Chombezo : Play Boy
Sehemu Ya Tatu (3)
Niligeuka na kumuangalia kwa jicho la dharau tena kimya bila ya kumjibu chochote..
Nilipofika home tu kabla cjaelekea chumbani nikakutana uso kwa uso na baba sebuleni na alikuwa na hasira kama mbogo..,
"..jeff..? kuja hapa...?"
"..naam baba...!"
"...embu niambie mwanangu unamatatizo gani wewe...?"
"...hapana mzee"
Songa nayo….
Sikutaka kusikiliza cha zaidi nikaingia mpaka chumbani na kumkuta jacky kapumzika,
"jef mpenz.."
"unasemaje..?"
"...mbona upo hivyo jamani...?"
"wee..? wee...? wee...? tena koma kunifuatilia na nataka uniambie kitu kimoja..."
"kitu gani jeff...?"
"...jacky nataka nikutoe hiyo mimba sasa hivi.., hutaki potea hapa..."
"unasemaje jeff...? Kwa taarifa yako mimba sitoi hata ufanyaje.., siwezi kuua kiumbe kisicho na hatia jeff..."
"sasa na mi mzee kashanifukuza, na hapa unaponiona sina mbele wala nyuma nitalea na nini...?"
"...na ulivyonipa mimba ulitakaje..?"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"..nitakutandika mabao sasa hivi mshenzi mkubwa wee...!"
"nipige t lakini sitoi kitu hapa.."
Hasira kali zilinishka nikajikuta nimempiga jacky bonge la kibao nakumfanya alie kwa sauti ya juu,
"...nimesema nyamaza..?, nyamaza huko pumbavu..."
"jeff kwanini unanionea jeff...? Nipo tayari kukitetea kiumbe kisicho na hatia.."
Nikaona anataka kama kunipotezea muda,fasta fasta nikachukuwa bomba la sindano nakuvuta dawa iliyokuwa kwenye kichupa kisha..,
"...jacky ujue nakupenda tena sana tu..,ila nahitaji unikubalie hiki ninachotaka kukifanya.."
"kitu gani..?"
"...ili niweze kuendelea kuwa na wewe daima pliz nikubalie niweze kuku..."
Kabla sijamalizia kumwambia ghafla hodi ikapigwa tena kwa nguvu huku nikiisikia sauti ya baba kwa mbaaali ikiniita..
"...jeff si nimekwambia utoke huko muondoke..,sasa bado mnafanya nini huko..?"
Nilivichukuwa vile vitu nakuvitupa kitandani kisha nikaenda kufungua mlango ili nimsikilize mzee,.
"..jeff nakupa dakika 10 tu uwe umeshapotea ndani ya nyumba yangu na huyo mjinga mwenzako.."
"sawa baba..."
Nilichukuwa nguo zangu nakuziweka kwenye begi kwa upande wa jacky hakuwa na nguo zozote zaidi ya zile alizovaa..,nilipomaliza nikatoka na jacky huku lengo kubwa ni kwenda kutafuta chumba magomeni tena ile mitaa aliokuwa anaishi mshikaji wangu aliokuwa akinipa ufunguo getto kwake,kwa bahat nzuri tulipotoka nje baba alikuwa chumbani amelala hvyo aliyetuona ni maza peke yake..,
"..jeff mwanangu..?"
Nakuonea huruma sana mwanangu ila usijali utakapopata chumba uniambie kwenye simu,
"pouwa maza.."
Maza alinifuata nakunikabidh sh. Elfu 80,
"jeff mwanangu hiyo itakusaidia huko uendako.."
Nilijihisi tofauti kabisa ila nilijipa moyo kwani mi mtoto wakiume sikati tamaa..
~ Ndani ya Magomeni ~
Tulichokifanya na jaky wangu nikulipia guest huku akili ikiwa ni moja tu katika kutafuta mshiko ambapo utanifaa katika kutafuta getto..,
Usiku kucha kwangu ulikua ni wa mawazo kwa kwenda mbele hata simu niliiona chungu., sikupata mzuka wa aina yeyote zaidi ya kulala mzungu wa nne mi na jacky.
Ubaridi mkali uliokuwa umeanza, ulinisababisha kuvuta sana shuka langu nakujikunyata, Niliupenyeza mkono wangu mpaka kwenye begi nakuchomoa sindano kisha nikavuta dawa na kumvua nguo jacky taraaatibu ambapo alikuwa ameshapitiwa na usingizi tena fo fo fo,hapo hapo nikatumia mwanya huo, nikamchoma kwa nguvu uku nikiminya ile dawa iishe yote kwenye makalio yake..,
"jeff unaniua..? jeff..? jeff..?"
Nikamshuhudia jacky akitapatapa kama mtu anayetaka kufa kisha akanyamaza kimya..,
Hofu kubwa ikaanza kunitanda huku akili ikinituma huenda nilipewa dawa feki ambazo si za kutoa mimba..,ile namkagua jacky macho yangu yakakutana na damu zilizoanza kumchuruzika huku mashuka yale ya guest yakibadilika rangi nakuwa mekundu kwani damu ilikuwa imeshatapakaa eneo lote pale..,
"jacky..? jacky..? jacky..?"
Kimyaa.., mapigo yake ya moyo yakawa hayadundi tena mdomo kauacha wazi huku akikakamaa mwili wote ukimganda..,
" ...j a a a a a a a a a a c k y..."
"...wee jeff vipi mbona unapiga makelele mwenyewe...?"
Nilishtuka usingizini huku jasho likinitiririka na breki ya kwanza nikuyaangalia vizuri yale mashuka kama yamechafuka lakini haikuwa hivyo..,
"...mungu wangu kumbe zote ilikuwa ni ndoto tu.."
Aibu kubwa ilinishika hhvyo sikuwa na jinsi zaidi ya kugeuka upande wa pili nakulala naye huku nikimkumbatia mpaka asubuhi..,
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
~ Asubuhi ~
Kulipokucha tu breki ya kwanza ilikuwa nikumtumia sms helleiner tena bila kuonesha woga wowote..,
' hellow baby nimekumis ile mbaya.., upo...?'
Ndani ya sekunde chache akawa ameshanijibu..
'mi mzima nimekumis sweety wangu.., natamani hata ningekuona..'
Sikutaka tena kumjibu ile meseji yake zaidi ya kuingia chooni nakumpigia huko huko..
"...hellow helleiner wangu..."
"yap mambo jeff..."
"..pouwa nina matatizo mwenzako helleiner wangu..."
Matatizo gani tena mbona unanitisha hivyo jeff..."
"...samahani lakini japokuwa sijawahi hata kukwambia siku moja lakini imenibidi kukwambia leo..."
"...niambie jeff mbona unanitisha..., kitu gani kwani...?"
"...helleiner mwenzako hapa nilipo nimekwama kipesa sasa sijui kama utaweza kumisaidia...?"
"...aaahh jeff wangu kwa jinsi ninavyokupenda..,swala la pesa wala usiwe na shida mpenzi.., ni sh.ngapi..?"
Nikajifikiria kama sekunde tano hivi then nikampa jibu..
"nashida ya sh. Laki 2 na nusu..."
"...usijali mi nitakupa laki 3 na nusu na tena wala sihitaji unirudishie jeff..."
"..thanx..! thanx my baby.., mwaaah..! mwaaah...! mwaaah..., so...?"
"...baadaye tukutane ili twende benki lakini ni CRDB tukachukuwe"
"...pouwa wangu usijali.."
"ok.., baadaye basi..."
"ok..,i love you jeff..!"
"me too baby...!"
Nilikata simu huku nikiwa na mzuka wa hali ya juu..
Fasta fasta nikaingia hadi bafuni nakuoga kisha nikipotoka nikajipigilia pafyumu, full pamba kisha nikampatia jacky kama sh. Elfu 10 ya kula mchana kwani sitakuwepo..
"unasemaje jeff...? Unaenda wapi...?"
"...jacky naenda kutafuta ,hela ikiwezekana na kuwapata madalali ili watutafutie eneo la kuishi..."
"...kama nikutafuta hizo hela tutaenda wote na hao madalali tutawatafta wote..."
Nimeshasema mimi uwe unaniskia jacky..? Baki hapa nitarudi mchana.."
"jeff mguu wako.., mguu wangu.., hapa haachwi mtu..."
"....sasa nimeshasema ole wako unifuate..."
"jeff...? Jeff kwanini unataka kunikimbia mpenzi wangu...? Enhh...? Nimekukosea nini mimi..."
Jacky alianza kulia kwa uchungu huku akiwa hajiamini amini kama naenda nakurudi..,
"nielewe jacky mpenzi narudi pliz pliz pliz...?"
Niliona kama kaanza kulegea japokuwa mchozi mwingi ulikuwa ukimdondoka na tumbo lake lililokuwa limeanza kuwa kubwa lilichochea hisia zake nakumfanya aniwahi kunishika miguu yangu..,
"...hapa jeff huondoki..."
"...achia miguu yangu nakwambia.., achia jacky achiaaa...?"
"siachi..."
"achiaaaaaaa...?"
Hasira zikanipanda nakujikuta nikimrushia mateke mpaka mwenyewe akaniacha nikafungua mlango wangu huku nikimwacha akilia mpaka kwi kwi ikimbana..
~ Ndani ya Benki ~
Mishe mishe zilifanikiwa kwa asilimia zote kwani nilifanikiwa kukutana na helleiner ambapo tulienda mpaka ATM za crdb nakutoa kiasi cha pesa nakunipa sh. Laki 3 na nusu..,
"jeff elewa nakupenda sana na pliz usije ukanisaliti...!!"
"...usijali kwa hilo mpenzi nipo pamoja nawe milele daima..."
Nilimdanganya pale kisha nikaagana naye huku akili kubwa ikiwa nikuwatafuta madalali..,
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Nilifanikiwa kumpata dalali mmojawapo nakumkabidhi sh.elf 5 kwa ajili ya kunitafutia chumba cha bei rahisi siku hiyo hiyo kisha nikaenda mpaka manzese nikanunua godoro nakuchukuwa teksi kuelekea kwenye ile guest niliomwacha jacky wangu..,
Ile namalizana na dereva tax tu pale nje ya guest mara macho yangu yakakutana uso kwa uso na michelle sura mbaya akiingia mule ndani ya guest lakini hakuniona ila mi nilimuona..,
Kwa jazba nilijikuta nashuka huku naropoka,
"michelle...? michelle....?
niliendelea kumwita kwa nguvu lakini alinitolea macho kwa dharau kisha akanifyonza nakunibenulia domo lake,
"...we mpumbavu nini...? Wakaka wengine bhana..?"
Dah mzee mzima lilinishuka huku nikimtolea macho michelle sura mbaya ambaye alikuwa na mwanaume tena alikuwa anaonekana mtu mzima..
Niliachana nao kisha kilichofuata nikuingia chumbani kwangu moja kwa moja, nilimkuta jacky wangu kapitiwa kabisa..,
"...jacky..? jacky mpenzi..?"
"...abeee..!"
"...vipi mbona umenyong'önyea hivi..? Umekula..?"
"hapana..."
"..oh shiit..!!, kwanini jamani mpenzi wangu wakati hela ya msosi nilikupa..."
"hapana jeff.., sijickii kula kwa sababu yako..."
"ok, usijali mpenzi wangu nipo na itatubidi na leo tuongeze siku humu humu ndani mpaka kesho ndio tutahama..."
Nilitoka mpaka nje nikachukuwa godoro langu nakurudi mpaka mapokezi kwa dhumuni la kulikabidhi pale mapokezi.., nilipofika tu nikamkuta michelle sura mbaya..,
"..ndio matatizo ya kuja kwenye vijigesti vya uchochoroni.., ona sasa mnashindwa hata kuweka sabuni za kuogea eti mnaweka sabuni za mbuni duh.., enhe.., heee... heee...!!!"
Michelle sura mbaya alikuwa akibishana na yule mtu wa pale mapokezi..,ilinibidi kumsikiliza mpaka aondoke ndipo na mimi nimwambie huyu mhudumu kuhusiana na kulihifadhi godoro langu..,
"...eenh jeff...? Mambo...?"
Alijifanya kuniongelesha lakini nikabaki namtolea macho bila ya kumjibu chochote...,
"...jeff mpenzi sinaongea n wewe...?"
Bado niliendelea kukaa kimya huku nikimtolea macho ya dharau..
"...utake usitake mi ndio michelle yule unayemfahamu..."
Aliondoka pale huku akinitingishia makalio yake nakuelekea chumbani alipokuwa na jibaba lake..
"...wasichana wengine wanamatatizo kweli mungu awasamehe tu..."
Nilijikuta namwambia hayo maneno yule dada wa pale mapokezi kisha nikamkabidhi godoro langu nakuingia chumbani kwangu...
~ Usiku wa manane ~
Makelele yaliokuwa yanasikika juu ya bati iliashiria kuwa kuna bonge la mvua kwani ukiachana na milio ya radi ni ubaridi mkali uliokuwa ukipenyeza kwenye boxer yangu huku nikimkumbatia mchumba wangu jacky..,nilianza kupata hisia ambapo nilianza kumpapasa mwili wake uliokuwa na joto kali huku nikila denda taaratibu..,tulitekenyana sana ikiwa ni pamoja na kumshikashika maziwa yake yaliokuwa yamekakamaa kuashiria kuwa mimba imeanza kukomaa.., tukiwa bado kwenye mahaba mara simu yangu ikaingia meseji...,
' ...Jeff hili zee hata halinidhishi.., limenichezea lakini haliwezi hata kusex.., nataka kusex na wewe sa hivi pliz...'
Niliisoma nakuifuta fasta fasta kabla jacky hajagundua kitu kisha nikamjibu..,
' ...You are stupid...!! tena fala kabisa.., fuck you..!!'
Nikamtumia kwa hasira huku nikiiweka simu yangu pembeni..
Niliendelea kumshika shika jacky wangu huku nikimparua kwa kucha zangu nakumfanya asisimke mwili wote..,mara tena sms ikaingia..,
"...jeff embu zima lisimu lako bhana.."
Ilikuwa ni sauti ya jacky akionesha kukerwa na meseji zinazotumwa..,
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
'...jeff upo wapi na nani muda huu..?'
Alikuwa ni helleiner na akili moja kwa moja ikanituma niende chooni nikampigie kabla hajapiga huku kisingizio kikubwa kikiwa nitumbo limenisumbua ghafla hivyo nikamdanganya jacky nakukimbia mpaka chooni kisha nikampigia..,
"..hellow baby.."
"..jef upo wap mpenzi..?"
Nipo home mbona nimelala..?
"aru sure jeff...?"
"sure i am.."
"real...?"
"nikudanganye nini sasa...? Nipo nimelala nyumbani.."
"jeff..? jeff..? jeff..? nimepigiwa simu nimeambiwa upo guest huko magomeni sasa hivi umeonekana na mwanamke una..."
Kabla hajamalizia kuongea chochote nikamkatia simu..,haijakaa muda mara ikaita tena..,
"umenikatia simu enh..? Jeff unataka nikupendeje we jamani..? Yani kumbe ulitaka hela ya kuwahonga hivyo vijisichana vyako enh...?"
"helleiner..? helleiner..? nielewe sipo guest nakama unabisha njoo home sa hivi..."
"..sio home kwenu tu nakuja hadi hapo guest uliopo..."
Nilimkatia simu nikaona kama ananizingua.., pale pale nikaizima simu kabisa kisha nikarudi mpaka chumbani.
"..mpenzi vipi mbona umekaa muda mrefu hivyo..?"
"...tumbo lilinivuruga sana pia najishangaa nilikuwa natapika sana..."
"...pole sana haya zima hiyo taa tulale mpenzi.."
Nilijitahidi kutafuta usingizi lakini bado kichwa changu kikawa kizito sana kwani nilikuwa na mawazo sana tena ya vitu vingi sana..
Ndani ya kama dakika 40 nilianza kuhisi kama kausingizi kakinipitia huku kichwa changu kikiwa kifuani mwa jacky wangu.., mara hodi ikaanza kupigwa..,
"nani..? Naani..?"
Jacky akauliza kwa sauti ya juu..
"jeff nifungulie pliz.."
Jacky akanitolea macho tena kwa hasira akaniuliza..,
"jeff ni nani huyo anabisha hodi..?"
"jaman simjui.., achana naye usiku huu tulale tu mpenzi wangu.."
"hapana jeff mpaka nimjue.."
Nilimvuta sana jacky asiende popote tulale lakini akawa mbishi hivyo nikamwacha akaenda mpaka mlangoni kufungua...
"...we ndio unatembea na wanaume za watu enh...? Na leo ama zako ama zangu...
“..hapana sio mi..m…”
"...umezoea kuchukuwa waume za watu enh...? Si nakuuliza wee..."
"..hivi wee dada unamatatizo gani..?"
Nilibaki kimya nawasikilizia jacky aliyekuwa anagombana na mtu ambaye sikumfahamu kwani alikuwa amefichwa na mlango.., kwa sauti nilikuwa naifananisha tu kama siyo helleiner basi atakuwa ni michelle sura mbaya..
Mara nikasikia kama mtu kapigwa kofi kwa nje huku akitoa sauti kali ya kulia..,
"..mshenzi mkubwa we wa waume za watu.."
Nilishindwa kuvumilia kidume mimi ikanibidi niende mpaka walipo ili niweze kugundua ni mtu gani anayempiga demu wangu jacky..,
"..nimesema mwache.., mwacheee...!! malaya mkubwa we tena nenda kwa jibaba lako uliokuja nalo..."
"jeff..? jeff unanifanyia mimi hivi...?"
Kumbe alikuwa ni michelle sura mbaya na kwa muda huu alikuwa ameshamuadhibu jacky vya kutosha kwani alikuwa akilia huku kaegemea ukuta tena mwekundu mashavuni mwake kuashiria kapata kipigo kikali toka kwa michelle sura mbaya..,
"jacky mpenzi embu ingia ndani achana na huyu mpumbavu asiye na akili..."
Jacky alinielewa nakuelekea chumbani huku akiniacha na michelle sura mbaya pale kwenye kakorido...
"michelle hivi unaakili sawa kweli wewe...?"
"kwanini jeff mpenzi wangu.."
"...toa hilo neno la mpenzi.., Msenge mkubwa wee.., we unajijua umekuja na lijibaba lako then unakuja kuleta ugomvi na demu wangu..."
"...jeff si nilikwambia hilo jibaba lenyewe hata halijaniridhisha...?"
"sasa..? Unachotaka kwangu nini..?"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"..nataka ni sex na wewe jeff..."
Hasira zilinizidia nakujikuta nimemtandika bonge la kibao..,
"...jeff hata unipige vipi..? Kusex na mie leo uta sex tu taka usitake...!!"
"..hivi wee michelle unaakili zote kweli..?"
Sikuamini macho yangu kwani alikimbia nakuingia chumbani kwangu fasta kisha akalishusha godoro langu lile jipya nililonunua..,akavua nguo zake zote nakubakiwa uchi wa mnyama na shanga zake zilizokamatia kiuno chake..,
Sikuwahi kumuona michelle sura mbaya akiwa na shanga kiunoni ndio leo.., alifungua kapochi kake kadogo kisha akatoa kitu kama unga na kumeza kisha baada ya hapo akanifuata nakunipulizia kitu usoni mwangu nakuniambia..,
"...jeff nakupenda na lazima utanioa mimi tu sio yule pale mzoga wako au helleiner..."
Nilijikuta nalegea ghafla nakuanza kuitikia kwa kichwa nikimaanisha nakubaliana na anachokisema..,
"noo.., noo.., no jeff usifanye hivyo pliz mpenz wangu bado nakupenda na natarajia tulee wote hii mimba mpaka mtoto.."
Ilikuwa ni sauti ya jacky ikionesha kuwa haikubaliani kabisa na anachokiongeaa michelle sura mbaya..
"...michelle..? nakupenda pia, tena sana mpenzi wangu...?"
Sikuwa najitambua kabisa.., taaratibu nikavua suruali yangu ikifuatiwa na boxer kisha nikaenda mpaka kwenye godoro pale chini nakuanza kulala na tayari kwa ku sex na michelle sura mbaya...,
"...no jeff usifanye hivyo pliz..!! pliz...!! Nionee huruma jeff..."
Sikumuelewa kabisa jacky anachomaanisha akawa ananifuata pale chini kwenye godoro lakini kabla hajafika michelle akampulizia kitu..,nikashangaa anarudi kitandani kwake huku akiwa mpole na kimya..,
Nilianza kumshika shika michelle sura mbaya huku tukifurahia.., nilimpa mapenzi moto moto tena kwa kila style.., nilijihisi kama niko dunia nyingine..,
"...Ooh..! jeff..!! jeff..!! one more pliz...?"
"..Don't worry baby..!!"
"..ok., ok.., You are so s e e e x y jeff my love..."
"oh.., oh.., thanx..! thanx..! thanx..!"
Niliendelea kufurahia sex na michelle sura mbaya huku jacky akituangalia kitanda cha pembeni na usoni mwake alionesha kutokwa na machozi mengi bila ya kusema neno lolote..
"...michelle inatosha pliz..! pliz..."
"noo.., noo jeff tena pl i i i i zzz..!!!, unajua ku sex jeff ingiza tena pliz..!! pliz..!!"
Nilijikuta naendelea ku sex tena huku nisijijue idadi ya mabao niliompiga michelle sura mbaya..,tukiwa bado tunaendelea na sex mara nikamshuhudia jacky akisimama kama anataka kuja tulipo mara akadondoka hapo hapo alipo nakuanza kutapa tapa na kukamaa mwili wote mithili ya mtu anapopiwa na shoti ya umeme, bila ya kutoa neno lolote akaganda..,
"jeff vipi..? Unashangaa nini..? Tuendelee tena pliz...!!"
Nilijikuta sichoki hivyo tukaendelea tena ku sex huku jacky akiwa ameshakauka pembeni yetu...,
Mara mlango ukafunguliwa....
*********
"..we miche umefuata nini huku..?"
Alikuwa ni yule jibaba lake na michelle sura mbaya na kwa muda huu lilikuja limefura likionesha kuwa na hasira sana kwa alivyotufumania...,
"...yani umeniaga unaenda chooni.., sa chooni ndio hapa kwenye hili godoro enh..? Fala mkubwa we.."
Sikuwa naelewa chochote kwani nilikuwa kama mtu aliyepigwa ganzi.., nilishuhudia michelle sura mbaya akishikwa mishanga yake huku akivuta nguo zake nakuniacha pale chini..
Walivyoondoka tu na mimi nikainuka nakupanda juu ya kitanda huku nikimwacha jacky pale chini.
~ Asubuh yake ~
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"...we jeff..? jeff amka huko, jeff..?"
Sauti kwa mbaali ilikuwa ikiniita na nilipozinduka tu macho yangu yakakutana uso kwa uso na helleiner tena akiwa pembeni yangu amekaa na analia kwa uchungu.
"jeff utaacha lini kunisaliti..? jeff.., unataka nikupendaje jeff..? Kwanini mikosi napata mimi tu jamani..?"
Akili yangu yakawaida ilikuwa imeshanirudi huku nikiamka pale kitandani nakumuwahi jacky wangu aliyekuwa amelala kapoteza fahamu..,
"...jacky..! jacky mpenz amka..."
Niliongea kwa ujasiri wa hali ya juu huku nikimpepea jacky nakumuacha helleiner akiendelea kulia pale kitandani kama vile simjui..
Nilimpepea mpaka akazinduka lakini bado jacky alikuwa hajielewi elewi..,
"jeff..? jeff mpenzi nakupenda sana.."
"hata mimi nakupenda jacky.., unaskia maumivu yeyote..?"
"hapana mpenzi..,ila hii mimba nadhani ndio inanipelekesha sana..."
"uwii..!! uwii..!? jeff..? jeff...?"
Helleiner alizidisha kulia baada ya kusikia kuwa jacky anamimba pia ananiita mi mpenz wake,sikulijari hilo zaidi yakuendelea kumbembeleza huku nikilishika shika tumbo lake nakumgeukia helleiner..,
"jacky.., huyu dada anaitwa helleiner na alikuwa mpenzi wangu.."
"amefuata nini hapa...?"
"tulia acha jazba.., yeye ndio aliokuja kunishtua kutoka usingizini.."
"helleiner..? Huyu hapa ni mke wangu mtarajiwa na ana mimba yangu hivi karibuni nitakuwa na mtoto wangu kwake.."
"jeeeeeeff...?"
"yeah.., ndio ana mimba yangu na tayari jina la mtoto nimeshaliandaa.."
Kabla sijamalizia kuongea nilishangaa napigwa bonge la kibao kutoka kwa helleiner huku jacky akiingilia kati akitaka kupigana naye..,
"jacky my love pliz.., mwache., mwacheee...!!"
Nikamgeuzia shavu kwa upande wa pili mithili ya filamu ya yesu..
"haya nipige na upande wa huku.., nipige..?"
Kweli helleiner alikuwa na hasira sana kwani alinyanyua mkono wake nakunipiga tena kibao kwa upande wa pili..
"umemaliza..? Nakuuliza wewe helleiner umemaliza..?"
"nirudishie hela zangu nilizokupa jana.."
"unasemaje..?"
Nilimchukuwa kinguvu mpaka nje huku nikimburuza chini chini nikisaidiana na jacky wangu..
"jeff..! jeff niacheni.., najuta kukupenda jeff..!"
"kajute na mama yako huko huko mpumbavu mkubwa we.."
Tulimburuza mpaka mapokezi kisha tukamwachia maagizo yule dada wa mapokezi,
"huyu usije ukamruhusu aje hapa tena, mdandiaji wa waume za watu huyu tena malaya kabisa.."
Helleiner aliendelea kulia pale huku akitoka nje ya ile guest kwa uchungu wote..."
"jeff utanikumbuka..?"
"watanikumbuka wangapi..? Sembuse wewe.."
Nilimjibu kwa dharau huku tukirudi chumbani kwetu mimi na jacky wangu, tulipofika tu chumbani sikutaka kupoteza muda nikaingia bafuni nikaoga fasta fasta na nilivyomaliza nikatinga pamba zangu fresh..,
"sasa jacky my love..?"
"..yap jeff dia.."
Naona nikuache kwani naelekea kwa madalali c unajua leo leo tutahama na haka kagodoro ketu kakuanzia maisha.."
"pouwa jeff wangu nakutakia mafanikio mema.."
Nilimpiga mabusu ya shavuni mpenzi wangu jacky huku nikimwaga nakuondokazangu, nilipofika mapokezi nikakumbuka kulipia hela ya siku hiyo kwani ilikuwa inaisha jana, ile najisachi mifukoni,
"My God...!!"
Sikuwa na hata shilingi na nilishindwa kujua ziko wapi zile hela zote, fasta fasta akili ikanituma nirudi chumbani nikaangalie fresh, nikarudi fasta nakuanza kusachi napo nikaambulia sh. Elfu 10 tu tena elfu 5 tano mbili, nilizidi kuchanganyikiwa huku akili ikinituma moja kwa moja aliyechukuwa hela zote labda ni michelle sura mbaya alivyoondoka usiku..
"nimekwisha jef mimi...!"
Nilijisemea kimoyo moyo huku mchozi wa huruma ukianza kunidondoka nisijue cha kufanya...
“uhhf..! uhhf..! uhhf.."
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
jacky mpenzi.."
nilikuwa kama mtu aliyechanganyikiwa kwa nilichokuwa nakiota kwani nilitoka hapo fasta fasta nakusachi pesa mifukoni mwa suruali yangu niliokuwa nimeitundika nyuma ya mlango,
"..yees, nimeziona"
nilijisemea kimoyomoyo huku nikimwacha jaky akinishangaa kwa ninachokifanya.
"jeff vipi mbona sikuelewi elewi..?"
"hapana jacky ngoja kwanza.."
nilimjibu nakuelekea mapokezi kuhakikisha kama kweli na godoro langu lipo au la..
"..kumbe na mi mjinga enh.."
nilijisemea peke yang huku nikijirudia zangu ndani nakujua kumbe vile vyote vilivyonitokea usiku eti mpaka na sex na michelle sura mbaya huku nikimwacha jacky wangu akigalagala chini.
Nilifika zangu chumbani nakujiandaa fasta tayari kwa kwenda kwa madalali kushughlikia inshu ya chumba..
~ NDANI YA GETTO JIPYA ~
Hatimaye tukafanikiwa kupata chumba maeneo ya palepale magomeni.
"..sasa hapa jeff tumebakiza vitu vichache tu.."
"yap baby wangu lakini inanibidi niende tena k/koo kumalizia vitu vilivyobakia.."
niliondoka zangu nakumwacha jacky akiendelea kupangapanga vitu pale ndani lakini nilipofika kituoni tu,
"jeff mpenzi whre to..?"
"am.. mhh.. mhh.. helleiner mambo..?"
"safi., huku unaenda wapi jamani tangu jana siku nzima nakutafuta kwenye simu hupatikani na hapa unaponiona nimetoka pale kwenu tulipokuja siku ile sikumkuta mtu.."
moyo wa huruma ulianza kunitawala huku aibu kubwa ikinishika nakuendelea kumwangalia heleiner akilalamika.,
"helleiner sory pale nilishahama kwa sasa.."
"kwa sasa nini? Kwanini hukuniambia jef kwanini? Umeanza usiri wako enh'"
"tuliza jazba mpenz nikwambie basi.."
"haya endelea.."
kidume mimi nilijikuta ujari nikiuweka pembeni huku nikimwambia kila kitu
"heleiner, ujue nakupenda tena sana mpenz wangu, uko tayari nikwambie kitu.?"
"yap jeff niambie.."
"pale, siyo kwetu halisi.."
"..kwanani sasa..?"
"pale ni kwa rafiki yangu tu ambaye wazaz wake wapo kenya.."
"jeff..! jeff..! sasa kwenu wapi..? Na kwanini uliamua kunidanganya jeff..?"
"..najua nimetenda kosa ila nahitaji kusamehewa ili nikwambie nakingine.."
"..nimekusamehe kwa moyo mmoja., haya embu niambie kingine ni nini jeff..?"
"..i have another girlfriend.."
"..which one jeff..? More than me..? Jeff are you seriaz for what your talking..?"
"yes i am.."
"..jeff..? your going to kill me., Ohh my God..! why me.! why me..!"
nilikuwa nimeshaharibu japo haikuwa na jinsi zaidi ya kumuweka wazi helleiner, angekuja kujua baadaye angeumia sana bora nilivyomwambia mapema.,
"jeff yuko wapi huyo mwanamke nimjue.?"
"nipo naishi naye pale twende.."
tayari nilikuwa na moyo wa chuma hivyo nikamchukuwa mkono helleiner mpaka getto nilipopanga,
"..jacky sorry., kuna mgeni nimempata amenirudisha aje akusalimie., helleiner karibu.."
"jeff inamaana na hiyo mimba ni yako.?"
"..si nakuuliza wewe jeff..? Hiyo mimba ni yako..?"
"am.. mhh.. mhh.. ni story ndefu nitakusimulia tu usijali.."
"story..? Story we Andy Wa Hadithi..? Jeff acha kunichefua pliz.. pliz.."
muda wote ambao helleiner alikuwa akilalamika jacky alikuwa kimya mara akaanza kuongea,
"..samahani dada mbona umekuja kwa ukali namna hvyo..?"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"..Sshhh..!! tena nyamaza.., unajua nimetoka wapi na jeff..? Unajua vitu vingapi nimefanya naye..?"
kidume mimi ushupavu na ujasiri nikaviweka kando huku nikibaki mithili ya mume bwege tena yule aliyemwimba bushoke..
Mzozo ulikuwa mkubwa sana mpaka nikahisi ngumi zinaweza kutokea kati ya helleiner na jacky kwani kila mmoja alijifanya yuko juu.
"..jeff hivi unajua umenisaliti mara ngapi nimekuacha sijafanya lolote.."
"..helleiner mbona hutaki kunielewa..? Mi kwa sasa nipo na huyu sihitaji mwanamke yeyote pliz.."
"nini jeff..? Umempa mimba mfanyakazi wetu michelle na tumembana akasema ni mimba yako na ulimpa siku ile ya beach tulivyoenda.."
kabla hajamalizia kuongea nilijihisi kama mkojo unanichuruzika ukiambatana na kijasho chembamba huku macho nikiyakaza haswa haswa..,
"..michelle..? Michelle gani huyo..? Kwanza mi simjui huyo mfanyakazi wenu.."
ilinibidi niue soo pale pale ili jacky asielewe chochote lakini kabla helleiner hajaendelea kuongea kitu tulishangaa jacky akigalagala pale chini mithili ya mtu anayeugua kifafa,
"jacky..? jacky my love..?"
ghafla akawa kimya, nikamgusa mapigo yake ya moyo yalikuwa yakienda kasi,
"..helleiner pliz tusaidiane tumuwaishe hospitali.."
"..usaidiane na nani..? Ulivyompa mimba ulinishirikisha..?"
niliumia sana lakini haikuwa na jinsi nikambeba peke yangu mpaka nje nikampakiza kwenye tax huku nikimwacha helleiner chumbani..,
nikaingia kwenye tax lakini kabla gari haijaondoka nilisahau simu yangu chumbani ikabidi niirudie ile nafika tu chumbani..,
"noo helleiner..!! pliz..!! pliz..!!”
"..usifanye hivyo helleiner pliz.. pliz.."
heleiner alikuwa amechukuwa kisu akitaka kujichoma nacho tumboni..
"..niache jeff nife sioni tena umuhimu wangu kuwa hapa duniani.."
niliona kama ananizingua nikachukuwa kile kisu na kukitupa kisha nikachukuwa simu yangu pamoja na yeye helleiner huku tukitoka nje, tuliingia kwenye tax na kuelekea hospitali pale magomeni..
~ NDANI YA HOSPITALI ~
"Vipi dokta mgonjwa wangu anaendeleaje..?"
"..wewe ndo muhusika mkuu..?"
"ndio dokta.."
"nifuate ofisini.."
hofu kubwa ilioambatana na kutetemeka mwili wote huku meno yakiumana, nilijikuta nikimfuata dokta ofisini kwake huku helleiner akinifuata taratibu kwa nyuma.
"unaitwa nani.."
"jeffrey au jeff.."
"upoje na huyu binti mgonjwa..?"
"ni mchumba wangu naishi naye.."
niliongea kwa kujiamini huku dokta akiendelea kuandika maelezo, alipomaliza..,
"bwana jeff..?"
"ndio dokta.."
"mchumba wako tulimpokea vizuri nakumpatia matibabu mpaka alipopata fahamu lakini kwa bahati mbaya.."
"unasemaje dokta..?"
"..kuwa mpole bwana jeff.."
"ok endelea.."
"..kwa bahati mbaya….
*********
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
ile mimba aliyokuwa nayo imeharibika ila yeye yupo mahtuti.."
"noo.. noo.. dokta unanidanganya dokta.., why me..? why me jeff..? ahh.."
tayari nilikuwa nimeshachanganyikiwa..,
"..bwana jeff..,tutajitahidi hali yake itakuwa safi tu usijali.."
"noo.. noo.. namtaka mwanangu, why..? jamani why..? Shit..!!"
nilitoka nje huku nikilia huku na kule..,
"..nilikwambia jeff..?"
"..helleiner sitaki kukuona toka mbele ya macho yangu pliz.."
"..jeff hata kama hunipendi mi niko tayari kukusaidia.."
"..sitaki tena msaada wako
wagonjwa pamoja na watu wengine walikuwa wakinishangaa sana kwa jinsi nilivyokuwa najibizana na helleiner, mara nesi mmoja akatokea nakunifuata kisha..,
"..nifuate
nilimfuata nyuma nyuma huku nikimwacha helleiner peke yake pale,
"..dokta kanituma kwako.."
"ok.."
tuliingia hadi ofisini mwa dokta lakini hatukumkuta na kilichofanyika nilishangaa yule nesi akifunga mlango na akashusha mapazia kisha akanifuata..,
"..mkeo wanamfanyia operesheni huko..?"
"..sasa huyo dokta uliyeniambia yuko wapi..?"
"..nimeshindwa kuvumilia kwa handsome kama wewe nikuache.."
"embu niondolee upumbavu wako.."
hakunisikia yule nesi zaidi yakunivua nguo zake huku akivuta bomba la sindano nakunifuata.,
"..utake usitake uta sex na mimi tu leo...
"noo.. noo.. sipo tayari ku sex na mt nisiyemjua.."
"unasemaje..?"
akawa amebadilika sura huku akikoki lile bomba la sindano vizur akitaka kunchoma,
"..haya sema mara ya mwisho unakubali au bdo unakataa..??"
nilijikuta nikilegea nakuanza kushka mpaja yake sambamba na chuchu zake.., pale pale ckutaka kupoteza muda nikampiga midenda huku mikono yangu nikiiamishia kunako..,
"..ulisema unaitwa nani vile..?"
"..utaelewa mwisho wa hapa..!"
nilikuwa nimeshamlegeza vya kutosha mpaka akajikuta anaongea vitu visivyoeleweka,
"..fanya uingze basi wewe..?"
"tulia kwanza si umeyataka mwemxewe"
nilimkamua vya kutosha mpaka nikajikuta nasahau pale ni wapi na hbta nimefuata nimi pale.
Nilifanya kazi haswa mpaka a'c nikahic haifany kazi kwani joto lilinizidia hivyo nikavaa nguo zangu nakumwacha yule nesi peke yake ofisini..
"..pole jeff.. pole sana..!"
"pole..? Pole yanini..?"
alikuwa ni helleiner akinisemesha baada ya kutoka nje tu tena nikiwa nimelowa kajasho.
"heleiner.1? Uctake kunichanganya pliz..? Kwani umefuata nin hapa..?"
"nipo kwa ajili yako, na hata u sex na watu 50 bado ntakupenda na nitaku.."
mara akatoka yule nesi niliyesex naye muda si mrefu akawa kama kidizaini amesikia alichokuwa anaongea helleiner., kwani alipofika karibu alisimama kisha akamwangalia heleiner kwa jicho la zarau kisha,
"..utabaki kuongea tu wenzio twala tena kwa staili zote enhe.. hee.. hee.. nyooo.."
akaondoka zake huku akimwacha heleiner kafura mdomo na sura kwa hasira kali,
"jef jeff hata ungenisaliti vipi bado hunishawishi kukuacha mpenz nakupenda sana.."
"mi sikupendi nenda uko.1"
"siendi popote hapa mpaka niondoke na wewe.., nimekuchungulia vyote ulivyokuwa unafanya kule ofisini kwa dokta.."
"kama umeona..?"
niliona kama ananichanganya tu kwani alikuwa haeleweki kabisa, mara dokta akatokea.,
"bwana jeffrey.."
"ndio dokta.."
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"zoezi tuliofanya muda si mrefu tumelimaliza.."
"..enh imekuwaje dokta.."
"..pole sana lakini we mtoto wakiume jikaze bwana.."
"..mbona sikuelewi dokta..?"
"..yule binti uliyemleta hapa hatunaye tena.."
"whaaat..? Dokta..! dokta mbona sikuelewi..?"
"..hujaelewa nini hapo..? Yule binti amefariki kutokana na kushonwa vibaya sehemu ya uzazi.."
"ok dokta asante.., ubarikiwe..! asante sana..! asante..! asante..! narudia tena asante...!
"..safi sana tena bora, safi dokta.."
aliropoka helleiner kwa sauti ya juu huku akiruka ruka akicheka..
"..jeff..? Sasa ndoto zangu zitakuwa zimetimia asilimia 100.."
alinijaza hasira kali nakujikuta nimeunyanyua mkono wangu nakumtandika bonge la kibao mpaka dokta akaingilia kati..
"Noo.. noo.. jeffrey usifanye hivyo.. Kwanza samahani kwa kusababisha ugomvi.. nimekudanganya bwana mkubwa.."
"whaaat...?"
tulijikuta mimi na helleiner tukiongea kwa pamoja.."
"..unasema dokta..?"
"..kumbe hauna moyo wa uvumilivu kijana.. Mkeo mzima bwana ondoa shaka nenda wodi ile pale ukamuone.."
nilikuwa sijiamini amini huku nikizidisha spidi na helleiner akinifuata kwa nyuma, kabla hatujafika wodini tukapishana na maiti ikiwa kwenye kitanda ikikimbizwa monchwari kiubishi nikaifunua,
"..jacky my love umekufa..? Jacky umekufa..?"
manesi wakaendelea na safari yao huku wakiniacha na hasira kali na mbele yangu uso kwa uso macho yangu yakakutana na michelle sura mbaya akitokea ile wodi aliyokuwepo jacky huku akivua groves mikononi kisha akaongea kwa sauti ya juu..
"...mi ndio michelle na bado wewe..
nilijiisi kama nimechanganyikiwa huku nikizidisha kasi kuelekea lile eneo ambalo alikuwa amesimama michelle sura mbaya huku helleiner naye akinifuata nyumanyuma na nilipofika karibu tu..
"...ooh shit kumbe sio mwenyewe..!"
nilijikuta naongea peke yangu huku aibu kubwa nilipofika karibu nikamshuhudia yule mtu hakuwa michelle sura mbaya kama nilivyodhania hivyo nikashusha pumzi nakuingia mpaka mule wodini ndani nakuangaza huku na kule nikimwangalia jacky wangu..
"...oh jacky my love ar u okey..? Pole baby wangu..!"
nilijikuta nikimkumkumbatia jacky japokuwa alikuwa bado kawekewa dripu na anapumulia mirija na hawezi kuongea kabisa, nilikuwa nalia mwenyewe kwa uchungu huku nikiendelea kumwangalia. Mara..
"..jamani muda wakuona wagonjwa umeisha nawaombeni tuwapishe wapumzike.."
ilikuwa ni sauti ya nesi akituondoa,
nilitoka huku bado sijielewi huku helleiner akiwa kimya akinifuata nyumanyuma mpaka stendi ya daladala nayeye akapanda,CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"..helleiner unaenda wapi mbona sikuelewi..?"
alikaa kimya bila kunijibu chochote na machozi yakimtoka na mwili wake ukimtetemeka, ndani ya muda mchache nikawa tayari nimeshaingia getto kwangu na nilipoingia tu helleiner naye akaingia kisha akafunga mlango kwa funguo nakuvua nguo zake zote akabaki mtupu kabisa kisha..
"...jeff mpenzi., sasa ni muda wangu wa ku sex na wewe.."
"..nani mpenzi wako..? Ennh..? Sinakuuliza wewe mpumbavu..?"
"..jeff..?"
alijaa hasira nikamshuhudia akifuata nguo zake kisha akachomoa burungutu la hela kama milioni nakutupa kwenye godoro..
"..jeff hii ni kwa ajili yako.. Nakupenda jeff wangu na naumia vingi kwa ajili yako so pliz chukuwa mwili wangu.."
"..unasemaje..?"
"..nakukabidhi mwili wangu jeff.."
"..unanikabidhi enh.."
"..ndio jeff mpemzi wangu.."
nilitoka fasta nikachukuwa birika la umeme nakujaza maji kisha yakapata moto nikalichukuwa nakutaka kumwagia ile namwaga tu mara. Mara simu ya helleiner ikaita fasta fasta akapekuwa kwenye nguo zake akaichukua akaiangalia kisha..
"...jeff simu yako iko wapi..?"
nikajisachi mfukoni lakini sikuiona nikazidi kuchanganyikiwa nakumuliza helleiner..
"..embu niambie vizuri helleiner hujaichukuwa simu yangu..?"
"..ndo nakushangaa kwani simu yangu inaita na linatokea jina lako.."
helleiner aliipokea nakuweka loudspeaker kujua nani anayo simu yangu..
"..halow"
"..namtaka mume wako yuko wapi..?"
"..kwani wewe nani..?"
"..unajifanya mbishi siyo..?"
ilikuwa ni sauti yakike ikimkolomea helleiner kiukweli ile sauti ilikuwa ngeni masikioni mwangu hivyo nikaichukuwa simu ya helleiner nakuongea naye mwenyewe,
"..halow we nani..?"
"..oh mpenzi mara hii umenisahau sauti yangu..? We sinemekupa mahaba mpaka ukaisahau simu..?"
"..kwahiyo hutaki kutaja jina lako siyo naomba nirudishie simu yangu sasa hivi..?"
nilikuwa nimeshamjua na alikuwa ni yule nesi niliyesex naye kule hospitali na ndipo nilipoisahau simu yangu..
"..njoo uchukuwe simu yako mpenzi..?"
"..uko wapi..?"
"..kwa sasa nipo mwananyamala hapa newcastle bar nakusubiria ufanye haraka.."
nilikata simu nakuvaa viatu ile nataka kutoka nje tu helleiner akanivuta shati.."
"..jeff pliz hakuna kwenda.. Kama tatizo ni simu twende nitakununulia nyingine au chukuwa hii ya kwangu.."
"..hapana helleiner kuna namba nyingi kwenye laini yangu.."
"..kama ni hivyo twende wote huko..."
helleiner alivaa nguo zake fasta fasta kisha akanifuata kwa nyuma nilijitahdi kumkwepa kwepa japo kwa kupanda daladala nyingine hata hivyo nikafanikiwa kumwacha pale stendi huku nipanda daladala nyingine mpaka mwananyamala na nilipofika tu nikaongoza moja kwa moja mpaka kwenye ile bar nakumkuta yule nesi na kwa mtda huu alikuwa amebadilisha nguo za kazini hivyo akawa mzuri zaidi na aliponiona tu akanifuata nakunikumbatia..
"..haya naomba simu niondoke hapa..
"..tulia basi mpenzi wangu mbona unaharaka hivyo..?"
"..pliz pliz mi siyo mpenzi wako na nadhani unamjua mke wangu.."
"..nikwambie kitu..?"
"..enhe sema"
"..ona funguo huu hapa wa hapa gesti na nimeshalipia kila kitu twende basi.."
"..kweli unanichekesha."
niliivuta simu yangu kwa nguvu huku helleiner naye akifika eneo lile na alipofika tu akaanzisha vurugu kwa kumvaa yule dada,
"..jeff jeff mwanangu yuko wapi..? Na hawa wakinanani wanaokugombania..?"
ilikuwa ni sauti ya mama yake na jacky akiniuliza kwani alikuwa pembeni anakunywa tena nadhani alikuwa na baba jacky.,
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"..si nakuuliza jeff..?"
nilijihisi mkojo unanitoka kwani baba jacky alinifuata nakutoa kikaratasi chenye namba ya RB ya polisi kisha..
"..jeff nioneshe mwanangu alipo au twende polisi chagua moja..."
"..Nimesema nioneshe mwanangu alipo la sivyo unaenda kuozea gerezani leo leo.."
"..Jacky yupo hospitali anaumwa.."
"..kwa hiyo kama anaumwa wewe ndio kidume unagombaniwa na wengine si ndiyo jeff...?"
Baba Jacky aliendelea kuwa mkali kama mbogo huku akinishika shati langu vilivyo nakuniamrisha kwenda huko hospitali alipo mtoto wake.
Mwili wote ulikuwa umeshanilegea huku meno yakiumana nakutamani labda ningetoroka lakini haikuwezekana kutokana na kushikiliwa sana.
"..mtoto wenu hana tena mimba imeharibika na yupo hoi hospitali twendeni mkamuone..."
Aliropoka yule nesi aliyekuwa anapigana na helleiner hivyo akamzidishia hasira baba jacky, ndani ya nusu saa tulikuwa tayari ndani ya geti la st. Bernard huku tukiwa na mama na baba jacky pamoja na helleiner na yule nesi, giza lilikuwa limeshatawala hivyo tulivofika tu walinzi wakatuzuia kuingia, hapo hapo baba jacky akamfuata mlinzi mmojawapo nakumnong`oneza kitu kisha akatoa hela kidogo nakumkabidhi yule mlinzi akaturuhusu kuingia,
"...Haya jeff nielekeze mwanangu jacky yupo wodi gani?"
"...yupo kwa wodi za upande wa kule wodi ya kinamama.."
tuliongozana mpaka wodini na tulipofika tu..
"...hivi kumbe ni kweli...!!! Jeff kwanini unataka kuniulia mwanangu..?? kwanini eeenhh..? kwanini umesababisha mimba itoke eenhhee...? au mlitaka muitoe..?"
"..hapana mzee ni kwamba tuli..."
kabla sijamalizia kujitetea nilishangaa napewa bonge la kibao..
"..Mshenzi mkubwa wee na lazima ukaozee jela au kwangu mpumbavu mkubwa wee.."
aliniburuta kuelekea nje huku damu nyingi zikinitoka puani nakujiona ni mtu asiye na bahati bali nuksi tena kama hivi
"..nisamehe baba jacky.."
"..nanai akusamehe..? si unajifanya kidume siyo..? sasa leo utarudisha ada yote niliyomsomesha mwanangu.."
aliendelea kuwa mkali mpaka akanitisha kwa jinsi alivyokuwa,
aliponifikisha nje tu mara..
"..Babab jacky...? baba jacky..?
fasta fasta baba jacky akaniacha nakukimbilia ndani mule wodini alipokuwa akiitwa na mama jacky huku akiniacha pale nje na helleiner,
".. jeff hapa hapatufai tutoroke mpenzi wangu..?"
"..hapana helleiner wacha nikaone ndani kuna nini.."
"..noo jeff pliiiz usiende huko yule baba jacky atakupiga tena.."
"..nimesema niaaaaaaaaacheee...!!!!"
nilitoka pale kibishi huku nikiingia ndani mule wodini huku nikimwacha helleiner nje na nilipofika ndani tu nikamshuhudia yule nesi niliye sex naye akimtoa jacky mirija ya oxygen kuashiria kuwa jacky ameshakufa..
nikaongeza spidikuelekea ile sehemu na nilipokaribia tu manesi wakawa tayari wameshaufunika mwili wake huku wakiukokota kuelekea monchwari..
"..nooooooo.......!!!!!!"
*************
"...uuuuhhhfff...!!!! uuuuhhhfff.....!!! hapa wapi..?"
"...tulia jeff kwani kuna nini mbona upo hivyo enhe..? umeota nini..?"
kiukweli bado nilikuwa sijitambui zaidi yakujikuta nikiwa kitandani na helleiner tumelala tena ni subuhi..
"..jacky wangu yupo wapi..?
"..jeff..? jacky si yupo hospitalini.."
akili yangu ikaanza kurudi taratibu nakutambua kuwa kumbe jacky hakufa ila ilikuwa ni ndoto tu na mara ya mwisho nakumbuka tulitoka wote na helleiner tukaja hadi hapa getto kwangu na helleiner akavua nguo zake zote kisha alinifuta hapa kwenye godoro langu sa sikumbuki ilivyoendelea lakini ni kweli kabisa jacky wangu tulimwacha hospitali kalazwa.
Fasta fasta nikahamka nakujiandaa kisha nikatengeneza uji tayari kwa kwenda hospitali kumcheck jacky..
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
~ NDANI YA HOSPITALI ~
Ndani ya dakika kama 10 nilikuwa tayari nipo pale hospitali ya st. Bernard na helleiner, tulipofika tu tuliongoza mpaka wodi aliopo jacky lakini hatukumkuta nikajipa moyo huenda amepelekwa chooni kujisaidia hivyo nikaandaa mazingira fresh tayari kwa kumuhudumia akija,
".. helleiner wewe mwanamke mwenzake mimi siruhusiwi embu nenda kamuangalie basi huko chooni aje tumpe uji.."
helleiner alinielewa nakuniachia simu yake nimshikie huku akielekea chooni kumchukuwa jacky..
nilisubiri sana takribani dakika 10 bila kumuona yeyote, mara ile simu ya helleiner alionichia ikaingia meseji;;
fasta fasta nikaifungua nakuisoma kabla hajarudi..
` DADA NIMESHAFANIKISHA KUMTOA, SASA UNAKUJA SAA NGAPI HUKU..? UKICHELEWA NITAMUUA MWENYEWE KABLA JEFF HAJAJUA..`
Kidizaini sikuielewa elewa vizuri ile meseji ilinibidi kuiangalia mara mbili mbili ile namba,
"..OOoooh my God..? si namba ya michelle sura mbaya hiii..? wanataka kumuua nanai sasa? jacky wangu..? aahaa aaahaaa no no haiwezekani.."
nilijikuta naongea mwenyewe kimoyomoyo huku nikienda chooni kuhakikisha..,
"..Helleiner...? helleiner...?"
kimyaaa,sikusikia chochote nikazidi kuchanganyikiwa nikashuka mpaka mapokezi kuulizia,
"..si yule dada uliepanda naye muda si mrefu..?
"..ndio huyo huyoo, kaelekea wapi..?"
"..katoka sasa hivi sijui kaelekea wapi...?
"..na mgonjwa wangu niliomleta jana..?"
"..yule mbona alikuja kuchukuliwa leo asubuhi na dada yake na ameshamlipia gharama zote.."
"..dada yake..? mbona jacky hana dada jamani..? anaitwa nani huyo dada..?"
"..anaitwaaa.. Michelle na amesaini hapa, anatokea mwananyamala..!!"
"..noo... noo... nesi ona sasa wameenda kumuua mchumba wangu.."
mwili wote ulimilegea huku mate yakinitoka na kichwa kuniuma nisielewe cha kufanya,
fasta fasta ikanibidi nikodi teksi mpaka mwananyamala ili niwahi kabla hawajamuua,
"..sasa kwanini aliniachia hii simu..?"
nikati ya maswali niliokuwa nikijiuliza huku nikikaribia maeneo ya mwananyamala,
"..nishushe hapa hapa,chukuwa pesa yako.."
nikashuka mitaa yakina helleiner kisha nikaingia dukani kununua kisu kisha nikakificha ndani ya suruali nakuelekea huko..
"..yeyote nitakayemkuta ni halali yangu.."
Kadri nilivyokuwa nakaribia kwa kina helleiner ndivyo hasira zilikuwa zikinizidi,hatimaye ndani ya dakika kama 3 nikawa getini kwao nikagonga lakini aliyetoka alikuwa ni mama yake na helleiner kwa jinsi alivyokuwa anaonekana,
"..shikamoo mama.."
"..marhaba mwanangu karibu.."
"..mama mimi hata si mkaaji ila namuulizia helleiner au michelle sijui nimewakuta..?"
"..hujapishana nao..? wametoka hapa sasa hivi..?"
nilizidi kuchanganyokiwa huku nikijiondokea pale nakumwacha mama yake helleiner akinishangaa,kwani hata sikumuaga zaidi ya kuondoka pale..
"..sasa watakuwa wameelekea wapi mungu wangu..?"
ni kati ya maswali niliokuwa nikijiuliza mwenyewe bila ya kupata majibu, kwakuwa bado nilikuwa na simu ya helleinr akiliikanituma nijaribu kumpigia simu michelle sura mbaya huenda wako wote kweli, fasta fasta nikasachi namba ya michelle sura mbaya nakumpigia..
"..hallow michelle..!!"
"..yap jeff mambo..!!"
"..michelle pliz naomba uniambie helleiner yupo wapi..?"
"..dada helleiner nimemucha nyumbani na mimi nipo njiani naelekea bagamoyo.."
"..michelle..? usinifanye mimi mjinga pliz.., hivi unajua nimetoka kwenu sasa hivi na mama yenu kaniambia mmetoka wote..?"
nikiwa bado naongea naye kwa sauti ya juu mara michelle sura mbaya akanikatia simu hivyo nikajaribu kupiga tena lakini ikawa simu yake haipatikani..
"..well done..!! well done jeff..!!!"
ilikuwa ni sauti ya dada mmoja aliyekuwa pembeni yangu akinisikiliza nilivyokuwa naongea na simu kisha akanipigia makofi, nadhani alikuwa akimjua vizuri helleiner..
"..jeff acha kuteseka kisa mapenzi jamani..?"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"..unasemaje..? kwani wewe nani..? na unamjua helleiner..?"
"..ahhaa haaaa haaaaa.., hapa mtaani kote wanajua mimi na helleiner tukoje.. she iz my best friend na mimi naitwa violet vivah ukipenda niitei vio na wewe nilikuwa nakusikiaga tu kumbe ndio jeff wewe..?"
***********************************
**** Je Violet kweli anampango wa kumsaidia Jeff..??
**** Kwanini Michelle sura mbaya anamfanyia hivyo Jeff..? Na Jeff akimoata atafanyaje..?
**** Kila kukicha simulizi inazidi kuwa kali zaidi..
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment