Chombezo : Penzi La Binti Nguva (2)
Sehemu Ya Tano (5)
kama ulivyo kuwa unanipenda James, elewa kuwa mimi ni tofauti na binadamu wenzako,
sitokusaliti wala kukutendea mabaya, naomba uniamini James mwenzio nimesha kupenda" aliongea
Fadhira kwa hisia kari sana, kiasi cha kumfanya James aguswe na maneno yale, James akashusha
pumzi kwanguvu, akamtazama Fadhira, "kiukweli namimi nakupenda sana Fadhira, najuwa huto
nidhuru, maana kama kunidhuru ungenidhuru toka jana usiku, lakini tatizo tuta ishije na vipi
endapo wenzangu watakujuwa wewe kuwa ni nguva na siyo binadamu?" hapo Fadhira akatabasamu
nakumsogelea James, huku mkia wake ukiwa bado ndani ya maji, akajilaza juu ya kifua cha James,
na akisababisha matiti yake manono ya guse kwenye kifua cha James, alafu akamshika shingoni James, kisha Fadhira akasogeza midomo yake kwenye midomo ya James ambae bado alikuwa na wasiwasi juu ya kiumbe huyu anae mfahamu kama Fadhira binti muuza ndizi, japokuwa alishaanza kuondokewa na uoga, ni kwasababu tu alisha mpenda sana mwenamke huyu, hapo wakaanza kunyonyana mate, walitumia mda mwingi sana, wakipeana buru dani ya mate,
walifanya hivyo huku wakifanyiana michezo mingine ya kimahaba, kisha wakaachiana "juu ya
kutuza siri wala husiwena wasiwasi mpenzi wangu," alisema Fadhira akimwakikishia James,
"lakini huja niambia utafanyaje" aliuliza James, huku wakiendelea kucheza kwa furaha, "ebu
niambie kwanza James nikweli una nipenda?" aliuliza Fadhira akiwa bado ndani ya mji, na umbo
lake la nusu samaki, "nakupenda sana Fadhira tena naomba nikuoe kabisa uwe mke wangu" alijibu
James kwa sauti iliyo jaa upendo mkubwa, sababu aliamini kuwa kweli Fadhira ame mchagua yeye
kuwa mpenzi wake na kutokana na jinsi alivyo, yani samaki mtu, lazima atakuwa anampenda kweli,
kwani siyo lahisi wa kiumbe kingine kupeana mapenzi na kiumbe kingine, "sawa kama unanipenda
mimi nakuambia bina damu awata fahamu kitu, kwasababu tunaenda kuhisi ndani ya maji, aliongea
Fadhira akiwa anamshika mkono James nakumvutia ndani ya maji... itaendelea naomba wadau
mfahamu kuwa story za picha ni fupi ndio maana zina kuwa na eps fupi fupi, kwahiyo endelea
kupata story kama hilivyo kikubwa nitajitahidi hisikose kila siku, HAPA HAPA KWA MAKALI WAKO
sababu aliamini kuwa kweli Fadhira ame mchagua yeye kuwa mpenzi wake na kutokana na jinsi alivyo, yani samaki mtu, lazima
atakuwa anampenda kweli, kwani siyo lahisi wa kiumbe kingine kupeana mapenzi na kiumbe kingine, "sawa kama unanipenda mimi
nakuambia bina damu awata fahamu kitu, kwasababu tunaenda kuhisi ndani ya maji, aliongea Fadhira akiwa anamshika mkono James
nakumvutia ndani ya maji, lakini James akawa mgumu kuingia ndani ya maji, "sito weza Fadhira, kwanza mimi sina uwezo wa
kukaa ndani ya maji zaidi ya dakika tano, nitawezaje kuishi huko?" alijitete James akijizuwia kuingia kwenye maji, "ilo
husiwe na wasi wasi sema lingine" aliongea Fadhira akimtoa wasiwasi James ambae alikuwa amesha kolea kwenye penzi lake,na
alikuwa na uwezo wa kumsaidia James kupumua ndani ya maji bila tatizo lolote, "pili mimi nina mtoto anaitwa Rehema siwezi
kumwaacha na kwenda kuishi mbali, atahii sikumoja nime kaanae mbali kwa sababu ya upendo wako tu! vinginevyo nisinge weza,"
aliongea James aliongea James ambae sura yake ilianza tena kurudi katika hali ya unyonge, "kwani mwanamke ulie zaanae yupo
wapi?" aliuliza Fadhira akimtazama James alie onyesha kunyongea sana, "mke wangu alinitoroka wakati mwanangu Rehema akiwa
mdogo sana, baada ya kurubuniwa na watu kutoka mjini, waliokuja kununua mazao, ilikuwa ghafla sana nilipo rudi toka kwenye
mizunguko yangu ya kutafuta fedha, ndipo nilipo mkuta Rehema amelazwa kitandani na mama yake amebeba kila kitu chake na
kuondoka zake," aliongea James kwa uchungu sana "sasa nilipo kuona wewe nika juwa nimesha pata mke nitakae ishi nae"
kiukweli story ya James ilimgusa sana Fadhira, "kwahiyo huyo mama Rehema kwa sasa yupo wapi?" aliuliza Fadhira akimtazama
James kwa umakini sana, "bado yupo mjini anaangaika, kumbe yule kijana alie mtorosha alikuwa ni tapeli tu! baada ya kukaa
nae kwa muda wa miezi michache, akamtelekeza na kupotea moja kwa moja, ndipo mama Rehema akaamua kutafuta kazi yakumsaidia
katika maisha yake ndipo akabahatika kupata kazi katika bar moja kubwa ya Nyumbani lodge, japo alijaribu kuni tumia salamu
za kutaka turudiane lakini mimi sipo tayari, maana anaweza kuja kuni fanyia makubwa zaidi" alieleza James kwa simanzi kubwa,
hapo Fadhira akavuta pumzi kubwa sana na kuishusha, "tuta fanyaje sasa na mimi nina taka uende ukaishi na mimi maana jamii
yetu aita nielewa wakisikia nina mwanamume huku nchi kavu?" aliongea Fadhira akionyesha uzuni kuanza kumtawala usoni kwake,
"kwani uwezi kuongea nao au kutunza siri, maana mimi pia nimesha kupenda, twende ukaungane na mwanangu, ebu ona" aliongea
James huku akijipapasa mfukoni, kisha akatoa kipande cha picha kilicho mwonyesha yeye na mwanae wakike Rehema, haya wadau
unazani James ata mshawishi Fadhira kwenda nae kijijini? ebu tuungane na msimulizi wako Mbogo Edgar katika sehemu ijayo,
pia poleni kwa usumbufu maana iimechelewa sana kutoka, kwa sababu nilizo shindwa
jamii yetu aita nielewa wakisikia nina mwanamume huku nchi kavu?" aliongea Fadhira akionyesha uzuni kuanza kumtawala usoni kwake, "kwani uwezi kuongea nao au kutunza siri, maana mimi pia nimesha kupenda, twende ukaungane na mwanangu, ebu ona" aliongea James huku akijipapasa mfukoni, kisha akatoa kipande cha picha kilicho mwonyesha yeye na mwanae wakike Rehema, fadhira alijisogeza kwa Jamees ambae muda wote alionekana kuwa mwenye kukata tamaa ya kuwa na Fadhira, Fadhira akaitazama picha iliyo mwonyesha mpenzi wake James akiwa na mwanae mrembo sana, Rehema ambao walione kana wakiwa wametabasamu, "mtoto mzuri" alisema Fadhira akiitazama picha mokononi mwa James, "unaonaje ukiwa amama yake, tafadhari fadhira nakuomba ukubari kuwa na mimi kule kijijini, maana sito weza kwenda ndani ya maji na kumtelekeza mwanangu" aliongea Jamesi akionyesha msisitizo mkubwa, hapo Fadhira akainamisha kichwa chini, akionekana kuwa na uzuni kubwa, "nita waambia nini nyumbani" alisema Fadhira kwa sauti yenye simanzi, "kwani uliwaambia nini mwanzo?" aliuiliza James, kumbe jana baada ya wenzake kumwona Fadhira akiwa na James mjukuu wa mzee Komba, wakifanyiana michezo ya kimahaba, na yeye Fadhira kuwa fukuza wenzake, Fadhira aliporudi na kuwapeleka wakina Kizito wakafanywe supu, ndipo wenzake walipomuuliza juu ya yule Rafiki yake, binadamu wa kiume, akawaambia ni mpenzi wake na kesho yake ataenda kumchukuwa waende wote kule ndani yamaji, na kwamba wataishi pamoja, wenzake wakamsifia sana kwa kuwa na mpenzi mzuri sana, wakimwambia kuwa wana msubiri kwahamu, huku yeye Fadhira akisisitiza kuwa wasije wakajaribu kumdhuru mpenzi wake huyo, ukiachilia rafikizake pia Fadhira alisha wajulsha baba na mama yake na nduguzake wote juu ya kupata mpezi binadamu, japo mwanzo wazazi wake na baadhi ya watu walimwonya sana Fadhira juu ya binadamu kuwa awatabiriki, wanaweza kumfanyia kitu kibaya lakakini Fadhira akawaeleza kuwa James ni kijana tofauti sana na wengine, huvyo aitokuwa lahisi kumtendea jambo baya katika mausiano yao, na jambo zuri kabisa Fadhira aliwaambia kuwa ataenda kumchukuwa waje wahishi pamoja chini ya maji, "sasa nita waambia nini?" alisema fadhira akiwa mwenye uzuni kubwa sana, "tunge eenda wote Fadhira, lakini mwanangu nita mwacha nanani, pia siwezi kuwa mbari na Rehema, sababu mimi ndie pekee ninae kaa nae" alisema Jamesi ambae na yeye alikuwa amenyongea sana, usinge zani kama jana alikuwa mwenye furaha ya kupitiliza, "najuwa James lakini mimi na kupenda sana, na nina kuitaji sana, isitosehe nyumbani wana kungoja" alisema Fadhira ambae sasa alikuwa ame siama karibu kabisa ya James, "Fadhira nakuomba kawaelezee hali alisi, juu ya mimi na mwanangu nazani watakuelewa tu! "hapo Fadhira akujibu kitu, alikaa kimya huku akirudi nyuma na kuzidi kuzama kwenye maji, "tuta onana James, aliongea Fadhira kwa sauti ya kinyonge kweli kweli, kisha akajirusha kwenye maji, Je Jamesi na Fadhira ndiyo wamesha shindwana, au kunakitu kitaendelea kati yao? ... ita edelea Jioni ya leo, hivyo usikose kuungana na msimulizi wako Mbogo Edgar kwenye simulizi nyingine katika
"najuwa James lakini mimi na kupenda sana, na nina kuitaji sana, isitosehe nyumbani wana kungoja" alisema Fadhira ambae sasa alikuwa ame siama karibu kabisa ya James, "Fadhira nakuomba kawaelezee hali alisi, juu ya mimi na mwanangu nazani watakuelewa tu! "hapo Fadhira akujibu kitu, alikaa kimya huku akirudi nyuma na kuzidi kuzama kwenye maji, "tuta onana James, aliongea Fadhira kwa sauti ya kinyonge kweli kweli, kisha akajirusha kwenye maji, huku James akiwa amebaki pale alipo kaa, huku akimtazama jinsi Fadhira alivyo potea na kuonekana mkia ukimalizikia kwenye maji, hapo James akiwa na matumaini ya kumwona tena Fadhira alikaa sana pale pembeni ya mto,lakiniakumwona fadhira wala dalili ya fadhira, hapo akajuwa kuwa kweli ime shindkana, akajinyanyua na kuanza kukusanya kila kilicho chake, akafungua ilenguo ya Fadhira kichwani kwake, akaiweka kkaribu na nguo nyiingine za Fadhira zilizopo pale juu, na ungo wake wandizi, "siyo bahati yangu" alijisemea James mjukuu wa mzee Komba huku akinyanyua begi lake lilio jaa vyema, kisha akaliweka mgongoni na viatu vyake mkononi, safari ya kurudi nyumbani ikaanza, kutokana na kutembea mwendo wa taratibu uliosababishwa na mawazo mengi sana, James alitumia saa limoja mpaka kufika kijiji, na atimae nyumbani kwake, alimkuta mwanae Rehema akiwa mnyonge sana, maana alimkosa baba yake toka jana, "baba ulikuwa wapi mpaka mimi na kaa peke yangu?" aliuliza Rehema kabla ajagundua kuwa, baba yake alikuwa mwenye uzuni kubwa sana "baba kuna nini kime kupata, sijawai kukuona ukiwa na uzuni kubwa kama hivi?" Rehema alimwuliza baba yakehuku akimsonga songa na kumpokea viatu, "ata nikikusimulia autaelewa lolote" alisema James au baba Rehema, "kwanini sito elewa, mbona ulinisimulia mama alipoondika nikiwa bado mtoto, na nikaelewa niambie baba na mimi najisikia vibaya ukiwa hivyo" alisisitiza Rehema akiwa anamsonga songa baba yake,"sawa nitakusimulia, niandalie kwanza kifungua kinywa, alfu nita kisimulia kila kitu" aliongea James komba akimwondoa mwae kiujanja, maana ata akuwa na hamu ya kula, Rehema ambae alijifundisha kuandaa vyakula mbali mbali toea akiwa na miaka mitano, kutokana na kuishi yeye na baba yake tu, ambapo kuna kipindi alilazimika kujiandalia chakula mwenyewe kutokana na kuwa pekeyake nyumbani, aliandaa juyce nzuri ya matunda ya asili, pia akaandaa mkate wa mboga mboga na asari, bila kusaau kumkangia baba yake mayai ya kwale, pia akaandaa na matunda likwemo parachichi, aliyafanya hayo akiwa anahamu ya kusikia kilicho mpata baba yake, ambae mda wote alikuwa amekaa kwenyekiti ameinamia meza, "baba chakula tayari" Rehema alimstua baba yake, "sawa wewe ndenda nje,nikimaliza kula nita kusimulia, aliongea James kwa sauti iliyo jaa uzuni na unyonge, na kufuikwa na simanzi hisiyo elezeka kiasi cha kumfanya mwaae Rehema kukosa amani moyoni mwake, basi Rehema akaelekea nje na kumwacha baba yake ndani, ***** huku nako kwa Fadhira mambo yalikuwa kam kwa James, lakini yeye ilizidi maana alipofika tu akakutana na wenzie walio kuwa na shahuku ya kumwona mpenzi wake binadamu, "mbona ume kuja peke yako? aliuliza mmoja kati ya Rafiki zake, Fadhira akuwa na jibu akaanza kuangua kilio, na kuwa shangaza wenzake.. haya wadau kwaleo tuishie hapa, wakati mkasa huu unaelekea mwisho jiandae kuusoma kasa wa
huku nako kwa Fadhira mambo yalikuwa kam kwa James, lakini yeye ilizidi maana alipofika tu akakutana na wenzie walio kuwa na
shahuku ya kumwona mpenzi wake binadamu, "mbona ume kuja peke yako? aliuliza mmoja kati ya Rafiki zake, Fadhira akuwa na
jibu akaanza kuangua kilio, na kuwa shangaza wenzake, "Fadhira kuna nini kimetokea?, yule binadamu ame kuchukiza?" aliuliza
mmoja wa rafiki zake Fadhira, kati ya watau walio mzunguka, ni wale walio kujaa jana usiku, wakati yupo na James kule nchi
kavu, "nina bahati mbaya, James atoweza kuja huku kuhishi na mimi" aisema Fadhira akiendela kulia, "kwanini tena? au ana mke
huko kwao" aliuliza rafiki yake mwingine, "hapana, tatizo siyo hilo James aishi na mke, tatizo nikwamba, anaishi na mwanae
Rehema, na awezi kumwacha peke yake siku zote, hivyo atoweza kuja huku" alisema Fadhira, na Rafiki zake wakatazamana, kisha
mmoja akauliza "kwani yeye anasema, anakupenda pia" hapo Fadhira akaitikia kwa kichwa, "mh! lakini awezi kuja sababu ya
mtoto wake?" aliuliza Rafiki yake mwingine, na fadhira akaitikia kwa kichwa, "kweli hilo ni tatizo, nata huki sema uishi nae
kwa siri huko kijijini kwao, lazima waganga na watabiri watang'amua, sasa tuta fanyaje kumsaidia rafiki yetu?" aliuliza moja
kati ya wale nguva watatu wakike, ambao walikuwa wakijitaidi kumtuliza Fadhira ambae wana mtambua kwa umaridadi wake asa
akiwa kwenye mapigano, laini leo alikuwa mbele yao akililia penzi la kijana wa kibinadamu, "nyamaza Fadhira, kulia akuta
kusaidia kitu, pengine muda ulio tumia kulia tunge utumia kutafakari la kufanya" alisema mmoja wao, lakini ilikuwa kazi
ngumu sana kumtuliza Fadhira, ambae aliamini kuwa akuna kitu kinachoweza kumliza zaidi ya siku atakayo sikia wazazi wake
wame fariki, "inauma nina mpenda sana James"alisema Fadhira kwa sauti iliyoambatana na kilio, "ok! sawa wewe bai hapa na
Johari, wacha sisi tuka angalie chakufanya" alisema Nguva mmoja kisha wili wakaondoka, wakimwachaFadhira na Nguva mmoja
anaye itwa Johari, akimliwaza Fadhira, ata Fadhira mwenywe akujuwa mwale rafikizake wawili walipo elekea, na kitu
walichoenda kukifanya, kikweli ilikuwa vigumu sana kwake kuishi na James kule nchi kavu, labda kwa urafiki wa kawaida maana
licha ya nguva wote kupeana uhuru wa mausiano, lakini waliwekewa sheria ambazo zili walinda wao nakuwasaidia wasije kuvuka
mipaka ya uhuru huo na mwishoe kupatwa na matatizo, maana waliamoni kuwa akuna kiumbe korofi na chenye matatizo kama
binadamu, hivyo basi katika sheria moja wpo waliambiwa kuwa endap uka pata mpenzi ambae ni binadamu, yule bina damu atpewa
uwezo wa kuishi ndani ya maji, kwakutumia waganga wao ambao wana uwezo mkubwa sana wakufanya hivyo, ila yule bina damu
ataluhusiwa kwenda kwao kusalimia na kurudi ndani ya maji, lakini atapewa shallti la kutunza siri ya kule ndani ya maji, na
endapo atapatikana mtoto, basi huyo mtoto atatakikwa aishi ndani ya maji, ilikutunza siri zao wao nguva, sasa kutokana na
sababu alizo zitaja James, za kuto kutoweza kuishi ndani ya maji, **** huku nako kijijini, binti Rehema James komba alicheza
sana pale nje, mpaka alipo hisi kuwa baba yake amsha maliza kula, akaingia ndani ilikwenda kumsikiliza baba yake kilicho
mpata, mpaka amerudi asubuhi uso wake umepondeka kwauzuni, lakini aikuwa kamalivyo tegemea maana alimkuta baba yake akiwa
ame jiinamia kwenyemeza huku chakula bado kipo mezani, zaidi kipande cha kate ulio megwa kidogo, "baba mmbona ujala kabisa"
aliuliza Rehema akimtikisa baba yake ambae alikaa kimya pasipo kumjibu mwanae, wala kuinua uso wake, hapo Rehema akajuwa
kuwa pengine baba yake amechoka sana hivyo amwache kidogo apumzike, Rehema akatoka tena nje, akimwacha James bado ame
jiinamia, James alishindwa kuongea akiofia kuonekana kwa macho yake, ambayo yali tawaliwa na machozi, huku nje Rehema akiwa
amekaa peke yake akitafakari juu ya unyonge wa baba yake, mala akahisi kuna mtu amesimama mbele yake, "ujambo Rehema "
ilikuwa sauti tulivu y+a yaupole ya kike, hapo Rehema akainua uso na kumtazama msalimiaji, naam hapo Rehema...usikose sehemu
hapo Rehema akajuwa kuwa pengine baba yake amechoka sana hivyo amwache kidogo apumzike, Rehema akatoka tena nje, akimwacha
James bado ame jiinamia, James alishindwa kuongea akiofia kuonekana kwa macho yake, ambayo yali tawaliwa na machozi, huku
nje Rehema akiwa amekaa peke yake akitafakari juu ya unyonge wa baba yake, mala akahisi kuna mtu amesimama mbele yake,
"ujambo Rehema " ilikuwa sauti tulivu ya yaupole ya kike, hapo Rehema akainua uso na kumtazama msalimiaji, naam hapo Rehema
alishuhudia sura ya dada mmoja mtata sana ambae alishawai kumwona siku moja akiwa na baba yake, kule sokoni akiwa na ungo
wake wa ndizi kama alivyo leo, "sijambo shikamoo" aliitikia Rehema, huku akijaribu kuunda tabasamu usoni kwake, lakini
likagoma, "vipi Rehema mbona kama uso wako umesawajika kwa uzuni isiyo kifani" dada muuza ndizialimwuliza Rehema ambae
aliinamisha kichwa kwa uzuni, kisha akaongea kwa sauti ya upole iliyojaa uzuni "baba yangu amerudi akiwa mnyonge sana, ataki
ata kula, na mtu asipo kula anakufa, hivyo na yeye atakufa" alimaliza kuongea Rehema huku sauti yake ikionyesha dalili za
kuanza kulia, "hapana rehema hsiwe na wasi wasi, nitaenda kumwambia ale chakula," alisema dada muuza ndizi na huku
akitabasamu, "kwani baba yangu anakufahamu?" aliuliza rehema kiudadisi wakitoto, "namfahamu, atawewe na kufahamu" alisema
dada muuza ndizi, akionyesha tabasamu muda "twende basi, yupo ndani" alisema Rehema akimshika mkono dada muuza ndizi,
"hapana nenda kamwambie kuna mgeni anataka kukusalimia, alafu akikuruhusu uje uniambie"aliongea dada muuza ndizi na Rehema
akakimbilia ndani, "baba baba kunamgeni yupo nje anataka kukusalimia" alisea Rehema akimtikisa baba yake pale mezani,
"rehema mwanangu, nitakusimulia naombaniache kwanza ni pumzike," aliongea James komba kwa sauti iliyo jaa unyonge na uzuni
kubwa sana, "baba kuna mgeni, yupo nje anataka akusalimie" alisema tena Rehema baada yakuona kuwa baba yake ajamwelewa
alipoongea mwanzo, "mwambie aje baadae" alisema James huku akiwa bado amejiinamia kwenye meza, nakumfanya Rehema apoteze
Furaha yake iliyoanza kuja upya, James akaliona swala hilo, "haya mkaribishe huyo
"rehema mwanangu, nitakusimulia naombaniache kwanza ni pumzike," aliongea James komba kwa
sauti iliyo jaa unyonge na uzuni kubwa sana, "baba kuna mgeni, yupo nje anataka akusalimie"
alisema tena Rehema baada yakuona kuwa baba yake ajamwelewa alipoongea mwanzo, "mwambie aje
baadae" alisema James huku akiwa bado amejiinamia kwenye meza, nakumfanya Rehema apoteze
Furaha yake iliyoanza kuja upya, James akaliona swala hilo, "haya mkaribishe huyo mgeni,
alisema James kwa sauti iliyoonyesha kuwa hakutka bughuza tena toka kwa mwan Rehema, hapo
REHEMA akafunguwa mlango na kusema kwa sauti ya uchangamfu "karibu shangazi" sauti ya Rehema
liyo changa mka kwa furaha ili mfanya James ainue uso wake na kumtazama huyo shangazi wa
Rehema alie karibiswha, naam James alishikwa na mshangao mkubwa wafauraha na kujikuta
akisimam, huku akimshangaa Fadhira, ambae kwa sasa alisha mjuwa kuwa ni kiumbe wa aina gani,
akiwa aamini macho yake, "karibu sana Fadhira" alisema Jamesi, na fadhira akaitikia huku
tabasamu likiwa limetawala usoni kwake, "asante sana mume wangu, nimesha karibia" alisema huku
akishusha ungo wake wa ndizi na kuuweka mezani, wakiwa bado wame simama fwadhira akamsimulia
James, jinsi rafiki zake waliyo weza kumsaidia, kumwombea kwa wazazi wake na wakuu wa jamii
yake kuwa aruhusiwe kwenda kuhishi kwa James, na akafanikiwa kupata ruksa hiyo, pia alimweleza
kuwa kitu kingine kilicho mfutia sana kuishi na yeye, ni sababu ya mwanae Rehema, sababu
alitokea kumpenda sana tena alionekan akufanana nae kama vileni mwanae wakumzaa, "nimekuja
mpenzi wangu, sikuweza kuishi bila wewe," alisema Fadhira huku akimkumbatia James, "baba
inamaana shangazi tutakaanae hapa hapa" itaendelea saa tatu usiku....HAPA HAP KWA
aliuliza rehema akionyesha tabasamu la furaha, na kuwa gutusha wakina James ambao walikuwa bado wame kumbatiana, "ndyo mwanangu sasa utamwita mama, sawa mwanangu" alisema James huku wakiachiaana na Fadhira, "ndiyo baba sasa namimi nitakuwa na mama yangu" alisema Rehema kwa shangwe za hali ya juu huku akimkimbilia Fadhira na kumkumbatia, "asante mwanangu kwa kunipokea" alisema Fadhira huku na yeye akimkumbatia Rehema, kiukweli walifanana ungesema ni mtu na mama yake, kiukweli kabisa, "hivi fadhira wale jmaa walio tuvamia usiku waliishia wapi?" aliuliza James na kusababisha Fadhira astuke sana, maana kiukweli watu wale walisha fanywa msosi zamani, Fadhira alijuwa akijibu na kueleza ukweli hakuna mtu ambae angekaa na yeye pale pengine wote wange toka nduki na kupiga kelele, "haaaa! walikimbia nilipoanza kupiga kelele," alidanganya Fadhira na James akalizikia na maelezo hayo, basi maisha mapya yakaanza, Fadhira na James walihishi vizuri kama mke na mume huku wakimrea mtoto wao Rehema kwa upendo na amanni kubwa sana, ila kitu ambacho kili mchanganya James ni kuto kuo9nekana kwa wakina Kizito na wenzake maana zilianza story nyingi sana, wengine walisema kuwa wamepotelea mtoni, kwamba wameliwa na samaki watu wanaoishi humo, wengine wakidai wame potela porini baada ya kutaka klibaka jini, japo habari hizo zili mchanganya sana james lakini yeye mwishoe alizi puuzia, huku yeye mwanae Rehema na mke wake fadhira waliendelea kuishi vizuri na kwa upendo wa hali ya juu, huku siku moja moja James na Fadhiraa wakitembelea kando ya mto kuwa salimia ndugu zake Fadhira ikiwa pamoja na fadhira kwenda nandani ya maji kuwaona rafiki zake, kuna wakati ambapo waliitaji kumtuma mbali Rehema iliwaweze kufaidi kupeana utamu, maana mudawote Rehema alipenda kuwa karibu na mama yake mpya ambae alimwonyesha upendo mkubwa sana, mpaka hapo tumefikia mwisho wa story hii ya BINTI NGUVA, iliyo wajia kwa hisani ya Piter Chevvy, poleni sana kwa usumbufu mlio upata kutokana na kuchelweshwa kwa story hii, pia asanteni kwa kuifwatilia mwanzo mpaka mwisho, endelea kufwatilia story tamu za
mwisho
0 comments:
Post a Comment