Search This Blog

Sunday, February 26, 2023

JIRANI TAM TAMUU - 4

   


Chombezo : Jirani Tam Tamuu 

Sehemu Ya: Nne (4)



Thread starter

#38

Sehemu ya 17

Kitasa kilicheza kuashilia mlango unafunguliwa ila mwili ulinisisimka nikahisi kuna kitu nikabadili mada fasta.

"Shomy angalia kwa hapo juu ipo."

Shomy naye alicheza kama pele fasta akajiongeza,

"jirani siyioni,"

"Kwenye msumali hapo haipo?."

"Siyioni jirani,"

mala sauti ikatoka nyuma yangu.

"niliipeleka chumbani Taulo,"

"sasa mbona huku niambia mpaka namsumbua jirani?"

"Nilipitiwa,"

Nilitoka eneo la bafuni nikaenda sebureni,

*mh!!! Kidogo nibambwe sababu zote zingehamia kwangu*

Baada ya dk5 shomy alitoka bafuni,

Alipofika sebuleni alinisota na kidole akanionesha ishara ya kuchapwa,

Baada ya dk10 sms iliingia kwenye simu yangu ilikuwa ikitoka kwa shomy.

*seif ungeshikwa ugoni leo,*

*ningeshikwa ugoni au tungeshikwa ugoni?.*

*sijui ingekuwaje ungeombwa talaka leo,*

*hana jeuri hiyo,*

*haya usiku mwema seif,*

*na wewe pia,*

*ila kesho usiniache nataka rifti,*

*sawa,*

*haya usiku mwema,*

******** ***

Na mimi niliingia chimbani nikaenda kulala zahara alikiwa jikoni akikangaa mayai na kuandaa mkate,

Nilipofika kitandani nilipitiwa na usingizi nikawa nimelala mida saa nne usiku zahara alinifuata kitandani.

"Mme karibu tukale,"

Nilimnyamanzia akarudia tena.

"Mme wangu karibu chakula,"

"Mimi nasikia usingizi bana niache nilale,"

Alikuwa mpole akarudi kukaa sebureni hata kula alishindwa akarudi kulala,

Palikucha siku hiyo aliamka mapema kuliko siku zote.

Alijianda fasta kisha akaniaga.

"Mimi nakwenda,"

"Sawa, unaenda na usafiri gani?."

"Napanda bajaji hapo nje,"

"Ndivyo ulivyoamuwa?"

"Hapana nawahi,"

"Sawa nenda,"

Aliondoka nilichukua simu nikamtumia sms shomy.

*vp umejiandaa?.*

*Ndio nataka kwenda kuoga,*

*mzee yuko wapi?.*

*kaondoka,*

*basi tukutane bafuni nikusugue,*

*dokta hayupo?.*

*kaondoka,,*

*mh!!!... leo sitaki kusuguliwa labda kesho,*

*kwanini*

*acha niwahi kuoga twende bana,*

Nilimpimia nikatoka chumbani kwangu nikasimama mlangoni na shomy wakati huo alikuwa akitoka chumbani kwake.

"Nikusalimie tena seif au salam ya kwenye sms inatosha,,"

"Njoo karibu yangu,"

Alinisogelea bila kupinga nikamkumbatia akalalia kifua changu nikampitishia mkono kiunoni kwake.

"Se....if "naam,...."

"Acha nikaoge,"

aliongea huku akijitoa kwenye mwili wangu na kwenda bafuni niliishia kuangalia maboga yanavyo tikisika siyo siri uchu wa mapenzi ulinishika nikakosa cha kufanya nikamfuata bafuni shomy.

"Shomy....,,"

"abeee....,,"

"Niko vibaya mw..e..nzi..y...o,,"

alijibu kwa sauti raini ya upole iliyojaa huruma.

"se.....iif sina cha kukusaidia kwa sasa.....,, "kwa...ni...ni.."

"Se.....if ja..na umeniletea nini?..."

"Basiii fungua mlango.."

"Se...if jamani....,,"

"Nihurumie shomy..,,"

"Seif na..kuhurumia ilaaa.....,,,"

"Ilaaa...ni...ni..shomy?.."

"Se...if,, "

"naaam shomy,,"

Nilisikia kwikwi ya kulia kwake.

"Shomy mbona unaliyaaa?.."

"Se...if nakupenda lakini??..."

"Lakini nini shomy?.."

"Nimechelewa... na wewe umechelewa.."

"Kivipi??... "

"Una mke seif na mimi nina mme japo kila mmoja anaonesha hana furaha na ndoa yake,"

"Unajua shomy kuna kukosea kuoa na kukosea kuolewa,,"

"Hayo ndio yaliyonikuta mimi seif,,"

"Shomy mimi sikuwa na nia ya kumuowa Dokta nilipeleka posa kwao ili nimuowe ndugu yake anayeitwa Nasra ila nikajikuta nabadilishiwa mke napewa zahara nilitaka kumkata ila alilia sana nikamuonea huruma nikamuowa lakini leo najutia kumhulumia kwa haya anayonifanyia amekuwa sio msikivu amekuwa yeye na simu tu,"

"Pole sana seif, mimi niliwahi kupendana na kijana mmoja hivi wakati nasoma siyo siri alinipenda sana na ndiye mwanaume aliyenitoa bikira na yeye siku hiyo ndio ilikuwa mala ya kwanza kukutana na msichana tulifurahia siku hiyo nilimpenda sana huyo kijana japo alikuwa ni kijana wa mtaani na kwetu tulikuwa matajiri nilimpa nilichokuwa nacho ili aonekane vizuri mama yangu alimpenda sana huyo kijana.

"Rita Ritaaaaaaa."

Nilimkumbuka ndie aliyekuwa chaguo langu toka nasoma kwa msaada wa tuleane mwanza, nilipomuita jina lake alilokuwa anatumia kipindi cha utoto wake alishituka na mimi akaniita jina langu la zamani.

"Jarudiii jarudiiiii...."

Shomy alifungua mlango wa bafu tukakumbatiana kwa furaha kwani ni miaka mingi sana tangu tulipoachana,,

Tukiwa tumekumbatiana gafla sauti ya mlango kufunguliwa ulisikika .

Itaendeleaaa.....



Endelea....

Hadithi hii imecheleweshwa na like hivyo msinilaumu.

Endelea kusoma....

Sauti ya mlango kufunguliwa ilisikika tukashituka.

"Kuna mtu sebureni."

"Ndio, nimesikia mlango unafunguliwa."

"Ngoja nakuja naenda kumuangalia ni nani?."

Nilitoka bafuni nikaenda sebureni kuangalia ni nani huyo aliyekuja

Nilipofika sebureni sikukuta mtu yoyote niliingia chumbani kwangu nikashangaa kumkuta mke wangu.

"Vp mbona umerudi?."

"Nilisahau hizi karatasi,"

"Ok."

"Mbona bado uko nyumbani leo huendi kazini?."

"Nitaenda,"

"saa ngapi?."

Nilimjjibu vibaya bila kutarajia.

"Hayo ya saa nayajua mimi ya kazini kwangu hayakuhusu,"

"sawa nisamehe kama nimekosea kukuuliza,"

Alichukua karatasi zake akatoka chumbani akaenda zake,

Nilichofanya nilienda kuchungulia dirishani kuhakiki kama kaenda kweli,,

Nilishangaa sana kuona mke wangu kumbe aliretwa na juma.

*shit hivu huyu juma ananiona mimi fara hata kama sijui kusoma hata picha sioni?.*

Nilipotezea nikarudi bafuni.

"Vipi shomy bado hujamaliza kuoga?"

"Bado,"

"leo utachelewa kazini,"

"Na wewe je?"

"Mimi sina shida kwanza leo j'mos hakuna kazi nyingi,"

Shomy alifungua mlango wa bafu nikaingia nilimkuta uchi kama alivyo zaliwa.

"Shomy nakupenda nakumbuka enzi zileee za tuleane,"

"Hata mimi Seif,"

Tulikumbatiana tukaanza kulana mate taratibu nilipitisha mkono wangu mpaka kwenye sebene la mtoto wa kike nikaanza kulichezea kwa staili ya kuliminya minya kama puto.

"Shomy umekuwa umezidi kuwa mzuri sana,"

"Mh!!!.. hata wewe pia mpenzi wangu wa zilipendwa,"

"Shomy nakumbuka siku ileee nimekupeleka bakonzi tukacheze mziki wa avon chaka chaka,"

"Mh!!!, ilikuwa ni burudani sana siku hiyo nilihisi furaha sana mpaka narudi nyumbani mama alijuwa kuwa nina furaha,"

"hv mama yupo jamani? "

"ndio,"

Maongezi yaliendelea huku nikimchezea sehem mbali mbali za mwili wake nikafikia sehem ya chuchu nikashika chuchu nikaanza kuziminya minya kwa stairi ya kipekee sana,

Nilishika tule tunyonyo twambele nikawa natuminya na kutuvuta kwa mbele hapo mtoto wa kike alishindwa kujizuiya,"

"Seif aaaxiiii oooohuuuu mmh!!!."

"Tulia kidogo shomy,"

"Seiiif aa...x!!!!....,"

Nilipeleka ulimi mpaka kwenye chuchu ya kushoto nikaanza kuinyonya kwa ufundi mkubwa kama nanyonya ice cream na huku nikimungunya kama namngunya Big G.

"Se.....if weeeeee ohuuuuu."

Nilimchezea nikaona nini si niingize msumali hapa,

Nilimbinua kidogo nikamsogezea msumari kwenye k*m yake.

"Se....if niko kwenye siku zangu.."

Like yako ndio Inafanya Hadithi hii ipostiwe haraka.




Endeleaaa.......

"Se.....if niko kwenye siku zangu,"

"Mbona na mimi nimechemka?.."

"Seif nikusaidieje?"

"Basiii siku nyingine tutafanya shomy,,,..,,"

"Ila tujalibu maana nilitoa damu kidogo jana alafu ikakata mpaka leo haijatoka tena,"

Sikutaka kuongea mengi nilimshika kiuno nikamsogeza nikamuinamisha vizuri nikamuingizia msumari ndani ya utam wake nikaendelea na kumuwekea manjonjo ya kila aina ili kumnogesha mtoto wa kike,

Nilimchezea titi huku nikizidi kupampu mashine ndani ya utam wake.

"Seif taratibu mpenzi wangu taratibuuu uwiio...ayiiii,"

Nilimpa mambo matam niliyofunzwa na wakunga wa mtaani,

Raha ya tendo la ndoa ni lazima uwe mubunifu wa stairi za mapenzi siyo kila siku unampiga kifo cha mende mkeo au mke ukiwa kitandani unajiachia kwa kutenga kitumbia bila kukigeuza geuza shariti ya kitumbua kikiwa kwenye kikaango lazima kigeuzwe usipofanya hivyo lazima kiungue na kikiungua kitakosa radha,

Tuendelee na ya shomy...

Nilimpa kitu roho inapenda na yeye akanihudumia vizuri mpaka nikafurahi japo tulikuwa bafuni,

Kitu kilichonifurahisha ni uke wake mtam na mzuri uliotunzwa vizuri.

"Seif basi tutafanya siku nyingine."

"Nimependa sana ulivyo shomy,"

"Kivipi?."

"Uke wako ni mtamu ni mzuri na unavutia umenikumbusha enzi zile kwenye jumba bovu,"

"Seif unakumbu kumbu wewe,"

"Siwezi kusahau dhahabu iliyonipa utajiri,,"

"Seif siyo siri wewe ni mtamu kwangu sijui kwa wengine uliowahi kuwakuna,,

"Mh!!!.. hao achana nao,,"

"Seif namshangaa mkeo anavyojichanganya inamaana haoni dhamani yako?."

"Ukiishi na mwembe karibu huwezi kusikia utam wake kama anavyousikia mpita njia,"

"Seif hujaacha mambo yako tu?."

"Mambo gani?."

"Misamiati yako hiyo,,"

"Upi unaoukumbuka..,"

"Nakumbuka ule msamiati ulionitongozea,,"

"Upi?."

"Uliniambia eti eti.. najua choo cha tundu hakiwezi kuwa na dhamani mbele ya choo cha sinki,"

"Shomy unakumbukumbu kweli kweli,"

Tuliongea mengi na wakati huo tulikuwa bafuni tulitumia masaa matatu bafuni tukiongea tu bila hata kuoga.

"Se..if, "na..muu,"

"Tuoge tutoke bafuni,"

"Sawa."

Tulijimwagia maji baada ya hapo tukatoka bafuni tukakaa sebureni.

"Haa seif kumbe ni saa nne?"

"Ndio,"

"Leo kazini hakuendeki,"

"Tukale bata tuu au vp shomy?."

