Search This Blog

Sunday, February 26, 2023

BIBI MBUYA NA WAJUKUU ZAKE - 5

  

 Chombezo : Bibi Mbuya Na Wajukuu Zake 

Sehemu Ya Tano (5)

yale maji, ni kama mtu anaye kimbia ndotoni, hapo kikatokea kitu ambacho sito kuja kuki sahaau, niliisi miguu ikizidi kukosa nguvu na nikajikuta niki anguka chini kama gunia, nika jigeuza ili kujihami na ile mijibwa, nikaiona ile mijibwa ikija na kuruka usawa wa kifua changu, lakini kitu cha kushangaza, niliona ghafla sana akitokea bibi yao wakina Amida, akaiwa anafungua kile kilemba chake na kuki rusha, huku akiongea maneno flani kama ya kuwakemea wale mbwa, sikuyaelewa yale maneno, sababu yaliongelewa kwa lugha nisiyo ifahamu, huku nikishuhudia kile kilemba cha bibi Mbuya kikilefuka nakuwa kama kamba ndefu sana, mfano wa ile ya kuendeshea farasi, kitu cha hajabu zaidi kilicho nifanya ninishangae ni kile kilemba cha kuogofya kilipo anza kujizungusha kama joka au ungesema kina uhai kwajinsi kilivyo kuwa kina kuja uwa nilipo mimi na wale mbwa wawili, na ile kufumba na kufumbua tu!... itaendelea baada ya muda mfupi, aya sasa leo ni mwendo wa bandika bandua



huku nikishuhudia kile kilemba cha bibi Mbuya kikilefuka nakuwa kama kamba ndefu sana, mfano wa ile ya kuendeshea farasi, kitu cha hajabu zaidi kilicho nifanya ninishangae ni kile kilemba cha kuogofya kilipo anza kujizungusha kama joka au ungesema kina uhai kwajinsi kilivyo kuwa kina kuja uwa nilipo mimi na wale mbwa wawili, na ile kufumba na kufumbua tu!... kile kilemba kiliwaviliga wale mbwa kuanzia miguuni na kichwani mpaka mdomoni, akawa anawavuta kwa nyuma kwamba wasinizuru, lakini wale mbwa walionekana kumzidi nguvu, na kumkokota yule bibi, hapo nikaona ona sasa nimepatikana, kiukweli tukio nililo kuwa naliona machoni, mwangu halikuwai kuwa la kawaida, na halitawai kuwa la kawaida kamwe, ata wewe msomaji usingeweza kuamini, maana wale mbwa walikuwa na sura za kutisha, wali unguruma kwa sauti mbaya huku midomo yao ikitoa povu, kwakweli ilitisha sana nilijikuta nikipiga kelele kama mtoto, huku nikirusha rusha miguu yangu, nikijaribu kuwa ogopesha wale mbwa pengine wange ogopa kunisogelea, lakini haikusaidia, walizidi kushindana nguvu na bibi mbuya, huku akiongea maneno yake yasiyo eleweka, baada ya vuta niku vute nikaona yule bibi akiwa shinda nguvu wale mbwa, mikaona wametulia kisha kikafwata kituko kingine, baada ya dakika kadhaa nikiendelea kuwa tazama wale majibwa, yaliyo fungiwa na kilemba cha bibi huyu ambae nilisha mwogopaga kitambo, nikaanza kuona wale mbwa wakibadilika taratibu, kutoka katika umbo la mbwa kuja kwenye umbo la binadamu wakianzia minguu na mikono, hapo nusu nizimie, niliendelea kukodoa macho nikashuhudia wale mbwa, wakizidi kuonekana katika taswila ya binadamu, tena wanawake walio kuwa uchi kabisa, kilikuwa ni kitendo cha sekunde kama kumi tu, nili waona Amida na Zamda wakiwa wae chuchumaa mbele ya bibi yao bado wame viligwa na kilemba cha bibi yao, "kwanini bibi unatuzuwia, lazima atufanye kwanza ndiyo aende"
aliongea Zamda akijaribu kukukuruka toka kwenye kifungo cha bibi yake, 


wakizidi kuonekana katika taswila ya binadamu, tena
wanawake walio kuwa uchi kabisa, kilikuwa ni kitendo cha
sekunde kama kumi tu, nili waona Amida na Zamda wakiwa
wae chuchumaa mbele ya bibi yao bado wame viligwa na
kilemba cha bibi yao, "kwanini bibi unatuzuwia, lazima
atufanye kwanza ndiyo aende"
aliongea Zamda akijaribu kukukuruka toka kwenye kifungo
cha bibi yake"weweeee! uwezi kumlazimisha mwanaume
akulale, kama hataki hataki tu!" alisema yule bibi
akiwatuliza wajukuu zake, ambao niliwaona wapo uchi
kabisa, "hapana bibi, tumnyweshe ile dawa ya Mkuyati,
lazima ata simammisha tu, atake hasitake atatufanya
wote, tena usiku kucha" hapo nikaanza kujiinua taratibu
maana niliona nikizubaa nita nyweshwa iyo dawa alafu eti
niyagonge haya sijuwi ni binadamu au mbwa, japo nili
juwa siwezi kukimbilia poote mbele ya hawa wadudu, ambao
kimoyo moyo niliwaita ni malaya wachawi, "alafu kiwe
nini?, yani leo sijuwi mmepatwa na nini? mpaka mna fikia
atuwa ya kutaka kubaka" bibi Mbuya aliongea kwa jazba
huku wale wkina Zamda wakiunguruma kwa hasira na macho
yao y huchu wame yaelekeza kwangu,hapo nikamwona bibi
Mbuya akinitazama na kuniamrisha niondoke "wewe ebu
ondoka unazidi kuwatamanisha wajukuu zangu, potea mala
moja" hapo sikuzubaa, nikainuka na kuanza kutimua mbio,
pasipo kujari kama kuna vitu nilivyo dondosha, nili
kimbia sana, huku bibi mbuya akini shambulia kwa maneno
ya kebei, "koma mshenzi wewe, siyo kilakitu kina faa
kuliwa, utakula sumu,ole wako ukatize hapa kijijini
alafu wakuone tena, utajuta kuzaliwa mwanaume"
nilikimbia pasipo kuyajari maneno yale ya yule bibi,
siku danganyi nili tumia nusu saa kufika kijijini kwetu
mandepwende, nika wasimulia wakina babu yaliyo nikuta
walicheka sana, wakaniambia tena ilikuwa bahati yangu,
maana wange weza kuni fungia ndani nakuwa wana ni
nywesha dawa kisha kazi ni moja tu ya kufanya ngono na
wale wajukuu wa bibi Mbuya, tena wakaniambia kuwa yule
bibi anaogopeka sana adi vijiji jirani wana mtambua,
hapo sikukaa sana kule kijijini nika rudi mjini ni ki
zungukia njia ya namabengo kisha barabara itokayo
tunduru mpaka mjini songea, HAPA NDIYO MWISHO WA STORY

MWISHO

0 comments:

Post a Comment

Blog