Chombezo : Penzi La Binti Nguva (2)
Sehemu Ya Pili (2)
huku akimkata jicho yule mlevi alie ongea maneno yale, kisha akamtazama James ambae alikuwa amemhikilia kwanguvu bwana
Kizito kisha akamwachia, hapo binti Nguva akaanza kutembea, akiendelea na safari yake, akimwona yule kijana akimfwata na
mizigo yake mgongoni, yakiwemo mazagazaga yakutosha, binti nguva akiombea yule kijana amfwate yeye, huku wale walevi wakitoa
maneno ya kashfa, juu yake bintinguva na kijana alie masaidia, "mjinga wewe, unazani huyu demu atakusaidia nini?" mwingine
akadakia, "hachakujipendekeza kwa huyo malaya," likizito nalo lika malizia huku linajiooza maumivu kwenye mkono wake, "ndiyo
maana mkeo alikukimbia mjinga wewe, naleo utaona" hapo wale vijana wakamwona James akimmfwata yule yule dada ambae alikuwa
akiendelea kutembea, maneno yale yalimuumiza sana Fadhira, alitamani awafwate na kuwa chana chana, lakini aliogopa akifanya
chochote mbele ya James, ata mkosa mazima, maana ni lazima atamwogopa kuanzia siku hiyo, kakile atakacho kishuhudia kwa
macho yake, Jamse bado alkuwa akielekea alipokuwa anaelekea Fadhira, kiukweli Fadhira alikuwa anaomba kimoyo moyo kuwa, yule
kijana awe anamfwata yeye, maana moyo wake ulisha mpenda sana, itaendelea kesho.... daa! nikweli fupi, lakini tamu pia..
wakamwona James akimmfwata yule yule dada ambae alikuwa akiendelea kutembea, maneno yale yalimuumiza sana Fadhira, alitamani awafwate na kuwa chana chana, lakini aliogopa akifanya chochote mbele ya James, ata mkosa mazima, maana ni lazima atamwogopa kuanzia siku hiyo, kakile atakacho kishuhudia kwa macho yake, Jamse bado alkuwa akielekea alipokuwa anaelekea Fadhira, kiukweli Fadhira alikuwa anaomba kimoyo moyo kuwa, yule kijana awe anamfwata yeye, maana moyo wake ulisha mpenda sana, "samahani dada naomba nikusindikize kidogo, mana sivyema utembee peke yako mida kama hii, inayooelekea usiku" Fadhira akaasikia sauti ya yule kijana, ambae alikuwa anamjia kwa mwendo wa haraka haraka sana, akajuwa mija kwamoja anaambiwa yeye, akapunguza mwend na kugeuza shingo lake akimtazama huyo kijana, "naitwa James Komba au baba Rehema, ila rafiki zangu wanapenda kuniita mjukuu wa mzee Komba sababu nime lelewa na malhemu babu yangu,"alijitambulisha James baada ya kumfikia Fadhira, hapo Fadhira aakatabasamu na kutazama mbele, na wote wakendelea kutembea "kwanza nafurahi kukufahamu, mimi naitwa Fadhira" alijitambulisha Fadhira binti Nguva, "hooooo! jina lako zuri kama wewe mwenyewe," aliongea James ahuku wakizidi kutembea, na sasa walikuwa wamesha ingia ndani ya eneo lenye migomba mingi sana, kando kando ya mto matimila, "asnate sana, kwani mimi ni mzuri hen?" aliuliza Fadhira akimtazama James usoni huku akirmbua macho yake na kuzidi kumchanganya kijana huyu, "hooo sana, nazani umesha ambiwa mala nyingi sana, kuwa wewe nimzuri, ila kwangu wewe nizaidi ya mzuri," alipangilia maneno James, waliongea wawili hawa huku safari ikiendelea, hawakujuwa kuwa huku nyuma yao kuna kikao kilikuwa kina endeleazidi yao, kikao kilichoendeshwa na watu watatu, mwenye kiti akiwa ni bwana Kizito, mpango ukiwa ni kumvizia kijana James wkatio anarudi toka kumsindikiza yule binti wamvamie kisha wampoteze maisha yake, wakati mipango hiyo ikifanyika Fadhira na James waiendelea na safari, huku wakiongea kwa mbwembwe na vicheko kama watu walio fahamiana siku nyingi zilizo pita, "inamaana umeamua tu! kuni sindikiza, au unalolote la ziada" aliuliza fadhira baada yakuona atongozwi, na mtu ampendae, hapo moyo wa James uka lipuka kwa kiholo, nakupatwa kigugumizi cha ghafla, hasijuwe amjibu nini Fadhira
mh! hivi huu msitu wa migomba uta mwacha mtu salama kweli?, ebu tukutane jioni na msimulizi
anarudi toka kumsindikiza yule binti wamvamie kisha wampoteze maisha yake, wakati mipango hiyo
ikifanyika Fadhira na James waiendelea na safari, huku wakiongea kwa mbwembwe na vicheko kama
watu walio fahamiana siku nyingi zilizo pita, "inamaana umeamua tu! kuni sindikiza, au
unalolote la ziada" aliuliza fadhira baada yakuona atongozwi, na mtu ampendae, hapo moyo wa
James uka lipuka kwa kiholo, nakupatwa kigugumizi cha ghafla, akiwa hajuwi amjibu nini huyu
mwanamke alie jitambulisha kwake kwa jina la Fadhira, "nimeona nikusindikize, alafuninunue na
ndizi kidogo, kusikia hivyo , moyo wa Fadhira uka sinyaa, lakini kwa jinsi kijana huyu alivyo
kuwa anaongea kwa kubabaika, akajuwa kuna jambo la siri moyoni kwa ijana huyu, "nashukuru
sana, yani we kaka unamoyo wa huruma sana, yani hupo tofauti kabisa na wenzako" Jemsi
alitabasamu kwa sifa alizopewa, aka waza kimoyo moyo, "daa sijuwi nimwambie au" kimya
kikatawala pasipo James kuongea neno lolote zilisikika michakato ya miguu yao pekee, James una
waza nini, au una ogopa utachelewa kufika nyumani wifi atakuwa mkali" aliuliza Fadhira
akimtazama usoni James, safari hii James aliona swali hilo ni jepesi kwake, "sina mke" jibu
ilo llinpendeza sana Fadhira, akatabasamu kidogo, "kwanini hauja owa, mpaka sasa?" aliuliza
Fadhira wakiendelea kutembea, na sasa walianza kupita pembeni ya mto matimila, "mh! ni story
ndefu sana, tukikutana tena nita kusimulia," alijibu James Komba "he! unatamani kukutana
tena?, kwani wewe unakaa sehemu gani pale kijijini?" aliuliza Fadhira huku akimtazama James
usoni na tabasamu lime tawala usoni kwake, " nakaa nyuma ya soko, karibu kabisa na duka la
vifaa vya baiskerim, vipi unataka kunitemelea?" aliongea James huku akitania wote waka cheka
kidogo, "naweza kuja, siumesema auna mke, alafu nimeona una vifaa vingi vya nyumbani ina maana
unapika mwenyewe," aliongea Fadhira baada ya kuona mazaga zaga aliyo ya beba James kenye begi
lake, ndiyo napika mimi mwenyewe, au wewe ukija unaweza kuni saidia" aliongea James kisha wote
wakacheka, "sito kupikia, nikifanya hivyo utapenda niku pikie kila siku," aliongea Fadhira
akimtazama James kwa jicho lake la kulembua, "sawa unaonekana mchoyo sana, lakini mimi siyo
mchoyo kama wewe" aliongea James akilalamika, "ok James ninaombi moja kwako, kabla atuja
hachana jioni hii, naomba tufanye kitu kimoja" ok mdau ni kitugani hicho? basi kesho Mbogo
aliongea Fadhira baada ya kuona mazaga zaga aliyo ya beba James kenye begi lake, ndiyo napika mimi mwenyewe, au wewe ukija
unaweza kuni saidia" aliongea James kisha wote wakacheka, "sito kupikia, nikifanya hivyo utapenda niku pikie kila siku,"
aliongea Fadhira akimtazama James kwa jicho lake la kulembua, "sawa unaonekana mchoyo sana, lakini mimi siyo mchoyo kama
wewe" aliongea James akilalamika, "ok James ninaombi moja kwako, kabla atuja hachana jioni hii, naomba tufanye kitu kimoja"
hapo moyo wa James ulistuka kwa kiholo, akijuwa mtoto anataka amtongoze yeye nini, "poa we sema tu unataka tufanye nini"
alijibu James kwa shahuku ya kufahamu hucho anachotaka fadhira wakifanye, "kama uto jali, tutafute sehemu tukae, utoe hizo
mafuta na jiko, nikupikie kidogo ndizi, maana umelalamika sana," kauli huyo ilimshangaza sana James kweli licha ya kuwa na
vitu hivyo alivyo tajiwa na Fadhira, lakini kuna mmbo yalimshangaza, kwanza kabisa mahali penyewe ni porini maana walisha
tembea umbali mrefu sana toka kijijini, pili mda ulisha enda sana, najuwa lilisha pungua nguvu kwa kiasi kikubwa sana,
ilionyesha muda wowote lina anza kuzama, Fadhira alisha yasoma mawazo ya James, kuwa anaona mda umesha enda sana, "au
unaogopa?, nakuona wewe ni kijana shabhabi, najisikia salama sana nikiwa na wewe" alichombeza Fdhira akimjaza James akubari
ombilake, maana Fdhira aliona kuwa sehemu yake ya kuingilia mtoni imesha karibia kwahivyo analazimika kuachana na James,
wakati moyo wake unatamani aendelee kuwa nae mahali pale, mpaka James atakapo aga nakuondoka ndipo nayeye apate nafasi ya
kuingia mtoni, pasipo kuonekana na James, "HOOOO!siyo tatizo nikwamba, nakuonea huruma wewe, maana bado una enda mbali"
aliongea James, akionekana kuunga mkono wazo la Fadhira pasipo kujuwa ni binti Nguva, "husijari kuusu mimi ndugu zangu
watakuja kunifwata jiani, ndivyo wanavyo fanya kila siku" alijibu Fadhira akimtoa wasi wasi Jamesi mjukuu wa mzee Komba,
"sawa tukae wapi?" aliuliza James baada yakuona wanazidi kutembea kuelekea mbele zaidi, "tende pale ni pazuri sana" alijibu
Fadhira ambae alitembea mbele kidogo nakuchepuka akiingia kwenye kichaka kidogo, akifwatiwa na James nyuma yake, wakatokea
kwenye pemb moja ya mto ambayo ilikuwa hipo wazi sana, nanyasi fupi fupi sana, palikuwa na upepo mzuri sana, "hapa nipazuri
sana tuna weza kukaa mpaka asubuhi" aliongea James, akimtazama binti Fadhira akituwa ndizi zake nakuinama akiziweka chini,
James akiwa nyuma ya Fadhira aliona vidhuri kabisa kimsambwanda cha Fadhira, akiwa ameinama na kusababisha ata kitumbua
chake kuonekna kwa mbali, toka kwenye nguo yake nyepesi ya kuangaza na kichupi chake cha mikanda (vikamba) alichovaa binti
huyu, kiukweli binti huyu aliamua kumrusha loho mwenzie, "hivi, kwani ni shilingi ngapi?" Fadhira alistuka kwa kauli ya
James, mana alijuwa kuwa James amesha vurugwa hakili kwa mitego aliyo mtega, "sasa hii dharau, inamaana anazani mimi ni
malaya" alijisemea Fadhira akizidi kujijaza hasira, "unasema" OK, UNAZANI ITAKUWAJE HAPO, KAMA Mbogo Edgar ATAINGIA OFINI
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment