Search This Blog

Monday, October 24, 2022

PLAY BOY - 5

 





    Chombezo : Play Boy

    Sehemu Ya Tano (5)



    Kama kawaida yangu niliweka nyimbo laini, lakini haikupita muda simu yangu ikaingia meseji kucheki inapotoka alikuwa ni Irene nikaifungua nakuisoma,

    "..UNANITAMANISHA NA HIZO NYIMBO..? NA LEO USIKU SI UTANIPA TENA JAMANI..."

    Sikuwa na pesa kwenye simu hivyo sikumjibu..

    Ndani ya dakika chache nikatumiwa tena meseji kuangalia alikuwa huyo huyo Irene,

    "...MBONA HUNIJIBU JEFF MPENZI..? HAMU HAIJAISHA MWENZAKO.."

    Ikanibidi nikope tiGo kisha nikamrudishia majibu...

    "...Leo zamu ya mchumba wangu Jacky.."

    Kisha nikamtumia..





    Songa nayo sasa…











    Kama kawaida ya huu mkoa wa Moro, ilipofika usiku baridi kali lilinishika nakujikuta nikijikunyata pale sebuleni peke yangu,

    Jacky alikuwa ameelekea kulala na Irene alikuwa bafuni anaoga.

    '..This is my last breath..(nitakufa nawe Joy..)'

    Ndio jina la muvi niliyokuwa nikiangalia ambayo 'director' na mtunzi alikuwa ni Andy Fay.

    Kila nilipokuwa nikiangalia ndivyo nilivyokuwa nikitamani kujua mwisho wake..

    Nilijikuta naipenda sana kwani 'stering' alikuwa ni Adrian ambaye alikuwa akinyanyasika sana na mapenzi mpaka akajiona hana thamani tena duniani.

    Ndipo akaamua kuwa malaya mpaka alipofanyiwa mtego nakujikuta anatembea na mke wa mtu anayeitwa Joy, huyo mke akafanya kila njia akamuua mumewe ili apate mapenzi ya dhati kwa Adriani..

    'Watch out part 2..'

    Kumbe ile muvi ilikuwa na part 2, niliitafuta pale sebuleni lakini sikuiona, akili ikanituma nimtumie meseji Irene atakuwa anajua ilipo, nilimtumia lakini sikupata jibu lolote,

    "...dah huyu andy fay kwa kutunga tu nampa big up, embu ona mpaka sasa natamani kujua tu mwisho wa hii muvi.."

    Nilijisemea kimoyo moyo huku nikigonga mlango wa Irene ili nimuulize.

    Nilipiga hodi muda mrefu bila majibu, nikajaribu kuufungua mlango wake ukafunguka.

    Taa yake ilikuwa haijazimwa na alikuwa kapitiwa na usingizi huku akiwa uchi wa mnyama na mapaja yake kayatanua...



    Kabla sijamuamsha niliangaza kwanza pembeni kwenye kabati lake la kuwekea vipodozi nikidhani labda huenda alijisahau nakuiweka hapo.

    Nilitoa macho lakini sikuambulia kitu, nilimfuata mpaka pale kitandani nakuanza kumuamsha..

    "...Irene..? Irene..? Amka.."

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Alishtuka akiwa hajielewi elewi kwani ni kweli alikuwa kapitiwa na usingizi sana..

    "..Jeff..? Ndio umekuja..?"

    "..skiliza nikwambie Irene.. Nimekuja kuchukuwa part 2 ya ile muvi niliokuwa naangalia.."

    "..nimeshasahau kwani ni muvi gani ulikuwa unaangalia.."

    "..inaitwa 'My last breath..'"

    "...Jeff..? Ile part 2 yake ipo, lakini njoo hapa kitandani kwanza unipe mapen..."

    "...whaaat...? Sijaja hapa kufanya mapenzi Irene..."

    Kwa hasira nikageuza pale pale nakuondoka zangu, nilipofungua tu mlango, Irene aliniwahi kwa kunishika tisheti yangu..

    "...Jeff unakwenda wapi sasa..? Ngoja nikupe hiyo cd unayoitaka.."

    Nilibaki pale nje ya mlango wake nikimshangaa, alirudi chumbani mwake na kisha akaniletea hiyo cd. Safari hii alikuwa amevaa kanga moja tu..

    "..Jeff cd hii hapa lakini twende tukaangalie wote kwani hata na mie nilikuwa sijaiona hii part 2 si unajua tena cd yenyewe nimekodisha jana tu.."

    Niliongozana naye mpaka sebuleni akaiweka kisha akaja kukaa namimi kochi moja..

    Muvi ilikuwa nzuri sana haswa alinikuna Adrian kwenye hii part 2 ambapo aliuonesha uhalisia haswa, alikubali kuteseka kimapenzi kisa yule mke wa mtu, kunakipindi ilifikia akawekwa rumande na ndugu wa yule mama, lakini bado ilikuwa vita vikali kwani yule mama alikuwa ni mtetezi wa Adrian kwa kila kitu alikuwa akimtoa.

    Muda wote Irene na yeye alikuwa kimya tukitizama na muvi ilipofika katikati haswa zile sehemu za mapenzi mapenzi Irene uzalendo ukawa unamshindwa nakuanza kuchukuwa mkono wangu mpaka kifuani kwake nakuishikanisha chuchu zake, sikupata hata hisia zaidi yakuendelea kucheki muvi.

    Mara mlango wa chumbani kwangu ukafungulia kisha Jacky akatoka, haraka haraka Irene akatoa mkono wake kwangu,

    "..ehh bado hamjalala tu..?"

    Aliongea Jacky huku akielekea chooni na alipotoka tu huko akaunganisha moja kwa moja mpaka sebuleni akakaa kochi jingine, tukawa wote tunaangalia muvi.

    Irene alinifanyia sana vituko mpaka kidogo Jacky ashtuke nilichokifanya nikutoka pale kwenye kochi nakuamia chini kabisa huku kisingizio kikubwa ikiwa ni utamu wa muvi.

    Irene alichukia nakuondoka zake,

    "..jamani usiku mwema, naona usingizi unaninyemelea tena.."

    "..haya mwaya tutaonana kesho.."

    Jacky alimjibu.

    Muvi ilizidi kunoga zaidi kwani yule mke wa mtu aliyekuwa anatembea na Adrian kwa sasa alikuwa hoi kitandani huku dokta akimuweka wazi Adrian kuwa yule mama ana kansa ya maziwa, Adrian hakuafikiana na hilo kabisa lakini baadaye kabisa ilibidi akubaliane na ukweli ambapo yule mama alikatwa maziwa yake yote.

    Baada ya wiki kama tatu yule mama akaruhusiwa,

    Sasa Adrian akawa ni mtu wa kulewa yeye na wasichana muda wote..

    Tukiwa sebuleni na Jacky wangu tena tumenogewa na hiyo muvi, mara umeme ukakatika ghafla..

    "..oooohhshh.."

    Nilijikuta mimi na Jacky wangu tukilaumu umeme ukikatika,

    "..au itakuwa Luku..?"

    Kwa jinsi muvi ilipokatikia pale sikutaka kuamini kabisa,

    "..we Jacky kalale tu kama unajisikia usingizi, mie hapa mpaka nihakikishe umeme unarudi.."

    "..haya bwana, mie natangulia kulala najua tu nitaimalizia kesho.."

    Niliendelea kuusubiri umeme kama dakika 20 zilipita ndipo umeme ukarudi.

    Furaha kubwa ilinijaa moyoni kwani hakuna muvi ya kibongo iliyonivutia kama hii.

    Nikaenda mpaka kwenye tv nakuiwasha pamoja na deki yake, ile nakaa vizuri nianze kuiangalia, mara Irene akatokea tena,

    "..Jeff, nimefanya kila njia yakumuondoa Jacky.."

    "..njia..? Njia gani..?"

    "..Jeff nilizima umeme makusudi nakuurudisha kule jikoni kwenye 'main switch'.."

    "..Irene huogopi umeme..?"

    "..Nitaogopaje wakati mwenzio nina hamu na wewe na ndio nimekuja hivyo.."

    "..kwa hilo umechemsha labda siku nyingine.."

    "..Jeff unaniambiaje..?"

    Pale pale nikamshuhudia Irene akivua ile kanga yake moja nakubaki mtupu huku akitaka kunikumbatia..

    "..haya amua moja, unanipa au nipige kelele unataka unibake kisha nikutimue kabisa kwangu..?"

    Mwili wangu wote ulikuwa ukinitetemeka huku nguvu zikiniisha hata na ile hamu yakuendelea kuangalia tena ile muvi ilikatika pale pale..

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "..lakini Irene, si unajua Jacky wangu yupo chumbani akitokea ghafla..?"

    "...haya basi, twende tukafanyie chumbani kwangu.."

    "..ahaa ahaa huko ndio kabisaa atatufumania..."

    Irene alizidi kupagawa nilivyokuwa namjibu alichokifanya alinishika mkono mithili ya mtu asiyeoona 'kipofu' nakuniongoza mpaka jikoni kisha akaufunga mlango kwa ufunguo..

    "..haya na hapa ukatae sasa.."

    "..Irene, hata hapa sina imani napo..!"

    Nilimwambia kiutani huku nikiendelea kumtolea macho..

    Alinivamia nakuanza kunipa mabusu kila engo ya mwili wangu huku akilitaja jina langu mara mbili mbili, hapo hapo kidume mie akanipa 'mzuka' wa hali ya juu nakunifanya joto langu la mwili kupanda ghafla..

    Sikutaka kumchelewesha kabisa, nilichojoa nguo zangu tayari kwa kumvaa lakini kabla sijamvaa sauti kali ilikuwa ikisikika..,

    "..Jeff Jeff mpenzi uko wapi..?"

    Ilikuwa ni sauti ya mpenzi wangu Jacky akiniita, nilitamani sana nitoke lakini tayari Irene alikuwa amenikabili katikati ya mapaja yake..

    "..hapa Jeff huendi popote mpaka unifanye.."

    Aliongea Irene kwa sauti ya chini chini.

    Hofu ilizidi kunitanda hasa pale nilipohisi kama Jacky anakuja eneo tuliopo, japo Irene alikuwa kafunga na ufunguo lakini haikusaidia chochote kwangt kujiamini.

    "..dada Irene, Irene.."

    Kwa muda huu Jacky wangu alikuwa ameshaufikia mlango wa chumbani kwa Irene na alikuwa akibisha hodi.

    "..Irene niache nitoke pliz, tutafanya kesho.."

    Nilimwambia Irene kwa sauti ya chini chini lakini ndio ikawa kama nimemuamsha hisia zake zilizokuwa zimelala, alitanua mapaja yake vizuri nakuniingizia nanii yangu kisha akaanza kukatikia kwa nguvu huku akitoa miguno ya kimahaba nakunifanya nimfanye naye tu.

    Tulijikuta tumejisahau na sex huku tukiwa katikati tena kwa sauti ya juu na ya kimahaba kana kwamba tukasahau kabisa kama Jacky anatutafuta.

    Sauti zetu zakimahaba ndizo zilimfanya Jacky aanze kugonga mlango wa jikoni tulipokuwepo.. Utamu wa mapenzi ulitufanya kila mmoja kuisikia ile sauti upande mmoja ikitokea upande mwingine.

    "..Irene inatosha bwana.."

    "..Jeff we mtamu sana, endelea bwana pliiz.."

    Nilimkatalia nakuvaa nguo zangu huku nikiufungua mlango,kwani jikoni pia kuna mlango wakutokea nje kabisa..

    Hivyo nikatoka nje nakumuacha Irene mule jikoni.

    Nilizunguka mpaka mlango wa kuingilia sebuleni kisha nikabisha hodi kwa nguvu zote..

    "..Jacky..? Jacky nifungulie..!"

    Jacky akanifungulia mlango huku kashikwa na butwaa.

    "..Jeff umetoka wapi sasa hivi, tena usiku wote huu.."

    "..anhaa haa Jacky, nilikuwa nje muda wote mbona.."

    "..Jeff umeanza utani wako huo enhee..? Sasa huko nje usiku wote jamani..? Haya na dada Irene yuko wapi...?"

    "..Sasa unaniuliza mie najua au mke wake..? Kwanini Jacky unapenda kunihisi hisi vibaya..?"

    "..jamani Jeff nisamehe mpenzi kama nimekuuzi kukuuliza hivyo.."

    "..Nakuona tu, na hii mara ya pili kunihisi vibaya, unakumbuka siku ile nimeamka tu na alama shingoni ukaanza kunihisi vibaya enh..? Sasa leo umeme umekatika nikatoka nje kuzunguka kidogo narudi unaanza vijiswali vyako..."

    "..Jeff nisamehe si nimeshakuelewa jamani.."

    "..sipendi na sitaki kukusikia tena mpumbavu mkubwa wee.." Nilimkazia macho Jacky nakumsukuma nikaingia mpaka sebuleni nakukaa kwenye kochi, Jacky aliufunga ule mlango wa sebuleni nakuja kukaa karibu yangu..

    "..nenda kalale huko ndani peke yako sasa, ushanikera.."

    "..Jeff nisamehe jamani, tukalale na tena dada Irene asije akajua kama tunagombana jamani.."

    Sikuwa hata na mshipa wa aibu wala nini, japokuwa niliiona kanga ya Irene pale chini sebuleni pamoja na chu** yake.

    Niliongoza kwenda kulala huku Jacky akinifuata kwa nyuma nyuma tena kwa uoga mpaka chumbani tukalala.

    "..geukia hukoo.."

    Nilimfokea Jacky muda wote na hata kitandani tulilala mzungu wa nne hii yote nikumfanya ajue kuwa sina kosa lolote..

    Asubuhi sana ilipofika kwenye mida ya saa 1 tayari nilikuwa macho lakini Jacky hakuwepo pale kitandani. Nikajua huenda ameamka kufanya usafi, nikaamka nakumuangalia, sikumuona, nilimuuliza Irene naye akasema alikuwa sebuleni anaangalia tv..

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nikiwa bado namtafuta Jacky mara kwa kupitia dirishani nikamwona Sammy anakuja na Jacky wangu huku wameongozana na polisi..



    Mwili ulianza kunitetemeka huku

    amani ikinipotea,

    "..ahh liwalo na liwe.."

    Nilijivisha moyo wa ujasiri ghafla

    nakujikuta naropoka huku

    nikiongoza mpaka chumbani

    kwangu..

    Haikuchukuwa muda nikasikia

    sauti ya Jacky anabisha hodi,

    sijakaa sawa nikasikia tena sauti ya

    Sammy wakiongea na Irene

    sebuleni,

    "..enhe niambie shosti, za tangu

    juzi..? Ndo kususana..?"

    Taaratibu niliusogelea mlango

    wangu nakunasa maongezi yao

    vizuri,

    "..kwanza Jeff yupo..?"

    "..yupo kajaa tele, ila kwa sasa

    yupo chumbani, Jeff..? Jeff..?"

    Aliita Irene kwa sauti ya juu.

    Nilikaa kimya huku nikiamini

    mwisho wangu ndo utakuwa

    umefika sasa na hivi atakuwa

    ameongozana na yule polisi

    niliyomuona, nilijihisi mwili

    umepigwa ganzi huku nikitamani

    kutokea dirishani.

    Nikiwa bado nasita pale kitandani

    mara mlango wa chumbani

    kwangu ukafunguliwa,

    "..Jeff

    Si unaitwa huko sebuleni au

    hujasikia.."

    Aliongea Jacky kwa sauti ya

    huruma nakunijaza tena

    msongamano wa mawazo,

    "...Jacky mpenzi unajua kiasi gani

    nakupenda.."

    "..yeah najua Jeff kwani vipi tena,

    na mbona macho yako mekundu

    sana..?"

    "..hii yote ni upendo juu yako,

    embu niambie sebuleni yupo nani

    na nani..?"

    "..sebuleni si yupo dada Irene na

    Sammy ndio wanaokuita.."

    "..na hakuna polisi.."

    "..polisi, polisi atokee wapi Jeff

    embu wacha kunichekesha.."

    "..mbona kuna polisi nilimuona

    mmeongozana naye.."

    "...wala hatukuwa naye, yeye

    alikuwa na mambo yake kwani

    hata Sammy hamjui.."

    Niliuvaa moyo wa kiujasiri

    nakuongoza mpaka sebuleni

    huku nikimuacha Jacky wangu

    akielekea jikoni kupika..,

    "..Jeff..? Mambo?"

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Alinisalimia Sammy.

    "..safi tu za tangu juzi Sammy.."

    Stori zilizidi kupamba moto,

    kunakipindi Irene alipigiwa simu

    akaondoka nakwenda kuipokelea

    chumbani kwake hivyo nikabaki

    mie na Sammy tukiendeleza stori,

    aibu kubwa ilinishika kila

    nikimwangalia Sammy na

    nikikumbuka jinsi nilivyomkaripia

    kwenye simu kipindi kile hadi

    nikadhania ni Helleiner..

    "..Sammy nikwambie kitu..?"

    "..yeah niambie tu Jeff.."

    Kwanza nisamehe sana kwa siku

    ile nilivyokujibu kwenye simu, si

    unajua tena akili ya pombe

    inavyokuwaga..? Yaani siku ile

    nilipelekwa na Irene hapo 'Ze

    club' tukanywa sana na

    tulivyorudi nyumbani ndio

    nikaanza kuchezea simu

    nakujikuta nakupigia simu.."

    "..Usijali jeff mbona nilishasahau

    kabisa.."

    Dah hapo kidume mie nikajiona

    nina bonge la zari, mapigo ya

    moyo yakatulia sasa..

    "..Sammy hivi unakaa wapi vilee.."

    "..nipo naishi kihonda mwisho

    kwani unapajua..?"

    "..sijawahi hata kufika ila nilikuwa

    napasikia tu,mie nataka nikapajue

    leo lakini sitaki Jacky wala Irene

    wajue.."

    "ilo tu wala usijali.. Lakini

    tutatokaje sasa..? Si

    watatugundua.."

    "..hilo niachie mimi nitajua

    chakufanya.."

    Kama kawaida ya Jeff ryder mie

    sikutaka kabisa kufanya masihara

    tena kwa mtoto kama huyu.

    Niliondoka zangu kwa kisingizio

    kuwa nipo natembea tembea

    huku Sammy nikimpanga

    mapema kuwa akifika stendi

    anishtue kwenye simu..

    Alifanya hivyo na ndani ya nusu

    saa tayari nilikuwa njiani kwenye

    daladala huku pembeni yangu

    nikiwa na Sammy, njia nzima

    nilikuwa na mzuka wa ajabu huku

    akili yote nikiiamishia kwa mtoto

    Sammy,

    "..yaani nikifika tu mbona atajua

    kunijua.."

    Nilijisemea kimoyo moyo huku

    nikiendelea kumtolea macho ya

    kiuchokozi Sammy.

    Hapakuwa mbali sana kwani

    ilituchukuwa kama dakika 15

    kufika kihonda, na tulipofika

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    tuliongoza mpaka nyumbani

    kwake, alikuwa amepanga

    chumba na sebule ambapo

    tulipofika tu,

    "..haya mgeni karibu, sijui

    utatumia kinywaji gani..?"

    "..Sammy acha utani wako..

    Kwanza niambie unaishi na

    nani..?"

    "..wala usihofu Jeff naishi peke

    yangu mwaya.."

    Aliponiambia tu hilo neno akawa

    kama amenipandisha mzuka zaidi,

    "...Sammy, embu sogeza sikio

    nikunong'oneze kitu.."

    Alisogeza masikio yake na hapo

    hapo ikawa mwanya wa kuanza

    kuingiza ulimi wangu kwenye

    masikio yake,

    Ghafla akanitoa kwa nguvu

    nakuanza kulalamika huku

    akiniangalia kwa sauti ya

    kimahaba..

    "..Jeff sipendi na sipendi

    mwanaume yeyote aniingizie ulimi

    wake masikioni mwangu.."



    **********



    "..ooh samahani sana.."

    Nilimjibu kwa sauti ya upole

    nakumfanya tukae naye karibu

    kwenye kochi.

    "ah liwalo na liwe bwana.."

    Nilijipa moyo nakuuchukuwa

    mkono wangu kwa taaratibu

    nikaanza kumpapasa mapajani

    mwake huku nikikaribia maeneo

    yetu yale..

    "..Jeff stooop.. Stop pliiz.."

    Sammy aliongea kwa sauti ya

    chinichini na ya kimahaba huku

    akionesha kashalainika.

    Nilijifanya sijaisikia sauti yake,

    nikazidisha kumpampasa na sasa

    hivi nilikuwa kiefuani mwake huku

    nikichezea chuchu zake..

    "..Jeff najuta kukuleta hapa kwangu.."

    Aliendelea kusema huku

    anahema juu juu.

    Niliiuchukuwa mdomo wangu

    nakuushikanisha na mdomo wake

    kisha tukabadilishana mate kwa

    kutumia ndimi zetu,

    Mapenzi yalikolea mpaka

    mwenyewe akanivulia blauzi yake

    na kisha mini nakubakiwa na

    chu** tu..

    Hapo kazi yote ilibaki kwangu

    kwani nilimlegeza mpaka

    akalegea vya kutosha, sauti yake

    ilikatika ghafla kabla sijaanza

    kufanya chochote,mwanzo

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    nikahisi labda huenda utamu

    umemkolea lakini haikuwa hivyo

    kwani nilipomshika mapigo ya

    moyo alikuwa ahemi kabisaa..

    Ghafla nikawa kama mtu aliyechanganyikiwa, nilijaribu kumuamsha tena kwa mara ya pili lakini bado hali yake ilikuwa tete..

    "..ina maana ndio kafa au..?"

    Ni kati ya swali niliokuwa najiuliza bila kupata jibu..









    *****************







    Mpaka giza linaingia bado Sammy alikuwa hajaamka, nikiwa bado naki boxer changu huku mwili wangu ukiwa kama umepigwa ganzi, simu yangu nilikuwa nimeizima na sikutaka mawasiliano yoyote,

    Japo nilianza kuisikia njaa lakini hamu ya kula sikuwa nayo kabisa.

    Kila baada ya dakika 5 hadi kumi nilikuwa namshtua lakini hali yake ikabaki vile vile.

    Akili niliyokuja kuipata nikumbeba pale sebuleni mpaka chumbani kwake nikamlaza kitandani kwake nakumfunika na shuka kidogo kwa nia ya kumtoroka, baada ya hapo nikanyata nakutoka chumbani lakini kabla sijafika sebuleni nikajikuta nimesahau simu yangu nilipomlaza tu pale kitandani.

    Nikairudia haraka haraka nakuichukuwa kisha nikamfunua lile shuka nakumuangalia kwa mara ya mwisho.

    "..bwana ametoa na bwana ametwaa.. Apumzike kwa amani.."

    Nilijisemea kwa sauti ya chini chini kisha nikambusu shavuni mwake Sammy huku mchozi ukinilengalenga..

    Taaratibu nikaliona jasho linamvuja Sammy likitokea kichwani likipitia shingoni mwake..

    Nilipigwa na butwaa kama dakika 5 nzima, nikachukuwa mkono wangu nakugusa mapigo yake ya moyo kwa mara nyingine tena..

    "...oh yees!! Yee!!"

    Furaha ya ajabu ikanitawala huku mwili wangu ukisisimka nakusababisha kama kizungu zungu kwa kushuhudia mapigo ya moyo ya Sammy yakidunda..

    Nilimtingisha kwa nia yakumuamsha na hatimaye akafumbua macho nakunifanya machozi ya furaha yachukuwe nafasi yake..

    "..Jeff.. Jeff mpenzi.."

    Aliachama mdomo nakuniita..

    "..niambie mpenzi wangu Sammy.."

    "..do you know how much I love you..?(unajua ni jinsi gani nakupenda..)

    "..yeah, najua Sammy.."

    Mud wote huo sammy alikuwa akiongea huku anatia huruma nakunifanya nimjibu huku machozi yakinilenga lenga.

    "..Jeff najua unatembea na rafiki yangu Irene, pia unamchumba wako Jacky, lakini na mimi nipo katika hifadhi hiyo hiyo.."

    Nilihisi kama Sammy kachanganyikiwa fulani kwa kuongea maneno yale..

    "..sawa nimekuelewa Sammy embu tuongelee mambo mengine.."

    Nilimkatisha maneno yake aliyokuwa anaongea.

    Alichokifanya alichukuwa mikono yake nakulivuta shuka kisha akalitua nakubakiwa uchi kabisa kisha akainuka nakunisogelea huku akiitumia ile mikono yake kuipitisha shingoni mwangu nakuanza kunipa denda..

    Mwili wake bado ulikuwa wamoto sana. Na muda wote sikutaka kumuuliza chochote juu ya kupoteza fahamu kwa muda mrefu ule..

    Nilimpindua nakumrushia kitandani mwake kisha kilichofuata ni kumpa anavyotaka tena kwa kila staili huku tukimaliza akibaki hoi anahema juu juu..

    Tulipomaliza tulijikuta kwa wote usingizi ukitunyemelea hivyo tukalala mpaka asubuhi..

    Nilikuja kushtuka asubuhi asubuhi nikaichukuwa simu yangu nakuiwasha,

    Meseji ziliingia mfululizo zote zilikuwa zinatoka kwa Irene, nikafungua nakuzisoma haraka haraka..

    '..UKO WAPI? JACKY NIMEMPA NAULI AMESEMA ANARUDI DAR..

    ANASHUKURU KWA ULIVYOMZIMIA SIMU NAKUMTOROKA...



    Akili yote ilinichemka huku kijasho chembamba kikiendelea kutoka ndani ya mwili wangu,

    Niliiangalie ile meseji mara mbili mbili huku nikiwa sijiamini kabisa kama kweli imetokea kwa Irene au!

    Niliipiga ile namba,

    "..hallow Irene.."

    "..Jeff uko wapi sa hivi toka jana..?"

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "..samahanini kwa kutokuwaambia jana, nilipitiwa nikaenda 'club' lakini sasa hivi nipo njiani nakuja huko.."

    "..kama unakuja wewe njoo tu, lakini tambua kuwa mchumba wako Jacky hayupo tena, nimeshampa nauli, na hivi ninavyoongea anaweza akawa ameshafika 'Chalinze' au Kibaha.."

    "..unasemaje Irene..?"

    Niliona kama ananidanganya, sikutaka kabisa kupoteza muda.

    Nilivaa nguo zangu huku Sammy akiendelea kunitolea macho japokuwa alikuwa kachoka sana kwa shughuli tuliokuwa tunaifanya hapa kitandani.

    Niliangalia muda ilikuwa tayari alfajiri kwenye saa kumi na moja.

    "..hapa daladala lazima nitazipata tu.."

    Nilijisemea peke yangu kwa sauti ya chini huku nikitoka chumbani nakuelekea sebuleni huku Sammy nikimwacha peke yake kitandani..

    Nilipofika sebuleni napo nikakuta mlango umefungwa kwa ufunguo na ufunguo hamna, hivyo ikanibidi nirudi tena mpaka chumbani kumuuliza Sammy..

    "...Sammy? Sammy pliz ufunguo wa sebuleni upo wapi..?"

    "..angalia kwenye droo pale sebuleni.."

    Sammy alichoka sana kwani hata kunyanyuka alishindwa.

    Nikarudi tena sebuleni nakuuchukuwa huo ufunguo lakini kwa bahati nzuri kulikuwa na hela kama shilingi elfu ishirini,Nikaichukuwa nakutoka mpaka nje huku nikielekea barabarani.

    Ndani ya muda mfupi tayari nilikuwa ndani ya daladala huku mwili wote ukinitetemeka na hiyo yote nikumfikiria Jacky wangu.

    "..sijui atakwenda kuwaambia kina Helleiner nilipo, maskini nimekwisha Jeff mimi nimekwisha.."

    Nilikuwa kama mtu aliyechanganyikiwa kwani hata nilipofika stendi, nilikimbia mpaka maghorofani alipokuwa anaishi Irene.

    Majasho yalinitoka sana, niligonga mlango kwa nguvu zote, Irene akafungua.

    "..enhe mzee wa 'Club' bila kuaga karibu.."

    Irene aliongea kiutani huku akiniangalia kwa jicho la kunitega.

    "..niambie, Jacky wangu kweli hayupo..?"

    "..nikwambie mara ngapi Jeff..? Hayupo enh..? Na ulipokuwa wote tunakujua na wala hatukutaka kukufuata.."

    "..nilikuwa club kweli.."

    "..ndio hapo ufafanue vizuri club ipi, au chumbani kwa Sammy kuna club..?"

    Moyo ulinipasuka ghafla kwa mshangao huku nikiendelea kumtolea macho Irene..

    "..hivi Jeff unajua kuwa Sammy anaundungu na Helleiner..?"

    "..Helleiner..? Helleiner gani huyo..?"

    "..unajifanya humjui eh, sasa hapa ulipo angalia kwa dirishani mapolisi hao wanakuja, na Jacky amekwenda kumchukuwa Helleiner huyo unayesema humjui.. Manake umeua huko ulipotoka unajifanywa hujui enh..?"

    Nilianza kuhisi mkojo unanitiririka ndani ya suruali yangu huku mishipa ikinitawala kwenye paji langu la uso ikiambatana na kajasho chembamba ambacho kalikuwa kakinitiririka shingoni kupitia makwapani mpaka kifuani kwangu..

    "..Irene mie sijauwa mbona..? na Jacky ni mchumba wangu na hata wazazi wake wanajua, hawezi kufanya hivyo unavyoniambia.."

    Nilijitahidi kujitetea huku nikijikaza nisionekane kweli nimeshawahi kuua, lakini Irene alionekana kucheka tu kila nilipojitetea.

    Mara hodi ikapigwa pale kwa Irene, mapigo ya moyo ndo yakazidi kwenda kasi kabisa.

    "..nimekwisha Jeff mie, nimekwisha..?"

    Nilijisemea kimoyo moyo huku nikikata kabisa hamu ya kuendelea kuishi.

    Irene alienda hadi mlangoni kufungua mlango nakuniacha nikiendelea kutetemeka mwili huku meno yakichukua nafasi yake kwa kuumana mithili ya mtu aliyemwagiwa maji ya barafu.

    "..karibu, nikusaidie nini.?"

    Ilikuwa ni sauti ya Irene. akiongea na huyo mtu ambaye hata sikumfahamu wala kumuona kwakuwa walikuwa wakiongea nje na mimi nipo kwa ndani.

    "..Nauza, matunda na mboga za majani dada.."

    Nilishusha pumzi chini baada ya kugundua kuwa hakuwa mtu mwenye kuniletea madhara bali ni muuza mboga na matunda tu.

    Nilichokifanya nilikimbia mpaka chumbani kwa Irene na breki ya kwanza nikuchukuwa kipochi chake anachowekeaga pesa kisha nikafungua mlango wa jikoni nakutoroka zangu huku akili ikiwa ni moja tu ya kumpata mchumba wangu Jacky..

    Ilinichukuwa kama dakika ishirini mpaka stendi ya mabasi yaendayo mkoani 'msamvu'.

    Nilikata tiketi ya kuelekea Dar ile naingia tu kwenye basi nikashangaa nashikwa begani, mapigo ya moyo yakanibadilika ghafla lakini sikuonesha kukata tamaa kwani nilijigeuza taratibu huku nikiyakaza macho yangu.

    "..unasemaje..?"

    Maskini kumbe alikuwa ni mchumba wangu Jacky, alikuwa kavimba uso kweli nadhani ilitokana nakulia sana.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/-

    "..Jacky, unafanyaje hapa..?"

    "..ni bora hata nimekuona, hapa nilipo nimechanganyikiwa Jeff, na hii yote kwa sababu yako, nilikuwa nirudi Dar kwetu nahapa unaponiona nimepoteza nauli sina hata senti tano na hii yote kutokana nakuchanganyikiwa.."

    Taaratibu machozi yangu yalianza kunitoka yalioambatana na huzuni.

    Nilitoa hela nyingine nakumkatia tiketi kisha tukaingia ndani ya gari tukisubiri gari ijaze ili tuondoke.

    Tukiwa bado ndani ya gari huku Jacky wangu akinipa story kuhusiana na Irene,mara tukamuona huyo huyo Irene akiongozana na wavulana kama watatu hivi huku akija mpaka kwenye basi tulilokuwa tumepanda mie na Jacky wangu.

    "..Jacky? Jacky wangu tumekwisha? tumekwisha Jacky? embu muangalie Irene huyo hapo kwa nje anakuja.."

    Pale pale Jacky wangu akadondoka nakupoteza fahamu nakuniacha mwili umelegea, nilitamani nimbebe nakukimbia naye lakini ikawa ndo nimeshachelewa tena, hivyo Irene aliingia ndani ya basi na wale vijana wakanifunga pingu kisha wakamfunga pingu na Jacky wangu japokuwa alikuwa ameshapoteza fahamu..









    **************************









    "... Jeff? we Jeff? embu hamka uko usingizi gani mpaka sasa saa tano za asubuhi..?"

    "...aaah Mama..? umenikatisha ndoto niliokuwa naota bwana..?"

    "..Jeff mwanangu lini utakuwa wewe? yani ndio kwanza unamiaka 16 embu nenda huko ukajiandae uende kanisani hujui kama leo jumapili.."

    Nilijichekea peke yangu kwa ndoto ile nilioiota kwa usiku, kwani ilikuwa ndefu na iliyonikutanisha na wasichana wengi.

    "..Mungu ninusuru na ndoto mbaya hizi..?"

    Nilipiga goti nikasali kisha nikaenda kujiandaa kwa kuelekea kanisani.





    **********************************************

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    *** Shukrani za pekee zikuendee wewe uliyekuwa ukifuatilia simulizi hii kuanzia sehemu ya kwanza mpaka hapa ilipofikia hakika umejifunza mambo mengi sana.



    ::



    **** Mwisho

0 comments:

Post a Comment

Blog