na uso kwa zahara,,
"Haaa... kulikoni wakati nimemchumbia nasira,"
"Unasemaje seif?."
"Nilimchumbia nasira,"
"Mbona mnataka kunichanganya au mlipanga kunitia haibu?."
"Siyo hivyo Zahara mimi nilitoa posa kwa ajiri ya nasra,"
"Kwanini lakini....kwann?."
Alinyanyuka kitandani akachukua kisu kilichokuwa kwenye meza iliyokuwa na keki,,
"Bora kufa tuu"
"Zahara acha usifanye hivyo mamaa eeeh..."
Ilibidi kumbembeleza maana hali ilikuwa tete,,"
"Seif hii ni aibu kama ulimchumbia nasra iweje niambiwe mimi?."
"Unajua Zahara hii yote ni mipango ya mungu siyo ya watu mungu huenda aliniandalia wewe katika maisha yangu,"
"Seif huwezi kunipenda kwa sababu hukunipenda mimi,"
"Achana na hayo nakupenda ila nilikuona wewe ni wa matawi ya juu,"
"Seif yaani..."
Nilimkata kauli,,
"Tuyaache hayo tuonge mengine,,
Ama kweli dunia hadaa walimwengu shujaa nilichezewa chenga ya mwili nikabaki nimeduwaa kama zahara angekuwa mchezaji basi angekuwa Ronaldinho maana chenga aliyonichezea ilikuwa ni ya hatari,,
"Mke wangu nakupenda sana,,"
"Hata mimi mume wangu,"
"Inabidi mambo yaende fasta maana tunaondoka na ndege ya saa tatu usiku,
"Sasa hv ni saa moja usiku,"
"Tutaondoka hapa saa mbili,,"
"Sawa,"
Niliongea mengi na zahara baada ya nusu saa tulitolewa nje ili kuwaaga watu walioudhulia katika hiyo harusi,,
************
Tulipewa zawadi nyingi sana zikiwemo pesa yaani kwa macho yangu niliona zile pesa nilizopewa zinaweza kuzidi hata pesa niliyotumia,,
Macho yangu yaliangaza huku na kule kuona kama nitamuona Nasra ila sikumuona roho iliniuma sana kwani nilihisi nimejidhulumu kuoa mwanamke ambae si kusudio langu,,
Niliomba kwenda uwani (chooni) ili kuona kama nitampata nasra,
Nilienda chooni nikiwa na Chande rafiki yangu,
"Seif haka kamchezo walikotuchezea ni kakimataifa,"
"Inaniuma sana,"
"Pole mtu wangu, ila jaribu akikushindwa unatwanga taraka"
"Asante kwa ushauri ila jua kuacha kugumu."
Nilpofika maeneo ya chooni nilishangaa kumuona msichana akiwa anaosha vyombo,
"Chande nasra yule pale,"
"Haa ni yeye bwanaaa..."
Nilimkimbilia huku moyo ukisema huyu ndie nimpendae mimi Zahara ataniona mbaya leo.....
Nilimfika yule dada nikamshika mgongoni akashituka,
"Nini wewe kaka??."
"Nasra.."
"Mimi siyo nasra.."
Nilimuangalia chande,"
"Seif huyo siyo nasra,"
"Na mimi nimeona,"
"Dada nasra yuko wapi?."
"Nasra alitoroka baada ya kuambiwa kuwa hataolewa ataolewa Zahara,"
"Kwani yeye alijuwa kuwa ndie nitakayemuowa?."
"Ndio alijuwa maana taarifa alipewa kuwa amechumbuwa na akapelekwa kufundwa ila akiwa huko akaambiwa kuwa kibao kimebadilika hataolewa yeye bali ataolewa Zahara,"
"Mh!!!.... ni lazima ajihisi vibaya kweli hakutendewa haki,"
"Dada mbona unafanana na Nasra?."
"Ni mdogo wangu kwa mama mmoja tulizaliwa wawili ila mama yetu alifariki baada ya kufariki nasra akachukuliwa na huyu baba yake na mimi nikabaki peke yangu bila wazazi kwani baba yangu alifariki kitambo baada ya maisha kuwa magumu nilikuja hapa kuomba hifathi ndio nikapewa kazi za ndani,"
"Pole sana dada,"
"Asante.."
"Chande vp turudi,"
"Poa,"
"Dada kwaheli ila huyo Nasra alienda wapi?."
"Alienda dar es salaam,"
"Anapatikana maeneo gani?.
"Kimara..."
"Nipe namba zako,"
"Hz hapa,, 078*4*5875,"
"Poa kwaheli?."
Tulirudi sehem zetu kila mmoja akaendelea na shuguli zake,
"Mme wangu mbona umechelewa?."
"Nilikuwa nateta jambo na chande kuhusu usafiri kule dar es salam,
"Ok."
Mda wa kwenda uwanja wa ndege ulifika tukaianza safari ya kwenda air port,,
Tulifika tukajipakia ndani ya ndege na safari ya kurudi dar ikaanza,,
*************
Tuliingia dar usiku tukakuta ndugu na jamaa wamekuja kutupokea ilikuwa ni furaha sana kwani walikuwa ni wengi sana,
"Karibuni jamani karibuni sana,,"
"Asanteni sana tena sana,,"
Tulichukuliwa mpaka sehemu nilikopangishiwa nyumba kisha wote wakarudi makwao,,
"Zahara karibu sana,,"
"Asante mme wangu,"
Nilitoka nikaenda sebuleni kuangalia mazingira na kuangalia choo nilifurahia mazingira ya pale kwakeli,,
Nilirudi ndani nikampeleka mke wangu kuoga,
"Bafu ndio hiyo kila kitu kimo,"
"Asante,"
"Au nije nikusugue?."
"Mh!!!.. ha...p...ana,,"
Alijibu kwa aibu sana.
Nilirudi chumbani kumsubili mpaka pale alipomaliza kuoga akarudi chumbani,
Na mimi nilienda nikaoga baada ya kumaliza na mimi nikarudi chumbani,,
"Mke wangu nakupenda na safari yetu ya maisha imeanzia hapa,"
"Ndio mme wangu nakuahidi kuvulia kwa kila hali,"
"Sawa,,"
Nilimshika kiunoni nikaanza kumpapasa papasa kama unavyojua mapenzi yanaanza kwa kuvuta hisia za mwenzako,,"
"Se...iif na...o...m..b..a,,"
Aliongea kwa kutetemeka,,
"Unaomba nini?."
"Uni...ache.. nipumzike mpaka kesho,,"
"Mh!!!... hata theruthi tu..."
Niliongea huku nikiwa napeleka mdo kwenye titi lake la upande wa kushoto,,
"Se...iif ja...ma..ni,"
Mambo yalinoga baada ya kunyonya titi lake la upande wa kushoto,
"Se...iif...axiii......ayiiii..."
Mtoto alizidi kunoga kama kisavu kilichotwangwa na mmsai,
Japo hakuwa chaguo la moyo wangu lakini mtoto alikuwa mzuri umbo zuri macho matam ngozi ya orange ilikuwa nyororo raini kama asali,
ZAhara alikuwa bado ana usichana wake namaanisha bikira,
niliemdelea kumsogeza kwenye ulingo wa dhahabu ili tuweze kungaa,,
"Zahara nakupenda sana, "
"hata mimi nakupenda seif,,"
Nilipeleka mkono kwenye tundu la madini ili na mimi ningae,
Waswahili wanasema ukishika mpini mimi nashika makali ila wenzentu wa nchi jirani ya Rwanda wanasema (kabili nago karuta rimwe) nilipenyeza kidole cha kati mpaka kwenye utam wake hapo chachaaa mtoto wa kike akasala kwa raha aliyoisikia, "seif see....if ayiiii hapoooo mh!!!!..,"
"tulia basi baby,"
"Seif na...si...kia ta...m...u..jamani ta...mu"
, nilicheze kuta za uke kama sina akili timamu hiyo yote ili nizidi kumpoteza mtoto wa kike,
nilipoona analegea nilianza kuvuta mashavu ya k*m kwa mtindo wa kupandisha ny*ng* za mtoto wa kike Zahara,
hapo palikuwa patamu zaidi Zahara alijikuta anapiga bao mbili ndani ya saa limoja na nusu, mapenzi yanahitaji mda siyo unakutana na demu masaa mawili unasema umemnyoosha aa wapi mapenzi ni manjonjo siyo kupalamia kama unapanda mti muandae mtoto wa kike kwanza unaweza kuishi na mke miaka kumi ila usimkojoleshe,
tuendelee ulikuwa ushauri....
ZAHARA alitupia mbili kabla ya mechi kuanza hapo nilipoona hivyo nilipanda juu yake walau nitafte hata kabao kamoja,,
***** *******
Hatimae palikucha maisha tukayaanza kwa pilika pilika za hapa na pale ikiwemo usafi na kupanga namna ya kuishi humo ndani,, "mke wangu mimi nitaanza kazi j'tatu,,"
"mh!!! Hata mimi pia,, "kwa hiyo nyumba itakuwa peke yake, "
"mh!! Ndio,,"
"ila haina shida tutafte pesa tu.."
"kwani mme wangu utakuwa unatoka kazini saa ngapi?."
"Saa kumi ma mbili jioni nafikia hapa nyimbani saa moja,, "sawa kwa tutakuwa tunakula chakula tu pamoja usiku ,, "
"ndio, "
"sawa, "
"kwani mke wangu utakuwa unarudi saa ngapi?. "Nikiingia usiku natoka asubuhi nikiingia asubuhi natoka saa kumi,,"
"hiyo ratiba sijaiafiki kabisa,,"
"mme wangu si unajuwa mimi ni doctor?."
"Hata kama shift ya usiku sijaiafiki,,"
"nitafanyaje sasa kama ratiba ya kazi inasema hivyo?. "
"Elewa kuwa sijaafiki tu basi sasa utajiongeza mwenyewe, nilitia biti ili nianze kumzingua ndoa imshinde mwenyewe,"Itaendeleaa........
"Mme wangu mbona mashariti ni magumu sana unajuwa kabisa kuwa kazi ya utabibu lazima kuna night na day, "
"hayo mimi siyajui fanya utakachojisikia,,"
"mme wangu?.."
"kaandae chai nahisi njaa,, "
"sawa,,"
Zahara alienda kuandaa chai huku akionekana kukasirishwa na maongezi yangu ya kutaka asifanye kazi za kuingia night (usiku),
Alitayalisha chai akanikalibisha chakula, "
"karibu chai mme wangu,"
"asante,"
Nilienda sebureni nikakaa mezani na yeye akakaa hapo mezani tukaanza kunywa chai,
"Chai tamu alafu nzito, "
"nzito kivipi?,"
"vitafuno ni vitamu,"
"ahaa nilikuwa sijakuelewa,, "
"mke wangu nakupenda sana ila nakweleza kitu kimoja siwezi kukurusu kwenda kazini shift ya usiku kwa kuwa siwezi kulala kitandani peke yangu ili hali najuwa nina mke, sikukatazi kufanya kazi ila fikiria utafanya nini ukiamuwa kwenda kazini usiku ni wewe kwa ruhusa wako sio wangu,"
"mme wangu lakini si umeniowa ukijuwa fika kuwa mimi ni doctor?."
"Ndio,"
"sasa kwanini uniwekee vikwazo?."
"Sikuowa mke ili aniache kitandani bali nimeowa mke wa kunifariji kitandani,"
"ina maana kila siku utakuwa unanihitaji kufanya mapenzi."
"Ndio,"
"hata nikiwa kwenye siku zangu?."
"Ndio, "
"eti nini?. "
"Kwani kukuhitaji mpaka nifanye mapenzi na wewe hata maongezi yanatosha, "
"mh?.. haya bana,,"
*************
Siku zilikatika hatimae siku za kuanza kazi zikafika kila mmoja akaamkia kazini,"
Nikiwa kazini chande alinitembelea, "
"vp best mbona kimya kingi sana?."
"Nipo ndugu yangu kama unavyoona niko nawajibika hapa,, "
"au wife (mke) kakubana sana?."
" Aa!.. wapi kawaida tu. "
"Sasa kuna suala nataka nikuambie kabla sijasahau,, "
"suala gani hilo tena?. "
"Pale umeisha weka mpangaji?."
"Bado, "
"kuna doctor jamaa yangu hata mkeo anamjua anahitaji nyumba,,"
"ana mke au yuko single (pekee)?. "
"Ana mke, "
"watoto wangapi?. "
"Kaoa mwezi uliiosha bado ni new (mpya) kama wewe?. "
"Sawa mwambie nyumba ipo, "
"hata leo yeye anataka kuhamia?. "
"Si unaona niko kazini hapa ndugu yangu, "
"basi atavumilia, "
"au chukua funguo mpeleke ulimwambia sebule ni ya kwangu yeye anakuwa na vyumba viwili tu?."
"Anajua,, "
"jiko, bafu na choo ni vyakuchangia,"
"hana tabu kuhusu hilo, "
"haya chukua funguo ukamuhamishe basi, "
"poa,"
Nilifanya kazi zangu mida ya saa 5:28 mke wangu akanipigia simu, "mme wangu habari ya kazi?. "
"Nzuri vp wewe?. "
"Namshukuru mungu niko poa,"
"sawa,"
"mme wangu utanipitia?."
"Wapi?. "
"Si kazini?. "
"Nitakupitia saa 06»29, jioni"
"sawa,"
Mda wa kazi uliisha nikampitia wife mpaka nyumbani, tulipoingia ndani akashituka, "
"hee mbona mlango uko wazi?. "
"Kuna watu ndani, "
"wawapi?. "
"Wapangaji, "
"mh!!.. ok."
Tuliingia ndani mke wangu akaanzia kwenda uwani (chooni) mimi niliangia nilipofika sebuleni nilikutana uso kwa uso na mtoto wa kike mzuri amejaliwa "INYE"
balaa nilimtolea jicho mpaka akashituka,,,
Wakati nikiwa nimetoa jicho kumshangaa alitokea mmewe,
"karibu kaka habari yako?."
"Nzuri mimi ndie wa kuwakaribisha karibuni mimi ni Seif jabu, "
"Nashukuru kwa kuku faham na mimi ni Dk Juma, na mke wangu hapa anaitwa shomy,"
Tukiwa tunaendelea na utambulisho mke wangu aliingia akitokea uwani,
"Ok na mimi huyu ndie mke wangu anaitwa Dk Zahara,"
"Namfaham ni dokta mwenzangu japo tuko hospital tofauti,"
"Zahara: dokta juma karibu sana,"
"asante,"
"Sawa baadae, "
"sawa kaka,"
Nilimchunguza dokta juma nikaona kamkonyeza mke wangu kiaina na mke wangu na akachia tabasamu dogodogo nililiweka kichwani nikaahidi kulifanyia kazi,
Tuliingia chumbani mimi na mke wangu tukaanza maongezi ya hapa na pale,
"Mke wangu ulifahamiana vp na doctor juma? "
Mke wangu alishituka kidogo kisha akanijibu,
"Seif mme wangu kwanini umeniuliza hivyo?. "
"Nina sababu?."
"Sababu ipi?. "
"Nataka kujua wewe nijuze kwanza,"
"mme wangu mbona hivyo lakini?."
"Kwa hiyo swali limekushinda?. "
"Siyo kwamba nimeshindwa kukujibu?."
"Ila?. "
"Nashangaa swali hilo?. "
"Basi kapike,, "
"mme wangu kwanini hivyo?."
"Nimekwambia kapike, "
Zahara alibadilisha nguo kisha akaenda jikoni baada ya dk5 akarudi chumbani,
"Karibu chakula mme wangu, "
"ina maana umeivisha?. "
"Shomy mke wa juma kasema katuweka kwenye ratiba ya chakula cha usiku,
"mh!!.. poa,"
Nilipoguna aliniangalia usoni kisha akakaa kimya ila alionesha kutofurahia mgumo wangu,,
************
Tulijumuika mezani wate kwa ajiri ya kupata chakula kwa pamoja,
"shomy: karibuni tuanze kula,
wote: "asante,"
Tulianza kula huku maongezi ya hapa na pale yakiendelea.
Seif: "kwa hiyo shomy unafaya kazi gani?. "
Shomy: "meneja NMB makao makuu,"
"hongera,,"
Shomy: "asante na wewe je?. "
Seif: "mimi pia ni meneja wa kampuni ya usafirishaji mixing kwa njia ya Anga BTS,"
shomy: "hongera sana seif kazi yako ni nzuri sana,"
Maongezi yaliendelea mpaka mida saa nne tukaahana kila mmoja akaingia chumbani na mkewe,
Tulilala asubuhi kama kawaida pilika pilika za kwenda kazini kama unavyojuwa lazima uoge, nilipoenda bafuni ile nagusa kitasa cha mlango kumbe shomy alikuwa bafuni na yeye alikuwa ananyonga kitasa ili atoke mlango ulifunguka tukakutanisha macho nilimuangalia kuanzia chini mpaka kifuani alikuwa ndani ya khanga moja tu alafu imelowa chepe chepe,
"Za asubuhi shemeji?"
Alinipa salam huku akipiga hatua kutoka mlango wa bafuni,
"nzuri za mwamuko?"
"Namshukuru mungu, "
aliendelea kupiga hatua kueleka korido ya kutokea ili aende kwake niligeuza kichwa kuangalia mkia unavyotikisika, eebwana kuna watoto waliumbwa wakaumbika, nilienda bafuni kuoga ili nielekee kazini maana na mda ulikuwa umekwenda,,
Baada ya kuoga nilitoka na mke wangu mpaka kwenye gari yangu tukaingia kwa ajiri ya kuanza safari ya kwenda kazini, "mume wangu mlango hujafunga, "si wamo ndani watu,
"wametoka si unaona gari haipo? "
"Na ile nini?. "
"Hiyo ya mkewe juma,"
nilijiuliza huyo mke wangu kajuaje gari ya juma na gari ya mwanamke wakati jana tumekuja tukazikuta zimepaki? Amefahamu vp gari ya juma?. Nilinyamanza.
"Labda mkewe yumo ndani?. "
Nilimjibu huku nikitoa gari,
"una uhakika gani mme wangu?." Nilisimamisha gari nikaenda ndani kuhakikisha, nilipofika sebuleni nilimkuta shomy akiwa amekaa kwenye sofa huku ameshika kichwa,
"shomy??.. "
"yes shemeji,, "
"kumbe upo hukatoka?. "
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment