Search This Blog

Sunday, February 26, 2023

BIBI MBUYA NA WAJUKUU ZAKE - 1

 

IMEANDIKWA NA: EDGAR MBOGO

******************************************************* 

Chombezo : Bibi Mbuya Na Wajukuu Zake 

Sehemu Ya Kwanza (1)


SEHEMU YA KWANZA


UTANGULIZI

Naitwa Edgar nimeona nikusimilie kitu alichowai kuni fanyia BIBI MBUYA NA WAJUKUU ZAKE, ilikuwa ni miaka mingi sana kabla baba Isabelah ajafika kijijini matimila na familia yake, mimi nilikuwa wakwanza kuingia kijijini hapo nikielekea kijiji cha jilani na matila, mandepende, ambapo bibi huyu ambae mwanzo sikuwai kumtambua, nilikuwa natokea mjini songea naenda kuwatembea wakina babu huko kijijini, nibaada ya miaka mingi kupita bila kuwa tembelea wazee hao ndipo baba akaniagiza niende nika wasalimie wakina babu na bibi kijijini Mandepwende, mda ulikuwa umeenda kidogo wakati nakatiza kwenye uwanda flani, huku nikaza kuihisi na karibia kijiji flani, kutokana na sauti za mifugo mbali mbali kusikika, hapo nikabla sijaingia Matimila, na kutoka matimila kwenda kijijini kwetu mandepwende ni kilomita ishilini na tano, kiukweli nilikuwa nimechoka sana, maana usafiri wapee ulikuwa ni miguu au baiskeli kwa kipindi hicho,.. ok wadau tumeaanza hivyo, tuwe pamoja kwa like na comment kisha tulia kwa mkali wako Mbogo Edgar akusimulie yaliyo mkuta



na kutoka matimila kwenda kijijini kwetu mandepwende ni kilomita ishilini na tano, kiukweli nilikuwa nimechoka sana,maana

usafiri wapekee ulikuwa ni miguu au baiskeli kwa kipindi hicho, kingine kilicho nifanya niamini kuwa nimekaribia Matimila ni

kelele za maplomoko ya maji ya mto uliopo jilani na kijiji hicho, ulioitwa mto matimila, nazani unaukumbuka mdau, baada ya

kutembea kama mita miambili mbele, ndipo nilipo amini kuwa nishamefika matimila nakubakiza kilomita ishilini kufika

mandepwende, baada ya kumwona binti mmoja mrembo sana mbele yangu, tena kwa madhingila ya kijijini husinge amini kama yupo

kule kijijini, kiukweli alikuwa mrembo aswaaaaa, binti huyo alikuwa mbele yangu nandoo yamaji kichwani, "samahani dada

unaweza kunisubiri kidogo" nilimsemesha huku nikiongeza mwendo kumkimbilia, yule binti aligeuza shingo nakunitazama "bila

shaka naweza kukusubiri" bahati nzuri mtoto huyu waukweli alisimama kunisubiri huku usowake ukichanua kwaa tabasamu lililo

zidisha uzuri wake mala dufu, "mambo vipi dada yangu" nilimsalimia baada ya kumfikia "poa tu za kwako?" alijibu yule dada

huku taba samu likiendelea usoni kwake, nikaona hapa naweza kupata mwenyeji maana muda ulikuwa umesha songa na kijijini

kwetu bado ni mbali, japo lengo lilikuwa ni kuulizia umbali uliobaki mpaka kuingia kijijini, "niko poa kabisa, pole sana kwa

kukusimamisha nahuo mzigo kichwani" nilimwabia huku nikijaribu kumsoma ni mwanamke wa aina gani, "wala husijari kaka yangu,

alafu unaonekana ni mgeni hapa kijijini na unatokea kijijini hen?" hapo sikuvunga nika jitambulisha faster, pia nikamweleza

na sehemu nayo kwenda, "nimekuona tu maana hapa kijijini hakuna wavulana wazuri kama wewe, mimi naitwa Zamda mjukuu wa bibi

Mbuya, unaweza kuniita Zam" haya sasa Edgar amekutana na mjukuu wa Mbuya nini kitafwata, jibu analo Mbogo Edgar chakufanya

we gonga lie na comment kisha kaa mkao wakula




alafu unaonekana ni mgeni hapa kijijini na unatokea Mjini hen?" hapo sikuvunga nika jitambulisha faster, pia nikamweleza na sehemu nayo kwenda, "nimekuona tu maana hapa kijijini hakuna wavulana wazuri kama wewe, mimi naitwa Zamda mjukuu wa bibi Mbuya, unaweza kuniita Zam" kilicho ni flahisha kwa binti huyu ambae alijitambulisha kuwa ni mjukuu wa bibi mbuya, mdawote alikuwa anatabasamu, "sasa huko mandepwende, utafika saa ngapi?" aliuliza yule binti huku akishusha ndoo chini, "kwani ni mbali sana kutoka hapa?" nili jifanya kuuliza wakati nafahamu fika kuwa ni kilomita ishilini, "wee nimbali bola ulalae hapa kijijini, ilikesho mapema ndo uendelee na safari" aliongea binti Zamda au Zam kama anavyo jiita, hapo nikaona kuna uwezekano wa kupata mwenyeji usiku waleo, ujuwe nini mdau huyu binti anaamasisha mambo flani, "mh sasa nitafanyaje maana hapa kijijini sina ata mtu ninaye mfahamu" niliji fanya kuwaza nikiongea kwa sauti iliyo jaa maulizo yakukosa maada, huku nikisikilizia Zamda kama ataingia kwenye mtegego, du! kamaalikuwa anasubiri niongee hivyo, akadakia faster "twende ukalale kwetu" mh! kwao tena mi nilizni kana kaa kanyewe kwenye getho lake, "sasa wazazi wako utawaambia mimi ni naniwako" niliuliza alafu nika mwona yule binti akicheka kama nimeuliza swali la kijinga, "kwani we ninani wangu?.. simgeni nime kukuta una tafuta sehemu ya kupumzika, ilikesho uendelee na safari yako?" japo jibu ake lilikuwa jepesi, lakini bado nilikuwa na wasiwasi, "kwani hakuna nyumba za wageni hapa kijijini?" nilimwuliza ili akisema zipo ni kachukue chumba alafu nimwalike baadae "hakuna nyumba za kulala wageni,we twende kwetu, tupo mimi na dada yangu tunaishi na bibi yetu tu!" alisisitiza Zamda, uwezi amini nilishawishika kwenda kulala kwao, kikubwa kilicho nishawishi ni uzuri wa binti huyu na ucheshi wake, hapo atukuwa na haja ya kuemdelea kusimama pale njiani tuli saidiana kubeba ndoo ile iliyo jaa maji, kisha safari ya kwenda nyumbani kwa bibi Mbuya ikaanza, nijani tuliongea mengi akinisimulia mambo yapale kijijini, na mdafupi baadae tulitokea kijijini, nakuelekea nyumbani kwa kina Zamda, ilikuwa nyumba yakwanza kabisa iliyozungukwa na kichaka, kiukweli manzali yake iliogopesha maana kama kunawanyama wakali nilahisi sana kuwa dhuru wakwanza wakazi wa nyumba hii, tuliingia ndani kwa kina Zamda, kwanza kabisa nilimwona bibi kizee mmoja alie valia gauni jeupe, na kilemba cheupe, ambae alipo niona tu! alistuka kidogo nakuniangalia kwa jicho kali sana ambalo lilinitisha kidogo, pili pembeni ya bibi huyu, niliona kitu ambacho kilinifanya nione, Zamda hakuwa kitu mbele ya dada yake,... ok! Mbogo Edgar amesha ingia nyumbani kwa bibi Mbuya, unazani nini kitafwatia, fanya ku like naku comment kisha subiria MAMA MWENYE NYUMBA, Saidatiy Muhammad Muhammad




tuliingia ndani kwa kina Zamda, kwanza kabisa nilimwona bibi kizee mmoja alie valia gauni jeupe, na kilemba cheupe, ambae alipo niona tu! alistuka kidogo nakuniangalia kwa jicho kali sana ambalo lilinitisha kidogo, pili pembeni ya bibi huyu, niliona kitu ambacho kilinifanya nione, Zamda hakuwa kitu mbele ya dada yake, kiukweli nilimwona mwanamke ambae nilihisi ndiye dada yake Zamda, akiwa ameachia tabasamu la mwaka usoni mwake, kilicho nivutia kwa mdada huyu siyo sura yake, kwani kwa sura asinge mfikia mdogo wake Zamda, kilicho nivutia ni mwili wake, maana amaumbo moja matata sana toka juu mpaka chini, nilichanganyikiwa zaidi yule mdada alipo nisogelea na kunipa mkono wake, huku anaongea kwa sauti tamu sana tabasamu likizidi kushamili usoni mwake "karibu mgeni, mimi naitwa Amida, au una weza kuniita Ammy mjukuu wa bibi Mbuya" sikuvunga na mimi nikaitikia "asante sana dada Ammy, mimi naitwa Edgar, ni rafiki yake Zam" nilishangaa sana nakujiona mwenye bahati kwa mambo yaliyoendelea pale ndani, maana licha ya kumaliza kusalimiana, lakini bado Amida dada yake Zamda aliendelea kuni shika shika asa sehemu za mikononi, nili mwona Zamda akikodoa macho kama anaona wivu flani hivi "bibi na dada, huyu ni rafiki yangu anaitwa Edgar, kama alivyojitambulisha, leo atakuwa mgeni wetu hapa nyumbani" Zamda aliamua kunitambulisha, kwa dada ya ke na bibi yake, ambae muda wote alionekana amenikazia macho, nikashindwa kuyatafsili, yaani utazani alijuwa ninacho kiwaza juu ya wajukuu zake, Zamda aliwaeleza kila kitu juu ya safari yangu, na kuitaji kwangu ifadhi kwa jioni ile, "nikweli maana mda umeenda naona kagiza kana karibia" aliongea dada mtu, huku biakiwa kimya kabisa nika zani labda kwakuwa sija msalimia, " hapo nika sogea karibu yake na kumsalimia huku niki piga nusu goti, "shikamoo bibi" kituambacho sikutegemea baada ya salamu yangu, niliona kitu kama tabasamu uoni kwa bibi huyu, lakini kwaupande mwingine niliona nikama amekasilika flani, lakini nika jiliwaza kwa maneno yake, "karibu sana mjukuu wangu, jisikie kama hupo nyumbani, karibu ujumuike na dada zako" hapo hapo nikaonyeshwa chumba cha kulala na Zamda, nikaweka begi langu, nikiwa chumbani nilisikia Amida akipewa maagizo ya kuandaa chakula kwaajili yangu mgeni, tena aliambiwa achinje mbuzi, nilishangaa kusikia mwanamke anaweza kuchinja mbuzi, lakini nika jipatia jibu mwenyewe, kuwa kwa mazingira ya kijijini inawezekana kabisa, kisha nika sikia kuna kaubishani flani kame zuka bibaada ya Zamda kuongea jambo ambalo sikulisikia vizuri, wakati natafakari nakutegesikio hili kusikiza vizuri, maana hakuna nilicho ambulia zaidi ya mabishano, wakati amida anasema "sikubari naendanae." Amida alisema.."hapana amechoka nabakinae hapa hapa, anisaidie kuandaa mbizi, mala nikasikia nikiitwa na Zamda, nika toka chumbani nakwenda kumsikiliza, haya sasa mambo yanazidi kukolea, ebu tuendelee kuwa pamoja na Mbogo Edgar katika kujuwa alicho fanyiwa na bibi Mbuya


ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog