Search This Blog

Monday, October 24, 2022

NA MIMI NATAKA - 2

 



    Chombezo : Na Mimi Nataka

    Sehemu Ya Pili (2)

    Shughuli ile ilipelekea uchovu wa hali ya juu. Usingizi mzito. Nilikuwa wa kwanza kushtuka na tayari mwanga ulishapenya dirishani kuashiria kumepambazuka. Nikamshtua Edna aliyekuwa akikoroma kana kwamba ni usiku wa manane. Uchovu wa shughuli tuliyoifanya usiku wa jana yake. Nikamuacha na kuelekea bafuni kwaajili ya kuoga ili niweze kuelekea kazini kwangu. Nikiwa natoka bafuni, nikakutana na mama mwenye nyumba akielekea bafuni akaniambia. 'Mchana nna mazungumzo na wewe' sikuona sababu ya kumhoji. Nikamkubalia ndipo kila mmoja wetu akaendelea na mambo yake kulingana na kile alichokuwa akikiwaza. Nikaelekea chumbani kwangu. Tayari Edna alishaamka na alikuwa kaketi kitandani. Akachukua jukumu la kunipakaa mafuta mwili mzima. Alipomaliza nikavaa nguo zangu wakati huo yeye akitoka na kuelekea kwake. Nikaelekea kazini kwangu mawazo yote yakiwa kwa mama mwenye nyumba. Nilipofika kazini, nilimkuta Sam kijana wangu wa kazini akiwa ameshafika. Stori za hapa na pale zikatawala huku kazi ikiendelea. Ilipotimu majira ya saa tano, Emmy akafika uso wake ukionyesha tabasamu la wazi pindi aliponiona.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Yani na leo nisingekukuta, ningeumwa ugonjwa ambao kuutibu ungehitaji gharama kubwa" alikuwa ni Emmy akiongea maneno hayo bila kujali wateja waliokuwa pale.

    "Usijali maadam umenikuta kila kitu kitakuwa sawa" nilimjibu.

    Hata wateja walipoisha na kubaki sisi wenyewe, Emmy hakuwa na la maana aliloliongea zaidi ya kujichekeshachekesha. Hakukaa sana, akaniomba namba yangu. Alipofanikisha hilo akatuaga na kuondoka. Mwili wangu ulikuwa nyang'anyang'a kwa uchovu. Hata kuwepo kazini ilikuwa kujilazimisha tu. Lakini sikuwa na budi kutekeleza majukumu yangu ili kipato kizidi kuongezeka. Tukiwa tunaendeleza huduma zetu kwa wateja, nikapigiwa simu kwa namba ngeni. Hakuwa mwingine bali ni mama mwenye nyumba.

    "Unaweza kuja hapa Tanzanite hotel muda huu?" ni swali aliloniuliza baada ya salamu. Kuangalia muda ulikuwa muafaka kwa mahanjumati. Kwanini nikatae ofa? Tena ofa katika muda muafaka? Ukizingatia tayari nilishajua nia yake. Alikuwa akitaka kuonja utamu wangu. Lakini ni mke wa mtu. Haijalishi!

    "Nipe dakika tano nitakuwa hapo" nilimjibu. Sikutaka kumshirikisha Sam jambo hilo, nikamuaga na kuchukua bodaboda kuelekea Tanzanite hotel. Nilipofika nikamkuta mama mwenye nyumba akiwa anaishusha taratibu soda aina ya mountaindew. Akanionyesha uchangamfu wa hali ya juu.

    "Nilifikiri usingekuja" aliniambia huku akinikazia macho usoni mwangu.

    "Kwani una nia mbaya na mimi hadi niogope? Labda mzee atukute hapa ndo itakuwa balaa maana atahoji kinachoendelea" nilimwambia wakati huo nilishaletewa ugali samaki niweze kuituliza njaa yangu.

    "Aah! Kumbe muoga hivyo hee? Ili vizuri uwe muoga lakini hayupo kasafiri na atarudi baada ya wiki moja" alizidi kunimwagia sera utadhani wanasiasa mbele ya hadhara. Taratibu nikiwa naendelea kuyatia tumboni matonge ya ugali, stori za utani zilikuwa zikiendelea utadhani ni watu tulio sawa kwa rika. Kumbe kanizidi miaka kama ishirini. Dakika kadhaa kimya kikatawala baina yetu pale wateja wawili walipokaa jirani yetu.

    "Kuna kazi nataka nikupe kesho usiku ukitoka kazini." aliuvunja ukimya wale watu walipoondoka na kutuacha sisi tukiburudika kwa vinywaji baridi visivyokuwa na kilevi ndani yake.

    "Mh! Kazi gani hiyo tena ya usiku? Na ukizingatia nikitoka kazini nakuwa na uchovu? Huoni itakuwa vigumu kuifanya kwa ufasaha japo Mererani kilichonileta ni kutafuta fedha??

    "Usitie shaka. Si kazi ngumu lakini utapata malipo mazuri pengine kuliko fedha unayoiingiza kwa wiki moja kazini kwako."

    "Mimi ni mtafutaji na bado sijapata. Lakini nidokeze ni kazi gani ili nijipe muda wa mapumziko kwa kumuachia kijana wangu kazi leo na kesho."

    "Haraka iweke pembeni mradi nimeshakwambia ni kazi nyepesi na yenye malipo mazuri" alinijibu kisha akainuka na kwenda kulipia bill yetu. Hapakuwa na lingine zaidi ya kuondoka kila mmoja na njia yake. Nilipofika kazini nikamuomba Sam aendeleze majukumu pamoja na kumtaarifu kwamba kesho yake nisingeripoti kazini. Nashukuru alikuwa muelewa hivyo nikaelekea nyumbani kujipumzisha. Sikuhitaji usumbufu kutoka kwa mtu yeyote, nikazima simu yangu na kujitupa kitandani kama mzigo hata bila ya kuoga. Nikapitiwa na usingizi mzito. Niliposhtuka ilikuwa ni majira ya usiku. Njaa ikiwa kali tumboni mwangu. Nikainuka kiuchovu lengo langu likiwa kwenda kutafuta chakula kwakuwa nilihisi uvivu wa kupika. Lakini nikapigwa na mshangao pale macho yangu yalipotua kwenye meza yangu ndogo iliyokuwa mle chumbani. Hotpot ikiwa juu yake. Haa! Nilistahili kushangaa. Nikapiga hatua na kuisogeleg. UNASTAHILI. Maandishi makubwa kwa rangi ya kijani yalisomeka kwenye karatasi iliyofunika hotpot ile. Ni nani huyu aliyefanya hili? Nilijiuliza.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nilipaswa kujiuliza juu ya mtu aliyekiweka chakula kile. Ni Edna au? Mke wa mwenye nyumba au? Nilijikuta njia panda ghafla. Lakini njaa inanisulubu kweli. Acha nile. Nikanawa mikono na kukifakamia chakula kile kwa fujo. Ilikuwa ni tambi na nyama. Tena ambazo ni ugonjwa wangu. Zile za kutiwa sukari na siyo za chumvi kama wafanyavyo baadhi yao. Sikubakisha hata kidogo maana utamu wake ulikuwa si mchezo. Nilipomaliza nikamimina maji baridi ya wastani na kushushia. Ewalaa! Mambo si ndo hayo? Nikawa nimeshiba kwa kula chakula nisichojua kitokako. Nikafungulia muziki laini ili kupotezapoteza muda. Nikiwa naburudika kwa burudani hiyo, nikakumbuka kuwasha simu yangu. Hazikupita dakika mbili, meseji tatu zikaingia mfululizo. Ya kwanza ilitoka kwa Emmy. "Mbona unanitesa hivi mwenzio?" Hiyo sikuona umuhimu wake. Nikafungua nyingine. Hiyo ilitoka kwa Nasra. "Unaonaje nifanye mbinu niwezavyo ili kesho tulale wote tukipeana mambo usiku kucha hadi tutosheke?" Hiyo ilinifanya nigune. Kwakuwa kesho ndo nilikuwa na miadi kwa mke wa mwenye nyumba. Nikamjibu kwa kumwambia afanye siku nyingine. Hakuwa mbishi sana. Akanielewa kwa kupanga siku mbili mbele. Iliyofuata ilikuwa ikisomeka hivi, "Umeshiba mawazo yangu?" namba ilikuwa ni ile ngeni iliyonipigia mchana. Haikuwa ya mwingine bali ni ya mke wa mwenye nyumba. Unaweza kuwa umechanganywa na meseji yake hiyo kwa kumaanisha tofauti. Yani mimi kushiba mawazo yake. Utakuwa umekosea. Alichomaanisha ni mimi kuwa sumbuko la fikra zake. Aliniwaza sana. Kwa wapenzi huenda angeniuliza, 'laaziz wangu umeshib?' au angetumia neno lolote linaloashiria mahaba. Ila huyu alikuwa bado. Ndo maana akasema mawazo yake. Loh! Wanawake wengine bhana! Si ana mume wake? Iweje aniwaze mimi badala ya mume wake aliyeko safarini? Nikaamua kumjibu. "Nimeshiba sana mpaka namtamani wa kunipunguza shibe. Lakini umepata wapi ujasiri wa kuingia ndani kwangu? Huoni litakuwa tatizo kama utakuwa umeonekana?"

    "Ujasiri hauuzwi lakini nashindwa kujizuia" alinijibu na kunifanya nicheke. Aisee! Alikuwa ni mkubwa eti! Sema tu uzuri na umbo lake vilikuwa vikivutia. Changanya na rangi yake maji ya kunde. Kwanini udenda usinitoke hata kama yupo sawa na mama yangu? Si nitakuwa namtendea dhambi shetani kwa kumuacha mama huyu? Eti wasomaji ningekuuliza kipindi hicho ungenishauri nini? Maana huyo mama mvuto wake unakolezwa na hayo macho yake ya mduara. Jamani aah! Wacha nifaidi tu mengine mbele ya safari.

    "Haya mama" unajua alinijibu nini? Soma tu. "Niite mama mbele za watu lakini tukiwa wenyewe unaruhusiwa kuniita Sabrina" mh! Nilichoka kwa maneno yake. Tulichat kwa muda mrefu na kabla hajanitakia usiku mwema alinisisitizia kujiandaa kwa kazi yake atakayonipa kesho. Muda ulishaenda, nikafunga mlango na kurejea kitandani. Nikiwa usingizini, nilishtuliwa na mlio wa simu yangu. Nilipoangalia mpigaji alikuwa ni Emmy. Saa ilionyesha saa nane usiku. Kulikoni tena? Niliwaza kabla ya kuipokea. Ikaendelea kuita nikiwa naiangalia hadi ilipokata. Dakika kadhaa ukaingia ujumbe mfupi kutoka kwa Emmy uliosomeka hivi,

    "Natoroka nyumbani nije kwako. Halafu naacha ujumbe wa kuwaelekeza niendako ili nikipata matatizo wajue pa kuanzia. Nimeshindwa kulala Emma kwa ajili yako. Kwanini nipate tabu kiasi hiki wakati tabibu upo?" Nilishtushwa sana na ujumbe ule. Usiku wote ule tena kwa mtoto wa kike si sherehe kwa wahuni? Nilijikuta nikitetemeka na jasho kunitoka kwapani japo haikuwahi kunitokea hapo kabla. Balaa gani tena hili linalotaka kuniharibia maisha? Yani niende jela kisa kitendo cha nusu saa? Nikapata wazo ambalo niliona litaweza kunifaa.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Nakuahidi keshokutwa nitamaliza tatizo lako. Nakuomba sana Emmy. Na nisipotimiza fanya lolote la kunidhuru." Huuu! Nilishusha pumzi ndefu alipotuliza mzuka wake kwa kunitaka kutoleta masikhara siku niliyomuahidi. Nikarudi usingizini.

    Yani ile alfajiri kabla ya wale ndugu zangu waislam hawajaadhin, mlango wangu ukagongwa. Nikaamka na kwenda kufungua. Hamali! Mke wa mwenye nyuma kabebelea hotpot. Akanipa na kuniambia maelezo mengine kwenye meseji. Akaondoka na kuniacha nikicheka peke yangu.

    "Hiyo ni supu. Ukifika muda wako utakaouona unakufaa utapasha unywe halafu upumzike. Leo sitaki upate tabu maana hiyo kazi nnayotaka unifanyie siyo ya kitoto" hayo ndo yalikuwa maelezo ya meseji yake. Kweli ukitaka kuyajua mengi toka kwa walimwengu, kuwa mtembezi. Mazuri kwa mabaya utayajua. Siku hiyo nilishinda ndani kwangu. Muda niliotoka ilikuwa ni kwenda kula chakula cha mchana. Nadhani alishindwa kuniletea kutokana na mazingira kuwa hatarishi mchana ule. Masaa yalienda kasi mno. Ilipotimu majira ya saa mbili usiku, akanitumia meseji.

    "Fanya haraka. Nazima taa ya nje ili uingie ndani kwangu" huyu mama mtaalamu kweli. Sikuchelewa, nikafunga mlango wangu na bahati nzuri pale nje hapakuwepo mtu. Taa ilipozimwa tu nikawahi chap na kuingia ndani ya nyumba tayari kwa kazi niliyoahidiwa malipo mazuri.



    Nikajifanya kutofahamu nia yake kwa kumwambia, 'nipatie vifaa vya kazi ili tusipoteze muda' ujue sikuwa nimemuangalia usoni nilipoingia mle ndani. Macho yake sijui alikuwa ameyafanyaje maana yalikuwa kama yanadondoka. Yaani yamelegea hadi huruma ikanikumba.

    "Nifuate nikuonyeshe kazi yenyewe" aliniambia huku akitembea kuelekea kwenye korido iliyotenganisha vyumba. Hata mwendo wake haukuwa wa kawaida kama nilivyozoea kumuona. Alitembea kwa kujilazimisha. Usipate tabu msomaji wangu kwanini alikumbwa na hali hiyo. KUNGU. Halafu mwanga hafifu wenye rangi ya kijani ndani ya nyumba ile, ulichangia kuyalegeza macho yake. Safari yetu ikaishia chumbani. Chumba kikiwa katika hali ya utulivu na manukato yenye kustarehesha pua za mnusaji. Zulia jekundu na la manyoya likiwa limetandikwa chini huku likipambwa kwa maandishi meupe yaliyosomeka hivi, 'ukipewa kula' nile nini? Chakula hakipo mezani? Oooh! Kumbe chakula chenyewe ni mwili wa mwanamke aliyesimama mbele yangu bila nguo yoyote mwilini mwake. Alishajiandaa kumbe ile khanga iliyouficha mwili wake nilipoingia ndani, haikuwa imefunika nguo yoyote. Hivyo tulivyoingia ndani akaifungua na kuiacha idondoke yenyewe na kumuacha katika hali ya matamanisho mwanaume Emma. Nikiwa katika kuduwaa, mikono laini ikapenya katika shati langu. Ikianza kwa kunipapasa kuanzia tumboni kuelekea kifuani. Eti wewe mwanaume unayesoma hili chombezo si umewazoea wanawake wenye kuwa na kichaka cha nywele laini katika bustani zao? Hata kama hawana basi wamenyoa. Huyu mama kama alivyonitaka nimuite Sabrina, alibarikiwa. Unashangaa? Bustani haina haja ya parizi. Inang'aa mpaka unatamani uipewe uwe unatembea nayo ili kila wakati uitizame. Nilistahili kuivamia kwa pupa kwasababu ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kukutana na mwanamke wa aina ile. Alaa! Wacheni nilambelambe tamu ya Sabrina kwa raha zangu. Mafidofido ya koo na mifangasi ya domo ikitokea ni baadaye mbele ya safari. Wakati huu ngoja uchogo wangu upate kusisimka na uwe mdogo kama pilitoni kwa raha.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Umebarikiwa." Nilimsifia wakati huo tayari nimeshamla chini nifaidi utamu wa bustani yake kupitia ulimi wangu. Unadhani alikumbuka hata kusema asante? Nilichokisikia ni sauti za miguno zilizoambatana na maneno mengi aliyoyatamka kwa shida huku akikipandisha kiuno chake juu chini. Kulia kushoto. Mara Mwanza, kabla hajafika anarudi Arusha. A-aaa-ss-oosh- tara-ti-bu-u-ta-ni-u-a

    Kwa maneno yake na muonekano wa macho yake ya kulegea, nilijikuta nikizidisha kasi ya ulimi wangu mara mbili zaidi ya mwanzo. Mikono yote ikiwa na kazi ya kuyapapasa mapaja. Mbona nilimpa tabu mamaa Sabrina? Papasa ya kupitishapitisha vidole vyangu mapajani mwake huku ulimi ukiendana vyema na uke wake, vilimkausha sauti. Miguno ikakata ghafla na yale maneno hakuyatamka tena. Akatulia tuli. Mada kesi! Walai nimeua! Niliwaza huku nikiachana na zoezi lile. Mapigo yangu ya moyo yakanienda kasi na nilichowaza ni kuikimbia Mererani. Kazi uniitie mwenye halafu hata kabla sijaikamilisha niende jela? Nani wa hivyo? Hapa ni kutoroka haraka iwezekanavyo.

    "E-n-d-e-lea bw-a-na" yani kama vile mtu aliye katika ndoto. Hajielewi hata kidogo. Duh! Huyu siyo ndoto ni raha zilimzidi na kumpelekea apoteze network ya voda atumie ya zantel.

    "Ushanitia mawenge mwenziyo hapa nilikuwa nawaza nitoroke kukimbia maiti yako." Nilimwambia lakini hakunijibu zaidi ya kujiinua na kupitisha mikono yake shingoni mwangu kisha akakielekeza kichwa changu kule kulikompotezea network.

    "Nizimishe tena sina ujanja" huyu mama ana balaa kwelikweli. Tena si balaa dogo. Nirudie tena? Nilijiuliza lakini sikupewa muda wa kutafakari jibu. Kiuno kikipandishwa juu na kushushwa ikasababisha mdomo wangu ujikute ukiendana naye. Unadhani atachelewa? Loh! Mwenzenu nikahisi ukakasi mdomoni mwangu. Si mmeelewa nilichomaanisha? Nyie siyo watoto bhana nadhani mmenielewa tena wengine na kucheka mnacheka. Asante zikawa nyingi lakini hapo mimi nahisi mwili si wangu. Hali mbaya kwelikweli.

    "Najua unajisikia vibaya lakini tukaoge kwanza." Wengine mmezoea kufuta hata kama suala la maji si tatizo. Hutapata raha kama wazipatazo wale walioondoa kwa kutumia maji. Hapo ulikuwa hujapata uhondo. Kaa mkao mzuri. Akanivua nguo zote na kilichofuata ni mikono yetu kuvishika viuno vyetu. Tukaingia bafuni. Lipo beseni kubwa la kuingia watu wawili. Tukajitupa ndanimwe. Raha niliyoipata ndani ya lile beseni naapa sikuipata kwa mwingine na sikuwahi kuipata hapo kabla. Usidhani ilikuwa ni kuoga kweli. Kakudanganya nani? Usidanganywe na mawazo yako. Tulipoingia kwenye lile beseni nikahisi uvuguvugu maridhawa wa maji. Tukakaa mkao wa kuangaliana kisha yeye akapitisha miguu yake katika kiuno changu. Ukaribu wa midomo yetu ukapatikana pamoja na wa viungo vyetu nyeti. Usishangae nikikwambia nilitamani yule mama awe mke wangu. Nisingejali maneno ya walimwengu kwamba ni mkubwa kwangu kiumri. Lakini ndo ivyo kawahiwa.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Ndani ya beseni shughuli haikuwa ya kusimulia bali ungefanikiwa kushuhudia mwenyewe. Staili ile ilinipagawisha mie mtoto wa kitanga. Ukichanganya na ule uvuguvugu wa maji, basi ikawa burudani. Vinywa vyetu vikiwa na kazi moja ya kupeana mate. Haikuchukua muda nikaona dalili za wazi kwa Sabrina akitaka kuvunja dafu kwa fujo. Akaning'ang'ania ulimi wangu mpaka nikahisi anaunyofoa. Hata nami sikuwa mbali, kasi nikaiongeza ili nihakikishe tunavunja kwa pamoja. Ewalaa! Nikafanikiwa.

    "Mh! Aliyekuanza alifaidi sana maana umezidi utamu." Yalikuwa ni maneno niliyomwambia Sabrina tukiwa juu ya kitanda baada ya kutoka bafuni. Huyu mama sijui ni wa namna gani. Unajua kwanini? Punguza munkari nikupe uhondo msomaji wangu. Hakuongea chochote, kiganja chake kilaini na chenye joto, kikaanza kuuchua taratibu uume wangu. Siyo kama wale viganja vigumu kama vya waponda kokoto. Badala ya kukupa raha anakukwaruza utadhani kuku anatafuta wadudu dampo. Akanisogezea kinywa chake karibu. Nikaupokea ulimi wake na kazi ikaanza upya. Hee! Sabrina akiona uume umesimama dede tena siyo kwa kutumia manjonjo mengi kuusimamisha, akili zinamruka anakuwa kama kichaa aliyepewa nguo mpya ilihali kazoea zilizochakaa. Yani wadudu wanampanda si kidogo. Akautoa ulimi kinywani mwangu na kuhamia kunako uume wangu. Akawa anaunyonya taratibu na wakati mwingine anaushika kisha anaachama na kuhema kwa nguvu. Lile joto kutoka kinywani mwake lilipata nafasi kuutesa uume wangu. Akaona haitoshi, akaamua kuufyonzafyonza kadri alivyotaka. Nikawa hoi jamani. Nikatamani kurudi mchezo. Na yeye aliliona hilo, nikamuona akijiweka sawa ili aweze kujipimia utamu. Nani wa hivyo? Eti jamani si nimeitiwa kazi? Iweje nimuache ajipe mwenyewe? Acheni nimpe ili siku akisikia jina langu linatajwa, kuanzia nywele mpaka kucha vimsisimke. Nikamzuia asipande juu yangu. Nikamuweka mkao wa kulala kiubavu lakini tukiwa tunatazamana. Nikaona siyo sawa katika kuzidi kumuwehusha, nikamgeuza kidogo shingo yake na kusababisha ncha ya ulimi wangu ipenye kwa urahisi katika shingo yake. Mambo si ndo hayo? Ee babu yangu shetani nipokee kwa mikono miwili maana hapa natenda dhambi. Sikuishia hapo, mkono wangu ukaushika vyema uume wangu. Unajua nilifanyaje? Tulia hapohapo na ujiweke mkao wa kupata raha. Sikuuingiza ndani, bali nilichofanya ni kuwa nausugua katika mlango wa bustani yake. Ukisikia wahaya wanakwambia Katerelo, basi usipate tabu ya kujiuliza mara mbilimbili maana ya neno hilo. (uume kukisugua kisimi. KATERELO) Ndo staili hiyo. Taratibu pasipo wenge nikawa nampa kashkash mama wa watu. Unadhani atavumilia kutopiga kelele kwa raha alizokuwa akizipata? Jibu ni hapana. Raha zilipitiliza. Akapiga kelele mithili ya mtu aliyepatwa na mapepo. Ikawa siyo kukata kiuno bali kuvunja kiuno. Mwisho nikasikia, 'ooh kasinge. Ooobeja' hizo lugha mimi sizifahamu lakini nilizikariri ili siku moja nikusimulie. Leo yametimia.

    "Yaani ukisikia mtu mzima tena mke wa mtu kugombana na wasichana, ndo mimi. Sitakubali nizikose hizi raha pindi nikizihitaji." Umeyasikia maneno ya mama mtu mzima Sabrina? Nadhani umemuelewa sina haja ya kuelezea. Hiyo ilikuwa ni baada ya kutoka kuoga kwa mara ya pili. Nikahakikisha naupakaa mafuta mwili wake ili akiwa anatoka kuoga ananikumbuka. Ndiyo atanikumbuka. Siyo kama nyie wanaume mnawatia wadada wa watu lakini hata mkiachana wala dada huyo hana kumbukumbu na wewe. Oga naye, toka bafuni mfutefute maji kisha mpakae mafuta. Usisahau na kumvalisha hata kama ni ile nguo ya ndani pekee. Hakika siku mkiachana halafu akampata asiyemfanyia hayo, lazima utajirudia katika fikra zake. Sasa mwenzangu maliza kumchafua vaa liboxer lako utimue zako, uone kama atakukumbuka.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Hapa tumeiba na sitaki tena huu mchezo uendelee nisijegeuzwa kitoweo na wanaume wenzangu." Nilijibaraguza lakini moyoni nikijisemea, 'uwe unanipa kila siku maana utamu ushanionjesha mwenyewe'

    "Mimi ndo ntakuwa nafanya mbinu zote ili unipe raha. Yaani lijanaume unajitahidi usafi na maandalizi mazuri kabla ya tendo lakini mpaka ulipepee kwa feni ndo lisimamishe. Na hata likisimamisha halikuridhishi. Kazi kuniacha na hamu mpaka natamani kujitia madole wakati mwingine." Jamani wasomaji hapo siongezi neno maana yote Sabrina kayatamka.

    "Naomba nirudi ndani kwangu maana kazi yako tayari nshaimaliza. Pasijekucha nikiwa humu ndani ikawa balaa." Nilimwambia lakini akili yangu ikiwa imetawaliwa na muwashawasha wa kujua ni kiasi gani nitapewa. Akainuka kitandani kwa mapozi na kutembea hadi kabatini, akavuta droo na kutoa bahasha. Akanikabidhi na kunikumbatia kwa nguvu kisha akaniachia. Tukaongozana hadi sebuleni ambapo alizima taa ili niweze kutoka. Huku nikitembea kwa kupepesuka kutokana na uchovu, nikasikia sauti ikisema kutokea dirishani. "Na mimi nataka. Hizo raha lazima nizigawane na wenzangu" alikuwa ni mama Zabroni. Nimepatikana. Uzuri hakuwa na mume.



    ITAENDELEA



0 comments:

Post a Comment

Blog