Search This Blog

Monday, October 24, 2022

AAH...SHEMEJI...AACHAAA...! - 2

 





    Chombezo : Aah Shemeji ... Achaaa !

    Sehemu Ya Pili (2)





    NAYE Aisha hakuwa mbumbumbu, akaupenyeza mkono wake hadi sehemu fulani mwilini mwa Abdul na kushika kile alichotaka kukishika. Akamtomasa kwa mapozi, kiganja chake laini kikizidi kumchanganya Abdul na kumwongezea mhemuko. Hakika Bw. Abdul alipagawa sana hadi kufikia hatua ya kutaka kuvunja amri ya sita ndani ya gari.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Aisha uvumilivu umenishinda mpenzi, tufanye basi hata kidogo,” Abdul alisema kwa tabu, akizidi kumvuta Aisha na kumkumbatia.

    Aisha hakuona kuwa ni ustaarabu kufanya mapenzi ndani ya gari hivyo alimshauri shemejiye kuwa wapange siku nyingine ya kufanya maangamizi kunako sita kwa sita.



    Kwa kuwa muda ulikuwa umeenda sana hivyo wote walikubaliana kupanga siku nyingine ya kutimiza azma yao.



    ********

    Huku nyumbani Nasra akiwa juu ya sofa pembeni kuna meza ambayo juu yake kuna glasina chupa iliyojaa juisi ya parachichi. Nasra alimaliza glasi za juisi huku akibadilisha CD za aina mbalimbali kataka runinga.



    Muda mrefu ulipita hatimaye Nasra alichoka kukaa kwenye sofa, taratibu alielekea chumbani kujipumzisha huku njaa ikimtafuna. Baada ya saa moja kupita Nasra alishtuka toka usingizini,aliitupia jicho saa iliyokuwa ukutani ambayo iliomwonyesha kuwa ni saa kumi jioni.



    “Hee!Sokoni huko sokoni ganijamani tangu asubuhi hadi saa hizi.Mmmm! Haya.Aisha alitamka kwa uchungu.”

    Taratibu alivuta mtandio wake na kuupachika begani, kisha akafunga mlango na kuelekea katika baa iliyokuwa karibu na nyumba yaokwa ajili ya kujipatia chochote kitu.



    Dakika chache baada ya kurejea nyumbani alisikia sauti ya honi ya

    gari iliyoashiria kuwa mumewe alikuwa amerudi.

    Nasra alinyanyuka taratibu na kuelekea wanapoegesha gari.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Vipi jamani wazima?” Nasra aliuliza kwa tabasamu ili kuficha hasira zilizomjaa.



    “Sisi wazima dada sijui wewe? Pole sana kwa kukuacha mpweke kwa muda mrefu.” Aisha alitamka kwa furaha ili kuficha upuuzi wake na shamejiye usije ukagundulika.



    Usiku ulipowadia walikutana mezani kupata chakula. Nasra kama kawaida yake baada ya dakika chache taratibu alinyanyuka kuelekea chumbani huku akimtakia mdogo wake usiku mwema.



    “Na wewe ule haraka tuje kulala.Acheni stori zenu za uongo.” Nasra aliongea kwa utani.



    “Sawa bwana.”



    Baada ya kimya cha muda mrefu Bw Abduli alianza stori zake za kuwinda ndege.



    “Kesho itabidi umuage dada yako kuwa unakwenda kwa rafiki yako Anita ili tuweze kukamilisha mipango yetu,au vipi dear.”



    “Sawa usijali.”



    Asubuhi ilipofika Aisha hakuona sababu ya kupoteza muda kwani baada ya kumtakia hali dada yake alimweleza juu ya safari yake.



    “Dada mimi nataka kwenda kumtembelea rafiki yangu Anita MoorjaniAna nini?Anaumwa?”



    “Hapana ninaenda kumtembelea tu”



    “Sawa ila jitahidi kumaliza kazi za asubuhi kabla ya kwenda huko”



    “Sawa dada.”



    Dada’ake hakuwa na kipingamizi kwani hakuelewa kilichokuwa nyuma ya pazia. Hata hivyo alimshauri kuwa asikawie kurudi.Kwani nyakati za usiku huwa kuna uhalifu mwingi.



    Bw. Abdul hakuamini macho yake kama siku ile adhimu waliyokuwa wakiisubiri kwa hamu tele hatimaye imewadia.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Aisha mpenzi unajisikiaje?”Bw. Abdul aliuliza huku akisitasita. Aisha hakujibu lolote zaidi ya kung’ata kucha za vidole na kuangalia dirishani akiashiria kuwa na aibu.



    “Nitazame basi mpenzi acha aibu zako wewe! “Ungependa kula nini leo?”



    Baada ya kimya cha dakika kadhaa Bw. Abdul aliisogelea simu ilyokuwa mezani na kubofya namba tofautitofauti kisha kuiweka sikioni mwake.



    “Haloo.”



    “Haloo.” sauti ya upande wa pili ilisikika.



    Chumba namba sita hapa ninahitaji chipsi kuku mbili na juisi ya parachichi.



    “Sawa bosi.”



    Baada ya dakika chache mlango uligongwa, alikuwa ni yule mhudumu aliyemwagiza chakula.



    “Karibu” Bw. Abdul alimwamuru mhudumu kuingia ndani.

    Baada ya kuingia yule mhudumu aliweka sahani za chakula juu ya meza na kuwakaribisha.



    “Kula basi mpenzi au nikulishe.”



    Bw. Abdul alichukua kipande cha kuku na kumlisha Aisha huku mkono wake mwingine akigusa titi la Aisha.



    Najua kuwa wewe unapenda sana chipsi kuku na ndiyo maana nami nikaagiza hivyo.



    Waliendelea kula kwa muda kadhaa wote wakiwa kimya.Chakula kilianza kwisha taratibu ndani ya sahani,macho na mikono ya Bw. Abdul ilikuwa katika matiti ya Aisha. Taratibu Aisha alianza kulegea na kujitupa kitandani. Bw. Abdul aliacha kula naye akajibwaga kitandani juu ya kifua cha Aisha. Matiti yaliyosimama kifuani kwa Aisha yalimchomachoma Bw. Abdul kiasi cha kuamsha mihemko ya mwili. Bw. Abdul taratibu aliipandisha sketi iliyovaliwa na Aisha na kusababisha mapaja yake kubaki wazi. Udenda ulimtoka Bw. Abdul kwa kuona mapaja yaliyoumbika vizuri.Bw.



    Abdul aliigeuza shingo ya Aisha na kuielekeza upande wake kisha kuikutanisha midomo yao kwa ajili ya kubadilishana mate.Bw. Abdul alisaula nguo alizovaa na kubakia na nguo ya ndani tu,kisha alimwinua Aisha na kumvua nguo zote.



    “Mpenzi nivue na mimi basi.”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Mikono ya Aisha taratibu ilielekea kiunoni mwa Bw. Abdul kisha taratibu aliishusha boksa. Polepole Bw. Abdul alimbeba Aisha na kumtupia kitandani kisha naye alifuata. Kilichoendelea hapo hakuna aliyeshuhudia zaidi yakusikia miguno ya kimahaba ikitoka mdomoni mwa Aisha,



    “Shemeji acha…! Shemeji taratibu…!Basi shemeji…! Wajuzi wa mambo haya hudai kuwa miguno hiyo humfanya mwanamume kujihisi kuwa yeye ni kifaa kwelikweli.Hakika Aisha alimaliza miguno ya aina zote ilimradi tu kumteka shemejiye.Kwa upande wa staili nao hakika Aisha hukuwa nyuma ingawa hakuwahi kufundishwa unyagoni lakini alizibamba zile za kwenye vitabu visivyoruhusiwa kusomwa na watoto hivyo alijitahidi kuzikumbuka. Maana wenyewe wajuzi wa mambo haya hudai kuwa katikakona hii si vizuri kukaa kama gogo linalosubiri mpasuaji.



    ******

    Dakika takriban 45 zilipita bila ya mechi kufikia kileleni. Hakika Bw. Abdul alijaliwa na Mungu katika sekta hiyo. Staili zilibadilishwa kila mara lakini haikuwa rahisi kufikia kileleni kwa muda mfupi.



    Chezea Bw. Abdul wewe.Aisha alishindwa kuvumilia hivyo alijikuta akitoa sauti kubwa iliyosikika hadi nje.Bw. Abdul alimtuliza kidogo kisha mechi ikaendelea kama kawaida.



    Baada ya muda kadhaa kupita hatimaye mechi ilifika kileleni. Aisha alikuwa na uchovu hivyo hakutaka hata kumwangalia Bw. Abdul,alijigeuza upande wa pili na kuruhusu usingizi. Kwa upande wa Bw. Abdul naye hakutofautiana na Aisha, alichukua taulo na kujifuta jasho kisha alijilaza kupata usingizikidogo. Wote walilala kwa dakika kadhaa.Muda mfupi baadaye waliamka.



    “Shemeji hakika Mungu amekujaalia mashine yako inasaga ile mbaya tangu nizaliwe sijawahi kukutana na muziki kama huo. Mmmm! Kumbe dada yangu kazi anayo.” Aisha alisema kwa utani huku akimwangalia shemejiye. Bw. Abdul aliona aibu alisita kidogo kisha akasema

    “Hakuna kinachoshindikana mpenzi, mwanzo dada yako alipata tabu sana lakini taratibu akazoea,sasa hiviasipopata kwa siku chache tu hana raha na leo nilivyochokasijui itakuwaje. Akisikia kuwa unamchukulia mali yake kazi unayo.”



    “Aende zake huko kama haupo wenzio wala,nami ntazoea taratibu ye amewezaje mpaka mi nishindwe. Waswahili wanasema hakuna cha peke yako hususan hapa mjini.



    “Ukitaka kuhakikisha kama umeshaanza kuzoea turudie tena utagundua kuwa makelele uliyokuwa ukipiga mwanzo hayatakuwapo tena.”



    “Hee!Shida ya kunigeuza kizazi, hapa nilipo miguu haina ushirikiano.”



    “Nakutania tu dear.”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Bw. Abdul aliingiza mkono ndani ya suruali yake aliyoivaa na kutoa kitita cha laki mbili kisha akamkabidhi Aisha.



    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog