Search This Blog

Sunday, February 26, 2023

UTAMU WA MCHEPUKO - 5

   

Chombezo :  Utamu Wa Mchepuko

Sehemu Ya Tano (5)



Sijui hata nini kilimfanya asimame hapo.Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya firauni kumbe Linah naye tayali alikuwa anataka mchezo .Alinikumbatia kwa nguvu kumbatio liloamsha hisia zaidi.

Sijakaa sawa tayari alishapitisha midomo yake kwenye kinywa changu tukaanza kunyonya hapo hapo chini.Mizuka ikanipanda .Kabla sijakaa swa tayari mikono yake laini ilishaishika koni yangu na kuanza kuichezea.

Nilihisi kujikojolea hata kabla ya kuingiza panako staili.Jamani Linah kweli aliniweza alikuwa na mikono laini nikajikuta namaliza mambo yangu kwenye mikono yake “wewe naye mbona mdhaifu sana” alisema linah mara baada ya kuona nimemchafua mkono yake.

Akajifanya kama mtu aliyeona kinyaa akanisukuma kwa nguvu kisha akavuta khanga yake eti anataka kuondoka.Nikasema hanijui huyu yaani aanzishe mwenyewe alafu aniache njiani nikamshika mguu asiende.Akadondoka tena na akajibenua kuachia sehemu za nyuma vizuri.

Ile nataka kuingiza mashine akaidaka na kugueka na kuniuliza “Utaweza kumwagia nje nikuonjeshe” aliniuliza Linah kwa sauti ya mahaba.Nikamjibu kwa ishara na hapo sasa akanipandia kwa juu.Mungu wangu nilihisi nimeingiza mdomo kwenye asali ya nyuki wadogo.

Utamu sio utamu ladha nzuri mpaka hailezeki.Nikiwa chini Linah akaanza kunipelekesha kwa kuzungusha kiuno kama feni mbovu.Nilihisi kuishiwa pumzi kwa jinsi alivyokuwa amenibana.Nikaona hasije kuniua bure nikambinua na na kumkunja mkungo kama wa samaki wale wakubwa wa ziwa Victoria.

Mguu mmoja kule na mwingine kule alafu sasa nikaanza kumsugua kwa nguvu.Jamani acheni tu haya mambo kuna watu wamejaliwa mtoto alikuwa anazungusha kiuno kama feki mbovu.Japo miguu ilikuwa nyuzi 360 lakini bado aliweza kuzungusha.

Nikawa nalenga na kulenga kwenye naniliiiiii nilihisi utamu wa ajabu


SONGA NAYOOOOOOOOOOOOO………..

Niliendelea kumusugua kwa usitadi wa hali ya juu huku tukibadiliiii kila style kwa kweli linah alijaliwa kila kitu mpaka nilitamani palee palee nimuoe nimuweke ndani ila niliogopa yule mama kama angefahamu kuwa mimiii nina msaliti angeweza hata kuniuwa kabisa maana hata yule mama naye alikuwa akitamani nimuoe, lakini kwa umri wake nikiangalia na mimiii lilee swalaaa lisingewezekana kabisa japo wahenga wanasema mapenzi ni pesa etiii hayachagui umri ila mimiii yule mamaa sikumpenda kabisa mimi nilitamani pesa zake tu nizipate ili zinisaidie katika kuendesha maisha yangu maana kila kitu nilikuwa nimeisha kihalibu katika maisha yangu hata wazazi wangu nilikuwa nimewavunja moyo ivyooo sikuwa na namna zaidii ya kutafuta pesa kwa njia ile ambayo serkali ilikuwa ikipinga vikali


Baada ya masaa mawili tulimaliza ule mchezo kila mtu alikuwa hoiiii kabisaa

Nilijifunika shuka langu pamoja na linah tukapumzika tulikuja kushituka asubuhi ambapo nilishitushwa na simu yangu niliangalia namba ya mtu aliye kuwa akinipigia alikuwa yule mama akiniuliza nipo wapii maana nilikuwa sipo home, nilimwambia kuwa nilitoka asubuhi kuna kazi nilikuwa nataka kuifanya basi yule mama alinitaka niwahi nyumbani aliniambia ana maongezi na mimiii bila kupoteza muda nilimuaga linah nikamuachia elf 60 kwa ajili ya nauli ya kurudi nyumbani kwake, nilichukua bajaji ambayo ilinipeleka moja kwa moja mpaka nyumbani baada ya kufika nyumbani nilipigwa na butwaa kwani nilikuta yule mamaa kaja na watu ndani kwangu watu ambao mimii nilikuwa siwafahamu kabisa baada ya kuingia ndani yule mamaa alinitambulisha kwa watu wale kuwa ni wanununzi wa madawa ya kulevya ivyoo mimiii nitaenda nao mpaka sehemu yao wanapo hifadhi mzigo nikiisha wapa mzigo watanipa pesa za kitanzania sh milion 70 cash nirudi nazo nyumbani, nilijaribu kupinga maana nilikuwa nikiogopa sana lakini yule mama alisema ananiamini sana ndo maana mimii kaniagiza kule na akaniambia atanipa nusu ya zile pesa kama malipo yangu kwa maana ya sh mil 35cash ziwe zangu sikuwa na chagua jingine maana mimi mwenyewe nilikuwa mtafutaji ila kichwani kwangu nilikuwa na hesabu baada ya kuapata zile pesa nitasepa kabisa pale mwanza nitaamia mkoa mwingine nikaanze maisha yangu maana nilikuwa ndani na kama milion 7 nikijumulisha na hizi ambapo nikimaliza kazi napewa , kwa kweli nilipata moyo wa kufanya kazi nilipewa vijana watatu wa kuambatana nao na mimii nikiwemo jumla tulikuwa wanne safari ya kwenda sehemu tusiyo hifahamu ikaanza ila tulihaidiwa tutarudishwa salama ivyoo sikuwa na wasi wasi kabisa


Tulitumia takribani saa moja tukaingizwa kwenye nyumba ambayo ilifanana na kama kiwanda vilee kwa nje ila ndani mule kulikuwa na shughuli nyingiii zikiendelea tukaendelea kutembea kwenye lilee jengoo niliona vijana wakipakia mizigo ambayo hata sikuhifahamu maana ilikuwa ikituzwa kwenye mabox ivyoo sikuweza kuiona

Baada ya dakika kama kumi tukitembea mule niliamua kuvunja ukimya nikawauliza wale jamaa tunakwenda wapii maana moyoo wangu ulikuwa umeanza kupata wasiwasii , waliniambia nisiwe na wasiwasiii etiii wananipeleka kwa boss wao

Moyo wangu ulikuwa ukidunda kwa kasiii bilaa shakaaa ilikuwa ni daliliiiiii ya kitu kibaya kutokea………


Baada ya kutembelea eneo zima la **** na kuona yeye yuko "relaxed"(kwamba anajiachia na ku-move taratibu na kutoa miguno fulani nikahamia taratibu kwenye "labia" wenyewe mnaita shavu/lips na nilipitisha ulimi wangu kuzunguuka hilo eneo, wakati huo nikaona Kisimi kinaanza kuinuka hapo nikakumbuka kuwa mwanamke akifikia hatua hiyo ndo wakati mzuri wa kukinyonya kinina na kukiachia mara tatu kwa kutumia midomo yangu nilifanya kama vile ninavyonyonya kitu kitamu kidoleni mwangu niliaassume kama nalamba asali au nainyonya ikiwa kwenye sega lake.

Baada ya hapo kwa mujibu wa Linah sasa muafaka wa katumia staili mbali mbali za unyonyaji.

Basi nikakumbuka ile staili ya mzunguko au mduara Kwa kutumia ncha ya ulimi wangu nililamba kisimi kwa kukizunguuka kwa muda kisha nikakinyonya na kuachia alafu nikaendelea na mzunguko nikaongeza ongeza "speed" kutokana na dada huyooo alivyokuwa akiitikia na kufurahia utamu.

Hapo sasa nikawa nimemgusa palipotakiwa kwani yeye akawa anafanya kama anakandamiza kichwa changu na anajinyajua kuufuata mdomo wangu huku akutoa sauti za ajabu.Nilihisi kuchoka na kuamua kuupumzisha ulimi wangu kwa kulamba sehemu zingine za ikulu.Nililambl

amba pembeni utafikiri ni lol po au koni ya maziwa.

Baada ya hapo nikakumbuka pia kuna jinsi ya kucheza na ikulu kwa kutengeneza umbo namba nane.Nikawa nafanya mchezo ule ule niliokuwa nafanya mwanzo lakini nilivyofika kisimini badala ya kuzunguuka mimi nikawa nachora namba nane kwenye kisimi kwa kubadilisha yaani nilianza na kulia na baadaye nilikuwa naanzia kushoto.

Alifurahi sana maana nilionesha kuwa lile soma la jana liliniingia vizuri sana.Nikaona miguno inazidi sasa nikaanza kupiga pembe kwa pembe yaaki ni kulamba na kunyonyoa kwa papara mara huku mara kule nia yangu akipagawa tu nizamishe mashine yangu ambayo mda huo ilishasimama sana mpaka ikaanza kuniuma.

Nilihisi anakaribia kufika kileleni basi nilijaribu kufanya kama vile nakivuta kisimi kwa juu (kama unakinyofoa) huku nikiendelea na mnyonyo wangu mpaka akaanza kukaza misuli ya miguu na kukandamisha kichwa changu kama vile anataka niingize kichwa chote hapo sikutaka kufanya yale yote niliyojifunza zaidi ya kuingiza mashine yangu na dakika chache tu dada yule alipiga yale mayowe yake ya kimahaba “uyuuuuuuuuuuuuuuu yuuuuuuuuu mmmmmmmh oooooooooooh eeeeeeeheeheehee ishiiiiiiiiiiii ishiiiiiiii rahaaaaaa raaaaaa.

Alining’ang’ania kwa nguvu na kutokana na ulaini wa utelezi uliotoke ukeni mwake nilijikuta na mimi nikifurahia nakuhisi nipo dunia ingine.Nilimbana kwa nguvu sana na nikasikia naniliiiiii chake kikibana kwa nguvu mashine yangu tulijikuta tukilalala mpaka asubhi ambapoooo tulishitushwa na hodiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii zilizo kuwaaaaaaaaaa zikigongwa kwenye mlango wangu,,,, mojaaaaaaa kwa moja nikachukua kwanza simu yangu nikakuta yule mama alikuwa amenipigia maraaaaaa 8 , akili yangu ikanituma moja kwa mojaa kuwa yule aliye kuwa akipiga hodi alikuwa yuleeeeee mamaaaaa nilihisiii nguvuuuuuu zinaniishiaaa kabisaaaa baada ya kusikia sauti kuwa alikuwa yule jimamaa akitaka nifungue mlango haraka SONGA NAYOOOOOOOO……

Nilifungua mlango nilikuta ni yule mama ambaye huwa ananiweka mjini alitaka kuingia ndani alidai ana maongezi na mimi basi sikuwa na ujanja pale ilibidi nikubali maana sikujua ni kitu gani yule mama alikuwa akitaka kuongea na ningelikataa kumukaribisha ndani angejihisi vibaya maana alisema ana maongezi na mimii , basi baada ya yule mama kufika ndani alikaa kwenye sofa ya pale sebleni, roho yangu ilikuwa ikidunda sana maana kama yule dada akitoka mule chumbani aje sebleni litakuwa tatizo kubwa sana , yule mama alianza kuniambia kama ninaonekana kama mtu mwenye wasiwasi sana nilikataa , nilimwambia tu ni uchovu wa usingizi akanielewa aliniomba kuwa niogee kwanza nitoe uchovu wa usingizi ili tuanze mazungumzo maana alinisihi kuwa ana maongezi marefu na mimii, ilinibidi niingie chumbani ili nichukue taulo niende kuoga , basi nilivo nyanyuka pale kwenye sofa yule mama naye alinifata alisema anakuja chumbani kuniandalia nguo nitakayo vaa baada ya mimi kutoka bafuni, moyo wangu ulikuwa ukidunda sana maana chumbani nilikuwa nimemuacha linah, nilitamani chumba changu kingekuwa na shimo ndani ili nimufiche linah, lakini hilo halikuwezekana baada ya yule mama kuingia chumbani pale alimkuta linah akiwa amejilaza kwenye kitanda ambacho yule mama alininunulia bila kuuliza chochote yule mama alimfata linah pale kitandani akaanza kumuvagaa aiseee mimi wakati huo niliogopa kabisa kusogea pale nilibaki nimesimama wima mthili ya mtu aliye banikwa kwenye jiko la mkaa, nilitamani kumusaidia linah lakini kama ningeenda kumusaidia linah ningekoswa pesa maana yule mama ndo alikuwa ananiweka mjini na kama ningeenda kumusaidia yule mama na vipi kuhusu linah mwanamke ambaye nimeisha mpenda ndani ya muda mfupi moyo wangu tayali ulikuwa umeisha pofuka kwa linah mwanamke ambaye hata nilikuwa sijui background yake na nilikuwa sifahamu chochote kumuhusu ila tu ndani ya moyo wangu kuna roho iliyo kuwa inaniaminisha kuwa linah ndiye mwanamke anaye nifaa kwenye maisha yangu sijui nilinogewa na yale mahaba aliyo nipa usiku au ilikuwa ni tamaa tu, kwa kweli pale kitandani nilitamani kumusaidia linah ila niliogopa kufanya ivyooo maana niliogopa kupoteza pesa kwa kweli yule mama alinisaidia sana wakati nikiendelea kuwaza yale nilisikia sauti ya linah akiniomba msaada ilibidi nitazame macho yangu pale kitandani maana mwanzo sikuwa naangalia lolote nilikuwa nikiwaza tu nimusaidie nani nilipo tazama pale kitandani nilibaki nimepigwa na butwaa niliona yule mama akiwa amemukunja linah vyema,


“naombaaa unisaidieeee pls uniache ataniuwa huyu” ilikuwa ni sauti ya linah akiniomba msaada

“babeee yaanii ukisogea kumusaidia huyu malaya tutakosanaa kabisa” ilikuwa ni sauti ya yule jimamaa akiomba msaada

“saaaasaaaa nitaam……” kabla sijamaliza kuongea yule jimama alidakia

“niletee kisu babee huyuu malaya siwezi kumuacha haii lazima nimuuwe bila kumuuwa ataendelea na tabia yake”

“babee noooo, siwezi kukuletea ichooo unachoo kitaka tafadhali babee naombaa umuache aondoke”niliendelea kumusihii yule mama amuachie linah tayali rohoo ya huruma ilikuwa imeanza kuniingia nilitamanii linah aachiwee


“babeee nisaidie ananiuuuuu……………” kabla hajamaliza kuongea lolote yule mama alichukua kisu ambacho huwa nakiweka mule chumbanii kwa ulinzi wangu kutoka na kazi ambazo nilikuwa nafanya nisinge weza kukaa mulee ndani bila kisuuu, basi yule mama alikichukua kisu kisa akamchoma linah kwenye ubavuu ,


Nilishuhudia damu ya linah ikiruka hewanii kama majii ya dawasco vileeee, alianza kugombania rohooo yakeee kabla sijafanya lolote pale yule mama alinivuta mule chumbani kisha akaniomba tukimbie aliniambia tukimbie maana kama mtu yoyote angesalia pale angekamatwa kwa kosa la mauwaji bila hili wala lileeeee nilitoka mule ndani na bukta yangu tu ileeeee ya kulalia


Tulitoka ndani mule kisha tukakimbia kwenye gari, tulipo ingia tu kwenye gari tuliwaona watu wanne wakiongozana na mwenyekiti mpaka muleee ndani tulisubilii kisha wakaingia mule ndani baada ya kuhakikisha wote wameingia ndani yule mama aliwasha gari ili tuondoke paleeee ila kabla hatujaondoka palee tulipataaa balaaaahaaaa jingineeeeee


“niletee kisu babee huyuu malaya siwezi kumuacha haii lazima nimuuwe bila kumuuwa ataendelea na tabia yake”

“babee noooo, siwezi kukuletea ichooo unachoo kitaka tafadhali babee naombaa umuache aondoke”niliendelea kumusihii yule mama amuachie linah tayali rohoo ya huruma ilikuwa imeanza kuniingia nilitamanii linah aachiwee


“babeee nisaidie ananiuuuuu……………” kabla hajamaliza kuongea lolote yule mama alichukua kisu ambacho huwa nakiweka mule chumbanii kwa ulinzi wangu kutoka na kazi ambazo nilikuwa nafanya nisinge weza kukaa mulee ndani bila kisuuu, basi yule mama alikichukua kisu kisa akamchoma linah kwenye ubavuu ,


Nilishuhudia damu ya linah ikiruka hewanii kama majii ya dawasco vileeee, alianza kugombania rohooo yakeee kabla sijafanya lolote pale yule mama alinivuta mule chumbani kisha akaniomba tukimbie aliniambia tukimbie maana kama mtu yoyote angesalia pale angekamatwa kwa kosa la mauwaji bila hili wala lileeeee nilitoka mule ndani na bukta yangu tu ileeeee ya kulalia


Tulitoka ndani mule kisha tukakimbia kwenye gari, tulipo ingia tu kwenye gari tuliwaona watu wanne wakiongozana na mwenyekiti mpaka muleee ndani tulisubilii kisha wakaingia mule ndani baada ya kuhakikisha wote wameingia ndani yule mama aliwasha gari ili tuondoke paleeee ila kabla hatujaondoka palee tulipataaa balaaaahaaaa jingineeeeee je niniiiiiii kitaendelea ???????????? je tutafanikiwa kutorokaaaaa paleeeeeeeeee??????????


SASA ENDELEAAAAAAAAAAAAA…………yule mama aliwasha gari tuondoke tukiwa tunakata kona ili tushike barabara kuu , tulisikia kereree ya watu wakisema gari letu lizuiliwe, yule mama alisema nifunge vioo vya gari ilibidi nifunge vile vioo vya gari, nilifunga vioo vya gari kisha nikafunga na mkanda safari ya kuanza kuchomoka kutoka kwenye lile tukio ilianza , nyuma tayali tulianza kufatiliwa na gari ambazo kwa haraka haraka zilikuwa kama tatu yule mama alijitahidi kupiga chenga ili tukimbie lakini naona hii haikuwa bahati kwetu maana tayali gari la asikali lilikuwa limefika eneo la tukio, tulijitahidi kwa uwezo wetu kikimbia lakini mambo yalikuwa magumu polisi walifanikiwa kutukamata wakishilikiana na wananchi walio jitolea, kwa kweli kila mwananchi alitamani tuuwawe palee laiti kama polisi wasingekuwa makini siku ile hakika tungepoteza maisha pale pale, niliona aibu sana maana kulikuwa na waandishi wa habari wakiwa wanatupiga picha kibaya zaidi tena kilicho tuhalibia sifa ni kwenye lile gari ya yule mama , yule mama alikuwa ametembea na basitola ambayo alikuwa akiimiliki kinyume cha sheria , maana hakuwa na kibali chochote, licha ya ivyooo kwenye gari lake pia kulikuwa na madawa ya kulevya ambayo pia kwenye nchi yetu yalikuwa hayaruhusiwi, wakati tukiwa tumekamatwa pale uku wananchi wakitushuhudia alikuja polisi mmoja akatoa taarifa kwa polisi mmoja ambaye alikuwa akionekana pale kama mkuu wao maana yeye ndo alikuwa akitoa amri na akipokea simu nyingine ambazo kwa haraka haraka nilijua zinatoka kwa viongozi wakubwa wenye vyeo vya kumushinda yeyeee, yule asikali alisema kuwa yule mdada aliye chomwa kisu kafaliki kwa haraka haraka nilijua ni linah ndo kapoteza maisha , hakika ile siku ilikuwa mbaya kwangu maana tayali nilijua sisiii kupona kutoka kwenye mikono ya sheria ni asimia ndogo sana , tulikaa pale kwa muda wa nusu saa baada ya hapo kuna gari maalumu lilikuja likatuchukua tukapelekwa moja kwa moja mpaka kituoni, muda wote huo wale maasikari walikuwa wakitupiga walisema sisiii ndo majambazi ambao tulikuwa tukiisumbua nchi kwa muda mrefu, tulipigwa sana maeneo ya maungo ya mwili {joint}, ivyoo mpaka tulipo fika kituoni hata kutembea ilikuwa ngumuu muda wote nilikuwa nikilia kama mtotoo mdogo ambaye hana mtu wa kumuliwaza nilitamani niyarudie maisha yangu ya umasikini kuliko haya maisha ya kupata pesa nyngiiii pesa ambazo zilikuwa za haramu , niliikimbuka familia yangu , ambayo nyuma nilikuwa nimeacha ugomvi mkali nyumbani baada ya kufumaniwa na mjomba wangu nikitembea na mke wake ndo nikaamua kukimbia nyumbani, nilitamani zile pesa nilizo kuwa ninge wasaidia wazazi maana wazazi wangu nyumbani walikuwa na hali mbaya wote walikuwa wakinitegemea mimi kijana wao, ambae nilikuwa nimeibeba future ya wazazi wanguuu , niliona mlango wa gereza uku nikiwaacha wazazi wangu na umasikini hawakufaidika hata shilingi mia moja ,roho yangu iliuma sana kuwaacha wazazi wangu walio kuwa wakinitegemea mimi kijana wao wa pekeeee, wakati nikiwaza wazazi wangu nilishitushwa na rungu la polisi mmoja kwenye mgongoo lililo nifanya nikipeke kifua changu mbele na kukirudisha nyuma uku nikiambulia maumivu makali ya lile rungu

“inaa maana hunisikiii?”alikuwa ni yule polisi aliye nipiga runguuuu

“afande mimiiii nilii…” kabla sijamaliza yule afande alidakiaaaaaaa

“sogea hapa utoe maelezo jambazi mkubwa weweeeee”

Nilisogea kisha nikaanza kusimua toka mwanzo nilivyo kutana na yule mama na alivyo nifanya mchepuko wake , kisha nikaeleza jinsi alivyo niingiza kwenye madawa ya kulevya, pia nikaeleza kifo cha linah muda huo wote toka nilivyo fika kituoni sikufanikiwa kumuona yule mama tena ivyoo kila mtu alitoa maelezo yake kivyake


*******baada ya miezi mitatu tulipekwa mahabusu yule mama alifungwa kifungo cha maisha , na mimii nilifungwa miaka 40, siku ya mahakama wazazi wangu walikuja mama yangu alilia sana nilimuonea huruma ila sikuweza kuisaidia familia yangu, mpaka sasa nipo gerezani nimeamua kuwaandikia vijana wenzangu walio na tabia kama yangu nikiwataka wabadilike


******MWISHO*****


0 comments:

Post a Comment

Blog