Search This Blog

Sunday, February 26, 2023

CHEATERS: THE SERIES - 3

   

Chombezo : Cheaters: The Series

Sehemu Ya: Tatu (3)



Wakati nashangaa whats happening, nikaona Diop ananisogelea, kanisogezea lips . Of course sikuzipokea. Bt akawa ananiwekea tu, nikikwepesha kulia anazifuata, kushoto hivohivo. Mpaka ikabidi anishike kichwa nisimove. Ndo kunigandamizia lips zake kwenye zangu sasa. Ule usoft wake ukanilainisha kidogo, nikazitanua lips zangu na kumpa mwanya akaanza kuzimung'unya. Yaani kama mlinzi alikua anaona kinachoendele naamini siku hiyo hakulinda hahaha.


Ingawa nlikua natoa ushirikiano nusunusu, sikuweza mzuia alipofungua mlango na kunikokotea sebuleni. Akiwa bado anainjoi lips zangu, akanikalisha kwenye sofa. Akaanza kupapasa paja zangu. Mikono yake ikaendelea kutalii mpaka juu kule paja zinapoishia. Alipogundua kuwa chupi nliyovaa ni ile ya vimikanda tu na eneo kubwa la tako liko wazi nikaona pumzi yake inabadilika.


Hakunipa nafasi ya kubadili mawazo. Ndani ya dkk chache ashafungua zipu ya gauni nlilovaa na kulishusha mpaka kiunoni. Alivyo mtata akanitoa kabisa na bra. Kifua chote wazi. Nkawa naona ona aibu pale, eti najifunika macho, hi hi hi. Aibu zangu hazikumzuia kucheza na kifua changu. Zile chuchu zilipata shida siku hiyo. Baada ya muda aibu zote kwishnei. Nkawa natamani anifanye saa ileile maana Huku chini nlikua nshaloa sana. Sikutaka kuendelea kuteseka, nikajilaza pale kwenye kochi nikajitenga mlalo wa kuliwa.


Jamaa hakuangaika hata kuvua nguo, alifungua zipu tu. Gauni langu akalipandisha likajikusanya juu ya kiuno. Utam wote wazi, kwa ajili yake, anifanye niridhike. Diop hakuchelewa, akamtoa babu juma, akanilalia kwa juu. nikamsaidia kubenjua chupi kidogo, akapata chance ya kupenya.


Baada ya karibu miaka miwili nikawa nimefanya mapenzi tena. Usiku ule Diop alilala kwangu. Na ndo ukawa mwanzo wa mapenzi yetu mubashara.


Baada ya miezi kadhaa kupita, si nikapita tena pale anapouzia vitabu Ras. Sjui hata kwa nn nliamua kupita. Cha ajabu sikumkuta. Nikawa najiuliza what happened to him maana vitabu vipo ila yy hayupo badala yake kuna binti ndo yupo pale. Nikatamani kufahamu kinachoendelea. Ndo maana Harmonize aliimba, “……. Wa kuku-unfollow nitakua mie…” hahahahah. Ila kiukweli sio kuwa nlikua namtaka Ras, ila nlitamani tu kujua what’s going on in his life. Sikupoteza muda. Nlipopata mahala nikapaki gari nikarudi mpaka pale kwa mguu.


“Karibu dada, kuna vitabu vizuri vya hadithi, biashara, dini na hata elimu, chagua", ilikua ni sauti ya huyu binti ambaye baadae nlikuja jua anaitwa Zahra. Nikawa najidai nachagua chagua pale, nikachukua kimoja nikaulizia bei. “5000/= tu dada yangu, na unajua kweli kuchagua vitu vizuri", nikajikuta natabasam. Zahra alikua mchangamfu balaa, alafu anasmile moja matata. Ni ndugu wa Ras au wa Marga? Nikawa najiuliza.


“nina hitaji pia vitabu kwa ajili ya kituo cha watoto, so nataka niwe nachukua hapa kwako ili kukupa support “ nikamueleza huku naona namna ambavyo anafurahia na kushangaa kwa wakati mmoja. “ni biashara yako?”, nikamuuliza. “hapana ya kaka yangu, hua anakuepo hapa mpaka saa nane alafu mm napokea mpaka jioni", akanipa maelezo ambayo walau yalinipa mwanga wa kuwa Ras bado yupo mjini hapa. “Mbona anakupa jukumu zito wakati bado unatakiwa uwe shule?” nikamuuliza maana kwa umri wake nlijua kabisa anapaswa awe sekondari. “nasoma asubuhi mpaka mchana, nikitoka shule ndo nakuja hapa ili na yeye aende chuo". Jibu hili likanipa ham zaidi ya kupata details. “chuo anasoma?” nikauliza, “yeah anachukua masters ya sheria UD".


Sikutaka kuendelea zaidi, bt nikajikuta nimenunua vitabu vitano pale then nikasepa. Kufika kwenye gati nikavitumia kweye buti, mimi sinaga hobbie kabisa ya kusoma vitabu, yaani labda inilazimu ila kwa hobbie tu sina biyo interest kabisa. Kusikia Ras karudi kusoma nlijikuta nampongeza kimoyomoyo, walau amefikiria la maana. Elimu ni kama ngazi, ukiipanda unapata fursa ya kuona mbali zaidi.


Ingawa Zahra aliniambia Ras ni kaka yake, sikuamini kama ni kweli maana ingawa sijawahi kutana na familia ya kina Ras lakini nawajua ndugu zake wote kupitia picha. Kwa kuwa maswali yalikua mengi, nikaazimia kurudi pale kesho yake. Na ndivyo nlivyojikuta namzoea Zahra. Marq kwa mara jioni nlikua napita pale tunapiga story. Na kupitia yeye nikajua Ras ashakimbiwa na Marga. Marga anaishi na Albert. Na life ya Ras kwa sasa kiujumla. Nikajikuta namhurumia Ras na maisha anayoishi sasa.


Nlijua Ras anastahili msaada, na nisingeweza kumpa hela Zahra ampelekee, msaada wangu ukawa kuhakikisha kila siku vitabu vitano au zaidi vinanunuliwa pale. Hata kama sio kupitia mm, sometimes nlituma watu wanunue ili tu isionekane nina agenda binafsi. Kingine nikamshauri Zahra waongeza varieties za bidhaa nyingine pale walipo, nikamwambia amshauri kaka yake aweke vitu vya kiras pale atapata wateja, na kweli baada ya mwezi nikaona kuna tshirts, kofia, culture, slippers yaani wakafuata ushauri.


Ingawa nikawa napata taarifa za Ras, ila penzi langu lilikua kwa Diop. Nikawa sasa niko radhi hata kuolewa na Diop. Biashara zake zilikua mno, alikua na pesa balaa. Nlikuaga naendesha Nissan Xtrail, ila Diop akaninunulia Prado VXL moja matata kinoma. Sikua na haja ya kuhangaika tena. Diop alionesha kunipenda, kunijali na kuniamini. Hakua mtu wa kunilimit au kunifuatilia sana, na pia alinipa uhuru kwenye maisha yake. Yaani muda wowote naenda ofisini kwake, na yule secretary wake alikua akiniona tu shughuri zote zitasitishwa nipewe macare kama mm ndo mkurugenzi.


One day mida ya saa kumi nikasema nikapige story na Zahra. Nikawa nimejiaminisha atakuepo maana ndo mida yake hivyo sikuwa hata nimehangaika kuangalia mahala kijiwe chao kilipo. Ile nafika ndo namuona Ras. Nikatamani nirudi nlikotoka mbio, ila nikajua ataniona nakimbia then ahisi I still care au namuogopa.


Ras mwenyewe alionekana yupo kwenye lindi la mawazo. Ndo yule shoe shiner akaanza kuniongelesha pale. Mara Ras akawa kama kashtuka kutoka alichokua anakuwaza, ndo kuniangalia sasa, macho yakagongana akasimama. Cha ajabu nikuwa sikuweza hata kumsalimia. Sanasana hasira tu zilinijaa kwa alichonifanyia. Tukabaki tunaangaliana.


Mara ghafla si naona mwenzangu machozi yanamtiririka. Sijawahi muona Ras akilia. Yale machozi yaliusuuza moyo wangu. Hakuwahi niomba mshamaha ila palepale nikajua moyo wangu ushamsamehe Ras. Kwa kuwa mwanaume kulia, tena kulia hadharani ni aibu, akawa anajifunika uso kwa mikono. Ikabidi nimsogelee, nikazungusha mikono begani kwake, akatuliza kichwa chake kwenye bega langu, halii kwa sauti wala hatingishiki anabubujika tu michozi.


Baada ya kuona people zinaanza kujaa pale, nikamwambia twende. Nikamshika mkono nikawa namuongoza nlipokua nimepaki gari. Huku nyuma nikawa nasikia watu wanapiga shangwe, wengine miluzi wengine wanasema eti “mbele ya mwanamke hata magangster wanalia….”. nikamfungulia mlango wa gari akazama. Then nikazunguka upande wa dereva, nikawasha ndinga. Sikujua hata tuende wapi jioni ile.


Break ya kwanza Nyumbani restaurant. Nikamkuta Komando mama Samfood mwenyewe, ananijua mteja wake. Bahati mbaya kumbe siku hiyo walikua wanafanya renovation jikoni so hawakua wanapika. Nikamwambia vinywaji tu vinatosha. Akanikaribisha tukakaa na Ras.


“Mambo Ras", nikamsalimia. Akatabasam, of course hatukua tumesalimiana mpaka muda huo. Hakujibu. “how is Marga?”, nikawa najidai sielewi kitu ili apate uchungu wa kunieleza. “siko nae tena, alichukuliwa na mfanyakazi wangu yule Albert". Wakati anaongea mhudum akafika. Nikashangaa Ras anaagiza Safari. Tangu namfaham hajawahi kunywa pombe. Sikuuliza chochote. Mi nikaagiza zangu wine flani nyepesi sana.


Baada ya vinywaji kuja, Ras akaanza kufunguka A to Z. Nikastaajabu aliposema hata ule mpango wa kutuachanisha na yeye uliosukwa na Marga alikuja kuelezwa na Albert, ila kwa kuwa Marga alikua tayari anamtoto wake hakutaka kuchukua hatua. Kilinachomhuzunisha na kumpain Ras mpaka wakati huu ni yule mtoto, maana alijua kabisa ni wake ila kwa kuwa mama mtu ndo kashaamua kusema vile hana budi kumkubalia.


Amemaliza kutoa story yake usiku ushaingia. Na kwa muonekano wake alikua hajala siku nzima huyu mtu, nikaona sio mbaya nimtafutie msosi. Tukaingia kwenye gari mpaka millennium towers pale. Bahati mbaya na penyewe ile restaurant tukakuta hakuna msosi. Dah. Ras akasema nimuache tu aende akale home, mdogowake atakua ameshapika. Wakati nataka nimpeleke akapokea simu ya huyo mdogo wake. Kuuliza anasema dogo anaomba radhi amechelewa maana wanafanya majaribio ya mitihani ya practical za form four now. Nikawa sina jinsi, nikampeleka home nikampikie.


Kufika home, nikamkaribisha akakaa kwenye sofa. Lilelile tunalotianaga na Diop, kidogo nimkataze asikae hahaha. Mawazo haya ya kijinga ndo yakafanya ni.kumbuke mpenzi wangu Diop. Ikabidi nimpigie simu kumwambia tunawageni. Hakupokea. Nikapiga tena, akapokea tule secretary wake, akaniambia bado wako ofisini ila ametoka kidogo akirudi atanipigia. Kweli after few minutes akapiga. Wala hakua na shida. Ndo uzuri wa kudate na wazungu. Hawana conclusion za kipuuzi. Ila Diop akaniambia hata rudi maana inabidi asafiri kwenda arusha that same night. Ni safari ya ghafla ndo maana hajapata wasaa wa kuja hata kubadilisha. Akaahidi kunipigia akifika Arusha.


Nikaanza kuandaa pale mchemsho wa kuku. Nliona ndo msosi wa fasta. Nikachanganya huko viazi, ndizi, hoho, karoti, vitunguu, pilipili na viungo flani hivi vimechanganywa tangawizi na vitu gani sjui. Haikuchukua muda vikawa tayari, nikatenga tukaanza kula. Akaomba pia nimpe upande wangu wa story tangu tumeachana. Nikampa full picture. Mambo mengine hata Diop sijawahi mwambia bt nlijikuta namhadithia Ras.


Baada ya menu nikasema kabla sijampeleka kwake anisubiri nioge. Nikamuacha kajinyoosha kwenye sofa anacheki TV. Kule bafuni nikashangaa naanza pata mawazo ya namna Ras alivyonifumua siku ile bafuni Arusha. Nikayapotezea fasta. Siwezi kuwa msaliti wa namna hii, tena kwenye the same house….No.


Baada ya kuoga nikaenda room, nikatinga jeans yangu na tshirt ili nimpeleke huyu mvuta bangi kwake. Kufika sebuleni nashangaa mtu keshasinzia longtime. Kijasho tu kinamtoka. Nikajua ni shibe ya ghafla baada ya kushinda na njaa the whole day. Na nnavyomfaham Ras akishasinzia kumuamsha ni shughuli, labda uje na maji. Nlichofanya nikaadjust kiyoyozi ili asiteseke na joto, then nikachukua computer yangu nifanye vijikazi kadhaa vya ofisini kwangu.


Kwani kazi zilifanyika basi…. Kila mara namcheki Ras. Sijui ni kale kaubaridi ka kiyoyozi au alikua anaota, maana mashine yake ilikua imetuna ndani ya suruali yake. Mwanzo nikawa naiangaliaaa then natabasam tu.. ila baada ya muda nikaanza kukumbuka yasiyopaswa kukumbukwa. Ule ukubwa na utam wa lile hogo ukawa unapita kichwani kwangu kwa awamu kama feni yenye panga moja, vuuum, vuuum, vuuum.


Ikabidi niondoke pale maana nikaona siconcentrate na nnachofanya. Nikaenda bedroom nikajilaza kitandani. Sikuchukua muda usingizi ukanipitia. Kuja kustuka nikacheki saa ya kwenye simu ni saa saba na nusu usiku. Missed calls kama zote kutoka kwa Diop. Nikampigia, hakupokea. Baada ya muda simu akazima kabisa. Itakua kamind au?


Ikabidi nibadilishe nguo ili nilale vizuri maana nlikua nmelala na nguo nlizovaa nikitaka kumsindikiza Ras. Nikapiga nightdress yangu ya pink, nikarudi bed. Badae nikakumbuka Ras hana shuka pale alipo, nikasema ngoja walau nikamfunike.


Kufika kwenye kochi alilolala nikaona alijiweka comfortable zaidi. Maana alikua kavua shati ila alirudi usingizini tena. Nikalinyoosha shuka nikaanza kumfunika miguuni, nlipofika kiunoni macho yakagota mashineni. Walahi kidogo nimguse sema nikajizuia. Nikaendelea kumfunika hadi kifuani, pale kifuani ndo pakawa hapafunikiki, maana kila nikipafunika napafunua tena kupaangalia, jamani, nyie acheni tu, Mungu anajua kuumba.


Katika kushangaa kwangu, si Ras akastuka. Akanikuta nimepiga magoti nimeshika shuka, niko karibu kabisa na alipo. Macho yakakutana, akasmile. Sjui hata alichotabasamia. Bt kuna mtu alisema tabasamu huambukiza, nikajikuta nasmile pia. Macho yake yakahamia kifuani kwangu, na mm nae badala niondoke nikabaki tu pale najishangaa kwa nn siondoki.


“Asante kwa shuka Zoya, nlishaanza hisi baridi", maneno yake ndo kama yakanizindua hivi. Nikasimama, najua alitamani walau aniguse maana hiki kinight dress changu kwanza ni kifupi alafu transparent. Sikuatka kujifichaficha wala sikua na aibu, kwanza Ras hakuna kitu changu hajawahi kiona. Wakati naondoka nikamgeukia, nikakuta kanikodolea mimacho. Yani wanaume, matako yaliwafanyaje hahahah.


“Unaeza lala chumba cha wageni utakua comfortable zaidi", nikamwambiankwa sauti yangu ya upole. akafikiria kwa muda akasema poa. Nikamuonesha kwa ishara “ni mlango ule wa mwisho, hakiko organized sana utanisamehe" akaitikia "usjali, u have been very kind". Nikamuacha. Sku hiyo usingizi ulikuja kwa taabu. Yaani kukawa na mgongano wa mawazo kichwani. Maana sielewi what im going through. I love Diop, tena sana, ila mbona mbele ya Ras napoteza netwek.


Asubuhi nimeamka mapema tu,. Najuaga Ras anapenda kahawa, so nikamtengenezea na sausages kadhaa na kumkaangia mayai nikaviacha mezani nikarudi room. Then nikakumbuka ile room ya wageni alikolala Ras ndo nimevitupia vitabu vyote ambavyo nlikua navinunua kule kijiweni kwake. Nikapanik, maana akiviona sijui atareact vipi.


Ghafla mlango wa chumba changu ukafunguliwa, kabla hata sijakasirika, kushangaa au kugomba kwanini anaingia room kwangu bila hodi, nikamuona Ras amesimama mlangoni mkononi kashika vitabu kadhaa nlivyonunua kwake. Nikajaribu kumsoma reaction yake wala hasomeki, ananiangalia tu, na mm namuangalia.


“So its you", ndo maneno yaliyomtoka hatimae. Nikaitikia kwa kichwa tu maana sikujua natakiwa niombe msamaha au nijisifu. Nikawa nimetizama chini. Nikahisi ananisogelea, kuinua kichwa huyu hapa kashafika. Machoni kwake machozi yakawa yanamlengalenga. Kwa huruma nliyonayo, nikashangaa mm ndo nadondosha chozi la kwanza. Akanihug, ile kwa nguvu kama anaogopa nitakimbia. Ndo nikaona nae analia. Ikabidi nimbembeleze, shhhhhh, don’t cry man. Don’t cry


“Thank you", akajikuta anatamka baada ya kumtuliza. Akataka kujichomoa nikamng'ang'ania. Akabaki ananiangalia. Ras nae, hajuagi hata kujiongeza. Ikabidi mimi ndo nimsogezee lips. Akazipokea vizuri tu. That kiss reminded me of so many moments with him. I felt like home in his arms.


Bahati mbaya au sijui niseme nzuri, nlikua nimevaa hivi vibukta vifupi vya cotton, na sikua nimevaa chupi ndani. Huku juu nlikua na tshirt flani pana la kilimanjaro marathon lakini fupi, yaani nikinyanyua mikono kiuno kinakua wazi ila nikiishusha inakifunika. So Ras akawa anaenjoy tu mwili wangu. Anatambaa kutoka kiunoni hadi kifuani. Mguso wake ulinipa raha ya hatari, nikawa najihisi kama yani amenizunguka kila eneo la mwili wangu. Nilivo fala eti nikaingiza mkono kwenye suruali yake nimguse mashine yake, ebana eeh, nlivoishika nikahisi natoka vipele vya msisimko.


Akanibeba akanirushia kitandani. Ile kunibwaga kitandani, miguu ikawa huku na huku, na kwakuwa sikua nimevaa chupi, akawa ameona kila kitu. Alichofanya kabla hajapanda kitandani akavua nguo zake zote. Utafikiri nlikua nimesahau Ras anadude kubwa, nikajikuta nashangaa kabisa kama ndo namuona mara ya kwanza. Akatabasam. Nikaona namm nitoe zangu. Tukabaki watupu kabisa, tayari kwa mechi.


Mara nasikia honi nje ya geti. Nikashtuka, ikabidi nikurupuke nivae fasta. Ras nae akabeba nguo zake mkononi kaenda room kwake…


Tukutane jumamosi Mungu akitupatia uhai.


Wasalaam


Kiga.




Zahra.


Shikamoo wakubwa zangu wote humu ndani. Kwa wale wenzangu na mie, mamboz! Naitwa Zahra, na kwa kuwa nimetajwatajwa sana kwenye hii story nimeona na mm nijielezee kidogo ili nikitajwa mpate picha ya anayeongelewa.


Maisha yangu yalianzia kwenye milima ya Usangi, kijiji flani kinaitwa Kilobeni. Siku zote naamini Mwenyezi Mungu hupanga maisha ya kila mmoja wetu, na ili niwe nilivyo leo ilipaswa nipite njia niliyopita. Life langu na wazazi wangu lilikua la kawaida. Hatukuwa matajiri kama unapima utajiri na umasikini kwa kutumia vigezo vya umoja wa mataifa, maana naamini tuliishi chini ya dola moja kwa siku. Ila hatukuwahi kukosa chakula, tulikua na mifugo inayotupatia maziwa kila siku na pia shamba lenye migomba ya kutosha.


Nilikua na kaka yangu ambaye alikua anasoma kidato cha tano Minaki sekondari. Kwa kweli kaka yangu alikua kama ndio mboni ya wazazi wangu hasa mama. Walimpenda mno, na ukizingatia alikua na akili sana, basi alikua ni mtoto wa kijivunia pale kijijini. Kila siku wazazi wangu waliniusia nikazane sana kusoma ili nifuate ndoto za kaka yangu.


Then, life ikabadilika ghafla. Nakumbuka siku hiyo narudi kutoka shule nakuta pale home watu washaanza kujikusanya. Kuingia ndani mama yuko hoi kwa kilio. Ikabidi na mm niunge kilio. Nikiwa naogopa kuuliza, maza mmoja jirani ndo akiwa ananituliza akaniambia kaka yangu aliugua ghafla shuleni na akafariki mchana huohuo. Ilituumiza sana kama familia. Ila ndo kazi ya Mungu.


Nlidhani najua namna gani kifo cha kaka kitatawaathiri wazazi wangu. Nlikosea. fikra zangu hazikufikia hata nusu ya uhalisia ulivyokuwa. My parents walikua na sonona isiyoisha. Kila kitu kilibadilika pale nyumbani. Nakumbuka hata ile kuongea tu kati yao wazazi wangu ilikua ni nadra. Hii Ikapelekea mama kuanza kuugua marakwamara. Akawa anatibiwa kituo cha afya pale Usangi ila hakua anapona moja kwa moja. Kwa kuwa hospitali kubwa ilikua wilayani, ikabidi awe anapelekwa huko.


Trip za kila mara kumpeleka maza hosp na kumrudisha ndo zikapelekea ajali kwenye ile milima. baada ya wazazi wangu kufariki kwa ajali. Nilipoteza kabisa matumaini hasa kuhusu mustakabali wa maisha yangu. Ndo kama mjuavyo shangazi yangu akanichukua kunileta Dar baada ya kuuza kila kitu cha wazazi wangu. Kufika mjini ni kweli alinipeleka shule ya serikali nikaendelea na masomo. Pale kwake shangazi alikua na mtoto ambaye ni kama tunalingana, huyu mtoto wake yeye alikua anaenda hizi shule za kuchukuliwa na school bus. Nikawa natamani kweli na mm niwe kwenye shule kama yao.


Hizi tamaa nadhani ndo zilipelekea hata nisione shida yule mume wa shangazi kunitumia. Maana ingawa mpaka sasa mnajua kuwa alikua ananilazimisha, lakini ukweli ni kuwa alinibaka mara mbili tu za mwanzo, hizi nyingine nlikua hadi nafuata maelekezo anayonipa. Akiniambia niage shule mapema nikisingizia naumwa ili nirudi home mapema anitumie, nlikua nafanya anavyotaka. Akiniambia leo usilale mapema tulane kwanza, ntakaa macho namsubiri. Kichwani kwangu nlihisi nitapewa favors kadhaa na mzee yule walau na mm niwe kama mtoto wao. Ndo tukafumwa na shangazi akanitimua.


Katika umri ule mdogo wa miaka 14 nlijifunza kwa vitendo madhara ya umalaya, na niliazimia kuwa hata siku moja sitajiingiza katika mitego ya mapenzi. Nikaweka nadhiri kuwa nikifanikiwa kupata kazi mahala, nitajitahidi kutunza pesa ili baadae nirudi shule. Lengo walau ilikua kuwa sababu ya kuwafanya huko waliko wazazi wangu watabasamu.


Kule kwa yule Nesi nako hali ikajirudia ya kutakiwa kutumikishwa kingono. Ndo hapo nilipo hitimisha kuwa wanaume wote wamejawa na ukatili wa kijinsia ndani mwao. Bahati mbaya yule mama alivyonitimua sikuweza hata kuchukua pesa yangu ya mshahara ambayo nlimuomba awe ananiwekea.


Hakuna kitu duniani kinatokea bila kuwa na sababu. Sababu inaweza kuwa iliyopita au inayokuja baadae. Kukutana kwangu na Marga siku ile kulinipa fursa ya kukutana na ndugu yangu wa hiari. Kabla ya kumfaham Ras, nlijua kila mwanaume anatabia ileile ya ubazazi, na huenda nisingekutana na kuishi nyumbani kwake ningeendelea kuwaza the same na labda ingeniathiri hata maisha niliyonayo sasa kama mke wa mtu na familia yangu nisingeyapata. Naam, hivi ninavyosimulia hapa ni mke wa mtu na ninalea watoto watatu, (ingawa wawili sio wangu) na maisha yangu kwa kweli ni mazuri. Anyways tusivuke daraja kabla hatujafika mtoni.


Miezi ya kwanza nyumbani kwa Ras ilikua ya wasiwasi mwingi kwa upande wangu. Kwanza nilijua ni just a matter of time Ras atataka mzigo maana nshatambua maisha ya housegirl lazma uliwe. Ila nikashangaa mkaka wa watu hana habari kabisa na mm, ni kama vile sikuepo kabisa pale kwake. Pili ni uhusiano wa Marga na mwanaume mwingine. Nlikua naona kama ni kitu cha ajabu sana. Na nliona ni ajabu zaidi kadri nlivyokaa pale, maana Ras alikua mwanaume mtulivu na anayejiheshimu, so why Marga akawa anatembea na Albert. Sikua napata jibu.


Dalili za Albert kunitaka zilianzia palepale kwa Ras. Kwa kuwa nyumba ilikua ni chumba na sebule tu, sehemu ninayolala mimi tiliweka kama pazia flani zito ambalo lilitenga kama kijichumba. Sasa mara kwa mara alipenda kujidai anapakagua ninapolala, anafungua lile pazia na kukaa kwenye godoro langu, atajipigisha stori pale mpaka ahisi Marga anakuja.


Tulivyohama pale mambo ndo akaongeza kasi. Akawa sasa ananishika kila anapopata chance. Mpaka nlipoona hapa ntabakwa siku moja ndo ikabidi niondoke. Uzuri Marga alinipa ujira wangu wote.


Maisha na Ras yalikua ni ya amani sana. Ingawa hakua na kitu, ila alikua na moyo wa kibinadamu sana. Ingawa nlitoka kwa Marga na vihela kiasi ila huezi sema vilisaidia chochote. Ni Ras ndo amenitunza mm, tangu nikiwa binti wa miaka 16 mpaka nimeolewa kutoka mikononi mwake. Pamoja na kunilea pia amenisomesha kwa kadri alivyoweza.


Nikiwa na miaka 19 hivi nakumbuka nikiwa nimemaliza kufanya mitihani ya kidato cha nne kama mtahiniwa binafsi nilianza kuugua. Sio ile ya kuumwa malaria unameza mseto unapona, hapana ilikua ni serious inayotakiwa operation kuondoa uvimbe kwenye kizazi. Ras alihaha sana kaka yangu. Nakumbuka alianza kuosha hadi magari ili kupata pesa kunitibu. Kuna muda nikafikiria nimtoroke ili nikafie mbali huko ili asiteseke kwa ajili yangu, ila nikaendelea kumuomba Mungu atuoneshe nuru tulivuke hili.


Ni mpaka Zoya alipo ingilia kati. Zoya alikua ni mdada nliyedhani nimekutana nae kwa bahati mbaya tu kule kijiweni. Ila baadae alikuja kuniambia yy na Ras wanajuana kitambo. Na ingawa waliweka kama siri, ila nlijua wanapendana. Nilifaham pia kuwa da Zoya anabwana ake half cast maana kipindi kile anakujaga kijiweni sometimes nlikua namuona akija kumchukua mara chache. So nilielewa kwa nini mapenzi yao wanayafanya kwa siri.


Kipindi naumwa Zoya alikua amesafiri kwa muda. Nlipomuuliza Ras akaniambia kiufupi tu Zoya kaenda ufaransa kutambulishwa kwa familia ya bwana ake na atakaa huko 6months akifanya kazi nyingine. Na ndo kipindi hicho nikaugua mahututi. Bahati nzuri Zoya alirudi kabla ya miezi hiyo sita kuisha, alivyonikuta katika hali ile alitokwa machozi mtoto wa watu. Basi akasaidia pale nikapona kabisa. Ila zile hustle za Ras kuhangaika nipone zilifanya nimheshimu katika level nyingine kabisa.


Mtihani wa form four nashukuru Mungu nlifanikiwa kupata credit zinazohitajika, (I am my brother’s sister afterall), nikaanza msuli wa advanced. Ingawa nilitamani kujisomea mwenyewe nifanye kama private candidate, Ras akagoma katakata, akaniambia “dogo usichezee msuli wa advance, bila kukaa shuleni hutoboi" sikua na jinsi nikamkubalia nikajiunga shule flani pale Mwenge.


Kaka Ras alinisisitiza sana juu la suala la kujiheshimu. Ingawa sikua na hayo mambo kabisa ila hakuchoka kunisisitiza. Nakumbuka nikiwa form six kuna afande mmoja akawa hachoki kunifukuzia. Bahati mbaya zaidi kama mnavyojua shuleni tena, lazma utakutana na marafiki. Sasa wale friends wakawa wananipush nimkubalie, hasa ukizingatia waliona kabisa hali yangu ya kiuchumi ilivyokua, maana wenzangu wakiwa wana pair za viatu kama zote, mm walaa pair yangu moja mwaka mzima.


Nikajikuta naanza kupokea hela anazonipa, lengo langu nimpunguzie Ras majukumu. Ingawa nlikua napokea hela zake, ila kila akiomba niende kwake nlitafuta namna ya kumkwepa. Ila nlijua its just a matter of time ataanza kunila. Then oneday si Ras akaziona zile hela nlizokua nazitunza. Alijua kabisa lazma napewa na mwanaume, sikua na namna ya kumdanganya. Dah, mpaka leo nakumbuka sura yake alivyokua disappointed. Ila kwa kuwa aliniheshimu na kunichukulia kama mtu mzima hakunigombeza. Aliniambia tu, “najua unajiona kama umekua tayari, bado sana Zahra. Laiti kama wazazi wako wanakuona huko waliko, watakua wanatoa machozi now", nikajikuta napiga magoti. Nikaanza kumuomba msamaha huku nalia.


“tunza heshima yako, utaheshimika mdogo wangu", kwa kweli maneno yake yalinichoma. Ikabidi eti nianze kumwambia “sijafanya nae kitu kaka, niamini, sijalala nae", hahaha, as if kulikua na ulazima wa kumwambia. Akasimama kaishia zake kaniacha najililia mwenyewe. Nlichofanya nikachukua hela zote alizokua amenipa yule afande, maana sikua nimetumia hata kumi. Kesho yake nlivyomuona nikamkabidhi kama zilivyo nikasepa. Najua alielewa nlichomaanisha.


Kurudi home nakuta Ras yupo na Zoya. Kwa muonekano wa mle ndani ni kuwa walikua wamefanyana sana siku hiyo, nikatabasam kimoyomoyo. Then da Zoya akanikabidhi hela kama laki mbili hivi, akaniambia “kaka yako kashauri ukashone uniform mpya", sikua nimeelewa, “we mtoto wa kiislam Zahra, kashone appropriate uniform" Ras akachomekea baada ya kuona sielewi.


Ile hela nyingine ikawa ni kufanya shopping ya chochote nnachohitaji. Kimsingi sikua nahitaji vingi, nikajikuta naihifadhi tu. Since that day nikaanza kuvaa hijab. Mwanzo ikawa tabu ila nikazoea kabisa. Ikanipa pia fursa kukuza nywele zangu. Ras akanisisitiza nianze pia kuswali, na ikawa hivyo. Kwa kweli Ras alikua kwangu ni kama malaika niliyepewa anilinde.


Baada ya kumaliza kidato cha sita, nlifurahi sana. Kwa historia yangu ilivyo ilikua ni muujixa wa Mungu kuifikia hii hatua. Siku ya graduation yangu nakumbuka Ras na Zoya walinifanyia party ya kunipongeza. Zoya aliaandaa kila kitu, akatafuta ukumbi mdogo, akaalika rafiki zake na yule bwana ake halfcast alikuepo. Upande wangu walikuja rafiki zangu wa shule hasa wale wadogozangu wa kidato cha tano. Ras nae akaja na rafiki zake kadhaa. Tukawa watu kama 20 hivi. Kwa kweli nlifurahi sana. Hasa kila nikimuangalia kaka Ras alivyokua na furaha. Zoya aliposimulia story yangu, kila mtu pale alikua moved. Wakanichangia pesa kibao.


Zoya na bwana ake wakaturudisha kwetu kisha wao wakasepa (Dunia hii, yaani unaweza mpa lift mchepuko wa mchumba wako bila kujua, dah). Kufika ndani, nikatoa burungutu la pesa zote nlizopewa kama zawadi, zilikua nyingi mno, zaidi ya milioni, nikamkabidhi Ras. Mawazoni mwangu nikuwa nimpe yeye kama shukrani kwa kujitoa kwake kwangu. Ras akachomoa. Akaniambia ile ni yangu na ninastahili kuipata. Nikamuomba hadi machozi yakanitoka, walau aipokee, “shemeji plz ipokee, sina namna nyingine ya kukukushukuru, umekua zaidi ya ndugu kwangu, plz", (mpaka leo hua nashangaa kwa nn kila nlipokua namuita direct sikua natumia jina Ras wala kaka, nlikua namuita shemeji, huenda ni kwa sababu ya mazoea tangu siku tunaishi na Marga, ila cha ajabu nikiwa namuongelea kwa watu namtambulisha kama kaka).


Baada ya kuona Ras hana mpango wa kuzipokea, ikabidi nimhug. Sikua nimewahi kumkumbatia Ras, na ilitokea tu automatically. “thank you for everything you have done for me, bila wewe sijui ningekuaje, ntakuheshimu daima shemeji na nakuombea daima kwa Mungu akulipe kwa wema wako" ni maneno nliyokua nayatamka kifuani kwake. “usjali Zahra, kila kitu hupangwa na Mungu”, yaani majibu yake mafupi yakawa yananiudhi, why hakubali kuwa aliyonifanyia ni makubwa, why hakubali kutake credit. Nikajikuta naongeza kilio huku nampigapiga ngumi za kifuani.


Ras akanikumbatia kwa nguvu zaidi ili kupunguza movement zangu, akawa anakazi ya kunituliza sasa. Akawa ananiongelesha kuhusu role yangu kwenye maisha yake pia, namna nlivyomsaidia kwenye kutafuta hela, namna nlivyomuinspire kurudi shule, namna nlivyompikia na kumfulia miaka yote hii. Ras bana. Nikawa nakataa kwa kutingisha kichwa kuonesha kutokukubaliana nae. Nikajiona nina deni kubwa kwake. Then ghafla nikaacha kulia. Yaani nikanyamaza, machozi yakakata na nikatulia tuliiiii, tena vyote ghafla sana. Kilichonituliza ni wazo moja tu la kijinga.


Nlipokua nawaza nimshukuru vipi Ras, kuna kisauti kikaja ghafla kwenye akili yangu kikaniambia “mpe kum*”, nilishtuka. Kwanza kwa sababu ya tendo lenyewe, ntawazaje vile kwa Ras, my brother. Lakini pia ni maneno hii sauti iliyoyatumia, ingeweza kuja kitafsida zaidi, mfano, “lala nae", tembea nae", mpe mapenzi" n.k. maneno yale ingawa yalikua kichwani kwangu, yalinishtua utafikiri kayasema mtu mwingine. Nikajiona kama Ras anaweza kuwa ameyasikia. Nikajihisi kama niko uchi. Nikatamani ghafla nijichomoe pale nikajifiche asinione.


Kwa aibu nikainua kichwa kumuangalia. “good girl, ukilia unachukiza mdogo wangu, always smile my angel" akawa anaongea huku ananishika nywele zangu. Nikatabasam. Kwa kuwa tulikua tumesimama bado, akanishika mabega akanikalisha kwenye kochi letu pale sebuleni. Akakaa pia pembeni yangu. Akaniuliza baada ya shule nampango gani. Kabla ya kumjibu nikapandisha miguu kwenye kochi, nikalaza kichwa changu mapajani kwake. Ndo niakaweza kuwa namjibu. Sikua na mpango mwingine zaidi ya kwenda chuo. Nlimuondolea wasiwasi kuwa mtihani haukua mbaya so nilazima ntafaulu.


Itakua nlipitiwa na usingizi kwenye miguu yake. Maana nlikuja stuka kumeshakucha na bado nipo pale kwenye kochi. Ras alipoona nimesinzia alinifunika vizuri kisha akaniacha pale akaenda zake kulala.


Ndo shida ilipoanziaga. Kale ka sauti kakawa kananirudia kila wakati. Ni kweli wanaume wanachukulia tunda kama ni zawadi kubwa kwao, kwa hiyo mwanzo nikawa najua ilikua ni namna ubongo wangu unavyofikiri ni namna pekee ya kumpa shukrani Ras. Ila kadri siku zilivyoenda hii sauti ikageuka hisia, hisia zikageuka fantasy, na nikajikuta nabadilika kabisa.


Mwanzo nilikuasinaga shida kwenda kuoga akiwa sebuleni na nikirudi najifungia lile pazia langu nabadilisha nguo. Na hata Ras alikua akienda kuoga amejifunga taulo sikua hata nanotice. Ila nikaanza kuwa muoga mbele yake. Akipita kwenda kuoga namcheki kiwiziwizi. Nlijitahidi kujizuia ila nlishindwa kabisa. Mpaka nikahisi huenda nlikua nampenda Ras kitambo sema hizi hisia ndo zimeamua kuibuka now.


Bahati mbaya kwangu, mapenzi ya Ras na Zoya yakawa yamepamba moto. Da Zoya akawa hadi sometimes anakuja kulala pale kwetu. Na kunikomesha zaidi Zoya ni wale noise makers, akiingiziwa tu, utajua shughuri imeanza. Sometimes wakianza na mm navua nguo naimagine its me under Ras ‘s body. Nikawa najichua mwenyewe, kelele za Zoya zikawa ndo appetizer yangu. Wakati mwingine, ntasogea hadi mlangoni kwao, uchi uchi, nasikilizia mlangoni, zoya akianza kulalamika na mm naanza kujikatia viuno. Ndo yakawa maisha yangu.


Baadae nikaanza kumtega. Ntavaa sexy nikiwa ndani, ili tu aone hata paja zangu labda atatamani aniombe. Nikawa kifua nahakikisha kinafunikwa na a single layer ya nguo inayoyabana, ili ayaone atamani kuyaminya, maana nshachoka kuyaminya mwenyewe. Ila ras wala hakuonesha kuhangaika. Ndo kwanza akawa anasisitiza nivae kama binti wa kiislam.


Kuna siku niko Posta kijiwe cha Ras akaja yule mchumba wa Zoya. Akasema bora amenikuta. Akaniambia ofini kwake wana nafasi ya kazi so kama vipi niende kuanza kazi jumatatu. Nlifurahi kinoma. Nikamwambia Ras akanipa go ahead. Walau nikaona nikiwa bize haya maugwadu yataisha. Kweli nikareport job. Nikamkuta secretary wa boss Diop, akanielekeza kazi za kufanya. Ilikua tu ni office attendant, kufanya usafi, kuagizwa posta, kununua mahitaji, kuandaa chai nk.


One day nipo job nikapokea simu. Akajitambulisha kama Diop mwenyewe.

“ndio boss"

“pitia posta kuna barua yangu naomba uniletee nyumbani"

“Sipafahamu lakini boss"

“Ukishachukua barua chukua taxi ntamuelekeza akulete"

“sawa boss".

Nlipofika kwa boss, cha kwanza kugundua nikuwa hapa anakaa Zoya pia. Maana kulikua na nguo zake zimeanikwa nje. Na pia nilishasikia akisema anakaa mitaa hii ya kijitonyama.


“karibu, jisikie huru, kuna vinywaji kwenye fridge na kama unanjaa unaeza pika pia “ Diop alinikaribisha kwa uchangamfu.

“Nashukuru ila sikai narudi ofisini"

“mimi si ndo nimekuajiri, unaogopa nn" nikakosa jibu. Si akaanza kunisogelea. Na kama mnavyojua, huezi piga kelele ndani kwa watu, ulifata nini? watauliza. Nikiwa nawaza nifanye nini, akawa ashaanza nipapasa makalio, akanishika kifuani, na ule ugwadu si nikaanza kulegea. Akanishika mkono kunipeleka chumbani. Nikaona kabisa kitanda cha Zoya. Akataka kunilaza nikagoma. Akanikumbatia kwa nguvu nikawa nashindwa jichomoa, mkono wake akaupitisha ikulu, hapo ndo aliniweza.


Nikajikuta nalegea kabisa. Nayeye aliona kabisa hapa nikimpa nafasi atasumbua tena. Akanilaza bed. Sketi ikapandishwa. Akawa amepiga magoti mbele yangu anafungua mkanda wa suruali, alivofanikiwa akaishusha suruali, dushe yake ishasimama tayari kula mzigo. Ila zile sekunde za kuhangaika na kushusha suruali zikanipa nafasi ya kufikiria kinachoenda kufanyika. Huezi amini, nlichowaza ni namna ntakavyomuudhi Ras nikigawa uroda. Nikakumbuka ahadi nliyojipa kuwa mpaka Ras atakapokula zawadi yake hakuna mtu atanigusa.


Nikakurupuka pale kitandani. Mbio. Kwakuwa alikua suruali yake iko magotini alishidwa kunikimbiza kwa kasi. Nikachomoka hadi nje, ile nataka kutoka getini, mlinzi akanikamata mkono. Duh.


Nikajua sina jinsi. “vaa vizuri sketi ndo utoke dada", kujiangalia kweli, sketi lilikua kwa nyuma imenasa kwenye chupi. Nikamshukuru nikajiweka sawa nikatoka. Diop akathibitisha mawazo yangu kuwa wanaume wote isipokua kaka angu Ras ni wabakaji. Nikasepa zangu home. Sikuwahi msimulia mtu hii issue. Nikawa namuonea huruma tu Zoya. Nikatamani nimshauri aachane na bwana ake aolewe na Ras , ila sikua na mamlaka hayo. Kule ofisini kwa Diop sikurudi tena.


I passed very well. Nikachaguliwa kujiunga chuo kikuu cha ushirika Moshi. Tena na full mkopo. Tulifurahi kinoma. Maisha yangu Moshi yalikua ya mm na kitabu tu. Wengi walijaribu bahati lakini sikua na mpango kabisa na wanaume. Nlikua nimepanga chumba mitaa inaitwa maduka ya juu ambapo nliishi alone. Mara chache rafiki yangu Shubi alikua anakuja kulala. Ukichanganya umri wangu, style ya maisha yangu na hali ya hewa pale Moshi, vilifanya niwe bonge moja la dem yani. Mm mwenyewe nlikua nikijiangalia kwenye kioo najikubali.


Rafiki yangu Shubi alikua mara kwa mara ananiambia napoteza bahati. “huo uzuri utafika umri utakwisha, utumie now rafiki yangu", nikawa nacheka tu. Niliendelea na my low-key life, full hijab nikiwa chuoni. Shubi yeye alikua ni wale mapepe wa chuo. Yaani alikua na wanaume watatu ninaowafaham. Ingawa alimpenda zaidi mkaka mmoja anasoma Masters pale chuoni.


Tukiwa mwaka wa pili Shubi na rafiki wengine wakanishawishi nigombee u miss Muccobs, wakanihakikishia kiurahisi ntapita hadi kuwa miss kilimanjaro na nikiingia kinyang'anyiro cha taifa, hakuna wakunizuia kuondoka na u miss Tanzania. Kama mjuavyo jamani, mi nae binti, na nnapenda kusifiwa vilevile. Nikawa kama nakubali ila nasita Ras ataichukulia vipi hii issue.


Wakati bado najishauri wakaja kunichukua sikumoja akina Shubi na watayarishaji wa umiss chuo, tukaenda photoshoot milimani huko kuna maporomoko gani sijui. Mi na hijab yangu. Tukawa mabinti kama saba hivi. Tukaanza kupiga picha. Wakanishawishi mpaka nikatoa hijab, nikaanza kupiga za mapozi ya kimiss. Ikafika muda tukaanza kupiga hadi picha za kuonesha nguo za beach, bahati nzuri sku hiyo huko ndani nlikua nmevaa zile navaaga nikiwa namwazia Ras hahah. Nikakubali kwa sharti kuwa wanaume wote watupishe ndo ntapiga. Wakatupisha kweli.


Kucheki zile picha, nliogopa. Maana sijawahi kuwa uchi vile public. Pale pale nikakata shauri haya mashindano hayanifai. Nikamuomba Shubi zile picha tuzifute. Akashauri tuziweke tu kwenye laptop. Nikakubali. Tukatoa ile kadi tukazihamishia kwenye laptop yangu ambayo nlikuanayo kwa begi.


Kurudi home ndo nikawa naziangalia zile picha, nikawa nawaza hivi why Ras hanioni kama binti mrembo. Mbona navutia hivi. Usiku wa siku hiyo nlijawa mawazo tele, najigeuza tu kitandani. Nikapata wazo. Usiku uleule nikamtumia msg Ras. “kaka kuna watu wameniomba nishiriki u miss “, nikiwa najua Ras mda huo atakua kalala na haezi jibu. Nikakaa kama nusu saa, nikamtumia picha moja nikiwa na kichupi tu. “leo tulienda kupiga picha, ila naona kama hayatanifaa haya mashindano maana picha wanazotaka sijazipenda, kama hii". Then nikalala na tabasam usoni. Picha yenyewe nliyotuma nimeiattach hapo chini hahah. Lengo.langu anikne tu, hasa pale kitumbua kilipofunikwa, ili nimtamanishe kupaingilia. kama Ras asiponitamani now basi tena.


Kesho yake nakuta msg yake. Eti, “now unaeza fanya chochote unachoona kina manufaa kwenye maisha yako" nikakunja ndita. Then msg ya pili akasema, “by the way, wazidi kuwa mrembo mdogo wangu". Nikatabasam.


Then baada ya kama wiki mbili Ras akanipigia simu. Kaniambia alikua ametuma maombi ya kufundisha vyuo mbalimbali na bahati nzuri ameitwa kwenye interview chuoni kwetu. Nlipiga shangwe moja matata mpaka jirani yangu mmoja akaja kuulizia yanayojiri hahaha. I was so happy. Ingawa Ras alijaribu kunipunguzia matarajio yangu kwa kuniambia sio kuwa amepata kazi, ni interview tu. Lakini ile idea ya kukaa karibu na Ras tena ilinifanya nitabasamu kila wakati nikikumbuka.


Then he came. Nikampokea stendi. Akasema tukatafute kwanza sehem atakayofikia, nikamwambia haina haja haezi lala gest akati ndugu yake nipo. Akakubali. Kufika room kwangu alipopaona akasema “mbona padogo, I cant sleep kwenye coach na utu uzima huu", nikajidai kusikitika pale. “Shemeji hatujaonana miezi sasa, kweli unataka kunifanyia hivyo, kaa hapa bana, mi nduguyo, kumbuka yote tuliyopitia pamoja, kweli tutashindwa kushare a single roof kwa siku hizi mbili",


Room ilikua kubwa. Kulikua na bathroom ndani, kuna nafasi ya kupikia, kuna eneo nlilofanya sitting area nikaweka na kikochi cha seat mbili. Akati nampikia, akaenda kuoga, kama kawaida mawazo yangu yote kwenye kifua chake. Bahati mbaya alivaa hukohuko bafuni,. Baada ya kula nikaenda kuoga pia. Akiwa amekaa kwenye kochi mi nyuma yake nikavua kila kitu, slowly yani ili akigeuka bahati mbaya anione. Nikatinga taulo nikazama bafuni. Najipaka sabuni huku naimagine ni Ras ananigusa. Nikarudia mchezo wangu wa kujifikicha,. Sikuinjoi hata. Nikawa nawaza nitumie mbinu gani leo nimpe stahili yake Ras.


Kurudi nakakuta ashalala. Ameangalia upande mwingine. Mi nikajikausha vizuri nikapanda bed. Sikuhangaika hata kuvaa chupi. Nikafanikiwa kuzama kwenye blanketi. Uchi kama nlivyozaliwa. Sema shida ikawa naanzishaje. Nlijua hajalala. Na kiukweli nliogopa kumgusa maana sikujua atachukuliaje. Na ingawa nlitamani sana tugusane ila sikutaka kumuudhi. Nimekaa najiuliza nimguse au nisimguse kwa zaidi ya saa zima. Mpaka nikasikia pumzi yake inabadilika kuashiria ashasinzia. Ndo kidogo nikajisogeza kwake, nikasogeza mwili wangu mpaka kwake, kifua changu kikagusa mgongo wake. Nikatulia hapo kama dkk tano.


Then nikazungusha mkono mmoja mpaka kufuani kwake, nikaona kama kashtuka, nikajichonoa fasta, nikajigeuzia upande mwingine huku moyo unaenda kasi. Nikajikausha kama hakuna lililotokea. Baada ya muda akaanza tena kuvuta pumzi, nikajua kalala. Ila ujasiri wa kumsogelea tena sikua nao, ila usingizi hauji. Bwana wee. Baada kama ya nusu saa si nikaona ras anapitisha mkono kiunoni, akawa kama amenikumbatia, moyo ukasimama kwa muda.


Nikasubiria next move yake, nikaona kimya. Kusikiliza kwa makini mtu yupo usingizini. Nikashusha pumzi ndeefu. Nlichofanya nikaukumbatia ule mkono wake, nikauweka kwenye nyonyo zangu zamoto. nikiwa na tabasamu nikapitiwa usingizi. Nimekuja kustuka saa 11 alfajiri. Ras yupo anajisomea kujiandaa na interview. Nikaamka pia, nikatinga ki night dress nikaenda kumuandalia breakfast. Sikujali atakavyoniona, maana kiukweli nlichovaa kininionesha barabara jinsi nlivyo. Nikamtengea akala, mi nikarudi bed nikitamani aje anile walau hata mara moja, haikua hivyo. Mida ya saa moja akaniaga akasepa.


Kama kawa alivyotoka nikajishughulikia mwenyewe. This time nliinjoy. Baadae nikaenda chuo, na baadae mchana nlipomuuliza Ras maendeleo akaniambia wanamalizia. Tukapanga tuonane for lunch. Walivyomaliza, mimi na Shubi tukampeleka sehem flani panaitwa kwa mkulima, kulikua kunachomwa mbuzi matata. Tumerudi jjoni sana. Ubaya Shubi akawa katuganda. Yani mpaka saa mbili bado yupo. Bahati nzuri akaaga, wakati namsindikiza akawa anamsifia tu kaka yangu hahah, kwa nnavyomjua Shubi kashamtamani. Sikushangaa hata, kwa aina ya wanawake wanaovutiwaga na Ras haikua jambo la ajabu, ukimcheki Marga, Zoya wote vifaa hasa.


Kazi ikabaki kwangu sasa. Sku hiyo Ras yeye ndo alichelewa kulala. Mi nikawa nishaoga nimejilaza bed. Uchi kama kawa, ili kama akitaka asipate shida shemeji yangu hahahaha. Baadae akaja, alihisi nimelala nadhani. Nikawa naskia tu akiwa anapunguza nguo. Nikatamani kujua kabaki na nini, ila sikueza geuka. Nlikua nimegeukia ukutani nmemuachia shepu yangu ijichore ili aione fresh. After sometime akapanda kitandani.


Ilimchukua muda kuzama kwenye blanketi, ila nlijua kwa baridi ya Moshi lazma ataingia. Na kweli alizama fresh tu. Tumelala in that position kwa muda. Kwa kuwa alikua amelala chali, mi nikajidai najigeuza nikamgeukia. Ila akawa bado mbali sikua nimemgusa. Nikakata shauri ni make the first move. Moyo ukaanza kwenda kasi.


Nikajisogeza nikamzungushia mkono kifuani, akawa katulia, nikaweka kichwa changu pembeni ya kifua chake, nikawa nasikia mapigo yake ya moyo yakibadilika. Nikatamani sana nimkiss kifua, ila nikaona its too quick. Mpaka sasa naonekana kama mdogo mtu tu anamhug kaka yake.


Nikaona nipige hatua nyingine. Nikampandishia paja langu kwenye paja lake, nikahisi anamake movement za kujichomoa. Wee asintanie. Nikasogeza zaidi paja likacover kiuno chake, nikawa nahisi mashine ndani ya kiboxer alichovaa. Nikawa nimefika point of no return, hapa sasa intentions zangu zishakua wazi. Nikamsogelea kumhug kwa nguvu, miili yetu ikawa imegandana, ndo akahisi niko uchi.


Dah, Ras si akajichomoa. Akashuka kitandani, akawashaa taa. Sikutaka kukubali. Nikashuka pia. Akaniona mdogowake kama nilivyozaliwa. Nikawa namsogelea nimkumbatie.


Ras alikua hajawahi kunipiga. Ila that day alinizabua kofi moja sijawah ona. Nikajikuta nimepepesuka hadi kitandani. Then Ras akavaa zake akatoka. Nikabaki nimeduwaa. Kwanza aibu. Ntamuangaliaje tena Ras jamani. Pili nikahofia usiku huu Ras ataenda wapi. Nikatinga zangu suruali na tshirt nikatoka kumtafuta. Nimezunguka maeneo ya bar karibu yote, nikaja kumuona kwa mbali kakaa kwenye msingi wa duka flani anavuta sigara.


Nilipomfikia sikua na lakuongea ndugu msomaji. Nikapiga magoti nikaanza kulia. Sikua hata na ujasiri wa kumuangalia. “am so sorry my brother, wewe ndo ndugu yangu wa pekee hapa duniani, ukinichukia wewe sitakua na sababu ya kuishi kwa furaha hapa duniani, wewe ndo the only source of happiness in my life”, nikawa najisemea huku nalia. “najua huenda ni hisia potofu kwangu, naomba unisamehe, sitazionesha tena mbele yako, please nikubali kama mdogo wako tena, plz nakuomba", sikua najali watu wanaotushangaa, alichofanya alinisimamisha akaniongoza kuelekea geto.


Kufika nikamuomba walau aseme chochote. Akaniambia tu, sisi ni ndugu. Then akanisogelea akanihug. I cried upya. Sikuhisi tena hamu ya kua nae kimapenzi. Kumbatio la sasa likawa ni lile la mtu kwa kaka yake. Akaniambia nikalale. Nikatii. Baada ya muda nayeye akaja. Ila zamu hii kila mtu alilala na jeans na tshirt.


Ras alipata kazi chuoni kwetu. Akapanga nyumba mitaa ya shanty town. Maisha yetu yakabadilika. Akanunua na gari, ingawa kwa mkopo, bt tukawa watu wenye hadhi. Semester iliyofuata akawa anatufundisha. Huko class ilikua ni balaa. Ndo nikajua Shubie was seriously in love with Ras. Ingawa nlikua nahisi ka wivu flani, ila sikua na jinsi ya kuzuia penzi zito walilolianzisha. Nadhani wiki ijayo watawasimulia wenyewe walivyojikuta mapenzini. Ila sikuacha kumpenda Ras, na siku zote niliendelea kujiapiza, kama Ras hatanionja basi ntakufa na utamu wangu. Lazma nimpe zawadi yake. It may take time, bt it will happen.


Wasalaam


Kiga.




Naomba nikumbushe kuwa hii ni story ya kutunga, wahusika na taasisi zilizotajwa hazina uhusiano wowote na uhalisia.

--------------------------------------------------------------------


Shubie.


Mabibi na mabwana naitwa Shubi. Part yangu kwenye hii story ni simple sana. Ila inafurahisha. Kwa kuwa kila mhusika kwenye hii series alianza na kujitambulisha, tena kwa picha, ngoja na mm nianzie hukohuko.

ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog