Search This Blog

Sunday, February 26, 2023

CHEATERS: THE SERIES - 2

   

Chombezo : Cheaters: The Series

Sehemu Ya: Pili (2)


Sikutaka kumchunga Ras. Yaani ile kumkaba man to man, sikutaka kabisa. Nlitaka kucheza fair game kwa Marga. Yani hata simu ya Ras sikuigusa kabisa. Nikazidisha tu upendo, nlifanya kila kitu kwake. Nlimfulia, nlimpikia yani kiufupi nlimpa kila aina ya care. Nlitamani tu oneday anambie nihamie kwake, ila hakuwahi gusia hilo suala, na sikutaka mm nilianzishe. Ila ratiba yangu ilikua lazma kila siku niende kwake. Hata kama nitaondoka kabla hajarudi, lakini alikua anakuta chakula na nimemfanyia usafi.


Then siku moja nikapigiwa simu na dogo mmoja anaitwa Albert. namjua kuwa anafanya kazi ofisini kwa Ras, dogo akaniomba tuonane kuna issue anataka kunishirikisha. Sikua na pingamizi.


Tukakutana pale breakpoint. Dogo alichoniambia kilinistua. Alisema, “shem mi nakuheshim sana, na sitaki nikuone unaumizwa na Ras. Ras now anatoka na dada flani anaitwa Marga. Kila siku lazma huyu dem aje watoke wote. Nimeamua kukwambia ili ulinde kilicho chako". Dah. Nlishtuka. Mbona mapema sana? Kawezaje huyo Marga kupindua matokeo fasta namna hii? Of course what did I expect. Mwanaume kwa kumpa mapenzi tu ndo atatulia? I was wrong. Dogo akanishauri nimface Marga nimwambie aachane na Ras. Sikujua hata la kufanya kwa kweli.


Wakati bado nipo nimeduaa pale, akaja Steve Nyerere, kumbe wanafahamiana na dogo. Akakaa pale mi mood ya kuchangamka sina. Ila kama mnavomjua Tivu, mtu wa utani, haikunichukua muda nikaanza kutabasam na kucheka. Dogo akashauri tupige picha ya ukumbusho, tukapiga picha na wote. Nikawaaga. Wakati naondoka dogo akasema ili kulinda kibarua chake anaomba sana nisireveal chanzo cha taarifa.


Kufika home ndo nikatambua uzito wa maneno nliyoambiwa. Yaani kimsingi ndo nishampoteza Ras. Bado kutamkiwa tu. This realization made me cry like a baby. Nakumbuka mama alinibembeleza sana. Ingawa sikumwambia kinachoniliza ila najua alihisi. Sema ndo haezi nidadisi kiundani. Akawa ananiambia tu, no one is worthy of your tears. Usimng'ang'anie mtu anayekuliza namna hiyo, kama bado uko nae muache ili mtu anayekustahili apate nafasi. Kama amekuacha shukuru Mungu maana ungelia zaidi huko baadae. Nikamuona mama anazingua tu. Am not letting him go easily.


Kitu cha kwanza kesho yake nikampigia simu dogo. Nikamuomba anielekeze Marga anapoishi. Nlitaka nikamface tuongee kama wadada tunaojielewa, na kama ananichukulia mume basi walau ajue ameniumiza kiasi gani. Huenda akanihurumia. Dogo kanielekeza. Sikutaka kupoteza time. Nikamfata Marga. Kugonga geti akanifungulia mwenyewe.


Akanikaribisha hata siku itikia, nikawa namuangalia machozi yananitoka, kuongea nikashindwa. Marga amesimama tu ananitazama. Nikapata ujasiri, “skia Marga, I love Ras, so much. Haya unayonifanyia ujue unaniumiza mno. Nimekuja tu kukuomba plz, leave him…..” Marga hata hakujibu. Ananiangalia tu huku anatabasam. Nikajilaum kupoteza bure muda wangu. Sikupaswa kabisa kuja, ni kujiaibisha tu. Nikaaga nikaondoka.


Direct nikaenda kwa Ras. Ilikua jumamosi so alikuepo home. Sikutaka kujionesha nimekasirika, nikajidai kumchangamkia pale. Bt nikaona Ras hajachangamka. Namuuliza kuna tatizo babe, anatikisa tu kichwa kukataa. Ikabidi nisogee nikakaa kwenye kochi alilokalia. Nikamuuliza kwa upole, “kuna kitu nimekuudhi mpenzi wangu,?” Ras akaniangalia ile unaona kabisa anahasira. Then akaniambia, “kama kuna kitu nataka kumwambia nimwambie na niache usanii" kwanza sikujua anachosema. Yeye ndo alipaswa aniambie wanachofanyaga na Marga kila siku.


Mbona sielewi Ras, nimefanya nini? “jana ratiba yako ilikuaje" akaniuliza. Nikatamani nielezee hadi meeting yangu na dogo pale breakpoint, ila nikakumbuka dogo aliomba nisiseme kitu. So nikamdanganya Ras kuwa nlikua home then kwake halaf nikarudi straight home. Kusema tu hivyo, Ras akasimama akanihama kochi, yaani kaenda kukaa mbali kabisa na mm. Nikajua hii sio ishu ndogo.


Akaniambia najua unatoka na Steve Nyerere. Sikutaka kushtuka namna nlivostuka, ingawa baadae nikawa nacheka. Ila the damage was done. Alivoona mstuko wangu akatafsiri nimeshangaa kajuaje. Ndo kaniambia sasa “Zoya, you are the woman I loved and trusted more than any other woman, nimejiheshimu siku zote kwa ajili yako ili kulinda heshima yako, nakiri kuwa kule Arusha siku ile ulivokuja yule dada uliyenikuta nae kidogo anishawishi kukucheat, ila since that day nikajiona mpumbavu, na nikamkataza kabisa hata kunitumia msg, nikajiweka mbali naye na wadada wote waliokua wananisogelea. Yote ni kwasababu ya mapenzi yangu kwako. Bt umeona sikufai ukaamua kunizunguka na msanii, nashukuru.”


Nliona kabisa usoni kwake kuwa anaumia. Nikaanza kulia, sio kwa vingine, ila kuona namna Ras anavyoumia. It pained me. Ingawa sijakosea kitu, nikatamani nipooze moyo wake, maana maumivu yake ni kama nayahisi mimi. Nikaanza kumuomba anisamehe, atulie, nampenda. Katika hizi harakati ubongo wangu ukafunguka juu ya kinachoendelea. Hii yote ni move ya Marga. Anatumia ile “pushing factor". Huu mchezo wote itakua kautunga yeye.


Nikajiona fala kichizi. Then wakati najitetea Ras akapokea simu. Nikawa nasikia tu “what?” “yuko wapi" “naomba niongee nae", then akasubiri kwa muda. Nikaona anaanza kuniangalia kwa hasira, haikuchukua muda. Alivokata simu, akanambia “ukaona hiyo haitoshi, unavyocheat ww ukadhani kila mtu anacheat, umeenda kufanya fujo nyumbani kwa Marga, umemfata na watu mkamfanyia fujo, why are you like that Zoya? Please leave".


Nakiri. Marga ameshinda mechi. Tena nimejifunga mwenyewe magoli ya ushindi. Ras akaniacha pale akatoka. Ikabidi na mm nitoke tu, ss ningefanyaje.


Narudi home nalia tu. Kufika home mama ananiona ananihug mwanae. “nlikwambia mwanangu usijiumize kiasi hicho, hakufai huyo", nikamwambia mama, its me not him, ujinga wangu umefanya nimpoteze, he loved me, nikawa naongea huku nalia. All this time nlijua Ras ananicheat, kumbe hajawahi kabisa, ila ujinga wangu umefanya nimpoteze…. Bas mama akawq amenibembeleza kama mtoto. Nikalala.


Nikasubiri labda Ras ataniita tukaongee, wapi. Ikabidi nimpigie, wala hata hapokei. Nikatuma msg kumuomba anipe nafasi anisikilize, wala hakujibu. Yaani siku mbili sijasikia lolote kutoka kwake. It was a very difficult moment kwangu. Baada ya siku mbili nikiwa natafakari namna nlivyopoteza vita, asubuhi moja naamka nikakutana na kitu cha ajabu mlangoni kwetu.


Mm ndo hua nakua wa kwanza kuamka, so ile natoka nje nakutana na hirizi nyekundu. Nikapiga ukunga wa hatari. Maza kutoka ndo anaiona. Uzuri maza mtu wa sala sana. Akaniambia hata nisiogope nothing will harm me. Akaichukua, kuiangalia kwa karibu imeandikwa “Zoya, msahau Ras hii ni warning", dah.


Nliwaambia kumkeep mwanaume kuna two ways right? I was wrong. Hii aliyofanya Marga ni ya 3. Inaitwa block your opponents. Na hili ni bonge la tofali, aisee. Kaniblock hasaa.


Nikaingia ndani nikamuacha maza anasali pale nje. Nikachukua simu nikapiga, ilivyopokelewa nikatamka, “10 April 1986 Regency ZO". Upande wa pili haukua na maswali, alisema tu, “we understand". Then ukaniambia baada ya siku mbili niende posta pale, kwenye sanduku namba 1605X nitakuta liko wazi na ndani kuna bahasha yenye passport yangu pamoja na tiketi ya ndege na kila kitu kikiwa tayari kwa safari.


Weekend iliyofuata nikakwea pipa to Bern. Nikapewa appartment iko full. Ina vyumba viwili vya kulala, sebule jiko na bafu moja matata kinoma. Nimekaa pale wiki nzima bila chochote cha maana, muda mwingi mchana alikua anakuja mwenyeji wangu ananitoa out kuzunguka vivutio mbalimbali vya jiji hili. Baada ya hiyo wiki ndo Nikajiunga na shule ya kufanya decorations. Course ya miezi sita.


Nikiri kuwa haikupita siku bila kumfikiria Ras. Nlijilaum sana kukurupuka na kusababisha kuvuruga mahusiano yangu. Ila nlijawa na hasira kwa Marga na yule dogo. Hasa Marga, why atunge uongo kua nimempiga? I thought tulitakiwa kucheza fair play. Anyways sina la kufanya now. Will use the time to heel and hopefully ntapoa.


Baada ya kumaliza 6months za shule, sikukaa sana. Nikaambiwq nimepata internship kampuni moja palepale Bern. Hata wiki moja sikua nimemaliza, nashangaa nasifiwa kwa kazi nzuri nnayofanya na kupewa bonus za kutosha. Baada ya mwezi nikapendekezwa kuingia kwenye mchakato wa tenda ya kudecorate ubalozi wa nchi moja pale Uswis, na kweli nikapata. Timu niliyofanyanayo ile kazi ndo kama walikua wao wanafanya, ila ilivyoisha sifa zote kwangu.


Ile kazi ikanijengea jina. nikawa napata deals za kufanya decorations maeneo mbalimbali Europe. Mpunga ukawa unaingia wa kutosha. Nakumbuka hadi gazeti moja likaniandika eti “an African princess with a magic touch", page kama zote kuelezea kazi nlizofanya na kwa nn zinavutia. Nikajua hii yote ni operation Swiss money ya the Don. Baada ya mwaka, nna zaidi ya bilioni ya kitanzania.


Kuna siku nikatembelewa na yule kaka aliyenipokea. Hakukaa sana, akaniambia tu, nishalipwa hela yangu yote ya the Don, so naeza rudi zangu nikitaka. Ila kabla hajaondoka akaomba tutoke jioni kama friends sasa maana kikazi tushamaliza contract. Nikakubali.


Kufika ile dinner, tuliongea mengi sana. Kimsingi hii shughuri wanayofanya haijafanyika kwangu alone. Kuna mamia ya watu wapo ktk program kama hii katika nchi mbalimbali Ulaya. Wanatakatishiwa fedha. Kwa kweli Afrika inafilisiwa aisee. Ingawa na mm nipo nafanya utakatishaji, ila iliniuma kiaina.


Baadae wakati ananirudisha home, akati ananiaga nashangaa mtu ananikiss lips, na kwakua ilikua ni ghafla, sikuweza kujichomoa, nkawa kama nampa ushirikiano nusu. Aibu zikanijaa baada ya kumaliza. I felt like cheating someone ingawa siko na mtu. Akaomba aingie ndani, dah, ukisikia kuliwa kimasihara ndo huku sasa. Nikawa kimya, kukubali sikubali kukataa sikatai. Naelewa now mabaharia wanavokulaga mabinti kimasihara. Akasema, we just have coffee don’t worry. Hahahaha, eti just coffee, Nikamwambia tu, its not right. Nikamuacha mlangoni kikazama ndani.


Mkaka wa watu akaanza kutongoza sasa. Anabembeleza tuonane, nachomoa. Anasema basi nisirudi bongo. Ndo akanipa hasira za kuwahi kurudi. Hakua mtu mbaya. Ni halfcast, baba Mzungu wa ufaransa mama Senegal. Jina lake lenyewe la kiafrika, Diop. Ila sikutaka tu mapenzi tena. Nikamwambia kama ananipenda basi yy ndo ahamie Tz then tujuane vizuri ndo maybe tufall in love. Yote hii kumkatisha tamaa. Diop si akasema sawa, hahaa. Nikajua hataweza, sio kwa life alilonalo huku then alipige chini eti aje bongo, kisa? Uchi! Thubutu.


Mwaka mmoja na mwezi mmoja kamili tangu nitoke bongo, nikarudi home. Wakati huo nishamsahau hata Ras. Sikutaka tena issue za mapenzi. Kufika ingawa nlikua tayari milionea, sikutaka kujulikana sana. Ile pesa nikawagawia ndugu zangu haki yao. Brothers wangu kila mmoja nlimpatia 300M, mama nae nikampa 200M nikabaki na chini kidogo ya 300M. Ingawa the Don alipinga kabisa mgao huo, alinambia ndugu zangu wataimaliza yote, ndo maana aliniachia mm. Mi nikaona kuondoa lawama niwagee.


Bt kama alivyosema mzee, maza hela yote aliimaliza kanisani, kwa wanasheria akitaka mzee aachiwe huru, na kwa yule bro mibangi. Bro mvuta bangi ndo hata haieleweki, ndani ya miaka michache tu akafulia, alivyofulia akaanza kuzipukutisha za maza pia. Yule mkubwa aliingia biashara ya madini ikampiga chini, hela zilivyokaribia kuisha ndo kafungua maduka ya ujenzi walau yuko stable. Mi ndo nimeweza kumultiply ile hela na sasa unaeza rasmi ukaniita Zoya the young Millionaire.


Miaka takribani miwili tangu nimerudi bongo, kuna mambo matatu yakatokea. Kwanza ni kufariki mzee akiwa gerezani. It devastated me. My dad was my closest friend. I loved him dearly. Pili, Diop. Nakumbuka mwezi mmoja kabla mzee hajafariki, alinipigia simu akasema anahamia bongo. Nikachukulia utani, ila akanikumbusha ahadi yangu, kuwa ili nimfikirie itabidi ahamie huku.


Dah, mwanaume kapenda kweli au ndo geresha tu ili niingie kingi. Maana hawa viumbe hawaaminiki. Ni waongo kupita shetani. Nakumbuka kuna stori nlishapewaga jamaa alimpenda binti mlokole, binti anasema kama unanipenda kajitambulishe home unioe. Jamaa akaona sio kesi, akatafuta wahuni waliozeeka mjini akatuma posa. Dada akaona jamaa yuko serious akavua chupi. Kwani aliolewa!


So sikutaka papara. Wala sikutaka kumpa moyo. Nikamwambia tu kama unahamia hamia at your own risk. Sitaki lawama baadae. Akasema ashaset kila kitu anakuja.


Tatu ni Ras. Yes huyuhuyu Ras,. Nlikua nshampoteza moyoni. Ingawa once in a while nlikua namkumbuka ila sio kimapenzi tena. I assumed yuko happily married now. Kwa nlivyomjua Marga lazma angekua ashamake it possible. Then one day natoka zangu church Azania Front pale, kulikua na misa siku ya jumamosi. Nikawa napita na gari yangu mtaa wa Azikiwe, si naona mtu kama Ras anauza vitabu.


Mwanzo nikadhani si yeye, ikabidi nikapaki mahala nirudi kwa mguu. Nikajibanza mahali nimcheki vizuri. Ni yeyee! Ras kachoka ndugu wasomaji. Sio Ras nliyemfaham. Sikuamini, yaani Ras anauza vitabu second hand, tena amevitandaza chini, yeye kakaa kwenye kiti cha plastiki anapiga stori na mshona viatu. Nikawaza labda sio muuza vitabu, maybe anapiga stori tu. Si akaja mteja, Ras kasimama akawa anamuuzia, aisee, ndo nikaprove Ras kafulia.


Wasalaam





Marga.


Desperate times require desperate measures. Ndo nnachoweza kusema kwa sasa ndugu zangu. Sijali mnanichukulia vipi, ila lengo ilikua kumpata Ras, na ndo nlichokifanya. Kwangu mimi, matokeo huhalalisha mbinu zilizotumika.


Kwanza sikuamini kabisa how easy it was. Trick ndogo tu yaani, Zoya kajaa mzimamzima. Nimeamini yule kweli mtoto wa upanga kwa wadosi hajui mikikimikiki ya kitaa. Huku mtaani ukiambiwa kuna vita ya visu unatakiwa ubebe panga eti, mambo ya fair play waache wakina Iniesta ndo wanayaweza. She thought it’s going to be la liga, well, I gave her Bundesliga baby.


Yule dogo Albert wa ofisi ya Ras alinisaidia kinoma. Alicheza kama pele, sikumuandika hata script, ila movie aliicheza inavotakiwa. Steve wala hakujua madhumuni ya kualikwa lunch pale, alijua project nyingine ya Ras. Kumbe anaenda kusaidia talaka. Then kilichonishangaza ni Zoya kukubali idea ya kuja kwangu hahaha. Ki msingi zile picha na Stive zingenitosha kabisa kushinda hii vita, ila mwenyewe kaniletea weapon of mass destruction.


Mwanzo nlianza kupata waswas, maana hakunigusa wala kufanya fujo, nikasema sasa hapa natumiaje hii fursa. Nakiri kabisa Hakunifanya kitu mtoto wa watu. Hata tusi hakunitukana. Nilitamani aniguse niende polisi. Bahati ikawa kwake. Baadae sana ndo nikapata wazo. Kwanza mle ndani kwangu nikapafanya pakaonekana kama vita ya tatu ya dunia ilipiganwa. Nilivunjavunja meza, sahani, viti yaani palivurugika haswaa. Then nikampigia sim jirani yangu mmoja, nikajidai nimeumizwa.


Yule dada jirani kashauri tuende polisi. Naendaje polisi wakati hii ni staged crime scene? Vijana wa Tibaigana wakija kucheki si watagundua mapema kabisa nimewapotezea muda wao. So nlijua Polisi ntaumbuka. So nikashauri apigiwe tu rafiki yangu Ras. Ndo akapigiwa simu.


Alipofika tu na kuona hali ilivyo room, akanihug, jamani Ras…. Na mm ndo kilio nikazidisha. Nikamwambia sijataka kuinvolve police ili kulinda heshima yake na pia kumsitiri mpenzi wake. Natamani mngeniona nlivokua naigiza hahaha. Basi akawa anamuombea msamaha pale. Mi namsikiliza tu…


Akaomba details za tukio, mi nikampa movi moja matata. Yaani Zoya nikampa uhusika wa mtu katili kama Bill Drago au Bolo Yeung mwenyewe. Ras akawa anazidi kuniomba radhi tu. Nikamwambia nimesamehe, ila nahofia akija tena. Akanitoa wasiwasi halitatokea. Nikajua hapa tayari mtu kapewa talaka.


Eti na masaibu yote haya Ras akawa anataka kuondoka ilipofika usiku. Weee. Namuachaje atoke kwa mfano. Hii opportunity natakiwa niitumie to the fullest. Nikajidai sitaeza lala alone maana bado nna hofu. Ikabidi akubali tu kulala. Baada ya kula na kuoga, nikawa nimetangulia kulala, yy akawa anacheki tv bado (yaani nlivunja mazagazaga yote isipokua tv yangu ya JVC hahaha),. Baadae nikasikia mtu anakuja kulala. Mi nikajidai nimesinzia, ila nlihakikisha paja moja lipo nusu uchi.


Ras kapanda kitandani, mwanzo hakutaka kujifunika. Ila kama mnavojua, mwanaume akishafika kitandani kwako huna haja ya kutumia nguvu, nakuhakikishia hata kama utakua umesinzia lazma ahangaikehangaike kidogo. So sikua na haraka. Baadae naona mwenyewe anafunua shuka anazama. Na nlivaa chupi tu ndugu wananchi, huku juu hata sikua na kitu. Nkajua kabisa huyu leo lazma anipitie, akilaza dam nampitia mm.


Mwanzo hata hatukua tumegusana. Na nlikua nimelala chali, nikaona nimtengee vizuri akitaka kupapasa tako, nikajigeuza kama niko usingizini vile, nikaangalia upande mwingine, then nikatulia tuli. Alichukua muda, ila hatimaye akajisogeza, akajidai kama amelala pia, akazungusha mkono kiunoni. Mi kimya, baada ya mda, akajisogeza zaidi, miili ikagusana. Mi kimya. Akapitisha mkono kwa nyuma, akapapasa takoz. Mi kimya. Akauleta mkono kifuani, akawa anapapasa titi. Mi kimya. Akarudisha mkono kiunoni, akashika chupi akawa anaivua, nikanyanyua kiuno ili aitoe kwa wepesi, hahaha.


Ndo akajua niko macho. Akavua pia. Hata sikumgeukia, nlimshika mkono wake nikaurudisha kifuani. Nlitamani abinye hasa hizo nyonyo. Dushe yake nikawa naifeel tu huko nyuma inagusagusa. Nikajitenga fresh. Yaani mguu mmoja wa juu ukawa mbele kidogo ya mwingine. Akaanza kupapasa matako kama anayapaka mafuta.. then Nikafeel vidole vyake viwili vikipima oil. Na ilikua tayari ishaloa tayari.


Alichofanya akalengesha tu mkuki, nikawa naisikia ikipenya. Jamani Ras, hakutaka kusubiri hata tulane denda kidogo. Dushe nikahisi inapenya mpaka kugusa kizazi, nikamgusa kiuno kuonesha ishara distance aliyoingia inatosha, akaelewa. Akaanza kufanya yake. Akanichapa sana vibao vya matako, halaf hata haviumi, vinaongeza mzuka hatari unasikia tu paaah, paaah, paah, jamani hii michezo mitam uspime.


Na mimi sikutaka niachwe nyuma, nikawa namkatia kiuno kuendana na move zake. Huku nimeshika shuka kwa nguvu ili nisihame nilipo. Kuja kushangaa, nisharuhusu izame yote, yaani sijui hata inatoshaje huko ndani, ila ndo ivo. Tumegongana kiupandeupande mda mrefu tu. Badae kanilaza kifudifudi, kitu ndani. Yani nlibinua tu kidogo. Akiwa juu yangu amenilalia kama kalala kwenye godoro. Kupump kama kote. Zaidi ya Gwaji boy. Nasikia tu anavyojizungusha kiuno juu ya matako yangu laini. Nkajua Ras alinimiss aisee. Maana hakuchukua round nyingi akaomba ruhusa aje... eti anauliza nimwage ndani hahaha, ntakataaje sasa. Nkamwambia waweke. Ras bana ………


Kimsingi, kwa mara nyingine nikawa nimemmiliki Ras. My Ras. And this time am not going to let him go.


Miezi miwili baadae bado nikawa na Ras. Nishahamia hadi kwake. Tunapika na kupakua. Kuna namna mbili tu za kumkeep mwanaume. Kwanza, mkatie bima. Pili, block your opponents. Hii ya kublock opponents nlishaifanyia kazi na najua Zoya alishawapa habari yake. Hii ya kwanza ndo naifanyia kazi.


I enjoyed my life. Mwanaume nnaempenda ninae, pesa tunayo, what else ntahitaji. Nikawa nimeplan kutulia mazima. Tatizo dogo tu likawa linanikabili, ila halikunipa wasiwasi sana. yule dogo wa ofisi ya Ras akawa bado anasumbua kinoma. Anataka walau nimuonjeshe, maana amenisaidia sana. Bila hata aibu eti ananiambia “nionjeshe tu hata goli moja", Nikawa nampotezea tu. Ingawa ndiye mtu pekee anayeweza reveal mchezo tuliomchezea Zoya.


Kumkatia insurance mwanaume ni risk sana pia. Unaeza kata bima na bado ukapoteza. Bima yenyewe wala usihangaike kujua, ni mtoto. Yeah you read it right, mtoto. Nikawa project yangu kubwa sasa ni kuhangaika Ras anibebeshe mimba. Tangu siku ile aliponitia mpaka leo hatutumii kinga wala nn, na kila siku kama siko kwenye hedhi tunafanya.


Asikwambie mtu, zilikua zinapigwa mechi za hatari. Na uhakika Ras alishamsahau hadi Zoya. Zoya mwenyewe kwa taarifa nlizokua nazo keshakimbia mji hahahah. Dozi yangu na Ras ilikua asbh kabla hajaenda job, jioni akirudi na usiku kabla hatujalala. Hii ndo kutwa mara tatu, kama dozi ya klorokwini. Ila no mimba.


Miezi sita ikapita, bilabila. Yule dogo siku moja baada ya kumpa makavu kuwa asahau kuona uchi wangu, akanitumia voice notes. Kuzisikiliza, huezi amini, ni mimi na yeye tukipanga mipango ya kumuachanisha Ras na Zoya. Yani dogo kumbe alikua ananirekodi. Nikaishiwa pozi ndugu msomaji. Clearly dogo ananiblackmail. Nikampigia, “unataka nn?” dogo akasema njoo breakpoint tuongee. Ikabidi niende. Mi niko serious dogo anachekacheka tu. Nikamwambia ntakupa hela ufute hizo audio. Dogo akawa serious. Eti ananipenda, hataki kingine zaidi ya utam wangu, amevumilia vya kutosha. Nisipompa uchi hizi audio zinamfikia Ras. Nikaondoka kwa hasira.


Kufika home nikawa nawaza. Kweli nimpe utam dogo? Si itakua namdhalilisha Ras? How can I cheat wakati nshaapa kuwa na ras pekeyake. Na akijua je? Si ndo hiki nnachokikwepa kitanikuta. Bt nikakumbuka namna uchi wangu ulivyoniokoa chuoni nikasema maybe ni kitu ambacho hakiepukiki. Kwani kugawa maramoja ili kuokoa ndoa yako kunamadhara? Wanasema kuzaliwa mwanaume kazi! Ila kuzaliwa mwanamke ni utumwa. Utatumika sana.


Baada ya muda Ras kaja, kanikuta nimepoa. Nikawa najitahidi kuchangamka ila nashindwa, akaona namna nzuri kunichangamsha ni kunipa dudu. Akanibeba kanipeleka bed, simu nikaiacha mezani. Nikawa nampa ushirikiano hivyohivyo, sema hizi gem unazopiga ukiwa na wasiwasi zinakuaga tam balaa.


Baada ya mechi nikaenda kuoga. Kurudi nakuta Ras kashika simu yangu.


Nikawa namuangalia kusoma expression yake. Ye hana habari. Nikamfata kumpokonya, ndo akaniambia, dogo mbona anakwambia kufikia jumamosi uwe umempa jibu. Kuna nini? Kidogo nnianguke. Ila kumcheki nikaona kama hana hasira. Kama angekua ameona kila kitu angekua anahasira zaidi ya alivyo. Ikabidi nitunge tu uongo, kuna kibiashara alishauri tuanzishe ndo nikasema ntakushirikisha kwanza ww. Ras akaniambia yule dogo ni mhuni na kashatia madem wote pale ofsini so akanikataza mazoea nae “sitaki kabisa muwasiliane", nimekuelewa mume wangu, sikujua nisamehe.


Jumamosi yake ikabidi nimpigie dogo. Sikua na namna wasomaji. Najua kuna watu wataanza kulaum, ila ngefanyaje sasa. Akanambia, vizuri, eti nimkute magomeni, Pale mapipa kuna hotel moja ilikua ghorofa flani hivi ikanitajia. Nikamwambia dogo after this you delete. Akasema nisjali, anataka aonje tu. Kama fala vile, nikajipeleka magomeni, nikiwa kama siamini ndo naenda liwa hivyo. Tena naenda kuliwa na dogo ambaye hata hayuko ktk watu wenye sifa ya kunila. Ila bas ntafanyaje ss.


Nimefika room aliyochukua, namkuta kajilaza. Anajichekesha tu. Mi nikawa nimesimama mlangoni. Ndo kunifata ananikumbatia. Kidogo nikimbie, ila ndo nishayavulia nguo, sharti niyaoge haya maji. Nikamuacha akanichojoa nguo moja baada ya nyingine. Dogo ni wale watu wanapenda kukutia ukiwa umevaa bado chupi, maana nlivotaka kuitoa akanikataza. Akanilaza, akawa ananinyonya.


Pamoja na kuwa sikua nataka, ila ule mnyonyo ukaamsha hisia, dogo anajua kutumia ulimi aisee. Kile kidode kilisimama sjawahi shuhudia. Najua na yy anajua kuwa anajua kunyonya, maana hakuniacha nupumzike. Sikuchukua round nikafika. Alipoona hivo ndo akanipanda sasa. Style pendwa ya wamissionari. Ila ilipo anza kufanya, dah, alinilet down, sana tu. Mechi hajui kucheza, ni weka toa weka toa anamaliza. Nikawa najipa moyo, nikirudi home ham zangu Ras atazimaliza usiku. Basi ndo kama hivo, Dogo akawa ashanila. Kwa mara ya pili namcheat Ras. Baada ya gem dogo akaingia kwenye komputa yake akafuta ile audio.


Nikawa nimemcheat Ras, ila sio kwa kupenda. Issue nikawa kama nimeisahau kabisa. Baada ya mwezi insurance yangu ikatiki. Nlifurahi kinoma. Ras alifurahi pia. Tukawa tunajiandaa kuanzisha familia.


Bwana eeh, mimba ikiwa na miezi sita hivi si nikaanza kuona mabadiliko kwa Ras. Mara kauza gari yake. Baada ya muda ananiambia tuhame pale, nyumba tuliyohamia ni chumba tu na sebule. Nikajua Ras amefulia. Na mm ndo nshaacha kazi nikajiaminisha kwa pesa ya Ras. Namna alivyofulia atawasimulia mwenyewe. Ila dah, in just a month life ikachange ghafla.


Cha ajabu yule dogo ndo akawa na hela sasa. Na kama mjuavyo jamani, I have to look out for myself and the baby now. Dogo hakutumia hata nguvu kuniteka. Imagine, yaani alivyoniomba gem tena wala sikuvunga. Mimba ina miezi sita ila dogo akawa ananifumua fresh tu. Tena mara nyingi alikua anakuja kunila palepale home. Sema akasaidia life pale home ikawa stable. Ras anarudi anakuta nimepika kuku, siku nyingine maini, anaona haachi hela ila anakula fresh, wala haulizi. So jamani msinilaum sana, sometimes we cheat to feed our family, sometimes we cheat to protect our relationships. Hivyo yani.


Ndo nikawa nimeanza life la kubeba wanaume wawili rasmi. Sikuwa namkosea heshima Ras. Na kimsingi nikimlinganisha na Albert (baada ya kuanza kunila rasmi nikaacha kumuita dogo), Ras alikua ananipa mhogo mtam zaidi. Ila Albert alijua kuhudumia. Plan za Ras zikawa aanzishe shirika lingine, mi nikawa namatumaini iko siku atarudi kwenye ramani. Maana kama aliweza ile first time haezi shindwa this time. Na ukizingatia alikua anatarajia kuwa baba, nikajua atapambana zaidi.


Mwezi mmoja kabla ya kujifungua nikaanza kusaka mdada wa kunisaidia kulea mtoto. Albert pia alikubali kumlipa nikimpata. Na kama bahati, siku moja nipo clinic nikashuhudia binti mmoja amemfuata mama mmoja hivi ambaye kwa mavazi yake alionekana ni Nurse pale. Akawa anaomba huyo mama asimtimue maana hana pa kwenda. Yule mama akawa anamtimua na kumuita malaya. Nakumbuka alikua anamwambia “siwezi kukaa na malaya ndani kwangu, nishapata mdada mwingine so ww sepa".


Ile natoka narudi home namkuta yule binti yuko nje ya hospital kakaa kwenye msingi analia. Nikamfata, “unaitwa nani", nikaona kaacha kulia ananitazama, “Zahra", akanijibu. Nikamshauri kwq nn asirudi home kwao? Zahra akanambia kwao ni Usangi huko kwenye milima ya upare. Huko Usangi hana ndugu wa karibu, wazazi wake walifariki miaka miwili iliyopita, na yeye ndo alikua mtoto wa pekee. Baada ya wazazi kufariki akachukuliwa na shangazi yake ndo akaja dsm, bt shangazi yake akamtimua baada ya mwaka mmoja. Ndo akaenda kufanya kazi kwa huyo mama ambaye naye amemtimua



Nikaona huyu ngoja nimpeleke home. Ndo nikaanza life ya kuishi na Zahra. Kwa kuwa tunapoishi ni chumba na sebule akawa analala sebuleni. Siku ile alinipa tu story yake kijuu juu. Alipokuja kunisimulia kiundani kidogo nilie.


Anasema baada ya wazazi kufariki kwa ajali, shangazi yake akasema atamchukua. So huyo shangazi akauza kila kitu cha wazazi wake ikiwepo nyumba na shamba kwa madai kuwa vimsomeshe huku mjini. Na kweli akawa anasoma drs la saba shule ingawa ni ya serikali. Life kwa ashangazi yake halikua rahisi ila alivumilia.


Shida ilianza kutokea kwa mume wa huyo shangazi yake. Sikumoja akiwa pekeyake home akashangaa huyo mjomba wake anarudi home. Then akamuita sebuleni. Zahra akajua ni issue labda anahitaji yule mzee. Ile amefika sebuleni anko akamshika mkono akamlaza kwenye kochi. Kwa kuwa alikua ananguvu zaidi yangu akafanikiwa kumbaka.


Zahra akaendelea kusimulia akisema, "Ndo ukawa mchezo wa anko. Kusema naogopa maana aliniambia nikithubutu kumsema atanitimua pale na pia nikimnyima atanitimua. Nikawa kwenye mtego. Ila haikuchukua muda, siku moja kamuacha mkewe kalala akaja chumbani kwangu, mi nikawa nishaamua awe ananibaka tu na nikawa namuomba Mungu kila siku hii kitu istop. Akiwa ananifanya si mkewe katufumania. Simlaum sana shangazi kunifukuza maana ningekua nimemwambia mwanzoni labda angeamini sikua nakubali".


"Nimelala kwenye vibalaza vya watu siku mbili. Siku ya tatu nikawa namuomba kazi mama mmoja.anauza genge. Ndo akaniambia kuna rafiki yake anatafuta mdada wa kazi. Akanipeleka kwa yule mama. Pale napo nimekaa kwa muda bila tukio lolote. Akaanza kunisumbua mtoto mkubwa wa yule mama, alikua anasoma chuo nakumbuka. Kila akirudi anaanza kunitongoza. Mpaka siku moja akaja room kwetu maana nlikua nalala na mtoto wa mwisho wa yule mama. Akawa anataka kulazimisha nikaweka msimamo sibakwi tena. Zile purukushani zikamuamsha dogo ambaye akapiga kelele. Maza kuja yule mtoto akamsimlia kuwa kaka yake alitaka kunibaka mm nikawa namkataa. Maza akamsema kijana wake pale na uzuri akaelewa mimi sihusiki".


Zahra akaendelea kusimulia, "Then akaja mzee mwenyewe wa nyumba. Mzee kitambi kama chote ila anapenda dogodogo. Tofauti ya huyu na yule anko aliyenibaka, huyu alikua ananitongoza kistaarabu. Akirudi ananiletea zawadi, mara chocolate, mara pipi. Then akaanza kuniletea chupi. Kwa kuwa alikua hatumii nguvu, sikua na wasiwasi maana nlijua hawezi kunibaka. One day tukiwa wenyewe akaanza kukumbushia anachotaka, mi nikawa namwambia namheshim kama mzazi wangu siwezi kulala nae. Mzee akanisogelea, ananikumbatia, nikajua hapa naenda kubakwa nikakimbilia room nikafunga kabisa na mlango.


Mzee akawa aanagonga mlango mpaka akakata tamaa. Maza aliporudi nikakata shauri nimwambie, ili ikija siku mzee akanibaka na akatukuta ajue kabisa sihusiki. Maza kumwambia si akanigeuzia kibao mm. Ndo kaanza kuniita malaya na kunitimua. Ndo kumfata mpaka kazini kwake ila hakunielewa. Yaani mpaka leo sielewi, yule shangazi sikumwambia na akanitimua, huyu maza nikaamua niwe muwazi akanitimua pia, sijui nlitakiwa nifanye kipi".....


Story ya Zahra ingawa ilinihuzunisha ila ikawa inanipa mawazo. Vipi Ras akimtaka pia? Ingawa sikumwambia Zahra, ila ukweli ni kuwa nikigundua kaliwa au anampango wa kuliwa na Ras au Albert namtimua pia. Siezi share na housegirl.


Nlijifungua mtoto mzuri wa kike. Cha ajabu ni kuwa mipango yote ya Ras ikawa inabuma. Akazidi kuwa hohehahe. Nakumbuka Albert akawa anahudumia kila kitu sasa, kuanzia huduma za mtoto mpaka kulipa kodi ya hapa tunapoishi. Albert alimcare mtoto kama wake vile, an mm nikawa namtunuku kwa utamu na ufundi wote nlionao. Ubaya ni kuwa nyumba ni ndogo, so kila Albert akija Zahra alikua anasikia kila kitu.


Kilichonipa moyo ni kuwa Zahra hakua amemzoea Ras, so Ras akija jioni wanasalimiana tu na hakuna maongezi mengine. Nikawa nauhakika Ras haez jua lolote linaloendelea. I was safe. I was eating my cake and still had it In full. Nikawa nawaza huyu housegirl atakua ananiona mm bonge la malaya, angejua kuwa nafanya haya yote ili kusurvive. Maana hata yeye Ili apate mshahara lazma nigawe papuchi kwa Albert, ila ndo hajui. Akikua ataelewa. Maybe.


Hii hali ya kuigiza ikawa inanisononesha sana. Lakini kuna wakati pia nikawa najisikia hatia moyoni kwa ninachomfanyia Ras. Umasikini sio kilema. Nikafanya uamuzi.


That day Ras akiwa anajiandaa kwenda kwenye mizunguko yake ikabidi nimwambie tukae tuongee.....


Wasalaam.


Kiga





Ras.


Wapi msuba kwanza? Maana sio kwa kuvurugwa huku. Nimevurugwa sio kitoto mazee. Nahisi nahitaji kutuliza akili ili niweze simulia vizuri yaliyojiri. Katika hii simulizi kuna muda mm ndo nlijiona stelingi, ila mpaka mda huu dah, nahisi nimekua mpira tu, watu wanaenda uwanjani wanasema wanaenda kuangalia mpira ila kumbe wanachoenda kuangalia ni wachezaji. Haina noma lakini, am just a ball, bt without me hakuna game hapa.


Mpaka now nadhani kuna watu wanaona mi kama fala flani hivi. Siwakatazi, mnachofikiria fikirieni. Ila nadhani wote mtakubali kuwa mi ni bonge la loyal. Muaminifu sana. Sijawahi kucheat kwenye maisha yangu. Well sio kwa ujanja wangu na wala siko hapa kuwapondea wanaocheat ila niseme kabisa kuwa so far nimekua muaminifu kwa girls wangu. Hua nikifall in love natoa kila ninachostahili kutoa.


Ila kiukweli kati ya vitu viliniuma katika hii dunia ni kusikia kuwa aliyekua mpenzi wangu yaani Zoya anatoka na Stive. Albert ndo alinipa mchongo mzima. Na akanionesha kabisa na ushahidi wa picha. Niliishiwa kabisa nguvu aisee. Then to make matters worse Zoya akawa anakana vyote nnavyomuuliza. kwanza alinidanganya hata khs ratiba yake ya siku ile. Na cha cha kuumiza na kushangaza zaidi ni tukio alilofanya Zoya kwa Marga. Ikabidi nichukue yale maamuzi. Kilichotokea baada ya pale kila mtu anajua.


Maisha na Marga yalikua ya kuinjoi sana. Nlihakikisha mpenzi wangu anafaidi. Kuanzia trip za mara kwa mara na shopping za kutosha. Uwezo si nlikua nao bana. Marga alifurahia kuwa na mm na pia mi nlifurahi. Ila nitakua muongo nikisema nlimsahau Zoya. Utofauti wake na Marga hasa katika personality zao ulikua ni wazi. Zoya alikua ni msichana mpole asiye na makuu na anayeridhika kwa hali yoyote. Marga was the opposite. She is a wild woman. Na hakua akitosheka na kitu chochote cha kawaida. Kama ni zawadi umemletea kama hajaupenda atakuchana live. Although Zoya was cooler, ila ule ucharuko wa Marga uliyafanya mapenzi yawe ya moto balaa. Kama alivyoimba Mary J Blige,


"...... Bad girls are not good, good girls are not fun....".


Ila kwanini tupoteza mida kuongelea yaliyopita? Pamoja na kuwa yanaumiza ila pia kwa sasa kama mjuavyo ndugu zangu, nimefulia. Na kama wanavyosema wahenga wa kibeberu, "the highest ones fall the hardest". Yaani nilihit the lowest point of my life, sio tu kiuchumi bali hata kiitikadi. Nikikumbuka namna nlivyokua juu sikutarajia ntafulia namna hii, yaani inafika mda hata buku jero ya msosi wa mchana nakosa dah! Ukiona mtu anakuomba msaada ndugu zangu kama unao mpe. Hakuna kitu kinashusha thamani kama umasikini.


Kufulia kwangu kulikuja ghafla sana. Sikua nimejipanga kabisa. Nliamini nilichokijenga ni taasisi ambayo ni ngumu kufutika. Ni taasisi iliyokua na malengo na misingi inayoweza vuta pesa kutoka popote kuanzia serikalini mpaka kwa wadau binafsi. Katika kipindi nlichokua fresh nlifanikiwaga tu kununua kiwanja Bunju, sikua na akiba wala asset nyingine. So unaeza imagine mshtuko na hali yangu after kufulia.


Sikufulia kwa sababu ya kutumia pesa vibaya labda. Hapana. Maana wananzengo hamchelewi sema Marga kanifilisi hahahaa. Haikua hivyo. Ilikua hivi. Siku moja Albert aliyekua mhasibu wa shirika langu ofisini. Kaniambia kuna shida kidogo boss, “shida gani" nikauliza kutaka kujua zaidi. “report ya external auditors sio nzuri, inaonesha shirika limetumia kiasi kikubwa cha pesa kwa matumizi ambayo hayakupangwa kwenye bajeti" Albert akanielezea. Nilipotaka ufafanuzi zaidi maana kiukweli yeye kama mhasibu mara zote alikua ananihakikishia kila tunachofanya kipo according to the plan.


Albert akaanza kutoa mifano ya activities tulizogharamikia na ambazo hazikua kwenye bajeti. “Boss unakumbuka ile ziara ya mikoani, bajeti ilisema tutalala hoteli hizi za kawaida ila tukakaa hotels za kitalii kama Mount Meru”, nikasimama kwa hasira, “Albert si ww ndiye uliyesisitiza kuwa fungu linatosha na kwa hadhi ya watu tunaoandamana nao tunapaswa kukaa huko? Inamaana unataka kusema ulinishauri vibaya sivyo?”,


Albert hakuonesha hata kujutia. Na nliona kama anatabasam kwa mbali. Aliendelea kunipa maeneo mengine yaliyoainishwa na external auditors. Maeneo yalikua mengi, bonus zisizo na mantiki kwa wasanii, manunuzi ya gari mbili za ofisi, jengo la ofisi tunayotumia nk. Kimsingi nikamwambia atoke ofisini. Alivyotoka tu nikamuandika barua ya kumfukuza kazi.


Kimbembe kikaja namna ya kumaliza issue na wafadhili. Maana mpaka wakati huu haikua ubalozi mmoja tu unaotupa sapoti, ilikua ni umoja wa ulaya. Ikabidi niende hadi makao makuu ya umoja wa ulaya. Pale nikakuta wale wanaoshughulika na mahusiano na mashirika kama langu wapo kwenye kikao. Sikuhitaji akili ya ziada kujua kilichokua kinajadiliwa. Nimekaa pale mapokezi zaidi ya 2hrs. Baadae nikaitwa ndani.


Kufika si namkuta Albert ndani. Nikajua tu huyu fala ndo katengeneza mchongo mzima. Na amesuka huu mpango for a long time. Kikao changu na wao kilikua kifupi sana. Kiujumla niliambiwa tu kuwa Umoja wa ulaya umepokea taarifa ya wakaguzi kwa masikitiko makubwa. Na kwa maana hiyo hawatatoa tena ushirikiano kwa shirika langu mpaka pale uongozi utakapobadilika. Maana yake ni kuwa walikua wanataka nijiondoe katika shirika. Shirika ambalo mm kwa msaada na ushauri wa Zoya tulilijenga. Nikaelewa sasa namna Steve Jobs alivyofeel alipotimuliwa kwenye ukurugenzi wa kampuni yake mwenyewe ya apple.


Kwa kuwa niliamini shirika linamalengo mazuri, sikutaka kuwa sababu ya shughuri zake kukwama. Nikajiuzuru. Cha ajabu, umoja wa ulaya ukamteua Albert kuwa msimamizi wao katika shirika. Na haikuchukua muda akatake over umiliki wa shirika. Ikawa ushahidi kuwa amesuka.mpango mzima. Alijidai mtumishi mwaminifu, kumbe anamalengo ya kunipindua.


Albert alinipindua kwenye kazi yangu. Kilichoniuma zaidi hakuishia tu kunifilisi, akaenda mbali zaidi kamchukua na mpenzi wangu. Iliniuma sana aisee. Kila nlivokua natoka asubuhi nikijua kabisa Albert atatia tim na kumla mpenzi wangu ndani ya my own room. Yeah, nlijua kila kinachoendelea. Na ilikua inanichoma kinoma. Ila umasikini bana mbaya sana. Pamoja na kujua manzi yangu anagongwa ila nikajidai kipofu, sioni kinachoendelea. Ningefanyaje ss, maana sikua na uwezo wa kuhudumia familia yangu na kipindi hiki nshakua baba tayari.


Kuna muda Zahra ambaye alikua dada wa kazi pale home alikua kama anatamani aniambie kinachoendelea ila akawa anasita. Nakumbuka kuna siku wakati natoka nikaamua kumuuliza, “kuna issue yote inayoendeleaga hapa nikiwa sipo", binti akaangalia tu chini hajibu kitu. “si nakuuliza?” alipoona nasisitiza ikabidi anidanganye “hapana shemeji" huku machozi yanamtiririka. Nikajua hawa huwa wanatiana hata mbele ya housegirl.


Marga alipoona mipango yangu yote ya kurudi kwenye ramani ya pesa inakwama, ikabidi anichane live. One day nikiwa najiandaa kutoka asubuhi akaniomba tuongee kwanza. Alichoniambia, “Ras, samahani kama ntakuudhi, ila am moving out", yaani simple tu. Sometimes wanawake wanaroho ngum aisee. Ila hii niliitarajia pia, siwezi danganya kuwa niliamini Marga atakua na mm mda mrefu na hali yangu ya sasa.,


Mawazo ya kwanza kuja kichwani ni kuhusu mwanangu. sikuwaza tena abt Marga maana tayari najua anachoependa yeye ni pesa tu. Najua hata yeye alijua kuwa tayari najua khs yy na Albert. Na kumake matters worse akaniambia “usipate shida kuhusu mtoto, sio wako". Dadeki nikakaa chini.


Marga alimove out. Ila namshukuru kuwa kabla hajamove aliacha amelipia kodi pale ya mwaka mzima. Aliniachia pia karibia kila kitu. Alibeba tu nguo zake. Nikaanza rasmi maisha ya ubachelor. Yaani ilikua ni kipindi kigum sana kwangu. Bangi tu ndo ilikua inanipa faraja na moyo wa kutokata tamaa. Mtoto nimepokonywa, mpenzi amechukuliwa dah. Na ile kuambiwa mtoto sio wangu nikapata picha kuwa hawa walianza kulana zamani. Ikaniuma zaidi, ila sikua na la kufanya.


Nikapata wazo la kuwa muuza vitabu. Sio kwamba ndo nliona kuwa ni njia itakayonipa pesa, hapana. Kipindi hicho nlitaka tu mahali niwe naenda na kupitisha siku huku nikipata pesa ya kula walau mlo mmoja kwa siku. Ndo kuanza kwenda kuuza vitabu Posta.


Baada ya kama miezi minne tangu Marga asepe, oneday narudi home namkuta Zahra nje ananisubiri. Baada ya salamu nikawa natamani kujua kumetokea nn kule walikohamia. Nikamkaribisha ndani ambako kwa kweli palikua pako vurugu mechi, sox, viatu, boxer kila mahali. Zahra alivyopata sehem ya kukaa ndo akanieleza, “nimeamua kutoka kule maana yule shemeji ananisumbua sana" kwa nnavomjua Albert hata sikushangaa. “amekufanyia kitu kibaya?” nikamdadisi, “hapana, ila kila akiona dada yuko mbali anaanza kunishika na wakati mwingine atanilazimisha tufanye bt nikawa nakimbia namuacha mwenyewe nyumbani. mpaka dada akirudi ndo namm narudi",.


Nikamuuliza kama Marga anajua, akasema mchana wa siku hiyo Marga ameshuhudia kwa macho yake Albert akilazimisha kumkumbatia wakiwa jikoni. Ila Zahra hakusubiri kutimuliwa, akamwambia tu kuwa kwa tabia za huyu mwanaume iko siku atambaka so akaomba aondoke. Marga hakupinga. Na kwakuwa hana ndugu wala mahali pa kwenda hakua na jinsi zaidi ya kuja hapa.


Sikujua niamue nn. Kwanza mm mwenyewe tu hela ya kujihudumia mwenyewe sina ntawezaje kuhudumia watu wawili? Kama alisoma mawazo yangu vile maana akaniambia, “kuja kwangu hapa haina maana kuwa nataka uniajiri, hapana, naomba hifadhi yako tu maana pamoja na kuwa sina mahala pengine pa kwenda, najua uliishi na mm kama ndugu yako” akaendelea, “wanaume wote ambao nimekaa kwao waliishia either kunibaka au kunitaka, ila ww ulikua wa tofauti kwangu. Ww ni mtu pekee ambaye nakuamini utanichukulia kama mdogo wako. Naomba msaada wako kaka yangu maana sina pengine".


Maneno yake yalinisikitisha. Ikabidi nimwambie hali halisi kuwa sio kuwa sitaki kumsaidia ila uwezo wa kumlisha sina. Yaani sina chochote. Akanambia nisijali tutakula kinachopatikana na pia kuna vihela alikua ametunza so hatuwezi kukaa njaa.


Ndo ikawa nimepata mdogo wa hiari. Tuliishi kama ndugu. Alinisaidia walau kupaweka pale home ktk hali ya kustaarabu. Kuwepo kwake kukanipa pia hamasa ya kutafuta pesa zaidi maana nisingependa kuona tunalala njaa. Miezi ikakatiza. Oneday ktk story na Zahra akaniambia angependa kujiendeleza kimasomo maana huu muda alio idle angeweza kusoma ile wanaita QT.


Nikaona ni wazo jema, nikamsaidia kujiandikisha kufanya huo mtihani, ambao ukiufaulu unapata sifa ya kufanya mtihani wa kidato cha nne. Nikawa nikirudi jioni naanza kazi ya kumfundisha. Hii ikanipa hamu ya mm pia kurudi shule. Nlichofanya nikauza kile kiwanja changu kule bunju. Sikutaka kwenda law school, nikajiandikisha kozi ya uzamili (masters), nikalipa kabisa ada ya mwaka mzima. Ikabidi nimwambie Zahra ajiandikishe kwenye kituo cha mafunzo hayo ya QT ili awe anaenda asbh then akitoka awe anakuja posta kunipokea kijiwe cha vitabu ili mm niende chuo kwa masomo yangu ambayo yalikua yanafanyika jioni. Ikawa hivyo.


Baada ya muda nlishangaa kuona mauzo ya vitabu yanaongezeka. Hasa Zahra akiwa ndo anauza. Yaani mm nlikua nikiuza sana ni vitabu viwili, ila Zahra alikua akija jioni kauza si chini ya vitabu 10. Na kwa kuwa kwenye kila kitabu kulikua na faida ya Tsh 2000/ kwa kweli hali ikawa inaenda poa sana. Kila siku tulikua tunaweza weka akiba kidogo. Then Zahra akaja na idea ya kuongeza vitu vya kuuza pale kijiweni hasa cultural products, tshirts za kiras na kofia pia. Nikaona ni wazo zuri. Tukapaongezea vitu pale kijiweni na vikawa vinaenda kwa kweli. Tukawa kimtaamtaa tuko walau fresh. Yaani hatukosi hela ya pango, nauli wala chakula. Nikaona Zahra kweli kichwa ingawa umri mdogo.


Tumelisongesha life namna hiyo kwa muda mrefu. Then one day nipo zangu kijiweni nimekaa kwenye bench nikasikia yule shoe shiner wa jirani yangu anaongea na mdada. Sikutaka kumuangalia anayeongea nae, ila sauti ikawa kama naifananisha, yule mshkaji akawa anamuongelesha kwa namna ambayo ni kama wanafahamiana, “……… ila leo best yako hayupo yupo Ras mwenyewe" kabla hajajibu nikageuka kumcheki anayekaribishwa….


Ndo macho yakakutana na my beautiful Zoya. Ndo nikagundua nlikuaga nampenda kiasi gani huyu mwanamke.


Nikasimama. Nikabaki namuangalia na yeye ananiangalia. Sikuweza sema kitu ndugu msomaji…. Cha kushangaza hata yeye hakusema kitu ananitazama tu. I felt like I should say something, anything…. No……everything, bt I just couldn’t…





Zoya


Mlinimiss eeh? Hahahahaha I missed you too. Sometimes najiuliza hii story ni kunihusu mimi au Ras, Hahahaha. Anyways tuachane na hayo, ila story hii bado mbichi ndugu wasomaji. The last time tumeonana nliwahadithia siku namuona Ras anauza vitabu posta, right?


Basi bwana, that day baada ya kuhakikisha ni yeye, na kuwa hali yake inaonekana kuyumba sana, nlirudi kwenye gari nikakaa kama nusu saa. Nikawa nafikiria since first time namtia machoni Ras. Nisiwaongopee ndugu wasomaji, nliinama kwenye usukani nikalia.


I cried for all that was supposed to happen bt didn’t. Nlimhurumia pia, ila nikaona ni adhabu tosha kwa Marga. Ingawa anayeteseka ni Ras, ila nlijua huko aliko Marga anaumia pia. Acha waumie. Nikafanya maazimio ya kutowashobokea na familia yao.


Kumuona Ras ikawa imenipa kama utulivu flani wa moyo na akili. Sikua nawaza sana kuhusu yaliyotokea. Hii ikanipa chance ya kuanza kumlegezea Diop. Akawa akipiga napokea, msg najibu, outing nazikubali, hivo yani. so tukajikuta tuko close sana yani.


Diop ni mtu flani mcheshi kinoma. Alafu he was a business genius. Tangu amefika ameshaestablish kampuni mbili, moja ya security nyingine ya kilimo cha maua. Na kwa jinsi anavyoielezea mipango yake bila shaka atamake pesa ya kutosha. Zaidi ya yote alionesha kunipenda kwa dhati. Yaani kuacha vinono vya ulaya na kuhamia bongo kuja kuanza upya just for me ilikua ni ishara tosha ya upendo wake kwangu.


Kama nlivyosemaga mwanzoni. Ingawa niko na pesa ila sikupenda kujionesha sana. Badala ya kukaa mbezi beach au masaki labda, nikapanga nyumba mitaa ya kijitonyama. Oneday Diop alikua amekuja dsm from Arusha kwenye mashamba yake ya maua. Pamoja na kuspend time mara kadhaa na Diop, ilikua bado sio wapenzi. We were just friends.


That day akashauri tukapate indian food mahala, maana ilikua favorite food yake. Kilichokua kinanishangaza, hakua anagusia kabisa suala la kuwa wapenzi. Alikua anainjoi tu my company mwenyewe anasema. Bas that day baada ya dinner akanirudisha mpaka home. Kufika home tukafunguliwa geti na mlinzi, akapaki na tukashuka kwenye gari, then nashangaa mtu ananifuata mpaka mlangoni. Mi nlitegemea ataniaga asepe.

ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog