Search This Blog

Sunday, February 26, 2023

KIJANA MZINZI - 1

IMEANDIKWA NA: EDGAR MBOGO

*******************************************************

 Chombezo :  Kijana Mzinzi 

Sehemu Ya Kwanza  (1)


KIJANA MZINZI:


SEHEMU YA KWANZA.


Katika kijiji cha MBUTU",kulikuwa na kijana mmoja mlevi na aliyekuwa anapenda sana Anasa.Alijulikana kwa jina la MATIGA na alikuwa ni Gwiji wa kuharibu ndoa za wake za watu na mabinti wadogo wa shule.Wala hakuwa na ahibu ata chembe,kwani alikuwa ni jasiri wa hali ya juu sana.Na kupelekea kuwa Gumzo katika kijiji kile, siku moja aliamua kufunga safari kwenda kutafuta Mabinti katika vijiji vya jirani.Akiwa amesha kunywa pombe kupita kiasi na pombe nyingine mkononi, kijana aliendelea kutembea njiani huku akiwa amejiweka ki uwindaji akiwa amejibebea Siraha yake ya kisu kikubwa (jambia) kiunoni huku akiwa anapata kiraji na kuimba njia nzima kutokana na kuzidiwa na kilaji wakati ana endelea na mambo yake Gafla alisikia ITAENDELEA ...




SEHEMU YA PILI.


Alisikia sauti yakike ikimwita, "MATIGA". likini yeye aliendelea kuimba huku akinywa pombe yake maana hisinge kuwa ahisi kuwepo mtu maene kama yale yamsitu, tena akasikia kishindo kama kuna kitu kinamfuata sehemu alipo.Alipo geuka nyuma yake alishangaa kumuona mmoja Mrembo na mtoto Mraini. kijana hyu aliduwaa maana licha ya kuleporini lakini pia hasingeweza kumwona katika kijiji kile jinsi alivyo Mzuri na mwenye mbwembwe za kuweza kumchanganya mwanamume yoyote lijali binti huyo akiwa juu ya Farasi tena kwa ustadi mkubwa alizidi kumkaribia MATIGI*******.Kwa upande wa kijana shupavu MATIGA akiwa anatafakari juu ya ujio wa Mrembo huyo huku tamaha nahuchu viki mtawala, aliusemea Moyo "nikimpata Mrembo huyu ata juta kuzaliwa wakike, ni lazima nitumie Maujuzi yale niyowahi kuyakuta Tanga kwa wataaramu wa Mapenzi Mpaka nisimamie Kucha".wakati kijana akiendelea kuwaza yule binti aliongeza mwendo wa Farasi.

******************* hapo kwaupande wa yule binti story yake nikama,Kwa mbali alitokea Binti Mrembo mgeni akiwa na FARASI katika pitapita zake za kuzungukia vijiji jirani kwa lengo la kuvifahamu vijiji vya jirani kutokana na kuwa na muda mrefu wa masomo yake huko Mjini.Mara akamuona Kijana mmoja Barabarani,Akiwa ni Mtu mwenye furaha njia nzima na Akiimba kwa Ustadi mkubwa wa sauti iliyo tiwa hiriki na Mayai tena ya kienyeji.Ikambidi aongeze mwendo ili aweze kuzungumza nae yule binti aliongeza mwendo wa Farasi kumsogelea kijana ITAENDELEA 




SEHEMU YA TATU

"KWA SEHEMU YA KWANZA NA YA PILI INGIA KWENYE TIME LINE YANGU KUZISOMA) .Binti yule alipo mkaribia kijana mlevi akapunguza mwendo ili azungumze nae.Lakini kumbe alijawa na mawazo juu ya kijana machachari MATIGA,jinsi alivyo jengeka kwa umbo lake lenye mvuto wa Sintofaham mtoto akachanganyikiwa zaidi.Ikabidi asimame kidogo.nae MATIGA akasimama kwa kuonesha mshangao,lakini binti nae akasimamisha usafiri wake(farasi) pembeni yake.Kisha akaanza kwa salamu "Habari kaka,Vipi upo katika mzaingira kama haya na unakwenda wapi?".MATIGA nae akanena "kipindi nafundishwa jamdoni ata shuleni mwalimu wangu aliniambia kitu cha kwanza unapo kutana na mtu wa jinsia yoyote ile, inakubidi umsalimie bila kujari ni mdogo wala mkubwa na ndipo uendelee na maswali yako" aliongea MATIGI kwasauti yakilevi.Binti nae hakurudi nyuma ndipo aliposema "Ahaaaa samahani,lakini si nilikuambia Habari kaka?, sawa Tuachane tuhachane nahayo,Naitwa MAGDA JOHN nibinti wa pili na wa mwisho katika ukoo wa mzee MALUBALO pia ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha UDOM". alijitambulisha binti MAGDA akimtazama kijana mlevi kwa macho ya bashasha


ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog