IMEANDIKWA NA: EDGAR MBOGO
*****************************************
Chombezo : Bepari Timoth
Sehemu Ya: Kwanza (1)
Bepari TIMOTH akiwa anakagua shamba lake kubwa la miwa, ni mtawala aliyekuwa na nguvu sana na alimiliki ardhi ya kijiji kizima pia alikuwa na pesa sana, alizolit toka kwa babu yake, ambae alipewa kijiji hicho kipindi cha utawala wa uingereza miaka 70 iliyopita, Timoth aliweza kutengeneza kiwanda kikubwa cha sukari na alisafirisha sukari kwenye nchi za magharibi, pia alikuwa na roho mbaya sana akuwa na huruma kwa mtumwa yoyote hapo kijijini ambao alikuwa akiwatumia kwenye kilimo na shughuli zake nyingine, pia alikivamia kijiji hicho kwa nguvu kwa kuwa alivutiwa na rutuba ya kijiji hicho na alitimiza azma yake ya kukimiliki na kuwekeza hapo kwa mali nyingi, huku akiendeleza ukatili wa hali juu, huyo mbele ni msichana TAUSI (jina alilopewa na wazazi wake kwa urembo alionao, hapo kijijini na vijiji vya jirani wali mjuwa kwa urembowake ) pia alikuwa mtumishi kwenye imaya ya bepari timoth --------
TAUSI akiwa na kapu lake la #matunda alikuwa akielekea walipo watumwa wengine, ila ghafla alisukumwa na #BEPARI TIMOTH bila sababu yoyote, kwakuwa alikuwa mtawala, akuna aliyeweza msemesha chochote, basi #Tausi akaokota matunda yake na kuelekea kuliko na #watumwa wengine huku akiwa ameghafirika kwa kuonewa ndani ya ardhi ya #babu zao, na wakati walikuwa na #vijana wenye #nguvu sana #maisha ya kijiji hicho yalitawaliwa na huzuni sana, na siyo furaha kama ilivyo mwanzo, sasa ivi kila kitu kilikuwa kichungu watumwa walikuwa wameveshwa #pingu miguuni na mikononi, bila kujari #jinsia, ilikuwa na ukatili wa kupindukia japo wazee wa #kijiji walijitaidi kuongea na bepari Timoth, lakini waliambulia majibu ya #kero na nakashfa, ndiyo kwanza #mateso yakazidi, wengine kuuwawa kabisa pasipo kosa lolote,
No3: Kabla ya uvamizi kijiji kwao tausi alikuwa akiishi na mume wake BEKO kijana aliyekuwa shupavu na asiye mwoga alikuwa
mchapakazi na alijimilikisha mali nyingi kabla ya utawala wa bepari timoty ila kwa saivi ni mmoja wa watumwa wa timoty kitu
kinachomuuma kupita maelezo kwa kuwa alikuwa na malengo ya mbali kwa maisha yake na familia yake kwa kulima mashamba makubwa
ya miwa kwa kuwa ndo lilikuwa zao la kibiashara kijini hapo na alipata pesa za kutosha na kuamua kumuoa tausi waliokuwa
wakikutana maramara kwenye duka lake kubwa la kuuza vitu vya jumla hapo beko akanza vutiwa na tausi aliyekuwa msichana mzuri
zaidi kijijini mwao na mwenye tabia njema akaanza harakati zake za kuanza kumsubiri kwenye vijichochoro vya kwao kwa nia ya
kuongea naye pia beko alikuwa sawa kwa kila kitu kuanzia mvutoo wa sura mpaka body yake pia pesa ilikuwa imelala hapo baada
ya kusumbua kwa kipindi kirefu mwishowa tausi akaingia box na kukubalikuwa na beko. Beko akulaza damu mara moja alitangaza
harusi na ikapitishwa na kufanya sherahe kubwa sana kuliko aliyofanya baba yake aliyemfunza biashara beko watu walikula na
kusaza ITAENDELEA...
Tausi aliumizwa sana kwa mumewake Beko kuwa kwenye #hali hile ila hakuwa na njia yoyote ya kumsaidia kwa kuwa yeye ni msichana akuwa naubavu wa kupambana na utawala ule wa bepari Timothy baada ya kumpatia #matunda kwa bahati mbaya bepari timothy aliona kitendo kile cha mtumwa wake kula matunda mazuri ambayo yalikuwa maususi kwa mkewe na familia, yake alimfokea sana tausi na kumfukuza, #kidogo tausi aliheshimika kwenye tawala yake na nadhani kwa ajili ya urembo alionao baada ya tausi kuondoka bepari Timothy alimshushia kipigo cha mbwa #mwizi Beko bila hatia yoyote labda kwa kupewa tunda na tausi, yaonyesha kilimkera sana bepari Timothy, Tausi alipopiga hatua kadhaa aligeuka #nyuma na kushuhudia Beko wake akisurubiwa aliumia moyo sana, kwa kuwa hakuwa na la kufanya, aliendelea na #safari yake huku akiwa ameacha maumivu makali kwa Beko, #bepari Timothy alijua atatawala kwa maisha yake yote #ardhi hiyo na wajukuu wake, pasipo kujua kila kitu kina #mwanzo na #mwisho baada ya kumbutua Beko aliondoka kwa hasira akiwa anamfwata Tausi……
No5: Tausi ambaye ali ongeza mwendo akinyosha moja kwa moja mpaka kwenye jumba kubwa la
kifahari ambalo ndo lilikuwa kasri ya bepari timothy wakati akipita bustanini akakutana na
MARIA mke wa bepari timothy akainama ishara ya heshima kwa mkuu wake kwa kuwa ndo aliku
msimamizi wake wa karibu akamkabizi yale matunda na kuondoka eneo ilo kwenda kuendelea
nakazi zake zingine huku akiangalia mandhari ya ilo jumbaa ambalo mwanzo lilikuwa la bwana
ake beko ambalo yeye ndo alikuwa ndo mother house na kuwa na watumishi nane wa kulisimamia
hilo jumbaa ila kwa saivi naye ni mtumishi kama wale wengine aliumia sana machozi ya
huzini yakaanza mtoka akikumbuka beko alipo yu hoi kwa kichapo alochokipata kutoka kwa
mtawala huyo alifika eneo lake la kufanya usafiii ila alikuwa na mawazo tele huku akiwaza
lini itakuwa mwishooo wa utawala huuu wa kimabavuuu akajisemea moyoni ......fuatilia hapa
hapa .......
No 6: Ilipofika taimu ya msosi mabosi walikula na kusaza baada ya kutowa vyomba mezani tausi alianza kupakia vyakula kwenye gauni lake kwa nia ya kuvitowa nje ya jumba ilo la kifahari kitu kilichokuwa akiruhuusiwa na bepari timothy na ni mwenye sheria kali sana na zisizo kuwa na mjadala anakuhukumi papo hapo baada ya kusanya msosi wote tausi akawa anatoka kwa kunyata ili asishtukiwe na bosi wake alijitoa sana kusaidia wale walalao na njaaa na alitokea kupendwa sana na watumwa wa kijiji hichooo japokuwa kulikuwa na watumwa wa kijiji cha jirani walio mbeza na kuona c chochote kwa kuwa naye ni mtumwa hufwata amri baada ya kutoka katika jumba ilo la kifahari akatafuta kajinjia kaliko weza mzamisha kwenye shamba la miwa mala
No7: Akakutana na mlinzi mmoja wa jengo hilo la kifahari la bepari timothy tausi alididimia kwenye miwa wala akuonekana yule mlinzi alikuwa akihisi tuuu baada ya kiona miwa ikitikisika akaamua kuachana na hilo shamba akasonga mbele kuweka ulinzi eneo lingine hapo ndipo aliponusurika tausi akajiinua na kuanza kukatiza kwenye tujinjia twa shamba ilo kwa kuwa alikuwa analifahamua eneo ilo vizuri wala akuwa na wasiwasi wa kupote baada ya mwendo wa dakika kadha akatokea kwenye nyumba za watumwa wenzake na kuanza kugawa chakula hicho kwa watoto waliomkimbilia kweli hapo ndipo uwamini watuu uishi kwa dhiki kubwa kijijini hapo hawakuwa na msaada wowote kwa kuwa wazungu hao ndo walishika maeneo mengi makubwa kwa kweli hawakuwa na kimbilio ni kitu kilichoumiza sana moyo wa tausi, wakati akiendelea kuwapa msosi wale watoto kwa mbali akamuona beko akiwa anakuja alitabasamu kwa kuona bwana ake akiwa njiani kumfwata yeye pia ndo mwanaume pekeee aliyetokea kumpenda sana baada ya beko kumkaribia watoto wale walimwakia na kutokomea kucheza huku wakiwa na vyakula vyao beko alimkumbatia tausi wake na kumwambia atampigania maisha yake yote na kumchukua kutokomea naye kwenye shamba la miwa ili kuwakwepa walinzi wabepari Timothy je nini kitaendelea wakiwa kwenye shamba ilo la miwa .......
No8: Wakiwa kwenye shamba la miwa walitafuta sehemu nzuri ya kupumzika na wakaipata wakakaaa china wakawa wapiga tory mbili tatu huku beko akimchombeza mkewe kwa tujistory twa kuchekesha kitu kilichomfanya tausi asahau maumivu aliyonayo kwa mda na kuanza kucheka walijadili vitu vingi sana wakiwa hapo huku beko akiwa na plan zake kichwani za kuja kukomboa kijiji chao ila tausi aliishia kumcheka tuu kwa kuwa alijua ugumu wa kumtoa bepari timothy kwenye kijiji hicho kwa kuwa alishakita mizizi na kuwa na rohooo ya kikatili kwa yoyote atakaye taka zuia ndoto zake ila beko akamuuliza tausi anakumbuka jinsi gani alivyomwangaisha kipindi kile mpaka akampata na sasa ni mkewe(hapo beko alikumbusha mbali sana kipindi anamfwatilia Tausi) baada ya kuongea hivyo tausi alicheka sana na kumtaka bwana ake atofautisha kati ya habari izo mbili na kumsihiii asije jaribu kufanya lolote kwa kuwa anampenda sana na anataka aone akiendelea kuishi japokuwa kwa mateso ila aliamini ipo siku yataishaaa baada ya kuambiwa ivyo beko akamuuliza mkewe anataka kuwa watoto wangapi tausi aliishia kucheka tuuu na kubadili tory wakaanza jadili kama waweza jinasua kwenye makucha ya bepari timothy beko akawa yupo upande wa kumng'oa kabisa bepari timothy ila Tausi akawa upande wa kusema aitowezeka kwa saivi labda kwa mda mrefuu kwa kuwa wanaitaji zana za kivita za kisasa na sio walizo nazo kwa kuwa wazunguu walikuwa na bunduki ilikuwa ngumu kuwatoa kiraisi ila Beko alikomaaa na kusema atawatoa tuuuu kama niliweza kukushawishi wewe kuwa na mimi aiwezi shindikana kuwatoa haoo kufikia hapo Tausi alicheka sana kwa kupewe sifa na mumeweee na kujiona kuwa alikuwaaaa mgumu kumbee ...
No 9: Baada ya maneno mawilimatatu na beko tausi alikumbuka mbali sana kipindi hicho akiwa
kigoli alikuwa anasumbuliwa na vijana wengi sana hiyo yote ni tokana na urembo wake na
kuanzia rangi ya ngozi yake iliyomkubali c mchezo ukifwatia na mwili wake uliokuwa na
figure yake namba 8 ilikuwa kwa kila mtu akimuona lazima avutiwe naye ila alimpenda sana
beko kwa kuwa walikuwa kijiji kimoja alikuwa akimuona kila mda ila alishindwa mwambia
chochote sasa mtego alio uweka ni kwenda dukani kwake kila amuonapo akiwa kwa shop na
kweli mbinu yake ilisaidia mpaka kumnasa beko ila kuna wakati alijiuliza atamsumbua mpaka
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment