Search This Blog

Sunday, February 26, 2023

UPEPO WA KISULISULI - 2

   


Chombezo : Upepo Wa Kisulisuli 

Sehemu Ya: Pili (2)


Hiyo si risasi bali ni laptop ilidondoka chezea utamu wewe.

"Laptop imedondoka." Nilimwambia

"Nitanunua nyingine, nipe vitu adimu Sul... Sultan!"

"Usiohofu Nancy." Niliendelea kucheza na mgongo wake huku nikizifuata nywele zake ambazo zilikuwa ndefu hapo napo niliweka kituo na kucheza nazo.

Nilimvua kikaptura chake lahaula kumbe alishajiandaa ndani hakuvaa kitu, nikavuta pia kiblauzi chake kwa meno hakika toto lilikuwa linawaka hatari. Nilivua na zangu pale pale kabla sijakaa sawa alikuja na kuukalia mpini kwa juu akawa anapanda na kushuka huku Mimi nikiwa nimekishika kiuno chake kweli Nancy alikuwa amenyegeka sana.

"Oooooops, aaaaaahh, f**k me my King." Alikuwa akiweweseka.

Nilimchomoa nikasimama na kuinua mguu wake mmoja na kisha nikausimika mpini na kuanza kuupamp mdogo mdogo.

"Sultan fasta mwenzako nimezidiwa...... aaah ahhh nipe nipe aaaaghhh."

Tukiwa hatuna hili wala lile tukiwa tumejiachia pale pale sebuleni mara mlango ulifunguliwa na aliyeingia alisababisha Nancy kuzimia pale pale nikiwa nimemkumbatia na mashine ikiwa haijatoka kunako pango la Amboni.




Sikuamini macho yangu baada ya kumuona mama Mwamvua akiwa ndani kwangu bila hodi, huwezi amini jasho la meno na sehemu zote zilizo fichika jasho liliendelea kutiririka bila breki. Niliinuka kwa kujikaza na kuketi kitako na kumkaribisha japo alikuwa keshajikaribisha mwenyewe.


"Karibu mama." Nilimkaribisha.


"Weee usinipe mkosi mie nimetoka zangu kijijini huko kuitoa mwanahizaya wewe,naweza kukuzaa punguani kama wewe?"

Aliongea mama Mwamvua aliyekuwa kanitolea macho kama anataka kunitoa roho vile.


"Kuna kosa nimelifanya? Maana siku zote nimekuwa nikikuita kwa jina ambalo leo umenitolea shombo."

Nilimuuliza.


"Wewe si unajiona kidume cha mbegu, bingwa wa kumwagilia visima vya watoto wa watu siyo? Muda huu nataka uoneshe ufundi wako huo na kwangu pia." Aliongea muda huo akilisaula dela lake na kulitupa pembeni na kubaki kama alivyo.


"Mama unafanya nini sasa."


"Unauliza siyo, subiri nikuoneshe." Aliongea huku akinifuata kwa kasi yake.

Nikaona hapa nimepatwa na kijiupepo cha Pepo la Ngono na kwa akili ya haraka nilifikiria njia ya kumkwepa jini mahaba huyu, nilimsukuma akadondokea kitandani na kuacha ngongingo yake ikikenua kuomba msaada na mimi huyo nikatimua zangu mbio nje.Nilikimbia mbio ambazo sijawahi kimbia toka kuzaliwa na baada ya nyumba kama nne hivi kupita nilijificha kwenye kona ya nyumba na kuchungulia nyuma nini kina fuata.


"Mungu wangu jamani yule mama kapatwa na nini?" Nilijikuta najiuliza swali ambalo nilijua jibu Sina ila macho yanaweza kunipa jibu kutokana na kile nilichokuwa nakiona, moyo uliniuma sana na kuanza kulia, kwani mama Mwamvua alikuwa akirusha vitu vyangu nje bila kujali kitu na huku nikimsikia akilalamika mwenyewe.


"Mshenzi wewe unaweza kunisukuma mimi? Yaani haki yangu iniumize mwenyewe?"

Maneno haya sikuyaelewa maana yake, kwanini aseme haki yake imuumize?


Niliendelea kumfuatilia kwa kumuangalia nikiwa pale konani.


"Kama ulizoea kubaka baka hovyo huko mtaani kwangu umekwama na kama wewe ni kidume umekimbia nini? Umbake mama Mwamvua mtoto wa mzee Saliboko umekwama Mshenzi wewe."


Aliendelea kutokwa na maneno ambayo hayakuwa na ukweli kwani aliubadili uongo kuwa ukweli na kunisingizia kuwa nilitaka kumbaka yeye, daa kweli Dunia imevaa gunia yaani mimi leo hii napewa msala wa kubaka? Sikuamini tukio hili na huwezi amini ambacho mama Mwamvua alikuwa anakifanya, alikusanya vitu vyangu vyote pamoja na kufuata moto ndani na kuvitia moto. Lakini Mwamvua alitoka ndani na kumfuata mama yake na kuupiga ule moto ukaangukia pembeni.


"Hivi mama umepatwa na nini wewe mpaka utake kuchoma vitu vya mkaka wa watu?"

Alimuwakia mama yake.


"Ahhah kumbe wewe ni kitu kimoja na yule nguchiro aliyetaka kunibaka siyo?"

Mama Mwamvua alimfuata mtoto wake na kumkaba shingoni.


"Hivi aliyetaka kubakwa yuko wapi hapa, hebu jiangalie kwanza kabla ya kuongea upuuzi wako mama."


Baada ya kuambiwa maneno yale nadhani yalimwingia kwani alikimbilia ndani kwake. Huwezi amini alitoka ndani mwangu akiwa vile vile mtupu nafikiri hakujiona hivyo baada ya kuambiwa ajiangalie ndipo alipojiona kaharibu hali ya hewa.


" Mbona unakimbia sasa, hivi mama yangu ni nani hapa mtaani ambaye atakuelewa kwa maneno yako ya kutaka kubakwa na mwanaume tena mwanaume mwenyewe Sultan, na wale wanaokubakaga ukiwa umelewa utawashtaki nao? Nijibu sasa? Najuta kuwa na mama kama wewe na uliyenifundisha tabia zako chafu kisa uroho wa hela na hujaridhika kuona gari tu ukajua mtoto wa watu kaja na noti. "

Aliongea maneno haya huku akikusanya vitu vyangu na kamasi akizivuta ikiwa dalili za mtu anayelia, nilimuonea huruma Mwamvua. Lakini yote kwa yote ilikuwa ni laptop yangu ambayo nayo ilitupwa nje iliniuma sana kwani ndiyo iliyokuwa ikinipa ujanja wa maisha ikiwa imejaa simulizi zangu, na mtu ambaye angenisaidia kuilipia kwa Fundi kwa kipindi hiki cha mpito tumezinguana tayari.


"Sijui nitaipata wapi nyingine da maisha haya basi tu." Nilijisemesha nikiwa nimeiweka mikono kichwani na machozi kama gunia hivi.

Nilimuona Mwamvua akifunga mlango wa chum


ba changu baada ya kuingiza vitu vyangu vyote na kisha kukaa mlangoni pale pale kichwa kikiwa kimeegemea mlango na mkono kwa sapoti ya goti ukiwa umelishika shavu lake. Nilimuangalia kwa macho ya huruma mpaka nilitamani nimwambie niko pale lakini akili nyingine ikaniambia umeponea chupuchupu ondoka.

Niliinuka na kuanza kutembea mdogo mdogo nikiwa mikono nimeihamishia nyuma.


"Pi pi pi piiiii."

Ilikuwa ni honi ya gari, ambayo baada ya kupiga vile ilitimua vumbi. Yaani muda wote haya yanatokea Nancy aliyashuhudia kwa macho yake kumbe hakuondoka, na baada ya kuona naelekea kule aliona aondoke zake na kuniaga honi, kitendo kile kiliniuma na sana na kunifanya nijilaumu kwenye mapenzi kipindi hiki cha kuzipigania ndoto zangu ambazo hata robo nilikuwa sijazifikia..


"Sultan unakwenda wapi sasa?"

Lilikuwa ni swali nililoulizwa.


JE, NI NANI ALIYENIULIZA SWALI HILO?



"Sultan unakwenda wapi sasa?"

Lilikuwa ni swali nililoulizwa kutoka nyuma wakati naondoka zangu nikiwa na rundo la mawazo kichwani.


Niligeuka kumuangalia aliyeniuliza swali hilo. Hakuwa mwingine bali Mwamvua, aliniona baada ya honi ya gari kupigwa.


"Unafuata nini huku Mwamvua, naomba rudi kwenu sitaki kesi nyingine ya kubebeshwa."


"Hapana Sultan si hivyo naomba nisikilize kidogo tu ndipo uendelee na safari yako."


"Unataka kusema nini wewe najua umetumwa na mama yako tu, ongea fasta niondoke zangu."


"Sultan, saa hizi ni usiku unajuaje kama huko uendako ni salama? Naomba urudi ulale kesho ndipo uondoke."


"Nimekusikia unawe..."

Kabla sijamaliza mama Mwamvua alisikika.


"Mwamvua uko wapi wewee!"


Kusikia hivyo ilibidi Mwamvua arudi haraka bila kuitika kwa kuwa moto wa mama yake anaufahamu, mimi nilibana kidogo nisikilize kinazungumzwa kati ya Mwamvua na mama yake.


"Umetoka wapi wewe karumekenge?"


"Hayakuhusu."


"Unasemaje wewe!"


"Umesikia, ni mtu gani usiye na hata chembe ya huruma. Umfuate mtoto wa watu kumtega na mambo yako ya kijinga."


"Na kesho nitampeleka kwa serikalini, hawezi cheza na akili yangu bado mtoto sana yule."


"Nenda, mimi nitasimama upande wake."


"Unasemaje wewe? Sasa kama unataka kuona moto wangu endelea kuachia domo lako."


"Huna lolote, nipishe mimi huko nikalale zangu."


Majibishano yao niliyasikia yote na ndipo nilipogundua yule shetani hatanii hata chembe nilichokiamua ni kuondoka na kwenda nitakakoishia kwa giza lile. Nilitembea zangu mdogo mdogo huku matukio mawili yakitembea kichwani kwangu la kwanza lilikuwa ni kwanini Nancy aliondoka baada ya mimi kufanyiwa majambozi na mama Mwamvua? Na pili ni huyu mama Mwamvua lengo lake lilikuwa ni lipi, maana aliingia kwa lengo la kutaka nimsugue mgongo ilhali umri wangu na yeye tofauti kabisa.

Nikiwa bado nafikiria na kuwaza yaliyotokea mara simu yangu iliita.


"Nambie mtu wangu?"

Johnson aliniuliza


"Mwanangu si shwari hata kidogo ndugu yangu."


"Kuna nini tena, umeibua jingine nini maana na wewe huishiwi vituko. Kulikoni?"


"Babu nimetengwa, Nancy hataki Kusikia chochote kutoka kwangu na mama mwenye nyumba amenivamia akitaka kusugua guu nikaona kama nuksi nikampushi kule na kutoka nduki."


"Usinichekeshe na ukicheche wako umekimbia?"


Huwezi amini brother ila huo ndo ukweli na hivi niko mtaani sifahamu naelekea wapi na yule mwanaharamu alitupa nje kila kitu na sijui laptop yangu kama imepona."


"So soma mtaa kisha nikufuate usije nisababishia majanga mimi."


"Ni mtaa wa Jamhuri karibu jengo la Umoja wa Wauza Mahindi (UWAMA)."


"Ok, tulia hapo naja."


"Poa bro."


Nilitulia pale pale nilipokuwa nikimsubiri Johnson anifuate na mbaya zaidi giza lilikuwa ni nene sana ambalo usipokuwa makini unakula tope la mguu.

Na hapa nikiwa nimetulia zangu nilipigwa na butwaa la ajabu kwa nilichokiona mbele yangu, hakuwa mwingine alikuwa ni Nancy.


"Pipiiiii........!"

Alinipigia honi ya kuashiria kuniita, mimi sikumjali maana nilihisi ni kama Muzimu umetokea mbele yangu vile. Nilichukua simu na kumpigia Johnson.


"Umefanya nini sasa?"


"Niliona nimshtue nyongo mkalia ini wako aje akufuate."


"Umeniangusha mtu wangu kwa ulilolifanya."


"Kwani hajafika bado tu."


"Nani sasa."


"Si shemeji yangu?"


"Kama huji kunichukua wacha nilale mtaroni tu."


"Baby si tuondoke!"

Aliingilia kati Nancy akinitaka tuondoke pamoja.


"Unaongea na mimi?"

Nilimuuliza Nancy.


"Sasa niko na nani hapa jamani."


"Kama nani yako, unanifahamu mimi wewe?"


"Yamekuwa hayo tena?"


"Wewe si uliondoka pale na kuniacha."


"Zilikuwa ni hasira tu baby."


"Ok, unaweza kwenda tu hasira zako maana na mimi nina hasira zangu."


Akiwa anafikiri labda ni utani kama nilivyozoeleka kwa utani, alishangaa gari ya Johnson inatia nanga na mimi kuingia.


"Unakwenda wapi sasa Sultan? We shem ndo unafanya nini sasa."


Hakuna aliyemjibu zaidi ya kumuacha na kutimua vumbi na kupotea zetu.




Tuliwasili nyumbani kwa Johnson na kukutana na sura ambayo huwa naichukia kama na mpaka leo najiuliza kwanini nashindwa kumsamehe ilhali Mooren nilimsamehe, hapo ilibaki fumbo.


Japo muda ulikuwa umeenda sana ajabu kwa Johnson nilikuta nimeandaliwa maji ya moto ya kuoga na Mpenzi wake Evetha, hapa nilianza kupata hofu tayari suala langu liko mezani kwa Evetha na Mooren linasubiri utetezi wangu lakini sikutaka kuyapa nafasi mawazo yangu kwani kuna msemo usemao "Usiwe Hukumu Tangulizi" aah nilivua zangu nguo na kuanza kuoga. Nikiwa nimejipaka sabuni usoni na mwilini najisugua kuna hali niliishtukia mle bafuni.


"Weee nani hapa?" Niliuliza.


"Lakini sikujibiwa zaidi ya kuhisi kupapaswa mgongoni kwa ustadi mkubwa."


"Nani wewe uliyeniingilie humu ndani jamani?" Niliuliza tena.


Bado sikuweza kujibiwa na mtu huyu ambaye aliendelea kunipapasa bila jibu, aliendelea na shughuli yake aliyojiajiri mwenyewe bila ruksa yangu. Ilibidi ninawe haraka haraka ili nimtambue ni nani huyu au Mooren aliamua kunisapraizi. Sikuamini nilichokiona mbele yangu, hakuwa mwingine bali Evetha shemeji yangu Mpenzi wa Johnson.


"We mwanamke umefuata nini humu?" Nilimuuliza.


"Unauliza ndiyo?"

Alinishangaa kumuuliza swali lile hivyo alinijibu na kusogea karibu zaidi na tayari alikuwa bwibwi bila nguo kanga yake ikiwa inaning'inia mlangoni.


"Au wewe ni mzimu nini?"


"Na ukiendelea na maswali yako utafikiri natafuta kazi napiga kelele sasa hivi, kwa usalama wako uwe mpole kama vile dume lililofumaniwa."


"Naomba utoke kabla sijakushushia mvua ya makofi hapa."


"Jaribu uone ndo utajua kwanini naitwa Evetha Kiboko Yao."


"Naomba utoke wewe mwanamke."


"Heee funga hilo domo lako na uwe na heshima kwa shemeji yako, la msingi hapa ni wewe kuzamisha hilo joka lako ambalo mtoto, mama na Nancy wanalililia na kumuacha rafiki yangu akiwa hana hata tone la furaha kwa jitu ka wewe."


Wakati anaendelea kunihubiria alikuwa tayari analichokonoa joka ambalo lilikuwa limeanza kuchachamaa.


" Joka hili linasifa zote za kuingia na kupumzika kwa muda pangoni kwangu kwa muda ambao linawindwa na wananzengo huko. "


Niliendelea kumshangaa Evetha kuwa kapatwa na nini mpaka kumuacha mpenzi wake ndani na kunifuata mimi bafuni, nikahisi rafiki yangu ana mpango mchafu kwangu kwa sababu kamueleza mtu huyu kila kitu ninachopitia na sasa mpenzi wake kaja bafuni kuna nini hapa.


"Mbona unanishangaa mwandishi wa simulizi tamu za mapenzi? Si uanze simulizi kwa vitendo."


"Beibiiiiii, Beibiiiiii,............" Ilikuwa ni sauti ya Johnson ikiita kutoka ndani.


"Shetani huyu katokea wapiiiiiii......". Evetha alilaumu tendo lile la kuitwa na Johnson ni kama hakulitarajia kwa muda ule.


"Bahati yako, ila vita hii haijaisha bado." Aliongea na kunipiga kiss la kwenye paji la uso na kuvuta kanga yake akajifunga na kutoka zake."


Nilipiga ishara ya msalaba kwa Shetani mwingine huyu kuniacha salama kwa mara nyingine baada ya masaa machache kukoswa na makucha ya mama Mwamvua.


"Mbona naita hujibu beibii vipi?"

Johnson alimuuliza Evetha walipokutana kibarazani.


"Mmhh wewe nawe niitike chooni?" Alimjibu.


"Sikujua bwana kama uko Chooni."


"Vipi umemkuta Mooren?"

Kumbe mimi nilipoingia kuoga Johnson Alimfuata Mooren kwao. Nikabaki najiuliza huu upendo maana yake nini kweli saa tano kabisa ya usiku jitu umeongoza kwenye nyumba za watu ukimwagiwa maji? Hapa ndiyo nikapata jibu kuwa Evetha alimshawishi mpenzi wake ili atoke na yeye atimize lengo lake.


"Hapana sijamkuta na pale kwao pako kimya sana sijui atakuwa kaenda wapi?"


"Huna lolote kwa ninavyokufahamu wewe lazima umeogopa na kuishia nje ukarudi ukiamini kwa uongo wako uliotunga nitaukubali hovyooo. "


"Nimekwambia sijamkuta kama huamini nenda wewe." Johnson aliwaka kama moto wa majani makavu.


"Brother, mbona kelele au hamjui kama ni usiku sasa!"


Niliingilia ka


ti mgongano wao ambao ulianza kushika kasi.


"Shemeji kaa kimya, tumeomba ruhusa kwa balozi." Aliongea pumba zake na kuingia ndani.


"Yaani shemeji yako kama hujamzoea ni taabu tu rafiki yangu."


"Ondoa shaka bwana wanawake ndivyo walivyo."


"Nilimfuata Mooren walau aje akusaidie kukuondolea msongo."


"Kwahiyo huyo Mooren huko kwao watu wanajiingilia kama vile wanaingia Chooni? Kwanza Chooni kwenyewe kuna utaratibu wa mtu aliye ndani kumpa ishara aliye nje kwa kukohoa."


"Unajua nini Sultan?"


"Sijui mimi." Nilimjibu nikiwa nimeshachukia.


"Ni hujui lolote ndugu yangu, Mooren wala hakai na wazazi wake yeye hapa anasoma chuo cha Uhasibu pamoja na shemeji yako Evetha wao wanatokea mkoani huko."


Nikapata jibu ni kwa nini wako huru namna hiyo, kumbe wamepanga Magheto.


"Huko nje kuna kikao cha Bunge? Umbea tu, mtasutwa na mandevu yenu hayo ninyi wanaume."


Kumbe Evetha alikuwa anasikiliza yote aliyokuwa anasimulia Johnson.


"Mara moja moja uwe na adabu wewe, hivi utabadilika lini?"

ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog