Search This Blog

Sunday, February 26, 2023

BEPARI TIMOTH - 4

   


Chombezo : Bepari Timoth

Sehemu Ya: Nne (4)


waliweza kumwona beko kwa mbali akiendelea na kazi zake ndogondgo, basi hapo shadya

alifurahi sana na kuongeza mwendo ili wafike alipokuwa Beko, kiasi cha kumshangaza ata

Tausi, nakumfanya aingiwe na wasi wasi, lakini akajipamoyo kuwa yule ni mke wa mtu mkubwa

sana, hazi kufanya lolote, huku wakimkalibia beko, poleni sana kwa usumbufu ulio jitokeza

jana, ni kutokana na majukumu yakitaifa,





No 26: Hatimaye walimfikia beko, na ndipo tausi alibaki nyuma kidogo, huku akimwonesha shadya "yule aliye chuchuma huku

anafanya kazi ndiye aliye kusaidia siku ile" japo shadya alimkumbuka vizuri kijana huyu, lakini alizuga kuwa hakumwona

vizuri sikuile, basi shadya akiwa anatembea kwa mapozi, huku akimsogerea beko, moyo wake ulijawa na furaha sana , huku

akiisi kuna vitu vina tekenya kwenye kitumbua chake, Beko alishanga sana, kumwona shadya maeneo yale, tena usiku, na

kujiuliza "huyu kaja kwaajili ya nini?" Akupata majibu sahihi, sababu alijiuliza mwenyewe, ndipo beko alipomwona bi shadya,

akifika karibu yake, wakasalimiana. Shadya tangu alipomwona kwa mbali kijana Beko, akichapa kazi kwenye bustani iliyo

zunguka nyumba anapo ishi beko, alivutiwa sana na uchapakazi wake, basi huku wakiendelea kkutambulishana,kwa heshima ya bi

Shadya, beko alitaka kusitisha kazi, ila bi shadya akutaka aache kazi aliyokuwa akifanya. Basi beko aliendelea kufanya kazi

aliokuwa akifanya huku wakipiga story na shadya, basi story zilinoga mpaka alipomaliza ile kazi, beko aliingia ndani

kuludisha vifaa na kuludi nje, waktafuta mahari wakakaa na maongezi yakaendelea, kumbuka Tusi alikuwa amejibanza mbali

kidogo hakutaka Beko ajuwe kama yupo maali pale, na kutokana na giza hakuweza kumwona kama yeye alivyo waona, maana aliisi

kitu kwenye macho ya bishadya. hakuwa na lakufanya, uku akiwaza juu ya mimba aliyopewa na Timoth, alikaa akimsubilia shadya,

ili waludi nyumbani, Tusi akiwa mafichoni alimwona beko akiketi, na kumkalibisha mgeni naye aketi chini wazunguze, kwa

kipindi kifupi sana walizoweana, ilichangiwa na ucheshi wa bi shadya, kiasi cha kumfanya kijana huyu, kushangazwa na mke

huyu wa mfalme, yaani malikia,jinsi ilivyokuwa unaweza kusema kama walishawai kutana kipindi cha nyuma sikuzote kidogo

kitamu, kwasasa tuishie hapa, ili baadae tuone kilicho tokea baina ya wstu hawa wawili,je Tusi ata kubari Bi Shadya atimize




No27: Huku story zikiendelea vicheko vikitawala miongoni mwao, basi walipiga story mda mrefu, uku Tausi akitamani kumfuata shadya ili waende nyumbani, maana akifikilia vile vicheko waliokuwa wakicheka Beko pamoja na shadya, alipatwa na wasi wasi kwamba beko anaweza kupatwa na vishawishi na kumsaliti, kwani aliona uzuri wa shadya na vishawishi alivyo navyo mrembo huyo. Ndipo shadya akamuuliza beko "uliwezaje kunisaidia maana yule ngombe (fahari) alionekana kuwa na nguvu za ajabu" Beko akajibu "siku zote sijajenga mazoea ya kuogopa kitu kinachofanya huarifu kwenye kijiji changu, na mbele ya USO wangu, nami nikiangalia na kukiogopa" shadya aliuliza maswali mengi na beko alijibu vizuri atakavyo shadya. Punde maongezi yakabadilika na wakabaki kimya kwa mda mfupi, huku wakiangaliana (kimahaba) zaidi shadya alikuwa akicheka cheka kiaibu aibu, kicheko kilicho ashiria kuwa kuna kitu cha siri anakiitaji toka kwa beko, wote wakisahau kuwa mda ulikuwa ushakimbia sana, kwa hali ile shadya akuvumilia, na kumshawishi beko wafanye yale mambo (mchezo wa baba na mama) "nikikuomba uni fanyie kitu utakubali?" shadya aliongea kwasauti nyololo ya kuvutia. Huku Beko akisita sita "akajibu bila shaka malkia" shadya akumwachia hata nafasi Beko, "tuingie ndani tafadhari jambo lenyewe nila falagha," mapigo yamoyo ya beko, yalienda mbio , nabila kutambua kama mpenzi wake Tausi yupo karibu, ali....... du! unazani bi shadya anataka nini? je



No28 "tuingie ndani tafadhari jambo lenyewe nila falagha," mapigo yamoyo ya beko, yalienda mbio , nabila kutambua kama

mpenzi wake Tausi yupo karibu, aliinuka taratibu nakumwongoza bi Shadya ndani, Tausi alizidi kupatwa na wasiwasi, baada ya

kuwaona wakiingia ndani, akajivuta na kwenda dirishani, akapata wasaa wakushuhudia kinachoendela mle ndani, aliweza

kumshuhudia Shadya, akiongoza kuanzisha mchezo , kwanza alimg'ang'ania mdomowa Beko, nakupiga juice kama nusu lita, huku

wakishikana sehemu mbalimbali, zakuamsha popo, ndipo aliweza kushuhudia bi shadya akipolomosha vazilake chini, kisha beko

yeye alishusha kidogo ili apate nafasi yakuitoa dudu, nakazi ikaanza, hapo Tausi akasitisha zoezi la kuchungulia, maana kwa

mda huo shadya alionesha ujuzi wake, huku beko nayea akijitaidi kumzibiti shadya, kumwonesha vijana wenye ngozi nyeusi,

kwenye sekta hiyo wanaweza siyo wanabahatisha.baada ya kukaa kidogo Tausi akachungulia tena, alichokiona mule ndani alizidi

kuumia sana, maana alimwona mpenzi wake Beko akiwa amekaa kwenye kiti na shadya akiwa amemkalia kwajuu yake,akikata kiuno

mzungusho, nambaya zaidi katika kumbukumbu yake hii stayle uwa wanaifanya mala chache sana, tena siku ambazo yeye Tausi

hajisikii kufanya tendo maana inamhamsha mzuka kwa haraka sana, kiukweli aliwaona wakiwa kwenye dimbwi zito la mahaba.

Tausi kwa hasira aliondoka na kuacha beko na shadya wakifanya mambo yao. Zoezi lilichukua mda kidogo huku kila mmoja wao

alitoka amelizikakwa kile walicho fanya, shadya aliomba awe anapewa kila atakapo itaji, beko hakujibu kitu kwani alijuwa tu

huyu nimke wamtu tena wakupita , na yeye anapenzi wake . Basi beko alimtoa nje shadya ili aludi nyumbani maana mda ulikuwa

umeshaenda, nje hakumwona Tausi, ikambidi aanze safari,akiwa pekeyake, na huko nyumba kwa Timoth, palisha chafuka, mfalme

kutoka UK alikuwa akimuuliza mkewe bepari Timoth, kuwa mkewake Shadya yupo wapi, akuwa na majibu ya kutosha. Punde shadya

alifika nyumbani huku akimkuta mumewe anazunguka nyumba nzima kumtafuta. Ndipo yule mfalme akamuuliza kwa hasira "ulikuwa

wapi ?" Shadya alinyamaza kimya bila yakuongea kitu ndipo mfalme alipo, itaendelea.... duh! itakuwaje kwaupande wa Tausi na

Beko, maana kwa Shadya kimeanza kunuka,



No29: baada yakuona kuwa shadya hakuwa na jibu pia alionyesha dalili za kuwa ametoka kulishwa dudu, maana macho yake yalikuwa mekundu pia nywelezake zakialabu zilikaa mkao wakutimuliwa,ilikujuwa alipo tokea, ndipo Timoth alipo tuma wapelelezi ili waka fanye utafiti, kujua shadya alikuwa amekwenda wapi, kwa mda ule aliokuwa akitafutwa. Bepari Timoth aliteua vijana ambao wako makini sana, na kuanza kufanya utafiti, na bila kuchelewa walikwenda kuanza kazi mara moja. Walizunguka kila kona ya kijiji kile, kuulizia kama wanakiniji walimwona yule mke wa mfalme kutoka UK, akipita maeneo hayo, basi kila mwanakijiji alipo ulizwa alijitaidi kutoa ukweli wake, kwani ukionesha uongo ndani yake walikuwa wanawaua. Ilichukua masaa mengi sana kwa vijana hao, kupata taharifa sahihi, na kuonekana yule mke wa mfalme kutoka UK alikuwa kwa Beko. ilisemaekana alionekana wakati wakutoka, yupo kijana mmoja ambae alimwona mwanamke mgeni,mweupe akitoka nyumbani kwaBeko usiku huo, mala moja Taharifa zilimfikia Timoth na kisha mfalme, ikaaamuliwa watumwe vijana shupavu, wamkamate beko mara moja. Asubuhi ilipofika Beko akiwa anajianda kwenda kwenye maeneo ya kazi, kwenye kiwanda cha miwa, ndipo alipo tupa macho yake mbele, nakuona umati mkubwa wa wavijana wakionyesha kuwa kuna tukio, ukija kwake, walipofika walimkamata bila maelezo yoyote, ya kujua kafanya kosa gani? Walimfikisha kwa mfalme yule huku mfalme akitaka wampoteze kwa kwakumnyonga, (hauwawe kijana beko) mke mfalme huyo (shadya) alimtetea kijana huyo, alipinga huamuzi wa kutoa uhai wa kijana yule, na kumwambia mumewe kuwa yeye hakwenda kwaniambaya, alienda kumshukuru, kwasababu huyu ndiye aliye yaokoa maisha yake, wakati lile ng'ombe lilipomvamia. tena akasema kuwa hakuwa peke yake alikuwa na Tausi, Mfalme aliposikia hivyo, akaagiza Tausi aitwe ili kutoa ushaidi, kamakuna lolote lilitokea, kusikia hivyo Beko akapata ufahamu, kuwa kumbe Shadya hakuja peke yake, ileja na usiku, kwahiyo Tausi aliona kila kitu, Tausialifika mbele ya baraza la hukumu, akatakiwa atoe hushaidi wa kilichotokea nyumbani kwa beko usiku,ndipo Tausi bila kupepesa macho, akiwa amemkazia macho.... haya sasa je Tausi ataliamsha dude? kamambwai mbwai, tuonane baadae kupata majibu kwenye



No.30: akimwangalia yule mfalme wa UK,akasema "mtukufu mfalme jana Malkia hakufanya chafu lolote, muda wote waliongea mbele

yangu, tukiwa nje ya nyumba, naomba husi mwazibu mjakazi wako, kwani hakufanya lolote chafu" hapo adhabu ilibadilika, na

kumwandikia walaka kijana Beko, kutomwona kwenye kijiji hicho tena (aondoke). moyoni mfalme alihisi kuwa mkewake amempenda

kijana huyu, hivyo anaweza akampa tia tunda muda wowote, hakujuwa kama tayali watu walisha tafuna, Beko nae alichukua barua

ile, ambayo ilimpa masaa machache, hasionekane kwenye kijiji kile, basi aludi nyumbani na kuandaa vitu vichache vya

kuchukua, akiamini kuwa muda wowote ataludi tena nakukikomboa kijiji chake, swali likaja aelekee wapi? Hakupata jibu, pia

alitamani sana amuone mpenzi wake Tausi ili amuombe msamaha, kwakuwa muda mchache aliopewa ulikuwa una karibia kuisha,

aliamuakuondoka kwenye kijiji huku akifikilia atarudi tu! na kukikomboa kijiji chao kilicho tawaliwa kwa manyanyaso, na

mateso mengi ambayo hayasitahili kwa binadamu. Basi beko akiwa amekata tamaha ya kumwona Tausi,alianza safari ya kusiko

julikana, na wakati akiondoka alipita kwenye kiwanda cha miwa, ili awaage rafiki zake, wakati anatoka tu nymbani kwake akiwa

anaelekea huko, mala alisikia sauti iliyo upasua moyowake kwafuraha, ni sauti ya mpenzi wake Tausi, alikuwa anamwita, Beko

akiwa anaaza kuingiwa na haibu kwakile alicho kifanya usiku, alisimama na kugeuka nyuma, akamwona Tausi akija kwake,

kwamwendo wa unyonge na sura ya huruma, japo alijitaidi kukimbia lakini hakuweza kuficha unyonge wa mwili wake. Huku naye

tausi akimwona beko, ameshika barua huku mgongoni kabeba Nguo zake, basi machungu yalizidi na machozi yaka tengeneza

vimifeleji machoni mwake, nakutililika mashavuni mwake, Beko alimsubili mpenziwake, na alipofika waliongea kidogo, kwani mda

aliopewa ulikua mchache sana, tausi alimwangali Beko kisha akamwambia "Beko nakuomba huko uendako, uwemwanzo wa mapinduzi

hapa kijijini, ona haibu tunayo fanyiwa, ona machozi yanavyo nitoka ikwaajili yao" naye Beko akamwahidi Tausi "Tausi mama

naenda kutafuta kitambaa chakukufutia machozi," pia alisisitiza kuwa nilazima akajipange, ili kutimiza alicho sema

kipindicha nyuma, Tausi alicheka kwa uchungu, huku machozi yakimtoka na kusema "uwemakini sana mumewangu, maana ukionekana

tena huku, maisha yako yako hatarini?" Beko akajibu "sikuzote ukiona vita umeshindwa, inabidi uludi na ujipange upya, basi

nami niendako naenda kujipanga upya, na nikiludi narudi na nguvu mpya (nguvu ya ushindi)" huku Beko akisema hayo, Tausi

akajiwa na imani ya kuwa Beko anaweza kukikomboa kijiji. Beko alimwaga Tausi na kutokomea msituni, akishindwa kwenda

kiwandani kwaaga wenzake, maana muda ulikuwa umekwisha, huku akiwa ajui aendako, alizidi kutokomea mstuni, kwakuwa alikuwa

na uzoefu wa eneo lile na maeneo ya jilani, aliji amini huko aendako, lazima atapata sehemu ambayo atapata msaada. na ndipo

alipotumia siku kadhaa, ndipo alipofika sehemu fulani, akaona mbele yake .... haya sasa kijana shujaa Beko anapanga kuludi

na kukiomboa kijiji wali je ataweza, naitakuwaje Tausi, endelea kubaki na mimi ilikujuwa kilicho




No31 Aliona kwa mbali kijiji na kuanza kukifata huku akiamini ndicho kijiji

ambacho chief matomondo. Basi akapiga moyo konde na kukifata hicho kijiji,

alitumia mda mchache na kufika, na kumbe kile kijiji kilikua cha yule yule

Chief matomondo, basi alipofika geti kubwa, aliomba walinzi kumuitia chief

matomondo ili aongee nae, basi walimwita naye akafika pale alipo kijana Beko,

ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog