Search This Blog

Sunday, February 26, 2023

KIJANA MZINZI - 5

 


 Chombezo :  Kijana Mzinzi 

Sehemu Ya Tano (5)

hapoooo! Dooooh!!! kwa sifa MATIGA kwakutumia kidole cha kati akaongeza ufundi mpakatumia akafika kwenye mto na kuanza kuosha lile Nanasi na kuzamisha kidole nje ndani.Na binti MAGDA hakurudi nyuma alipo amua kifungua Jokofu la kijana mlevi alie mwokota njiani na kutoa ndizi aina ya mkonga wa tembo ili walimenye, mara akaichukua dudu nakuitia mdomoni mwake, nje ndani.kisha yot ikigomea kwenye kengere na baada yakujiandaavya kutosha kila mmoja akivuja ute kama bakuli la mlenda waksjibwaga, kitandani na kuanza kutumia kwa ufasaha zaidi ya hapa kazi tu. moja kwa moja bint mrembo alimlaza MATIGA chali na yeye MAGDA akaja kwa juu aka ukalia msumari, nakujipimia mwenyewe weeeee!! Asikwambie mtu jamaaa anauweza bhana mcheo ule mchafu.kwani alimpitisha katika mlima wa SEKENKE bila hata ya huruma na ni kwa speed 120. Huku MAGDA akikata mauno misiri ya ule mwimbo wa chura alie imba nani yuleeee nimemsaau .MATIGA uzalendo ukamshinda kuanza kuropoa hovyo Eti " hooo pumzi zina nienda mbio.. tutaendelea jamani hii ni burudani



SEHEMU YA KUMI NA MBILI


MATIGA arijikuta akaropoka Eti! "Weee!! Mama weweeee!!! Nitakununulia Gari,hata mashamba nitayauza kwajiri yako" Maneno yale haya kumuingia hata kidogo MAGDA kwajinsi utamu ulivyo kuwa ukimkoleza.Si kijana akampati ile style ya MWINYI kastaafu unaijua wewe?" Hapo ndo ikazidi kubamba mbaya walizidi kulila NANASI kwa ustadi zaidi ikaongezeka mihemo upande wa MAGDA na kujikuta akisema "Tamuuuuu!!,Nipe yoteeeee!hapohapo usitoee!, asanteeee na hapanaaaaaa! Yesssss baby Uwiiiiiiihh jamani kitu tamu hiiii haaaaaa!!" hata maneno mengine ni kiruga tupu lakini MATIGA alizidi kusugua kitumbua kilichojaa vyema kisawasawa mpaka MAGDA akawa anavunja dafu, maana kijana alikuwa fundi wa kugeuza style za tofauti tofauti kuonesha kuwa hata yeye anayajua ya kwenye VIDEO . kijana mala kwamala aligusa G.sport ya MAGDA kisawasawa, huku na kule lakini walibaki palepale mpaka binti wa mzee MALUBALO akanena "we mwanaume unatumia madawa nini?" MATIGA "kwa nini mrembo wangu kipenzi?".MAGDA "kwa sababu Ndizi yako hata kuisha haiishi mana naona kama ndo tunaanza mwanzo?, Kiukweli mie nimechoka sasa yatosha tulale".MAGDA alimsukuma MATIGA kuashiria kweli kachoka ndipo akanena "Do!!!we mwanaume hufai hata kidogo maana Ndizi yako ilivyo jengeka mh!! Angekiwa mwingine angeishia chalinze bora mimi nimejitahidi mpaka mpaka nimefika songea, wakiwa wamelala kwambali kijana akaanza kuona kunautofauti maana alianza kusikia Baridi iliyo ambatana na upepo, kumbe umzaniae ndie kumbe sie,kumbe yule binti wa mzee MALUBALO alikuwa ....... tubakize na kesho naomba tukutane tena kesho kujuwa atima ya



SEHEMU YA KUMI NA TATU


.bila kujuwa hakujari kale kaubaridi akaendelea kulala ,Kumbe MAGDA alikuwa ni Jini tena MAHABA?, Aliyejivisha Ubinadamu ili kuwafundisha wanaume wenye mitamaa kwa wake za watu hususani MATIGA, kulipo pambazuka kulisikika sauti za kuku wakiwika kwa nguvu kokorikooooooo? Zikiwa zinapishana kwakupokezana,huku baridi likizidi kuongezeka likiambatana na Ukungu.hapo MATIGA alihisi macho yake kuwa mazito kufumbuka na kuzani pengine pombe walizo tumia ile jana zilimzidi kiasi cha kushinda, vijana wanaita lock, zaidi kilicho mstua ni kuisi vumbi na mchanga viki tililika usoni mwake, Akashituka pale baridi lilipo zidi ikabidi ajitaidi afumbue macho yake na kujikuta akiwa MAKABURINI .kumbe ile nyumba iliyoonekana mwanzo ilikuwa ni kaburi?, Wasiwasi ulitanda kuona kumbe ilikuwa ni kiini macho tu! .Alishangaa kuona kijasho chembamba kiki tiririka kwa wingi wakati kulikuwa na Baridi kali sana likiambatana na Barafu na ukungu.na ile kutizama pembeni yake, akaona yule sio MAGDA bali ni FUVU la binadamu namifupa yazamani, pembeni yake tena akaona amezungukwa MISALABA hapo ndo akachanganyikiwa, zaidi ya hapo akajipa jasiri na kutoka nduki, kisha akajikuta..... haya sasa ilikujuwa mwisho wa huyu kijana mzinzi, 



SEHEMU YA KUMI NANNE,


kwa pembeni MATIGA aliona Fuvu limemkumbati nipo alipoangua kilio "Ha!! Mungu wangu kumbe alikuwa jini? Basi kuanzia leo mimi na mapenzi mbalimbali kuanzia sasa na kesho natafuta mke wa kuoa tena kanisani" alijiapiza sana, akiwa hajui la kufanaya huku akiwaza sana na jinsi gani afanye mara kajihisi jasiri na kuamua kutimua mbio hukuakiendelea kulia "Jamani nisaidieni Nakufa" akiendelea kukimbia na kuzidi kuomba msaada lakini hakuna alie msaidia kwani likuwa mbali sana na kijiji chao.Alijawa na hofu tena kubwa sana na kuzidi kufikiria "Hivi nimefanya mapenzi na najini? Au nipombe tu au Naota mbona sijielewi?" Akifikiria hivyo ndivyo anavyo zidi kutoka nduki utazani swala ambae yupo porini anaefukuziwa na Mnyama Simba. Akasikia sauti ikimwita "MATIGA MATIGA MATIGA simama" "weeeeee! nani asimame" hilo ndilo lilikuwa jibu la kijana mzinzi, aliye daikustaafu tabiayake hiyo, ndipo alipozidi kuchochea kuni miguuni mwake, huku akiendelea kuangua kilio njia nzima uchi wa mnyama.Kumbe na wazinzi na majambazi wanajua kuwa mungu yupo? Lakini nawashanga wanapo mkimbuka wakati wa shida tu.Jamani mawazo yalikuwa kama mzigo kwake na sijui lengo la MAGDA lilikuwa ni kumzalilisha maana likuwa anakimbia akiwa uchi wa mnyama,ndipo alipo jikwaa na kudondoka chini na hapo ndipo alipopata kujitambua kuwa yuko uchi na kuangalia nyuma yake kwa hofu aliona ....... jamani ngo janiandae sehemu ya mwisho wakti una subiri sehemu yamwisho pia endele




SEHEMU YA KUMI NA TANO


akaona kundi la watu likimfwata mbio mbio,katika kijiji cha MBUTU kilikuwa hakina amani kabisa juu ya kijana MATIGA kwa tabia alizokuwa nazo juu ya wake za watu.MATIGA akiwa anatoka nduki uelekea kijiji kwao alisikika akipaza sauti na kuomba msaada kwa watu lakini kila mtu alikuwa anaendelea na mishemishe za kutafuta maisha bira ya kumjali kabisa kwa sababu ya tabia zake mbaya.MATIGA alijikwaa na kudondoka chini ndipo watu walipo jaa na kumkuta matiga akiwa uchi wa mnyama nae alipoona umati wa watu ukiongezeka aliinuka na kukimbilia ndani kwao.Waliitisha kikao pamoja na wazazi wake ili kujua kilicho mtokea MATIGA. Ila wengine walijisemea wakwanza "jamaa atakuwa kafumaniwa" wapili "Ila Mungu ni fundi leo kamuumbua?" Watatu "Msimuhukumu hebu subirini tumsikilize jamani".MATIGA aliitwa mbele ya umati wa wanakijiji na kuulizwa ni kipi kilicho msibu nae akasema "Jamani samahani sana na samahani kwa kuwakatisha katika shughuri zenu kwakuja kunisikilia,pia mnisamehe kwa kufanya upuuzi katika kijiji hiki kwa kutembea na wake za watu na kuharibu ndoa zao samahani sana". Na kilicho nipata nilitoka katika kijiji hiki na kuelekea kijiji kongine ndipo nilipo kutana na binti aitwae MAGDA.kijana alieleza yote yalio mkuta wato wote "Haaaaaaaah! Akomeeeeeeh!!!" Wengine "poleeeeeee".Kisha akamalizia kwa kusema "Naombeni wazazi wangu waniozeshe na nitakuwa mtiifu katika ndoa yangu na nilikuwa Gizani".Ndipo wanakijiji walisambaa na baada ya siku chache kijana #Matiga alioa na watu walifurahia kwa tabia yake kubadirika na kuwa mtoto mzuri na akawa anasema" Nilikuwa Gizani na sasa NURUNI" Na nawashauri vijana wasiige tabia kama zangu bali wafuate maadiri ya dini. MAGDA bint mrembo, kumbe alisha fafiriki miaka mingi iliyo pita wajukuu wa MAGDA walimpeleka kijana MATIGA kwenye kaburi la bibi yao ambalo lilikuwepo pale alipo ona kunajumba kubwa la kifahari, huu ndio MWISHO WA STORY jiandae kwa story nzuri ya MAMA MWENYE NYUMBA, ASANTENI SANA KWA KUNIUNGAMKONO MUDAWOTE NIKIKULETEA STORY HII, TUWEPAMOJA KWENYE STORY NYINGINE


MWISHO


0 comments:

Post a Comment

Blog