"Sawa, ngoja nikuwekee chai,"

"Usisumbuke kavae twende twende tukanywe chai hotelin,"

"Sawa,"

Kila mmoja alienda chumbani kwake akavaa baada ya hapo tukatoka na kwenda kwenye mgahawa tukanywa chai.

Baada ya kunywa chai tuliingia kwenye gari tukaanza kushaurina twende wapi.

"Seif twende kwa mama ukamsalimie,"

"Poa twende,"

Tulianza safari ya kwenda masaki kwao na shomy tukiwa mitaa ya mwenge nilimuona Nasra moyo ukalipuka pwaaa nijageuza shingo kuhakiki moyo ukadunda mala mbili zaidi, Nikawaza inamaana aliondoka Zanzibar kweli nilikumbuka siku nilipomkosa kwenye harusi nilikumbuka ukatili waliomfanyia kwao nikafunga breki.

ITAENDELEAA....



Endelea....

Nilimshuhudia kwa macho yangu Nasra sikuamini kwa hali niliyomuona nayo alikuwa amechakaa na ili onesha alikuwa ni mhudumu wa mgahawa (mama antilie)

Nilisogea mbele kidogo nikasimamisha gari kisha nikamwambia shomy,

"Nipe dk 5 nakuja shomy, "sawa usijari.


Nilitoka kwenye gari nikaenda maeneo niliyomuona Nasra ila sikufanikiwa kumuona tena,

Niliona bora nirudi kwenye gari nitarudi siku nyingine kumtafta,

"Pole kwakukuacha mpweke,

"Wala hakuna shida,

Tuliendelea na safari mpaka kwao na shomy nikakutana na mama yake shomy mwanzoni hakunijuwa kama ni mimi mpaka shomy alipomtambulisha,

"Mama huyu ni seif wewe ulikuwa unamjua kwa jina la jarudi,

"Ooh!!.. jarudi mwanangu hujambo?.

"Sijambo mama za miaka, "nzuri vipi za wapi uliko potelea?.

"Niko dar es salaam hii mama,,

"Umenenepa unamwonekano mzuri hongera sana mwangu,,

"Asante mama,

"Vipi umeisha owa?.

Nilipotaka kujibu shomy aliingilia kati,

"Bado hajaowa,

",kwanini hujaowa baba?

"Bado najipanga kimaisha mama yangu.

"Sawa honger sana,,

"Asante mama,,,

Tuliongea mengi sana kuhusu maisha ya nyuma,

"Kweli mmependeza jinsi mnavyoonekana wangu,,

"Asante mama,


*************


Midaa ya saa kumi tuliondoka kwa mama yake shomy tukiwa kwenye gari tulishauriana twende wapi,

"Shomy twende wapi?.

"Mh!!! Sijui..

"Au turudi nyumbani?.

"Yote sawa tu...

"Kwanini tusitafte sehemu tukapumzika shomy?.

"Mi nakusikiliza wewe tu..

"Twende Triple H, "sawa tu,,

"Mbona unaitika tu bila mpango?

"Sinakusiliza wewe jamani?.

"Haya twende,,


Tuliingia Triple H, tukachukua chumba kisha tukaingia kwa ajiri ya kupumzika,

Shomy alinishika mabegani na mimi nikamshika kiunoni,

"Seif nakupenda sana,,

"Hata mimi pia,,

Tuliongea kwa hisia za mapenzi nikampelekea mdomo tukaanza kudendeka hatimae tukajitupa kitandani,,

"Oh!!!... seif nakupenda sana,,

"Na mimi pia,,

Nilimvua chupi nikaanza kwa kupeleka ulimi kwenye uke wake nikaanza kuchezea kwa ulimi kile kidude chetu kilichokaa kama kiharage,

"Ax!!!! Weee seif ayiiii weee... se....if...ingi..za..

Nilitumia kama dk26 kukichezea mpaka shomy akajikuta ana mwaga maji kwenye shuka,

"Oooohhh!!!!!. Seif wangu...ayiii weeeka weekaa..

Alipomaliza kumwaga maji nilimsogeza vizuri nikanyanyua miguu yake nikayiweka mabegani kwangu mimi nikapiga magoti mbele yake kwa hiyo uke wa shomy nilikuwa nauona viziri sana hivyo nilichofanya nilingiza msumali kwenye tundu ile msumari unazama shomy akatoa kasauti..

"Ayiiii... se....if haoo hpooo,,,

Nilichezesha kitu ndani kwa ndani kwa kukata kiuno changu mpaka mtoto akabaki anahemea juu juu utazani anakata roho,,

"Se...if basiii inatoshaaa nahisi moto unawaka ndaniiii....

Nilimpepeta mpaka nikamaliza haja yangu,,

Baada ya kumaliza tulijitupa kila mmoja pembeni,,

"Seiiif hakika unanikata kiu kwakwelii...

"Hata wewe unanikata kiu yangu...

"Seiif saa ngapi?..

"Saa moja jioni inaelekea saa mbili,,

"Mh!! Twende basi seif..

"Sawa,,

Nilikuwa wa kwanza kutokaka nje shomy akabaki nyuma kwani tuliona tusitembee pamoja,,

Nilipokata kona nilikutana uso kwa uso.



Nilipokutanisha naye machoni alionekana kuchachawa utazani nimemfumania.


"Seif habari yako?."


"Nzuri vp wewe?."


"Namshukuru mungu,,"


"Sawa baadae,"


" sawa,"


Niliondoka ila nilichofanya nilirudi nyuma moja kwa moja mpaka kwa Sasha nikamshika mkono nikamwambia.


"Njoo pita hapa haraka."


"Mbona hivyo seif?"


"Mmeo yuko huko pita huku haraka."


"Mme wangu?"


"Ndio"


Nilimkimbiza fasta shomy nikampitishia njia ya dharula ya tukatoka nje.


"Nisubili hapa nilete gari."


"sawa."


Nilienda parking nikachukua gari nikampitia shomy tukaondoka.


"Seif niambie ukweli ulimuona mme wangu?"


"Ndio nilikutana nae pale kwenye korido."


"Alikuwa na nani?"


"Nilimuona peke yake."


"Lazima atakuwa alikuwa na mwanamke."


"Sijui."


"We unavyoona mtu anaweza kuja gest bila kuwa na mwenza wake?"


"Inawezekana labda mambo ya kazi."


"Kazi zipi yule ni dokta angekuwa mfanya biashara sawa."


"Tuyaache hayo ila nachoomba usiende kumwambia hayo maneno maana atajiuliza nimeyakwambia vipi, kingine mtu mzima nisije onekana kusutwa."


"Aka mimi sitomuuliza niliisha mzoeya yule."


"Kumzoeya vp?"


"Ni mtu wa wanawake najua mambo yake yote bila kukuficha toka unitoe bikira sikuwahi kufanya mapenzi na mwanaume yeyote."


"Huo uongo sasa."


"Kweli mimi na yule jamaa tumeoana sasa hv ni wiki tatu siku tunaowana nilikuwa naumwa nilikuwa natokwa na damu mfululizo mpaka nikaenda kufanyiwa vipimo nikapewa dawa nikaanza kutumia dawa nimemaliza juzi nikamwambia sasa hv nina nafuu hakuonesha kujari na nilipochunguza nilibaini ana wanawake watatu na amezaa nao, jana alitaka tufanye nikamwambia bado nikavaa zile always ulizo niletea"


"Mh!!.. pole ila mungu alikuwa amepanga hilo liwe tunda langu tu ndio maana nilishangaa uke wako wako unakuwa mdogo sana nikajiuliza hii bikira inatoka wapi wakato enzi hizo niiliisha itoa na una mme kumbe ndio hayo ndio yaliyokukuta?."


"Ndio,"


"Hongera maana nikisema pole nitakosea ningekuta tunda lina kina kirefu ningeumia."


"Mh!#?. Alafu wewe seif acha hizo."


"Kweli."


Tulifika maeneo ya nyumbani saa nne kasoro cha kwanza nilichunguza kama kuna gari ya juma sikuyiona nikaamuwa niingize gari ndani huku nikiwa na shomy kwenye gari.


Nilipaki shomy akashuka tuakaambatana kuingia ndani nilipogusa mlango nilisikia umefungwa nikatoa funguo nikafungua mlango tukaingia ndani tulipofika sebureni tukakumbatiana tukaanza kunyonyana ulimi,

Gafla mke wangu alitokea nyuma.


Itaendeleaaaa........

ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog