Search This Blog

Monday, October 24, 2022

VITILIVYOGO (PAPA NA MUHOGO) - 1

 





     IMEANDIKWA NA : ALLY MBETU "DR AMBE"







    *********************************************************************************



    Chombezo: Vitilivyogo ( Papa na Muhogo )

    Sehemu Ya Kwanza (1)



    “Kweli wakubwa wanafaidi,” maneno yalimtoka Shaka baada ya kumtazama mdada mmoja aliyekuwa akipita na kutikisa kichwa kuonesha ameteswa vya kutosha na mdada yule aliyepita akielekea dukani katika vazi la khanga moja akionesha ametoka kuoga na kukimbilia dukani mara moja.

    Rafiki yake Beka alimuuliza kulikoni kusema vile baada ya kumuangalia yule dada ambaye alikuwa mkubwa kwake kiumri?

    “Shaka vipi mwana?”

    “Yule sister ananiua sana.”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Shaka unachekesha, anakuua kivipi?”

    “Nampenda ile mbaya.”

    “Hata ukimpenda utafanya nini?”

    “Yaani kuna kipindi huwa natamani kumwambia anavyoutesa moyo wangu, lakini naogopa tunaheshimiana sana, kibaya amenizoea sana.”

    “Lakini Shaka yule demu mbona kakuzidi vitu vingi, kwanza mkubwa kwako pili anaonekana mtu wa matawi, wewe mwanafunzi hata akikubali japo najua ni sawa na jua kuwaka mchana, utampa nini?”

    “Hilo najua, lakini sina jinsi nitaendelea kula kwa macho, ipo siku nitamwambia ukweli, liwalo na liwe.”

    “Mmh! Makubwa, unafikiri atafanyaje?”

    Wakiwa katikati ya mazungumzo, gari moja aina ya BMW X6 lilitokea na kwenda kusimama sehemu na kuwafanya wote wang’ae macho. Baada ya gari kusimama waliacha kuzungumza na kutaka kujua limefuata nini maeneo yale. Mara honi ilipigwa.

    Alitoka yule mdada anayemtesa Shaka akiwa amependeza kwa kuvaa gauni fupi lililoweza kuyaweka mambo yote nje kama akiinama, kwa vile nyuma mwenyezi Mungu alimjalia kigauni kilining’inia juujuu.

    Mdada alitembea taratibu kuelekea kwenye gari, kabla ya kulifikia gari aligeuka na kumuona Shaka, alishtuka na kushika kifuani na kusema:

    “Ha! Mchumba, njoo mchumba wangu,” mdada alisema huku akinyoosha mkono kuonesha anamwita Shaka.

    Shaka alisogea mpaka alipokuwa amesimama yule mdada ambaye alikuwa akiutesa moyo wake. Mdada alimsogelea, akamkumbatia na kumchumu kisha alimwita mtu aliyekuwa kwenye gari.

    “Jimmy my baby.”

    “Unasemaje baby?” sauti iliuliza toka ndani ya gari.

    “Njoo mara moja.”

    Mara ulifunguliwa mlango kwenye gari na kuteremka jamaa mmoja aliyeonekana amekwiva umatemate.

    “Waoo mpenzi.”

    Mdada alimkumbatia jamaa aliyeshuka kwenye gari na kubusiana pande tatu kisha alimshika begani mdada na kumsamilia Shaka.

    “Mambo dogo?”

    “Poa bro.”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Heloo baby unasemaje?” jamaa alimuuliza mdada huku akichezea kidevu.

    Kitendo kile kilikuwa kama kumdhalilisha Shaka kutokana na jinsi aliyompenda yule mdada na walivyokuwa wakiheshimiana.

    “Unamuona huyu?” mdada alimuliza mwanaume wake huku akiwa amemshika mkono Shaka.

    “Ndiyo.”

    “Basi baby kijana huyu ananipenda sana.”

    Kauli ile ilimshtua sana Shaka na kujiuliza yule mdada amemwita kumdhalilisha?

    “Kwa hiyo?” jamaa alimuuliza akiwa amemkazia macho Shaka aliyekuwa katika vazi la tisheti na kaptula ya shule na chini alikuwa amevaa ndala.

    “Siyo kwa hiyo, kijana huyu ameanza kunipenda toka yupo darasa la nne mpaka leo hii. Bahati mbaya bado mdogo lakini angekuwa mkaka mkubwa ningeshampa, ananipenda sana nina imani mpenzi wake akimpenda kama mimi atafaidi.”

    “Mpe tu. Kwani sasa hivi huyu hachukui mademu?” jamaa alichomekea.

    “Jimmii, huyu mtoto mdogo nitampeleka wapi?”

    “Sasa mapenzi yake yatayeyukia wapi?”

    “Kwani hana mpenzi, si unamuona kachangamka.”

    “Kwa hiyo ndicho ulichoniitia?”

    “Hapana, naomba elfu kumi nimpe mchumba wangu akatese kesho shule.”

    Jamaa bila kusema kitu aliingiza mkono mfukoni na kutoa pochi kisha alihesabu wekundu watano na kumpa Shaka.

    “Dogo zinatosha?” jamaa alimuuliza baada ya Shaka kuzipokea.

    “Zi..zi..natosha brother,” Shaka alijikuta akitetemeka kupokea fedha.

    “Jamani mchumba unaniangusha, elfu hamsini unatetemeka hivyo, ungepewa milioni ingekuwaje?” Mdada alimtania Shaka.

    “Poa dogo baadaye,” Jimmy alisema huku akimshika mdada kiunoni na kuelekea naye kwenye gari.

    “Mchumba baadaye,” mdada alimuaga Shaka.

    “Po..po..a,” Shaka alijibu huku akiwa hajiamini.

    Mdada aliingia kwenye gari na kuondoka na kumwacha Shaka akiwa amesimama walipomuacha na kulitazama gari mpaka lilipopotea machoni mwake.

    “Shaka vipi?” Beka alimshtua alipokuwa amesimama.

    Lakini Shaka alionekana yupo mbali mpaka alipomfuata na kumshtua.

    “Oya, mwana vipi?”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Poa.”

    “Mbona umesimama kama nguzo?”

    “Wee acha tu, yule demu amejua kunidhalilisha.”

    “Kivipi?”

    Ataniitaje mbele ya bwana’ake?”

    “Sasa tatizo nini kwani Betty nani yako?”

    “Hata kama siyo mtu wangu, lakini anajua nampenda kwa nini anifanye vile?”

    ”Shaka acha ujinga yaani umekasirika, yule demu anakupenda kama mdogo wake kutokana na kukufahamu. Huna hadhi ya kuwa mpenzi wake, shukuru umepewa fedha, hebu ona kama fedha ya shule umepewa elfu hamsini na mchizi wake, yeye Betty anayempa raha anapewa shilingi ngapi?”

    “Lakini mapenzi siyo fedha,” Shaka alijitetea.

    “Hata kama siyo fedha, Betty matawi wewe acha kuchekesha wenye mapengo.”

    “Poa, lakini lazima nimweleze ukweli kuliko kuteseka moyoni.”

    “Mmh! Kazi kwako.”

                                          MIAKA SITA ILIYOPITA

      Shaka akiwa darasa la sita, siku moja alikuwa anatoka shule. Alipokaribia kwao, mara lilisimama gari aina ya BMW  X6 na kuteremka dada mmoja ambaye kwake alikuwa mgeni. Japokuwa alikuwa kijana mdogo alipomuona yule mdada moyo ulimpasuka.

    Yule mdada mrembo alikuwa amevaa gauni jepesi fupi kidogo lililoishia juu ya magoti. Baada ya kuteremka kwenye gari aliagana na dereva kwa kuchezesha vidole huku akisema kwa sauti ya madaha.

    “Bai baby.”

    “Poa baadaye,” sauti ilitoka kwenye gari na lile gari liliondoka na kumfanya yule dada aanze kutembea. Alitembea kwa mwendo wa madaha kama anaiogopa ardhi. Mkononi akiwa na mfuko kuonesha anatoka kufanya shopping super market kutokana na nembo ya mfuko.

    Kwa vile  Shaka hakuwa mbali alikaza mwendo ili aweze kumsogelea yule mdada kwa karibu ili macho yake yaweze kuufaidi utundu wa muumba. Alipofika karibu alipunguza mwendo na kuendelea kufaidi kwa raha zake huku akijisemea: “Kweli wenye hela wanafaidi.”

    Umbile la nyuma la yule mdada lilikuwa na mvuto huku makalio yakipishana kama yanasikia baridi au abiria wa Mbagala wakigombea langoni wa daladala majira ya jioni.

    Japokuwa alikuwa ameshaanza mapenzi ya baba na mama, lakini siku ile alikuwa kwenye hali mbaya, mnofu ulinyanyuka kama umebanikwa.

    Alijikuta akitamani angalau yule dada ampe nafasi ya kuugusa mwili wake hata sekunde moja ili asikie joto lake.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Hakuongeza mwendo, alitembea kuhakikisha anaendelea kubaki nyuma, baada ya mwendo mfupi, mfuko uliokuwa umebeba matunda ulipasuka na kufanya matunda kudondoka chini. Bila kuangalia nguo aliyovaa aliinama kuokota na kufanya nguo ipande juu na kuweka mambo yote hadharani mpaka kufuli jekundu alilovaa lilionekana baada ya upepo kulinyanyua gauni.

    Shaka alizidi kuchanganyikiwa kuona mambo ya ndani ya mdada mrembo aliyekuwa mbele yake. Bila kujielewa alijikuta akiingia kwenye kazi ya kumsaidia kuokota matunda. Aliifanya kazi ile kwa muda mfupi na kumkusanyia matunda yake yote.

    “Ooh! Asante mdogo wangu,” yule mdada alimshukuru Shaka.

    “Hakuna tatizo da mzuri.”

    “Jamani kwani mi mzuri?”

    “Tena sana.”

    “Asante mdogo wangu, basi kaniletee mfuko pale dukani,” yule mdada alitoa noti ya  elfu tano na kumpa Shaka.

    Shaka alikimbilia dukani kununua mfuko na kurudi haraka, alipofika alimpa mfuko na chenji yake.

    “Asante mdogo wangu, chenji chukua.”

    Shaka alitaka kukataa kuchukua lakini yule dada alimbembeleza achukue, kwa vile hakutaka kumudhi alichukua. Shaka aliishia njiani na yule dada aliendelea mbele. Hakutaka kuingia kwao haraka, alijificha sehemu na kuendelea kuangalia utundu wa muumba alioufanya kwa yule mdada. Baada ya kupotea machoni kwake ndipo alipoelekea kwao.

                                                                          ***

    Siku ya pili ilikuwa Jumamosi ambayo Shaka hakwenda shule, alijikuta akienda kukaa chini ya mti kumsubiri yule mdada ili amuone moyo wake utulie.  Alijikuta akikaa muda mrefu bila kumuona, alipotaka kuondoka alimuona akipita kutoka mjini akiwa na mfuko wa plastiki kuonesha anatoka tena shopping.

    Alipokaribia alipokuwa amekaa Shaka alitaka kujikwaa na kusababisha baadhi ya matunda kwenye mfuko kudondoka. Shaka alijikuta akitoka mbio na kuwahi kuokota na kumpa yule mdada kabla hajainama kuokota. Yule dada alipokea na kushukuru, alipomuangalia aliyemuokotea alishtuka.

    “Ha! Ni wewe?”

    “Ndiyo.”

    “Jamani, yaani nina bahati na wewe!”

    “Mmh! Kawaida tu,” Shaka alijibu huku akiondoka.

    “Hebu rudi mdogo wangu,” mdada alimwita Shaka ambaye alirudi na kuonesha aibu ambayo ilimshtua sana yule dada.

    “Mmh! Mdogo wangu mbona hivyo?” alimuuliza huku akimshika kichwani.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Mm..mmh!” Shaka mdomo ulikuwa mzito.

    “Una nini mdogo wangu?”

    “Nipo sawa.”

    “Jamani mbona una aibu kiasi hicho?”

    “Mm..mmh,” Shaka alijibu akiwa ameangalia chini kwa aibu.

    “Unaitwa nani?”

    “Shaka.”

    “Unakaa wapi?” Shaka hakujibu alionesha kwa kidole.

    “Mbona una aibu, unanipenda?”

    Shaka aliitikia kwa kichwa na kumfanya mdada acheke.

    “Basi mchumba wahi nyumbani,” mdada alisema huku akitoa noti ya elfu mbili na kumpa Shaka.

    Shaka alipokea na kuondoka kurudi nyumbani, lakini hakufika mbali aligeuka kumtazama mdada ambaye kwake alikuwa mkubwa sana. Alijikuta akijisahau na kuendelea kumtazama mpaka alipopotea kwenye macho yake. Baada ya kupotea alitikisa kichwa na kuelekea nyumbani kwao roho yake ikiwa kwatu japokuwa alikuwa hajala toka asubuhi.

                                                                 ***

    Shaka alijikuta akiingia kwenye mateso ya kujitakia, kila alipokosa kumuona yule mdada mrembo alikuwa kama mgonjwa. Kila alipotoka shule hakwenda kucheza, alikaa kwenye mti mpaka alipopita  na kumsalimia kisha aliondoka.

    Hali ile ilimfanya na yule mdada kumzoea Shaka kila alipokosa kumuona alipita hadi kwao kumuulizia.

    Wote walijua ni utani Shaka kuwa na mpenzi kama yule dada kutokana na umri na hadhi. Siku zilikatika huku Shaka akizidi kumzoea yule mdada aliyefurahi mapenzi aliyomuonesha. Ilifikia hatua akawa anaenda nyumbani kwa yule mdada aliyekuwa akikaa kwao na kuzungumza naye kisha alirudi kwao.

    Moyoni alijiapiza ipo siku atamweleza ukweli ili ijulikane moja, lakini kila alipotaka kumweleza alisita kwa kujiona bado hakuwa na kigezo cha kuweza kupewa penzi hata la kuonjeshwa.

    Miaka ilikatika huku Shaka akiwa karibu na yule mdada mrembo, alipofika kidato cha nne aliamini ule ulikuwa muda muafaka kwake kumweleza  anachokitaka kwake.  Tayari alikuwa ameshaanza kugawa dozi ya uhakika kwa wapenzi wake Uswahilini. Shuleni Shaka hakupata demu kutokana na kuonekana hana kitu, hata mavazi yake yalikuwa ya kawaida tofauti na wanafunzi wenzake waliokuwa masharobaro waliokuwa waking’oa watoto wa kishua, mademu wengi wazuri shuleni alikula kwa macho.

    Hali ya maisha ya kwao ilimbana na kumfanya afikirie masomo sana. Hakuwa na uwezo wa kuwashawishi wanafunzi wenzake, kwa vile hakwenda na wakati wengi walimuona bado yupo anolojia wakati wenzake wapo dijitali. Hali ile ilimfanya Shaka kucheza sana na mademu wa uswazi.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Baada ya kuvumilia mateso, siku moja alijiapia liwalo na liwe, lazima alitoe la moyoni. Wakati huo alikuwa ameshalifahamu jina lake, mdada mrembo alikuwa akiitwa Betty.

     Kama kawaida alimsubiri muda wa kupita kutoka mjini, ila siku ile alimweleza Shaka kuwa atachelewa kwa kuwa atakuwa na mishemishe mingi. Majira ya saa moja usiku alirejea na kumkuta Shaka yupo kwao. Kwa vile alikuwa amemzoea alimpokea mfuko na kwenda naye hadi kwao.

    Baada ya mazungumzo na kula chakula cha usiku, Shaka aliaga ili arudi nyumbani kwao. Betty alimsindikiza hadi nje ya nyumba yao akiwa amejifunga upande wa khanga na nguo ya ndani tu. Hakutaka kufika mbali kutokana na alivyokuwa amevaa kwani alikuwa anajiandaa kwenda kuoga.

    “Shaka kesho basi.”

     Shaka alijikuta akijikaza kiume kumweleza kilicho moyoni mwake muda mrefu.

    “Samahani mchumba.”

    “Bila samahani.”

    “Kuna jambo moja linanisumbua muda mrefu.”

    “Muda mrefu! Linazidi mwaka?”

    “Si mwaka, miaka.”

    “Miaka mingapi?”

    “Sita.”

    “Sita! Jambo gani hilo mchumba?”

    “Betty nakupenda sana,” Shaka alijitoa muhanga.

    “Jamani kumbe ni hilo, mbona hata mimi nakupenda mchumba.”

    “Nataka zaidi ya hilo unalofikiria.”

    “Unamaanisha nini?”

    “Yaani tuwe wapenzi.”

    “Shakaaa!” Betty alijikuta akiangua kicheko mpaka kanga aliyokuwa amejifunga ilimdondoka na kumfanya aidake lakini Shaka alikuwa amefanikiwa kuona nguo ya ndani ya rangi nyeupe.

    Kitendo kile kilimfanya Shaka aondoke bila kuaga lakini Betty alimshika mkono na kumrudisha.

    “Shaka hebu rudi basi mchumba.”

    “Nirudi nifanye nini wakati sina thamani yoyote kwako.”

    “Sina maana hiyo, sikutegemea kuniambia neno hilo.”

    “Ulitaka nikueleze nini?”

    “Shaka upo siriasi au unatania?”

    “Betty ningeweza kulisema hili muda mrefu lakini muda ule nilikuwa bado mdogo sana.”

    “Sasa umekuwa?”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Ndiyo.”

    “Lakini huoni mimi ni sawa na dada yako?”

    “Ni kweli lakini ndiyo mwenzio nimeangukia kwako.”

    “Shaka japokuwa mapenzi hayachagui, lakini wewe bado mdogo sana, hata kama nitakupa bado hutafurahia penzi langu kwa vile kuna mtu zaidi ya mmoja ananimiliki.”

    “Betty, shida yangu si kushindana na wenye fedha bali kutimiza ndoto yangu ya miaka sita unipe hata sekunde moja.”

    “Mmh! Mbona mchumba unipa mtihani!”

    “Huu si mtihani, wewe unajua kiasi gani nakupenda.”

    “Najua.”

    “Sasa basi tatizo lipo wapi?”

    “Hivi nikikubali utanipeleka wapi?”

    “Nyumba ya wageni.”

    “Fedha ya kulipia chumba utaitoa wapi?”

    “Betty utashindwa kulipa kwa siku moja?”

    “Nikinogewa nani atalipa?”

    “Nitajua, nitauza chochote ili kuhakikisha tunarudia hata mara mbili.”

    “Mmh! Sawa nimekubali.”

    “Sasa lini?”

    “Mwisho wa wiki kwa vile bwana’angu atakuwa amekwenda Afrika Kusini kibiashara.”

    “Mchumba unaniambia kweli au unanidanganya?”

    “Kama wewe unatania basi ni utani kama uko siriasi mi sitanii.”

    “Nitafurahi sana.”

    “Ila naomba usimwambie mtu nikisikia kwa yoyote ujue urafiki wetu unakufa.”

    “Siwezi kumwambia mtu, nimeteseka sana siwezi kupewa tiketi ya peponi nikaipoteza.”

    “Hakikisha unakuwa na nguo za kuweza kuingilia hapo tutakapokwenda.”

    “Hilo usihofu.”

    Baada ya makubaliano waliagana, Betty alirudi ndani na Shaka aliwahi kwao akiwa bado haamini alichoambiwa na Betty.

                                                                  ***

    Usiku ulikuwa mrefu kwa Shaka, moyoni hakuamini, alijua Betty amemkubalia ili kumfurahisha tu lakini hakuwa na mapenzi ya kweli kwake. Lakini alijipa moyo kwa kuamini mpaka kuiona nguo ya ndani ya Betty ni dalili nzuri wa kuufikia mwili wake.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Moyoni alijiapia siku akifanikiwa kumpata atajituma muda wote wa mchezo ili awe nyota wa mchezo ili timu ya upinzani iombe mechi ya marudiano. Pamoja na furaha ya kukubaliwa ombi lake la kugawa tenda ya madafu kwa Betty, tatizo likabakia atapata wapi nguo za nguvu za kuweza kuongozana na mwanamke mzuri kama yule.

    Washkaji zake wote walikuwa choka mbaya, lakini alikumbuka shuleni alikuwa na mshikaji wake wa karibu, mtoto wa mshua ambaye mara nyingi alikuwa naye karibu kutokana na Shaka kuwa mtu wa utani sana kitu kilichomfanya kuwa naye karibu hata kumpa kampani ndogondogo za shule.

    Baada ya kumkumbuka mshkaji wake Issa, alitabasamu na kuvuta shuka, usingizi haukuchelewa kumchukua.

    Upande wa pili, Betty baada ya kupanda kitandani alijikuta akijiuliza maswali yasiyo na majibu juu ya neno aliloambiwa na Shaka kwamba anampenda. Siku zote aliamini Shaka anampenda lakini  haikuwa kwa ajili ya kuwa wapenzi wa kushea mwili. Aliamini kabisa Shaka alimpenda kama dada yake wala si kama mtu na mpenzi wake.

    Alijikuta akitabasamu baada ya kujiuliza siku atakayomvulia nguo ya ndani mvulana mdogo kama Shaka asiye na hadhi itakuwaje? Aliona heri Shaka angekuwa na fedha kidogo mashoga zake wangejua labda alifuata fedha, lakini mtu mwenyewe hakuwa na mbele wala nyuma, pia hata fedha ya shule mara nyingi alimpa yeye ikiwemo kumnunulia shati la shule lililokuwa nimeanza kuchoka na alikuwa na mpango wa kumnunulia viatu na suruali ili naye apendeze.

    Siku zote mapenzi ya Shaka aliyachukulia kama mdogo wake ndiyo maana hata wanaume zake aliwatambulisha kama mdogo wake na wao kumwita shemeji. Katika vitu alivyovipenda kwa Shaka, ilikuwa heshima aliyokuwa nayo kwake kwa kuonesha kumpenda na kumheshimu. Lakini si kwa ajili ya kuutaka mwili wake.

    Alitabasamu tena na kujiuliza ndiyo siku wanatoka kumpa raha ambazo bado aliamini ataingia hasara kwa vile hawezi kumkidhi haja zake zaidi ya kumpaka shombo.

     Alijiuliza shoga zake atawaambia nini au bwana zake wakimfumania naye atawaambia  kipi kilichomshawishi kumpa raha yule mtoto.

    Alijikuta akiyarudia maneno ya Shaka:

    “Samahani mchumba.”

    “Bila samahani.”

    “Kuna jambo moja linanisumbua muda mrefu.”

    “Muda mrefu! Linazidi mwaka?”

    “Si mwaka, miaka.”

    “Miaka mingapi?”

    “Sita.”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Sita! Jambo gani hilo mchumba?”

    “Betty nakupenda sana.”

    “Jamani kumbe ni hilo, mbona hata mimi nakupenda mchumba.”

    “Nataka zaidi ya hilo unalofikiria.”

    “Unamaanisha nini?”

    “Yaani tuwe wapenzi.”

    Baada ya kuyarudia maneno ya Shaka, alicheka na kujikuta akiona kama si sahihi kumpa mwili wake mvulana mdogo kama yule ambaye hajai hata mkononi. Lakini upande wa pili hakutaka kumuudhi Shaka, kwani kwa upande mwingine alikuwa ni mtu wake wa karibu ambaye alimpa faraja anapokuwa peke yake.

    Wazo lilikuwa heri ampie pale nyumbani  ili ibakie siri yake na Shaka kuliko kuingia nyumba ya wageni na kijana mdogo kama yule. Wazo la kumpia uroda nyumbani aliamini ni zuri sana kwake, kwa vile ataingia usiku na kutoka usiku bila watu kujua nini kiliendelea.

     Alikubaliana na wazo lake na kuamua kujilaza, usingizi haukuchelewa kumchukua.

    Siku ya pili Shaka akiwa shule alimfuata mshkaji wake Issa na kumweleza shida yake.

    “Vipi unakwenda kwenye shughuli nini?” Issa alimuuliza baada ya kumjua Shaka si mtu wa mademu.

    “Kuna mtoto wa geti nataka nikamng’oe.”

    “Shakaa, kwa nini pande hilo usinipe mimi mzee wa kuua?”

    “Issa utani huo, demu wangu nikupe wewe?”

    “Kama hivyo huna pamba kali pia hata mkwanja wa kumpeleka viwanja huna.”

    “Issa nimekuomba pamba si kingine, mengine hayakuhusu.”

    “Poa mshkaji unataka pamba gani?”

    “Yoyote kali.”

    “Mguu unao?”

    “Nipate wapi, nakutegemea mwanangu unitoe kila kitu.”

    “Vipi nikuazime mkoko ukamtese?”

    “Siku nyingine, muhimu nilichokuomba leo.”

    “Poa tukitoka shule tutakwenda home kuchukua.”

    Shaka aliamini zoezi lake gumu  lilikuwa limekwisha kilichobakia utekelezaji. Baada ya masomo aliondoka na Issa hadi kwao, alipoingia chumbani kwake alishangaa kukuta kuna ‘stendi ya viatu’ iliyokuwa imejaa viatu vya kila aina.

    “Chagua mguu unaoupenda.”

    Shaka alichagua raba kali kisha alimfungulia kabati na kumueleza achague nguo anayopenda.

    Shaka alichagua nguo ya maana, baada ya kuchagua alimgeukia rafiki yake.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Asante rafiki yangu.”

    “Sasa mwana demu wako hana mwenzake ili unipigie na mimi pande?”

    “Nitamuuliza.”

    “Yaani kama utanifanyia mpango viwalo hivi nitakupa vyotevyote.”

    “Poa mwana, tuliza boli.”

    Shaka aliagana na Issa na kurudi nyumbani akiwa na uhakika wa kulipuka mwisho wa wiki na kuweza kwenda popote bila wasiwasi na kuonekana ‘Sharuli baria.’  Alipofika nyumbani alijifungua ndani na kutinga viwalo vyake na kujisifia amependeza.

    Alitembea kwa mikogo toka upande mmoja huku akiigiza ameshikana mkono na Betty na kuamini siku hiyo patachimbika bila jembe.

    Baada ya zoezi lake kwenda vizuri alijipanga kuisubiri siku ifike ili akaue tembo kwa ubua.

                                                                                     ***

    Betty baada ya kubadili uamuzi wa kwenda nyumba ya wageni na zoezi lile kufanyikia nyumbani, alipanga kumfanyia sapraiz Shaka ya kumpa penzi ili asijipange na kufanya matangazo.

    Shaka bila kujua ndiyo ilikuwa siku yake ya kutimiza ndoto, alikwenda kwa Betty akijua kama kawaida atapiga stori na kurudi nyumbani.

    Siku ile alishangaa kukuta nyumbani pale Betty yupo peke yake,  tena katika vazi la upande wa kanga ambao ndani haukuwa na kitu na kumfanya Shaka  kuwa kwenye wakati mgumu.

    “Vipi mchumba mbona upo peke yako?” Shaka aliuliza.

    “Bi mkubwa amekwenda kwa dada Kinondoni leo nipo peke yangu, nakuja.” Betty alielekea chumbani kwake.

    “Mmh!” Shaka aliguna baada ya kuachiwa mzigo kwa nyuma uliokuwa ukipishana kama umemwagiwa maji ya baridi na kuanza kutetemeka.

    Betty alijifanya hakusikia aliendeleza utundu ili kuhakikisha Shaka anapandisha sumu ya mahanjamu.

    “Shaka umeshaoga?” alimuuliza baada ya kurudi huku macho yakiwa yamemlegea.

    “Bado nikitoka hapa nakwenda kuoga kisha nalala si unajua Dar usiku bila kuoga huwezi kulala.”

    “Twende ukaoge nimekuandalia maji bafuni.”

    “Hapana mchumba nitaoga nyumbani.”

    “Shaka unataka kuniudhi, mimi nani yako?”

    “Mchumba wangu.”

    “Na ni nani yako sasa hivi?”

    “M...pe..pe..nzi wangu,” Shaka alipata kigugumizi cha ghafla.

    “Sema mpenzi wangu.”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Mpenzi wangu.”

    “Basi amka ukaoge, si umeyataka mapenzi basi usiyaogope.”

    “Sawa mpenzi.”

    “Na nguo zako zivulie hapahapa.”

    “Aah! Mchumba acha nikavulie bafuni.”

    “Unamuogopa nani wakati tupo wawili tu mpenzi?”



    Shaka ilibidi awe mpole, alivulia palepale huku kitu kikiwa hewani kama antena ya king’amuzi. Jicho la Betty lilitua kwenye mkonga wa tembo na kujikuta akisisimkwa na mate ya uchu yalimtoka, akajikuta akiisifia kimoyomoyo akishangaa kijana mdogo kuwa na bakora mujarabu.

    Aliishika na kumfanya Shaka aruke nyuma na kusema:

    “Kweli mambo yako dijitali, naona king’amuzi kinaonesha bila chenga mbona leo nitafaidi mtoto wa kike.”

    Alimshika mkono na kuongozana naye, wakati huo mkono wa Shaka haukucheza mbali na kambi ya jeshi ili kumtuliza. Baada ya kumwacha bafuni alitoka mara moja.

    Baada ya muda Betty alirudi, alipofika mlangoni alisukuma mlango na kumfanya Shaka atoe sauti.

    “Mchumba bado naoga.”

    “Tatizo nini?” Betty alisema huku akiingia bafuni bila kitu mwilini.

    Shaka alipofumbua macho alishtuka kuuuona mwili wa Betty bila kitu kwa mara ya kwanza. Hakutegemea kumuona Betty kuwa vile siku ile, alitegemea kuuona siku ya kuua tembo kwa ubua.

    Mshtuko alioupata ulisababisha mnazi kuanguka chini, Betty alioga pamoja na Shaka. Baada ya kuoga alimfuta maji kisha alimshika mkono na kumpeleka chumbani kwake ambako Shaka katika siku zote alizowahi kufika pale hakuwahi kuingia chumbani kwa Betty.

    Shaka alishtuka kuona akiingizwa chumbani na kukuta kitanda kimetandikwa vizuri, kilikuwa chumba cha thamani ambacho hakuwahi kuingia. Betty alimkalisha kitandani na kushangaa kuuona mnazi wa Shaka umelala.

    “Vipi mpenzi mbona mnazi umelala?”

    “Hata sijui!”

    Alimwacha na kwenda kuchukua mafuta ya masaji na kuacha sehemu ya ‘plate number’ za nyuma ikisomeka kwa usahihi. Shaka pamoja na uchu bado hakuamini kama ile ndiyo siku waliyokubaliana.

    Yeye alijua makubaliano ni mwisho wa wiki na kwenye nyumba ya wageni. Muda wote alikuwa kama yupo ndotoni na mshtuko aliopata ulisababisha mnazi kulala na kupoteza kujiamini kabisa.

     Muda wote aliangalia chini kama mwari aliyekuwa akisubiri kufichuliwa. Moyo ulimuuma kuona anapoteza kujiamini siku ya ahadi.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Betty baada ya kuchukua mafuta mepesi alimlaza kifudifudi na kuanza kumchua taratibu kiungo kimoja kimoja. Wakati akijua anamuandaa mwenzake, Shaka alikuwa mbali na kujiuliza mbona hakumtaarifu mapema ajiandae kuliko kumshtukiza vile.

    Baada ya kumaliza kumchua mgongoni alimgeuza na kuanza kumchua mbele. Lakini alishtuka kuona mnazi umeendelea kulala. Alipojaribu kuushtua bado ulikuwa umelala dolo.

    Alijaribu kuuchua mnazi ili usimame aweze kuyafaidi madafu ya mnazi mchanga ulionekana una madafu matamu lakini alijikuta akitumia muda mwingi bila mafanikio huku jasho la uchu likimtoka. Alijikuta akijipaka upupu bila mkunaji.

    “Shaka vipi?” ilibidi amuulize baada ya kuona hakuna dalili zozote za mnazi kunyanyuka, mtalimbo ulikuwa umelala dolo.

    “Hata mi nashangaa,” Shaka alijibu huku aibu ikiwa imemtawala.

    “Unashangaa nini, unajijua una matatizo umenitaka ili iweje? Leo hii nipo kwetu ingekuwa nyumba ya wageni gharama zangu ungezilipa?”

    “Samahani mchumba, mwanzo ulikuwa na nguvu nashangaa umelala ghafla.”

    “Una mpenzi?” Betty alimuuliza huku akimtazama kwa hasira.

    Shaka kwa kuhofia kuonekana malaya alikataa.

    “Sina.”

    “Hujawahi kuwa na mwanamke?” alimuuliza akiwa amemkazia macho.

    “Ndi...ndii...yooo.”

    “Sasa kama hujawahi kuwa na mwanamke uliwezaje kunitongoza, ikiwa wanuka mikojo wenzio umewashindwa?” Betty alisema kwa hasira  huku ameishikilia bakora mkononi iliyokuwa imetulia kama haijui muda ule ilitakiwa ifanye nini.

    “Nilikuwa naye nikaachana naye.”

    “Shaka kweli ulishawahi kufanya mapenzi na mwanamke?” Betty alimuuliza huku akifuta jasho kwa kiganja cha mkono lililokuwa likimvuja.

    “Ndiyo.”

    “Huna matatizo?”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    ITAENDELEA-

0 comments:

Post a Comment

Blog