Chombezo : Upepo Wa Kisulisuli
Sehemu Ya: Tatu (3)
"Nikizeeka ndo nitabadilika lakini kwa sasa bado sana."
Wakati wao wanachuana kumpata mshindi kwenye shindano lisilo na kombe mimi nilianza kupata wivu, kama Mooren hajamkuta kwake atakuwa wapi kama si kwa mwanaume mwingine.
"Kwa hiyo Mooren atakuwa wapi kama hujamkuta kwake?" Nilimuuliza Johnson.
"Huo wivu rafiki yangu, hujui kama mitihani inakaribia?"
"Nitajulia wapi?"
Johnson alinipiga mgongoni na kunitaka tuingie ndani muda umekwenda sana.
Lakini tulipoingia ndani huwezi amini macho yangu yalikutana na Mooren akiwa kajaa kitini, wazo la kumuwaza likakata na kuingia lingine linalowahusu mama Mwamvua, Mwamvua na Nancy kama analijua tayari au la. Nikiwa nafikiria hayo mara nilishtukia napigwa bonge la......
Mtihani kwako msomaji, nilipigwa nini?
Nilipigwa bonge la kiss na Mooren, na kisha akakaa pembeni yangu.
"Nambie baby." Alinisemesha
"Sina neno mpenzi." Nilimjibu nikiwa bado nawaza yanayonikuta mimi. Mpaka nikajihisi ni mtumwa wa mapenzi.
"Baby yaani kabisa unasema huna neno? Ina maana hukunikumbuka?" Aliuliza Mooren.
"Hapana siyo hivyo mpenzi nakukumbuka sana sema tu kuna mambo hayajakaa sawa."
"Mambo gani zaidi ya umalaya wako tu, mtu gani mara Mwamvua huku Nancy kule mama Mwamvua na hapa mimi Mooren utakuwa mtu wewe?"
Maneno ya Mooren yalinifanya nihisi maumivu ya mapito yangu na hapo nikamchukia ghafla Johnson kwanini aliamua kunigeuza mjadala? Nikabaini haraka kuwa Johnson kuna kitu ananitengenezea mbele ya safari yangu.
" Mbona umeduwaa, yamekuchoma eee! "
" Mooren kwanini unayazungumza hayo kwa mwenzako ndo ulichoijia hapa."
Evetha alimshambulia rafiki yake.
"Naomba niache Evetha siongei na wewe hapa naongea na huyu chovya chovya asiye na haya."
"Mooren hayo yamekujaje hapa lakini?"
"Yamekuja kwa gari la shemeji Johnson, kuna jingine?"
Ilivyoonekana alikuwa amenipania sawasawa maana haya mashambulizi hayakuwa ya Nchi hii. Na wakati haya yanatokea Johnson alikuwa zake chumbani kaniachia msala. Nikafikiria na mwisho nikajitoa fahamu sasa.
" Mooren nadhani hunifahamu vizuri na ndiyo maana unanipanda panda hapa."
"Nani akupande Sultan, wacha nikupe dozi ya kibabe Malaya wewe."
Nilichafukwa na kejeli zake niliinuka na kumkata kibao cha shavu nikachukua zangu kimeo changu na kutoka nje. Nilitembea kwa muda fulani lakini kutokana na giza lile nilifunga breki kwanza nikifikiria naelekea wapi mimi. Mara nikawasikia wakija kwa nyuma na wakibishana.
"Atakuwa kaelekea wapi sasa?"
"Mimi hata sielewi."
"Na wewe limdomo lako hilo lisilo na breki angalia ulichosababisha sasa." Evetha alimsema Mooren.
"Sasa asiambiwe ukweli yeye amekuwa nani?"
"Hebu acheni kelele bwana, muda huu watu wamelala." Johnson aliwatuliza.
"Tena wewe ndo sababu ya yote haya, janaume gani usiye na kifua cha kutunza mambo, ukikaa domo linakuwasha tu sasa mtafute mpaka umpate." Evetha alimgeuzia kibao Johnson.
"Sasa unakwenda wapi Evetha?"
Mooren aliuliza.
"Moto si mumeuwasha wenyewe uoteni sasa, mimi huyoo nyumbani nikausake usingizi." Evetha alijibu akirudi zake nyumbani.
"Lakini Johnson huyu si ni mtu mzima na ana akili zake?"
"Unataka kusema nini?"
"Nataka kusema nini sisemi kitu mimi narudi zangu nyumbani wewe si ndo rafiki yako mpaka umpate."
Mooren alishika njia kurudi na kumuacha Johnson akiwa hajui aanzie wapi. Hapo nikatumia chance hiyo kumtumia Johnson ujumbe mfupi.
"BROTHER NAJUA ULIFANYA HAYA YOTE ILI TU NIKOSANE NA MOOREN ILI UMMILIKI NA YEYE, HAYA NIMEKUACHIA SASA FURAHIA BENDI MBILI."
Mara ujumbe uliingia kwenye simu yangu, nikajua ni yeye tu Johnson.
"UKO WAPI SULTAN?"
"NIKO MAKABURINI." Nilimjibu.
"MAKABURINI?" Aliuliza
"UNAULIZA NINI BRO NAOMBA UNIACHE."
"SIKUWA NA LENGO BAYA NDUGU YANGU."
Niliusoma ujumbe huo nikaupotezea na kuiweka simu mfukoni nikasonga mbele japo kwa uoga. Nilifika sehemu moja kuna vibanda vya wauza chips nikaona niingie hapo nijihifadhi mpaka alfajiri kisha nijue la kufanya.
"Kakimbia wee na mwisho nimemnasa panya huyu, alijua sitamkamata sasa kajaa. "
Nilishtuka baada ya kusikia Maneno yale, hee kumbe nilipitiliza muda nimeuchapa usingizi mpaka asubuhi ya saa kumi na mbili na pale nilipojilaza ni karibu na banda la rafiki yake mama Mwamvua. Na muda huo wakati anamsindikiza rafiki yake kijiweni si kaninasa.
"Samahani sana mama yangu, mimi sina tatizo na wewe mbona."
"Hilo jina nilishakukataza mimi siyo mama yako, sawa?"
"Shoga, na mtoto wa Watu vepeee?" Rafiki yake alimuuliza.
"Mtoto wapi huyu, muone hivyo hivyo alivyo ni mwiba huyoo, ni choma choma huyo."
"Kwa hiyo na wewe ulitaka akuchome kidogo?"
"Shoga wauliza nini hapo, mimi nilitaka anichome si kidogo bali sana tu."
"Naomba unisamehe sana katika hilo." Nilijitetea.
"Usalama wako wewe ni mimi na wewe mguu kwa mguu mpaka nyumbani ukanichome tu baada ya hapo tunaishiana sikufuati tena mtoto wa watu."
"We Kijana kubali tu, mtu mwenyewe debe tupu huyo, ukiona hajakufurahisha huyo njoo kwangu kijana upate mambo ya kidigitali." Rafiki yake mama Mwamvua alijinadi naye.
Hakika nilipatikana maana nilinaswa na fisi walafi ambao walikuwa mate nje nje kwa nyama iliyokuwa mbele yao.
SIJUI NINI KITATOKEA HAPO, TUKUTANE SEHEMU INAYOFUATA.
"Halooo, halooo!"
"Nambie Mooren?"
"Ndo umefanya nini sasa Shoga yangu."
"Kuhusu nini tena?"
"Unauliza, kwamba umeshasahau mara hii?"
"Sikumbuki nikumbushe tu maana mtu mwenyewe mimi nina mambo mengi kichwani."
"Poa shoga lakini hujafanya freshi na ujue sijapenda kabisa kwa ulichofanya."
"Ladha ya uchungu na wewe mwenzangu unaipata sasa, nilivyokuwa nakueleza ninavyoumia kwa mnayofanya na Johnson uliishia kunicheka na kunizodoa kuwa mimi si Kiwete nisubiri kulishwa so kifupi niko stendi hapa tayari kwa safari ya nyumbani kesho, nimeona niwaache na mke mwenzako mpate muda wa kuhudumia ndoa yenu."
"Evetha niko chini ya miguu yako dada yangu usiondoke kwanza tuyazungumze haya."
Maajabu Evetha badala ya kumjibu Mooren alikata simu na kuiweka kwenye pochi yake.
"Umesema umekuja kufanya nini hapa?"
"Kama ulivyosikia ndivyo ilivyo nimesha kata tiketi tayari kwa safari ya kesho kuelekea nyumbani nikapumue mtoto wa Watu inawezekana baada ya yote haya nitanenepa."
"Sikutegemea kama umepitia magumu yote hayo na vipi kuhusu chuo?"
"Chuo gani Sultan?"
"Si mlisema mko chuoni ninyi?"
"Sultan ulikuwa nyuma kwa kila kitu, sisi hatusomi ile ilikuwa ni kukufanya wewe usiwe na maswali mengi juu yetu. Kifupi mimi na Moreen tumekutana Mbeya hapa hapa mimi nikiwa mfanyakazi wa Night Club moja maarufu hapa jijini na mwenzangu Mooren akiwa anafanya kazi ya kuuza mwili wake katikati ya mataa ya pale Mafiati na ndipo hapo nilipofahamiana naye maana ile Night Club iko karibu na mataa yale."
"Kwa hiyo unataka kuniambia kuwa Mooren ni Changudoa?"
"Unauliza hilo nalo ni swali? Mooren ni Changudoa wa Kimataifa akiwa kafanya kazi hiyo katika mikoa ya Dar, Arusha, Mwanza na miji ya Mombasa, Nairobi na Kampala na baada ya kukamatwa na kufungwa miaka miwili nchini Rwanda alipotoka ndipo alikuja kujichimbia Mbeya si unajua tena na masuala hayo tofauti."
" Kwa hiyo mlitaka kunikamatisha Mbwa wa kienyeji siyo?"
" Wala isingewezekana ningekuokoa tu."
Maelezo ya Evetha yaliendelea kunichanganya sana juu ya life style ya Mooren mtoto ambaye usipoambiwa uchafu wake lazima uingie mkenge, Dunia hii ina mambo jamani.
" Sasa kitu kinachonishangaza ni huyu rafiki yangu Johnson kuwa shoga? "
" Unashangaa na plani yake ilikuwa ni kukuwekea madawa kisha akufanye vile atakavyo."
"Evetha naomba tuishie hapo hapo usiendelee."
Kwa kuwa wote tulikuwa ni wahanga wa mapenzi na pia tulikuwa kwenye njia moja japo barabara tofauti kulikimbia jiji ilibidi tukatafute sehemu ya kuegesha kwa kuwa Evetha alikuwa na salio hivyo tulikwenda kutafuta vyumba walau tulale kidogo tayari kwa safari ya kesho kila mmoja akishika njia yake. Tulipata vyumba katika nyumba moja ya kulala Wageni hapo kwa miaka ya hivi karibuni hali imekuwa tofauti kwani nyumba hizi zinaongoza kwa kulaliwa na wenyeji hivyo ni nyumba za wageni na wenyeji.
"Lakini Sultan si tungelala pamoja tu kwani tatizo liko wapi?"
"Mhh hiyo ni ngumu kwa namna mambo haya yalivyo wewe tayari ni mkombozi wangu na sina budi kukuita dada yangu."
"Sawa bwana ila ukiona baridi ni kali sana usisite kunigongea Sultan Uwezo uonyeshe Uwezo wako na kwangu isiwe kwa Mwamvua na Nancy peke yao tu."
Niliishia tu kumtazama Evetha na kisha nilimuaga na nikaingia chumbani kwangu naye akiingia chumbani kwake. Nilipoingia kitu cha kwanza ikawa ni kuchojoa kila kitu na kuingia kuoga si unajua takribani siku kadhaa hivi nimekuwa nikiishi kama Digidigi hivyo nikaona nitoe uchovu. Nilioga na nilipomaliza nilitoka ila huwezi amini nilikuwa nimechelewa kwani nilisahau kufunga mlango na Evetha alikuwa kachanua vilivyo kitandani kama ua saa sita si rose tu akiwa mtupu kabisa, nistaajabu mtoto wa mwanamke mie.
"Evetha ndo nini sasa u..."
"Shiii mwanaume kama wewe uliyekamilika kila idara naachaje kukufuata na kukufaidi na ukizingatia nina muda mrefu sijanyemvuliwa mimi, Sultan nionee huruma."
Evetha alikuwa akiongea hayo huku akicheza na kiungo changu kimoja kimoja hali hii ilinifanya kuishiwa nguvu, na nilijihisi kama nimepigwa na shoti ya umeme. Kabla sijakaa sawa na taulo langu tayari Evetha alilivutia kuleee na kuidaka maiki yangu na kuanza kumwaga mashairi yasiyo na mwisho, Evetha alihakikisha kila kiungo changu hakibaki salama kwa kweli Evetha anajua maana ufundi huu hata Nancy bado mwanafunzi sana mpaka nikamfikiria Johnson kwanini alilitupa tunda hili katikati ya matunda yaliyooza? Alipoona karidhika kupiga mswaki kwa kutumia mtambo wangu akaifuata nguzo ya kitanda na kuikamata kisha kukibinua kidogo juu kiuno chake na kuufanya uhondo wote kuwa nje na mimi nilichokifanya ikawa ni kucheza na G-spoti yake nikitumia maiki yangu. Evetha hakuamini alichokutana nacho kwani ni kufika kileleni mara tatu mfululizo na hivyo kuifanya safari yangu kuwa fupi tu nilimgeuza na kuichukua miguu yake na kuiweka mabegani kwangu kisha taratibu kabisa na kwa pozi nikaipeleka dudu washa kule kule kunako utamu oushh huwezi amini kilichotokea hapo.
"Sultan asante kwa kunifanya nijione mwanamke, kwani kwa mara ya kwanza baada ya miaka sita ndo naisikia dudu washa ikivinjari kona zote za uke wangu. Ila naomba unisamehe na sitarudia tena katika hili kwa kuwa nahisi nitakuwa nimekuudhi sana."
"Evetha kwa vitu nilivyovipata kwako siku ya leo huna haja ya kuniomba msamaha mimi hata kidogo zaidi tuufurahie usiku huu pamoja kabla ya siku ya kesho kutengana."
Baada ya kusema vile Evetha alinirukia na kuanza kuninyonya mate kama vile kashikwa na Pepo la Ngono. Na mimi nikaona nisiwe mzembe zoezi la kubadilishana mate likaendelea huku mikono yetu ikicheza na kila kiungo kinachotakiwa kuchezewa kwa wakati huo na kilichofuata hapo ndani ya uwanja wa seremala we acha tu.
Kilichokuja kutushtua ilikuwa ni sauti ya mhudumu aliyekuja kutuamsha kwani magari yalishawashwa na honi zilikuwa zikipigwa kuwasogeza abiria waliokuwa mbali na pale stendi.
Tuliamka na kujiandaa na safari, mimi nikielekea Tabora na Evetha akielekea Dar kwa kaka yake.
Nikiwa namalizia kufunga vifungo vya shati langu mara ujumbe mfupi uliingia kwenye simu ya Evetha, kwa kuwa nilikuwa karibu na Meza ilipokuwa simu niliichukua na kuufungua ujumbe huku nikimuangalia Evetha aliyekuwa bize na heleni zake.
"Baby mbona unaniangalia hivyo, si uusome tu huo ujumbe."
"Naogopa kuumia."
"Kuumia kivipi?"
"Je, kama ni ujumbe kutoka kwa kidume chako unafikiri itakuwaje?"
"Wivu wako tu sina mtu yoyote yule wewe jiachie tu ukiweza baba niko kwa ajili yako."
"Wanawake ndivyo mlivyo mnasiri sana ninyi."
Nilitamka hayo huku nikiufungua ujumbe ule nilipoutazama vizuri niligundua umetoka kwa Mooren hapa nikapata shauku ya kuusoma. Baada ya kuusoma nguvu ziliniisha nikajikuta naenda chini na simu ikaanguka kule.
Kabla sijafika chini Evetha aliniwahi na kunishika mkono.
"Wewe umepatwa na nini?"
Aliuliza Evetha.
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment