Search This Blog

Monday, October 24, 2022

NA MIMI NATAKA - 1


IMEANDIKWA NA : GLOBAL PUBLISHERS*********************************************************************************Chombezo : Na Mimi NatakaSehemu Ya Kwanza (1) Mh! Aaah! Ooh! Ashi-shiii. Ilikuwa ni sauti ya mwanamke mmoja ambaye alionekana kuzidiwa na utamu. Sauti hiyo, ilimchanganya mzee mmoja ambaye kiumri hakupungukiwa na miaka hamsini. Ah! Watu wengine bhana wana maksudi utadhani hawakuzaliwa na mama zao. Mzee huyo alionekana kughadhabika zaidi kwa kelele hizo, pindi alipomuona kijana aliyekuwa akitoka ndani kumpa raha mwanamke aliyeuchanganya ubongo wa mzee yule. Ama kweli vijana wanafaidi! Laiti na mimi ningekuwa na muonekano kama wa kijana huyu, kila mwanamke ambaye ningehitaji kula uroda naye nisingemkosa. Au ingekuwa ni zile enzi zangu kabla ya matatizo yaliyonipata, walai mwanamke huyu na mimi angeyamwaga machozi nikiwa naye kitandani. Alikuwa ni mzee huyo akilalamika huku akiondoka dirishani alipokuwa amesimama kusikiliza kile kilichomsababisha kusitisha safari yake ya kuelekea kwenye kijiwe cha kahawa. Hata mwendo wake wakati akiondoka, ulibadilika. Ilivyoonekana ni kwamba kitendo kile kilisababisha mwili wake wote pamoja na fikra zake kuwaza jambo moja tu. Ngono! Lakini nd'o hivyo hana mke wala fedha za kuweza kumsaidia kukidhi haja yake. Ni kwanini hana mke? Ni yapi yalimkuta mzee huyu? Tumpe nafasi ya kumsikiliza ili tupate kuondolewa dukuduku vichwani mwetu.CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/Kwa jina Naitwa Emanuel. Kiasili natokea katika kijiji cha Kange huko mkoani Tanga. Kielimu mimi si msomi kabisa kwakuwa elimu yangu ni ya kidato cha tatu. Si kwamba wazazi wangu hawakuwa na fedha ya kunisomesha. Lah! Bali ufedhuli wangu uliwavunja moyo na ndipo wakaamua kuniacha dunia inifunze. Tabia yangu kubwa ambayo niliona kama nikiiacha, basi babu yangu shetani atanilaani. Nilipenda sana ngono. Ngono ilinitawala kuliko maelezo. Nilitamani kila mwanamke niuone uchi wake. Sikujisikia raha endapo ningesikia kijana mwenzangu kafanya mapenzi na msichana fulani kabla yangu. Basi nilichokifanya baada ya baba yangu kunifukuza nyumbani, niliamua kukimbilia mkoani Manyara. Sikuhitaji tena ukaribu na wazazi wangu kwakuwa mtazamo wangu ulinituma kuona wananionea katika utashi wa akili yangu. Kwa pesa kidogo niliyokuwa nayo, iliniwezesha kupanga chumba uswahilini ambako nyumba moja wapangaji zaidi ya ishirini. Hakuna ustaarabu hata kidogo. Nikayaanza rasmi maisha ya peke yangu ndani ya Mererani. Mwanzoni nilipata tabu sana juu ya suala zima la fedha za kujikimu lakini nilipokutana na rafiki aliyenipa ushauri wa kwenda kutafuta madini huko machimboni, unafuu ulipatikana. Kazi ilikuwa ngumu ukizingatia nilizoea kula, ngono kisha kulala. Ikawa tabu kwa upande wangu lakini uvumilivu wangu wa miezi tisa katika machimbo, uliniwezesha kupata madini ambayo kwa kushirikiana na rafiki yangu huyo aliyeitwa Peter, tuliuza kiasi cha shilingi milioni nne na nusu. MUNGU anipe nini tena? Gunia la chawa nijikune kila wakati ama? Nikafungua studio ya kukodisha filamu pamoja na kuweka miziki kwenye cd. Hapo ndugu yangu kale ka-ugonjwa kangu kakajirudia rasmi. Wa kwanza kumhitaji anitoe ugwadu wangu alikuwa ni Nasra. Mtoto wa kiislamu aliyeumbwa akaumbika haswaa. Nikaanza harakati zangu za kupata kile roho yangu inapenda kutoka kwake. Haikunichukua siku nyingi, siku moja ikiwa ni jumanne, Nasra alikuwa chumbani mwangu kwenye sofa la mtu mmoja huku mimi nikiwa nimeketi kitandani. Huku akiwa hajui nia yangu haswa kwakuwa sikuwahi kumtamkia masuala ya mapenzi zaidi ya urafiki wa kawaida na kumtaka afike kwangu kama kunitembelea."Karibu Nasra. Jisikie huru mamaa." Nilimwambia Nasra huku kichwani mwangu nikiwa naona kama tayari nshamvua nguo zote."Asante. Panavutia." Alinijibu huku macho yake yakiwa hayabanduki katika picha yangu kubwa niliyoibandika ukutani huku nikiwa kifua wazi. Hakuna ubishi six path yangu ilimchanganya hadi akashindwa kuyazuia macho yake kukodoa bila aibu za kike."Kawaida tu bhana. Nadhani patavutia zaidi kama patampata wa kupang'arisha." Wakati nikimwambia hayo, tayari nilishanyanyuka na kumsogelea pale alipoketi. Najiamini kwa utundu wangu hawezi kuruka kirahisi."Argh! Acha hizo buana." Akiongea hiyo ni kwamba mkono wangu wa kushoto ulikuwa shingoni mwake huku wa kulia ukiwa unayachezea matiti yake kwa kuyaminyaminya taratibu. Nilitegemea upinzani zaidi labda wa maneno au vitendo lakini hakuongea tena zaidi ya kuupinda mwili wake pasina huruma pamoja na miguno iliyozidi kunihamasisha kuendelea na zoezi lile. Nikabadili zoezi na kumvua kitop kilichouweka vyema mwili wake. Sikushangaa tena zaidi ya kuyalifakamia titi moja baada ya jingine huku mkono mwingine ukiwa unaendelea kuyatesa mapaja yake. Nikiwa naendele kutoa adhabu tamu ya mapenzi kwa Nasra, ghafla mlango wa chumba changu ukagongwa kwa fujo. Raha zote zikapotea kutokana na ugongaji.CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/Haikuwa kawaida mtu kugonga mlango wa chumba changu kwakuwa sikuwa na mazoea sana na wapangaji wenzangu. Nikasimama na kupiga hatua kivivu hadi mlangoni. Nikafungua na kukutana na mke wa baba mwenye nyumba. "Mh! Mdogo wangu, taratibu." Akaniambia kisha akaondoka huku akiniachia maswali kibao yakijirudia kichwani mwangu. Lakini nilichogundua ni kwamba midadi aliyokuwa akiipata Nasra, ilimpelekea kutoa sauti ya juu hadi watu nje wakasikia. Nilijisahau kufunguli redio yangu kubwa ili iweze kuzuia sauti zile. Lakini kwanini wakati akiondoka, alinikonyeza kiaina? Ama kweli mapenzi hayaangalii umri. Mama yule alikuwa sawa ama zaidi ya mama yangu lakini alipofanya kitendo kile unaweza kudhani ni msichana mdogo tu. Laiti ningejua madhara ambayo yangenipata mbeleni, pindi aliponikonyeza nisingehamasika wala kunyamaza. Ningepiga kelele za kumtaka asirudie tena kwani mimi ni sawa na mtoto wake. Sikufanya hivyo bali nilirudi ndani na kufungulia muziki kisha nikarudi tena kwenye sofa. Hata Nasra hakuniuliza ni nani mgongaji. Alichokihitaji ni kumtuliza kile nilichokipandisha muda mfupi kabla hatujakatishwa na mke wa mwenye nyumba. Mama mtu mzima lakini umbo lake maridhawa haswaa. Umbo lenye kuuficha umri mkubwa wa mama yule. Haya basi msomaji wangu, shughuli ikaanza upya. Leo hii nina miaka hamsini lakini siku hiyo ndani ya chumba pamoja na Nasra siwezi kukisahau. Tuliyafanya miaka miaka ishirini iliyopita lakini bado huwa yanajirudia. Kwenye sofa hapakuwa tena mahala sahihi kwa ajili ya kupeana burudani. Tukahamia kitandani. Vinywa vyetu vikiwa vimekutana, mikono yetu ikiwa na kazi ya kuipapasa miili yetu. Ugonjwa wangu mkubwa ulikuwa ni mapaja. Hakika hapo nd'o palikuwa pakiniwehusha. Nikayapapasa mapaja yake kadri nilivyohitaji ndipo ukawadia wakati wa kuiacha miili yetu bila nguo. Nikamvua nguo Nasra na kisha nikazitoa za kwangu kwani hizo nguvu za kunivua nguo angezitoa wapi ilihali hata ungempa saa akwambie muda asingeweza? Alikuwa kalegea huyo mpaka kusimulia si rahisi ukapata picha kamili labda ungefanikiwa mwenyewe kumuona.Loh! Nilistaajabu kuiona bustani yake ikiwa katika muonekano nadhifu. Ikiwa na mvuto mno. Kwanini nisiweke kichwa changu katikati nipate kufurahia matunzo mazuri ya bustani yake? Nikamvamia kwa ulimi huku mkono wangu ukiyachezea matiti yake kwa zamu. Miguno ya hapa na pale kutokana na utamu aliokuwa akiupata, haikuzuilika kinywani mwake. Nikajiona kidume mbele ya vidume. Nikazidi kumpatia pale nilipomuweka staili ya kumuua kabisaa kimapenzi. Ulimi ukiuchezea mgongo wake, mikono ikipita kiunoni mwake na kupanda hadi kifuani mwake kuyamiliki matiti, huku uume wangu ukiwa unampa burudani ndani ya uke wake. Walai nakwambia Nasra aliapa kupigana na yeyote atakayemkuta na mimi. Jamani si ungenitoa bikra wewe? Kuliko hilo lijanaume lilonipa kero kwa kushindana na tamu yangu utadhani mashindano ya pikipiki. Hapo likichwa lilizidi kunivimba si mchezo. Baada ya kumaliza mchakamchaka uliomuacha kila mmoja wetu hoi, tukapitiwa na usingizi. "Tukaoge."Nilikuwa wa kwanza kushtuka usingizini na kumwambia hivyo Nasra. Lakini nikakumbana na pingamizi kwa madai ya yeye kwenda nyumbani mapema na kuoga huko. Sikuwa na mabishano kama mashabiki wa timu za mpira zinazoshiriki ligi kuu ya Uingereza. Nikamvalisha Nasra nguo zake kuanzia za ndani mpaka za juu, ndipo nikamruhusu kuondoka. Kumvalisha nguo mwanamke uliyefanya naye mapenzi ni njia ya kumteka kwani hatasahau kamwe. Si wengine hawafanyi hivyo? Basi lazima atakukumbuka tu! Si umemdekeza?CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/Alipoondoka nikaelekea bafuni kwa ajili ya kuoga ambapo wakati natoka, nilipishana na dada ambaye alikuwa ni Edna mpangaji mwenzangu. Eti akaniambia, "na mimi nataka." Haa! Hawa wametumwa au? Mara mke wa baba mwenye nyumba. Mara hii tena huyu naye. Sikumjibu. Nikaingia ndani kujipakaa mafuta kisha nikavaa nguo zangu na kuelekea mahali ambapo palikuwa pakinipatia riziki. "Aisee kaka Emmy kaja hapa anakuulizia. Nilipomwambia umetoka na utachelewa kurudi, alionyesha wazi kuhuzunika hadi nikashindwa kuelewa ni kwanini." Alikuwa ni kijana ambaye nilikuwa nikifanya naye kazi akinipa habari ambazo zilinifurahisha kimoyomoyo maana Emmy alikuwa ni msupa kweli kama wasemavyo wakenya. Yaani ni msichana bomba kwelikweli japo hakumfikia Nasra niliyekuwa nimetoka kumbanjua muda mfupi uliopita. "Hakukwambia anataka nini??""Hapana. Lakini kwa muonekano wake anakupenda.""Mh! Atajua yeye ila mimi hata sina mpango naye." Niliamua kumzuga tu asiendelee na mjadala maana anapenda kweli kukazania jambo moja. Tukaendelea kuwahudumia wateja wetu hadi ulipofika muda wa kufunga. Tofauti na siku zote ambapo kila tulipofunga, nilipendelea kwenda kucheza pool pale kwa Mnyalu night club. Siku hiyo nilijihisi ovyo. Hiyo ni kutokana na sebene nililolicheza na Nasra. Nikapita mahali na kununua matunda mbalimbali kisha kwa pozi nikarudi nyumbani. Nikiwa namalizia kufungua mlango, akaja Edna akiwa na sahani ya chakula mkononi.Nikiwa namaliziakufungua mlango, akaja Edna akiwa na sahani ya chakula mkononi. "Mh! Wanafaidi" aliongea Edna huku akiendelea kula kwa pozi na kunifanya nicheke moyoni kwakuwa nilijua alikisikia kile kilichotokea mchana."Punguza utani buana wala hakuna chochote wanachofaidi" nilimjibu huku nikiingia ndani. Sikuhitaji mjadala ule uzidi kuwa pale nje. Hivyo nilivyoingia ndani na yeye akafuata nyuma yangu. Unadhani ingekuwa busara kumfukuza ndani kwangu? Si sahihi."Tena afadhali umekuja. Unisaidie kunikatiakatia matunda yangu." Hapo ilikuwa kama kumsukuma mlevi. Akasitisha zoezi lake la kula na akafanya kile nilichomuomba. Akiwa kwenye sofa, mimi kitandani. Nikanyanyuka na kuwasha luninga ili niburudishe macho. Ama kweli Edna ulinifanya niamini kwa asilimia mia moja kuwa ninyi ni mashetani. Hakika ulinifanya siku hiyo nitumike kama mnyama."Hivi nikikuomba kitu utaninyima?" aliuliza Edna wakati huo akiendelea kukatakata matunda."Itategemea na ombi lako lakini pia siwezi kukataa moja kwa moja ilihali wewe pia umenitimizia ombi langu" nilimjibu nikiwa nimetawaliwa na muwashawasha wa kujua ni jambo gani alilihitaji kutoka kwangu."Asante kwa jibu lako. Ombi la kwanza nikulishe matunda. La pili ntakuambia nikimaliza kukulisha." Aliongea Edna huku akitabasamu waziwazi. Nilishindwa kuamini kile alichokiongea kwakuwa sikuwahi kuwa na mazoea naye makubwa kiasi kile zaidi ya salamu. Hakuwa muongeaji sana kila nilipokuwa nikimuona. Iwe pale nje na wapangaji wenzetu, ama tulipopishana naye. Leo hii anataka anilishe? Mtoto mzuri kama wewe si balaa la kuvunja amri ya sita unalonitafutia? Lakini potelea mbali! Ni jambo la kawaida.CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/"Mh! Haya lakini mara moja tu." Niliongea huku nikiinuka na kuelekea kwenye sofa. Akanyanyuka na kuniachia nafasi ya kuketi. Mh! Sijawahi kulishwa tangu nianze kuwavua nguo wanawake. Nikalishwa kwa mkono na mwisho akanilisha kwa mkono. Nikanogewa na kusahau kama nilimwambia anilishe mara moja. Nikajikuta nikifurahia jambo lile na kutamani awe akinifanyia kila wakati. Aliyarembua hayo macho yake kadri alivyoweza wakati akinilisha na kuufanya mwili wangu usisimkwe. Edna buana ni mwingi wa mambo. Alipomaliza, akainuka na kuchukua stick kisha akarejea pale kwenye sofa. Yani ungetuona ungedhani labda ni mtu na mke wake au wapenzi wa muda mrefu kumbe nd'o kwanza tunakutana katika mazingira yale. Akaanza kunichokonoa meno ili kuondoa mabakimabaki ya kile alichonilisha. Alipohakikisha niko safi ndani ya kinywa, akanitaka na mimi nimuondolee. Hiyana itoke wapi? Nikafanya kama alivyotaka. Nilipomaliza, akaniuliza swali ambalo sikulitegemea."Unajisikiaje?"Nadhani hata wewe msomaji ungeulizwa ungechachawa. Kitendo cha kunilisha pamoja na kunisafisha kinywa changu, kiliniamshia wadudu wa mapenzi. Hivyo tiba ilihitajika kwakuwa nilikuwa nikijisikia vibaya. Nimjibu vipi sasa? Kwamba najisikia vibaya au vizuri?"Najisikia kama wewe unavyojisikia" nilimwambia hivyo maksudi ili nisikie atakachokiongea."Haya ombi langu la pili naomba nilitamke" hicho nd'o alichokisema macho yake yakizidi kulegea."Wewe tu" nilimjibu."Naomba ufumbe macho" aliongea na kunifanya nicheke kwakuona jambo dogo kama lile linatuchukua muda mrefu. Hakika MUNGU alifanya vyema kutuficha mawazo ya wenzetu. Laiti ningetambua nia ya Edna nisingethubutu kufumba macho yangu. Nikafumba na baada ya dakika moja akaniambia nifumbue. Hamali! Nilihisi ubaridi mwili mzima. Alikuwa ameniinamia kwa ukaribu huku mikono yake akiwa ameshika sofa huku na huku. Mdomo wake ukiwa sentimita chache na wa kwangu. Lakini kilichoniingiza ubaridi ni kwamba mwili wake ulikuwa umebakizwa na nguo mbili tu. Ya ndani ile ndogo pamoja na sidiria. Ujanja unitoke wapi wakati alishauteka ufahamu wangu hata kabla ya kuvua sketi yake na kishati chepesi alichokuwa amekivaa? Jumlisha na umbo lake matata liwezalo kuwasababisha wanaume marijali kupigana mabisu ya tumbo?"Najua umechoka kwa mchezo wa mchana lakini naomba unitulize hata kwa saa moja tu!" Aliongea kwa sauti ya chini na yenye kila aina ya ushawishi. Sikuwa na jibu zaidi ya kuruhusu mikono yake laini na yenye joto asilia, ipenye katika mwili wangu na kuanza kunipapasa. Ilivyoonesha alikuwa na hamu sana kwasababu hakuchukua muda mrefu kutumia mikono. Akautoa uume wangu nje na kuutia katika kinywa chake. Raha niliyoihisi, tafuta lolipop ile ya maziwa uitie kinywani uanze kuimung'unya. Lakini nikupe pole maana utapata utamu wa mdomoni na si wa mwili mzima kama mimi. Ghafla akahamisha majeshi katika vita ile ya kwenye sofa. Nikiri kwamba Edna alikuwa fundi selemara asiyekose katika vipimo vyake. Yani alinijulia vyema utadhani aliwahi kufanya utafiti katika viungo vyangu vyenye msisimko. Akaitia ncha ya ulimi wake ndani ya sikio langu huku mkono wake wa kulia ukivitesa vichuchu vyangu vilivyonatiana na ngozi kifuani mwangu. Haikunichukua dakika tano. Nikawa hoi kwa utamu.CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/Huku nikijipindapinda na kutoa sauti za miguno utadhani njiwa. Kwa Nasra, nilijivika jukumu la kumvua nguo. Lakini kwa upande wa Edna mh! Hizo nguvu wapi nizipate? Loh! Alifanikiwa kunimiliki kadri alivyoweza. Hakuwa na haraka, manjonjo yake ni hatua za taratibu kama kinyonga ama konokono. Akaniondoa shati langu kwa madoido utadhani mamba aliyepata windo baada ya kulikosa kwa muda mrefu. Akahama masikioni mwangu, akauweka mdomo wake katika vichuchu vyangu. Nikaona ni burudani iliyopitiliza kumbe bado ndo alikuwa akifungua ukurasa wa kwanza. Acha niseme Edna ni mtaalamu. Ebwana wee! Vitu adimu katika mapenzi ambavyo sijawahi kufanyiwa wala kumfanyia mwanamke yeyote, siku hiyo viliutembelea mwili wangu. Raha iliyoje?Edna sijui ni mchawi wa mapenzi au maana aliniacha kinywa wazi. Akaona haitoshi. Akaniacha pale nikimuangalia kwa macho ya kumuuliza, "mbona hunipi? Vilevile nikijisemea kuwa aliniomba saa moja lakini ntatumia matatu walai naapa" kimadaha akashusha godoro chini kisha akatandika shuka la bluu. Wakati huo mimi nikimtumbulia macho tu bila kuongea chochote. Alipomaliza maandalizi, akajilaza na kuniita kwa ishara ya kidole. Kwanini nizubae wakati chakula kile pale na njaa yanikabili? Nikainuka kwa kasi utafikiri magari ya langalanga."Mh! Taratibu chakula ni cha kwako na hakihitaji pupa usijekipitishia puani badala ya mdomoni" maneno ya Edna yalizidi kuniacha hoi pamoja na kunipandisha mzuka. Akanipokea kwa kunikumbatia kisha akautumbukiza ulimi wake kinywani mwangu. Midadi ikazidi kunipanda. Nikataka kuvamia bustani yake kwa pupa lakini akanizuia pindi nilipopeleka mkono wangu ili niweze kumuondoa nguo yake ya ndani. Nikiwa sina hili wala lile kwa kuzidiwa na utamu wa mate yake japo si kama sukari lakini utamu wake utausikia mpaka kisogoni, akaondoa ulimi wake kinywani mwangu na kunilaza chali. Akanivua suruali yangu pamoja na nguo za ndani nikabaki mtupu. Kwa mara nyingine akaniacha kinywa wazi alipoinuka na kuisogelea sketi yake ya jeans pale chini na kuingiza mkono wake katika mfuko. Akatoa kichupa cha wastani ambacho sikutambua kina maana gani. Ha! Inamaana alikuja kamili kwaajili ya mtanange wa kitandani. Tena wa kwake ni chini. Akarudi na kukifungua kisha akajimwagia kiganjani mwake ndipo akaupakaa uume wangu. Ilikuwa ni asali. Nikiri tena hata kama utanichoka Edna ni moto wa kuotea mbali maana ukiusogelea utakuunguza mpaka uwe majivu. Huku akiuchua taratibu, mdomo wake ukiwa unachukua lita kadhaa za mate kinywani mwangu. Zoezi lilidumu kwa dakika kadhaa hadi pale asali aliyoipakaa katika uume wangu ilipokauka kiasi fulani. Wajua ni kwanini alifanya hivyo? Ili akianza kuunyonya, ile asali isiishe haraka. Basi ndugu yangu usomayo haya, ilikuwa ni mshikemshike kuliko unavyodhani. Yani kwakukusimulia kiduchu tu ili tusipoteze muda, fanya kwa vitendo japo hutapata raha kama nilizokuwa nikizipata kutoka katika kinywa cha Edna. Kunja vidole vyako vya miguu kwa nguvu. Nd'o khali iliyonikumba mtoto wa kutoka Tanga. Nikawa nikigugumia kwa sauti hadi Edna akaenda kuongeza sauti ya redio. Aliunyonya uume wangu mpaka nikahisi mapigo yangu ya moyo yanasimama. Alipoona nimekuwa kama mnyama aliyelegezwa ipasavyo na chatu tayari kwa kumezwa, akaiondoa nguo yake ya ndani tayari kwakunipatia tamuu. Lakini wakati huo mimi tayari nilishaharibu mambo kwa kuwadondosha wazungu. Pamoja na hilo bado haikutosha kuuondoa upetupetu aliouamsha katika mwili wangu. Ama kweli ili ufaidi utamu wa mapenzi, mpate yule anayeyajua na vilevile autambue udhaifu wako. Hakika utafaidi na kila utakapokuwa mbali na huyo mtu, ujihisi upungufu fulani mwilini mwako. Mimi tayari Edna yupo na CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/anayajua tena kaniongezea utundu wa asali. Mbona watanikoma? Tena wa kwanza atakuwa Emmy. Yule aliyehuzunika pindi alipokuja kazini na kunikosa. Edna akawa juu mimi chini. Viuno huku na kule utadhani pepo za KAS na KUS. Utamu ulioje? Napewa kwa raha zangu bila kushughulika kwa kiasi kikubwa."Ooh! Asaaante asaaante Edna" nilijikuta nikimwaga shukrani kwake kutokana na utamu alionipa. Hakika ningekuwa mbaya endapo nisingetoa shukrani. Niinjoi mno. Yeye ndiye alisema anataka kunifaidi lakini mimi ndiye nilimfaidi."Shukrani kutoka moyoni au mdomoni tu halafu kesho nasikia upo na mwingine unampa utamu" hapo aligusa penyewe. Nisingeweza kuwa na mmoja ilihali ugonjwa wangu ni mapaja ya wanawake na siyo mwanamke. Hilo naapa kwa jina la shetani nisingeweza kuvumilia. Kwanza tupo wote lakini mawazo yapo kwa Emmy jinsi nitakavyompagawisha kwa asali kuipakaa katika bustani yake na kisha kuilamba yote kwa ulimi wangu."Wee! Hii inatoka moyoni. Kweli umenijulia wapi pananiwehusha kihisia" nilimjibu huku nikizing'atang'ata kimtindo chuchu zangu kwa kutumia lips zangu zilizobarikiwa ulaini. Kitendo hicho kikaturudisha tena mchezoni.ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog