IMEANDIKWA NA: EDGAR MBOGO
*******************************************************
Chombezo : Penzi La Binti Nguva (1)
Sehemu Ya Kwanza (1)
UTANGULIZI SEHEMU YA KWANZA
Leo nisiku nyingine, naimani mdau hupo vizuri kabisa, basi ungana na msimulizi wako Mbogo Edgar katika mkasa huu wa PENZI
BINTI NGUVA, nazani una mkumbuka binti Fadhira katika mkasa wetu uliopita,**** Akiwa ni samaki wa hajabu ambae upenda sana
kutembelea nchi kavu nakujichanganya na binadamu, wakati mwingine kwenda kuchukuwa chakula cha kubinadamu tofauti na wenzao
ambao hawakuwa na uwezo huo wakwenda nchikavu, wakijibadirisha miguu yao na toka kwenye mkia, nakuwa kama binadamu wengine,
nakutembea akijichanganya na binaadamu pasipo kujulikana kuwa yeye ni kiumbe wa aina gani, baada ya kuzulula mchana kutwa
akiwa na ungo wake wenye ndizi na kisu chake cha mkunjo, ambacho wengi wali zani ni chakukatia ndizi shambani, lakini ukweli
ni kwamba kisu kile alitumia kama silaha yakuji linda yeye mwenyewe, ulejea kando ya mto Matimila kisha uvua nguo zake na
kuziifadhi vizuri kwaajili ya kesho, alafu uingia kwenye maji na kujigeuza samaki akiwa nusu samaki nusu binaadamu, na
kujiunga na wenzake na maisha yanaendelea, kutokana na uzuri wa Fadhra binti nguva, siku zote kutokana na uzuri waumbo lake
na sura yake, Fadhira binti Nguva alipata usumbufu mwingi sana toka kwa wanaume binadamu, huko mtaani aliko kuwa anapenda
kwenda kuzurula, ambao baadhi ya Nguva wenzake uwa fanya chakula inapobidi, lakini kwakuwa alijijuwa kuwa yeye hakuwa
binaadamu, aliwakatalia na kuachana nao, wengine walifikia atua ya kumtukana na kutaka kumfanyia vurugu,
siku moja, baada ya kumaliza mizunguko yake, Fadhira alirudi mpaka kando kando ya mto wa Matimila, na kuweka ungo
wake wa ndizi chini kisha akajilaza kama kuna kitu anasubiri, alikaaa hapo kwa muda mrefu akipunga upepo mwanana wa mtoni,
huku akiwaza ili na lile, asa juu ya vijana wa kibinaadamu, ambao kila siku hawaishi kumtongoza wakiitaji penzi lake, "hivi
itawezekanaje bina damu aniingizie dudu?" aliwaza FADHIRA, akivuta picha namna dudu ya bina damu ilivyo, "akacheka kidogo,
atasijuwi hipoje, alfu sijuwi wanafanyaje, aliwaza sana Fadhira huku wakati mwingine akicheka yeye mwenyewe, kiukweli
Fadhira alijuwa yupo mwenyewe, kumbe haikuwa hivyo, kulikuwa na kijana mmoja pale kijijini alie julikana kwa jina la
KANYIKA, kijana huyu alikuwa ame mfwatilia Fadhira toka mbali sana, toka akiwa mtaani anazurula na ndizi zake, adi anafika
mtoni, nia aikuwa kumfwatilia bule bule, nia yake ilikuwa ni kumbaka, maana alisha juwa kwa kumtongoza asinge mpata yule
binti mrembo muuza ndizi, sababu alisha washuudia wenzake kibao wakitoswa na yule binti, sasa "leo lazima kieleweke"
alijisemea Kanyika, huku akiwa ame jibanza kichakani anamtazama Fadhira, Kanyika akiwa pale kichakani alimwona Fadhira
akiinuka pale alipo kuwa amejilaza, pembeni ya mto, na kukikamata kishati chake na kuanza kukipandisha juu, hapo akajuwa
nguo ina vuliwa, akatulia kuangalia yule bintio muuza ndizi anataka kufany nini... basi jamani ebu naa sisi tuubiri kuona
Fadhira anataka kufanya nini, katika utangulizi wa PENZI LA BINTI NGUVA, chakufanya gonga like alafu kama unamda tupia
comment kama una maoni au ushauri tupia in box mkali wako Mbogo Edgar ataupokea na kuufanyia kazi.
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment