Search This Blog

Sunday, February 26, 2023

ISABELAH - 2

   


Chombezo : Isabelah

Sehemu Ya: Pili (2)




NO 05: hapo Yenda akaingia kwenye maji akimsubili mpenzi wake ambae aliondoka nakuelekea nyumbani lakini akiwa anakaribia nyumbani, akashangaa kuona kaka yeke akiwa na vijana wenzake, moja wao ni kijana NJENJE, (uta msoma, katika mkasa wa PENZI LA BINTI NGUVA hapa hapa kwa mkali wako @mbogo edgar)ambae alikuwa ni mmoja ya watu ambao walisha jaribu kurusha ndoano zao, kwaajili ya kulinasa penzi lake, lakini waliambulia patupu, vijana hao walikuwa wanafanya mazoezi ya kupigana, kwakutumia mapanga, huku wakitumia mkono moja, nikama walikuwa wana jiandaa kwamapambano flani, yaliyopo mbele yao, Isabelah akiwa na ndoo yake kichwani, hakuwa jari alipitiliza na kuingia nyumbani kwao, pasipo kujuwa kuwa kuna kitu ambacho kilikuwa kimekusudiwa juu ya mwenendo wake na penzi lake na kijana Yenda, ata alipopita walimwangalia kwamacho makali, huku wakiendelea kupigana kwapanga zao, wakionyesha ustadi wahali yajuu sana, mioyoni mwao hawakuhacha kumsimanga binti huyu, ambae hakuwa na habari nao, vijana hawa Njenje, na Kinje, walijitolea kumsaidia Kado kuakikisha wanafahamu siri ya kiburi cha Isabelah yakukataa wanaume, kwa amri ya bibi yake Isabelah bibi MBUYAMUNDU,kazi hiyo iliyokuwa imeanza miezi mitatu nyuma ilikuwa ngumusana kufanikiwa, kwasababu Isabelah na Yenda walikuwa wajanja sana, asa unapo wavizia, hapo YENDA alizama kwenye maji na kupotea, walipo fika walimkuta Isabelha pekeyake, nabahati mbaya Isabelhah alinogewa na penzi la kijana huyu, japokuwa alifahamu fika kuwa nisamaki mtu, lakini alihapa kuto mwacha, asa kutokana na penzi alilokuwa akimpatia, licha ya kupenda jinsi wanayo peana utamu, pia alimpenda kijana huyu kwasababu alikuwa mpole mwenye huruma pia alimpatia chochote alichokiitaji, vijana wale wakiwwa na wivu wakuzidi, waliangaika usiku namchana kutafuta alie wazidi kete, lakini hakufanikiwa, ataleo sababu ya Yenda kuchelewa, ilikuwa hivi kumbe YENDA aliefika apema kabla ata ya Isabelah kufika, alikaa juu yajiwe lililopo kwenye maji akimsubili mpenzi wake, lakin kabala ataIsabelah hajafika, akasikia sauti za watu wakija mtoni, namapanga mkononi, hapo sasa kabla awajamuona, haraka sana akazama chini yamaji, nakwenda kuibukia mbali kidogo, kwenye kundi la matete, nakuanza kuwaangalia wale vijana,aliweza kuwaona wakitazama eneo lile la mto, kama kkuna kitu wana tafuta, kisha wakainyeshana sehemu ya kwenda kujificha, wote wakaingia sehemu hiyo na kuchukuwa maficho, dakika chache baadae Yenda akamwona, mpenzi wake Isabelah akija hku mkononi akiwa amebeba ndoo, kama hilivyo kawaida yake, anapokuja mtoni kuonananaye, alitulia pale akimwangalia Isabelah na wale vijana ambao muda wote macho yao yalikuwa yakiangalia huku na huku, kuona mawindo yao yatatokea wapi, alituliahapo mpaka alipo mwona Isabela akiinuka nakuingia mtoni kuchota maji, huku wale vijana kuona hivyo wakondoka haraka pasipo Isabelah kuwaona, ndipo naye alipo zamia kwenye maji na kwenda kumwai mpenziwake, Isabela alaipofika nyumbani, alikiona alichotegeme akukiona, ni kumkuta bibi yake amenuna, wakati huo alimwona kaka yake akija kwa kasi na hasira,....haya wadau makasa una zidi kusonga ebu tuone kama vijana awawenye wivu wata fanikiwa kumgunduwa mpenzi wa Isabelah...




NO 06: ndipo naye alipo zamia kwenye maji na kwenda kumwai mpenziwake, Isabela alaipofika nyumbani, alikiona alichotegeme akukiona, ni kumkuta bibi yake amenuna, wakati huo alimwona kaka yake akija kwa kasi na hasira, Mbuyamundu naye alikuja akiwa amekunja ndita usoni kwake, akiwa na saa mkononi akaanza kufoka, akimlahumu Isabelah kwakuchelewa sana alipoenda kuchota maji, wakati huo kaka yake alikuwa amezuiriwa na Njenje ambae alionekana kuwa na umri mkubwa kuliko wenzake, maana lengo lake likiwa ni kwenda kumtandika makofi dadayake, Isabelah alikuwa ametulia akimsikiliza, bibi yake ambae alikuwa amklalamika sana, "ebu ona maji hakuna, vyombo bado vichafu, alafu wewe una enda mtoni kukaa huko huko, shaulizako huo mto, utakutokea puani," maneno hayo alisha wai kuambiwa mala nyingisana na bibi yake, ni maneno ambayo yalimkumbusha sana mtukio lakupotea kwamama yake, ilifikia kipindi akamtilia mashaka bibi yake, yakuwa anaweza kuwa kweli ni mshilikina, kaida Isabelah anapo kumbuka tukio hilo, uwa anapenda sana kwenda mtoni, nasikuzote akifika tu! eneo la mto mala moja uwa Yenda naye anakuja, nikama wana wasiliana, basi Yenda utumia mda mwingi akimliwaza, nakunasiku alipokuwa anamliwaza akamwambia kuwa "mbona wazazi wako wote wapo hai,"kauli hiyo ilipingwa vibaya na Isabelah, maana anafahamu kuwa wazazi wake walisha fariki zamani tena akiwa mdogo sana, basi na leo yakamjia mawazo yakuuzunisha, kutokana na maneno makali ya bibi yake, kipindi cho alikuwa anamimi na maji kwenye pipa, ili akachote tena, ikiwa ndiyo nafasi ya kwenda kuonana na mpenzi wake Yenda, tena muda huu alikuwa akimitaji sana, licha ya kwenda kumfariji, zaidi alikuwa anataka akapewe dozi yake ambayo upewa kila siku, isipokuwa zile siku za wachezaji wale wamsimbazi, wanapo utumia uwanja huo kwamazoezi, alimimi na maji huku bibi akiendelea kufoka, kiasi cha kutoa povu, na alichukia zadi, alipoona kama Isabelah hamsikilizi, maana muda wote alikuwa kimya kabisa hakumwangalia ata bibi yake, mpaka alipo maliza kumimina maji, akaanza kutembea kurudi mtoni, ndipo alipo sikia bibi yake akimwita kaka yake Kadoda, naye akaja haraka sana, hapo bibi yao akamwambia Kadoda,....kafupiiii lakini tamu,



NO 07 : maana muda wote alikuwa kimya kabisa hakumwangalia ata bibi yake, mpaka alipo maliza kumimina maji, akaanza kutembea kurudi mtoni, ndipo alipo sikia bibi yake akimwita kaka yake Kadoda, naye akaja haraka sana, hapo bibi yao akamwambia Kadoda, "chukuwa ndoo nenda mtoni, kachote maji" aliongea Mbuyamundu, kisha akamwambia Isabelah, "wewe nenda ndani katoa vyombo, uoshe" kisha bila kuongeza neno, akatulia na kuwaangalia, Kadoda na Isabelah wakikabidhiana ndoo, Kadoda alipokea ndoo toka kwa Isabelah, huku akiwa amekunja ndita, akamkata jicho la hasira dada yake Isabelah, kisha aka kataka atua akielekea mtoni, huku njiani akiwazakitu ambacho siku zote kilikuwa kina msumbuwa juu ya dada yake, kwakawaida una weza ukazai kuwa hampendi dada yake, lakini ukweli nikwamba, wakati wazazi wake wakiingia ugomvi na bibi yao, yeye alikuwa ana wasikia na akaelewa kiala kitu kilichikuwa kina endelea, ata vifo vya vya wazazi wao, yeye alijuwa kuwa mhusika ni bibi yao, akaofia sana maisha yao, asa aliyaofia mahisha ya dada yake, ambae alionekana kuwa na kiburi juu ya bibi yao, ata alipo fikisha umri wakuolewa, alitamani kuona dada yake akiolewa, nakuondoka kwa bibi yake akipunguza hatari ya kupotezwa na bibi yao kutokana na kutofautiana na bibi yao mala kwala, akichelea siku ambayo bibi yao akikasilika kutokana na miugomvi ka iliyotokea kipindi baba yao alipo gombana na bibi yao na kupotea mazima, na ndo maana alikuwa mstri wambele ku pigania utulivu wa dada yake, ili hasimkele dadayake basi Kadoda alitembea kwa mendo wa haraka sana kuelekea mtoni, huku mammbo mawili ya ki pita kichwani kwake, maana leo anaenda mtoni peke yake, naule mto una mauza uza, ukikimbuka vizuri ata mama yake alipotea humo, pili alikuwa ana uakika kama kuna mtu alikuwa ana msubiri dada yake kule mtoni, lazima ange mkuta sababu lazima ange tegemea kumwona Isabelah, anarudi kuchota maji, lakini mawazo yake yakakatizwa baada ya kuwaona........mdau naomba uni samehe bure, nime andika story ni kiwa na usingizi sana, pia nilikuwa na andaa slips za filamu ya MALAIKA,(STORY TUTAIRUDIA) ndio maana imekuwa fupiiii ila iana tekenya moyo, endele ku like na ku comment maana kesho ni kuanzia saa mbili




NO 08: pili alikuwa ana uakika kama kuna mtu alikuwa ana msubiri dada yake kule mtoni, lazima ange mkuta sababu lazima ange tegemea kumwona Isabelah, anarudi kuchota maji, lakini mawazo yake yakakatizwa baada ya kuwaona James Komba na nampenzi wake Fadhira, aliekuwa ameshika kisu kikali cha mkunjo, mundu au chikwakwa, (uta wasoma kwenye mkasa wa PENZI LA BINTI NGUVA au yupo kwenye mkasa wa SAFARI) wakiwa na vyombo vilivyo sheheni ndizi, mbichi ikiwa ni bihashara yao ya kilasiku, kiukweli wawili awa walikuwa wanapendana sana, kiasi chakuwa mfano kwa wapenzi wengine, ila katika watu kuna viatu, wapo walio waonea wivu, wakatamani kuwaona wakigombana, waaisalimiana na wao wakapita, Kadoda aliendelea kuza nakuwazuwa, mstakabali mzima wa mahisha yao yeye na dada yake, nikudokeze kidogo juu ya binti Fadhila, yeye ni jamii moja na Yenda, na yeye ndie ambae alikuwa na uwezo wa kutembea nje yamaji bila matatizo yoyote, alikuwa nauwezo wa kuwasiliana na wenzake kwa hisia, kumbuka Yenda ni wa ukoo wakifalme na alikuwa amepewa ufalme akiwa mdogo sana kiasi cha kusaidwa kuongoza na baba yake mkubwa maana yeye alitakiwa atimize miaka 25, ndipo atawazwe lasmi kuwa mfalme, kutokana na tabia yake yakupenda kuja juu ya maji nakufanya urafiki na binaadamu, baba yake mkubwa akaamua kumpa ulinzi wa binti Nguva Fadhila, ambae alikuwa na uwezo mkubwa sana wakupigana, akitumia mundu, kwa wle wanao fwatilia mkasa wa SAFARI wana weza kumwona akisaidia shemeji zake binadamu, au utasoma kwenye mkasa wake wa penzi la binti nguva, mpaka ikapelekea kukutana James mjukuu wa mzee komba, hivyo wakati mwingine, Yenda ali mwambia Fadhila, awe anawapisha yeye na Isabelah, nayeye Fadhila anatoka na kwenda kutembea mtaani akiwa na tenga la ndizi akiziuza, japo kuna siku aliwapiga chabo, nakushuhudia jinsi walivyokuwa wanafaidi, alitamani sana kujaribu kamchezo hako, lakini hakuwa amempata wakulizisha, adi alipo kutana na mjukuu wa mzee Komba, tuyahache hayo utakutana nayo kwenye kisa chao, siku hiyo baada ya kujulishwa na Yenda kwakutumia hisia, kuwa anatarajia kuwa falagha, awapishe ndipo alipo kutana na mpenzi wake, ambae nae alikuwa na katabia kakumsubiri sehemu, lakini walipo pishana na Kadoda, nikama Fadhila alihisi kitu, na ile ndoo aliwai kumwona nayo Isabelah, mdafupi uliopita, hapo akaona wacha atumie uwezo wake kumstua Yenda...... je atawai kumjulisha ujio wa Yenda, au Yenda ataonekana?, Yenda atafanyaje inamaana hawataonana, soma kisha nijulishe, kisha tembelea baadae kidogo, uone kilicho




NO 09: lakini walipo pishana na Kadoda, nikama Fadhila alihisi kitu, na ile ndoo aliwai kumwona nayo Isabelah, mdafupi uliopita, hapo akaona wacha atumie uwezo wake kumstua Yenda, Kadoda alichapa mwendo kuelekea mtoni, akiwa na uakika ya kwamba lazima atagunduwa kitu flani juu ya mchezo wa dada yake, maana aliona kitendo cha yeye kwenda mtoni mda hule, hakuna alie tegemea, alitembea taratibu akiwa pekeyake, mapigo yamoyo yaliongeza kasi kwa uoga, kutokana na hadithi nyingi wanazo zisikia, kuhusu ule mto, akajikaza kiume nakusogelea mto lakini akiwa mita chache toka mtoni, Kadoda aliona kitu cha hajabu sana, akjiambia kuwa yale ndiyo mauza huza anayo yasikiaga, akiwa haja amini alicho kiona alisogea zaidi mtoni, hapo akaakikisha kuwa alichokiona ndivyo hilivyo, japo kuwa dada yake ametoka midahii akiwa amebeba maji safi lakini yeye amekuta maji machafu, kabisa kama yametibuliwa na mafuliko yakipindi cha mvua, "haa kweli nime amini, huku siyo kuzuri, alafu huyu Isabelah nae anakuja kukaa huku" hapo akaona bola achote maji alaka na kutimka zake, akaingia ndani ya yale maji machafu, yaliyo timka kiasi chakuwa mekundu kabisa, akachuta nakutokanayo, kisha akatembea atuwa chache nakugeuka alikotoka, nakuyatazama tena yale maji, ambayo muda wote alichukulia kuwa ni mauza uza ya vbwengo katika mto matimila, kam alivyo waikusikia watu wakisimulia, kwamba kuna wakati uwa wana sikia ata sauti za watu wakiimba na kupiga ngoma, asa nyakati za usiku, naka ukipata bahati ungeweza kuwaona wakiwa nje ya maji, kando kando ya mto wana burudika kwa vyakula na vinywaji, hapo, Kadoda alinuwa tena ndoo yake na kuanza kuondoka zake, pasipo kujuwa kilicho chafua maji hayo, kumbe baada ya binti Nguva Fadhila, kumtumia ujumbe Yenda kwa njia ya hisia, Yenda alichukuwa maficho nakwenda upande wa juu zaidi, yanapo tokea maji huku akijuwa yakuwa, Kadoda akifanikiwa kupeleka maji nyumbani, basi hato pata nafasi ya kumwona mpenzi wake Isabelah, hapo akapata wazo la kuya chafua yale maji, ikiwa ni mbinu aliyo ifikilia ..... naam unazani mbinu yake itafanya kazi? ebu tuonane kwenye sehemu yakumi, ilituone kilicho endelea husiache ku like au ku comment, kisha tulia hapa hapa kwa mdau wako Mbogo Edgar 




NO 10 Yenda alichukuwa maficho nakwenda upande wa juu zaidi, yanapo tokea maji

huku akijuwa yakuwa, Kadoda akifanikiwa kupeleka maji nyumbani, basi hato pata

nafasi ya kumwona mpenzi wake Isabelah, hapo akapata wazo la kuyachafua yale

maji, ikiwa ni mbinu aliyo ifikilia, kwa maana alijuwa lazima watitaji maji

masafi, na Kadoda awezi tna kurudi tena mtoni, lazima watamtuma Isabelah,

baada ya kufanya hivyo Yenda alienda karibu na njia yakujia pale mtoni, upande

wa mtoni, sehemu yenye majani mengi na kujibanza, ilikuangalia kama mtego wake

umefanikiwa, ndipo alipomwona Kadoda anatelemka, mtoni huku ana angalia huku

nahuku, kama kuna kitu anatafuta, Yenda akatabasam, akawona Kadoda anashangaa

maji yale ambayo bado yalikuwa yamechafuka sana, akamwona akichota haraka

nakuanza kuondoka, akipita karibu yake, na ndoo yamaji machafu mkononi,

akaendelea kupandisha kuelekea nyumbani kwao, hapo akaona mtego wake

umefanikiwa, pado lengo lake je wata mtuma Isabelah, hapo akatulia akisubili

majibu ya kazi yake, wakati yeye anamgongoja Isabelah, amba alikuwa anasafisha

vyombo huku mawazo yake yote yapo kwa Yenda, aliwaza kama kaka yake atamkuta

Yenda pale mtoni, maana alikuwa na uakika kuwa Yenda anamngoja pale pale, pia

alifikilia njia ambayo ita mwezesha kwenda kuonana na Yenda, maana alitamani

sana kwenda kupata dudu, ilikuwa kama dose yakila siku kwake, na kwaukweli,

kila siku walikuwa wakipeana vitu tofauti, vilivyo fanya wasichoke kula tamu

kila siku, Kadoda akiwa na ndoo ya maji, alitembea kwenye amsitu peke yake

huku akiwaza, "Isabelah anawezaje kuja pekeyake huku mtoni, ina maana haya

mauza uza hayamtokeagi, au anatembea na jini?" alipo waza hivyo akajikuta

anaumia roho yake, na mwili uka msisimka kama ametembelewa na funza mbavuni

mwake, akayakemea kwanguvu zote mawazo hayo, huku akiomba mungu hisije

kutokea, Yenda alitulia juu ya jiwe baada ya kutoka mafichoni alipo kuwa

amejificha mwanzo, akimsubiri mpenzi wake Isabelah, akiamini kuwa, kwa mbinu

aliyoitumia lazima kieleweke, ukweli alikuwa ametokea kumpenda sana huyu

binaadamu, kiasi cha kuwa hacha warembo wazuri wakwao, moja ya vitu vilivyo

mvutia, ni joto ambalo linapatika kwenye kitumbua cha binadamu huyu, kipindi

anapo ingiza dudu, japo hakuwai kupata, mwanamke wakwao, lakini aliamini

hivyo, (mimi sijuwi ni kwanini alifikilia hivyo, labda, tafakari kisha

nijulishe, kwa comment,) basi akati yeye ana endelea, kumsubiri mpenzi wake,

huku Isabelah akiwa bado anasafisha vyombo, alimwona kaka yake anakuja kwa

mwendo wa haraka, na ndoo mkononi, uso wake alishindwa kuu tafsili, kama ni

wasiwasi, au hasira, hapo mapigo ya moyo ya Isabelah yalimwenda mbio, akajuwa

kuna jambo limetokea huko mtoni, akaa tayali kwa lolote, hee! itakuwaje wadau

ebu! tuonane kesho hapa hapa kwa mdau wako,



NO 11 "Isabelah akiwa bado anasafisha vyombo, alimwona kaka yake anakuja kwa mwendo wa haraka, na ndoo mkononi, uso wake

alishindwa kuu tafsili, kama ni wasiwasi, au hasira, hapo mapigo ya moyo ya Isabelah yalimwenda mbio, akajuwa kuna jambo

limetokea huko mtoni, akaa tayali kwa lolote, bibi nae akiwa na Kinje pembeni kidogo yapale alipo kaa Isabelah, walishangaa

kumeona Kadoda anakuja kwa mwendo ule, na uso wake ukionyesha wasiwasi, na mawazo mwngi sana, moja kwamoja akawafwata alipo

simama bibi yake, wakasimM dakika kadhaa wakiongea jambo huku waki ya shangaa yale maji, huku Isabelah akiwa ametega sikio

kusikiliza wanachoongea, lakini watu hawa walikuwa makini sana, waliongea kwasauti yachini, na mwongeaji mkubwa alikuwa bibi

yake, baada ya dakika kadhaa, akamwona kaka yake akinyanyua ndoo yake na kwenda kuya mimi na kwenye chombo kingine cha

pembeni, nasiyo kwenye pipa ambalo lina wekwa maji masafi, Isabelah alipo yatazama maji, akaona jinsi yalivyo chafuka,

akaona yes kidume kimwfanya kazi, akajikuta akitabasam uso kainamia chini, huku anaendelea kuosha vyombo taratibu, bibi

mbuya mundu nae, bado alikuwa na Kinje japo ni mtumzima kidogo, akini alionekana kuwa na uwezo wakimapigano, wakiendelea

kuongea jambo flani, kama walio kuwa wanapanga jambo, ambalo lilikuwa linaitaji utekelezaji wa haraka sana, baada yakumimina

maji Kadoda akawafata bibi yake na Kinje, nao wakaondoka mahali pale, nakuzunguka nyuma ya nyumba yao, Isabelah akiwa hana

hili wala lile,aliendelea kuosha vyombo taratibu, akisubiri asikie kama ata ambiwa aende mtoni, au wata mkatalia kabisa,

lakini alikuwa na uakika kuwa ata wakimkatalia yeye akimaliza kazi zake atawai kukutana na mpenzi wake, leo hakuwa tayari

kuikosa dose, naalikuwa naukika kuwa lazima mpenzi wake atakuwa anamsubiri kule mtoni, wakati anaendelea kuosha vyombo, mala

aksikia sauti ya kaka yake ikimwita, Isabelah, hapo bila kuitikia akageuza shingo, nakumtazama kaka yake, alikuwa amesimama

pembeni yake, huku ndoo tupu ikiwa mkononi, kadoda alisimama dakika kazaa akimtazama dada yake kwamacho ya huruma na

mshangao, kiasi kwamba ata Isabelah akashangaa, unazani kwanini Kadoda ameduwaa? au kwaajili yampango unaopangwa juu ya dada

yake? kwani nimpango gani huo? fwatilia hapa


ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog