Chombezo : Bepari Timoth
Sehemu Ya: Pili (2)
lini wakati anampenda akawa anaingiwa nauoga kwa kuofia beko ataghairi na kuchukua
mwanamke mwingine ila aikuwa hivyo basi Tausi akifikiria alipotoka huwa anajicheka
mwenyewe na kujiona alikuwa tofauti sana basi wakiwa wanaendelea kupiga tory beko alimuona
mkewe akiwa mbali kifikra akajua anawaza juu ya kujinasua kwenye makucha ya bepari timothy
kumbe mwenzake alikuwa mbali sana na sio kuhusu utumwa ye aliwaza mapenzi yake na
beko,beko akamka na kumuinua tausi aliyeshtuka kwenye lindi la mawazo ya maisha yao ya
hapo nyuma na kwamwambia kila kitu kitakuwa sawa tuuu akamvuta karibu na kuanza kukisss
NO 10: - 12 Basi walipo maliza yao waliagana na kisha kila mmoja wao kuelekea kwenye makazi yao
lakini tausi hakumpa asilimia mia Beko kumshinda bepari timoth lakini beko alikuwa na niha
na malengo ambayo alitaka yatimie kukikomboa kijiji chao na ili yatimie alipaswa kuwa
makini na kumtoa bepari Timoth
Basi beko alifika alipotakiwa kufika huku anafuraha lakini tausi naye akiwa njiani mara
alishtuka kuona nyuma yake kunatokea mtu, alipo geuka hamadi huyu hapa bepary timothy
alijawa na ofu kubwa sana kwa kuwa lazima angeulizwa kafwata nini kule, kwenye eneo ilo la
watumwa, Da! tamu lakini fupi, mh! kitatokea, una zani bepari Timoth atamwacha hivi hivi
Beko alifika huku hasira zimemja, naye hakuuliza mtu, kilicho endelea na kuanza
kumshushia makonde bepari Timothy. pasipo kujari yeye ninani na atachukuwa uamuzi gani,
Wanakijiji walimshanga sana beko, kwa ujasili aliounyesha hapo kwa muda mfupi, huku
wengine wakionyesha kufurahia kumwona bepari naye anaazibiwa na Kijana wao beko, na
wengine wakimfikiria Kijana wao beko, kwani ukivunja Shelia hazabu yake ni kunyongwa mbele
za wanakijiji. Tausi akiwa pembeni anauguza majeraha naye, alijuwa adhabu itayompata Beko,
hivyo hakupenda beko aingilie kati ugomvi huo, nakumpiga Timoth, kwa kuwa anamjua fika
bepari Timothy akipona atamuondoa mpenzi wake beko , nayeye pengine kumkosa kabisa
mpenziwake, beko alipolizika alimfata Tausi pale alipo kuwa, ili kumwona alivyo haribiwa
uzuri wake dah!fupiii lakini tamu usikonde mdau ilikujuwa uamuzi wa Timoth tuonane kesho,
No13 : Tausi kumwona Beko basi Furaha ikaja, punde si punde Tausi alibadilika, kutokakwenye furaha,nakuja kwenye uzuni, maana alijuwa madhala ya kitendo anacho kifanya Beko, hapo alinyanyuka nakuanza kumfokea beko, kwa lile alilofanya kumhazibu kiongozi aliye ogopeka pale kijijini, basi beko alitulia na kuwa mpole kama maji yaliyo kwenye mtungi, ilikumsikiliza mpenzi wake Tausi, na licha ya Tausi kumfokea sana Beko, pia Tausi alijiwa na huruma, maana alimjuwa Timoth hasinge mwacha mpenzi wake salama, hapo alitulia na kumtia moyo mpenzi wake, kwani alikua anatambua ukolofi wa bepari Timothy. hivyo beko hakuogopa na kujianda na kitakacho tokea, kijana beko kwa muda huo alimchukua mpenzi wake, na kutokomea nae kule wanapo kaaga nakupiga stori Mara kwa mara. Basi bepari Timothy baada ya kupata kaufahamu na kukumbuka kichapo alichokipata, ndipo alichukua vijana wake wengi watiifu, na kuanza kumtafuta beko, walimtafuta usiku kucha. Ilikuwa muda wa usiku siku mmoja, ndipo kijakazi mmoja wa bepari alimwona beko, na kufikisha taharifa, ndipo vijana watiifu wa Timoth walipo jikusanya na kumfuata alipo, na walipofika eneo la tukio walikuta. ilikujuwa ni hadhabu gani ilimpata kijana Beko. tafadhari fwatilia sehemu ya 14 ambayo inafwatia muda mfupi ujao hii nikutokana na shughuli za kiselikari sito weza kuwa hewani kwamuda leo hii kuanzia mchana
No14 : vijana watiifu wa Timoth walimkuta kijana Beko, ambae alikuwa ametulia nampenzi
wake Tausi, licha ya Tausi kuonyesha hofu kubwa, lakini Beko halikuwa na wasiwasi zaidi ya
Tausi, maana aliwaza kitachotokea, endapo jeshi la bepari Timoth litakapo mkamata,
alipokuwa anawaza jinsi gani ataweza kuwatoroka majeshi ya bepari Timothy, ili atokomee
kijiji cha pili ndipo walipomzingira kona zote, na licha ya Beko kupambana na majeshi ya
bepari Timoth nguvu zilimwisha, ndipo alipo jisalimisha kwenye mikono ya huyo katiri lao
bepari Timoth, moja kwa moja kutimiza alicho kusudia, ni kumwondosha Kijana Beko. Asubuhi
ikafika na filimbi ikapigwa, kuashilia kuwa kunamkutano wa kuonana na bepari Timoth. wana
kijiji walifika kwenye uwanja uliozoeleka kwa kumwaga damu za wanakijiji wenzao, punde
siyo punde vijana wa bepari Timoth, walimleta kijana Beko mbele ya umati wa wanakijiji,
kwa ajili ya kunyongwa mbele ya wanakijiji wenzake, ndipo alipotokea Tausi na kulia kilio
kikuu na chakutia huruma, alilia sana akimwomba bepari Timoth asimunyonge mpenzi wake
Beko, huku akisema "nitafanya chochote utacho niamulu, lakini husimnyonge mpenzi wangu"
kusikia hivyo Timoth akatabasamu, tena tabasamu ambalo liliuchafua moyo wakilamtu pale
uwanjani, kisha bepari Timoth akamwambia binti mrembo Tausi, dah!! wasomaji wangu leo
sitokuwa hewani kuanzia saa sita mchana,mpaka kesho asubuhi, jiandae kusoma mkasa mpya wa
SAFARI YA HATARI kutokana na majukumu ya kitaifa, samahani kwausumbufu utakao jitokeza,
No15: kisha Timosi akaongea kwa sauti ya chini "Ili kumwokoa Beko inabidi ufate mashariti
nitakayo kuambia Mimi" hapo macho ya Timoth, yalionyesha wazi kujawa na tamaa, Kumbuka
binti Tausi kijiji kizima alisifika kwa uzuri wake,kila kijana alitamani kuwanae, miongoni
mwawatu waliokuwa wanamtolea macho,ni bepari Timoth, basi akutaka kuipoteza nafasi hiyo,
akamwambia yakuwa inabidi ampe tamu, ilikumwokoa Beko, kiukweli binti Tausi akuwa na njia
nyingine ya kumfanya bepari Timothy kubadilisha alicho sema,na niailikuwa kumwokoa Beko
hasinyongwe, huku Beko akisikia hayo, kweli ilimuuma sana, hasira ziliongezeka nakuanza
kufanya fujo ila walinzi wa bepari Timothy walimzibiti vilivyo kijana huyu, na ukizingatia
tayali alikuwa amefungwa kamba mikononi, Basi Timoth aliongozozana na binti Tausi kwenye
chumba kilicho tazamana na alipowekwa Beko na kwa zarau na jeuri ya bepari Timoth aliacha
mlango wazi ili amuumize Beko. Huku yakiendelea ya ndani Tausi hakupenda wala haku furahia
kitendo kile, huku wasi wasi ukimjia maana, hakujuwa uamuzi atakaouchukua Beko, kama kweli
akihachiwa, lakini bepari Timothy akujali hayoo Alitimiza dah! inasikitisha tuonane mida
ya mchana kwa sehemu ya 16 nashukuru kwa
No 16: Basi Tausi hakuwa na ujanja akatii amri ya bepari Timoth, ili amunusuru mpenzi wake
Beko, bepari Timothy alitimiza lililoandikwa, kuivunja ile amri ya 6, huku Tausi akijutia
kuzalilishwa mbele ya mpenzi wake Beko, na wanakijiji wenzke, na mwisho wa tukio, Beko
akaachiwa huru na bepari Timoth, huku akiwa amezidiwa sana kwakipigo toka kwa vijana wa
Timoth, ndipo Tausi alimkimbilia huku akilia sana, na kuomba msamaha, kuwa alichofanya ni
kwaajili yake. Beko hakuelewa, na alichomwambia Tausi kitendo kibaya zaidi, ni kufanya
mbele za macho yake, tena huku akifikilia haibu ataificha wapi huku kijiji kizima
kilishuhudia tukio zima, basi baada yakuwaza sana, kijana beko hakuwa na jinsi ya kufanya,
kwanza hauguze madonda na majeraha ya mwili wake, na Tausi pia alifikilia sura yake
ataificha wapi huku moyo ukimsonga songa kwa kile alichofanya na katiri lao bepari Timoth.
Ndipo Tausi.. hapo sasa unazani wawili hawa watakuwapamoja tena, vipi beko atafanya nini,
No 17: licha tukio lile, likini bado walikuwa pamoja, na Tausi alimhudimia vizuri ili
kuhakikisha afya ya beko inaludi kama zamani, na kuendelea na kazi vizuri, nikama walisha
amua kusameeana. Zilipita siku kadha tokea tukio lile litokee, Tausi akiwa na wake za
wakubwa zake, ambao walikuwa wanatembea tembea kwenye mashamba makubwa ya miwa, kwa mbali
Tausi alimuona beko akija, alipomkaribia walisalimiana, ila Tausi alimwambia atoweza
kuongea sana, kwa kuwa yupo busy kuwazungusha maboss zake, akiwa amebeba miwa, kwa ajili
ya kupeleka kwenye kiwanda kikubwa cha miwa cha bepari tomoth, walipo maliza kuongea
maneno hayo mafupi Beko alimwaga Tausi na kuelekea kwenye kiwanda cha miwa, wakati wote
mama mmoja kati ya wale wawili, alikuwa akimwangalia sana kijana beko, na Tausi pia
aliludi kujumuika na wake wa maboss wake ... haya jamani tuonane kesho, ilkujuwa ni
kwanini huyu mama alimwangalia sana Beko, chakufanya. endelea ku like na ku comment wakati
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment