Search This Blog

Monday, October 24, 2022

NILAMBE TENA - 1

 







    IMEANDIKWA NA : JUNIOR NICKSON





    *********************************************************************************



    Chombezo : Nilambe Tena

    Sehemu Ya Kwanza (1)



    Ashh!!! OOhhpss!! Bado buana. Kidogo tu hata mizuka haijanipanda ushanilalia kifuani.

    “Nilambe tena buana”

    “Sina tena muda huo kwanza sitaki tena”

    Hiyo ilikuwa ni katika nyumba ya kupanga. Maisha yangu ya hali ya chini mno. Kuishi chini ya elfu moja na mia tano. Chumba nilichokipanga hakikuweza kuzuia sauti za chumba cha jirani yangu. Hivyo ikawa ni suluba

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

     mno kwa upande wangu kutokana na sauti ile ya mwanamke jinsi alivyoonekana kulalama kimahaba lakini mpenzi wake akamjibu vibaya. Cha kunishangaza baada ya jibu lile, sauti ya mwanamke ikasikika akilia kilio cha chinichini. Alionekana kukatishwa mbio ghafla. Mbio za raha. Nikamuonea huruma sana. Lakini mwisho nikapitiwa na usingizi wala sikujua kilichoendelea. Kama alilambwa tena au iliishia pale. Swali nililojiuliza ni kwanini alie? Lazima kuna kitu.

    Kesho yake nilikuwa wa kwanza kuamka. Nilikuwa mgeni katika nyumba ile hivyo sikuwa nawafahamu wenyeji. Lengo langu kuamka mapema, ni ili nipate kumuona yule mwanamke aliyelia usiku kisa kunyimwa kulambwa. Usishangae hili, sikuwa na uhakika kama ni mpenzi wake wa moja kwa moja. Maana wahuni wengi kuchukua dada zetu kuwatumia kwa usiku mmoja na kuwaacha. Basi nilichokifanya nilitoa nguo zangu nje ili kufua. Usicheke! Hazikuwa chafu lakini hivyo tu ili niweze kumuona mwanamke yule. Ni kweli fikra zangu zilikuwa sahihi. Asubuhi ileile na mapema, nikamuona mwanamama mkubwa tu akitoka katika chumba kilichomtoa machozi usiku uliopita. Nikashangaa sana mama mkubwa vile eti analilia kulambwa. Alaa!! Nikawaza sana wakati huo akizidi kutembea kwa mbwembwe. Ewalaa!!! Ni vile nilikuwa mwenyewe pale nje, vinginevyo ningekuwa kichekesho kwa watu. Sijui nilianza na mguu gani kupiga hatua, lakini nilijikuta tu nikiwa namfuatilia kujua ni wapi anaishi. Taratibu kama sitaki. Duh!! Si akasimamisha daladala? Nami haraka nikaingia ndani. Mradi tu nifanikiwe kufahamu. Kwa bahati mbaya, muda wa kudai nauli ndipo nakumbuka sikuwa nimechukua fedha. Katika kumuelewesha konda, ndipo mama yule akajitolea kunilipia. Wote tulikuwa tumesimama baada ya kuingia ndani na kukosa sehemu ya kukakaa. Niwe muwazi kwamba aliniokoa na kuzabwa makofi. Maana asubuhi ile daladala nd’o limeingia barabarani halafu umzingue konda na nauli. Wee!! Kutoka kituo tulichopana, akaomba kuteremka kinachofuatia. Nami alipoteremka nikateremka. Sikutaka kupoteza pointi, nikamshukuru kwa kunisaidia.

    “Bila wewe sidhani kama muda huu ningekuwa na nguo mwilini maana hawa makonda wana hasira kwelikweli”

    “Usijali, kawaida tu huenda hata wewe uliwahi kumsaidia mwingine katika njia nyingine hivyo hayo ndiyo malipo yako.” Hapo ndipo akanichanganya kwa sauti yake ya kubembeleza. Sauti itokayo puani kana kwamba hataki kuongea au akiongea anapata maumivu. Mama mweupe. Weupe wa wastani. Wenye kung’arang’ara. Kalio la wastani. Kiuno kilichokatika haswaa. Ebahana mi sisemi sana maana doh!! Nilimkubali.

    “nashukuru” tukaishia hapo kimaongezi lakini nikabaki na kazi moja ya kuhakikisha napafahamu anapoishi. Nikafanikiwa kumuona akiingia ndani ya nyumba moja ya maana. Nasema hivyo kumaanisha nyumba ya gharama. Siyo kinyumba chako hicho cha elfu mbili na miamoja halafu kelele kila kukicha mtaani. Oohh nimejenga. Oohh nina nyumba. Nyumba?? Watu wana viberiti vimepanda tu huko hewani lakini wala hawaongeiongei. Haya utajua mwenyewe na mbwembwe zako za nyumba topetope kutunyima usingizi.

    Baada ya kutimiza lengo langu, nikaanza safari ya kurudi nyumbani kwa mguu. Adhabu hiyo. Kisa tu kusikia nilambe tena. Pamoja na kuchoka lakini nilifika. Nikasuuza nguo zangu vyema na kuzianika. Hiyo ilikuwa ni siku yangu ya pili kuwapo ndani ya nyumba ile, huku ikiwa ya kwanza kufahamiana na wapangaji wenzangu. Nyumba ilikuwa na vyumba nane. Hatukuwa tukiishi pale na mwenye nyumba lakini aliweka msimamizi wake ambaye naye alikuwa mpangaji kama mimi. Alikuwa na mwanamke. Labda kwa kukadiria kama miaka thelathini na tano. Kadri siku zilivyokuwa zikisogea, ndivyo nilizidi kuwafahamu wapangaji maana wengi walikuwa na shughuli zao kurudi ni majira ya usiku. Kazi yangu ilikuwa ni ufundi seremara. Si hiyo tu. Kujenga, kutembeza urembo wa wanawake. Nilijishughulisha na shughuli mbalimbali ili mojawapo ikidorola katika mapato, basi nahamia nyingine. Mjini kujituma. Sikuogopa kazi. Watu walinipenda kwasababu ya uchapakazi wangu. Nafsi yangu ikalifurahia hilo kwasabubabu ramani za kazi nilipewa nyingi. Na jinsi ramani zilivyoongezeka, ndivyo mfuko wangu ulituna fedha japokuwa za kubadilisha mbonga na nguo. Sikuwa nimeoa wala sikuwa katika mahusiano kwa kipindi kirefu mno. Nathubutu kusema kipindi kirefu kwasababu ilikuwa yapata miaka mine pasipo kuwa na mpenzi hata wa kusingizia. Si kwamba si kwamba sikuwa na hisia. Lah! Lakini kila nilipokumbuka jinsi mpenzi wangu alivyoniacha kwa dharau kubwa kwasababu ya ufakara wangu, nilikuwa nikiumia nafsi yangu kwa kiasi kikubwa. Akasahau kwamba ipo siku ningefanikiwa kimaisha kwasababu sikuwa mvivu lilipokuja suala la kazi. Ni wengi mno walioonwa na mboni za macho yangu na kuuruhusu moyo wangu kutamani lakini niliishia kujisemea kimoyomoyo. “Labda unipe bila kukutongoza” kauli ya kipuuzi. Kabla ya kupanga ndani ya nyumba ile ya Mzee Mbwana, nilikuwa nimepanga mahali ambapo hapakuwa na wanawake kabisa lakini nikapashindwa kwasababu ya sharia za kubadilikabadilika na kusababisha kero. Sikuwa nikipata usumbufu wa kupishana na wanawake hata kwa bahati mbaya. Lakini sasa niliangukia katika nyumba ya wanawake wengi kuliko wanaume. Ndani ya vyumba nane, vitano vilimilikiwa na wanawake na viwili wanaume. Huku kimoja kilichosalia, wakiishi waliooana. Naamini sasa nimekupatia mwanga mfinyu wa kunifahamu na kufahamu mazingira ya kazi zangu. Twende katika songombigo kali na lenye kusisimua. Nilambe tena.

    Ni katika pilikapilika zangu za useremara, ndipo nilikutana tena na mwanamama yule aliyesababisha nitoe nguo zangu safi na kuziloweka kwenye maji. Alikuwa akihitaji thamani za nyumba yake. Yeye pia alistaajabu kukutana na mimi tena. Lakini ule msemo wa wahenga ulikamilika. Siku hiyo kuja kazini kwangu, alikuwa na gari lake. Tx. Kwa wapenzi wa muziki nikitaja Tx basi wamemkumbuka Tx M.William. Tukaelewana bei ya thamani zake. Mwisho akaniaga lakini akaniomba siku ya kuchukua mzigo wake niandamane naye ili niweze kumpangia ndani kwake. Akaondoka nami nikaianza kazi ile maana ilikuwa na ujira mzuri. Ilivyoonekana alikuwa ni mwenye fedha japo hadi wakati huo, sikuwa nimemfahamu kiundani. Kama alikuwa ameolewa au lah!

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nilitumia mwezi mzima kukamilisha kazi yake. Siku ya kuchukua mzigo wake ilikuwa ni jumapili. Akaja na gari lake lilelile pamoja na la kubebea mzigo. Baada ya kupakia vitu vyake, akanitaka kupanda kwenye gari lake na si lile lililokuwa limepakia mzigo. Njiani sikuwa na story kabisa kutokana na kwamba sikuwa nimemzoea. Naye hakunisemesha hadi tulipofika nyumbani kwake. Geti likafunguliwa magari yakaingizwa ndani. Nikasaidiana na yule aliyefungua geti kushusha vitu. Baada ya kushusha vitu vyote na kuviingiza ndani kimojakimoja na kuhakikisha kinawekwa pale alipopataka, yule mfungua geti akatoka nje tukabaki wawili ndani. Nami nikamuaga ili niondoke baada ya kukamilisha kazi yake, lakini akanitaka kusubiri kama dakika mbili ndipo ataniruhusu niondoke. Akaingia chumbani kwake na kuaniacha sebuleni nikiushangaa uzuri wa mandhari ya nyumba ile huku nikijiuliza ni yak wake binafsi au kuna mtu mbele au mngongoni kwake. Haikupita muda, akatoka lakini kivingine.



    Glasi mbili mkononi zote zikiwa na

    kimiminika ndani mwake. Lakini pia mwili

    wake ukiwa na harufu tofauti na ile niliyoisikia kabla hajaingia chumbani

    kwake. Ile harufu ilivutia na nilitamani

    kusogeza pua zangu katika mwili wake ili

    niweze kuifaidi vyema ile harufu yake.

    Mbali na zile glasi za juisi, vilevile alikuja

    kivingine kwa upande wa vazi. Gauni jepesi tena lililonionyesha vazi la ndani

    rangi ya pink. Nilikuwa nimekaa katika

    sofa la watu wawili. Akavuta meza ya

    kioo karibu ya sofa lile na kuweka zile

    glasi. Kisha akakaa pembeni yangu.

    Akanipatia glasi moja na kunikaribisha. Sikuwa mnywaji wa pombe. Katika hilo

    siwezi kujua aliweza vipi kugundua

    situmii pombe. Kile kinywaji,

    nisidanganye. Sijui jina lake wala

    sikumuuliza. Lakini ladha yake na jinsi

    kilivyokuwa kikipita kooni mwangu, nilihisi utamu wa aina yake.

    “Ni jinsi gani unajisikia pindi upewapo

    ambacho hukukitolea jasho?” aliniuliza

    swali ambalo kama dakika moja

    nilitafakari kama ni mtego au lah!

    “Najisikia vyema.” Nilimjibu. “Na pindi ukiumia kwasababu ya kupewa

    ambacho hukukitolea jasho?” aliniuliza

    tena.

    “N’na uhakika hata wewe unayeniuliza

    huwezi kufurahia maumivu. Haijalishi

    yamekutokea katika mazingira ya aina gani.” Nilimjibu na kumfanya achake

    lakini kwa staili ya kuichanganya akili

    yangu. Akaupandisha mguu wake wa

    kulia juu ya ule wa kushoto. Nilikuwa

    upande wake wa kulia. Hivyo kufanya

    vile, paja la mguu wa kushoto likawa wazi. Kunimaliza zaidi, macho yake

    akayaleta usoni mwangu kwa

    kunitazama pasipo kupepesa. Kuna

    wanawake wameumbwa kuwatenga

    wanaume na ukichomoka katika anga

    zake, basi wewe si mzima. Kitendo kile, jumlisha na kuishi muda mrefu katika hali

    ya kutofanya mapenzi huku nikila vyakula

    vizuri vya aina mbalimbali, kikaniletea

    mshtuko katika fahamu zangu.

    Nikashindwa kuongea naye akabaki

    kunitazama zaidi na midomo kumtetemka. Usidhani niliganda kwa

    kupigwa shoti ya umeme, hapana!!

    Msisimko ulionishika nilishindwa kujizuia.

    Akashusha mguu wake na kunisogelea

    zaidi. Akanizungushia mikono yake

    shingoni mwangu na kukisogeza kinywa sikioni kwangu.

    “Yale maswali niliyokuwa nikikuuliza

    mwanzo nilikuwa na maana kwamba

    nakupa chakula changu ukile bure pasipo

    kutoa jasho. Ukiweza kukila vizuri

    nitakuridhisha mambo mengi katika maisha yako.” Maneno yale niliyasikia

    vyema lakini kuongea nilishindwa

    kwasababu pumzi zangu zilikaribia

    kukata. Siwezi kuwa na jibu sahihi la

    kwanini wanadamu tulipewa TAMAA

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    katika fahamu zetu. Kwasababu tukishakumbwa na tamaa kumbukumbu

    zetu hupotea na huwa hatufikirii tena.

    Kuambiwa nitaridhishwa mambo mengi,

    nikiangalia maisha yangu ya kubangaiza,

    nikapata nguvu na msisimko ukazidi

    mara mbili zaidi ya awali. Sikuongea maneno zaidi ya vitendo. Sikuwa mzoefu

    sana katika uwanja wa mapenzi lakini

    nimpe shukrani mwanadada Eggy. Huyo

    ndiye alinifundisha mapenzi. Jinsi ya

    kumpagawisha mwanamke akakolea.

    Ilikuwa kila tukiwa katika uwanja wa kupeana penzi, ananifundisha kwa

    vitendo. Mara aniambie nimpapase

    kiuno. Mara aniambie nimpapase katika

    nyayo. Akiona haitoshi ananiambia

    nimlambe masikioni. Kama bado

    utamsikia akinitaka kumnyonya chuchu. Na mengineyo mengi. Nisikuchelewesh

    ee uhondo. Elimu aliyonipa Eggy, ikawa

    ni muda wa kuifanyia kazi. Nikamtaka

    tuhamia katika sofa la mtu mmoja.

    Wajua kwanini? Jibu rahisi mno. Kwenye

    sofa lile ukimbana mwanamke hana ujanja. Dogo halina nafasi ya

    kuzungukazunguka kukupa tabu pindi

    mizuka na akili zikimruka. Kwahiyo

    unampatia vyema kila akikuona mwili

    unamsisimka. Hakulielewa lengo langu.

    Tukahamia. Yeye akakaa mimi nikapiga magoti chini kisha nikazungusha mikono

    yangu kiunoni mwake na mdomo wangu

    ukausogelea wa kwake. Nilikuwa na

    mwanya mzuri wa kumnyonya mate huku

    nikimpapasa mapajani au hata

    kuminyaminya chuchu zake lakini ili kumnyima pumzi nimchoshe haraka,

    ikanibidi kumbania kifuani mwangu. Ile

    tabu alionipa awali, ikahamia kwake.

    Akaanza kuhema kwa kasi. Nami tayari

    nilishatamani joto lake nikatoa mikono

    kiunoni mwake ili niweze kumvua nguo zake. Nikapeleka mikono mngongoni

    kwake ili kumfungua zipu ya gauni lake.

    Lakini kabla ya kufungua, ukasika

    muungurumo wa gari na haikupita muda

    nikasikia sauti ya yule kijana aliyefungua

    geti akiongea na sauti ya kike huku akiulizwa kama mama yupo. Mh!

    Nikamuachia naye akaonekana

    kushtuka. Starehe iliyokuwa iendelee

    ikaishia hapo na kutuacha katika hali ya

    hasira kwa kuharibiwa. Kila mmoja

    akakaa katika sofa lake. Muda si mrefu mlango ukafunguliwa akaingia msichana

    ambaye alinishtua viungo vyote vya

    mwili. Alikuwa ni mzuri haswaa. Siyo

    wewe unajiita beauty uso umekakamaa.

    Chunusi kibao. Madoadoa meusi

    utadhani chatu. Miguu imeangaliana kama meza. Ukisikia mzuri hana kasoro

    labda zile za ndani ya mwili wake na siyo

    za nje. Tuache hilo, endelea kujiita mzuri

    wakati ukivua nguo ngozi imekoboka

    kama machicha ya nazi. Alikuwa ni mtoto

    wake. Akatusalimia na kuelekea katika moja ya vyumba.

    “Ni mwanangu wa pekee. Huyo ni sawa

    na mboni ya jicho langu. Ubaya na mimi

    ni hapo kwa Lina. Upendo niliokuwa

    nampa baba yake kabla hajafa,

    niliuongeza kwake. Kwahiyo nampenda mara mbili. Upendo wake na wa baba

    yake. Nategemea mwaka huu awe katika

    viunga vya Florida interanational

    university college of law.” Mama lina

    huyo na maneno yake kuhusu mtoto

    wake. “Hongera. Ni mzuri.” Nilimsifia mwanaye

    huku rohoni nikimpa MUNGU shukrani

    kwa uumbaji wake. Lakini msomi na

    wasomi wengi huwadharau mafukara wa

    elimu.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “nyama ishaingia mchanga haiosheki tena ikatakata.” Alimaanisha kwamba ile

    burudani isingeweza kuendelea tena.

    Sikuondoka muda huohuo. Niliendelea

    kubaki pale hadi chakula cha mchana.

    Nikajumuika nao mezani. Lina

    alionekana kunichangamkia sana hadi nikashagaa kwakuwa si kawaida ya

    wasomi na hali yangu. Alishatambulish

    wa kazi yangu. Lakini ikawa tofauti.

    Kunithibitishia kwamba yeye hana

    dharau wala ubaguzi, pale nilipoaga ili

    nirejee nyumbani, akamuomba mama yake kunipeleka yeye kwa gari lake. Kiasi

    mama yake alionyesha kusita lakini

    hakuwa na namna alimruhusu. Akatutoa

    hadi nje tukaingia kwenye gari geti

    likafunguliwa na safari ikaanza.

    “Nimemuomba mama kukusindikiza kwasababu wewe ni fundi.” Alikuwa ni

    Lina ndani ya gari akiendesha Harrier

    yake kwa mapozi kama vile hataki tufike.

    “ Inamaana nisingekuwa fundi

    usingenisindikiza?” nilimuuliza ili kupata

    udani wa kauli yake. “Naondoka nchini kuelekea chuoni

    Florida mwezi ujao. Kabla sijaondoka,

    nilitamani unisaidie kazi moja tu maana

    wewe ni fundi. Na nina uhakika unaweza

    tena kwa kiasi kikubwa ndiyo maana

    mama yangu anakusifia sana. Si kwamba ameanaza kukusifia leo. Hapana ni siku

    nyingi mno tangu ameanza kukusifia.”

    Mh! Nilishangaa maneno ya Lina kiukweli

    kwasababu hatukuwa tumefahamiana

    siku nyingi na mama yake.  Iweje aseme

    nimekuwa nikisifiwa mara nyingi.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog