Search This Blog

Sunday, February 26, 2023

PAULA MFARANSA MWENYE VISA - 4

    

Chombezo : Paula Mfaransa Mwenye Visa

Sehemu Ya: Nne (4)



Tukaachana mimi nikirudi Handeni mjini naye akijumuika na wenzake kwa utafiti wao. Wenzake walifurahi sana kuona tukiwa na furaha mimi na Paula. Nifika mitaa ya home na kuingia kwenye story na washkaji na kusema kweli stress zote za Rose zilikata kabisa nikawa kama hakuna kitu chochote kilichotokea...




Nikiwa njiani kuelekea Handeni Mjini Rose akanipigia na kuuliza mbona jana jioni mpaka usiku simu yangu ilikuwa inatumika tu muda wote. Nikamwambia kuna muda nilikuwa naongea na simu ila hilo lingine la kuwa bize sijui kwa kweli. Nikaona nimpigie kabisa. Akalalamika kuwa simu yangu imekuwa busy sana sana muda wote. Kiukweli nilikuwa nimeblock namba yake jana jioni mpaka leo asubuhi. Sikutaka usumbufu kutoka kwake, nilihitaji kula raha na Paula.


Tukamaliza kuongea nikamuondoa block nikaendelea na mishe zangu. Jioni kama kawaida nikarudi Komsala na kula maisha na Paula kama kawaida kwa raha zetu. Nilipokuwa na Paula nikazima simu kabisa kupunguza usumbufu kutoka kwa Rose maana nilishaona missed calls zake. Siku tatu zangu zikaisha nikarudi zangu Dar nikiwa fresh kabisa sina stress wala nini.


Asubuhi nikaingia kazini na kukutana na Nino ambaye alinilaki kwa bashasha na kuuliza vipi maendeleo yangu nikamwambia niko poa sana na kweli aliniona niko poa maana uso ulijaa tabasamu. Nikakalia kiti changu na kuanza kazi za siku Rose akanipigia kujua kama nimeshakunywa chai nikamjibu tayari nilikunywa kabla sijatoka home akaongea kidogo akanipa mabusu na tukaagana. Mchana akapiga tena tukaongea na kuagana akinitaka niende nikale muda umeenda na kweli nilikuwa nimechelewa kwenda kula. Kwenye saa tisa na nusu akanipigia tena na kuniuliza kama niko sawa maana anahisi sauti yangu kama iko tofauti hivi kila akinipigia.


Sikuwa najua kumbe ukibadilika kwenye mahusiano sauti nayo huwa inabadilika wakati mimi nilijitahidi niwe kawaida tu ila yeye anahisi nina jambo linanisumbua mpaka sauti imebadilika siyo ile aliyoizoea. Pili akalalamika kitendo cha mimi kuchukua likizo ya dharula bila kumwambia. Nikajiuliza kazipata wapi hizi habari huyu mwanamke wakati kweli sikumwambia kama nimechukua likizo. Hata nilipokuwa Handeni bado nilijifanya kama niko Dar tu kumbe kashajua nimesafiri kwa likizo ya siku tatu. Nani kamwambia maana Kalunga amesema hajamwambia chochote wala hakwenda kule home.


Akaniambia jioni atakuja home maana amenimiss sana nikamkaribisha nikimwambia nimemmiss pia. Nikaendelea na kazi na baada ya muda wa kazi kuisha nikampitia Nino na kumrudisha mpaka Mombasa ili apande vi Hiace aende kwao nami nikageuza kurudi home kwangu Kigamboni.


Nikafika home na kumkuta Rose ameshafika kitambo tu akiwa anapiga story na Kalunga sebuleni. Nikajumuika nao kwa story baadae tukala chakula na kuangalia TV. Mpaka muda huu Kalunga hajui chochote kuhusu Rose kabisa na niliacha mambo yawe kama kawaida ili nisiharibu hali ya hewa. Muda wa kulala tukaelekea chumbani na Rose ili tukalale, tukaingia bafuni kuoga akajitahidi kuniogesha kwa mahaba kama yote lakini wala sikuwa na mzuka hata nukta. Alimshika nyoka wangu akimuosha vizuri lakini alikuwa amelala usingizi wa pono na kunywea kuwa mdogo kama sio nyoka wangu aisee.


Rose akaniuliza kama naumwa maana hajawahi kuona nyoka wangu akiguswa na mikono yake akashindwa kunyanyuka kwa vurugu na kupiga pushups lakini leo nyoka yuko dorooooo. Nikamwambia niko poa tumalize kuoga tukapumzike. Tukamaliza na kukijongea kitanda Rose akajitupa kitandani akiwa uchi baada ya kulitupa taulo kwenye sofa nami nikakaa kwenye pembe ya kitanda nikiwa na taulo najiuliza nianzie wapi.


Rose akaja nyuma yangu na kunikumbatia kwa kuzunguusha mikono yake kwa kuipitisha nyuma ya shingo yangu mpaka kifuani kama amenipiga kabali hivi akinipumulia sikioni. Akaingiza ulimi wake sikioni kwangu na kusokora sokora lakini wala sikuwa na mzuka hata nukta. Nikamuita, “Rose, kuna kitu nataka kukuuliza na uniambie vizuri bila kunificha chochote.” Akaniambia, “Niulize mpenzi wangu nami nitakwambia chochote utakacho baby..” aliongea kwa mahaba nadhani akiwa na nyege nyege akitaka tiba ya Mzaramo miye.


“James John ni nani wako” nikatupa swali moja kwa moja nikilitazama kabati mbele yangu sura nimeinyanyua na nimekunja ndita. Nilikuwa namuangalia Rose kupitia kioo cha kabati akiwa nyuma yangu wakati nalielekeza hilo swali kwake. Nikaona kapata mshtuko wa hali ya juu akawa kama amepigwa shoti ya umeme na kuganda kwa sekunde chache. Nikarudia swali tena, “James John ni nani kwako?” Rose akanyanyua sura na kunitazama kupitia kioo cha kabari pia akakutana na sura ya kiume yenye ndita na kuogofya. Hakuwahi kuniona nikiwa nimekunja ndita usoni hata siku moja lakini leo aliiona sura tofauti sana na sura aliyoizoea siku zote. Nikamuona midomo ikitetemeka na akipoteza uelekeo, lilikuwa kama shambulizi la ghafla sana kwake.


“James ni rafiki yangu...” Rose akanijibu huku akijiondoa mgongoni kwangu na kuegemea kwenye kitanda upande wa kichwani akiwa amekumbatia mto kana kwamba anasikia baridi sana. “Urafiki wenu wa aina gani”? Nikamtupia tena swali. Akanyamaza kwa dakika kama mbili kisha akasema “Ni urafiki wa kawaida tu kama urafiki, he is just a friend Kimo...”. Nikageuka nikamtazama kwa dakika kadhaa nikiisoma sura yake na kukuta akiweweseka namna ninavyomtazama. Hakuwahi kuwaza kama nina sura ya namna hii hata siku moja nadhani.


“OK, that’s fine nina swali lingine linalofanana na hilo...” Nikasita kidogo na kumtazama tena akiniangalia huku midomo ameilegeza, “Niangalie na uniambie sasa hivi... na Dastan ni nani kwako?” Mshtuko alioupata ulizidi wa awali. Nikahisi kabisa akitetemeka mwili. “He is.. he is just a friend also Kimo... what’s wrong baby?” Nikanyanyuka na kuiendelea laptop yangu halafu nikaiwasha nayo ikawaka haraka sana maana sikuizima bali niliiweka kwenye Hibernate Mode kupunguza muda wa kuwaka na kuload files. Nikarudi kuka palepale na kufungua picha kadhaa nikianza na ya James na kumuonesha. “Huyu ndo James?” nilimuuliza naye akatingisha kichwa kukubali, nikamuonesha tena picha ya Dastan nayo pia akakubali ndiye Dastan.


Nikamwambia asogee nilipo. Naye kwa kutetemeka akasogea. Nikafungua chatting za Whatsapp na kumuonesha wakichombezana na James na kusifiana jinsi walivyopeana tam tam na namna dogo anavyojibebisha. Rose akaanza kulia baada ya kushindwa kusoma hata msg tatu tu. Nikafungua na chatting zake na Dastan nazo nikamlazimisha aangalie. Akasoma moja tu na kuzama kwenye kilio. Sikumpa nafasi nikafungua audio zenye sauti zao wakichombezana kwanza akiwa na James na nyingine akiwa na Dastan. Sauti zao zilisikika vizuri sana na bila shaka yoyote akajua najua kila kitu.


Rose akaziba masikio asisikie sauti zile ambazo niliendelea kuziplay tu mbele yake. Akazama kwenye kilio cha kwikwi na akijifuta machozi mfululizo. Nikafunika laptop na kusimama katikati ya chumba na kumwambia, “Rose, umekosea sana kunidanganya nilipokuuliza hawa watu ni nani zako. Umekosea pia kunifanya bwege kwa kudate na watu wengine ukijua nina nia ya dhati kukupandisha daraja kuwa mke kamili kwangu...” Nikasimama kidogo ili maneno yangu yamuingie vizuri.


“Sasa sikia Rose, nyanyuka, vaa nguo zako uende...am done with you and don’t turn your face looking at me while you pass that gate outside...” nikapozi kidogo kisha nikaendelea, “Kati ya hawa wawili naamini James atakufaa sana maana Dastan tayari ana mahusiano yake yenye nguvu, you are just a side chick tu. Thank you!!!” Nikamaliza kuongea maneno hayo machache nikasogea kwenye sofa na kukaa nikimtazama. Rose akapasuka kwa kilio kikubwa sana na nadhani kilisikika mpaka nje. Nikanyanyuka na kuvaa bukta na Tshirt nikamwambia aamke avae aondoke muda huo. Rose akaendelea kulia kwa kwikwi uso ameuinamisha kati ya magoti yake ameufumbata kwa viganja vyake. Alilia kama amefiwa na sikujisumbua kumnyamazisha hata kidogo zaidi nilimsisitiza aamke avae. Nikamfokea kwa sauti avae akanyanyuka na kushuka kitandani akapiga magoti mbele yangu akiniomba msamaha. Nikamfokea asinipigie magoti na anyanyuke avae aende sina muda wa kujadiliana nae. Akaanza kuvaa kinyonge na taratibu sana. Alipomaliza uso ukiwa bado umemsawajika kwakilio na bado akilia nikachukua simu yake na kufungua application ya UBER kuita gari.


Gari ikafika nikamshika mkono kumkokota sebuleni maana hakutaka kutoka. Kalunga alishaamka na alikuwa sebuleni akishangaa kulikoni. Sikumsemesha chochote zaidi nikawa namkokota Rose kumtoa nje huku Kalunga akiniangalia tu kwa mshangao wa nini kimetokea kati yetu. Nikamtumbukiza Rose ndani ya UBER na kumlipa kabisa dereva nikizidisha elfu tano zaidi katika kiwangi=o kilichoonesha kwenya Application baada ya kuangalia route ya UBER mpaka Mbezi Beach kwa kina Rose.


Nikamwambia dereva ahakikishe amemshusha kwao uzuri dereva huyu wa UBER ni wa maeneo haya na si mara ya kwanza kumchukua Rose hivyo anapajua mpaka kwao lakini leo anashangaa mtoto wa kike analia tuu muda wote. Hakutaka kuingilia mabo ya watu akachoma mafuta kupotea mbele ya uso wangu. Nikarudi sebuleni na kumkuta Kalunga akiwa palepale amesimama kama kapigiliwa misumali miguuni. Naamini hakusogeza hata uwayo kwa inch moja. Nilipoingia tu akanidaka kwa swali, “Vipi broh, nini tatizo na shem?” Nikamtazama kwa sekunde kadhaa halafu nikamjibu, “Kazingua Rose... msaliti kwangu kaka tena wanaume wawili kwa mkupuo anatupanga... siwezi kuwa na mwanamke wa hivi Kalunga. Its over between me and Rose, so forget her bro... “ Kalunga akaguna na kujibwaga kwenye sofa hana hamu kabisa na kama haamini vile.


Akaniuliza kama nina uhakika nikamwambia nina chatting zake zote, audio zenye calls zote, messenger na message za kawaida zote za miezi minne iliyopita kwa hiyo nina uhakika 100%. Kalunga akachoka zaidi na kuguna tu na kushusha pumzi kwa kusema, “Hawa wanawake bhana pasua kichwa sana aisee, mi sikutegemea kwa namna Rose alivyo na mahaba kwako na anavyokujali bro” Nikamtazama Kalunga na kuyahisi maumivua ambayo pia anayo moyoni mwake. Najua anaumia maana alishamuweka kama mke wetu mtarajiwa katika akili zake, sasa hili la usaliti likamuacha hoi zaidi.


Tulikaa sebuleni tukiangalia TV kila mmoja akiwa hamsemeshi mwenzake mpaka saa nane na nusu usiku tukiwa hatuna usingizi hata lepe. Baadae nikamwambia “Dogo, kalale kaka nami naingia kulala, sahau kuhusu hizi mambo na maisha lazima yaendelee..” Akaniitikia lakini hanyanyuki kwenda kulala. Nikanyanyuka nakuanza kuelekea chumbani naye nikamuona anazima TV na kunyayuka pia. Nikajua alikuwa ananiangalia labda huenda nimechanganyikiwa hivyo amekuwa kama mlinzi wake akiniangalia kaka yake namna nilivyo.


Asubuhi nikaamka nikiwa poa kabisa kama jana hakijafanyika kitu. Nikatoka sebuleni na kulakiwa na Kalunga akiwa kashaamka muda tu. Akanijulia hali na kuuliza kama niko poa kabisa. Nikamwambia asiwe na shaka nilishajiandaa kwa hili kwa muda mrefu kidogo ndo maana nilichukua likizo ya dharula kuweka akili sawa. Kwa hiyo nilishaamua asiwe na wasi wasi. Akaridhika baada ya kuona kweli niko poa, akaandaa kifungua kinywa tukanywa huku tukiongea mawili matatu.


Nikachomoka na Mazda kuelekea kazini leo nikiwa kama mtu mpya niliyetua mzigo mzito sana. Nikakumbuka kuwa sijawasha simu yangu tangu jana nilipoizima kabla ya mtifuano na Rose. Nikaiwasha na msg zikaanza kumiminika mfululizo nikasema nitazisoma nikifika kazini. Njiani nikapata moja namba ngeni ikinipigia nikapokea nakuisikiliza, “Hello!!! Naongea na Kimox?” Nikajibu ndiyo na kumuuliza ni nani mwenzangu, “Mimi mama yake Rose baba, vipi kuna tatizo lolote limetokea maana Rose karudi jana usiku analia tuuu mpaka sasa bado analia akilitaja jina lako muda wote...” Nikamjibu, “Hapana hakuna tatizo kubwa mama, nadhani mngemuuliza yeye zaidi nini kimemsibu ila kwa upande wangu mama sina cha kusema” mama yake Rose akanyamaza kwa muda kisha akasema, “Sawa mwanangu hakuna shida ngoja tumuulize labda atasema kitu” Tukaagana na mama yake Rose na kukata simu.


Nikafika parking ya kazini na kuzipitia msg zote nyingi zikiwa za Paula na Nino na missed calls za Rose zilizokuja kama msg notifications. Nikaingia ofisini na kwenda kwenye kiti cha Nino alipo nikampa mkono kisha nikaubusu baada naye kunipa mkono wake. Wafanyakazi wenzake wakaona kitendo kile na kwa pamoja wakapiga makofi kana kwamba ni siku ya birthday leo. Makofi hayo yakamfanya Nino awe na aibu sana. Nikamuachia na kuelekea ofisini kwangu bado wakipiga na kucheka nyuma yangu na kumpa Nino hongera.




Muda wa mchana Nino akanifuata na kuniambia twende tukapate chakula cha mchana. Nikashangaa leo imekuwaje Nino aje huku juu kunifuata mimi eti kunichukua tukale? Mara zote mimi ndo nampitia kwenda kula leo kanifuata yeye mweh!!! Tukatoka na Nino mpaka mgahawani kupata msosi na nikatumia nafasi hiyo kuchomekea ombi langu la kulala naye, “Nino mpenzi...natamani kulala nawe mpaka asubuhi, nikulaze kifuani kwangu na kuzisikia pumzi zako muda wote wa usiku mpaka majogoo yatakapowika, unikumbatie na kunibana kwenye kifua chako laini mpenzi...?” Akaniangalia kwa muda kwa macho malegevu na yenye ashki halafu akaniambia taratibu, “Mpenzi si unajua mi ni ngumu sana kulala nje ya nyumbani? Naweza kuchelewa kurudi ila kulala nje ya nyumbani sijawahi kusema kweli baby...” Nikamtazama na kumwambia asijali nimemuelewa.


Tukala na kumaliza story zikinoga hasa na tulipomaliza tukakokotana huku tumeshikana mikono kurudi ofisini. Nino alionesha mahaba yake kwangu kwa uwazi sana sasa hivi na ule woga ulishamtoka kabisa. Nikampitisha ofisini kwake nami nikaelekea ofisini kwangu nikiwaacha Nino na wenzake wakiniangalia kwa bashasha namna nilivyokuwa namhandle mwenzao. Nilichokigundua ni wao kushindwa kuniita shemeji tu lakini kila kitu kiko wazi kwenye sura zao. Nino alikuwa anajidai sana kwa namna ninavyoona mashamsham yake yaani ana raha zilizopitiliza.


Nikaelekea kwenye ofisi yangu kuendelea na majukumu. Baada ya dakika chache nikapigiwa simu na rafiki wa Rose kuwa Rose ana hali mbaya sana na amekimbizwa hospitali kwa matibabu. Namba ya Rose nilishaipiga block kali sana na kublock mitandao yake ya kijamii yote. Msg alizokuwa anatuma niliweka zijifute automatically. Sikuhitaji chochote kutoka kwake tena, yaani nikishamwaga nimemwaga na sina muda wa kuangalia nyuma.


Nina imani yangu moja ambayo ni ngumu kuifuta ndani yangu. Naamini kabisa kuwa mwanamke akifikia kumvulia chupi mwanaume mwingine basi mwanamke huyo hana mapenzi tena na mwanaume wake. Mwanamke anaendeshwa na hisia wakati mwanaume anaendeshwa kwa tamaa. Ili mwanamke aweze kuvua chupi na kukubali kuingiliwa na mwanaume mwingine ni lazima mwanaume huyo awe ameshamuingia moyoni mwake, akilini na awe anamuwaza hapo mwanamke ataachia mashine nyingine iingie kwenye mbunye yake. Mwanamke hawezi kuruhusu mbunye yake kuingiliwa na yeyote kama hayuko ndani ya fikra zake.


Mwanaume anaweza kufanya mapenzi na mwanamke kwa tamaa na baada ya tendo asiwe na muda tena na mwanamke huyo yaani anasukumwa na mihemko tu. Pia mwanaume ni asili yake kutamani na kuchovya maana ndo uanaume wenyewe huo. Jogoo ukiliweka na mitetea atawapanda mitetea wote kama ilivyo beberu kwa mbuzi jike atatembeza kirungu kwa kila mbuzi jike bandani. Asili ya mwanaume ni hiyo kuwa na wake wengi kinachofanyika ni kujizuia tu lakini asili ya mwanaume ama kiumbe cha kiume ni wake wengi.


Kwa sababu mwanamke anaendeshwa na hisia na hawezi kutoa mbunye yake kwa yeyote ambaye hajamfeel basi mwanamke wako kama umemfumania jua kabisa huyo si wako tena. Ndani yake tayari kuna chembe za usaliti na hata ukisamehe ipo siku atakusaliti tena Waswahili wanasema “aonjae asali haonji mara moja...” na wazungu wanasema “once a cheater always a cheater...” so, you should be aware of that. Mwanamke hapaswi kusaliti kabisa, ni aidha aachane na wewe aanzishe mahusiano mengine au abaki na wewe na kurekebisha kwenye matatizo. Kwa hiyo usaliti kwangu kutoka kwa mwanamke ni tiketi ya yeye kwenda mazima.


Muda wa kazi ulipoisha nikarudi zangu home na kuzikusanya nguo zangu zote chafu na kuzitumbukiza kwenye mashine ya kufulia. Nikachukua bilauri ya juice na kukaa nayo pembeni nikisubiri nguo zichakatwe na mashine. Ilishatimu saa kumi na mbili za jioni wakati naanika nguo kengele ya geti ikaita. Kwa mwendo mdogo nikaelekea ilipo kijiTV cha kuangalia aliyeko getini ni nani. Doh!! Ni Semeni kasimama akiiangalia sehemu ya kengele ambako kuna kijicamera kinachochukua sura yake ambayo naiona kwenye kijiTV hiki cha ulinzi wa getini. Nikabofya kitufe na kusema “nakuja tafadhali...” niliamini kabisa Semeni aliisikia sauti yangu maana kuna kijispika kidogo pale kwenye kamera. Semeni akatazama kile kijisehemu ilipotokea sauti na kutabasamu.


Nikatoka getini na kusalimia na na Semeni nikimkaribisha ndani, akakataa kuingia akisema amepita tu kunisalimia atakaribia siku nyingine. Nikamkamata mkono na kumvutia ndani kana kwamba namkokota kibaka. Semeni akanifuata nyuma mimi mbele nikimkokota mpaka kwenye viti vya bustani na kumkaribisha. Nikampatia glasi ya juice akawa anakunywa huku tukipiga story mbili tatu. “Nimekuja kukushukuru tu Kimox kwa msaada wako wa siku ile maana kila nikikumbuka sipati picha yaani...” alisema huku akitabasamu. “Usijali Semeni yale ya kawaida tu, hivyo wala isikuumize kichwa, unadhani ningefanya nini kama siyo kupambana pale ili kujiokoa?”


Tukapiga story mbili tatu halafu Semeni akaaga ili aondoke. Nikamsindikiza mpaka mtaa wa pili nikarudi na kuendelea na mambo mengine. Kalunga akaniuliza yule demu ni nani, nikamwambia mkasa uliotokea siku nilipomsindikiza Semeni. “We broh nakuaminia kabisa, katika mazingira hayo lazima uchapane nao tu hakuna namna... ila demu mkali analipa aisee na hivi Rose kazingua jiweke tu au vuta yule mtoto wa kizungu... ahahahah” Kalunga akachombeza na kucheka.


Asubuhi nikaelekea kazini kama ilivyo ada na muda wa mchana wakati narudi kutoka kula nikaambiwa na Nino kuwa Habiba hajisikii vizuri hivyo atamsindikiza kwake kwenye saa tisa hivi na akitoka kwa Habiba ataelekea nyumbani maana muda utakuwa ushaenda na hawezi tena kurudi kazini. Nikauliza mahali anapoishi Habiba akasema ni Manzese Tip Top njia ya kuelekea Mabibo maeneo ya Jaromax Hotel pale siyo mbali na barabara ya Morogoro. Nikamuuliza Nino, “Yaani uende mpaka Manzese halafu ndo uelekee Mombasa kwenu kabla ya kuchukua vile viHiace utafika saa ngapi mbona usumbufu sana?” Nitafika tu wala usijali Kimox. Nino amezoea kuniita kwa jina langu hata baada ya kuwa wapenzi lakini bado ananiita ‘Kimox’. Nikamwambia, “mimi nina usafiri ukifika huo anaotaka kwenda nyumbani niambie nitamkimbiza kwake na gari”


Muda wa saa tisa Nino akanishtua kuwa tayari kwa simu ya mezani ya ofisini. Nikashuka fasta na kumchukua habiba mpaka kwenye gari nikaiondoa Subaru kuelekea kwa kina Habiba Manzese TipTop. Njiani nkkawa namuuliza hali yake akasema sasa hv yuko na afadhali sio kama ilivyokuwa asubuhi. Nikamuuliza kama amepata tiba akasema ameshapata na ameambiwa apumzike tu kwa siku tatu ni uchovu na presha ilikuwa imeshuka. “Yawezekana ni kufanya kazi bila kupumzika ndo maana lakini sina tatizo kubwaaa wala...” akasema Habiba wakati tunaitafuta Fire kwenda Magomeni.


Tukafika kwa Habiba na ni kweli maeneo ya Jaromax Hotel kwa nyuma tu pale. Amepanga vyumba viwili na sebule. Akanikaribisha ndani na kuniambia anaishi na mdogo wake ambaye ni nesi hospitali ya TipTop hapo hivyo muda huo ameshaondoka kwenda kazini. Akanipatia bilauri ya juice wakati akiingia chumbani kwake. Nilitaka kumuacha kwake na kuondoka kurudi lakini alinisisitiza nawahi nini kwa wakati huo wakati nilishasema nikitoka hapo narudi Kigamboni na tumeaga ofisini angalau nikae ninywe juice na kupumzika kidogo. Nikakubaliana naye ukichukulia sikuwa na ratiba yoyote ile baada ya hapo zaidi ya kurudi myumbani.


Nikapokea simu ngeni tena ikinambia kuwa Rose amelazwa na hali yake ni mbaya. Ametundikiwa dripu maana hawezi kula na analia muda mwingi mpaka anazimia mara kwa mara. ‘Kumkoma nyani giladi’ walisema zamani nami sikutaka kurudi tena nisije kupata huruma ambayo itanigharimu, nishaamua kukata mahusiano basi nimekata mazima na ndivyo nilivyo nikiacha naacha. Habiba akatoka chumbani akiwa na khanga moja akaniambia anaelekea kuoga mara moja akiniacha naangalia TV na kunywa juice. Nikamtazama namna khanga ilivyokuwa inatikisika juu ya tako lililonona na mirindimo ya kiafrika. Macho nikayatoa kama mjusi kabanwa na mlango kwa jinsi anavyotingisha. Alipofika mlangoni akageuka kuvaa kandambili na kunitazama tukagonganisha macho akatabasamu na kunikonyeza. Doh!!! Hii ni ishara mbaya sasa maana lile ziwa lilivyotuna kifuani na mtako huu unavyonitamanisha mpaka nikamhisi kimox akidunda dunda ndani ya boksa.


Baada ya dakika chache akarudi akiwa ameloa maji na khanga imemkamata vizuri mwilini kiasi cha kuacha maungo yake yakionekana vizuri. Khanga ililikamata tako na kuonesha shanga zilizo kiunoni nyingi kiasi na mstari wa tako ukiwa umejichora vizuri sana. Kifuani alipojifunga chuchu zilionekana vizuri kama hajavaa kitu kabisa. Jicho likanitoka kama chizi kaona jalala jipya, nikameza funda la mate kubwa lililojaza koo langu. Hata sijui mate haya yametoka wapi kwa muda huu.


Kimox akafura ndani ya boksa yangukiasi cha kuninyima uhuru na kunivuruga akili. Habiba akiwa vile vile na majimaji akalisogelea friji lake dogo akachukua bilauri na kuweka juice halafu akaja kukaa pembeni yangu akinitazama. Akapiga funda moja la juice na kuniuliza katika muundo wa kuguna, “Mmh?” Nikabaki nimekodoa macho kwenye TV hata sijui naangalia nini. Akaweka bilauri juu ya meza ndogo ya kioo na kutupa mkono wake pajani mwangu akinipapasa, akapandisha mpaka kwenye tango na kulibinya kidogo kwa mikono laini. Lilikuwa shambulizi la ghafla sana kwangu na lisilotegemewa. Nikaukamata mkono wake na kuutoa.


Watu wa Manzese sio wa kuwaamini kabisa na nilishakuwa na dhana hiyo kichwani. Hata kama anafanya kazi kule town lakini kukaa Manzese tu ni chuo tosha cha kukupa tahadhari. “Sikia, usifanye hivi Habiba, kwanza wewe unaumwa halafu unanitia majaribuni wakati hata sikufahamu vizuri wala status yako...” niliongea wakati nautoa mkono wake kwenye suruali yangu juu ya dhakari. Habiba akanitazama na kutabasamu, “Huniamini siyo? Subiri...” akanyanyuka na kuingia chumbani na muda kidogo akatoka na kijichupa kidogo chenye maji meupe na kipimio cha HIV cha UNIGOLD na kijisindano kidogo cha blue kama kile cha kutobolea wakati wa kupima Malaria.


Kitendo bila kuchelewa akachana kipimio cha Unigold na kujitoboa halafu akaweka damu kwenye kitundu cha kipimo na kumimina matone matatu ya kile kichupa cha maji. Akakisogeza kipimio kwenye meza ya kioo jirani yangu na kunitazama huku amezunguusha mkono shingoni mwangu na mkono mwingine akinipapasa kifuani. Tango langu lilishasimama vibaya mno ndani ya boksa na sikuwa na uelekeo tena kwa kweli. Macho nikayatumbua wakati maji yenye damu yakipanda kwenye kipimio na baada ya muda ikachora kistari kimoja tu chekundu.


Akanyanyua kipimo na kunionesha halafu akaniambia, “Unaona sasa? Umeamini niko poa? Kimox sifa zako nimezipata nahitaji nami unitibie kwa kweli maana siyo kwa ufundi ninaousikia kutoka kwako?” Muda huo sikuwa na nafasi ya kuuliza kasikia kwa nani na wapi maana nilishabananishwa kwenye kumi na nane za Habiba. Alishanivuruga akili huyu tayari na ningejua nisingekubali kukaa hapa dah!! Akauendea mlango na kuufunga halafu akaongeza sauti ya TV na subwoofer yake ikatema muziki mkubwa kutoka kwenye channel ya miziki. Akanifuata nilipo na kuichojoa khanga yake nikayatumbulia macho maumbile yake matamu ya kiafrika hasa.


Habiba alikuwa na umbo nene kiasi tunasema nyama nyama lakini lenye shepu nzuri. Nikakitazama kitovu chake kilichotumbukia ndani na kumeza mate baada ya macho yangu kushuka kwenye michirizi ya kinena chake. Akaja mapajani kwangu na kunikalia akaanza kunipa mate tukibadilishana ndimi kwenye kochi hili.Akazunguusha mikono yake shingoni mwake akinipa maziwa yake nihangaike nayo nami nikazunguusha mikono yangu nyuma ya kiuno chake na kumvutia kwangu nikihangaika na chuchu zake.


Nikamgeuza na kumlaza kwenye kochi hili refu la watu watatu halafu nikaanza kutambaa na ulimi kama nyoka nikimng’ata ng’ata shingoni na kutembeza ulimi shingoni na sikioni. Habiba akawa anaweweseka kama ana maruhani, nikasema huyu kumbe mwepesi sana mbona leo atapata taabu. Nikashuka kwenye chuchu na kama ilivyo ada mkono upo kwenye mbunye yake nikikibetua kisimi chake kwa ufundi wa Kizaramo. Nikazivua nguo zangu wakati natambaa na ulimi kwenye chuchu na kufyonza kama embe bolibo na kuziachia. Nikabaki na boksa pekee ambayo ilituna kwa mbele kama kuna mtarimbo umesimikwa hapo.




Nikakanyaga mafuta mpaka Kivukoni nikaitumbukiza gari kwenye kivuko. Muda wote nawaza mahaba ya Habiba na namna alivyotaka kudanjwa kwa kitombo cha Mzaramo. Nikawa nawaza h lile tukio yaani kama picha ya Kihind hivi lakini ni kweli. Nafika home na kujibwaga kwenye sofa bado nikiwaza Kwampalange kwa Habiba namna kulivyosababisha tafrani kichwani mwangu.


Simu yangu inaita na kuitazama ni namba ya Rose nikaipotezea. Mara inaita namba nyingine nayo naipotezea, namba hii ndo iliita mara nyingi zaidi mpaka ikawa kero nikaona niipokee tu. “Haloo habari Kimox?” Ilikuwa ni sauti nzito ya kiume kutoka upande wa pili. “Salama, nani mwenzangu?” nikaisikilizia sauti ile ikiwa inashusha pumzi, “Mimi ni kaka yake Rose hapa, niko hospitali hali ya Rose ni mbaya sana. Hawezi kula na amedhoofu mno, amekuwa kwa siku hizi tatu anaishi kwa dripu tu.” Nikashusha pumzi na kumuuliza, “Upo hospitali umesema right? Kama upo wodini mpe simu Rose niongee naye...” Jamaa akampa simu Rose na kumwambia, “Kimox on the phone Rose, talk to him...”


Rose akaniita kwa sauti ndogo sana, “Kimox, samahani kwa yote, tafadhali naomba nisamehe. Sikustahili kukutendea vile, najuta kwa ujinga niliokufanyia. Sikulaumu kwa hatua uliyofikia ila nalaumu ujinga wangu mimi Rose...” Akapumua kidogo na kuendelea, “Nimekuwa mwanamke nisiye na heshima kwako, nimekutendea uovu sana ambao mwanamke hapaswi kumtendea mume wake ampendae. Nayajua maumivu unayoyapitia sasa hivi na hiko ndicho kinachoniumiza zaidi. Penzi langu kwako halikuwa la mzaha bali ni tamaa na vishawishi vya dunia vilivyonipofusha fikra zangu...” Rose akatulia kidogo. Nilinyamaza kimya namsikiliza bila kumkatisha chochote katika anayoyasema.


“Kimox, baada ya wewe kujua kile nilichokuwa nakifanya na uamuzi uliouchukua juu yangu nimegundua kwamba nimepoteza tunu muhimu sana. Nimepoteza mwanaume wa maisha yangu, nimepoteza mwanaume aliyenijali sana na kutaka kuniheshimisha, Nayakumbuka maneno yako yote sasa hivi uliyokuwa unayazungumza tukiwa pamoja na sasa yanajirudia kama mwamgwi kwenye ubongo wangu na masikio yangu. Kimox mimi Rose najihisi kama mjinga mbele ya dunia hii” akatulia tena. “Najua wanaume wako wengi na naweza kupata yoyote lakini si wa mfano wako, wewe ni wa kipekee na inaniuma sana kukupoteza... Kimox upo?” Nikamjibu, “Nipo nakusikiliza Rose vizuri sana...”


“Kimox, sikwambii samahani ili unisamehe na kunirudisha kuwa mpenzi wako la hasha, ninakuomba samahani kwa ujinga nilioufanya. Sikujua kwa hakika ni nini nakifanya na huenda ni sehemu ya funzo langu la maisha ambalo limenifunza katika njia ya kuumiza sana.” Akameza mate ambayo nilisikia namna alivyoyapitisha kooni kwa mshusho wa pumzi. “Mama yangu alijitahidi kukupigia ili angalau niongee na wewe. Naamini kuongea na wewe na kukuomba msamaha itakuwa ni tiba kwangu zaidi na huenda ikanipa nafuu. Siwezi kuyahimili maumivu haya moyoni mwangu na naamini yapo pia moyoni mwako kwa namna ile ile inavyoniumiza mimi... Kimox, nakujua una moyo mgumu sana na ni mwanaume unayeweza kuyahimili matatizo na misukosuko ya kila aina, una busara na hekima na maamuzi yasiyotetereka. Kwako najua hili litapita vizuri kuliko mimi lakini kwa siku ya leo nahitaji kuisikia sauti yako ikikubali msamaha wangu ili hata nikifa nife kwa amani ama kama nikipona basi niishi nikijua umeridhia msamaha wangu...” akapumua tena.


“Wewe ni mwanaume wa maisha yangu, sasa hivi ndo nahisi hilo ambalo mwanzo sikulihisi kabisa. Nimehisi penzi zito sana juu yako ambalo mwanzo sikuwahi kulihisi ingawa nimekuwa nawe kwa muda mrefu sana. Naomba ufahamu hili Kimox. Sikwambii sababu kwamba labda nahitaji kurejesha penzi hapana, nakwambia ili kuuweka ukweli huu wazi juu yako. Nilikuwa mjinga na kipofu, sikuona chochote lakini siku hizi chache nimegundua ujinga wangu. Kimox, kwa sasa nahisi kuutua mzigo ulionielemea moyoni mwangu na nayasema haya yote nikiwa na mama, baba, kaka na mdogo wangu wote wakisikia. Sihitaji kuficha katika kile nilichofanya juu yako, wazazi wanajua ujinga niliofanya na furaha niliyoipoteza.”


Mpaka hapo ndo nikajua kumbe aliongea haya wote wakiwa wamemzunguuka kitandani. “Kimox, asante kwa maisha yote uliyonipa na asante kwa penzi la dhati ulilonionesha katika kipindi chote cha uhusiano wetu. Nitakukumbuka siku zote za maisha yangu kama bado nitaendelea kuwa hai. Nimewaambia wazazi na ndugu zangu wema wako juu yangu. Nimeweka wazi sababu nahitaji amani ya moyo. Nakushukuru sana!!!! NISAMEHE!!!!” Rose akamaliza kuzungumza na kuiacha simu bado ikiwa hewani kama anasubiri kusikia nitasema nini. Naamini muda huu aliweka simu kwenye sauti kubwa (Loud speaker).


“Rose, sina haja ya kusema namna ya penzi langu lilivyokuwa juu yako maana umesema yote na kwa hakika ndivyo ilivyo. Nimeyapokea maneno yako na yamejikita ndani yangu kwa utuo kabisa. Nimekusikia na kukuelewa kwa hakika ni nini umekisema. Nimepokea msamaha wako na nimeridhia, nimekusamehe kabisa kabisa kutoka ndani ya moyo wangu. Hakuna mwanadamu mkamilifu chini ya jua na hata mimi si mkamilifu kwa maana yapo mengi mabaya niliyoyafanya kama mwanaume na huenda tu wewe hukuwa na nafasi ya kuyaona ama kuyadhihiri kama nilivyofanya mimi” Nikatulia kidogo maneno yamuingie.


“Penzi letu limeingia doa kubwa sana hasa kwa mwanamke kuyatenda yale uliyoyatenda na haitakaa iwe sawa ama irudi kama zamani. Wanaume tunaumizwa zaidi tukisalitiwa katika namna ileilivyotokea ila kila mwanadamu anahitaji msamaha nami nimekusamehe Rose. Uwe na amani siku zote. Jambo la muhimu ambalo nahitaji ujue ni kuwa; Siwezi kukwambia kuwa nitakuwa nawe tena katika mapenzi, nina kinyaa mno na si rahisi tena kuwa na amani kama nilivyokuwa nayo awali na kwa hilo msamaha huu hauna maana nyingine zaidi ya kusameheana kama wanadamu ila si kurudisha mapenzi ya mke na mume. Things could not be the same again even if I intend to bring you back in my heart Rose.” Nikatulia kidogo na kusikilizia upande wake wa pili.


“Honestly, I love you... but I can’t hold it...” Rose akanikatisha, “I know Kimox, I know it and don’t say anymore...it’s OK!!! Lets take it as a lesson and start a new life. Thanks for everything Kimox.” Rose akatulia kwa muda kisha akakata simu. Nikatulia nikiiangalia simu kama naangalia mzimu wa Kolelo ya Bagamoyo au mizimu na vihenge vya Chief Maleare. Nikashusha pumzi nzito taratibu kabisa utadhani nilikuwa nammzigoooo na sasa nimeutua.


Nikampigia simu Paula tukaongea mengi akinihadithia mambo ya research yao na changamoto wanazokutana nazo kutoka Uziguani. Akanidokeza namna mbunge asivyo na ushirikiano na watu wake na kuwaunganisha watu katika kujiletea maendeleo. Paula ana upeo mkubwa sana wa kuchanganua mambo. Alitiririka point tupu na kuonesha njia mbadala katika kuinua maisha ya wananchi na hali zao. Akianisha tatizo la uongozi bora kama moja ya chanzo cha hali duni ya wakazi wale.


Kisha nikampigia Rahma na kumjulia hali akaniuliza kama Habiba alifika salama na hali yake. Nikamwambia nilimfikisha salama na sasa niko kwangu nataka nikapumzike kuweka mwili sawa. Tukaongea kwa bashasha halafu nikamuaga. Rahma akanipeperushia busu la huba nami nikalirejesha kwake akimalizia na neno zuri, “Kimox, nakupenda mpenzi wangu. Chochote katika maisha yangu nakifanya kwa ajili yako, wewe ndiye unayenipa sababu ya kuishi na kuyawazia ya kesho...Nakupenda mpenzi...!!” akaniambia kwa sauti ndogo sana na kunipa busu tena. Tukaagana na nikajongea kwenye chakula na mdogo wangu Kalunga kushibisha tumbo.


Asubuhi nimechelewa kuamka leo, sikujua kama muda umeenda kiasi hiki. Nikakurupuka na haraka haraka nikaanza kujiandaa kwa ajili ya kuwahi kazini. Ilishaimu saa mbili na dakika kadhaa na namna mshale wa saa unavyosogea sikutaka hata kuangalia mshale wa dakika unasemaje. Nilihangaika na uharaka wa kujiandaa kutoka tu basi. Kwa speed nikachomoka na kuwahi Kivukoni lakini nikakereka zaidi kukuta vivuko viwili viko upande wa pili na hiki kilichopo upande huu kimeshajaa na itanibidi kusubiri vile viwili vije huku vipakue abiria na magari halafu ndo sisi tuingie. Kibaya zaidi kuna meli kubwa ya mafuta inakaribia ili ikatie nanga bandarini hivyo lazima tusubiri hadi ipite ndo utaratibu wa kawaida uendelee. Sasa huo mwendo wa hili meli sasa ndo kero, kama konokono yaani.


Nikawasha redio kusikiliza vipindi vya magazeti redioni na kusikiliza taratibu za mazishi ya Maalim Seif Sharif Hamad aliyefariki juzi na Balozi Kijazi. Hivi vifo vimetutikisa sana sana yaani hata hatuelewi ni nini kinaendelea. Nikakumbuka barakoa yangu na kuiweka juu ya dashboard ya gari ili nikishuka ndani ya gari nivae tu. Nahisi hali ishaharibika na vifo vya hawa viongozi vilinipa hadhari huenda mambo si mambo. Natamani kila mmoja achukue tahadhari lakini nikitupa macho nje watu kila mtu na hamsini zake kama hakuna kitu vile.


Nikaingia ofisini nikipita walipo akina Nino na kuzikwea ngazi kuingia ofisini kwangu kwa majukumu ya kawaida. Baadae nikapiga simu kwa kina Nino kujua maendeleo ya Habiba na kumuuliza Nino kama ameshakunywa chai kwa kuwa mi sijanywa sababu ya kuwahi kazini. Nikaambiwa anaendelea vizuri tu na kuwa anashukuru kwa kumpeleka kwake jana, kwamba mimi ni mtu mwema sana. Nimechoma mafuta yangu kumpeleka Habiba bila gharama ni jambo la kipekee mno. Nikashukuru na mambo mengine yakaendelea.


Mchana nikampitia Nino na kumpeleka lunch halafu tukarudi. Mtoto ana raha sana sana na muda mwingi anatabasamu tu akiwa na mimi. Nikiwa ofisini kwangu Nino akanifuata na kuniinamia akanambia, “Jumamosi na Jumapili napenda kuwa na wewe, utakuwa tayari?” akanitazama na kuachia tabasamu. ‘Unamaanisha niwe nawe kwa usiku na mchana ama unamaanishaje?” Nikamtupia tena swali. “Ndiyo, niwe wako kwa siku hivo Jumatatu tunakuja wote kazini mpenzi...” Nino akasema akimwemwesa midomo. Nikamtazama kama siamini anachonambia huyu mwanamke. “Sawa mpenzi, haina shida. Ijumaa tutaweka mishe zote sawa kwa ajili ya hii appointment unayoniambia” akageuka na kuanza kuondoka. Mbele kidogo kabla hajakata kona akanitazama na kunikonyeza akitabasamu na kwa mwendo wa kimiss akapotea kwenye kona.


Nikabaki nawaza hiyo Jumamosi na Jumapili itakuwaje na tutakuwa wapi hasa. Je, nimpeleke home au lodge? Fikra zikawa zinagongana nikitafuta jawabu halisi. Mwisho nikaona mbona shwari tu kama itakuwa home maana Rose nishapiga chini na Paula hawezi kutokea sasa hivi kwa siku hizi akiwa kwenye kazi zake Tanga huko. Uamuzi ukaja ni bora nimpeleke kwangu tu ambako nitakuwa huru zaidi kuliko hotelini.





Jumamosi imefika na ni njema kama kawaida, mwanaume najiandaa kwa usafi wa weekend. Asubuhi hii nimeamka kichovu hivi, yaani sina mood ya kufanya usafi wala nini nipo nipo tu nashika hiki naacha mara nashika kile naacha. Simu ikanijulisha kuna meseji, nikaitoa na kuiangalia na kukuta ni Nino ananitaarifu yupo Kivukoni upande wa ferry anasubiri Pantoni hivyo nimfuate. Nikamwambia Kalunga naenda kumchukua shemeji yake hapo Kivukoni. Nikachoma ndani ya Mazda na kumfuata Nino.


Nikafika Kigamboni ferry na kupaki gari upande wa kwenye maduka upande wa geti la kuingilia na kumpigia Nino, “Ukishuka kwenye Pantoni pandisha na barabara wanayokuja watu wengi kama unaelekea stendi ya daladala hapa mwanzo tu utaiona gari yangu Mazda nishaigeuza inaelekea wanakoelekea watu” Nino alikuwa kashavuka muda tu ila alisimama mwanzo wa kivuko. Akaanza kupandisha na njia akaniona, akajongea akitabasamu. Akaingia kwenye gari na safari ya home ikaanza tukisalimiana na kupiga story.


Tukafika home na kumkuta Kalunga akiwa anasafisha bustani, akasimama wakati Nino akishuka kwenye gari bada ya kujifungulia mlango mwenyewe. Akatusogele kutulaki na kusalimiana na Nino kwa kupeana mikono nami nikawatambulisha nikianza na Nino kisha Kalunga, nikamshika mkono Nino na kumuongoza sebuleni Kalunga akiwa amesimama akitutazama. Nino alipofika sebuleni na kukaa akauliza, “Mmeshakunywa chai?” Nikamjibu bado akaniambia nimuelekeze jikoni, nikamuonesha. Nino akatoa khanga kwenye kibegi chake na kujifunga akaingia kazini kuandaa kifungua kinywa. Nikaona niende zangu nje nimuache na pilika zake za kike.


Kalunga akanifuata wakati niko nje na kuniambia, “Broh, mtoto kisuuuu utadhani toto la Kinyarwanda yaani. Pua ndefu, kaenda hewani kidogo na kufungafunga dah!!! Hongera broh...Umetoa kisu umeweka kisu, piss kali!!!” Nikatabasamu na kugongesheana mikono tukajisogeza kwenye maua kuendelea kufanya usafi wa nje pamoja. Nino akatoka nje kutukaribisha chai akiwa amevaa kimama hasa, uaani kama mke wa ndoa nyumbani. Kwa hakika nyumba ilipendeza hasaa. Tukanywa chai na story za hapa na pale zikinoga kiasi kwamba chai ilikuwa tamu hasa.


Nino alifanya kazi nyingi kwa muda mfupi sana, mpaka nguo zangu chafu alishazifua zote. Ndani kumepigwa deki na kung’aa kweli kweli huku vitu akiwa amevipangilia vizuri. Amefanya kazi za ndani kwa wepesi sana kuliko Rose alivyokuwa anafanya. Bila shaka haya ni matunda ya malezi ya Kiswahili hasa yanayofuata mila za kumuandaa binti kuwa mke na mlezi. Tuko sebuleni tunatazama TV na kuongea leo ikiwa siku njema zaidi kwamba ule uchovu wa asubuhi umeniisha kwa bashasha za Nino.


Mchana huu nikashindilia msosi mkali classic kutoka kwa Nino, nikajiramba ramba mpaka vidole kwa utamu wa chakula. Nikajisogeza chumbani kupumzika kwa shibe na kumuacha Nino akiendelea na mishe zake. Baadae akaingia Nino chumbani na kuelekea bafuni kujiswafi halafu akaja kujumuika nami kitandani. Nilishapiga kajiusingizi ka kishkaji kakibembelezwa na kajiubaridi ka pangaboi na nikahisi mwili wenye unyevu nyevu wa Nino ukinigusa mgongoni mwangu. Nikajipindua nakumvutia Nino kifuani kwangu tukibadilishana ndimi na kutomasana. Tukatiana nyege na kuchojoa nguo moja moja mpaka tukawa watupu na kichapo kikafuata. Imekuwa siku njema nikiwa na Nino na mahaba niliyoyapata si ya kitoto.


Jumapili naamka kwa uchovu wa mtanange wa usiku na Nino. Kitombo kilikuwa heavy sana kuliko cha siku ile Lodge. Nino alijiachia vizuri sana kwangu, nilipata mahaba mazito yenye vilio na staili za kila aina. Sarakasi si sarakasi, mieleka si mieleka, ni mtifuano kana kwamba hatutafanya tena. Wakati naamka Nino yeye alishaamka muda mrefu sana na kamaliza kazi zote za ndani akiwa amejipumzisha pembeni yangu ananitazama tu kwa macho laini. Nikanyanyuka kuingia bafuni Nino akanifuata akavua nguo na kuanza kuniogesha kama mtoto. Mikono yake ikatalii kwenye maeneo yangu nyeti akinisafisha kitendo kilichofanya jogoo awike. Nikamvuta na kunyanyua mguu wake juu nikatumbukiza tango mkono nikiuzunguusha kiunoni kwake na mwingine nimeshikilia mguu. Nilikuwa nimejipinda kama nafukua dhahabu kwenye mgodi nikichokoa na mchi uliotuna kwa ghadhabu.


Nino akapiga kelele za utamu zinazonitia wehu zaidi na laiti angejua kuwa kelele zake ndo zinazidisha mzuka wangu basi huenda angepunguza au kuongeza zaidi. Nikapiga mikito ya kufa mtu Wazaramo wamegoma kuja, mboo ilikuwa kama ina ganzi na kuchelewesha bao kuja. Nikampinda akishika vidole vha miguu yake nami nikakamata kiuno chake chenye shanga nyingi na kupump kama sina akili nzuri. Ungenitazama kwa nyuma ungesema cherehani imepoteza uelekeo na ringi inayumba yumba. Miggu ya Nino ikawa inapoteza uwezo wa kusimama kiasi kwamba kichwa chake kikagota ukutani. Nikampelekea moto moto kichwa kikijipiga ukutani bila huruma, Nino akatoa mikono miguuni na kushikilia ukuta nami nikikikamata kiuno nikisugua mashine kama mwehu.


Wazaramo wakaja kwa mwendo wa kinyonga nikasema leo mbunye itawaka moto hii. Nino akaachia ute mwepesi na kufanya utamu kuongezeka. Nikawa nayapiga matako yake kwa vibao twaah twaah huku nasukuma mashine. Wazaramo wakafika mlangoni nikawafyatua kwa speed ndani ya mbunye ya Nino. Nikamuona akiitikia kwa kutoa sauti kama ya kunung’unika na akienda chini nikamuwahi kwa kumshikilia kiuno chake ili mboo isichomoke na nimalizie utamu wangu. Miguu ilikuwa inamtetemeka kama ana degedege. Nikamgeuza na kumkumbatia halafu nikafungulia maji yatumwagikie wakati tumekumbatiana.


Tukatoka bafuni mimi nikitangulia na kumuacha Nino akioge kivivu vivu kutokana na kichapo. Nikajifuta maji na kuvaa kaptula nikaelekea nje kuendelea na issue nyingine. Nino akamaliza kuoga na kufanya usafi chumbani. Tukajumuika tena kwa kifungua kinywa na maisha yakawa matamu sana yaani. Kalunga alifurahia uwepo wa Nino na alininpng’oneza kuwa hapa lipo jembe. “Kumbe wanawake wanazidiana bhana bro duh...” alinambia Kalunga tukiwa tunacheki movie.


Nino akaja akajumuika nasi kuangalia movie baada ya kumaliza kazi zake. Tukasikia hodi mlangoni, inaonesha geti dogo hatukulifunga kwa hiyo mtu huyu alipita moja kwa moja baada ya kulisukuma geti dogo na kukuta liko wazi akaja kupigia hodi mlango wa sebuleni. Pua zetu zikahanikizwa na uturi maridhawa kutoka kwa mwanadada aliyeingia sebuleni kwa mwendo wa madaha kama miss universe katika shindano la ulimbwende.


Semeni akasimama hatua chache baada ya kuingia sebuleni akatusalimia. Akatukuta tuko watatu siku ya leo tofauti na alivyozoea kutukuta wawili. Nikaitikia salamu yake na wenzangu nao wakafuata na nikageuza sura kumtazama Nino ambaye macho yalimtoka akimtazama Semeni aliposimama. Semeni akaachia tabasamu na kusema alikuwa anapita nje na akaona geti liko wazi akaingia kutusalimu, “Kimox, uko poa lakini? Nimepita kuwasalimia jirani zangu. Nadhani yule ni wifi yangu siyo?” semeni akasema huku akimtazama Nino kwa maana alivaa kama mke akiwa nyumbani na ilionesha dhahiri. “Naam Semeni, huyu ni Nino na Nino kutana na Semeni jirani yangu anakaa mtaa wa pili tu hapo” Nino akaitikia kwa bashasha baada ya utambulisho huo na kumkaribisha Semeni akae. Semeni akakataa na kusema amepita tu kusalimia. Nikanyanyuka na kumsindikiza nje wakati alipogeuka kuuelekea mlango. Tukatoka mpaka getini huku tukizungumza tukiwaacha Kalunga na Nino wakiendelea kutazama TV.


Nikarudi na kukaa kwenye sofa na Nino akaniangalia kwa jicho la kidadisi kama ananiuliza “Kwema lakini?” Nikamuonesha ishara ya ‘shwari’ kwa ishara ya mikono kama refa wa mpira wa miguu kwa wachezaji pale anapopeta kwamba mpira uendelee baada ya mtu kukwatuliwa. Movie ilipoisha mimi na kalunga tukaelekea bustanini kupumzika na Nino akaanza pilika za chakula cha mchana. Baadae nikaingia chumbani kufuata laptop kuna kazi niifanye nikamkuta Nino akilia taratibu.


Nikakaa kitandani na kumuuliza kulikoni. Akanikabidhi simu yangu na nikaiangalia screen ikiwa imejaa chats za whatsapp. Bila shaka alishafungua vitu vingi upande wa whatsapp na meseji za kawaida. Zilikuwa chats za mimi na Paula za kimapenzi na picha mbalimbali za mahaba. Kulikuwa na picha za Tanga tukiwa tunakiss na nyingine tukiwa kwenye matukio mbalimbali na kila aina ya mihenyeshano ya kuchombezana kimahaba. Nikajua hapa Nino kaona kila kitu tena nikinyegeshana na toto la kizungu. Nikabaki kimya sina la kusema, nikakaa hivyo kwa dakika kadhaa huku Nino akiwa anaendelea kulia. Uzuri chats za Rose zote nilishafuta na namba yake haipo kabisa kwenye simu yangu.


Nikainua sura na kumtazama Nino akilia, “Mpenzi, huyu ni... ni...” Nino akanikatisha, “Usiniambie kitu chochote maana nimeona kila kitu kwenye simu yako... Kimox wewe ni malaya... kumbe una wanawake zako halafu unanidanganya tu mimi” akaangua kilio tena. Akaanza kupanga nguo zake kwenye kijibegi chake machozi yakiendelea kumtoka. Sikujishughulisha kumzuia wala kusema chochote kile, nikabaki namtazama tu wakati yeye haniangalii kabisa yuko na heka heka za kupanga nguo zake tu.


“Hata huyu Semeni atakuwa demu wako tu, namna mshtuko alioupata alipoingia sebuleni ulionesha dhahiri yule ni demu wako...ukajifanya kujibaraguza baraguza. We mwanaume nim mbaya sana...” Sikumjibu chochote kile namuangalia tu. Akajifuta machozi na kuanza kutoka chumbani kuelekea sebuleni. Nikanyanyuka kumfuata halafu nikamshika mkono. Nino akauvuta mkono wake kwa nguvu kama anaputa mchanga nisimshike. Akafika sebuleni na kuelekea mlango wa kutoka nje huyooo mpaka nje mimi nikimfuata nyuma kwa haraka. Nje akakutana na Kalunga naye akija ndani, Nino akajitahidi kutomuonesha Kalunga kama kuna tatizo kati yetu kwa kumuaga shemeji yake, “Shem mi naenda, nimepigiwa simu nahitajika haraka sehemu hivyo samahani nawahi...” akamuaga Kalunga namna hiyo wakati akiharakisha kulifuata geti nami nikiwa nyuma yake. Akatoka nje ya geti bila kugeuka akaelekea barabarani zilipo bajaj akasepa.


Nikarudi ndani na Kalunga akaniambia, “Broh, shem kama ana hasira hivi, vipi kwema au kuna simu ya dharula yenye tatizo kama alivyosema?” Nikamtazama Kalunga na kumwambia, “Bhana weee noma kaka. Nino kachukua simu yangu na kusoma meseji pamoja na chati zote za mimi na yule mtasha aisee...kaona kila kitu...!! Hivyo kaondoka kwa hasira kama ulivyoona” Kalunga akanitazama na kunisogelea akinipiga piga mgongoni na kunambia, “Broh huo ndo uanaume, tulia kaka. Kama anakupenda atarudi kwako ila kama mapenzi yake yashaisha basi siyo ridhiki. Tuliza akili bro ila sijui ulijisahauje aisee?” Nikamtazama na kumwambia, “Mi sikujua kama atachukua simu yangu bhana. Sikutegemea kama mapema hivi angeanza kupekua simu yangu. Ila huyu mdadisi sana hata hatuna muda mrefu ni jana tu kaja home tayari kaanza upekenyuzi. Kanikera ingawa kakuta kweli meseji na chat”


Tukakaa kwenye sofa kama tumemwagiwa maji mimi na mdogo wangu. Ingawa TV inaonesha vitu lakini naamini hakuna aliye interested na kinachoonekana kwenye TV, kila mmoja akiwaza lake. Tukaweka movie bandika bandua ili tu kupotezea mpaka muda wa chakula tukajiandalia na kula. Siku ya jana ilianza vizuri na leo imekuwa siku mbovu kabisa katika siku za weekend.




Jumatatu hii nazikwea ngazi taratibu nikizivuka ofisi za kina Nino nyuma yangu kama sizijui vile. Sikutaka hata kugeuka kuzitazama ofisi za kina Nino, macho nimeyaelekeza mbele tu na kwenye ngazi napanda kama sina haraka mikono mfukoni. Nikakaa kwenye kiti changu na kukiegemea nikinesa nesa baada ya kubofya kitufe cha kuiwasha kompyuta. Nikaanza kazi zangu nikiwa sina habari na mtu.

ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog