Search This Blog

Sunday, February 26, 2023

BIBI MBUYA NA WAJUKUU ZAKE - 4

  

 Chombezo : Bibi Mbuya Na Wajukuu Zake 

Sehemu Ya Nne (4)




tukastuliwa na sauti ya bibi Mbuya.."tobaa! yani we! kijana, ni mtu mbaya sana tena" hapo Amida asitisha zoezi lake la kuikalia dudu akakurupuka na kukaa pembeni yangu, nakuipandisha chupi yake haraka na mimi nikaiweka ndani dudu yangu nakuanza kuangaika kufunga zip. alikuwa ni bibi Mbuya, akiwa ameshika koroboi, "sijuwi amejuwaje kama tupo huku?" alinong'ona Amida, mimi sikuwa na lakusema, nikabaki naangaika kufunga zip mpaka nilipoweza, "bibi bwana siunge tuhacha tu! tumalizie" aliongea Amida akimkosea adabu bibi yake, hapo bibi akapandwa na hasila

" kimya we mshenzi, yani wote mnataka mtombw.. na mwanamume mmoja" aliongea kwa hasira bibi yao kisha akanigeukia mimi, "nawewe kahaba wa kiume chukua kilicho chako na uondoke usiku huu kabla hayaja kutokea makubwa" alisema huku akinionyesha njia ya kuondokea, hapo nika inuka upesi na kwenda pale nilipo lihacha begi langu, nika lichukuwa na kutaka kuondoka, lakini Amida aka ni shika mkono, "uwezi kuondoka kabla huja ni malizia," hapo nikaanza kuiona dunia chungu, maana bibi alikuwa amemkazia macho mjukuu wake, "nimesema mwache aondoke zake," yakafwata malumbano ya bibi na mjukuu "bibi me staki mpaka anifanye amesha niamsha," "we mshenzi siunajuwa mazala yatakayo jitokeza, nasema mwache aende zake" "ata kama lazima, anifanye kwanza ndo aondoke kwanini hukuzuwia mwanzo?" sasa Amida alikuwa ana nivutia ndani, "wewe nampeleka wapi huyo?, kwani nimgeni wako?"Amida alistuka nakuniachia mkono upesi, alikuwa ni Zamda alikuwa ame shika chupa ya mvinyo na kikombe mkononi, sijuwi huku kijijini alikuwa ametoa wapi, akanisogelea na kunishika mkono kisha akamtazama bibi yake, "bibi naomba utuachie usiku waleo tu! huyu mgeni atuburudishe, kama ujuwavyo sikuzote tuna kutumikia wewe atujawai kupata mwanamume, na wana ume wote hapa kijijini wana tuogopa kwaajili yako" moyo wangu ulistuka sana kusikia vile, nikawa naomba jibu la yule bibi liwe hapana, maana ina onekana hawa watu siyo wazuri asa huyu bibi, eti watu wanawaogopa, alafu muda wote wanamtumikia bibi yao, zaidi ni kitendo cha kufanya mapenzi na wote wawili,"itawezekanaje?, lazima mtagombana tu!" alisema yule bibi akionyesha kutilia shaka maombi ya Zamda, hapana bibi tuna weza kulalanae kitanda kimoja kisha akatufanya kwa zamu, au tukapeana masaa" maaongezi yao yalinitia mashaka juu ya utu wao, licha ya kufanya mapenzi na wanawake wengi sana lakini sikuwai kukutana na ilibalaha, "sawa ongeeni naye kama yupo tayari, lakini msimlazimishe" wote waka tabasamu huku wananitazama mimi,kusikia nita sema nini, nilihisi nataka kujisaidia haja kubwa, mapigo ya moyo yalinienda mbio "

Mbogo Edgar mimi nimekwisha leo" duu! ngoja kwanza tuishie hapa, japo fupi lakini tamu,



"sawa ongeeni naye kama yupo tayari, lakini msimlazimishe" wote waka tabasamu huku wananitazama mimi,kusikia nita sema nini,

nilihisi nataka kujisaidia haja kubwa, mapigo ya moyo yalinienda mbio "mbogo edgar mimi nimekwisha leo" nika watazama wote

wawili wakiwa wame nikazia macho, nika mtazama bibi yao nikaona na nayeye amenikazia macho ila macho yake ni ni tofauti na

wajukuu zake yeye hakuonyesha urafii ata kidogo, "sahani jamani sito weza kufanya lolote naondoka zangu," niliongea na

kuanza kuondoka, lakini Zamda akanizuwia hapa Eddy basi kunywa kidogo ata huu mvinyo nilio enda kukutafutia" aliongea

akijiandaa kuni miminia lakininika endelea kutembea "hapa Zamda sitoweza kufanya chochote usiku huu" Zamda akanikimbilia

tena na kuni zuwia, sasa tulikuwa tume waacha mbali kidogo wakina bibi na Amida, basi nakuomba leo lala hapa kwetu alafu

kesho uendelee na safari," alizidi kunishawishi Zamda huku bibi yake na dada yake wakitutazama, "Zamda nime sema siwezi,

naomba uniache niondoke kama wanaume hapa kijijini wapo wengi sana" nilisema nikijaribu kumpita Zamda nakendelea na safari

sasa nili elekea ijijini kwetu Mandepwende, pasipo kujuwa nitafika saa ngapi, Zamda akazidi kuni fwata mpaka tukaanza

kupotea eneo la nyumbani kwao, wakina Amida atukuwaona tena, "basi naomba tufanye hapa hapa haraka haraka," alisema Zamda

akinishika mkono, kiukweli sikuwa ata na hamu ya tendo hilo, nilicho kifanya nka jipapatua kwenye mkono wake nakuzidi

kutembea hapo nika mwona Zamda amesimama akitazama kwa hasira, kisha akatamka maneno ambayo kama ninge ya zingatia yasinge

nitokea yaliyo nitokea, je? nimaneno gani hayo?, basi tuonane kesho mapema sana ili tuungane na Mbogo Edgar kumbuka like na

comment yako ndiyo itafanya kesho story hii itoke mala tatu, tuimalize na tuianze nyingine ya penzi la binti nguva,



SEHEMU YA KUMI NA NNE

alisema Zamda akinishika mkono, kiukweli sikuwa ata na

hamu ya tendo hilo, nilicho kifanya nka jipapatua kwenye

mkono wake nakuzidi kutembea hapo nika mwona Zamda

amesimama akitazama kwa hasira, kisha akatamka maneno

ambayo kama ninge ya zingatia yasinge nitokea yaliyo

nitokea,"Edgar uwezi kutuacha hivi, umesha anza lazima

umalizie, ebu rudi haraka kabla hayajakukuta mabaya"

hiyo kauri niliisikia lakini nikaona ni maneno ya

mkosaji, "yanikute tu! mimi sirudi tena" niliongea huku

nizidi kutembea mbele, ata nilipo geuka kutazama nyuma

nilimwona Zamda akwa amesimama ananitazama, hapo nikaona

afadhari maana angeendelea kuni fwata pengine ningeingia

kwenye majaribu, nilitembea mpaka akapotea machoni

mwangu, kiukweli giza lilikuwa ni kubwa sana, nilitembea

ndani ya msitu hulio kuwa kimya sana,zilisikika sauti za

ndege wa usiku na vyula, malachache nilikutana na

wanyama wadogo wadogo kama sungungura na pimbi, kiukweli

nili tembea kwa wasi wasi sana, asa iliponijia sula ya

yule bibi yao wakina Amida, nazie nguo nyeupe alizo vaa,

pia nakilemba chake, sijuwi kwanini nili kiwaza sana

kile kilemba cha yule bibi, nilivuta kumbu kumbu ya

matukio mawili ya kunusulika kutafuna vitumbua vya ndugu

wawili, nikajiona mkosefu sana "mtu na dada yake?"

nilijisemea mwenyewe, "eti kweli wanasema niwagonge wote

wawili, yawapi hiyo?" nilitemba nikizidi kuongeza mwendo

maana kilomita ishilini siyo mchezo, nikazidi kutokomea

ktk njia yenye msitu mnene na ukumngu mwingi sana,

nilijutia mda nilio upoteza kwakina Zamda, baada ya

kutembea kwa muda wa lisaa limoja nilifika kwenye bonde

dogo la chatu, nalikumbuka hilo sababu nikiwa mdogo sana

baba alikuwa anapenda kusimulia habari ya chatu wa eneo

hilo, kiukweli niliingiwa na uoga kidogo nilipofika

hapo, nikaongeza mwendo na kukanyaga vishindo vikubwa,

nilisikia chatu anaogopa vishindo vikubwa, nilifanikiwa

kukatiza eneo hilo salama, lakini ile kusogea atua

chache mbele, nikaanza kusikia vishindo afifu vya

wanyama vikija kwangu kwa speed, HAYA SASA MDAU KAZI KWAKP GONGA LIKE DONDOSHA



nalikumbuka hilo sababu nikiwa mdogo sana baba alikuwa anapenda kusimulia habari ya chatu wa eneo hilo, kiukweli niliingiwa na uoga kidogo nilipofika hapo, nikaongeza mwendo na kukanyaga vishindo vikubwa, nilisikia chatu anaogopa vishindo vikubwa, nilifanikiwa kukatiza eneo hilo salama, lakini ile kusogea atua chache mbele, nikaanza kusikia vishindo afifu vya wanyama vikija kwangu kwa speed, hapo nika simama nakugeuka ili niweze kuona ni wanyama gani, sikuweza kuona kitu kutokana na ukungu uliozagaa, lakini kwambali nikaanza kusikia sauti za miemo kama ya mbwa, huku vishindo viki zidi kuni sogelea kwa kasi ya hajabu. naam nilianza kuwaona mbwa wawili weusi wakinijia kwa speed ya hajabu sana huku wakione kanana wakiwa na hasira kali, nikaanza kutoka nduki nilikimbia kwa speed huku ile mijibwa ikini kimbiza kwa hasira kali, lani bahati mbaya kwangu mbele kulikuwa na mto ukikatiza, japo maji yake ni machache lakini yali nisumbua sana tofauti na wale mbwa ambao walizidi kuni karibia, nilizidi kuongeza mwendo huku nikitupa begi langu chini, japo mbio zangu hasiku saidia kitu nikaanza kuona miguu inaisha nguvu kutokana na 


ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog