Search This Blog

Monday, October 24, 2022

VITILIVYOGO (PAPA NA MUHOGO) - 3

 





    Chombezo: Vitilivyogo ( Papa na Muhogo )

    Sehemu Ya Tatu (3)



    Alimwita mhudumu na kuagiza juisi mchanganyiko na pizza. Alipotaka kuagiza nyingine Shaka alisema:

    “Unajua nini mpenzi?”

    “Hata sijui Shaka.”

    “Sisi ni wapenzi haipendezi kila mtu ale yake, tutakula pizza moja, glasi moja ya juisi na mrija mmoja au hunipendi?” Shaka alitikisa kiberiti.\

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Aah! Shaka usinifanye nikalia, basi nisamehe nakupenda sana mpenzi wangu,” Stella alipiga magoti kuomba msamaha bila aibu na kumfanya mhudumu kushangaa huku Shaka akiamini mtoto wa kike kaimeza ndoano yote.

    “Aaah! Baby nyanyuka,” Shaka alimnyanyua huku akiwa haamini binti mwenye nyodo kama Stella kumpigia magoti.

    “Hapana baby bado hujanisamehe.”

    “Nimekusamehe  mpenzi wangu japo kwangu sioni kosa lako.”

    “Asante mpenzi wangu.”

    Waliagiza pizza na juisi na kunywa pamoja kama wapenzi wa muda mrefu. Wakiwa wanaendelea kunywa juisi Stella alitaka siku ile isipite tupu alitaka angalau apate hati miliki ya kummiliki Shaka.

    “Shaka ukitoka hapa unakwenda wapi?” alimuuliza huku amemlegezea macho.

    Japokuwa Shaka alikuwa anatakiwa siku ile akalale kwa Betty alijikuta akichanganyikiwa. Lakini siku zote kipya kina raha yake, hakutaka kuipoteza nafasi ile pamoja na kutojua aliulizwa swali kwa ajili gani.

    “Kwani ulikuwa unasemaje mpenzi?”

    “Shaka nina hamu ya kuwa na wewe jioni hii.”

    “Mmh! Mpaka saa ngapi?”

    “Hata nusu saa ili tu siku ya leo iandikwe katika historia ya maisha yangu.”

    “Mmh! Sawa, wapi?”

    “Sema wewe.”

    “Mi mgeni mwenyeji wangu ni wewe.”

    “Jamani Shaka nikisema mimi mwanamke si utaniona malaya,” Stella alisema kwa aibu.

    “Acha mawazo ya kizamani, wee sema wapi wala usihofu.”

    “Unapaonaje Princess Hotel?”

    “Mmh! Poa tu, tutaingiaje?”

    “Kuna siku nilimsindikiza Diana na kuingia kwa mlango wa nyuma.”

    “Basi tufanye hivyo si unajua wote ni wanafunzi tusiwe tu kituko,” Shaka alimtoa wasi lakini akiamini kabisa Stella ni mzoefu wa sehemu zile.

    “Usiwe na wasiwasi.”

    Stella alitoka nje na baada ya muda alirudi na kumueleza Shaka kuna teksi nje atangulie nayo Princess Hotel.

    “Shaka tangulia na hiyo teksi hapo nje akikufikisha usiteremke mpaka nifike. Nikifika nitaingia moja kwa moja nawe nifuate nyuma sawa?”

    “Hakuna tatizo,” Shaka alisema huku akitoka nje kwenda kwenye teksi aliyoelezwa na Stella.

    Alipofika nje aliiona teksi kali ambayo alipanda na dereva aliondoa gari.

    “Vipi mwana?” dereva alimuuliza huku akikanyaga mafuta.

    “Poa tu bro.”

    “Yule msichana ni dada yako?”

    “Kwa nini umeniuliza?”

    “Mzuri.”

    “Sasa uzuri wake mimi unanihusu nini?”

    “Labda demu wako?”

    “Hapana,” Shaka alikataa.

    “Nani yako?”

    “Shida yako nini?”

    “Basi nilitaka kujua jina lake, unajua yule demu matawi anachukuliwa na mtoto wa kigogo na hoteli yake hiyohiyo aliyosema nikupeleke.”

    “Ushampeleka mara ngapi?”

    “Nyingi na dereva wake ni mimi au Tito.”

    “Poa, mi nina safari zangu.”

    “Au ndiyo anataka kampani yako, unajua mademu kama wale lazima wapate kampani ili kuua soo wanapokuja kukutana na wajanja wao.”

    “Walaa, si unaona nipo peke yangu.”

    Dereva alisimamisha gari pembeni ya Hoteli ya Princess. Shaka hakuteremka alisubiri  kulingana na maelekezo aliyopewa na Stella.

    Baada ya muda teksi nyingine ilisimama karibu kabisa na mlango wa hoteli. Stella aliteremka haraka na kuingia ndani ya hoteli, Shaka naye kama alivyopewa maelekezo alifungua mlango ili ateremke.

    “Kumbe mwana mzigo wako!”

    “Kawaida.”

    “Kumbe mwana nawe matawi?”

    Shaka hakujibu, aliteremka na kufunga mlango kisha alichepua mwendo kuingia ndani ya hoteli ili asipotezane na Stella. Alimkuta Stella akimsubiri.

    “Vipi?”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Poa.”

    “Nisubiri nakuja,” Stella alisema huku akiingia ndani ya hoteli upande wa vyumba.

    “Poa.”

    Stella aliingia ndani na kurudi bila kutoka nje kabisa na kumwita kwa ishara amfuate. Shaka alimfuata  ndani, walielekea moja kwa moja chumbani.

     Stella alitangulia na Shaka alifuata kisha walifunga mlango. Baada ya kuingia ndani Stella alishusha pumzi ndefu kitu kilichomshtua Shaka.

    “Vipi mpenzi?”

    “Mmh! Yaani nimejikaza sijawahi kuingia gesti mwenzio,” Stella alisema akiwa ametawaliwa na hofu.

    “Pole, hata mimi ndiyo siku yangu ya kwanza.”

    Shaka alifunika kombe mwanaharamu apite, hakutaka kumshushua Stella kwani sicho alichokifuata. Kumpata kwake ilikuwa kama kuokota pochi katikati ya soko.

    Ilikuwa ni moja ya ndoto zake japokuwa Betty ndiye alimchanganya zaidi. Kwa upande mwingine aliamini Stella ndiye saizi yake kuliko Betty kwa vile alikuwa na mtu wake aliyekuwa akimmiliki yeye alikuwa kama mwizi.

    Moyoni aliapa Stella akitoka pale asisahau katika maisha yake hasa baada ya kuongezwa mautundu na Betty.  Baada ya kupumzika kwa muda walikwenda kuoga.

    Mchezo ulianzia vyumba vya ukaguzi timu moja ilipata bao la utangulizi na kufanya mechi iongeze ushindani kwa mmoja kutaka kusawazisha na mwingine kuonyesha kufunga bao la mapema hakubahatisha.

    Baada ya kutoka bafuni walihamia kwenye tatali lenye nyasi za asili kila mmoja akitaka kushinda mchezo wa kwanza ili kujenga heshima.

     Stella aliamini kabisa Shaka si wa kwake mwenyewe lakini alichotaka kukifanya siku ile basi yeye ndiye awe chaguo lake la kwanza.

    Wakati akiwaza hayo Shaka aliwaza mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe. Kama Stella yupo na mtoto wa kigogo basi atahakikisha nguvu zake ziwe mtaji wa kummiliki mrembo yule mwenye nyodo.

    Alijua akichemsha japokuwa aliamini kama Betty alimpigia saluti basi Stella si lolote si chochote kwake alijua atamburuza tu.  Lakini alihofia kuchemsha na kuonekana hafai na kuharibu CV yake.

    Mchezo ulianza huku kila mmoja akiwa makini kuhakikisha hafanyi makosa dakika za mwanzo.

    Shaka kwa kujiamini alitumia uzoefu alioupata kwa Betty kutawala mchezo huku  Stella naye akiamini kabisa kwa uzoefu alionao baada ya kuwa na mpenzi mzoefu aliyekuwa mtaalamu wa kuangalia mikanda ya wakubwa.

    Mchezo kila ulivyokuwa ukienda ndiyo kila mmoja alitaka kujitoa ajulikane yeye ni nani. Shaka alianza kubadilika na kutawala mchezo kutokana na kujaza viungo wengi katikati kutokana na kuona Stella naye si moto wa makaratasi aliyejua kuitumia nyonga yake barabara.

     Stella naye hakuwa nyuma pamoja na kuamini Shaka ni mvulana mzuri lakini alijua ni mgeni wa medani ya mapenzi kwa kutumia nyonga yake laini.

    Mwanzo aliyaona maji ya magotini lakini muda ulivyokuwa ukienda maji yalianza kupanda taratibu huku Stella akitumia uwezo wake wote kumdhibiti Shaka ambaye alionekana kujua zaidi yake.

    Taratibu yalipanda kuelekea shingoni bado Stella aliamini anaweza kuyakabili kwa kutumia uzoefu katika medani ya uroda na uwezo wake wote kuhakikisha maji yale hayamfuniki.

    Maji yaliacha shingo na kukifuata kichwa hapo ndipo Stella alipoamini wimbi la Shaka si la kitoto.

    “Hapana...hapana Shaka unajua.”

    Shaka hakusema lolote zaidi ya kuendelea kukwea mnazi kama komba mzoefu kwa mbwembwe baada ya wimbi la Stella kutulia. Siku zote aliamini huwezi kulamba asali huku unapiga mluzi, lazima utamu wote utautupa nje na kuishia kujilamba.

    “Shaka...Shaka,” Stella alimwita Shaka baada ya wazimu kumpanda na kukuna kichwa kama kina chawa.

    Shaka hakumuitikia, aliendelea kuwatambuka mabeki waliokuwa wamekata tamaa ya kumkaba kutokana na usumbufu wa kutotulia sehemu moja, hivyo kuipa wakati mgumu beki ya Stella.

    “Shaka niitikie mpe..pe..pee..eeeh.”

    Stella alikurupuka golini kuuwahi mpira, lakini alipishana nao kutokana na umahiri wa Shaka anapoingia ndani ya kumi na nane.  Lilikuwa bao safi lililomfanya mtoto wa kike atetemeke kama amekunywa Cocacola kisha akatulia, alikuwa amekwenda marikiti kwa mara ya nne.

    Shaka naye chombo kilikuwa kimefika pwani, alitupa nanga na kukipaki pembeni na kujilaza ubavuni mwa Stella aliyekuwa hoi baada ya piga nikupige. Wote wawili usingizi mzito uliwapitia kutokana na uchovu.

                                                 ***

    Shaka alishtuka usingizi na kuangalia muda kwenye simu ya Stella na kuonesha ni saa tatu usiku.

    “Stella mpenzi amka muda umekwenda sana.”

    “Mmh! Nimechoka niache nilale kidogo.”

    “Hapana Stella tuondoke  muda umekwenda sana.”

    “Shaka kwa nini tusilale?”

    “Hapana baby sasa ni saa tatu tuwahi nyumbani.”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Shaka unanipenda?” Stella alimuuliza kwa sauti ya kilevi.

    “Tena sana.”

    “Basi naomba leo tulale kwa mara ya kwanza.”

    “Hapana kitamu huliwa kwa hamu pia ukila na kipofu usimshike mkono.”

    “Nimekuelewa, lakini naomba kwa leo tu baby.”

    “Unawaheshimu wazazi wako?”

    “Ndiyo.”

    “Unapenda penzi letu liendelee?”

    “Ndiyo, tena tuwe mume na mke tuzae na watoto.”

    “Basi nyanyuka tukaoge tuwahi nyumbani.”

    “Mmh! Sawa baby nakubali kwa vile nakuamini kwa asilimia elfu moja.”

    Walikubaliana kuondoka baada ya kwenda kuoga na kutoka, muda ulikuwa saa nne za usiku. Stella alikodi gari na kumpeleka kwanza Shaka kwao na yeye kurudi kwao bila kujua atawaeleza nini wazazi wake.

    Shaka akiwa amechoka alirudi nyumbani kwao ambako alikuta wamekwishalala, kwa vile alikuwa na njaa alikwenda kwenye banda la chipsi na kupata chakula cha usiku kisha akarudi nyumbani kulala.

    Kabla ya kulala mdogo wake alimweleza taarifa ya Betty.

    “Shaka, Betty alikuja zaidi ya mara tano kukuuliza, leo ulienda wapi?”

    “Kucheza mpira.”

    “Ndiyo maana, yaani ametoka hapa kukuuliza muda si mrefu, vipi anakudai?”

    “Walaa.”

    “Nenda kamsikilize.”

    “Nitamsikiza kesho.”

    “Shaka hujui tu, yaani inaonekana yule dada ana shida sana na wewe.”

    “Nitamuona kesho.”

    Shaka aliogopa kwenda kwa Betty kuhofia kukutana na kalinyekalinye lingine. Kwa jinsi alivyokuwa amechoka alijua lazima atachemsha na Betty atajua ametumika na kuonesha si muaminifu.

    “Erick, Betty akija kuniuliza tena mwambie sijarudi.”

    “Poa.”

    Shaka kutokana na kuchoka sana alipanda kitandani na usingizi mzito ulimchukua.

                                                                  ***

    Siku ya pili Shaka alikwenda shuleni kama kawaida, siku hiyo Stella hakwenda kutokana na kipondo kizito cha jana yake kwani aliamka mwili ukimuuma kila kona kama alikuwa akitwanga chuma. Diana alimpitia shoga yake alipofika hakumuona sebuleni kama kawaida yao.  Wasiwasi wake alijua amekwishaondoka, alipomuulizia aliambiwa na mama yake:

    “Leo mwenzio ameamka mwili wake si mzuri.”

    “Anaumwa nini?”

    “Anasema kila kona ya mwili inamuuma.”

    “Labda malaria?”

    “Mmh! Mwenyewe anakataa eti anasema jana sijui mlicheza netiboli shuleni na kuutikisa mwili,” kauli ile kidogo imchekeshe Diana kwa vile jana yake hakukuwa na michezo.

    “Sasa yupo wapi?”

    “Yupo chumbani kwake bado amelala.”

    “Acha nikamuone niwahi shule.”

    Diana  alichepua mwendo hadi chumbani kwa Stella, kwa vile mlango ulikuwa umeegeshwa aliusukuma na kuingia ndani. Alimkuta shoga yake kapitiwa usingizi mzito akiwa amejichanua kama anataka kujifungua, mikono na miguu ameirusha ovyo.

    Alitulia kwa muda na kumuonea huruma shoga yake, lakini upande mwingine alimuonea wivu kwa kuamini Shaka alimtendea haki mpaka kushindwa kwenda shule kilikuwa kipigo cha pweza. Alimsogelea kitandani na kumtikisa taratibu, kutokana na uchovu Stella alijibu sauti ya kichovu bila kufumbua macho.

    “Niache nimechoka.”

    “Stella mimi Diana.”

    Sauti ile ilimshtua na kufumbua macho kichovu na kujinyanyua kitandani huku akipiga miayo.

    “Vipi shoga kulikoni?” Diana alimuuliza.

    “Mmh! Wee acha tu,” alisema huku akitabasamu na kujinyoosha.

    “Niache nini?”

    “Kweli mtama ulimshinda ndege akapasuka tumbo.”

    “Mmh! Mbona sikuelewi leo umekuwa mama wa ngano za Kiswahili,” Diana hakumuelewa shoga yake.

    “Japokuwa jana sikukuaga, nilikuwa na Shaka mwanaume yule koma.”

    “Ina maana shughuli ya jana imekufanya hivi?” Edna alishtuka.

    “Wee acha tu, Mose cha mtoto. Shaka si mdogo kama tunavyomuona alikulia tumboni kwa mama yake. Aliyonifanyia jana siwezi kusahau, sikuwahi kumwaga bomba la maji matamu kama jana.

    “Kama isingekuwa nipo chini ya wazazi ningelala palepale nilikuwa kama mlevi. Hapa nilipo nipo hoi kama nimemaliza mizinga miwili ya pombe kali.”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Mi nilijua tu, mlitoka saa ngapi?”

    “Saa nne na nusu.”

    “He! Ulitaka mkae mpaka saa ngapi?”

    “Nilitaka tulale mpaka asubuhi.”

    “Na nyumbani ungewaambiaje?”

    “Ningejua cha kusema.”

    “Mmh! Makubwa, wacha niwahi shule.”

    “Poa shoga we wahi shule, kuna elfu ishirini yako ipo kwenye droo ya kabati.”

    “Asante shoga.”

    “Chukua na elfu hamsini mpelekee Shaka.”

    “Mmh! Mbona nyingi sana.”

    “Za kwako?” Stella alimjibu kwa ukali.

    “Basi shoga mbona umekuwa mkali?”

    “Wewe nimekupa ishirini kwa kazi gani, mambo yangu na Shaka nakuomba usiyaingilie la sivyo ushoga wetu utakufa,” Stella aligeuka mbogo.

    “Basi shoga nisamehe.”

    “Kwa hiyo hizo fedha zifike, nikikutana naye nitamuuliza.”

    “Nitampa shoga.”

    “Basi wahi shule, niite Mona nimwambie dereva akuwahishe shule.”

    Edna alitoka nje na kumwita msichana wa kazi na kwenda moja kwa moja chumbani kwa Stella.

    “Abee dada.”

    “Mwambie Jacob amuwahishe Diana shule.”

    “Sawa.”

    “Edna shoga yangu tutaonana jioni wacha niendelee kula raha.”

    “Hakuna tatizo.”

    “Msalimie sana Shaka mwambie nampenda sana,”



    “Salamu zimefika,” Edna alijibu huku akiwa na wivu mzito moyoni na kuona vita yake na shoga yake ni kubwa kwa vile Stella alikuwa na uwezo mkubwa wa kifedha lakini yeye ndiye aliyeanza.

    Lakini moyoni alishukuru kupata elfu ishirini aliyopewa akichanganya na elfu kumi aliyotoka nayo nyumbani zingeweza kumfanya apoze maumivu ya jana yake kwa kulipia nyumba ya wageni.

     Alipanga elfu hamsini ya Shaka angempa baada ya kumaliza mtifuano na kumueleza amepewa na Stella ili akiulizwa asikatae.

    Edna alipelekwa shule na gari la kina Stella kisha aliingia darasani. Moyoni aliamini ile ndiyo iliyokuwa nafasi yake hivyo alitakiwa kuitumia vizuri.

    Alipanga akikutana na Shaka ampe taarifa mapema ili ajue jioni ya siku ile ana shughuli naye pevu.

    Wakati wa mapumziko Shaka alishangaa kutomuona mpenzi wake Stella, wazo lake alifikiri labda bado yupo  darasani. Muda wote Diana alikuwa akitafuta njia ya kumpata Shaka ili kumpa ujumbe wake.

    Alijikuta akikosa kujiamini kwa kuhangaika kama kuku anayetaka kutaga.

    Wazo la haraka alilopanga ni kuandika ujumbe kwenye karatasi ili akampe bila kusema neno bila mtu kujua nini kimeandikwa kwenye karatasi. Aliandika ujumbe mfupi wa haraka na kusogea sehemu Shaka alipokuwa na rafiki zake wakinywa soda.

    Kabla hajafika kengele ya kurudi darasani ililia, Diana alichepua mwendo na kumfikia Shaka aliyeshtuka kumuona peke yake.

    “Vipi Diana?”

    “Safi tu,” Diana alisema huku akinyoosha mkono kama anamsalimia Shaka alipoupokea alikutana na kitu mkononi. Kwa haraka alipokea akiamini ujumbe ule unatoka kwa mpenzi wake Stella.

    “Stella Yupo wapi?”

    “Anaumwa.”

    “Anaumwa! Anaumwa nini?”

    “Kwani uliyomfanya jana madogo.”

    “Jana nimemfanya nini?”

    “Si mwenzio alikula kwa mikono miwili na kujikuta akivimbiwa, si bure lazima Shaka umechanjia.”

    “Nini?”

    “Nguvu za kiume.”

    “Ndiyo nini?”

    “Za kuweza kukupa nguvu za kufanya mapenzi kwa muda mrefu bila kuchoka.”

    “Diana acha niwahi darasani, watu wanapungua watatuchora.”

    “Naomba uelewe ujumbe huo usiniangushe.”

    “Siwezi Diana,” Shaka alijibu bila kujua kumeandikwa kitu gani.

    “Basi wahi baadaye.”

    Shaka aliagana na Diana kila mmoja alikimbilia darasani. Shaka alipofika darasani baada ya kutulia aliufungua ujumbe uliokuwa kwenye karatasi uliokuwa umeandikwa:

    Mpenzi baada ya jana kunitesa leo naomba iwe zamu yangu naomba muda wa kutoka unikute ulipotukuta jana na Stella ndiyo nafasi leo.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Shaka alijikuta akitabasamu na kuona mtihani mwingine na kujiuliza atamdanganya vipi Diana ili amuelewe baada ya kuitumia siku ile kwa uhuru mkubwa kutokana na mwenye mali kuwa mgonjwa.

    Alikichana kile kikaratasi na kuhamisha mawazo yake kwenye masomo wakati huo mwalimu wa somo la Mathematics  (hesabu) ndiyo kwanza alikuwa akiingia. Alijikuta akijiuliza kumbe shughuli ya jana ilikuwa pevu sana kwa Stella kiasi cha kushindwa kuja shuleni.

    Aliamini mwanaume aliyekutana na Betty ni mjuzi sana kiasi cha somo alilopewa  kuwachanganya wanawake na kumuona mtaalamu wa ajabu kumbe na yeye alikopi na kupesti.

     Wazo alilokuwa nalo ni kumdanganya Diana kuwa anatakiwa kuwahi kurudi nyumbani mama yake ana shida naye.

    Alijua ana kesi na Betty baada ya jana kumtafuta na kumkosa. Japokuwa alikuwa na hamu na Diana lakini aliogopa kuendelea kumuudhi mfadhili wake.

    Muda ulipofika wa kutoka, Shaka alitoka kama kawaida na kwenda zake sehemu waliyokubaliana kukutana  na Diana, alipofika alifurahi sana na kumueleza:

    “Shaka mpenzi nilifikiri huji.”

    “Kwa nini nisije?”

    “Labda Stella amekukataza.”

    “Anikataze kwani anajua chochote juu yetu?”

     “Tuachane na hayo nina imani ujumbe umeuelewa?”

    “Ndiyo, lakini?”

    “Lakini nini tena mpenzi?”

    “Nimeambiwa leo niwahi nyumbani nikitoka shule nisipite popote mpaka nyumbani kuna kitu mama anataka kuniagiza.”

    “Jamani si tunakwenda mara moja,”Diana alimbembeleza Shaka.

    “Kwa leo utanisamehe,  jana niliambiwa niwahi kurudi Stella alisema tunatoka mara moja lakini tukatoka usiku na kusababisha  nimuudhi sana mama na kunieleza nikirudia basi atanipeleka boarding.”

    “Shaka jamani basi kanipe hata mguu wa jini kama huwezi kunipa mbili za mkwezi.”

    “Diana  kuwa muelewa,  tuheshimu wazazi naweza kukufurahisha wewe nikaharibu kwetu.”

    “Kwa hiyo?” Diana aliuliza.

    “Ndiyo hivyo, tufanye kesho.”

    “Kesho itakuwaje lazima Stella atakuja.”

    “Nimekueleza mimi, kazi hiyo niachie.”

    “Lakini hujanitendea haki kabisa,” Diana aliendelea kulalamika.

    “Kwa hiyo unataka nimdharau mama yangu kwa ajili yako?”

    “Hapana.”

    “Kama vipi tunaweza kuacha tu.”

    “Kuacha nini?”

    ”Mimi na wewe kwani mapenzi lazima kama huwaheshimu wazazi wangu.”

    “Usifike huko Shaka, nakupenda sana ila toka jana nateseka nilijua leo utapunguza mateso yangu.”

    “Diana  hunipendi bali unanitamani.”

    “Jamani Shaka mbona umenipania leo kila ninalosema baya, najua tu umeelezwa na Stella uniache.”

    “Anieleze anajua nini juu yangu na wewe?”

    ”Basi wahi nyumbani lakini kesho nakutegemea sana.”

    “Umepata, kesho ikifika wewe tu hata ukitaka tulale.”

    “Kweli Shaka?”

    “Mmh! Nakutania tu, lakini patachimbika bila jembe nitakupa dozi ya mwezi mzima.”

    “Nitashukuru ile mbaya.”

    “Basi acha niwahi nyumbani.”

    “Shaka nina mzigo wako.”

    “Mzigo gani tena?”

    Diana alimpa elfu hamsini alizopewa na Stella, Shaka alichukua na kushukuru.

    “Mwambie asante pia augue pole.”

    “Shaka kwani Stella anaumwa?”

    “Kama haumwi kwa nini hakuja shule?”

    “Si alikula kwa mikono miwili akavimbiwa, Shaka unayajua mapenzi pia una nguvu ya kumfikisha mwanamke.”

    “Kama pombe sinywi, sivuti bangi hata hili linishinde?”

    “Basi wahi baba usije kesho ukaninyima eti nilikuchelewesha.”

    Shaka aliagana na Diana aliyeondoka na ugwadu wake na kujilaumu kumtamani mpenzi wa shoga yake. Lakini aliamini hakukuwa na njia nyingine  kwa kuamini kitamu kula na nduguyo na Stella alikuwa zaidi ya rafiki ndiyo maana siri zao walikuwa hawafichani.

                                          ***

    Kwa vile jana yake hakwenda kwa Betty aliamua kuwahi ili asimuudhi tena. Alipofika nyumbani alivua nguo za shule na kwenda kwa Betty. Alimkuta amekaa sebuleni akizungumza na shoga yake huku akitazama video. Alipofika aliwasalimia:

    “Shikamoni.”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Marahaba,” aliitikia shoga yake lakini Betty alibinua midomo na kutazama pembeni.

    “Betty si unasalimiwa?” shoga yake alimwambia.

    “Achana naye.”

    “Kwa nini?”

    “Wee Shaka umeshaniona mtoto mwenzako au kwa vile nimekuvulia nguo yangu ya ndani.”

    “Nini?”

    Shoga yake alishtuka kusikia vile kwa vile Shaka alionekana mdogo kwa Betty, alijiuliza alisikia vizuri au?

    “Si ungeniuliza kuliko kunilaumu,” Shaka alijitetea.

    “Nikuulize nini, umeshaanza kupendeza unajiona kidume?”

    “Yote hayo yametoka wapi, au kwa vile mi mdogo ndio maana unazungumza ukitakacho bila kujua kilichonikuta jana.”

    “Kikukute kipi, Shaka mi ni wa kuja kwenu jana usiku zaidi ya mara tano na kunifanya nijikande kwa maji ya moto ili nilale?” Betty alibwabwaja bila kumhofia shoga yake.

    “Sasa mimi ningepaa nilipokuwa.”

    “Ulikuwa wapi?”

    “Jana si tulikwenda kucheza mpira Geza Ulole.”

    “Geza Ulole ndiyo wapi?”

    “Unavuka Kigamboni mbele ya Mji Mwema,” Shaka alitengeneza uongo unaofanana na ukweli.

    “Duh! Mbona mbali, mlikwenda kufanya nini?”

    “Tulikwenda kucheza na shule ya kule.”

    “Shaka mbona hujawahi kuniambia unacheza mpira?” Betty alibidi alirudi chini.

    “Wewee! Mimi ndiye tegemeo la shule naitwa Van Persie wao.”

    “Ina maana mmerudi saa ngapi?”

    “Saa sita na nusu usiku.”

    “Mungu wangu! Hivi hata tungekutana ungeniridhisha?” Betty alitamka bila wasiwasi huku shoga yake akiwa haamini kilichokuwa kikiendelea mbele yake.

    “Wee acha, jana nilikuwa hoi ile mbaya, kucheza mpira kulinichosha na foleni la Kigamboni basi taabu kwelikweli,” Shaka alizidi kuweka chachandu kwenye uongo wake.

    “Inabidi sasa uachane na mpira kwani jana umenitesa sana mpenzi wangu.”

    “Sawa mpenzi siendi tena safari za mbali.”

    “Si kwenda mbali bali kuachana kabisa na mpira.”

    “Itakuwa ngumu kwa vile mkuu wa shule ananitegemea sana, kama jana tumeshinda goli tatu zote nimefunga mimi.”

    “Basi siku ukiwa na mechi unaniambia mapema.”

    “Sawa mpenzi.”

    Maneno yale Edna shoga yake Betty yalimpita pembeni na kuamini ule ni utani, lakini hakuupenda utani ule wa shoga yake kuzungumza maneno ya mapenzi na mtoto mdogo kama Shaka, mtu aliye sawa na mdogo wake.

    Aliona maneno yale ni kichefuchefu kwake na kuamua kuaga.

    “Betty acha niende.”

    “Mbona haraka si ulitaka kuiona filamu hii?”

    “Nimekumbuka kuna kitu nilitakiwa kukifanya, nitarudi baadaye.”

    “Poa.”

    Betty alishukuru kimoyomoyo shoga yake kuondoka kwani hamu alizokuwa nazo zilikuwa juu na zilitakiwa kushushwa haraka kama dripu kwa mgonjwa wa presha.

    Hakukumbuka kumsindikiza shoga yake baada ya kumvuta Shaka na kuanza kula naye denda. Edna alipofika mlangoni alipogeuka alishtuka kumuona shoga yake amezama kwenye mapenzi na mtoto yule mdogo.

    Alimuona kama anajidhalilisha kutembea na kijana yule mdogo ambaye aliamini si hadhi yake hasa baada ya kumsikia yeye ndiyo anayemfadhili kwa kila kitu.

    Siku zote alimuamini Betty ni moja ya wanawake smati anayejiheshimu pia ana bwana mwenye fedha. Lakini tukio la siku ile ilimshtua na kutaka kujua kulikoni kujidhalilisha kiasi kile.

    Alipanga kurudi baadaye na kumpa makavu shoga yake ikiwezekana kuvunja uhusiano ule. Lakini Betty hakuwa na mawazo naye, hisia zake zilikuwa juu.

    Alipoona anachelewa alimshika mkono Shaka na kumpeleka chumbani.

    “Shaka nataka hasira za jana uzishushe sasa hivi.”

    “Hakuna tatizo, nataka goli nilizofunga jana leo nifunge kwako.”

    “Si huwa nasikia mtu ukifunga bao tatu unapewa mpira, ulipewa?”

    “Mpira wenyewe mmoja wangenipa wangechezea nini?”

    “Sasa kwangu ukifunga bao tatu nikupe nini?”

    “Nitaondoka na wewe.”

    “Haya baba kazi kwako.”

    Kwa vile mchicha ulikuwa umekolea nazi mchezo ulianza mara moja huku Shaka akitaka kusahihisha makosa ya jana yake kwa kumpa vitu vipya alivyomfundisha mwenyewe.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Betty naye alitaka kuhakikisha kisima kilichojaa kinakauka maji kwa kupunguzwa na kata ya Shaka. Hukuwepo shetani wako alikuwepo.

    Kutokana na kupaniana mpaka wanapumzika kila mmoja alikuwa hoi, kwa Betty kuokota mpira wavuni mara nne na Shaka kuingia wavuni mara tatu ‘hat trick’.

    Baada ya piga nikupige Shaka na Betty alijilaza na kupitiwa na usingizi mzito kwa kila mmoja kulala mlalo wa mchoko mzito.

                                 ***

    Edna baada ya kurudi  kwake bila kupata jibu la shoga yake kujidhalilisha kwa kijana mdogo kama Shaka, majira ya saa moja alikwenda kwa shoga yake akamalizie mkanda wake kwa kuamini muda ule Shaka ameshaondoka kisha kumpa makavu ‘live’.

    Alipofika kwa shoga yake alikuta nyumba bado haijawashwa taa. Aliposogelea mlango alikuta umerudishwa tu, aliingia sebuleni na kushangaa kutomuona shoga yake.

    Juu ya kochi kulikuwa na simu ya shoga yake ambayo ilikuwa ikiita bila kupokelewa. Wazo labda amelala lilimjia na kuamua kwenda chumbani kwa Betty.

    Chumbani palikuwa na giza, alikwenda kwenye swichi na kuwasha taa. Baada chumba kujaa mwanga, jicho lake lilishtuka kuwaona watu wawili wakiwa wamelala mlalo wa mchoko mzito.

    Alishuhudia shoga yake akiwa wamelala kama yupo ‘leba’ mguu mmoja huku mwingine kule. Mguu mmoja ukiwa mgongoni kwa Shaka ambaye naye alikuwa hajitambui.

    Alizima taa na kutoka haraka kwa kuurudisha mlango mkubwa na kuishia zake huku akizidi kuchanganyikiwa. Alijiuliza ni kweli Shaka ndiye aliyemsambaratisha vile shoga yake ambaye siku zote alilalamika kuwa mpenzi wake hajawahi kumfanya ashindwe kunyanyuka kitandani?

    Alijiuliza kama ni kweli Shaka ndiye kafanya vile, alijuaje uwezo wa kijana mdogo kama yule? Alijikuta akiona wivu kwa shoga yake kupata kipigo cha pweza.

    Kwake ilikuwa pigo moyoni mwake kwani mpenzi wake mwezi wa pili mfululizo alikuwa akiachwa njiani kila walipokutana.

    Wazo lake lilikuwa kumtafuta Shaka kwa siri hata kwa kumpa fedha anayotaka ili naye auone utundu wake na kama atampa kipigo cha pweza basi naye atakuwa abiria wa siri kwenye gari la Shaka.

    Usiku kwake ulikuwa mrefu kwani mpenzi wake baada ya kuangusha dafu moja hakusubiri mwenye mnazi aridhike, aliteremka na kumpa mgongo na kumwacha akirusha miguu kama amekanyaga moto baada ya wadudu kumnyevua kama wametumwa.

    Moyoni aliapa kwa hali na mali lazima kesho yake atamtafuta Shaka ili naye apate haki stahiki. Siku ya pili alipokwenda kwa Betty, alimkuta amejilaza akiwa mchovu.

    “Vipi shoga?”

    “Mmh! Nipo hoi.”

    “Nini tena?” alijifanya hajui.

    “Wee acha tu, kweli ukubwa wa pua si wingi wa kamasi.”

    “Kwanza shoga hebu niambie ukweli yule kijana mpenzi wako?” alitafuta ushahidi japokuwa ukweli aliujua.

    “Ndiyo na hali hii hunikuta ninapokutana naye.”

    “Lakini mbona mdogo sana.”

    “Angekuwa mdogo ningekuwa hivi, huyu Jimmy mtu mzima ukikufurahisha leo, kesho anakuudhi. Lakini toka nianze na Shaka sijawahi kukasirika, si mechi ya kirafiki si fainali.”

    “Mechi ya kirafiki na fainali zipoje?”

    “Mechi ya kirafiki bao moja kama mguu wa jini au mbili za mkwezi zinatosha. Lakini fainali kama jana sijui kama mtoto wa watu kaenda shule.”

    “Anakushika ukashikika kabisa?” Edna alitafuta ukweli.

    “Tena kabisa, angekuwa hasomi mbona tungefungiana ndani wiki mzima ili amalize hamu zangu. Yaani juzi usiku sikulala baada ya kumkosa sasa hivi kila nikimuwaza zinapanda kama zimetumwa na akifika zinamjua. Mtoto yule ana nguvu kama faru.”

    Maneno yale yalimuumiza Edna moyoni alipanga kumfuatilia shule ili kupata nafasi ya kuzungumza naye kwa kituo na kama kikieleweka basi wamalize mchezo kabisa siku ileile.

                                     ***

    Siku ya pili Shaka alikwenda shule kama kawaida japokuwa mwili ulikuwa umechoka sana. Muda mwingi darasani alikuwa akisinzia.

    Stella naye alikuwa na shoga yake wakipiga stori huku wakimuangalia Shaka kwa wizi.

    “Shoga ni kweli Shaka ndiye aliyekufanya vile?” Diana alitaka kupata uhakika kwani bado hakuamini.

    “Diana mi na wewe hatufichani kitu, kijana yule koma.”

    “Lakini mbona haendani na yaliyokukuta?”

    “Shaka ni mdogo wa umbo lakini anawazidi watu wazima. Tena kuanzia sasa hivi sitaki kumuona mvimba macho yeyote ana msogelea.”

    “Sasa wasiwasi wako nini, wakati shuleni wewe ndiye unayemmiliki?”

    “Inawezekana eeh!” Stella aliliwa akili na shoga yake.

    “Ondoa wasiwasi mgomba wa Shaka ni wako jilie ndizi zako kwa raha zako.”

    “Yaani maneno yako yameupoza moyo wangu.”

    “Pamoja na kukuamini kidogo, bado siamini kwa asilimia mia kuwa Shaka umemvulia nguo na kuweza kukuliza chozi la chini.”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Narudia mapenzi yangekuwa karanga ningekupa uonje, kwa wewe ninavyokujua ungemaliza kapu zima.”

    Muda wa mapumziko ulipofika Stella hakumpa nafasi Shaka alikuwa kama polisi na kibaka hakutaka siku ile msichana yeyote ajipendekeze kwake.

    Ile ilimpa wakati mgumu sana Diana kukaribiana na Shaka. Ilibidi awe mpole japokuwa aliahidiwa kuipata haki yake siku ile.

    Mpaka muda wa kwenda nyumbani Diana alikula za uso baada ya shoga yake kukaba mpaka penalti. Aliamini kabisa kama angelazimisha kumsemesha Shaka shuleni shoga yake Stella akiona anaweza kumuwekea uhasama usio na kichwa wala miguu.

     Kwa vile ilikuwa mwisho wa wiki alipanga kumfuata Shaka nyumbani kwao  ili aweze kupanga mambo yake vizuri tofauti na shuleni ambapo shoga yake Stella alikaba kila kona.

    Alipanga akimpata aitumie  nafasi ile  ikiwezekana kila kitu kifanyike siku ile.

     Siku ya Jumamosi majira ya saa nne asubuhi, Diana alikwenda nyumbani kwao Shaka katika vazi la nyumbani.

    Alisimama karibu na  nyumba ya akina Shaka, akiwa bado hajajua afanye nini alimuona akienda dukani.

    “Shaka,” alimwita kwa sauti ya chini.

    Shaka alipogeuza shingo alimuona Diana alishtuka na kulitamka jina lake kwa sauti.

    “Aah! Diana!”

    “Shaka njooo.”

    Shaka alichepua mwendo hadi kwa Diana. Ili kuwa siku nzuri kwake kwa vile Betty alikuwa amekwenda mjini.

    “Vipi leo upo kwetu?” Shaka aliuliza.

    “Ndiyo.”

    “Karibu kwetu.”

    ”Hapana nilikuwa napita tu.”

    “Ngoja basi nikachukue mkate nimetumwa kisha nikusindikize, si unajua raha ya mgeni kumsindikiza.”

    “Fanya haraka basi.”

    Shaka  alikimbia mpaka dukani na kununua mkate baada ya kuupeleka ndani alitoka kumsindikiza Diana.

    “Vipi umewasiliana na Stella?” Diana alimdodosa.

    “Niliwasiliana naye jana.”

    “Alikwambia nini?”

    “Siri yetu, kwani vipi?”

    ”Amenituma nikufuate.”

    “Mbona jana hakuniambia  atakutuma?”

    “Mi najua wapi, kama ulivyosema ni siri yenu.”

    “Mmh! Unipeleke wapi?”

    “Wee twende utapajua tu.”

    “Ngoja nikaage ndani.”

    “Shaka urudi sasa hivi.”

    Wakati huo Diana alikuwa akisimamisha teksi, kutokana na mapenzi ya dhati kwa Stella, Shaka hakubisha aliongozana na Diana. Waliteremka nje ya hoteli moja na kupitia kwa nyuma.

    “Shaka nisubiri hapa.”

    “Hakuna tatizo.”

     Shaka alikubali bila kujua kinachoendelea,

    Diana aliingia ndani ili akachukue chumba ili kwenda kuthibitisha uwezo wa Shaka uliomfanya shoga yake ashindwe kwenda shule.

    Alikuwa ameishamsindikiza kwa bwana yake mara nyingi ambaye alikuja kutia mkono kwenye asali ya shoga yake kwa kumzunguka kama alivyotaka kufanya siku ile kwa Shaka.

    Lakini hakuwahi kumuona kashindwa kwenda shule, lakini kipigo cha pweza toka kwa Shaka kilimchanganya na kutaka naye kuonja.

    “Diana fanya haraka,” Shaka alisema huku akiwa na wasiwasi na sehemu zile.

    Diana aliingia ndani ya hoteli na kuchukua chumba, baada ya kuchukua alimfuata Shaka na kwenda naye hadi ndani ya chumba, baada ya kuingia alitegemea kumuona Stella.

    Diana alitoka na kurudi na vinywaji, wakiwa wanakunywa taratibu Diana aliamua kuusema ukweli.

    “Shaka hapa hukuitwa na Stella.”

    “Kama sikuitwa na Stella nani kaniita?”

    “Mimi, Shaka umekuwa ukinirusha kila tukipanga. Jana uliniahidi kunipa haki yangu lakini imepita kavu. Kwa hali niliyoiona jana kwa Stella kukuganda kama ruba niliamini kabisa bila kutumia ukomandoo huu, nitakufaidi kwa macho wakati mwenzangu anakula raha kwa vitendo.”

    “Kwa hiyo Stella hayupo?”

    “Hayupo na chumba hiki nimechukua mimi.”

    “Mmh! Mimi niseme nini, Stella akijua itakuwaje, maana mapenzi kikohozi?”

    “Atajua vipi na hapa tupo wawili.”

    “Na mapenzi yangu na Stella?”

    “Nyie endelee, mi siku mojamoja tena kwa siri kubwa.”

    ”Mmh! Sawa.”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Basi tukaoge.”

    Shaka na Diana walikwenda kuoga, wakiwa bafuni Diana alianza kuona makeke ya Shaka kwa kuanza kumgusa hapa na pale kama mpiga kinanda, kitu kilichomfanya Diana kuwa katika wakati mgumu na kujikuta akilia chozi kavu bila msiba.

    “Shaka..Shaka umeyajulia wapi haya?”

    Diana hakuamini Shaka kuweza kufanya vitu adimu kama vile kwa kuweza kuingia ikulu na kutoka bila kufanya madhara.

    Shaka hakujibu aliendelea kumtia ndimu kiasi cha Diana kuomba mchezo nje ya uwanja kabla ya kuiingia uwanjani. Shaka kama kawaida alianza kutoa burudani bafuni na kumpagawisha Diana.

    “Sikubali Shaka twende  kizimbani  ukanihukumu lazima nifungwe miaka mingi nimekukosea,” Diana alitapatapa kama kuku anayetaka kutaga, baada ya kujaa mpaka pomoni.

    Walihamia kitandani, Diana alisahau mamba ana nguvu kwenye maji mafupi. Kwa vile tui lilikuwa limekwishachemka walipofika tu mchele ukatiwa. Kazi ikawa kugeuza kwa ufundi ili kutouvuruga badala ya kuwa wali uwe uji wa mchele.

     Akitumia vilivyo mafunzo ya Betty, Shaka alitawala mchezo kwa kiasi kikubwa, kila hatua ilimshangaza Diana na kuona kama mtazamaji na si mshindani.

    Wakati Diana akishangaa Shaka alikuwa akitumia udhaifu ule kufanya aokote mpira wavuni mara tatu na kumfanya achoke sana. Lakini naye hakuwa nyuma alijua ile si ngoma ya kitoto kama alivyoifikiria. Ilibidi arudi mchezoni  na kugangamala ili  yasimkute ya shoga yake Stella. Ikawa piga nikupige lakini mwisho Diana aliomba muziki uzimwe kwani alikuwa hoi sana.

    Kama kawaida Shaka naye alikuwa hoi alijilaza pembeni ya Diana aliyekuwa akitembeza mikono yake kumtafuta Shaka huku akisema:

    ”Shaka kumbe unaweza, wacha Stella achanganyikiwe. Kweli huwezi kupima maji kwa kidole unaweza kuzama.  Shaka umewazidi wakubwa, unajua kupiga sehemu muhimu leo nimepata haki yangu,” Diana alisema kwa sauti ya kilevi.

    Kutokana na kuchoka sana kila dakika alipunguza sauti na kunyamaza kabisa haikupita muda usingizi ulimpitia. Shaka alijiona  kidume baada ya kumlaza hoi Diana ambaye alionesha kutaka kubadili sura ya mchezo kwa kuzinduka dakika za majeruhi kiasi cha kumuweka kwenye wakati mgumu.

    Lakini pamoja na kuwa na makeke  alikuwa mwepesi tofauti na Stella ambaye alichukua muda mrefu kumlaza chini pia hata kumchosha. Kutokana na uzoefu na mafunzo aliyopewa Betty pambano lile lilikuwa la kwanza kuwa jepesi ambalo halikumchosha sana kama alivyokutana na Stella.

     Alijipumzisha pembeni ya Diana na kumtazama asiamini kitu gani kinachowafanya wanawake wote kuingia kichwakichwa bila kuyapima maji.

    Katika wanawake wote wale Betty ndiye aliyeonesha ya kweli tokea zamani lakini wengine hakujua kipi kilichowavuta kwake kiasi cha kuchanganyikiwa hasa akizingatia katika medani ya mapenzi vitu vingi alikuwa hajui mpaka alipoelekezwa na kuweza kufanya kwa ufasaha. Katika suala la fedha alikuwa mtoto wa mama asiyejiweza zaidi ya kuwezeshwa.

    Wasiwasi wake mkubwa ulikuwa kushindwa kusoma na matokeo yake kuhamishia mawazo yake kwa wanawake ambao kila mmoja alikuja kwa wakati anaotaka yeye  na kumnyima nafasi ya kujisomea. Wazo lililomjia ni kukataa kufanya mapenzi na wanawake wote heri aendelee na Betty na Stella siku mojamoja kuliko kuwachanganya na kushindwa kupata muda wa kusoma.

    Wakati huo muda nao ulikuwa umekwenda sana, hakutaka kujilaza kwa kuhofia kumkuta kama aliyokutana nayo kwa Stella alipojikuta akirudi nyumbani usiku mkubwa kitu ambacho kingeanza kuwatia wasiwasi wazazi wake pia hata kwa mpenzi wake Betty.

      Muda wote aliokuwa amejilaza pembeni ya Diana, mwenzake alikuwa amejilaza akionesha si wa kuamka muda ule kutokana na kuonekana amechoka sana.

    Ilibidi amuamshe kwa kumwita huku akimtikisa.

    “Diana.”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog