Search This Blog

Sunday, February 26, 2023

DUNGA DUNGA - 5

   

Chombezo :  Dunga Dunga 

Sehemu Ya Tano (5)

nilipodhania zipo, nilikuta patupu.

Kila siku Christina alitamani sana mazoea na mimi kama ambavyo alivyokuwa nayo kwa wavulana wengine. Nilikuwa nikimkwepa, sikutaka kumpa hata dakika tano za kukaa nami. Nilikuwa nikijipa ubize mkubwa kila nilipokuwa nikikaa nae.

Akili yangu kwa wakat huo ilikuwa imezama sana kwa Nilfat. Kiukweli sikutaka kumuacha msichana huyu, akili yangu ilikuwa ikiniambia kwamba Nilfat alikuwa na bikira asilimia mia moja. Kila siku nilikuwa nikimpigia simu na kujifanya mtu mkarimu sana kwake.

Nilfat akaonekana kuanza kuvutiwa nami japokuwa mara kwa mara alikuwa akiogpa kuja kunitembelea nymbani. Wala sikujali sana kwamni moyo wangu ulikwishajua kwamba Nilfat aligundua ni kitu gani kingetokea kama tu angediriki kuja nyumbani.

Nikaamua kuwa mvumilivu. Mwezi mmoja ulipita huku katika siku zote za mwezi huo nikiwa nikimpigia simu Nilfat. Christina nae alikuwa akija kwa moto wa kasi kiasi ambacho akaanza mazoea na wanawake ambao walikuwa wakikaa katika nyumba ile niliyokuwa nimepanga huku lengo lake ikiwa ni kunipata kwa karibu zaidi.

Judith na wasichana wengine hawakuwa akilini mwangu tena, na hii ilitokana na kukikosa kile ambacho nilikuwa nikikitaka kutoka kwao. Nilipataka pale kwa Nilfat kwani niliamini kwa jinsi alivyokuwa basi ingekuwa ni rahisi sana kuikuta bikira ambayo ilikuwa ikinisumbua sana maishani mwangu.

“Unanipenda?” Nilfat aliniuliza kwa lafudhi ya kiarabu simuni.

“Mbona umeshtuka sana?” Nami nilimuuliza.

“Hapana. Sijashtuka”

“Au kuna watu maalumu wa kukuambia neno hili?”

“Hapana”

“Basi ndio hivyo Nilfat. Umetokea kuuteka moyo wangu vilivyo” Nilimwambia.

“Hapana. Haiwezekani kutokea kitu kama hicho kwa muda mchache namna hii. Unanidanganya” Aliniambia.

“Kwa nini isiwezekane? Mwezi mmoja ni muda mchache kwa mimi kukupenda kwa mapenzi ya dhati?”

“Ndio. Ni muda mchache sana. Mapenzi uhitaji muda mrefu”

“Usijidanganye. Umekwishaiona muvi ya Titanic?” Nilimuuliza.

“Ndio. Huwa ninapenda kuiangalia mara kwa mara” Alinijibu.

“Mpaka meli inazama ilikuwa ni siku ya ngapi?”

“Siku ya pili au ya tatu nafikiri”

“Unajua kwamba Jack na Rose walipendana sana?”

“Hilo ninalifahamu, ningependa nami nipende na kupendwa kama vile”

“Sawa. Hebu jifikirie. Ndani ya siku tatu ambazo ni chache sana walipenda namna ile, unafikiri itakuwa ngumu kwangu kukupenda kama vile au zaidi ya vile ndani ya siku thelathini?” Nilimuuliza, alibaki kimya kwa muda.

“Siku thelathini ni nyingi mno Nilfat. Naomba uamini kwamba ninakupenda sana”

“Sitakiwi kufanya uamuzi wa haraka juu ya mahusiano. Ningependa unipe siku kadhaa” Aliniambia.

“Mpaka lini?”

“Labda keshokutwa”

“Mhh! Sawa”

“Mbona umeguna?”

“Siku nyingi sana. Ila haina budi kusubiri”

“Usijali. Mvumilivu hula mbivu” Aliniambia.

“Nafahamu. Hata ngoja ngoja nayo huumiza matumbo” Nilimwambia methali ambayo ilimfanya kutoa icheko cha chini.

“Sawa. Tutawasilina”

“Usijali” Nilimwambia na kukata simu.

Nikashusha pumzi ndefu kama mtu aliyekimbia umbali mrefu.


Angalizo: Mnaosoma msipite kimya kimya bila kusema lolote. Ukimaliza kusoma toa maoni yako, Like pamoja na Share ili simulizi hii isomwe na wengi.


Unajua nini kilitokea?

Hebu bashiri, niambie nini kitatokea?




Siku nzima nilikaa nikimfikiria Nilfat, nilikuwa na kiu kubwa sana ya kumuingiza katika mikono yangu na hatimae kufanya nae mapenzi na kuitoa bikira ambayo niliamini kwamba alikuwa nayo. Kwanza kichwa changu kilikuwa kikifikiria zaidi kuhusu ngozi yake.

Katika maisha yangu nilikuwa nikiwapenda sana wanawake weusi lakini cha ajabu wanawake weupe ndio ambao nilikuwa na bahati nao sana. Nilitembea na mademu waliokuwa na kila rangi, sikujali mwarabu, msomali wala mswahili, nilipitia wote tu.

Ila kwa Nilfat niliona kwamba alikuwa msichana wa tofauti kabisa. Ingawa nilikuwa nimebahatika kukutana nae siku moja tu lakini alionekana kunidatisha kupita kawaida. Sikujua kwa nini nilikuwa na uhakika kwamba Nilfat alikuwa na bikira asilimia mia moja, labda ilitokana na muonekano ambao alikuwa nao.

Siku ya kwanza ikapita na ya pili kuingia. Nilikuwa na kimuemue cha kumuona Nilfat. Mara kwa mara nilikuwa nampigia simu na kuongea nae huku nikiendelea kumdanganyadanganya kwamba alikuwa msichana wa ndoto yangu.

Maneno yangu matamu zaidi ya asali yalimfanya kuniamini, akaniamini kupita kawaida. Sauti yangu ya unyenyekevu nayo iliongeza chachu kubwa sana ya yeye kuvutiwa nami. Mpaka inafika siku ambayo alikuwa amenipa ahadi ya kunipa jibu langu, wala hakukuwa na shida, akanikubalia na ukurasa wa mapenzi wa muda mchache kuanza.

Kila siku nilikuwa nikimuonyeshea mapenzi ya dhati ambayo yalimfanya kuniamini zaidi na zaidi. Unyenyekevu ndio ilikuwa silaha yangu kuu kwake ambayo ilikuwa ikimfanya kujiona yuko juu. Hakujua kabisa kwamba nilikuwa nikifanya vile kwa sababu ya kitu kimoja tu, Bikira.

Upande wa pili, Christina alikuwa akiendelea kuning’ang’ania kiasi ambacho mpaka nikashindwa kuhema viliri. Nilikuwa sinywi maji wala kula vizuri kwa ajili yake. Kila siku alikuwa akinitumia salamu pamoja na vijizawadi huku akisisitiza kwamba alikuwa akitaka kuwa nami.

Christina kwangu alionekana kuwa kama kituko, sikujua alikuwa akitaka nini kutoka kwangu ambacho hakuwa akikipata kutoka kwa wanaume wengine ambao alikuwa akitembea nao. Nilimchukia kiasi ambacho hata wakati mwingine sikutaka hata kumuona.

Mimi nilikuwa bize katika kipindi hicho, ubize mkubwa wa kuzitafuta bikira popote zilipo. Sikutaka kabisa kuangaika na wasichana ambao wala hawakuwa na bikira, nilijiona kama kuupoteza muda wangu kwao. Nilihitaji heshima, heshima ambayo kila mtu angeniona kustahili kuitwa jina la Dungadunga.

Sikutaka kuendelea kuwasiliana na Nilfat kwa simu tu bali sasa hivi nilitaka kukutana nae na kuongea nae. Nilimwambia na wala hakuonekana kukataa, akapanga tuonane kokote nilipopaona panafaa. Sikutaka kupanga kuonana nae Guest House kwani ni lazima angejua ni kitu gani ambacho nilikuwa nikikitaka kutoka kwake.

Alitaka tuonane sehemu tulivu, sehemu ambayo tungeweza kuongea mambo mengi kwa utulivu mkubwa. Nilichomwambia ni kwamba ningependa kuonana nae nyumbani kwangu. Kidogo akaonekana kushtuka lakini kutokana na kuwa na taaluma ya kuwaondoa wasiwasi wasichana, akajikuta akikubali.

Nilimwambia kwamba siku inayofuata ndio ingekuwa siku nzuri ya mimi kuonana nae. Aliniambia kwamba angekuja numbani siku hiyo japokuwa asingekaa sana, nikakubaliana nae japokuwa nilijua fika kwambani lazima angekaa muda mrefu hasa pale ambapo ningeanza kufanya vitu vyangu.

Siku ambayo tulipanga kuonana ikafika. Nikaamka asubuhi na mapema na kisha kuanza kukifanyia usafi chumba changu. Nikaanza kukiangalia kitanda changu, nikabaki nikitabasamu tu. Nilikiona kitanda changu kujaa dhambi nyingi sana, tena dhambi za mapenzi.

Nilipomaliza, nikachukua shuka langu safi jekundu na kulitandika. Nilijiandaa vilivyo, shuka jekundu ndilo lilikuwa shuka langu la kazi hasa la kuwabikiria wasichana ingawa sikuwahi hata mara moja kumpata msichana aliyekuwa na bikira.

Saa nane juu ya alama simu yangu ikaanza kuita nilipoangalia kioo cha simu jina la Nilfat Bikira lilikuwa likionekana katika kioo cha simu ile. Kwa haraka haraka nikaipokea na kuipeleka sikioni.

“Nimekwishafika hapa Mikumi. Njoo basi unipokee” Niliisikia sauti ya Nilfat.

“Usijali mpenzi. Ninakuja sasa hivi” Nilimwambia na kuanza kuelekea kituoni kumpokea msichana huyu mrembo.


Angalizo: Mnaosoma msipite kimya kimya bila kusema lolote. Ukimaliza kusoma toa maoni yako, Like pamoja na Share ili simulizi hii isomwe na wengi.


Unajua nini kilitokea?

Hebu bashiri, niambie nini kitatokea?


SHARE KWA MARAFIKI ZAKO TUZIDI KUSONGA MBELE. 





Sikutaka kuchelewa kwa lolote lile, moja kwa moja nikaanza kuelekea kituoni kwa ajili ya kumpokea mrembo Nilfat. Kichwa changu kwa wakati huo kilikuwa kikifikiria mapenzi tu, nilitamani nikutane na Nilfat ili nimpeleke geto ambako huko ndiko kila kitu kingemalizika.

Mwendo wangu ulikuwa wa haraka haraka kana kwamba nilikuwa nikiwahi kitu cha maana sana. Nilipokaribia katika kituo kile, kwa mbali nikamuona Nilfat akiwa amekaa katika kitu kie akinisubiri. Nywele zake ndefu alikuwa ameziachia hadi kufunika mabega yake.

Hakuwa na hipsi kubwa kama ambavyo wanawake wa kitanzania wanavyokuwa nazo, alikuwa flati kidogo huku nyuma kwa kiasi fulani kukiridhisha. Nikapiga hatua za haraka kumfuata, nilipomfikia, nikamgusa bega kwanyuma, alipogeuka, sura yake nzuri ikanifanya kupata ganzi.

“Ooohh..! Gideon.!” Aliniita huku akiitanua mikono yake kunikumbatia.

“Karibu mrembo” Nilimwambia.

Hatukutaka sana kupiga stori pale kituoni kwa kujua kwamba mambo mengi tungeongea nyumbani, ndani ya chumba changu ambacho hakikuwa na kiti hata kimoja zaidi ya kitanda tu. Tukaanza kutembea kwa mwendo wa taratibu kuelekea nyumbani.

Kila mtu ambaye tulikuwa tukipishana nae, macho yake yalikuwa yakimwangalia Nilfat, uzuri wake haukuwa wa kawaida, alikuwa akifanana kabisa na yule muigizaji wa kihindi aitwaye Kajool. Ingawa nilikuwa nikiongea mambo mengi pamoja nae lakini kichwa changu kilikuwa kikifikiria mapenzi tu.

Staili mbalimbali zilikuwa zikimiminika kichwani mwangu, nilitaka kumaliza maujuzi yote kwa msichana huyu ambaye ilikuwa na uhakika asilimia mia tatu kwamba hakuwa akifahamu mapenzi.

Wala hatukuchukua muda mrefu, tayari tukawa tumekwishafika nyumbani ambako tukaingia na kutulia. Hali ya hewa nje haikuwa mbaya, jua halikuwa likioekana kutokana na mawingu mazito ambayo yalikuwa yametanda angani. Mara manyunyu yakaanza kupiga huku joto lote likitoweka.

Muda mwingi nilikuwa nikimwangalia kwa macho ya wizi, mkao wake ambao alikuwa amekaa pale kitandani ulikuwa ukinichanganya kupita kawaida. Sikujua ni nini kilitokea, nikashangaa kumuona akianza kuvua nguo moja baada ya nyingine.

Nilichanganyikiwa mara baada ya kuiona tight yake iliyokuwa na rangi nyekundu ikiwa imemkaa vizuri mwilini mwake. Hadi kufika kipindi hicho, tayari nilikuwa nimekwishachanganyikiwa zaidi. Sikujua ni kwa namna gani Nilfat angeweza kutoka chumbani kwangu salama, yaani nimuache pasipo kuduu nae? Hapana, sitoweza kuvumilia hivyo.

“Unasikia joto niwashe feni?” Nilimuuliza.

“Hapana” Alinijibu huku akitoa tabasamu pana.

Sikutaka kukaa mbali nae tena, tayari nilikwishaona kwamba Nilfat alikuja hapo kwa ajili ya jambo moja tu, kufanya mapenzi. Nikamsogelea na kuwa karibu nae zaidi, pumzi zangu zilikuwa zikisikika vizuri masikioni mwake.

“Vipi?” Nilimuuliza.

“Nini?” Nae alinirudishia swali.

Sikutaka kuongea kitu chochote kile, nilichokifanya ni kuanza kuzishikashika nywele zake kwa kuamini kwamba wasichana wengi walikuwa na ashki nyingi katika nywele zao. Nikazivuta kwa nyuma, alipokiinamisha kichwa chake kwa nyuma, nikaanza kumpiga lita za mfululizo.

Sikutaka kutoka kinywani mwake, niliendelea zaidi na zaidi, mara miguno fulani ya mahaba ikaanza kusikika. Nilfat alionekana kuwa na mzuka kupita kawaida, alikuwa akiunyonganyonga mwili wake huku mikono yake ikiishika zipu ya suruali yangu.

Niliendelea na zoezi la kupiga lita zaidi, nikamlaza kitandani na kuanza kumfanyia mchezo wangu. Cha kwanza nikakikimbilia kitovu chake, nilikuwa nakinyonya kwa staili ya kukivuta hali iliyomfanya kuanza kupiga kelele nyingi za mahaba.

Nilibaki kitovuni kwa dakika tano, nikaahamia kifuani, hapo ndipo ilipokuwa balaa zaidi. Nilikaa hapo kwa dakika ishirini, nikaanza kuyaona mabadiliko makubwa. Nikaamua kuhama na kuhamia kuleeee... huko ndiko ambako kulikuwa balaa zaidi.

Nilipang’ang’ania kwa muda mrefu kiasi ambacho yeye mwenyewe akaanza kunilazimisha nianze kufanya kile kilichokuwa kimemleta mahali pale. Nikaanza kuchojoa nguo zangu huku nae akinisaidia kuzitoa mwilini mwangu. Sidhani kama nitakuwa na busara kuelezea kile ambacho kilitokea baada ya hapo. Ila kuna kitu nilitaka sana ukifahamu kwamba Nilfat hakuwa na bikira yoyote ile.

*****

Nilijiona kuwa mtu nisiyekuwa na bahati hata kidogo, kutembea na wasichana zaidi ya themanini na kutokutoa bikira hata moja kulinihuzunisha. Nikakata tamaa kabisa ya kuendelea kuzitafuta bikira kwani niliamini kwamba hazikuwepo kabisa.

Zoezi langu la kuzitafuta bikira likaishia hapo, sikutaka tena kuwatafuta wasichana wa namna hiyo. Nikaanza tabia yangu ya kuwarukia wasichana ambao walikuwa wakikatiza mbele ya macho yangu. Nilitembea na wengi huku ufanisi wangu wa kufanya mapenzi ukiwa umeongezeka maradufu.

Kama kawaida yangu, kila msichana ambaye nilifanya nae hakutaka kuniacha, alitamani kufanya pamoja nami zaidi na zaidi. Nilionekana kuwa mzoefu mkubwa sana kitandani tang siku ya kwanza nilipofanya na msichana wa kitanga ambaye yeye ndiye alinibikiri.

Ufundi wangu ulikuwa wa hali ya juu kupita kawaida, skutaka msichana anitawale kitandani, nilichokuwa nikikifanya mimi ni kuutawala mchezo wote katiika dakika zote.

Kwa kuwa nilikuwa nimeamua kwa nia moja kwamba sikuwa na lengo la kutafuta bikira, hapo ndipo nilipoamua kumridhisha msichana Christina ili nae ajione kwamba ni msichana miongoni mwa wasichana. Wala sikupata kazi sana katika kumtafuta kutokana na yeye muda mwingi kuja kuwasalimia marafiki zake ambao walikuwa katika nyumba ile niliyokuwa nimepanga.

“Kila siku unakuja ndani ya nyumba hii Christina, yaani hata siku moja kuja chumbani kwangu kunisalimia” Nilimwambia. Christina akaonekana kushtuka, hakuamini kama kungetokea siku yoyote katika maisha yake kusikia maneno yale ambayo nilikuwa nimemwambia.

“Hautaki kunikaribisha na ndio maana sitaki kuja kwako” Aliniambia.

“Usijali. Karibu” Nilimwambia.

Kwa kuwa alikuwa katika ukumbi wa nyumba, nikamshika mkono na kumvuta chumbani kwangu kwa mvuto wa mahaba. Tukaingia chumbani na kutulia. Nikabaki nikimwangalia, idadi ya wanaume ambao nilikuwa nikimkuta nao ilionekana kunikasirisha.

Kadri alivyokuwa akikaa chumbani mule na ndivyo ambavyo hamu ya kufanya nae mapenzi ilivyozidi kunikamata. Kwa kuwa sikumuamini kabisa, nikafungua kabati na kisha kutoa kondom. Sikutaka aone ni kitu gani ambacho nilikuwa nimekitoa, hivyo nilikuwa nimemziba kwa mwili wangu.

Nikaanza kumwangalia pale kitandani, macho yake yalikuwa yakionesha huruma kubwa kiasi ambacho nikaanza kumuonea huruma. Niliishangaa hali ambayo nilikuwa nayo kwa kipindi hicho. Katika maisha yangu, Christina ndiye alikuwa msichana wa kwanza kumuonea huruma, sikujua sababu iliyonifanya kuwa vile.

Nikapanda pale kitandani n kumsogelea, hata kabla hajajiuliza juu ya dhumuni langu, akashtukia kinywa changu kipo mdomoni mwake na zoezi la kubadilishana mate kuanza. Nikaanza kupiga lita nilivyotaka. Mzuka wa kufanya mapenzi na Christina ukanipanda zaidi na zaidi, mwili wangu ukaanza kunilegea.

Mwili wa Christina ulikuwa ukitetemeka kupita kawaida kiasi ambacho nilibaki nikishangaa. Nikaachana na zoezi lile na kisha kuanza kumwangalia usoni. Bado mwili wake ulikuwa ukitetemeka kana kwamba alikuwa akisikia baridi, nilionekana kuogopa.

“Vipi? Mbona unatetemeka?” Nilimuuliza.

“Hakuna kitu”

“Kweli?”

“Ndio” Alinijibu.

Nikamrudia tena na kuanza tena zoezi langu la kumnyonya mate. Mwili wake ukazidi kutetemeka zaidi na zaidi. Mara hii sikutaka kujali, niliendelea zaidi na zaidi na zoezi langu. Nikaanza kumvua blauzi ambayo alikuwa ameivaa. Macho yangu yakatua katika matiti yake yaliyokuwa yamesimama.

Hapo ndipo ambapo kulikuwa ugonjwa wangu mkubwa, nikajihisi kuchaganyikiwa kupita kawaida. Nikaanza kuyaangalia matiti yake kwa macho ya tamaa. Nikayafuata na kisha kuanza kuliingiza moja kinywani mwangu. Ni kilio cha mahaba ndicho ambacho kilikuwa kikisikika kutoka kwake.

Niliendelea na zoezi lile zaidi na zaidi huku nikianza kumvua nguo zake za chini. Nilimvua nguo zote isipokuwa moja, nguo yake ya ndani. Kila nilipokuwa nikijaribu kuivua, Christina alionekana kuwa mgumu. Sikukata tamaa, niliendelea kumng’ang’aniza zaidi na zaidi lakini bado alikuwa akikataa.

“Mbona hautaki Christina?” Nilimuuliza huku kwa mbali nikionekana kuwa na hasira.

“Yaani siku ya kwanza tu unataka tufanye?”

“Nimeshindwa kuvumilia Christina. Mwili wangu umezidiwa, tafadhali naomba unielewe” Nilimwambia huku na mimi nikianza kuonyesha sura ya huruma.

“Hapana Gideon. Siwezi” Aliniambia huku akiishikilia vizuri chupi yake.

“Kwa nini lakini?”

“Hapana”

“Sawa. Usijali. Sitotaka kwenda huko chini. Niachie nifanye ninachotaka kuanzia juu ya kiuno” Nilimwambia.

“Kama juu ya kiuno sawa, ila si chini ya kiuno” Aliniambia.

Hapo ndipo mwanaume nikajikoki zaidi. Nikaona Christina akiniletea dharau. Kwa kuwa alikataa kumvua ile chupi yake, niataka yeye mwenyewe aivue na kuiweka pembeni. Nikajiweka sawa na kisha kuanza kazi. Kama kawaida yangu nikaanza kumnyonya matiti yake huku mikono yangu ikiwa bize kuzibinyabinya nyonga zake. Nilimfanya kila kitu huku nikihama sehemu moja mpaka nyingine. Nilitumia ujuzi wangu wote, ni ndani ya dakikaishirini tu, kilio chake cha mahaba kikazidi kusikika zaidi na zaidi na hatimae yeye mwenyewe kuanza kuishusha chupi yake.

Wala sikutaka kuishika, kwa wakati huo nilikuwa bize na mwili wake. Kwa kuwa alikataa mimi kumbua, sasa ilikuwa ni zamu yake kuivua kwa mikono yake. Christina alikuwa akilia, machozi yalikuwa yakitiririka mashavuni mwake. Nilijua kwamba kwa wakati huo alikuwa amezidiwa.

Shuka lote lililokuwa kitandani alikuwa amelivuta mpaka kumzunguka. Niliendelea zaidi na zaidi, nguo yake ya ndani ikaanza kushuka. Tayari nikajiona kuwa mshindi miongoni mwa washindi, nilichokifanya ni kuimalizia na kisha kuingia katikati ya miguu yake. Wala sikukumbuka mahali nilipoiweka ile kondom, nikajikuta najiandaa kuingia peku peku bila kiatu chochote kile.

“Taratibuuuuu....” Aliniambia.

“Unasemaje?”

“Taratibuuuuuu.... sijawahi kufanyaaaaa....” Aliniambia maneno yaliyonishtua kupita kiasi.

“Unasemaje?” Niliuliza kwa mshtuko mkubwa.

“Sijawahiiiiii baby....”

“Ina maana una bikira?”

“Ndio” Alinijibu.

Nadhani unaweza kuijua hali ambayo nilikuwa nayo mara baada ya kuyasikia maneno yale. Nilitamani kuinuka na kuruka ruka. Kitu nilichokifanya ni kuanza kazi ambayo ilinifanya kumuita ndani ya chumba kile. Ingawa tulikuwa katikati ya kitanda, nikashangaa kumuona akisogea sogea nyuma mpaka mwisho wa kitanda. Christina alikuwa akinisumbua kitandani pale, hakuwa radhi kumtoa bikira yake kitu ambacho kilionekana kunikasirisha.

Kila nilipotaka kuanza kazi, alikuwa akisogea nyuma huku akipiga kelele kwamba nilipokuwa nikianza alikuwa akisikia maumivu makali. Nikajivisha uso wa mbuzi pamoja na kuvaa miwani ya bati. Sikutakiwa kuiona sura yake ya huruma kwani niliamini msemo wa ‘Ukitaka kumuua nyani’.

Alisogea sogea nyuma mpaka kufika ukingoni mwa kitanda, hakuwa na ujanja wowote pale, nika.........! Ni kelele tu ndizo ambazo zilikuwa zikisikika. Nikaanza kuhisi maji maji katika shuka kitu nilichojua fika kwamba zilikuwa damu, sikuweza kuzigundua kwa wakati ho kwa kuwa shuka lilikuwa jekundu.

Christina alibaki akipiga kelele huku akilia kwa maumivu makali. Sikujali, niliendelea mpaka pale nilipohakikisha kwamba mishipa ile ya damu ilikuwa imeachia ukeni kwake na hivyo kuweka njia mpya. Nilipomaliza, nikaanza kumfariji kwa maneno matamu lakini hakuonekana kunielewa, alikuwa akilalamika huku akiniahidi kutofanya mchezo ule tena kwa kuwa alikuwa amepata maumivu makali.

Nikaanza kumfuta futa na kisha kuweka maji kwenye ndoo na kuelekea bafuni kuoga. Muda wote Christina alikuwa akionekana kukasirika. Niliendelea kumpoza kwa maneno matamu kule bafuni na hatimae kuanza kusuguana. Nilipojiangalia chini, Mungu wangu! Nikajikuta nikimvamia na kuanza kufanya tena. Mara hii wala hakuwa akipiga kelele kama mwanzo hali iliyonifanya kugundua kwamba alikuwa amekwishaanza kuzoea.

Huo ndo ukawa mwanzo wa uhusiano wangu na Christina. Kila alipokuwa Christna, na mimi nilikuwa pembeni. Niliijua thamani yake kwangu na hiyo ndio ilikuwa sababu ya mimi kumthamini kwa kiasi kikubwa hadi pale nilipokuja kumuoa.

Nikatulia ndani ya ndoa, sikutaa kuangaika na wasichana wengine kwa kuamini kwamba walichokuwa nacho ndicho alichokuwa nacho Christina, ila alichokuwa nacho Christina kamwe hawakuwa nacho, MAPENZI YA DHATI NA MOYO WENYE KUJALI.


MWISHO.


Mnaosoma kimya kimya bila kusema lolote. Leo ningependa kuona maoni yenu.


Natumaini wote mmejifunza mengi katika simulizi hii, kwa yale ambayo ni mafunzo kwenu yachukueni lakini yale ambayo yataonekana kuwa mabaya yaacheni humuhumu.


Ninashukuru kwa kunifuatilia mwanzo mpaka mwisho wa mkasa huu. Ninachopenda kusema ni kuwashukuru kwa kuniunga mkono kwenye kazi hii kubwa.


Kumbuka mwisho wa simulizi hii ndiyo mwanzo wa simulizi nyingine.


Ahsanteni


0 comments:

Post a Comment

Blog