Chombezo : Kijana Mzinzi
Sehemu Ya Pili (2)
MATIGA akajichekesha kidogo kisha akaongea "Hapana shaka nashukuru kwa kuku fahamu ila unajina zuri utazani Aplle, amakweli Mungu aliumba.kwa jina naitwa MATIGA NGOKO natokea katika familia ya mzee PANYAKOO na nimtoto wa Tisa katika familia hiyo,na niko katika kijiji cha MBUTU, hapa nilipo niko nanyoosha miguu tu na sijui ninako elekea".Na wakati wanaendelea kufahamiana vilivyo kijana MATIGA akainuapombe yake nakuiweka mdomoni lakini akashangaa kuona chupa ni tupu haikuwa na kitu, akaangaza kiunoni mwake hakuona kitu kumbe alikuwa tayari imeshaisha kwani alitembea umbali mrefu akitumia kinywaji hicho kijulikanacho kwa jina la CHANGAMSHA na ndicho kilicho mfanya aonekane ni mtu wa Furaha.Akiwaza apate wapi,alipiga jicho lake kwa MAGDA na kuona kitu kama chombo cha kuwekea maji,kiasha MAGDA akamuuliza "kulikoni mbona umejawa na mawazo gafla?" MATIGA hakiwa anakodolea macho chupa hile akasema "unajuwa nimetembea umbali mrefu nikiwa nakinywaji changu sasa kimeniishia na bado naitaji kuendeleaa kunywa". MAGDA hakuonesha hari ya kushangaa kwani tayari alikuwa amesha vutiwa na muonekano wa MATIGA kuanzia miguuni mpaka kichwani ndipo alipo.itaendelea hapa hapa...........chakufanya ndelea kulike ili tujuwe niwasomaji wangapi wameshaisoma ili tuitupie sehemu ya 4 wakati huo jiandae kwa marudio ya story ya BINTI CHAUPELE
SEHEMU YA NNE
.Ndipo alipo hisi furaha kiasi cha kutoamini kama MAGDA angeweza kutoa tabasamu la uhakika kwani katika kijiji cha MBUTU alizoea kuona meno ya wake za watu.akiendelea kujishauri juu ya namna ya kumpatia mvinyo kijana huyo ndipo alipo mwambia "Nina mvinyo japo kuwa ni kidogo tutagawana hivyohivyo".Ndipo kijana akafurahia sana na kuona kumbe mawazo aliyokuwa akiyawaza sasa yametimia.Basi MAGDA akavuta chupa iliyokuwa nyuma kidogo ikiwa imefungwa kiunoni mwa FRASI na akachukua kata ambalo kwa vijijini ni kwaajiri ya kuchotea maji mtoni ama kisimani na jina hilo ni kwa makabira mengi sana ya tanzania pengine ata kiswahili utumika ni kwa wale tunaifahamu kwa ufasaha neno hili poleni mlio na kabira tofauti ila tupo pamoja.Baada ya kuona binti anachangamka kumuwekea mvinyo kijana mzinzi na mlevi MATIGA alianza kutoa udenda kwani mtoto kweli alikuwa kajaariwa uzuri na umbo, bira kupindisha macho yke yalidondoka moja kwa moja kifuani kwa bint matata MAGDA,hapo mapigo ya moyo ya MATIGA yalizidi kwenda mwendo wa farasi, kweli huyu binti mwemwele.Katika kuhakikisha anamtia kitanzini binti MAGDA ili aweze kuyajua yaliyo fichwa ndani ya Gauni zito na lililo fumwa kwa ustadi mwingi, Ndipo kijana almaarufu GWIJI la wake za watu alipoa wekewa mvinyo huku akiwaza "Jamani huyu mtoto alikuwa wapi mpaka najiingiza katika migogoro na wanaume wemzangu kwa kuwaibia wake zao kijijini kwetu? Au MUNGU kaamua kuniokoa kwa njia hii? Ila nimzuri aisiiiiih!! Cheki tu kifua chake,Mdomo,kiuno na Hata Nyuma kajazia utazani wale wa kwenye VIDEO, yaani hapa nakula mpaka maganda yake" aliwaza yake kijana mzinzi huku dudu yake ikipatwa na msisimko wa hajabu. balaha zaidi wakati anapokea kata ya mvinyo, Walikutanisha macho kisha MATIGA aka itaendelea hapa hapa endelea kutembelea kila uingihapo face book ilikujipatia mwendelezo wa story zetu bila kusahau kulike kama umesha isoma ili tuweze kuendelea na sehemu zinazo
SEHEMU YA TANO.
walikutanisha macho kisha MATIGA Akautamani upaja wa binti Mrembo mpaka udenda ukamponyoka, kama mjamzito alieona embe bichi, ila ikambidi achukue ile pombe na kuimiminia kinywani mwake kwa kuwa alikuwa ameanza mda mlefu,alimaliza pombe yote kiasi kwamba hakuna hata Tone kwenye kata, utafikiri aliweka Moto ndani ya mdomo maana kata lilikaushwa kabisa pasipo kujiuliza yule binti ametoa wapi pombe .MAGDA alimuuliza"Inaonekana ulikuwa na unapenda sana pombe sana eeeeehn!!?" MATIGA nae akajibu kwa pose "kiasi chake si unajua sikumoja moja moja?". MAGDA akatabasamu kidogo kisha"Ni kweli",kwa haraka akili yake na wazo likamuijia MAGDA kuwa "Huenda kijana huyu anaweza kunikimbia maana tayari kisha uteka moyo wangu gafla hivyo inanibidi nimzibiti ili
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment