Search This Blog

Sunday, February 26, 2023

KIJANA MZINZI - 3

 


 Chombezo :  Kijana Mzinzi 

Sehemu Ya Tatu (3)

atambue yakuwa ni nauwezo wa kiasi gani na Ajue kuwa mimi ni nani?".wakati anaendelea kufikiria mara nae MATIGA alipo muuliza "Vipi mwenzangu mbona waomekana unamawazo kwani unahisi nini maana sikuelewi?" Akiwa anatafakari jinsi kijana alivyo muuliza MAGDA alitabasamu kidogo,kama mtu anayezuga, akachukua kata mikononi mwa MATIGA nakumimina mvinyo mwingine na kumkabidhi kijana huyu mlevi, ambae alioonekana kuanza kuzidiwa na pombe, bila kukawia MATIGA, aliweka mdomoni kata ya pombe nakuanza kuigugumia, wakatihuo kitendo bila kuchelewa, bint mrembo MAGDA akiwa bado juu ya FARASI wake alifunua gauni lake kwakulipandisha juu na kuanza kutoa..... we unazani huyu mwanamke ananiagani na na kijana huyu mzee wa mitungi. endelea kuifwatilia story



SEHEMU YA SITA.


Alifungua gauni lake na kutoa KUDU(KAMBA),na kuitundika moja kwa moja shingoni kwa MATIGA.Gwiji la wanawake alishangaa sana "kulikoni na hiki ni kitu gani sasa mbona sielewi?".Wakati akiendelea kushangaa mara Gafla wazo lika muijia la ujasiri na kutambua kuwa kiunoni mwake kumbe kulikuwa na Siraha.Kabla hajafanya jambo lolote baya, tayari MAGDA alikuwa kashausoma mchezo,hapo hapo aliivuta ile kamba na kumgaragaza chini misili ya bata kwenye maji.Ili atambue yeye ni mjanja zaidi.Lengo la MAGDA ni kumchanganya akili kijana wa Mzee PANYAKOO ili kumzuia asitumie Siraha yake ya Upanga kwani inaonekana ni mjuzi na mfundi wa kutumia siraha hiyo.

Wakati anazidi kurushwarushwa chini huku na kule, na kuhakikisha kijana Ametepeta kisi kwamba akimpeleka huku anakwenda ama kule anakwenda. MATIGA alitepeta mpaka akatoa machozi kiasi kwamba alishiishiwa mbinu kumtoka binti MAGDA, ikabidi awe mpole ili asiendelee kuburuzwa asije umizwa bila sababu za msingi,Ndipo MAGDA akamuamrisha ku ............ mbona mambo yanakuwa tofauti unazani kwanini bint huyu anafanya hivi au anataka kumbaka kijana mlevi, unazani inawezekana




SEHEMU YA SABA


.Alitekeleza amri aliopewa kuhusiana na yeye,hakuchelewa na kuambiwa"Sogea hapa" MATIGA akajongea huku akiwa anatokwa na machozi na mihemo ya hatari na kuwa mpole,akajiuliza "Mbona majanga kama haya yananifanya hivi kama katumwa nini?, maana sielewi kinacho kuja mbele yangu maana kabadirika gafla aliwaza MATIGA akiwa haamini kinacho mtokea.MAGDA "nataka ufanye nitakacho kuamru,vinginevyo Utakufa sawa?".MATIGA "Ndio mama,lakini unanoumiza shingo". MAGDA "Unaweza kuwa na mama mdogo na mrembo kama mimi?,mbona unanizeesha eeeeeeh!!!?" alisema yule mdada alie badilika ghafla .MATIGA akiwa anatetemeka akasema "Basi samahani MAGDA kwa kukuita mama ila naumia shingo".Wakiwa wanaendelea kuombana msamaha ndipo MAGDA alipo mwambia " kwanza niite mpenzi alafu Tunakwenda kwangu na ukijifanya wajua nitakufanyia kitu mbaya ni heri ukawa mpole".Ikambidi MATIGA anene neno "kwani kwako kuna nini mpaka unanifunga misiri ya Mwizi?,huoni kama wanakijiji wenu wakiniona wanaweza kudhani pengine mimi ni mwizi? mpenzi wangu MAGDA" "usiwaze mpenzi we twende" basi wakajiandaa kwa safari, kabla hawajaanza safari kamba ikiwa shingoni kwa kijana mlevi ika...mh mapenzi gani haya ebu tuone ghalama yako gonga like na 




SEHEMU YA NANE


.Kabla ya kuanza safari walitabasamu kwa pamoja kuashiria wamekubaliana.Hapo ndo walipoanza safari wakati MATIGA akiongoza njia na MAGDA anafuatia kwa nyuma.wakati kwakiendelea na mwendo kwa mbali ilionekana nyumba ikiwasha taaa kwa ndani na ndio kijana wa mzee PANYAKOO alipotoa mimacho kushangaa na kujisemea "Ni jinsi gani kijiji kama kile kiwe na nyumba tena la ghorofa?",ila aliendeleza mwendo lakini MATIGA alimtania kodogo MAGDA kuwa "Weee mtoto,kweli unamambo ya WABURUSHI kwanza huna hata chembe ya huruma mpaka wanitanguliza kama Enzi zile za wakoloni au 


ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog