Chombezo : Safari
Sehemu Ya Tano (5)
ulio mviliga yeye kwanguvu zote, lakini kabla upanga hauja gusa ule mkia, alishuhudia yule kijana, ambae sasa alifanikiwa
kuiona atasura yake, kwamba alikuwa wakuvutia kuanzia mwili na sura, pia akagunduwa kuwa alikuwa ni NGUVA wakiume, akipigwa
na mkia walile dudu na kudondokwa kwenye maji, nayeye akizamiswa kwenye maji, ambako huko alipo tazama akaonakitu kilicho
mshangaza, aliona viumbe flani vikimshambulia yule dudu pweza, akabla haja watambua vizuri ni viumbe gani, akaibuliwa juu
ambapo akaona mtu mmoja mfano wa huyu alie pigwa na mkia wapweza, akiwa juu yamkia mmoja wapweza, akipambana vilivyo,
akashinwa kuelewa, kama naye ni Nguva au ninani, kabla hajapata jibu akastuka akiinuliwa juu na kusogezwa usawa wa mdomo
ilidude, kabala yule mtu haja achia panga lake na kumkata mkia mmoja karibu naule ulio mshika yeye hivyo ile dude lika yumba
kutokana na maumivu, nakumshusha Beralita kwenye maji tena, huku bado lime mng'ang'ania, nasauti kubwa ikimtoka lile dude,
wakati huo watu kwenye jahazi tayali walisha changanyikiwa baya sana, hakuna alie weza kufanya chochote zaidi waliwatazama
wale watu ambao walianza kuongezeka mmoja mmoja, wakiibukatoka kwenye maji, nakupambana na lile dude, hukuwao wakijishikiza
kwenye kingo za jahadhi lao, wakijaribu kujinusuru, binti Isabelah aliednelea kusikia zilemiba za kwenye lilekia lapwenza,
zikizidi kumchoma, huku yeye akiangaza macho yake uona kama yule kijana mwenye upanga wa dhahabu atamwona, maana toka alipo
pigwa na kia la pweza, hakumwona tena, akiwa katiaka maumivu makali ndipo alipomwona yule kijana, lakini tofauti nikwamba,
alikuwa anaelea kwenye maji, akiwa ana fahamu, hapo akakata tamaa ya kuokoka, maana yule kijana alikuwa anapigana kwa ustadi
mkubwa sana akamkumbuka binti Nguva, akawaza kama asingekuwa amepigwa risasi, basi angekuwepo katika kutoa msahada, najisi
binti yule anavyo juwa kupambana wake fanikiwa kujiokoa, lakini wakati anawaza hayo ndipo, ghafla akaona kitu kilicho
ulipuwa moyo wake, kwa furaha, nakurudisha matumaini ya kuokoka toka kwenye mauti, maana alimwona Binti Nguva ambapo sasa
alikuwa amevaa kimapambano na amefunga ile sehemu aliyo pigwa risasi, akiibuka nakwenda pale alipo kuwepo yule kijana mwenye
upanga wa dhahabu, Haaaaaaaa fupiiiiiii japo tamu, ebu tukutane baadae nikujuze binti Nguva amefikaje hapa, na sababu zinazo
wafanya wajitolee kuwasaidia binadamu kiasi hicho, chakufanya isome kisha nijulishe kwa like na comment, kisha tukutane hapa
NO 22: ghafla akaona kitu kilicho ulipuwa moyo wake, kwa furaha, nakurudisha matumaini ya kuokoka toka kwenye mauti, maana alimwona Binti Nguva ambapo sasa alikuwa amevaa kimapambano na amefunga ile sehemu aliyo pigwa risasi, akiibuka nakwenda pale alipo kuwepo yule kijana mwenye upanga wa dhahabu, huku akifagia kila kile alichokuwa akikiona mbele yake, akitumia kile kisu chake mkunjo, tukio lile lilionekana mbele ya macho ya wengi japo bint Nguva alikuwa amebadirika kimavazi, lakini walimtambu mala moja, ilikuwa vigumu kumsahau, lakin ka bahadhi ya vijana akiwemo na kijana Yorobi, ilikuwa tofauti kidogo, kwani ujio hule uli wafanya wazani ni kwamba wale nguva wame kuja kulipiza kisasi cha kupigwa risasi kwa binti Nguva, licha yakuona akimfwata Nguva kijana aliepoteza fahamu, huku akipambana na mikia ya dudu pweza, lakini alizidi kuwaogopesha sana vijana hao, huku wakiwa hawana amani kwenye chombo chakavu walichokuwa wamepanda,walimshuhudia binti nguva akimfikia yule Nguva wakiume, ambae alikuwa amekata moto, nakumnyanyuwa akijiandaa kumsogeza sehemu salama, kwakuona hivyo binti Beralita akaona ndiyo nafasi ya pekee ya kuomba msaada, akapiga ukelele wakuomba msaada, ebe tuone wakina nguva wali fikaje hapa, kutowa msaada,
Ilikuwa hivi, baada ya kuwa amewasaidia wale binadamu, ambao Binti Nguva au kwajinalake unaweza kumwita FADHIRA, au mlizi mwamini fu wa mfalme kijana Yenda,(story ya ISABELAH mjukuu wa Mbuyamundu) nikawaida yake kuwa saidia binamu iwenchi kavu au kwenye maji, nasababu ya kupenda kuwasaidia bina damu ni kwamba anamausiano ya siri na binadamu mmoja wa kiume anaye fahamika kwajina la Jems komba, (PENZI LA BINTI NGUVA) baada ya kumaliza kuwa saidia kuwaokoa toka kwapapa, sasa aliitaji kuwaelekeza njia ambayo wange pita nakuwa salama, siyokule walikokuwa wanaelekea, kitu cha hajabu walimtandika risasi nakuamua kuondoka huku akimwona binti mmojatu ambae alionyesha shukrani kwake, akimpungia mkono, hakishindwa kuwaelekeza njia maana walionyesha kutokumwelewa toka mwanzo, huku kijana mmoja mkosa shukrani akimtandika risasi, FADHIRA aliwatazama mpaka walipo fika mbali, alichana kipande cha kilemba chake nakijifunga jelaha lake, alilo pigwa risasi, huku akiwaza namna ya kuwasaidia shemeji zake hawa wasio na shukrani, ndipo alipo pata wazo lakwenda kwa kiongozi wao YENDAYENDA, akiamini kuwa atakubari malamoja kwakuwa nayeye alikuwa na mausiano mazuri na binadamu, yaliyo sababishwa na binti Isabelah, mjukuu wa Mbuyamundu, taalifa zilipo mfikia mfalme Yenda, hakusubiri maana walifahamu kuwa uelekeo huo, unakaliwa na kiumbe mkubwa wahajabu, kutoka pale walipo kwenye maungio ya mto ruvuma ndani kidogo kwenye mto Matimila iliwachukuwa masaa kadhaa kuwafikia, huku Yenda akiwa mbele zaidi na wenzake wakifwatia wakiongozwa na binti Nguva au FADHIRA, nandipo walipo fika nakuanzisha mapambano, kelele za BERALITA zilimstua sana FADHIRA akaangalia kule zilipotokea alicho kiona kili mstua sana akajisemea kimoyo moyo "KAZI BADO HIPO" wazungu wana sema "JIMBOMBO JILIPO" kwanini FADHIRA anasema hivyo, inamaana ameshindwa kumsaidia BERALITA?, ebu tuungane kwenye
NO 23: huku Yenda akiwa mbele zaidi na wenzake wakifwatia wakiongozwa na binti Nguva au FADHIRA, nandipo walipo fika nakuanzisha mapambano, kelele za BERALITA zilimstua sana FADHIRA akaangalia kule zilipotokea alicho kiona kili mstua sana akajisemea kimoyo moyo "KAZI BADO HIPO" wazungu wana sema "JIMBOMBO JILIPO". kiukweli aliona jinsi binti Beralita alivyokuwa amebanwa na kia moja la yule dudu pweza, nakwa macho yake yenye uwezo mkubwa, aliwezkuona jinsi wenzake walivyokuwa wakizidiwa nguvu na kiumbe kile, maana walitandikwa nakurushwa mbali,hapo binti Nguva au Fadhira akaona bora kwanza amsaidie boss wake, kisha akamsaidie Beralita, muda wote YOROBI alikuwa ameduwaa, akishangaajinsi Nguva walivyo ongezeka kila dakika, licha yakuwa ni msahada kwao, lakini yeye likuwa nahofu yakuwa, pengine wamekuja kulipiza kisasi cha binti Nguva kupigwa risasi, wengine pia walitapatapa huku nahuku, wakisubiri msaada wa Nguva wale, ambao licha ya kupambana na dudu pweza, lakini pia walikuwa wanawasaidia watu waliokuwa wametumbukia kwenye maji na kuwarudisha kwenye chombo, ambacho kwasasa kilikuwa kimebomoka bomoka, bado Beralita alikuwa ameng'ang'aniwa na dudu pweza, aliendelea kushuhudia vita vikali, huku akinza kuhisi vitu flani mfano wamikia midogo tokakwenye kia kubwa la yule dude pweza, nakunasa kwenye zile sehemu ambazo, mwanzo alikuwa anasikia vimiba vikilikuwa vinamchoma, akuweza kufulukuta, akabaki ametulia akimtazama binti Nguva kwa macho ya kuomba msaada, wakati huo binti Nguva naye aliongeza kasi ya kumpatia huduma ya kwanza Yenda, licha yakutokea yote hayo, bado lile dude lilikuwa lina endeleza vulugu za hajabu,baada ya binti Nguva kuona kuna uwezekano wa kumpoteza binti BERALITA, akapata wazo la kumwita mwenzie mmoja aka msaidieakutoa huduma yakwanza kwa Yenda, wakati nguva mmoja anakuja kumsaidia Fadhira kumpatia huduma Yenda, ndipo binti Nguva alipo mtazama tena BERALITA, "mama yangu, tumechelewa" alijisemea kimoyo moyo Fadhira, kwamaana alishajuwa kuwa, hatari hiliyopo mbeleyao ni kubwa, hapo akapiga kelele kumwambia mwenzie, "nenda kmtoe yule binti pale" na mwenzie akamsikia, alikuwa ni Nguva wakike, nayeye bila kuchelewa litimka kuelekea kwenye mkia ulio mshika Beralita, ambae alionekana akiwa amegandwa na vijimkia flani, ktk sehemu za mwili wake, huku akiwamefumba macho, namekunja sura kuonyesha kunakitu kina muumiza sana,ikafikia kiasi akaanza kupiga kelele za maumivu, lakini kabla haja ufikia ulemkia, akamwona Nguva mwingine wa kiume kiluka juu kuelekea, kwenye ule mkia uliomshika BERALITA, huku ameinua upanga juu, tayari kuushusha kwenye mkia hule, lakini kabla hajafanya alichokusudia, binti Nguva Fadhira nayule binti Nguva mwingine, walishuhudia kitu chahajabu sana, maana ghafla Beralita alifumbuamacho yake, mbayo yali washangaza wote, ata wakina YOROBI na wengine wote walishangaa, wakijuwa Beralita sasa siyo mwenzao tena itaendelea..... je unazani nini kimempata BERALITA? tuonane
NO 24: binti Nguva Fadhira nayule binti Nguva mwingine, walishuhudia kitu chahajabu sana, maana
ghafla Beralita alifumbuamacho yake, mbayo yali washangaza wote, ata wakina YOROBI na wengine wote
walishangaa, wakijuwa Beralita sasa siyo mwenzao tena, maana licha ya kuonekana akiunguruma kama
nyati pia macho yake yaling'a kama taa, binti Nguva alimwona BERARITA ambae alikuwa bado ameshikiliwa
namkia wa lile dude, akimdaka shingoni yule Nguva wakiume, alietaka kuukata hule mkia uliomshika
BERALITA mwenyewe, nakumnyanyuwa juu kwamkono mmoja, BERALITA alionyesha kuwa nanguvu zahajabu, maana
licha ya kumnyanyuwa yule nguva wakiume pia mlimkaba kama anakamua tui lanazi, kitendo kilicho
sababisha Nguva yule wakiume aanze kulegea nakukosa nguvu, kiasi cha kudondosha panga lake, yule
NGUVA wakike alikuwa kribu kabisa, akiangalia namna mwenzie navyokabwa, huku akipanga namna ya
kumsaidia mwenzie, lakini kabla ata hajafanya lolote, alistukia yule Nguva wa kiume akitupwa kwanguvu
na BERALITA kuelekea kwake, akuwai kukwepa, yule nguva limkumba kwunguvu, wote wakatupwa pembeni,
wakiwa wamekata moto, hapo nikama vita ilianza upya, maana dudu pwenza alizidisha vurugu, wakina
YOROBI walishuhudia lile dude likilusha mikia yake, kuwashambuli wale nguva pia likisaidiwa na
mpendwa wao Beralita, ambae alionyesha wazi kuwa, nguvu na ufahamu aliokuwano si wakwake, wakati
wanashangaa juu ya BERALITA mpya, ghafla lile dude lika ipiga jahazi kwa mkia wake mmoja nakui pindua
kabisa, hapo ilikuwa shughuli, maana watu wote walikuwa kwenye maji, wakinywa majagi ya maji, Nguva
nao wakaanza kutoa msaada, kwa watu hawa wasife maji, kuona hivyo Binti Nguva FADHIRA, alimwacha
Yenda mikononi kwa Nguva mwenzie, kisha yeye akashika kisu chake mkunjo (chikwakwa) nakuingia chini
ya maji, kisha ghafla akaibuka nakuruka juu kumfwata Beralita, ilishaingia asubui, siku yapili ......
wadau poleni kwa usumbufu nalazimika kutoa story fupi sababu ya ufinyu wa vifaa, lakini tatizo
NO 25 : Nguva nao wakaanza kutoa msaada, kwa watu hawa wasife maji, kuona hivyo Binti Nguva FADHIRA, alimwacha Yenda mikononi kwa Nguva mwenzie, kisha yeye akashika kisu chake mkunjo (chikwakwa) nakuingia chini ya maji, kisha ghafla akaibuka nakuruka juu kumfwata Beralita, ilishaingia asubui siku yapili, binti nguva Fadhila aliruka kama speder man akielekea kwenye mkia uliomng'ang'ania Beralita, lakini kabla haja ufikia, alistuki akidakwa kisha nguminzito ikatua kwenye shavu lake, hapo alishuhudia ngumi mfurulizo zikimiminika usoni kwake, kiukweli akuwa namsaada maana idadi kubwa ya Nguva walikuwa wamezimia kwenye maji, pia binaadamu nao walikuwa wanaangaika kwenye maji, hapo Fadhira akaona bola ajitaidi mwenyewe, vinginevyo maisha yake yapo hatarini, akiwabado meshikiliwa na Beralita Fadhira alianza kuzipangua zile ngumi za Beralita, huku mojamoja zikimpa, kiasi cha kumfanya adondoshe kisu mkunjo, wakati mapambano hayo yakiendelea, yle nguva wakiume aliekabwa mwanzo alipata fahamu, akaona jinsi Fadhira alivyokuwa anazioga ngumi za beralita, akatamni kumsaidia, lkini hakuawa na silaha yoyote, akazama chini ya maji akiwa na uakika kuawa kutakuwa na silaha nyingi zilizo dondoka, kweli silaha yakwanza ilikuwa nipanga la dhahabu la mfalme yenda, hakuzubaa akalichukuwa na kuanza kupanda juu kwa speed, panga la dhahabu mkononi, huku nako lile dudu pweza liliiongoza kili ya beralita kumtandika Fadhira, kipigo kitakatifu, na kuhakikisha kuwa NGUVA yule kalegea kiasi cha kwamba hato weza pambana nae Binti BERALITA, mala akaona Nguva mwingine akija kwa kasi mbele yake naupanga wadhahabu mkononi,hapo BERALITA ambae alikuwa mkatili sana wakati huo, alimtupa chini binti NGUVA aliekuwa kamshika, na kutengeneza mazingila ya kupambana na yule aliyekuja naupanga wadhahabu, kitendo bila kungoja filimbi, kia ladudu pweza lililo mshika BERALITA, kumfata kwa kasi NGUVA yule mwenye upanga wadhahabu, nini kitatokea? tuungane
NO 26.binti NGUVA aliekuwa kamshika, na kutengeneza mazingila ya kupambana na yule aliyekuja naupanga wadhahabu, kitendo bila kungoja filimbi, kia ladudu pweza lililo mshika BERALITA, kumfata kwa kasi NGUVA yule mwenye upanga wadhahabu, Hapo yule Nguva wa kiume ambae lisha onja joto lajiwe, aliongeza umakini zaidi, alizama kwenye maji na kuimfanya dudu pweza hasimwone, lakini ghafla alishangaakuona yule pweza akiibuka karibu na mkia uliomshikilia BERALITA nakuliinua panga lake juu, kisha akalishusha kwanguvu kwenye lile kia, hapo zilisikika kelele kubwa ya maumivu, toka kwa lile dude, huku lile panga likitenganisha mkia nakiwli wili, huku binti mrembo Beralita naye akipiga kelele sambamba na lile dude pweza, huku binti huyo akiangukiakwenye maji akiwa ameng'ang'aniwa na ile mikia midogo mdogo, kuonavile binti Nguva Fadhira alimfwat kwataadhari ilikumpa msaada, maanakwauzito walile limkia angeweza kufamaji, akisaidiana na wenzake walianzakumnyofoa mikia iliyo mgandia Beralita, hupande mwingine mapambano yaliendelea, Nguva waliendelea kulishambulia dude pweza kama askari wa VIETNUM, Yenda naye alipata fahamu nakutaka kuendelea na mapambano, lakini mlinzi wake binti Nguva, alimshauri apumzike, hapo akaongozana na Nguva wawili kurudi makao makuu, akimsisitiza binti Nguva kuakikisha wale binaadamu wanakuwa salama, mapambano yalikuw mkali sana kiasi cha dude pweza kuanza kurudi nyuma huku wakiendelea kumshambulia, mwisho lile dude pweza likapotea ghafla mahari pale, Nao wakabaki wakishangaa, huku wakujiuliza kama kweli limepotea mazima, au lina walia mingo, kitu chakushangaza kijana YOROBI alionekana kuwa mwenye chuki sana, nikawaida yake kuwa, endapo mtu mwingine kafanya kitu kizuri kuliko yeye, huku yeye ni kiongozi, basi ilipelekea ata Binti Nguva alipo wapa salam, baada ya kumsaidia binti Beralita na kuwa saidia wote walioelemewa na maji, lakini yeye akuweza itika na kujifanya yuko bize, sana basi nae Fadhira huku akiwa anamkumbuka kuwa ndie aliempiga na manati ya moto, akuonesha kuwa yuko na chuki na mtu huyu nae aliaga umati uliokuwepo na kuanza kurudi kwenye kambi yao, lakini wakati akiondoka binti BERALITA alimuita nae kumpatia kitu ambacho kitamrinda, kwani yeye aliachiwa na wazazi wake, kuwa kitamrinda mahari alipopote na wakati wowote, basi nae alimkabizi huku nae Fadhira akikipokea kitu kile, kwani akufundishwa kukataa kitu apewacho kwa wema, Nae aliondoka na kuwaacha wakiwa kwenye chomba chao wakiendelea na safari, basi binti BERALITA alilala kidogo na kupitiwa na usingizi mzito, kutokana uchovu alioupata kwakutumikishwa na lile dude pweza, kwenye chombo vijana waliokuwa wamebaki walikuwa wachache kulingana na walivyoanza safari, ktk chombo chakavu kisicho na matanga, kiongozi wa msafara YOROBI aliendelea kuamlisha vijana wake kupiga kasia ili wawai kufika maana walitumia mda mwingi sana, inamaana lil dude lime kwisha, ebu tuone kwenye no 27, husi sahau ku like na ku comment, kisha tembelea baadae usome Isabelah tuone yaliyo mkuta Yenda kule
NO 27: BERALITA alilala kidogo na kupitiwa na usingizi mzito, kutokana uchovu alioupata kwakutumikishwa na lile dude pweza,
kwenye chombo vijana waliokuwa wamebaki walikuwa wachache kulingana na walivyoanza safari, ktk chombo chakavu kisicho na
matanga, kiongozi wa msafara YOROBI aliendelea kuamlisha vijana wake kupiga kasia ili wawai kufika maana walitumia mda
mwingi sana, kusafiri, toka siku iliyopita mpaka leo mida kama hii, nizaidi ya masaa 24 walishinda kwenye maji, wakikutana
na misuko suko, na wote waliendelea kutoa ushirikiano ili wakamileshe safari yao, basi muda wote wakiwaza yanyuma, kwani
ilikuwa vigumu kusahau, waliendelea na safari yao lakini cha kushangaza, wakati wakiwa njiani ghafla lile dude pweza
liliwatokea kwa mara ya pili likionyesha kuwa na ghabu ya hali ya juu, na kuwafanya wote waingiwe na uoga, wakijua ndio
mwisho wao, maana msaada wao ulisha ondoka, lakini walipo kuwa wakitahamaki juu ya kile walicho kuwa wanakiona mbele
yao,walishangaa kumwona dude pwenza akifungua mdomo wake, na kuanza kuyavuta maji, kama anayanywa huku chombo chao nacho
kilikuwa kikielekea kwenye mdomo wa dude huku chombo chao kikiyumba na kupeperushwa kama kishada, mwisho kuanza kubinuka,
hapo kelele zikasika huku wengi wao wakianza kujitupa ndani ya maji, huku wakiofia endapo wakibaki tu wote wataangamia,
walifanya hivyo lakini mwisho wa siku walijikuta wote wametoka kwenye chombo kile na kumwacha binti BERALITA akiwa kwenye
usingizi mzito! mbao akusikia hata vurugu au fujo zilizokuwa zikiendelea huku akiwa pekeake kwenye chombo kile huku kikifata
mdomo wa dede pweza, bila ya yeye kujua kinacho endelea, Beralita akiwa amepitopea kwenye usingizi, alianza kusikia
kakelele, akiota tukio lililopita lakini kelele zika zidi, ghafla akafumbua macho yeke akajikuta yupo juu amerushwa, na
nucta chache akajikuta akituwa kwenye maji, kutaharuki akaona jahadhi likiwa limepinduka, nakugeuka juu chini, huku wenzie
wakiwa wamezagaa kwenye maji nawngine wachache wakiwa wameng'ang'ania kwenye lilejahadhi, nayeye akaona bola alifwate
akajiokoe kwakulishika jahadhi lililokuwa limegeuka juu chini, watu pamoja walio zagaa juu ya maji, nawale walioshikilia
chombo chao walizidi kushika kasi kuelekea mmdomoni mwalile dude pwenza, huku kila mmoja akijaribu kujiokoa, mh! itakuwaje
hapo ebu gonga like au comment, kisha subiri
NO 28. nayeye akaona bola alifwate akajiokoe kwakulishika jahadhi lililokuwa limegeuka juu chini, watu pamoja walio zagaa
juu ya maji, nawale walioshikilia chombo chao walizidi kushika kasi kuelekea mmdomoni mwalile dude pwenza, huku kila mmoja
akijaribu kujiokoa, lakini mambo ylizidi kuwamagumu kwaupnde wao, maana walizidi kukaribi mdomni mwa lile dude pweza, binti Beralita akakata tamaha, akamkumbuka mungu kwamla nyingine, akafumba macho yake nakuanza kusali, wakati amefumba macho akashangaa lile jahadhi alilo shikilia pamoja nawenzake likitupwa mbali na wimbi kubwa sambamba na muungurumo mkubwa walile dude pweza, akuweza ten kusali akafumba macho yake, akashuhudia lile dude pweza liki angaika huku nahuku, nakusababisha mawimbi makubwa sana ple baharini, kisha taratibu likaanza kuzama huku likifumba mimacho yake, naule muungurumo wake ukififia, mpaka lika zama kabisa, ndipo walipo anza kuona nguva wakiibuka kwenye maji, wakiongozwa , na binti Nguva mwenyewe, nakunza kuwaokoa waliokuwa wamezidiwa na maji, huku wengine wakiligeuza jahadhi nakusaidia kuli tengeneza, turudi nyuma kidogo, kumbe pale walipo agana nawale nguva, wale Nguva walishauriana kuwa wawasindikize kidogo, ilikuakikish usalama wa wale binadamu, maana waliamini kuwa lile dude alijafa, sababu walijuwa ilikumuuwa yule kiumbe, lazima wa pasue moyo wake ambao upo chini ya kiumbe huyu, sehemu inapo ungana nikia yake, wakati wakina Beralita wakiwa wanasafiri huku wao walikuwa chini ya maji wakiwa sindikiza bila wale binaadamu kujuwa, walipo tembe kilomita kadhaa ndipo walipo liona lile dude likiwa mbele yao, nakunz kuwa vuta mdomoni kwake, hapo bila kungoja wakaongeza kasi kulifwata lile dude kwalengo la kwenda kuupasua moyo wake, kabla alija wameza wakina Beralita, nikweli wakati limesha wavuta karibu kabisa ya mdomo wake, ndipo Fadhira binti nguva, alipo tumia kisu chake mkunjo kutoboa ngozi laini yasehemu inayo tunza moyo wa dude pweza, ndipo lilipo fumba mdomo nakuanza kutapatatapa, likisababish mawimbi yaliyoleta hatari zaidi kwa binadamu wale, ambao wengi wao walikuwa ndani ya maji, ndipo walipo ibukia juu nakuanza kuwasaidia, walitumia masaa mawili kasolo kulekebish chombo kile, kikawa kama kipya, hapo Fadhira aka waambia wakina yorobi kuwa, kwanz waache kiburi maana toke mwanzo aliwaonyeshanjia lakini hawakusikia, sasa kawaonyesha njia akawaambia kama wanataka kufika salama, hapo Fadhira akauliza "kwanza mnaelekea mji gani?" hapo kwakujuwa walikuwa wana rudishwa makwao, binti Beralita akasema "tunakwenda mtwara" binti Nguva akashangaa "sasa mbona mmepotea, sasa geuzeni chombo chenu uelekeo huu" alisema binti nguva akionyesha kwa mkono upande aliotaka waelekee, hapo kijana Yorobi,hapa hapa kwa mdau wako Mbogo Edgar alijaa na hasira kali, kwanzaamepoteza watumwa wengi sana, pili hawa walio bakia wanapelekwa makwao... tuungane kesho kujuwa uamuzi wa
NO 29:"kwanza mnaelekea mji gani?" hapo kwakujuwa walikuwa wana rudishwa makwao, binti Beralita akasema "tunakwenda mtwara" binti Nguva akashangaa "sasa mbona mmepotea, sasa geuzeni chombo chenu uelekeo huu" alisema binti nguva akionyesha kwa mkono upande aliotaka waelekee, hapo kijana Yorobi, alijaa na hasira kali, kwanza amepoteza watumwa wengi sana, pili hawa walio bakia wanapelekwa makwao iliiweje sasa, hapo Yorobi akapeleka mkono sehemu yanyuma ya kiuno chake tayari kuhomoa bastora, kitendo hicho kilionwa na kijana Mwaipamba, ambae alikuwa ni mmoja kati ya walio nusurika, akamzuwia kwakumgusa bega, "mkuu safari hii hawata kuacha salama husijaribu kufanya jambo lolote la kipuuzi" hapo Yorobi aliondoa mkono kwenye bastora nakumrisha vijana wake kuendelea na safari yao, wakifwata uelekeo walio elekezwa na binti Nguva, safari ikaanza nguva wakiwa pembeni yao nawengine chini ya maji wakiwalinda, wakiwa wanaendelea nasafari, binti Beralita alianza kujisikia maumivu ya kichwa, hii nikutokana na vurugu nakuto kupumzika usiku kucha, Yorobi japo alikuwa amekasilishwa na kitndo cha kubadirisha uelekeo, lakini alijifanya kuonyesha ukarimu kwa binti huyu, pengine akatimiza malengo yake ya mwanzo, maana alisha mpenda sana binti huyu, hapo Yorobi alimsogelea Beralita na kumpima joto, sasa ile kumgusa tu! kale kajoto na ukame aliokuwa nao Yorbi akajikuta hisia zikihama na kukimbilia kwingine kabisa, "naona itakuwa ni huchovu tu, ebu jilaze pale" aliongea Yorobi akimwonyesha sehemu maalumu ya kupumzika yeye, lakini ghafla watu wote waliopo mle kwenye jahadhi wakaduwaa, nakutazama baharini, husijari mdau baadae kidogo utajuwa walicho kikodolea macho, vumili kwa ufupi wake lakin tamu, chakufanya like comment kisha cheza karibu na mdau wako Mbogo Edgar maana
SAFARI SEHEMU YA 30 (MWISHO) lile jicho la jini kwenye jicho lake, kisha akatulia kwa sekunde kadhaa akionyesha kunyongea, hapo wote wakaingiwa na hofu kuu kimya kikatawala, Yorobi alivutapumzi ndefu nakuishusha, kisha kwa unyonge akasema "tumefika mwisho" kwanza wote wakatazamana wakiitafakari kauli ya Yorobi, ikafwatiwa nakelele za shangwe, huku wakishikana mikono kupongezana kwakumaliza SAFARI yao salama, hapo sasa story zika badirika wakaanz kukumbushana yaliyo wapata njiani wengine wakipean ahadi za kutembeleana, kiukweli ukiachili Yorobi pia vijana wengi sana akiwemo Mwaipamba walimmezea mte binti Beralita, wakabaki wakimkodolea macho wakishindwa kumweleza undani wao, Beralita aliligunduwa hilo, akajifanya kuwapotezea kama hajuwi lolote, baada ya mwendo kama wa saa moja walianza kuiona pwani yamtwal kwambali, hapo shangwe zika zidi, kwa Yorobi zilikuwa ni kama kelele, maana hakupenda kuwapoteza wale watumwa, wakati wengine wakiona jahadhi linachelewa kufika pwani Yorobi aliona linakimbia kwa kasi sana, jahadhi lilizidi kusonga mpaka mwisho likafika pwani, wote wakashuka nakuagana huku Beralita akishika njia nakuelekea kwao japo alikuwa namuda mrefu hajafika kwao lakini hakuwa ame kusahau kwao, akimwacha Yorobi amejiinamia kwenye Jahadhi lake ,..ASANTE MDAU KWA KUWA PAMOJA MWANZO MPAKA MWISHO WA STORY HII ILIYO KUJIA KWAKO KWA MSAADA WA CHIVELIN PETER HUSIENDE MBALI KWA MIKASA MINGINE YA KUSISIMUA NA KUBURUDISHA HAPA KWA
MWISHO
0 comments:
Post a Comment