Search This Blog

Monday, October 24, 2022

JAMANI KAKA CHENI …NDIYO NINI SASA?! - 2

 





    Chombezo : Jamani Kaka Cheni … Ndiyo Nini Sasa?!

    Sehemu Ya Pili (2)



    Mama alikaa uani akiosha vyombo. Aliponiangalia nikitoka chumbani kwangu aliacha kuosha, akaonesha dalili za



    kuzubaa huku akinikazia macho na kuniuliza…

    “We Tina una nini… mbona umekuna sana uso?”

    “Sina kitu mama…”

    “Huna kitu wakati sura yako inaonesha una kitu? Umechukia nini?”

    “Usingizi tu mama, haujaisha sawasawa…”

    “Sasa kama usingizi haujaisha sawasawa nani kakulazimisha kuamka?”

    Badala ya kumjibu mama, niliangalia nyuma yangu ambapo kuna mlango wa kuingia chumbani kwangu na mlango wa

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    kuingia chumbani kwa kaka ‘angu, anaitwa Cheni. Nilizoea kumwita kaka Cheni.

    Kaka Cheni na mimi tuliachiana ziwa kunyonya. Tumesoma wote shule ya msingi, darasa moja licha ya yeye kuwa ni



    mkubwa kwangu kwa tofauti ya miaka miwili. Nadhani pengine umbo linachangia, maana mimi nina umbo kubwa.

    Urefu tuko sawa, lakini nimemzidi wowowo, rangi nyeupe na mng’aro wa ngozi yangu. Watu wanasema tumefanana



    lakini mwanamke ni mwanamke tu bwana! Mimi nina macho mazuri ya golori yeye yake ya kiume, makavu kama mjusi



    kabanwa na mlango.

    Katika maisha yetu ya undugu, nimekuwa nikimshuhudia kaka Cheni akikua mpaka kubadilika sauti, hasa baada ya



    kumaliza darasa la saba. Sauti ilianza kuwa nzito kiasi kwamba alipokuwa akiongea yeye, nje watu walijua ni baba.

    Wakati anaanza kutamani wasichana, alikuwa akigombana sana na baba na mama wakimwambia akiharibu watoto wa



    watu mzigo ataubeba mwenyewe. Lakini kaka Cheni hakuwahi kujirekebisha kuhusu hilo.

    Wasichana wengi mtaani kwetu, mfano Mage, Joy, Asha, Mwajuma, Kidawa, Halima, Moureen, Asumta, Doto, Aisha,



    walikuwa wakinitania mimi kwa kuniita wifi Tina kwa sababu ya kaka Cheni kuwatokea.

    Wazazi walipoona sasa kijana wao amekuwa hashikiki, waliamua kumwamishia kwenye chumba cha nje ambacho

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    kimepakana na changu.

    Sasa ili uingie chumbani kwa kwangu au kwa kaka Cheni ilikuwa lazima utoke ndani kuja nje au uani. Kwa hiyo mimi



    na kaka Cheni ndiyo pekee tulikuwa tunaishi vyumba vya nje. Ndani nyumba kubwa waliishi wazazi wetu lakini pia



    aliishi bibi mzaa mama. Kaka yetu mkubwa alikuwa akiishi Arusha kikazi na alishaoa siku nyingi.

    Nyumba za uswahilini zinajulikana jamani! Chumba na chumba vilitenganishwa na ukuta tu lakini juu hakukuwa na



    kitu, yaani kama mimi nililala nikazima taa halafu kaka Cheni akawa hajalala akawasha taa, mwanga wake ulifika



    mpaka chumbani kwangu.

    ***

    “Sasa unapoangalia mlangoni una maana huo usingizi ndiyo upo pale? Halafu mbona nakusikiaga usiku mkitupiana



    maneno na kaka yako, kwani kunakuwaga na nini? Kwa nini hamuheshimiani lakini?” mama aliuliza.

    Ni kweli, siku tatu nyuma nilijibizana na kaka Cheni. Mimi nina jamaa yangu, akinihitaji namfuata gesti au baa kukaa.



    Yeye kaka Cheni akiwa na wasichana wake anawaleta chumbani nyumbani, ndipo kelele zangu kwake ni hizo…

    “Hakuna kitu mama,” nilimjibu mama kisha naye akaendelea na kuosha vyombo.

    Mara, kaka Cheni akatokea akiwa anafikicha macho kuashiria kwamba naye alikuwa akiteswa na usingizi kama

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    mimi…

    “Haaa! Haa! We Cheni, ina maana ulikuwa bado umelala?” mama alimuuliza kaka Cheni ambaye alikubali kwa



    kutingisha kichwa…

    “Yaani mtoto wa kiume unalala mpaka jua linatoka, husikii aibu? Vijana wenzako wote mtaani wameshatoka…



    Mgunda amepita nje sasa hivi…Mashaka nimemwona na baba yake wanakwenda mjini…wewe bado umelala.”

    Kaka Cheni akaonekana kuchukia, akarudi chumbani. Baada ya muda akafungulia redio kwa sauti ya juu huku



    akifuatisha wimbo uliokuwa ukipigwa.

    Nilisimama nikaenda kuoga, nilipotoka nilijiandaa na kwenda zangu chuo.

    Siku hiyo nilishinda darasani nikijiuliza kama maisha ya kaka Cheni pale nyumbani ni sahihi. Si kwa maana ya kuishi



    bali kwa maana ya vitendo vyake. Kwanza hana kazi maalum lakini anapiga pamba ile mbaya.

    Nilijiuliza hata videmu vyake anavipa nini mpaka kumpenda kiasi kile. Maama mimi mtaani umaarufu wangu



    ulitokana na kaka Cheni.

    “Nitamshauri kaka Cheni ahame. Atafute chumba akapange kokote kwingine, pale nyumbani si sahihi tena kwake,”



    niliwaza moyoni.

    ***

    Ilikuwa saa mbili na nusu usiku, tulikuwa sebuleni tunakula, mimi nakula na mama na bibi, kaka Cheni anakula na

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    baba kwenye meza yao. Kwa mbali mimi nilisikia mlio wa mlango wa chumba cha kaka Cheni ukifunguliwa,



    nilimtupia jicho baba akaonekana hajasikia, nikamwangalia mama, pia akaonesha hajui kinachoendelea, nikamwangalia



    kaka Cheni mwenyewe, akanifinya jicho.

    Ina maana yeye alijua kuna mtu kaingia chumbani kwake. Mimi kwa haraka tu nikajua ni mmoja kati ya mademu zake



    maana sijawahi kumwona mwanaume kaingia chumbani kwake zaidi ya kuishia nje.

    Palepale kaka Cheni akanawa, akasimama ili aondoke…

    “Cheni,” aliita baba…

    “Naam…”

    “Kaa hapo,” baba alisema kwa sauti yenye mamlaka. Kaka Cheni akakaa…

    “Mimi nani?”

    “Baba…”





    “Sasa unapata wapi ujasiri wa kunawa kabla yangu na kuondoka?”

    Kikwetu, kama unakula na mkubwa, hata kama utatangulia kushiba huwezi kunawa. Itabidi chakula kwenye mikono kigandiane weee mpaka mkubwa ashibe, anawe yeye. Au kama vipi utoke ukanawie uani huko.

    Lakini hilo linatokana na utamaduni wa kizamani kwani mtindo wa kunawa ni ule wa chombo kimoja. Anaanza mkubwa kuliko wote, anaingiza mkono kwenye chombo cha maji, akimaliza anakuja mkubwa anayefuatia mpaka mtu wa mwisho kuzaliwa.

    Basi, kaka Cheni akaomba msamaha lakini bahati njema alikubaliwa msamaha wake akatakiwa kuondoka. Kaka Cheni aliondoka kwa kasi kama vile nje kulikuwa kuna basi lilikuwa linamsubiri yeye tu.

    Nilijiuliza sana kuhusu hilo. Nikaunganisha na mlio wa mlango kufunguliwa, nikabaini kwamba, kuna mgeni kaka Cheni amemuwahi chumbani kwake na kama ni mgeni kweli, hakuna mwingine zaidi ya mmoja wa mademu zake kibao.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Tulimaliza kula, mimi nikatoa vyombo na kuviweka mahali kwake ili baadaye, chakula kikishashuka tumboni nianze kuosha.

    Niliamua kwenda chumbani ili nikajilaze kidogo. Ile nafungua mlango tu, nikasikia sauti ya kike yenye mhemko kutoka chumbani kwa kaka Cheni. Mwanamke alikuwa akizungumza maneno matamu ya mapenzi huku akiweweseka kimahaba.

    Licha ya mlango wangu kutoa mlio kuashiria kwamba naingia chumbani, lakini bado huyo demu hakuacha kupiga mayowe ya mahaba, tena aliongeza kasi.

    Mwili ulinisisimka, nikahisi kibaridi kwa mbali huku nikiwa natamani nami nishikwe sehemu mbalimbali za mwili ili nijisikie nafuu. Hapo nilikuwa nimekaa kitandani kwangu.

    Nilimsikia kaka Cheni akiguna kiume tu huku akiwa hasikiki anachosema lakini nilijua yupo katikati ya mechi na huyo mwanamke wake.

    Mihemko ilichanganya, sasa nikawa nayasikia sawia maneno ya yule mwanamke. Alikuwa ananipa kwa sauti picha inayoendelea kule huku akimwamuru kaka Cheni mambo kadha wa kadha. Kama vile kuongeza kasi na kupunguza. Kuna wakati alimtaka kubadili mapozi.

    Hali hiyo ilinipa mimi wakati mgumu sana kiasi kwamba nilijikuta napindukia kitandani na kulala chali kuangalia juu.

    Licha ya jua la mchana kuwaka sana na kusababisha joto, lakini sikuona kama ni madhara kwangu. Niliendelea kufuatilia mpambano wa chumbani kwa kaka Cheni.

    Kama vile haitoshi, nilianza kujishikashika mwenyewe sehemu mbalimbali za mwili wangu nikifika hadi kwenye kifua na kutalii hapo kwa muda nikijihamasisha na mikono kwenye nido zangu.

    Ilibaki kidogo nilie kwa sauti hasa baada ya yule mwanamke kumtaja jina kaka Cheni na kumwambia hatua inayofuata kwake.

    Nilijikuta na mimi nikijinyoosha miguu na kutulia tuli kwa muda huku nikihema kwa kasi. Sikujua nini kilitokea, nikapitiwa na usingizi mzito sana. Nilikuja kushtuka baada ya kuhisi mlango wangu unagongwa, nikakurupuka na kwenda kuufungua.

    “Wewe utaosha vyombo saa ngapi?” mama aliniuliza.

    “Nakwenda mama.”

    Kabla sijakwenda kuosha vyombo, nilikwenda kuoga kwanza. Si mnajua tena!

    ***

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Siku hiyo baada ya chakula cha usiku, nilitoka zangu kwenda kwa jamaa yangu. Niliona afadhali akanikate kiu ili nikirudi, hata kama kaka Cheni atakuja na mmoja kati ya mademu zake, nisiwe na muhemuhe!

    Nilimkuta jamaa yangu, akanipokea, akanipa mahaba nitoe uhai. Mambo yalikwenda vizuri sana. Saa nne usiku alinisindikiza kurudi nyumbani huku moyoni nikimcheka kaka Cheni kwamba kama lengo lake ni kunirusha roho mimi dada yake, aandike ameumia kwani mwenzake nilirudi nikiwa mwepesiii!

    Nilipokaribia nyumbani, jamaa yangu aliniaga, akarudi kwake. Lakini ile naingia ndani tu, jamaa yangu akanitumia meseji kuniambia kwamba, amepishana na bro wangu Cheni akiwa na demu ana wowowo hilo, we acha tu. Nikamuuliza anakwenda wapi, hata kabla hajajibu, kaka Cheni akaingia chumbani kwake…

    “Karibu Kibibi,” kaka Cheni alikaribisha, moyoni nikasema ohoooo! Kibibi namfahamu sana, si mwanamke bali ni shangingi asiyetaka kustaafu!

    Ni kweli Kibibi ana liwowowo mfano mtaani kwenu hakuna! Mbaya zaidi anapenda sana kuvaa mikanga bila kufuli kwa ndani, sasa akitembea weee! Mbengele… mbengele…utasema kuna sehemu za nyama kwenye muwowowo wake zinakaribia kuanguka.

    “Mmmh…kama ni Kibibi leo silali humu ndani,” nilisema moyoni kwani najua Kibibi ni mwanamke asiye na haya wala soni achilia mbali aibu.

    Moyoni nilimsifu kaka Cheni, yaani mchana yule, usiku huyu tena! Loo! Niliamua kulala mapema ili nisisumbuliwe na mambo yao yatakapoanza. Niliwakadiria wataanza mechi baada ya kama nusu saa za kusaka stimu kwanza kwa maongezi, kumbe weee..!



    Nilisikia bwana! Bwana nini? Moyoni nikasema tayari. Niliziba masikio ili nisiwasikie wanachoendelea nacho lakini mwili nao umeumbwa kutamani. Nilijikuta natoa vidole ili nisikie japo kidogo na kwa mbali.

    Nikasikia sauti za kuhema kwa kaka Cheni huku huyo mwanamke akishadadia kwa sauti nyembamba za mahaba bila kujali Cheni yupo nyumbani kwa baba yake na mama yake mzazi.

    Niliamka nikakaa, ndiyo ikawa tabu zaidi. Mwanamke kama aliambiwa kwamba chumba cha pili kuna mimi. Maana alikuwa akipiga kelele utadhani anacheza sinema sasa anafanya makusudi kuongeza mbwembwe ili sinema iwe nzuri.

    Ilifika mahali ikawa waziwazi, kwamba sauti za wote zikawa juu…juu zaidi! Mwanamke alisema maneno yote moja kwa moja bila kuchengesha. Yaani nilimsikia akimwambia kaka Cheni kile alichotakiwa kufanyiwa, kuongezewa au kufanya yeye.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Ili kuwakatisha au kuwafanya wapunguze spidi au manjonjo, nilikohoa kwa sauti ya juu lakini kavu. Haikusaidia kitu kwani ilionesha hata kukohoa kwangu wao walikuchukulia kama ni sehemu ya mapenzi yao.

    Nilitoka kitandani, nikafungua mlango nikiwa na kanga moja tu, nikatoka nje. Hali ya hewa ilikuwa ya joto hivyo kutoka kwangu nje nilihisi kungesaidia kupata upepo.

    Lakini kama nilivyosema, moyo umeumbwa na tamaa ya kupenda kusikia au kuona vitu vibaya na vizuri pia. Eti pamoja na kukaa nje, nikawa sina amani moyoni. Nikatamani kurudi ndani eti nikasikie wapo kwenye hatua gani muda huo.

    Tena mbaya zaidi, ukitaka kuujua moyo kwamba siyo, wakati nataka kwenda ndani, moyo ukawa unalaani kwa kusema ‘ngoja nikawasikia hawa wazinzi, wasiokuwa na haya, muda huu wamemaliza au bado?’ Lakini najua moyo wangu ulitekwa na shetani ili nikashiriki na mimi na kuendelea kupata msisimko.

    Basi, niliingia ndani. Nikasikia kama vile ndiyo kwanza wanaanza halafu kama vile kila mmoja wao alikuwa hajakutana kimwili na mwenza wake kwa miezi sita.

    Mwanamke alikuwa akimuita kaka Cheni kwa jina kama wimbo. Analiita, kaka Cheni akiitika hamwambii lolote, anaita tena. Ikawa hivyohivyo mpaka akabadili sasa, akamwambia kisa cha kumuita, nikajua kumbe ndiyo maana alikuwa anamuita sana.

    Hapo tena nikamsikia mwanamke akimjulisha kaka Cheni kwamba amefikia wapi yeye, kaka Cheni naye akamwambia amefikia wapi.

    Mimi pale kitandani, licha ya kuwa peke yangu, nilihangaika sana kujiridhisha, kwani biti zilikuwa zinapigwa kwingine, mimi naambulia kucheza. Nililala chali, nikanyoosha miguu, nikawa najishika nido, najipapasa sehemu ya kifua, nafumbua macho na kuyafumba kwa wakati huohuo.

    Nikaja kuwasikia kila mmoja akimjulisha tena mwenzake alipofikia, kumbe wote walikuwa wanafika sehemu hiyo pamoja. Nilijitahidi sana na mimi nikafika sehemu hiyohiyo kama wao. Tukafika wote. Nilichoka sana, nikatupa mikono na miguu huku na kule. Mwili wote ulikuwa hauna nguvu.



    Kaka Cheni alijitahidi kumshawishi demu wake asiondoke, lakini wapi! Akasema lazima aende. Na mimi nikawa namwombea kwa mungu wangu demu wake asiondoke ili nifaidi maana nilishakuwa moto.

    “Hapana baby, si nimekwambia nitakuja jamani.”

    “Noo darling, unajua nilishapata chaji, sasa tungemalizana tu,” kaka Cheni alisema nikamuunga mkono moyoni nikisema…

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Yes …yes hapohapo kaka Cheni kazana asiondoke.”

    Nikaanza kusikia kukurukakara, mara niachie Cheni, mara tumalize kwanza ndiyo tuondoke. Mwishowe nikasikia kimyaa! Sasa ikawa zamu ya kitanda kupiga kelele za kukurukakara.

    Hapohapo na mimi nikawa sambamba nao, niliushika ule mlio wa kitanda kichwani. Nikawa nakwenda nao kwa biti, kulia, kushoto, kulia kushoto. Mwili ulisisimka sana, nikatamani ningekuwa mimi ndiyo niko na kaka Cheni.

    Mbaya zaidi walikuwa hawasikiki lakini mihemko yao peke yake ilinipa raha ndani ya roho! Ikawa kama naangalia filamu ya kikubwa ya Kizungu.

    Nilizama kwenye dimbwi la mahaba mazito ya kimimimimi. Sasa nikawa siwasikii tena wao. Nikawa nakwenda kivyangu. Nilivuta hisia za mbali sana huku mikono ikiwa imeshika nido na kucheza nazo harakaharaka.

    Nilijikuta napiga ukelele kiasi kwamba, kama kaka Cheni alikuwa makini alisikia kila kitu. Lakini pia kama mama au baba angesimama nje, wangesikia kelele zangu.

    Nikasikia aibu mwenyewe nikakaa kimya bila kujitingisha nikiwa nasikilizia. Nilibaini hata kule chumbani kwa kaka Cheni walisikia maana walikaa kimya kabisa kama hakukuwa na mtu kwa muda huo.

    Ghafla nikasikia sauti ya chini ya kaka Cheni ikicheka. Nikajua nachekwa mimi. Ukapita ukimya tena, ikafuatia sauti ya yule demu ikicheka, nikajua nachekwa mimi. Halafu wakacheka wote.

    Kazi kwangu ikawa ni namna ya kutoka nje. Endapo ningekutana na kaka Cheni kwa muda huo ingekuaje?

    Nilisema moyoni sitatoka mpaka nimsikie kaka Cheni akitoka. Maana ilikuwa aibu yangu.

    Baada ya dakika kama kumi hivi, nilisikia mlio wa mlango wa kaka Cheni ukifunguliwa. Nikajua wanatoka maana sakafu iliashiria kukanyagwa na mtu zaidi ya mmoja na miguu hiyo ikatokomea, nikajua kaka Cheni anamsindikiza demu wake.

    Walipozama na kutosikika kabisa na mimi nikajivutavuta pale kitandani na kutoka zangu nje. Mbio hadi chooni, nikaoga na kunawa, nikarudi chumbani haraka sana ili kama kaka Cheni akija asinikute nje, aibu! Mh!

    Nikiwa chumbani, kaka Cheni akarudi…

    “Sista,” aliita.

    Nikaa kimya kwanza kujiuliza ni jinsi gani nitamwitikia…

    “Sista!”



    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    “Abee,” niliitikia nikiwa bado nimekaa…

    “Vipi? Umelala sista?”

    “Hapana.”

    “Njoo.”

    Nilitoka na kukutana na kaka Cheni, nikainamia chini kwa aibu…

    “Unaumwa?” aliniuliza.

    “Wala!” nilijibu nikiwa bado naangalia chini.

    “Sasa mbona kama mnyonge hivi?”

    “Sijisikii vizuri ndiyo maana.”

    “Pole. Mi nalala kidogo.”

    “Haya.”

    Nilirudi chumbani na mimi nikajilaza kama kaka Cheni alivyolala kule chumbani kwake. Sema tu sikujua alilala vipi? Chali, kifudifudi au upandeupande!

    Nilipitiwa na usingizi, kuja kuamka ni jioni sana. Nikatoka nje, nikakumbana na kaka Cheni akiwa anatoka kuoga…

    “Mimi natoka sista,” alisema huku akiingia chumbani kwake…

    “Sawa.”

    Moyoni nilijua kuwa, atakachofanya kaka Cheni ni kwenda kuzurura akirudi atakuwa na demu mwingine. Mh! Kaka Cheni jamani, alijaliwa!

    Niliendelea na shughuli nyingine ikiwemo kuandaa mapishi ya jioni. Mama akanipigia simu, akasema yeye na baba hawatarudi, watalala kule msibani kisha akaniuliza…

    “Kaka’ko yupo?”

    “Yupo, ila kasema atatoka.”

    “Anakwenda wapi?”

    “Sijajua mama.”

    “Akiwaleta wale wanawake wake wafukuze. Hatakufanya lolote mimi ndiye nimesema na umwambie mama ndiyo kasema.”

    “Sawa mama.”

    Mara, kaka alitoka akisema anawahi mahali. Wakati anasema, nikamwita…

    “Kaka Cheni…”

    “Nini?”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Njoo,” nilimwita kwa sauti ya kulegea kidogo huku macho yamesinzia…



    “Nini?” aliniuliza akiwa amesimama mbele yangu sasa…

    “Unakwenda wapi kwani?” nilimuuliza.

    “Si nimekwambia kuna mahala…”

    “Kurudi?”

    “Sijajua, kwani unasemaje?”

    “Hata, sina la kusema.”

    Kaka Cheni akaniona mzushi tu, akaanza kuondoka…

    “We kaka Cheni,” niliita tena.

    “Nini wewe sista?”

    “Njoo nikwambie.”

    Alirudi akionekana kuwa na uso wenye hasira za mkizi…

    “Unasemaje?”

    Badala ya kumwambia lolote nilijikuta naumauma vidole vyangu huku nikimtumbulia macho pima…

    “Husemi?” alinihoji kwa ukali.

    “Sikia bwana…mimi nataka…au nenda,” nilikatisha nilichotaka kumwambia kaka Cheni.

    “Unataka nini? Nikuletee chipsi? Sina hela mimi,” alisema kaka Cheni huku akiondoka.

    Nilirudi chumbani kwangu kulala, uso ulinishuka kwa aibu kwani kila nilipojifikiria mwenyewe nilijiona mjinga na maswali yasiyo na majibu…

    “Hivi kweli pale ningemwonesha kaka Cheni hisia zangu zote angenielewa? Na kama angenielewa, angekubaliana na matakwa yangu mimi kama mdogo wake wa kike au dada yake? Loo!”

    ***

    Usiku uliingia, nilipika, nikala, chakula kingine nilimwekea kaka Cheni lakini sikukiingiza chumbani kwake. Kwa sababu wazazi walikuwa hawarudi siku hiyo, hivyo nilitaka nijue ni muda gani angerudi kwani kwa vyovyote vile baada ya kurudi lazima angetaka msosi.

    Nilipitiwa na usingizi, kuja kushtuka, ni pale mlango ulipogongwa…

    “Sista…sista.”

    “Bee.”

    “Msosi vipi?”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nilitoka kitandani, nikakichukua chakula na kumtolea mlangoni.

    “Shukrani sana,” alisema kaka Cheni akipokea, akaingia chumbani kwake. Akafunga mlango.

    Kwa sababu nilitoka kulala, nikawa sijui kama kaka Cheni alikuja na mgeni wake au la! Nikaweka masikio walu ili kusikiliza. Niliona kimya, nikatamani kumuuliza ‘kaka Cheni muda huu hujaja na wifi?’ nikaona itakuwa soo kama wifi mwenyewe yupo halafu asikie dada mtu anamuulizia.

    Nilisikia mlio wa kunawa, nikasikia vyombo vikigongana kuashiria kwamba, huenda sasa anakata ugali, sasa anachovya kwenye mchuzi, sasa anakula.

    Baadaye nikabaini yuko peke yake kwani hakukuwa na mazungumzo ya chini wala ya kunong’ona. Nikamsikia akifungua mlango, nikamsikia akiweka chini sinia lenye vyombo.

    Mara, akaingia chumbani kwake, akafunga mlango. Muda si mrefu akazima taa, nikasikia akipanda kitandani. Muda wote huo mimi niko macho tu. haikuzidi dakika tano, nikamsikia akikoroma, nikajua kwisha habari yake, hakuwa na cha wifi wala mchumba usiku ule.

    ***

    Asubuhi nilipoamka, nilimkuta baba amekaa kwenye kiti akisikiliza redio ndogo mkononi. Alikuwa ameiinamia. Nilimwamkia, akapokea salamu yangu. nikamuuliza kama alirudi usiku kutoka kwenye kilio, akasema ndiyo amerudi muda si mrefu ila mama amemwacha hukohuko.

    Basi, kulipokucha kabisa na jua limetoka, mama naye aliingia. Mimi nilikuwa nafagia, baada ya salamu akakaa.

    Baba akaniuliza kama kaka Cheni yumo chumbani, nikamwambia yupo.

    “Mwamshe,” aliniamuru baba, nikamgongea mlango. Alipotoka tu, baba alimwambia akae chini hata kabla hajamsalimia, akakaa. Nikaambiwa na mimi nikae chini, nikakaa. Mama alishakaa alipofika tu…

    “Cheni,” aliita baba.

    “Naam.”

    “Wewe umekuwa msumbufu sana, umekuwa hutulii mambo yako. Kila nikikufuatilia nahisi siku hizi si mwadilifu. Nimekuchunguza sana, nimejiridhisha kwamba, una vibintibinti vinakusumbua…

    “Sasa nasema hivi, kuanzia leo, marufuku kutoka hapa nyumbani. Ole wako. Ukitoka uwe umetumwa na mimi au mama yako. Mimi siko tayari kupokea kesi za watoto hapa.”

    Nilimwona kaka Cheni akiishiwa nguvu hivihivi, nadhani baada ya baba kusema amechunguza kwa muda mrefu sana, amejiridhisha…

    “Na ikitokea umetoka kwa kuiba, ole wako,” alidakia mama ili asije akaonekana hana kauli kwa mtoto…

    “Umenielewa?” alisema kwa kufoka baba.

    “Nimekuelewa baba.”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Hodi,” yaani ile kaka Cheni anamaliza kusema nimekuelewa baba, Chausiku, binti mmoja hivi, alikwendaga kujiuza Dodoma, alitokea akiwa amevaa nusu utupu.



    “Shikamoo baba…shikamoo mama,” aliamkia Chausiku. Bahati njema wazazi wote wanamfahamu, wakamwitikia, mama akadakia hapohapo…

    “Umemfuata nani wewe Chausiku?”

    “Huyu,” alisema akininyooshea mkono mimi.

    “Hapo sawa. Nilidhani umemfuata Cheni. Cheni hana nafasi siku hizi, kazi nyingi. Hatakiwi kuondoka hapa nyumbani.”

    Mama alipotoa kauli hiyo, Chausiku alimtazama kwa jicho lililosema ‘ukiwa na mama kama huyu ni shida’ kisha akasema;

    “Najua mama!”

    “Unaposema unajua nani kakuambia kwamba siku hizi Cheni ana kazi nyingi?” mama akamwuliza Chausiku.

    “Najua tu!” Chausiku akamjibu mama.

    “Haya kama unajua ndiyo hivyo, Cheni hawezi kutoka hapa, mambo ya kutokatoka ovyo nyumbani ilikuwa zamani, sawa Chausiku?” mama aliyekuwa anajua uhusiano uliokuwepo kati yake na Cheni alimpasha.

    Kutokana na mama kutoa kauli hiyo, niligundua Chausiku ambaye kwa sehemu alikuwa fyatu angemjibu mama halafu ingekuwa balaa, nikampa ishara anifuate.

    Nilitoka na Chausiku hadi nje huku wazazi wakimwangalia kwa masikitiko…

    “Hivi nikwambie pale limenishuka. Sikutarajia kama nitawakuta wazazi wako wakiwa na Cheni. Kwa heri mwaya, mwambie Cheni anitafute baadaye,” alisema Chausiku na kuondoka, nikamwambia sawa.

    “Mh! Leo kaka Cheni kapatikana, kwa ninavyomuelewa roho inamuuma sana kumkosa Chausiku aliyejileta mwenyewe, na hivi hakuwepo huko chumbani kwake ingekuwa kasheshe,” nilijisemea moyoni.

    Sikuishia hapo, nikakumbuka siku aliyokuwa na demu wake chumbani kwake alivyoniweka katika wakati mgumu mpaka nami nikafika mwisho wa safari, nikaishia kutabasamu.

    Baada ya kurudi ndani, baba akaniambia kuanzia siku hiyo ananipiga marufuku kuondoka nyumbani bila ruhusa na ikitokea akagundua, itakula kwangu…

    “Sawa baba, nimekusikia,” nilikubali.

    “Halafu urafiki na wasichana wahuni kama hawa sitaki,” alidakia mama…

    “Sawa mama, nimesikia.”

    “Wewe sema umesikia halafu nije nikufume bado unaendelea na urafiki wenu, utatambua kama mimi ndiye nilikuweka tumboni miezi tisa…”

    “Mama sitafanya hivyo, nimekuelewa.”

    ***

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog