Search This Blog

Sunday, February 26, 2023

PENZI LA BINTI NGUVA (2) - 3

     

Chombezo :  Penzi La Binti Nguva (2) 

Sehemu Ya Tatu (3)


sana tuna weza kukaa mpaka asubuhi" aliongea James, akimtazama binti Fadhira akituwa ndizi zake nakuinama akiziweka chini,

James akiwa nyuma ya Fadhira aliona vidhuri kabisa kimsambwanda cha Fadhira, akiwa ameinama na kusababisha ata kitumbua

chake kuonekna kwa mbali, toka kwenye nguo yake nyepesi ya kuangaza na kichupi chake cha mikanda (vikamba) alichovaa binti

huyu, kiukweli binti huyu aliamua kumrusha loho mwenzie, "hivi, kwani ni shilingi ngapi?" Fadhira alistuka kwa kauli ya

James, mana alijuwa kuwa James amesha vurugwa hakili kwa mitego aliyo mtega, "sasa hii dharau, inamaana anazani mimi ni

malaya" alijisemea Fadhira akizidi kujijaza hasira, "unasema?"aliuliza huku akimtazama James kwa jicho la pembeni, akimwona

jisi anavyolikodolea macho tako lake, akiwa tayali amesha weka begi lake chini, "naulizza ndizi una uzaje?" aliongea James

bado macho yapo kwa binti nguva, ambe alisha litamba hilo, akaamua kukaa kabisa ili kuzuwia makalio yake yasi endelee

kukodolewa macho, "hoo nauzaga moja shilingi mia, kumi elfu moja" alijibu Fadhira akianza kuzi chambua ndizi toka kwenye

vichane vyake, hapo James akatoa buku mbili, nakumpatia Fadhira "ishilini si zinatutosha?" Fadhira aligeuka na kumtazama

James akamwona anampatia fedha ile, "ya nini?" alishangaa Fadhira "si kwa ajiili ya hizo ndizi ambazo utazipika hivi sasa?"

alifafanua Jamesi, "hooo! ina maana atanikija kwao nitalazimika nilipie, nitakacho kula hapo?, wala husijari" alisema

Faadhira akiwa anaendelea kuzi katandizi na kuzi menya, huku Jamesi nae aka endelea kuandaa jiko na vifaa vingine vya

kupikia, muda wote wakiongea ili na lile na story zika kakole, "yani James wewe ni mvulana tofauti na wengine, yani nime

tokea kukuzowea ghafla sana" aliongea Fadhira wakati akiweka ndizi kwenye mafuta yanayo chemka juu ya jiko, giza tayari

lilisha tanda maali pale," kiukweli Fadhira ata mimi nimetokea kukuchukulia tofauti na wanawake wangine hapa kijijini, ndo

maana nime amua kuku sindikiza jioni yaleo" alisema James Komba, huku akiwaza kwanini binti huyu aogopi kuwepo mahali kama

hapa usiku kama huu na mvulana alie kutana nae siku moja, "kweli hen, eti jems, watu wana sema mimi nimzuri, eti nikweli?"

aliuliza Fadhira swali lililo mfanya James acheke kidogo, huku Fadhira akimkazia macho James, "kweli wewe ni mzuri sana,

yani zaidi ya sana" aliongea James akimwaga sifa kibao, "mh! una maanisha nini unaposema zaidi ya sana" aliuliza Fdhira

akiendela kugeuza ndizi na watimwingine akichukuwa na kumwonjesha James, "uzuri wako haina kifani, yani unge kuwa ndizi,

unafaa kuliwa na maganda yake, unafaha kwa kila kitu, yani unafaha kuwa mke unafaa kuishi na mwanamume mstaarabu" alimwaga

sifa James kwa mtoto Fadhira, "hivi wewe ni mstaarabu" aliuliza fadhira "watu wana sema hivyo" alijibu Jamesi akijaribu

kupooza ndizi yamoto aliyo ishikia kwa jani la mgomba, "sasa kwanini unitongozi?, au sifahi kuwa mkeo" aliuliza Fadhira

wakiendelea konja chakula chao huku wakitazama kwa mcho yenye ushawishi, wa kupeana dudu, pasipo kufahamu awakuwa peke yao,

ETI WAPO NA NANI TENA? OK! EBU TOUNE BAADAE ALICHOJIBU MJUKUU WA KOMBA, CHAKUFANYA UKISHA ISOMA NIJULISHE KWA LIKE NA



"kweli wewe ni mzuri sana, yani zaidi ya sana" aliongea James akimwaga sifa kibao, "mh! una maanisha nini unaposema zaidi ya sana" aliuliza Fdhira akiendela kugeuza ndizi na watimwingine akichukuwa na kumwonjesha James, "uzuri wako haina kifani, yani unge kuwa ndizi, unafaa kuliwa na maganda yake, unafaha kwa kila kitu, yani unafaha kuwa mke unafaa kuishi na mwanamume mstaarabu" alimwaga sifa James kwa mtoto Fadhira, "hivi wewe ni mstaarabu" aliuliza fadhira "watu wana sema hivyo" alijibu Jamesi akijaribu kupooza ndizi yamoto aliyo ishikia kwa jani la mgomba, "sasa kwanini unitongozi?, au sifahi kuwa mkeo" aliuliza Fadhira wakiendelea konja chakula chao huku wakitazama kwa mcho yenye ushawishi, wa kupeana dudu, pasipo kufahamu awakuwa peke yao, James alishikwa na kigugumizi kidogo, baada ya kusikia kauri ya Fadhira, "hoo! unajuwa ... mhhhh! yani mimi... haaa! tokea mkewngu aniumize moyo, yaniiii! yaniiii! kweli nakupenda ilaaa! ilaaa! ume ni wai kidogo" wakati huo Fdhira binti nguva alikuwa anaangua kicheko, kwa jisi James mjukuu wa Komba alivyo kuwa ana jiuma uma, ataka ni wewe mdau wakiume, yani mtoto mkali alie wamwaga vidume kibao analeta kauri kahizo, alafu mpo sehemu ambayo kitumbua kinalika bila wasi wasi, "kwani una cheka fadhira?" aliuliza James, nakumfanya Fadhira amalizie kicheko nakutulia, "hapana James sikucheki ila ume niflahisha sana, yani wewe ni mstaharabu sana" alisema Fadhira akimchukuwa ndizi kwenye mikono ya James au baba Rehema, ***** huku nako bwana Kizito nawenzake walipo maliza kupanga mipango yao ya kumtegea shambulio la kustukiza James, wakaanza kuandaa zana zao, ikiwemo kisu wakidai awaitaji nguvu kubwa sana, kumkabiri James, kisha wakaanza kufwata njia ya kwenda mandepwende, ambako waliamini yule dada muuzaa ndizi anakokaa, **** "eti Fadhira unaweza kukubari nikuoe" aliuliza Jameskimtazama Fadhira, wakiwa wanaendelea kula ndizi, "kabla sija kujibu niahidi kitu kimoja"aliongea Fadhira huku akizungusha macho pande zote, nikama alihisi kitu, lakini James hakuona kitu kile, "kitu gani?" aliuliza James kwa shahuku ya kutaka kujuwa, "kwanza kabisa utanikubari mimi ni nani, pili sitaki uwena mwanamke mwingine, tatu kama tuta fanaya mapenzi nikaona tamu, usisubutu kuninyima ninapo itaji, umekubari" aliongea Fadhira huku akiangalia upande wa kwenye maji, "hoo! hayo tu! mbona yapo ndani ya uwezo wang.." kabla haja malizia James alishangaa fadhira alimshika kishwa chake kwanguvu na kumvutia usawa wa uso wake, midomo ika kutana, na Fadhira akaanza kumnyonya mate James kwa pupa kama vile mwnamke mwenye hamu ya ngono, kumbe aikua hivyo pale hawa kuwa peke yao, ni baada ya ndugu na marafiki wa Fdhira kuona mwanga wa moto uki tanda juu ya maji, wakaamua kutoka na kusogea kando kando ya mto, ndipo walipo mwona Fadhira mwenzao, akiwa na kijana mmoja mwenye kuamasisha kimapenzi, kumbuka nguva wanafanana na binadamu, hapo wakazidi kusogea ukingoni mwamto ili waweze kujuwa kama Fadhira anaitaji msaada au vipi, Fadira alipo waona wenzake wanasogea akaamua kumzuwia James hasiwaone kwa kumla denda,haya wadau tubakishe na kesho, amesema




ni baada ya ndugu na marafiki wa Fdhira kuona mwanga wa moto uki tanda juu ya maji, wakaamua kutoka na kusogea kando kando

ya mto, ndipo walipo mwona Fadhira mwenzao, akiwa na kijana mmoja mwenye kuamasisha kimapenzi, kumbuka nguva wanafanana na

binadamu, hapo wakazidi kusogea ukingoni mwamto ili waweze kujuwa kama Fadhira anaitaji msaada au vipi, Fadira alipo waona

wenzake wanasogea akaamua kumzuwia James hasiwaone kwa kumla denda, ENDELEA.... fADHIRA ali mbana kichwa huku midomo yake

imeumana na midomo ya James, James akiwa anaamini kuwa Fadhira ameamuwa kuufanya nae mapenzi, akapelka mkono wake wakulia

kiunon kwa Fadhira na kuanza kuembeza mkono huo taratibu, huku mkono wake wakushoto ukituwa kwenye paja la binti nguva, na

kufanya kazi kama ya mkono wa kulia, binti nguva aliinua mkono wake akijaribu kuwa zuwia nguva wenzake, akiwaonyesha ishara

kuwa wasisogelee eneo lile, lakini wakiwa wame vutiwa na kitendo cha mwenzao cha kumnyocha ulimi yule kijana, wale nguva

walizidi kusogelea walipo kuwa Fadhira na baba Rehema, lakini wakati Fadhira akiendelea kuwa zuwia wenzake kijana James yeye

aliendelea kupata iuice tamu ya mtoto huyu hisiyo na chumvi wala sukari, huku mikono yake ikikosa utulivu nakuendelea

kutalii kwenye mwili wa Fadhira, kitendo kilicho sababisaha binti aanze kusikia hali tofauti kwenye mwili wake, asa mikon ya

James ilipo kuwa ina pita kwenye maeneo ya mbavu changa za binti huyu, hapo Fadhira alisikia mwili ukisisimka na mwili wake

kuota tule tuvipele twa msisimko, utamu lasimi uka anza kusikika, lakini ilikuwa ngumu kwake maana alihisi wale wenzake

wanaweza kuja kugawana kijana huyu na kumfanya msosi, wakati anawaza hayo mala akawona nguva mmoja akiwa karibu yake kabisa

tena akiibuka kwenye maji taratibu upande wapili tofauti na kule waliko nguva wengi, kitendo cha halaka sana akazidi

kumkamata kichwa James, asiweze kugeuka, hku fadhira akijifanya kujisongeza na kupanda kwenye mapaja ya James, wakati huo

ndio alio tumia kurusha teke, lililo tuwa usoni kwa nguva aliekuwa ame wasongelea, nakumfanya yule nguva arudi kwenye maji,

akijuwa kuwa hatakiwi kuwa karibu na pale, hukuwengene wakijaribu kuongea na Fadhira kwa ishara, ili awajuze kinaho endelea,

lakini Fadhira akazidi kuwaonyesha ishara warudi kwenye maji, lakini walionekana kuwa ni wabishi, huku michezo ya James

Komna ikizidi kumtia nyege binti Nguva, maana mikono ya kijana huyu ilisha fika kwenye kifua cha Fadhira na kuanza kuchezea

chuchu, hapo binti huyu aliamua kufanya jambo ili awaondoe wenzake, ili afaidi vizuri kale kamchezo, ambako kwamala ya

kwanza anacheza na binadamu kamili, paada ya kukagua akayaona mawe pembeni yao akawaza, ata warushiaje wale wenzake bila

James kuona, ****nwakati huo bwana kiziti na wenzake wawili walizidi kutembea kuifwata njia ambayo James na binti muuza

ndizi walielekea, huku bwana kizito akiwa ameshikilia chupa ya bia akinywa taratibu na mkono mwingine akiwa ame kamata

kisu, wakati mwenzake mmoja akiwa ameshika tochi akiwamulikia wenzake, na mkono mwingine ameshika kisu, yule mwenzao alikuwa

ameshika kipisi cha gongo la mti, ambalo aliokota njiani, "huyu mshenzi atajutia kosa alilo lifanya" alisema Kizito

akiwaambia wenzake, "tena tumechelewa, kama tungewai lazima ninge mgonga yule demu" alisema mwenzake mmoja alieshika kipande

cha mti, "we unazani wame fika mbali?, lazima watakuwa wanatomb..na, huko vichakani" alisema bwana kizito, "kamandio huvyo

atamimi nitamgonga, maana anaonekana mtamu yule mtoto" alisema yule mwenye kubeba toch, na kizito akadakia, "yani hapo wote

tuna kula, tena mimi niachieni uwani, maana ule mkia siyo wapole pole"alisema Kizito huku wana zidi kutembea, kuuna wakati

wakaanza kusikia arufu ya chala kizuri, "mh! jamani mesikia hiyo, usikute majini hayo" alisema bwana Kizito huku wenzake

wakiunga mkono, lakini hawakuacha kutembea kusonga mbele, **** Fadhira alimshika James kwa nguvu na kumlaza chini jirani na

yale mawe, aliyo yaona kuwa yana faa kuwarushia wenzake ili warudi kwenyemaji, alipo mlaza tu yeye akaajuu ya James uswa wa

dudu, hapo James akaona kazi ina karibia, itaendelea........ chakufanya endelea ku like na ku comment wakati unapomaliza




niachieni uwani, maana ule mkia siyo wapole pole" alisema Kizito huku wana zidi kutembea, kuuna wakati wakaanza kusikia arufu ya chala kizuri, "mh! jamani mesikia hiyo, usikute majini hayo" alisema bwana Kizito huku wenzake wakiungamkono, lakini hawakuacha kutembea kusonga mbele, **** Fadhira alimshika James kwa nguvu na kumlaza chini jirani na yale mawe, aliyoyaona kuwa yana faa kuwarushia wenzake ili warudi kwenye maji, alipo mlaza tu yeye akaajuu ya James usawa wa dudu, hapo James akaona kazi ina karibia kuanza, mala Fadhira akamziba macho James ambae alitulia akikamata mapaja ya binti huyu, ambae alikuwa amemkalia kwajuu, akijuwa kuwa Fadhira anajiandaa kuvua nguo, kwahiyo anaona aibu kusaula mbele ya macho yake, kumbe basi, ile kumziba tu! uso James, ni kitendo bila kuchelewa, Fadhira akaokota jiwe moja kubwa na kulivurumisha mtoni, jiwe lile lilienda moja kwa moja na kutuwa kichwani kwa Nguva mmoja, kati ya wengine walio kuwa 


ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog