IMEANDIKWA NA : ANDREW CARLOS
*********************************************************************************
Chombezo : Nitakupenda Usiku Tu
Sehemu Ya Kwanza (1)
Madirisha yote mawili ndani ya chumba changu nilihakikisha nimeyafungua mapazia yake lakini bado haikusaidia kutuliza joto kali ndani ya chumba changu. Yalikuwa kama yakinizidishia joto. Niliiva mwili haswa kwa joto.Nilikuwa nimevua nguo zote nakubakiwa na nguo ya ndani tu. Giza lilitawala kutokana na taa kuizima, kitanda cha sita kwa sita nilikiona kidogo kama vile cha tatu kwa nne. Kwakuwa sikuwa hata na feni lakini mashati yangu yalifanya kazi ya kupepea chumba chote angalau kutuliza ghasia ya joto.
“Mhh kweli hii daresarama na sio dar es salaam!”
Niliongea mwenyewe uku nikitoa msonyo kwa kukerwa na joto.
“Hapa tu naishi Tabata je hao wanaoishi huko uswahili Temeke sijui Mbagala? dah wacha tu nikomae nalo!” Nilijikuta nikijiuliza mwenyewe nakujijibu.
Nikiwa bado katika mawazo ya hapa na pale mara nikahisi kama dirishani kwangu kukichokonolewa. Macho kodo!!
“Wameanza tena! wameanza hawa!!” Nilitoa sauti ya juu.
Nilijua wazi wale wale wezi wa madirishani wameanza katabia kao. Katabia kakuiba kwa kutumia fimbo na gundi. Haraka haraka nikainuka nakwenda kuiwahi taa nakuiwasha.
“Hampati kitu hapa!!” Nilitoa sauti ya juu.
“Anhaa haaa haa” Sauti ya kicheko ilitoka kwa dirishani.
Nikaguna nakutoa fyonyo kali kwa mara ya pili.
“Seif hutaniwi wewe, dahh sijawahi kuona mshikaji muoga kama wewe”
Mapigo ya moyo yakatulia kidogo. Nilishamgundua kwa sauti mtu aliokuwa akijifanya kama anataka kuiba. Alikuwa ni swahiba wangu mkubwa Jof.
“Masihara yako ujue Jof mie siyapendi wala nini? Wewe usiku usiku watu tumelala wewe kukazana kuzingua, haya ningekuwa na shemeji yako hapa” Nilimtania Jof.
“Seif ninayekujua wewe shem umpate wapi wewe!!. Mtu gani muoga namna hiyo. Mpaka sasa sijawahi hata kukuona ukilala na mwanamke hata beki tatu mshkaji duh!”
“Acha zako basi Jof!!. Vipi usiku wote wapi unaenda wapi badala ukalale geto kwako?”
“Mie wakulala sasa hivi? Amka acha ushamba twende ukatoe gundu. Twende hapo mtaa wa pili kuna kigodoro” Aliongea Jof.
“Kigodoro? Ndio nini? Unamaanisha magodoro!”
“Seif tatizo lako wewe mshamba sana tangu uingie Jijini kutoka kwenu kwa wauza vitunguu uko Iringa na wala hujui yanaotendekaga usiku. Hujajua tu raha ya kigodoro wewe! Kigodoro ni muziki unaochezwa usiku sana kwenye mikesha ya sherehe na haki ya mama Kule utapata hata mchumba usiku huu huu lazima ung’oe. Twende!!” Aliongea Jof.
Kabla hajamalizia kuongea haraka haraka niliinuka zangu kitandani. Niliamini moja kwa moja maneno ya Jof kutokana na kutokuwa muoga kwa wanawake. Lile shati ambalo kwa muda mrefu nililigeuza kuwa feni nikalivaa mwilini. Ndala nikazipachika miguuni. Nikatoka nduki uku nikiegesha mlango wangu nakuzunguka nyuma ya dirisha nilipokuwa nikiongea na Jof.
“Jof unasema kweli? Wachumba wakumwaga?”
“Sasa tatizo lako ni nini??, mjini msingi kiuno tu pesa ya nini??”
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Nilijikuta nikikubaliana na mwili wangu ukisaidiana na akili. Tulishikana mikono na Jof mpaka mtaa wa pili. Sauti kubwa ya muziki iliuhamasisha kabisa moyo wangu. Ulijikuta ukidunda si kwa kuhema bali kwa kuufurahia muziki ukipigwa. Watu walikuwa ni wengi waliokuwa wamezunguka duara moja kwa kuucheza muziki. Sikupenda kujionesha mshamba hata kidogo. Niliusogeza mdomo wangu mpaka karibia na sikio la Jof.
“Jof, sasa pale kwanini wamemuweka yule Mmama kati?”
“Hawajamuweka pale. Ukiona vile utamu kwake umekolea ngoja tu utaona kitu”
“Kitu gani?”
“Wewe tulia tu baada ya muda mwenyewe utaniambia”
Akili yangu yote ikawa kama imeganda kwa Lile jimama. Lilionekana kuwa na shepu ya kufa mtu. Kiuno cha kukata na shoka. Makalio ndio balaa. Lilikuwa limelivalia dera la rangi ya manjano lililomuweka kuonekana kwa nguo yake ya ndani ambayo ilikuwa ni nyeupe kupitiliza. Kasuku wangu alikuwa akitibuana na zipu ya suruali tu. Nilikuwa katika mtihani wa kuhakikisha asitoke japo nilishamruhusu amwagie humo humo.
“Seif? Seif”
“Niambie”
“Twende tuunge foleni ile, Twende bwana tukafanye mduara lazima tutapata tu mmoja kati ya wale”
“Kweli enhee lakini anza wewe. Nitakuja!!”
“Ushaanza uwoga wako nisioutaka hapa!”
Ndio kwanza nilikuwa nikiona kwa televisheni muziki wa mduara. sikuujua kabisa kuucheza zaidi ya kuuona tu. Jof alining’ang’ania mkono nakutaka nijiunge naye kwenye mdura lakini nilijitahidi kuwa mbishi. Utamu kwake ulikuwa umeshamzidia. Akaamua kujitoma mwenyewe akiniacha nikiingiwa na woga wa kutokujua kuucheza muziki ule.
Macho yangu yalikuwa bado yakiendelea kupepesa eneo moja tu. Eneo la katikati ya ule mduara. Eneo ambalo bado lile jimama lilikuwepo katikati ya mduara likicheza peke yake. Liliendelea kukata mauno haswa. Kadri lilivyokuwa likiendelea kukata mauno ndivyo na mimi mtima wangu ulivyokuwa ukizidi kuumia. Macho yangu yalikuwa kama yamezibwa kuangalia ule mdura ukizunguka. Hata Jof alivyojiunga katika mduara sikumfuatilia kumuangalia japo kujifunza kujua unavyochezwa. Baada ya muda mfupi muziki ulionekana kukolea haswa. Kila mmoja aliokuwa amezunguka katika mduara alionekana dhahiri kuzunguka kwa kuucheza vilivyo. Kwa wavulana walionekana mbele yao kuwa na wasichana wakikatikiwa kila mduara ulivyokuwa ukizunguka. Jicho langu likahamia kwa Jof sasa. Nikatamani kama na mimi ningekuwa maeneo yale ningeambulia japo kugusana na mwanamke maeneo ya mbele yangu japo kasuku wangu atulie.
“Dahh najutia mimi!! lakini leo kitaeleweka tu mwenzangu Jof keshaopoa!” Niliongea mwenyewe uku nikihamisha macho kwa Jof nakuendelea kulitizama lile jimama lililokuwa likikonga moyo wangu. Kwa sasa lilikuwa limepandisha lile dera lake kwa juu. Dera lote likafunika nusu ya mwili wake kuanzia kifuani mpaka usoni. Eneo la chini kuanzia kiunoni likabakiwa na nguo ya ndani moja tu ambayo ilikuwa ni nyeupe. Likaanza kukatika uku limesimama. Likaona hiyo haitoshi. Mshawasha!!
Likalala chini nakuanza kukata mauno. Makelele si makelele. Kila mwanaume alikuwa akitaka kwenda kulizonga kukatika nalo kwa juu. Ni Jof ndio alikuwa stadi wakutuliza wenzake. Aliwazuia wamuache yule mama acheze mwenyewe ili waendelee kushuhudia mautamu. Lile kundi la watu likamwelewa Jof. Lile jimama ndio kama likawa limelewa sifa zaidi. Likazidi kuchanua mauno.
“Dah kweli tembea uone” Bado niliendelea kujisemea kimoyo moyo.
Kasuku wangu alikuwa hajiwezi kabisa. Alikuwa ametapika vya kutosha zaidi ya mara mbili. Suruali yangu nilihisi kuchafuka vilivyo lakini nilijikaza japokuwa niliendelea kujichafua.
Midadi ilinizidia. Si kwa mimi peke yangu bali kwa umati wa watu wote pale. Mama mmoja alitoka katika mduara fasta nakuliwahi lile jimama kuliweka nguo vizuri lakini ndio kwanza kundi la watu waliokuwa wakicheza mduara ule wakisaidiana na Jof walimzuia yule Mama.
Jimama likapagawa!! Likawa kama limeongezewa sifa mara mbili. Zile nywele zake zilizokuwa zimezibwa na Nywele bandia likazitoa nakutupa kule. Likavua ile nguo yake ya ndani ambayo kwa muda huu ilikuwa imebadilika rangi kutoka nyeupe na kuwa kama nyeusi si nyeusi kutokana na uchafu wa lile eneo pindi alipolala chini kukatika. Likabaki uchi wa mnyama. Halikuwa limenyoa nywele zake za ndani.
Nilibaki mdomo wazi. maishani mwangu sikuwahi katu kushuhudia lijimama kama lile kusasambua mbele ya watu. Shanga kibao kiunoni mwake zikajiachia. Mwaah!! Kelele zikalipuka kwa mara nyingine tena. Lile jimama likaanza kukatika sasa. Likaanza kukizungusha kiuno chake kwa ustadi wa hali ya juu likifuata mdundo wa muziki. Nikajikuta namimi nikitamani kuliendea pale chini japo kulikumbatia mwili wake. Akili yangu ikaanza kubishana na mwili juu ya kulivamia lile jimama. Mwili ukashindwa na akili. Nikabaki nikiendelea kutumbua mijicho uku nikihisi kujichafua kwa mara nyingine tena ndani ya suruali yangu.
**********
Niliendelea kujilaumu sana mbaya zaidi nilikuwa nikimlalamikia kasuku wangu kwa kuichafua ovyo suruali yangu na nguo yangu ya ndani. Muziki uliendelea kunoga hata sikuutambua ni muziki wa aina gani kwani ulikuwa ni mchanganyiko wa taarabu lakini ulikuwa kama upo haraka haraka kidogo.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Nikiwa bado katika mshangao mara kwa mbali Jof akawa amekwishaniona kwa jinsi nilivyokuwa nimezubaa mwenyewe kulitolea macho lile jimama pale chini. Jof alinioneshea ishara ya kuniita. Ishara ya kusogelea karibu na yeye.
Mwanzoni nilionesha kusita lakini sikutaka kukubali kabisa nilianza kunyanyua mguu wangu mmoja baada ya mwingine kujivuta mpaka karibu na lile eneo alipokuwamo Jof amewazingira watu kwa mikono wasiweze kulisogelea lile jimama karibu.
Nilisogelea mpaka kwenye masikio ya Jof nakunong’ona kitu.
“Vipi inakuwaje jimama hilo”
“Ndio nilichokuitia, zubaa zubaa tu!, Penyeza hapo juu yake”
“Baadaye sasa hivi noma bwana!”
“Baadaye?? baadaye utampata nani hapa labda Dj?”
Maneno yale yaliniingia akilini vilivyo. Niliona ni kweli nikisema nisubiri mpaka baadaye ninaweza nisiweze kuambulia chochote. Mzuka!!
Nikaingia mpaka katikati ya ule mduara. Kila mmoja akaanza kunipigia makelele wakidai nitoke. Jof ndio alikuwa amebaki mtetezi wangu. Mtetezi wa kuweza kuwazuia wale wote waliokuwa wakinipigia kelele nitoke. Kigugumizi cha mwili kikachukua nafasi yake. Nikajikuta nikisitasita uku chini Jimama likiendelea kukata mauno. Mara muziki ukazimwa ghafla kisha sauti ya Dijei ikapenyeza kwenye kipaza sauti chake.
“Kaka uliosimama na huyo mama acha kuzubaa unatunyima uhondo! tunakuhesabia sababisha muziki ukolee!!” Aliongea Dijei.
Kisha muziki uliendelea. Watu wote wakazidisha kelele mara mbili yake. Lile jimama likalewa sifa zaidi. Likasimama wima wima likiwa uchi wa mnyama. Likanishika shati langu uku likiendelea kukatika. Likaona hiyo haitoshi likaamia kwenye mabega yangu ambapo liliyashika nakuniinamisha mpaka chini kabisa.
Likaniinamia nakuanza kuachia mauno uku eneo lake la mbele yake likigusana na kasuku wangu ambaye alikuwa akipata shida ya kupumua kwa kutomuona aliyemziba. Kasuku wangu aliendelea kuzidiwa sana. Kipindi hiki hakuweza kutapika zaidi ya kututumka tu mithili ya paka amuonapo nyoka. Katika maisha yangu sikuwahi hata kukatika sehemu yoyote pia hata kukutana na mwanamke sikuwahi na ndio kwanza ilikuwa ni mara ya kwanza kwa kasuku wangu kugusana na mwanamke tena jimama maeneo ya mbele.
Niijikuta nikizungusha mauno bila hata kufundishwa sehemu yoyote. Makelele ya watu wakipiga makofi wakiongozwa na Jof ndio yalinizidisha mzuka. Jimama nalo halikutaka kubaki nyuma. Lilinikatikia vilivyo. Jasho niliokuwa nikilisikia toka niko getto kwangu sasa nilihisi kama baridi tena lile baridi la upepo wa jangwani.
Nikiwa katika kuoneshana maufundi ya kujitungia mwenyewe kwa lile jimama, mara umeme ukakatika. Watu wote wakaanza kumlaumu DJ.
“Dj umeanza enhh??” Lile jimama niliokuwa nalo lilitoa sauti ya ukali.
Wengine wakatukana sana wakidhani labda kuna mwendawazimu mmoja atakuwa amekanyaga waya lakini haikuwa hivyo. Jibu liliendelea kubaki pale pale kuwa umeme umekatika eneo lote.
“Liwashwe Jenereta basi”
“Ulinunua wewe? hakuna Jenereta muziki ndio umeishia hapa” aliongea Dijei
Mabishano yaliendelea kuliteka eneo lote. Kila mmoja alionesha kukerwa na giza la muda mfupi. Lile jimama bado lilikuwa kifuani mwangu uchi wa mnyama. Sikuweza kuinuka kutokana na mwili wake wote kuning’ang’ania.
“Tuondoke” Lile jimama lilininong’oneza.
“Wapi twende?”
“Nimekwambia hapa tuondoke au mwenzangu shoga wewe!”
Sikuweza kumuelewa kabisa alichokuwa akimaanisha. Alitoka mwilini mwangu nakupapasa chini kuchukua nguo zake nakuzivaa kisha akanishika mkono nakunivuta. Kutokana na giza kufunika kwa muda hatukuweza kuonana wote zaidi ya kupishana. hata Jof sikuweza kumtambua yupo upande upi. Ilinibidi kukubaliana na lile jimama litakaponipeleka.
Mwendo wa dakika tano tulikuwa tumeshakatiza maeneo ya jirani na kwangu mtaa mzima nao ulikuwa umekatika umeme. Giza lilikuwa ni kubwa sana.
“Tunaelekea wapi sasa?” Niliuliza,
“Wapi? utapajua tu wewe kunikatikia vile unafikiri sina hisia enhee? twende utapajua mbele ya safari”
Tulikatiza kona kona mpaka mtaa wa tatu bado hakukuwa na umeme. Ni giza totoro ndio liliendelea kuteka kutokea maeneo ya chumba nilichokuwa nimepanga. Vichochoro vilikuwa ni vingi sana na sikuwa hata mwenyeji wa maeneo yale kutokana na kuhamia Dar kwa muda mfupi mpaka sasa. Tulifika kwenye nyumba moja lile jimama likasimama.
“Hutakiwi kuongea neno lolote hapa ni vitendo tu” Liliongea jimama.
“Vitendo?”
“Shiiiiiiiii!!!”
Likanivuta mpaka ndani. Kilikuwa ni chumba kilichoonesha ni nyumba ya mtu.
Kweli vilianza vitendo tupu. Hakutaka kuniongelesha zaidi ya kuingia chumbani kwake nakuanza
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/kunisasambua nguo zangu zote. Alipofikia kwenye nguo yangu ya ndani alishangaa kugusa kama majimaji utete si ute na hata makamasi si makamasi.
“Pumbavu ungekufa kwa ugumu wewe” Aliongea yule jimama.
Alimaliza kunivua kisha akazivua nguo zake nakujilaza chini kabisa,sakafuni. Kitanda kilikuwepo lakini hakutaka kulala kitandani.
“Kwa wewe leo ni bure siku nyingine ni pesa kwenda mbele ndio unapata”
Sikuweza bado kumuelewa maana yake. Aliweza kumsafisha kasuku wangu. Akang’ara!! Kamwe sikutaka tena kuonekana nimetoka ‘bush’ zaidi ya kujiweka sawa nakumshika kasuku wangu katika malisho yake ya mtama. Kasuku akaanza kumdonoa. Kile kiuno kisichokuwa na mpangilio nilichokionesha wakati tukicheza muziki kule ndicho nilikihamishia hapa. Lile jimama lilitoa maneno mengi sana. Lilipigwa wangwi mithili ya mke anayefiwa na mumewe tena ikiwa ni siku ya mazishi katika kufukia mchanga. Kadri alivyokuwa akitoa sauti nami ndipo nilipozidisha kumlizisha kasuku wangu nakumpa maji kabisa. Niliendelea kufanya kwa muda mrefu hata zaidi na vile ninavyopigaga puchu getto kwangu!
“Toka, tokaaaa!!” Aliongea yule jimama.
Tayari nilikuwa nimeshamchosha kwa mapigo yangu ya nguvu. Alikuwa akihema ju juu.
“Mwanaume gani wewe una mashine kama ya kusaga mahindi, utaniua babu wewe hapana kwakweli!!” Aliendelea kuongea yule jimama.
“Hapana bwana tumalizie tu”
“Umalizie mie mkeo, kukuonjesha tu unataka kuniua mpaka kizazi? hapana kwa kweli toka nenda na sikutaki tena”
Tukiwa bado kwenye mabishano na lile jimama mara umeme ukarudi. Mwanga wa taa ambayo ilikuwa imeachwa wazi ikaangaza chumba chote. Lile jimama lilikuwa uchi wa mnyama na hata kasuku wangu alikuwa bado amesimama.
Nikaanza kuvaa nguo zangu kwa kutaka kuondoka.
“Unaenda wapi tena? kwenye kigodoro?”
“Hapana, narudi kwangu nimechoka!”
“Mashine yote ulivyokuwa ukikoboa ndio uchoke wewe? na ulivyokuwa ukiendelea kukoboa ulifikiri hii komesha”
“Hapana!”
“Haya vua sogea hapa karibu tuendelee”
Haraka haraka nilivua kwa mara ya pili kwakuwa sikuwa nimetosheka kutokana na lile umbo lake haswa umeme ulivyokuwa umerudi ndio kwanza niliumia zaidi endapo nitalikosa tena umbo kama lile na hata Jof angenishangaa sana. Alimshika kasuku wangu kwa mikono miwili kisha akamsogeza mpaka karibia na mdomo wake nakuanza kumnyonya. Alimnyonya kasuku pasipo na mabawa yake. Akahakikisha amemnyonya maeneo yote ya mdomoni mwake maarufu kwa kudonoa. Baada ya muda lile jimama likalala chali tena.
“Sasa hivi fanya taratibu haraka na pupa zako acha!”
“Sawa”
Ilinibidi kukubaliana naye kwa alivyokuwa akitaka. Nilianza kwa kukatika vile vile lakini kwa kipindi hiki ilikuwa ni katika hali ya taratibu sana lakini nikihakikisha kasuku wangu anaingia kwakwe wote na anabaki manyonya tu tena yanabaki yale manyoa ya mkiani kabisa na miguu yake.
“Annhaa umeniweza wewe! Na utakuwa ukipata bure, unaitwa nani”
“Mimi?”
“Sasa anayefanya kazi hapa juu yangu nani?”
“Naitwa Seif”
Kitendo cha kumtajia jina langu la Seif ndio ikawa kama kiitikio cha nyimbo mdomoni mwake. Kadri nilivyokuwa nikidumbukiza ndivyo na yeye alikuwa akiniita Seif. Nikarudi spidi yangu ile ile. Spidi ya kunogewa kwa utamu ambao sikuwahi kuupata maishani mwangu zaidi ya kuusikia kwa watu nakuangalia katika video mabandani tena usiku tu. Kwa sasa halikuweza kunitoa kwa mikono hata pale nilipokuwa nimezidisha spidi. Ndio kwanza lilikubali muziki wangu. Muziki wa cd mia ambao haukusimama. Tukiwa bado katika mahaba mazito mara hodi ikabishwa kwenye mlango wa wa chumba tulichokuwapo. Haikuwa hodi ya kawaida kwani ilipigwa kwa fujo zote.
Nilijikuta kasuku wangu akinywea ghafla. Alinywea kwa uwoga wa ile hodi. Akaachia bonge la kojo juu ya mwili wa lile jimama. Akili ya lile jimama ilikuwa imeshamuhama ghafla. Lilikuwa likitoa sana macho kuangalia kitasa cha mlango.
“Inamaana husikii hodi ikibishwa au” Aliongea yule jimama.
Mwili wote wa kwangu niliona kama kujawa na maji maji. Ninavyokuambia maji maji sio maji ya kunywa la hasha! ni mijasho!!. Hata mimi mwenyewe sikuweza kutambua ni mtu gani aliyekuwa akipiga hodi ile kwa fujo zote zile.
“Natoka! natoka usijali!” Niliongea kwa kujiuma.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Kwa haraka haraka lile jimama liliweza kuinuka nakuchukua khanga moko tu kama vijana wa sasa hivi wanavyoziita. Likaongoza mpaka karibia na kitasa cha mlango wake na lilipofika karibu liligeuza jicho kwangu nakunitolea macho legevu, shio!! kisha likafungua kitasa cha mlango wake.
“Unasemaje? mbona unarafu hivi hujui hapa ni sehemu ya biashara” Aliongea yule jimama.
Kwa akili na macho yangu wala sikuweza kumtambua aliyekuwa akibishana naye kwa mlangoni kutokana na kuuuzia mlango wake wote kwa utipwa wake na kichwa kukitoa kwa upande wa nje.
“Namtaka Seif ni mshkaji wangu uliondoka naye”
“Seif? Seif hapa hayupo! kwani hujui hii ni sehemu ya biashara kama zilivyo sehemu nyingine enhh”
Mabishano yaliendelea kuwa makubwa. Akili yangu ambaye mwenyekiti wake ni mwili tayari ilikuwa imeshafanya kazi nakugundua kuwa yule mtu aliyekuwa akiongea dhairi ni Jof. Kule kutetemeka kwangu nilikuweka kando kwa muda. Nikachukuwa nguo zangu nakuziridishia mwilini mwangu taratibu nakuinuka. Miguu yangu ikapata hamu ya kuinuka. Nikainuka nakusonga mpaka pale mlangoni lilipokuwepo lile jimama.
“Jof? Jof?” Nilitoa sauti.
Ni kweli alikuwa Jof tena Jof rafiki yangu ambaye ndiye alifanya juhudi nzima ya mimi kuweza kumnasa mwanamke mwenye umbile la kutisha mtaa. Umbile la kumdatisha kila kijana wa sasa nakujikuta halmashauri yake ya mwili kusisimka.
“ Dada huyu ni mwenzangu naomba niondoke naye!”
“Unasemaje wewe? Kwanza mimi dada yako? eti huyu ni mwenzangu uondoke naye, wapi?? tumemaliza?”
sikuweza kuwa na ujanja. Si mimi tu hata Jof mwenyewe hakuwa na la kuongea zaidi ya kumtolea macho yule jimama. Alikuwa na hasira sana kiasi kwamba alimfanya Jof ageuze alipotokea bila ya kuongea lolote nakutuacha wawili tena. Tuliingia ndani uku akibamiza mlango. Moyo wangu ukawa kama umewekewa pili pili tena zile pilipili mbuzi maana hata kutulia haukuwa ukitulia mara moja zaidi ya kuweweseka kwa kunisumbua.
“Haya nipe changu uende, nipee?” Aliongea yule jimama.
“Chako? kipi tena mbona sikuelewi?”
“Leo utaelewa tu kwanini ulivamia ile shoo na nilijua watu kama nyinyi wakware lazima mtakamatika tu hamkosi nyie”
“Kama ni hela mimi sina labda mpaka nyumbani”
“Sina shida na pesa yako nimekwambia nipe changu namaanisha nipe mashine yangu maana umenikoboa wewe bado kunisaga tu”
Sikuwa na hamu tena ya kuendelea kumchokoza kasuku wangu aweze kudonoa. Alikuwa ameshajipumzikia. Alikuwa ameziba masikio yote hata zile kelele za jof akigonga mlango hakuzisikia. Achana na hiyo hata kelele za jimama likidai tuendelee hakuweza kusikia kabisa. Kwa ninavyomjua angali sikia ni lazima angelitoka japo kwa kutuna kama afanyavyo siku zote awapo na ugumu.
“Hapana siwezi embu ona” Nililalamika.
Nilimvulia suruali yangu ili aweze kushuhudia yaliomo. Hakutaka kabisa kuamini kama kweli kasuku wangu amepitiwa na usingizi fofofo. Akajitahidi sana kumuamsha kwa kumshika na kumtikisa tikisa lakini wapi. Bati!! Haikusaidia lolote si kwa kuamka tu bali hata kwa kutoa miguu yake miwili. Miguu yake ilikuwa ndio kwanza imesinyaa mithili ya kifaranga cha kuku kikinyeshewa na mvua. Mawazo mgando yakanijaa. Ninapokwambia mawazo mgando sio yale ya mtindi? hapana!! Namaanisha mawazo ya kulichukuwa kwenda kumpelekea na Jof naye alifaidi kama nilivyolifaidi mimi. Kuna wakati mawazo mgando yalinielemea kichwani ikafikia hata hatua ya kuwaza kulisafirisha hata kesho nikaishi nalo kwetu Iringa kwenye mashamba ya vitunguu na nyanya!
“Sijui litakubali? Hapana litazingua tu!” Nilijiuliza kimoyomoyo na kujijibu mwenyewe.
Nilikuwa kama mtu aliyesafirishwa na mawazo tena nchi ya mbali bila kuwa na tiketi a ndege wala basi. Akili nikairudisha toka safari ya muda niliokuwa nimesafiri nakuliangalia tena jimama langu ambalo macho yake legevu bado yalikuwa yakiomba njia kutazamana na macho yangu angavu.
“Kwanini unanifanyia hivyo” Lile jimama safari hii lilibadilisha kabisa sauti. Sauti ile ya kuweza kumtoa nyoka pangoni. Kwa mara ya kwanza aliniongelesha kwa sauti ya kimahaba na jicho akililegeza.
“Nimekwambia nahitaji unisage kwanini haisimami hii mashine yako”
“Ukiona hivyo ujue imechoka”
“Eti niiini”
“Kama ulivyosikia!! ndio imechoka!”
Ilinibidi kumwambia ukweli lakini ndio kwanza kwa jimama ni kama kumpigia mbuzi gitaa na matarumbeta aweze kuucheza muziki. Kale kahali ka kunibembeleza ambacho alikaonesha kwa sekunde chache akakachukua nakukaweka pembeni. Ule mwili wake ulivyo tipwa tipwa akasimama nao mpaka juu. manyama nyama ya pembeni mwa tumbo lake yakasalimiana na manyama nyama ya tumboni mwake. Yakapiga makofi kwa pamoja yakitikisika. Akaniinamia tena mpaka chini nilipokuwepo kwa mara ya pili. Tukatazamana!! Akanong’ona!!
“Sipendi nikuache hivi hivi nitakusindikiza mpaka kwako nikapajue, sijawahi kukutana na mashine kama hizi maishani mwangu. Wewe ni zaidi ya mashine kwangu na roho itaniuma sana endapo nitaikosa mashine hii japo kwa siku mbili zinipite”
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Yule jimama alikuwa tayari ameshadata kupitiliza. Kudata kwa siku moja tena akiwa kama Malaya anayejiuza. Nilijiuliza maswali mengi sana pasipo kupata jibu hata kama ungelikuwa wewe maswali kama haya ni lazima yangekuchanganya kichwa. Sikutaka wala kuweza kuamini kuwa toka ameianza hii kazi yake ya ukahaba eti leo ndio kakutana na mashine yenyewe. Jibu kwangu likawa hapana!
Kasuku wangu alimnyima sana raha hata na mimi sikutaka tena kuweka hisia aamke. Nilijua tu endapo akiamka angekutana na dhahama kali. Idadi ambayo amekwishatapika kwa usiku mmoja tu ilikuwa ni idadi kubwa sana kwake.
Alinipa ruhusa ya kuweza kuiweka suruali yangu vizuri nayeye pia akaufunika ule mwili wake kwa nguo zake kisha akafungua mlango na kutoka naye.
“Umesema unakaa mtaa upi?”
“Mtaa wa tatu kutoka hapa”
“Hapa mpaka nihakikishe nimekujua kwako maana vijana wa siku hizi nyie mhh, haya niambie mapema kama kuna ka demu kako mapemaaa atambue huko”
“Hapana sina demu wala mke”
“Utakuwa unajidanganya mwenyewe kwa maana hata mama mwenye nyumba wako leo atajua kuwa umenioa wewe ngoja tufike tu!”
Miguu yangu iliokuwa imepambwa kwa kandambili chafu za uswahilini iliweza kukatiza chochoro ambazo kiukweli hata sikuweza kuzijua vizuri japokuwa na umeme kwa safari hii ulikuwepo. Visichana vidogo dogo vilikuwa vimetanda eneo lote. Havikuwa vikicheza bali vilikuwa kazini vikijiuza miili yao. Vimacho vyao viliwalegea sana mithili ya mtu aliyekula kungumanga!! Vilikuwa vikinuna sana kwa kuniona nikiwa na lile jimama. Vikatoa cheko la haja kwa pamoja!!
“Enheee heee heee haya wale wa wahaya! spare tyre hizoo zimeshakwisha kazi yake zinachukuana zenyewe kwa zenyewe”
Waliendelea kunong’ona wenyewe kwa wenyewe wakitishangaa tukikatiza mitaa. Yule jimama hasira zikampanda pasipo mimi kujua. Kelele za vile visichana na kebehi zao zikamkuna. Akajiona kama yupo uchi. Akanivuta mkono wangu kuonesha ishara kuwa nisimame. Nikatuliza kandambili zangu. Wima!!
“Mnasemaje nyie vitoto vya juzi” Akavisema vile visichana.
“Unajua vitoto wewe? vitoto vipo kwao vimejilalia na vingine vinanyonya hapa kazi tu nenda mkachome mahindi na mkulima mwenzako huyo”
Maneno yalizidi kumuingia yule jimama. Hata na mimi yalinikuna kutokana na uchafu niliokuwa nao japokuwa uchafu wangu ulifunikwa kwa kutembea na jimama njiani.
“Nitawateketeza nyie vitoto” Aliongea yule jimama.
“Mteketeze huyo uliokuwa naye tena kwa ukimwi maana sijui hata kama mzima wewe?”
Maneno yale yakawa yameshayachosha masikio ya jimama. Likashindwa kuvumilia zaidi ya kufura hasira. Likachojoa vito vyake vya thamani.
“Seif wacha nikawaoneshe adabu”
Likanikabidhi micheni yake ya shingoni na mabangili ya mikononi. Likavua viatu vyake vya kuchomeka kisha likavisogelea vile vitoto. Havikuwa vikiogopa kwani ndio kwanza vilikuwa katika kunogewa katika kupuliza moshi wa sigara sambamba na kulitukana lile jimama langu.
**********
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment