Search This Blog

Monday, October 24, 2022

VITILIVYOGO (PAPA NA MUHOGO) - 2

 





    Chombezo: Vitilivyogo ( Papa na Muhogo )

    Sehemu Ya Pili (2)





    “Basi amka ukaoge, si umeyataka mapenzi basi usiyaogope.”

    “Sawa mpenzi.”

    “Na nguo zako zivulie hapahapa.”

    “Aah! Mchumba acha nikavulie bafuni.”

    “Unamuogopa nani wakati tupo wawili tu mpenzi?”

    SONGA NAYO HAPA

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Shaka ilibidi awe mpole, alivulia palepale huku kitu kikiwa hewani kama antena ya king’amuzi. Jicho la Betty lilitua kwenye mkonga wa tembo na kujikuta akisisimkwa na mate ya uchu yalimtoka, akajikuta akiisifia kimoyomoyo akishangaa kijana mdogo kuwa na bakora mujarabu.

    Aliishika na kumfanya Shaka aruke nyuma na kusema:

    “Kweli mambo yako dijitali, naona king’amuzi kinaonesha bila chenga mbona leo nitafaidi mtoto wa kike.”

    Alimshika mkono na kuongozana naye, wakati huo mkono wa Shaka haukucheza mbali na kambi ya jeshi ili kumtuliza. Baada ya kumwacha bafuni alitoka mara moja.

    Baada ya muda Betty alirudi, alipofika mlangoni alisukuma mlango na kumfanya Shaka atoe sauti.

    “Mchumba bado naoga.”

    “Tatizo nini?” Betty alisema huku akiingia bafuni bila kitu mwilini.

    Shaka alipofumbua macho alishtuka kuuuona mwili wa Betty bila kitu kwa mara ya kwanza. Hakutegemea kumuona Betty kuwa vile siku ile, alitegemea kuuona siku ya kuua tembo kwa ubua.

    Mshtuko alioupata ulisababisha mnazi kuanguka chini, Betty alioga pamoja na Shaka. Baada ya kuoga alimfuta maji kisha alimshika mkono na kumpeleka chumbani kwake ambako Shaka katika siku zote alizowahi kufika pale hakuwahi kuingia chumbani kwa Betty.

    Shaka alishtuka kuona akiingizwa chumbani na kukuta kitanda kimetandikwa vizuri, kilikuwa chumba cha thamani ambacho hakuwahi kuingia. Betty alimkalisha kitandani na kushangaa kuuona mnazi wa Shaka umelala.

    “Vipi mpenzi mbona mnazi umelala?”

    “Hata sijui!”

    Alimwacha na kwenda kuchukua mafuta ya masaji na kuacha sehemu ya ‘plate number’ za nyuma ikisomeka kwa usahihi. Shaka pamoja na uchu bado hakuamini kama ile ndiyo siku waliyokubaliana.

    Yeye alijua makubaliano ni mwisho wa wiki na kwenye nyumba ya wageni. Muda wote alikuwa kama yupo ndotoni na mshtuko aliopata ulisababisha mnazi kulala na kupoteza kujiamini kabisa.

     Muda wote aliangalia chini kama mwari aliyekuwa akisubiri kufichuliwa. Moyo ulimuuma kuona anapoteza kujiamini siku ya ahadi.

    Betty baada ya kuchukua mafuta mepesi alimlaza kifudifudi na kuanza kumchua taratibu kiungo kimoja kimoja. Wakati akijua anamuandaa mwenzake, Shaka alikuwa mbali na kujiuliza mbona hakumtaarifu mapema ajiandae kuliko kumshtukiza vile.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Baada ya kumaliza kumchua mgongoni alimgeuza na kuanza kumchua mbele. Lakini alishtuka kuona mnazi umeendelea kulala. Alipojaribu kuushtua bado ulikuwa umelala dolo.

    Alijaribu kuuchua mnazi ili usimame aweze kuyafaidi madafu ya mnazi mchanga ulionekana una madafu matamu lakini alijikuta akitumia muda mwingi bila mafanikio huku jasho la uchu likimtoka. Alijikuta akijipaka upupu bila mkunaji.

    “Shaka vipi?” ilibidi amuulize baada ya kuona hakuna dalili zozote za mnazi kunyanyuka, mtalimbo ulikuwa umelala dolo.

    “Hata mi nashangaa,” Shaka alijibu huku aibu ikiwa imemtawala.

    “Unashangaa nini, unajijua una matatizo umenitaka ili iweje? Leo hii nipo kwetu ingekuwa nyumba ya wageni gharama zangu ungezilipa?”

    “Samahani mchumba, mwanzo ulikuwa na nguvu nashangaa umelala ghafla.”

    “Una mpenzi?” Betty alimuuliza huku akimtazama kwa hasira.

    Shaka kwa kuhofia kuonekana malaya alikataa.

    “Sina.”

    “Hujawahi kuwa na mwanamke?” alimuuliza akiwa amemkazia macho.

    “Ndi...ndii...yooo.”

    “Sasa kama hujawahi kuwa na mwanamke uliwezaje kunitongoza, ikiwa wanuka mikojo wenzio umewashindwa?” Betty alisema kwa hasira  huku ameishikilia bakora mkononi iliyokuwa imetulia kama haijui muda ule ilitakiwa ifanye nini.

    “Nilikuwa naye nikaachana naye.”

    “Shaka kweli ulishawahi kufanya mapenzi na mwanamke?” Betty alimuuliza huku akifuta jasho kwa kiganja cha mkono lililokuwa likimvuja.

    “Ndiyo.”

    “Huna matatizo?”

    “Sina mwenyewe si uliona wakati nakwenda bafuni mpaka ukashtuka, nashangaa mnyama kaanguka ghafla.”

    “Ulipokuwa ukipanda juu ya mnazi ulikuwa ukiangusha nazi ngapi?”

    “Kidogo tatu.”

    “Nyingi?”

    “Mpaka saba.”

    “Sasa mbona mnazi umelala bila kuangusha hata nazi moja?”

    “Lakini mchumba kwani ahadi yetu ilikuwa leo?” Shaka aliuliza swali la kitoto.

    “Shaka acha akili za kitoto na ukitoka hapa bila kuzitoa hamu zangu tusijuane na unikome tena unione kama muuza bangi na polisi.”

    “Lakini mchu...”

    “Lakini nini? Hebu ona kisima kimejaa maji mpaka yanamwagika,” Betty alisema huku akionesha mchirizi uliokuwa unataka kuteremka chini.

    “Yaani mwenyewe najishangaa kweli mkamia maji.”

    “Maji ya mama yako, ngoja nije.”

    Betty alisema huku akitoka chumbani na kumwacha Shaka akijishangaa kupoteza mdomo siku ya sherehe aliyoipania muda mrefu. Alijiuliza tatizo nini ikiwa siku zote alijiamini ni mwanaume shababi aliyekuwa akiwaliza wasichana mtaani kiasi cha kumpigania kama mpira wa kona.

    Aliamini usemi mkamia maji hayanywi lakini kwa upande mwingine aliona kama siku aliyotembea uchi ndiyo aliyokutana na mama mkwe wake. Akiwa katikati ya sintofahamu, Betty alirudi chumbani na nguo za Shaka mkononi.

    “We paka vaa nguo zako na uondoke zako mara moja,” Betty alisema huku akimtupia Shaka nguo zake.

    “Samahani mchumba..”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Koma kuniita mchumba mwanamke mwenye umbile la kiume wee.”

    Shaka alijikuta akijuta siku ile kwenda kwa Betty na kuona heri angekwenda siku ya pili kuliko aibu kama ile kumkuta na kupoteza kitu alichokihangaikia kwa muda mrefu.

    Alijikuta ameganda kama sanamu na kushindwa kufanya kitu chochote, hata nguo hakuziokota, aliona kazi.

    Betty baada ya kuona anamchelewesha aliokota nguo zake na kumshika mkono na kumvuta nje huku akimtukana.

    “Maji huyawezi kiherehere, haya nenda umeishaniona mwili wangu inatosha kawahadithie wenzako.”

    “Hapana mchumba nipe nafasi nyingine basi hata mi sijielewi,” Shaka alijitetea.

    “Utajielewa nyumbani kwenu, kwa vile hutaki kuvaa nguo zako utavalia kwenu nguchiro mtoto wee, mbona najuta kujidhalilisha kwa vitoto!”

    Alipomfikisha sebuleni alimwacha na kufuata baadhi ya nguo zake alizoziacha chumbani ili amtoe nje. Alipoingia chumbani wakati anaokota nguo za Shaka alikumbuka kitu na kumfanya asimame na kuweka kidole mdomoni.

    “Mmh! Lazima itakuwa vile tu.”

    Betty alikumbuka siku ya kwanza kukutana na mpenzi wake wa sasa, siku ya kwanza baada ya kuingia chumbani na kuvua nguo jamaa alichanganyikiwa na kupoteza kujiamini kitu kilichosababisha mnazi kulala chini.

    Ilimchukua zaidi ya saa tatu kumrudisha mchezoni. Aliamini hata Shaka yalimkuta yaleyale kwa vile hakuwahi kukutana na mwanamke mwenye umbile tamu kama lake lililokuwa na kila sababu ya kumtia wazimu mwanaume.

    Siku zote umbile lake lilitakiwa lionwe na wanaume wazoefu na mbuga kwani wageni wakimuona bunduki iliwaponyoka na kutimua  mbio.

    Alijikuta akikaa kitandani na kujiinamia kwa muda kisha alinyanyuka na kutoka chumbani taratibu. Alipofika sebuleni alimkuta Shaka amejiinamia akilia, kitu kilichomfanya ajisikie uchungu sana.

    Alimfuata pale chini na kumnyanyua na kumwita jina lake kwa sauti ya chini.

    “Shaka.”

    “Na..naam,” Shaka alijibu kwa sauti ya kilio.

    “Nyamaza basi mchumba.”

     Betty alimnyamazisha huku akimvutia kwake na kumkumbatia kitu kilichomfanya Shaka asisimkwe mwili na kujikuta akirudiwa na nguvu za ajabu.

     Wakiwa wamekumbatiana, Betty alishtuka kuguswa na kitu kwa chini alipotupa macho alishtuka kukuta mnazi umenyanyuka.

    Hakusema kitu, alimshika mkono Shaka mpaka chumbani, hakutaka kupoteza muda, aliamua kujihudumia mwenyewe kupunguza njaa aliyokuwa nayo.

     Aliudandia mnazi na kujikuta akiukwea kwa pupa, kutokana na kuwa na kiu kikali cha dafu hakufika mbali alipiga kelele kuonesha amepasua dafu. Baada ya kupunguza mwasho mchezo ulianza rasmi huku Betty akitoa onyo kwa sauti ya ashki.

    “Shaka sikukuita umekuja mwenyewe nataka kilichokufanya unitafute kwa miaka sita leo nikione.”

    “Sawa.”

    Shaka alijiapiza baada ya kuponea tundu la sindano kifukuzwa na Betty kufia kifuani kuhakikisha naye anabakia katika kumbukumbu zake. Akitumia mtindo wa kizamani wa  4 – 2 – 4 alimsaidia kumpeleka puta Betty ambaye alijikuta akiuona ugumu wa mechi na kujua sababu ya Shaka kutaka gemu na yeye.

    Mpaka wanakwenda mapumziko, Shaka alikuwa hoi kutokana na kutumia nguvu nyingi akitaka kujitoa kimasomaso. Baada ya mchezo uliotumia zaidi ya saa moja, Shaka alianza kuona kizunguzungu na kuhema kwa mbali, kitu kilichomshtua Betty.

    “Shaka.”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Mmh!”

    “Nini?”

    “Tumbo.”

    ”Hukula?”

    “Ndiyo.”

    “Mungu wangu nimemuua mtoto wa watu.”

    Kwa haraka alikimbilia maziwa fresh kwenye friji na kuanza kumnywesha kama mtoto huku mwili wa Shaka ukiwa hauna nguvu kabisa.

     Baada ya kumpa maziwa na kurudiwa na nguvu kidogo alikwenda kumwagia maji na kurudi naye ndani.

    Alimpatia chakula ambacho alikila chote kutokana na njaa kali aliyokuwa nayo. Aliposhiba aliomba kwenda kulala.

    “Betty naomba nikalale,  nina usingizi.”

    “Utafika?” Betty alimuuliza baada ya kuwa na wasiwasi naye.

    “Nitafika tu.”

    “Hapana, kwa hali hii lazima utaulizwa nini kimekusibu, utajibu nini?”

    “Hawawezi, kwanza sasa hivi wamelala,” Shaka alijibu kama mlevi.

    Alipojaribu kutembea aliyumba kuonesha hawezi kufika kwao bila msaada, Betty alijiuliza kama atamfikisha kwao atawaeleza nini wazazi wake? Alipata wazo la kwenda nyumbani kwa akina Shaka kumuombea ruhusa kulala kwake kwa vile yupo peke yake.

    “Shaka itabidi ulale hapa.”

    “Hakuna tatizo mchumba, sio siri leo nimefurahi ile mbaya,” shaka alisema kwa sauti ya kilevi kuonesha amechoka sana kwa kalinyekalinye la saa mbili bila kupumzika, bandika bandua kwa Betty kuogopa aibu ya kuaibishwa na mtoto mdogo na Shaka kutaka kujionesha sababu ya yeye kuomba utamu wa mtu mzima.

    Betty naye alichoka lakini Shaka alikuwa hoi zaidi kwa vile ndiyo ilikuwa siku yake ya kwanza kukutana na kalinyekalinye la mgambo wa jiji na kumfanya atepete mtoto wa kiume.

    Kwa vile kwao hawakuwa na taarifa, Betty aliamini asingelala na Shaka bila kwao kujua. Pamoja na kuchoka alioga haraka na kwenda nyumbani kwa akina Shaka kumuombea ruhusa ya kulala kwake.

    Muda ulikuwa umekwenda, alikuta tayari wameishaingia ndani kulala. Aligonga mlango na kutoka baba yake Shaka, mzee Zulu.

    “Ooh! Karibu mama.”

    “Asante baba, shikamoo.”

    “Marahaba, ndiyo mama mbona usiku, naona umemfuata mchumba wako?”

    “Hapana baba.”

    “Mmh! Mama una shida gani?”

    “Nimekuja kumuombea ruhusa mchumba wangu.”

    “Ruhusa ya nini mama?”

    “Leo nipo peke yangu nyumbani nilikuwa naomba Shaka nilale naye naogopa kulala peke yangu.”

    “Mmh! Kulala naye kivipi?”

    “Jamani baba hakuna maana nyingine zaidi ya kila mtu kulala chumbani kwake.”

    “Haya mama, muamshe chumbani kwake japo mpaka naingia ndani sijamuona.”

    “Yupo nyumbani kwetu.”

    “Basi mama ruksa, najua palipo na wawili hapaharibiki kitu.”

    “Baba hakuna kitu kingine, Shaka ni mdogo wangu.”

    “Mama yangu mbona una wasiwasi sina maana mbaya.”

    “Sawa baba, wacha niwahi.”

    “Hakuna tatizo usiku mwema.”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Na ninyi pia.”

    Betty aligeuza na kurudi nyumbani, alipofika alimkuta Shaka amelala kwenye kochi akionekana yupo hoi. Alimuamsha na kumhamishia  chumbani na kumlaza kitandani. Betty alimtazama Shaka na kumuonea huruma kwani alikuwa amechoka sana kiasi cha kujilaza kama mtu aliyeokolewa kwenye maji.

    “Mmh! Ningeua mtoto wa watu bure.”

    Alisema huku akiondoa nguo za Shaka na kuziweka pembeni kisha na yeye alitoa zake na kujilaza pembeni yake. Kutokana na uchovu naye usingizi ulimchukua.

    Shaka aliamka siku ya pili, mwili ukiwa mchovu kama alikuwa akitwanga chuma. Hata alipooga na kupata kifungua kinywa cha nguvu kilichoandaliwa na Betty bado mwili ulikuwa mchovu na kumfanya ashinde siku ile amelala kama mgonjwa.

    Betty alimuonea huruma Shaka ambaye alionekana amechoka muda wote. Kwa vile hamu zake hazikufikishwa, bado alitaka kupata la kuzimua ili akae sawa, kwani bila vile hali yake ingekuwa mbaya.

    Alijiuliza atawezaje kumrudisha Shaka mchezoni ili aweze kukidhi haja zake. Japokuwa Shaka alikuwa kijana mdogo lakini aliweza kumkabili barabara na kutojutia kumvulia nguo ya ndani.

    Alikumbuka kinywaji cha Red Bull humrudisha mtu mchezoni, alijifunga upande wa kanga na kitenge kwa juu, akaenda kununua Red Bull kwenye duka la Mchaga lililokuwa jirani.

    Alikwenda mpaka  dukani na kununua Red Bull sita na kurudi nazo ndani. Alimkuta Shaka bado amejilaza kitandani japo hakuwa amepitiwa na usingizi.

    “Vipi mpenzi?” Betty alimuuliza Shaka huku akizipunguza nguo mwilini.

    “Poa tu mchumba,” Shaka alijibu huku akimtupia jicho Betty.

    “Shaka napenda uniite mpenzi.”

    “Sawa mpenzi.”

    “Vipi unajisikiaje?” alimuuliza huku akimlegezea macho na sauti.

    “Mmh! Kama sijalala wiki nzima kwa jinsi nilivyochoka.”

    “Basi amka unywe hii.”

    “Mpenzi sijawahi kunywa pombe.”

    “Siyo pombe ni kinywaji cha kukufanya uchangamke na kuufanya mwili wako uwe na nguvu.”

    “Siyo pombe?”

    “Siyo ni kinywaji kizuri ukinywa tu utauona mwili una nguvu kama mwanzo.”

    Shaka alikaa kitako na kuchukua kopo la Red Bull lililokuwa limeshafunguliwa  tayari na kunywa taratibu. Wakati huo Betty alikuwa akiondoa nguo ya ndani mbele yake na kisha kujifunga mtandio mwepesi uliomfanya aonekane kama hajavaa nguo na kwenda kukaa pembeni ya Shaka aliyekuwa yupo kwenye vazi la upande wa khanga.

    Wakati Shaka akinywa Red Bull, Betty alikuwa akimpapasa taratibu na kulitengeneza joto la hamu lisiloisha utamu. Taratibu Shaka alijihisi kutoka jasho huku hamu zikimpanda taratibu kama sumu ya nyoka.

    Kwa vile Shaka alikuwa amejifunga upande wa khanga, Betty alishuhudia mwinuko kwenye khanga ya Shaka na kuamini ngoma inogile, alichokitaka kimetimia.

    Kwa vile naye mate ya uchu wa mnofu yalikuwa yakimtoka kama mwanamke mwenye mimba aliyeona maembe mabichi, aliuvuta upande wa khanga na kufanya mzinga wa kutungulia ndege kuwa wazi kama vazi la kahaba.

    Betty aliidaka maiki na kuanza kuchana mistari na kumfanya Shaka asitulie alipokaa na kuwa kama kakalia mbigili kutokana na kushindwa kutulia sehemu moja.

    Betty hakumuachia mpaka yai lilipompasukia mdomoni na kuhakikisha hakipotei kitu wala kumchafua. Alifanya usafi kisha alimuomba Shaka naye ampashe moto.

    “Shaka jamani niandae na mimi.”

    Lakini kwa Shaka kwake kilikuwa kitu kigeni kwa vile alizoea kudandia baiskeli na kupiga pedeli. Alijikuta akishindwa afanye nini kitu kilichomshtua Betty.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Shaka jamani mbona umetulia, nishike na mimi basi.”

    “Wapi mpenzi?” Shaka kwake yalikuwa mashikolo mageni ‘mambo mageni.’

    “Ni..ni..shike hu..hu..kuu,” Betty alisema kwa shida baada stimu ya mahajamu kumpanda huku akiushika mkono wa Shaka na kuupeleka eneo la tukio. Shaka alishika asijue afanye nini.

    “Shaka jamani fanya hivi kama unamenya karanga.”

    Shaka alianza zoezi kwa nguvu kitu kilichomfanya Betty asikie maumivu na kulalamika.

    “Shaka taratibu jamani.”

    Shaka alikwenda taratibu bado Betty alisikia maumivu kwa mbali na kugundua mikono ya Shaka ilikuwa mikavu. Alichukua mafuta na kumpaka mkononi na zoezi liliendelea.

    Japokuwa alikuwa mgeni lakini zoezi hilo alilifanya vizuri sana kiasi cha kumliza Betty kilio kisicho na msiba. Ngoma ikawa droo kila mmoja kudondosha nazi ya mdondo inayoanguka kwa upepo.

    Baada ya mchicha kukolea nazi mtanange ulianza kwa Shaka kuukwea mnazi kama mkwezi aliyevamia shamba la watu. Kutokana na kutokuwa mzoefu, alijikuta akipapalika kama mtu aliyeangukia majini akiwa hajui kuogelea na kutaka kujiokoa kwa kutumia nguvu nyingi.

    “Jamani Shaka haraka ya nini?”

    “Mpenzi nifanyeje?”

    “Taratibu unakimbilia nini, nimekwambia umalize uondoke?”

    “Hapana.”

    “Basi acha papara.”

    “Kwani tatizo nini mpenzi?”

    “Hizi ni zako zabibu kula taratiiiibu.”

    Shaka kila alipoipunguza kasi ilimshinda na kujikuta akikanyaga mafuta hasa alipokuwa akiitafuta kumi na nane. Kasi ile ilimfanya Betty aende wavuni mara mbili mfululizo.

    Kila alipokaribia kuiona pwani alipiga kelele zilizomtia kichaa Shaka.

    “Ha..ha..ki ya nani Sha..shaka unaweza ..u..unaweza, safi Shaka usitoe pasi ingia nayo ukitoa pasi utaniudhi ingia Shaka ingia goli ha..ha..halipo mmmba mmmh..aaaah...mamaaa.”

    Shaka alijikuta akipigwa na butwaa baada ya kumuona Betty akijipinda na kumbana kwa nguvu kifuani kwa muda kisha alimwachia na kumfanya ahisi joto tamu lililomuongezea msisimko na kuendelea kugawa dozi.

    Betty alishangazwa Shaka kuendelea na kujiuliza ina maana muda wote dogo hajafika safari yake? Baada ya kwenda wavuni kwa mara ya nne bado moto wa Shaka ulikuwa palepale.

    Mmh! Shaka alikuwa kama mtoto aliyeukosa ubwabwa kwa muda mrefu aliyewekwa kwenye sinia kubwa la ubwabwa ambaye  hanyanyuki mpaka anyanyuliwe.

    “Shaka jamani bado tu?” Betty aliuliza baada ya kujiona pumzi zimeanza kukata.

    “Kwani wewe tayari?”

    “Mi zaidi ya mara nne.”

    “Hata mi tayari.”

    “Mara ngapi?”

    “Mbili.”

    “Mmh! Mbona sijaona kushusha mzigo?”

    “Kelele zako zilinichanganya, kila uliponiambia Shaka usitoe pasi ingia nayo basi nilikuwa najiona uwanjani nipo peke yangu na kuingia nayo na kila nilipoingia kelele zako zilinichanganya kabisa.”

    “Mmh! Japo una staili moja kama njia ya treni lakini lazima nikiri una nguvu kama nyati.”

    “Mpaka naomba kuvaa kiatu chako niliamini mguu wangu unatosha.”

    “Shaka kuna vitu nikikuongezea utatisha, unaonekana damu bado inachemka ukimshika mwanamke lazima akutaje jina lako.”

    “Kwa hiyo umetosheka?”

    “Mmh! Leo sitaki tena nipo hoi nikilala sijui nitaamka saa ngapi?”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Kwa hiyo mpenzi naweza?”

    “Unatisha Shaka, nimeinjoi ile mbaya, kumbe nilitaka kumfukuza nyuki asali hii tamu ningeipata wapi?”



    Sifa za Betty zilimfanya Shaka avimbe kichwa na kujiona kidume mbele ya wanaume. Moyoni hakuamini kama angeweza kumliza kilio cha utamu mwanamke mzoefu kama Betty. Shaka naye alitumia nguvu nyingi kuhakikisha anafuta makosa ya awali ya kutukanwa saizi yake wanuka mikojo wenzake.

    Mwili wa Betty uliokuwa umenona kama kitimoto ulimchanganya sana Shaka ambaye alipoutazama chuma hakikulala hata kidogo. Ukichanganya na kelele za Betty zilizompa kichwa kuwa anaweza, alipata wazimu kabisa na kujikuta hatoi pasi, kila mpira alioupata aliingia nao mpaka alipofunga goli au alipogongana na kipa.

    Alimtaza Betty aliyekuwa amejilaza pembeni yake bila kitu mwilini, mdomo ulikuwa ukitaka kuendelea kula lakini maungo yalikuwa yamechoka na kujilaza pembeni ya Betty, usingizi mzito ukawachukua.

                                     ***

    Betty alikuwa wa kwanza kuamka ambaye kwa mara ya kwanza alihisi uchovu mkubwa sana tofauti na alivyokuwa akidhania uwezo wa Shaka aliyekuwa amejilaza hajitambui kuwa ni mdogo.

    Japokuwa alikuwa mgeni katika medani ya mapenzi lakini alikuwa na nguvu sana, anapoamua kushambulia alikuwa harudi nyuma na kumfanya mwanamke kufika safari yake, tofauti na wanaume wengi waliokuwa wakiwaacha  wanawake na shombo.

    Njaa nayo ilikuwa ukimuuma kama kidonda, aliamka na kwenda bafuni kujimwagia maji kisha alijifunga vitenge na kukimbilia kwenye baa ya jirani kununua mchemsho ili kutuliza njaa iliyokuwa ikimuuma sana.

    Baada ya kununua mchemsho na kurudi ndani, alimuamsha Shaka aliyekuwa akikoroma kama usiku wa manane kuonesha jinsi gani alivyotaabika kuuangusha mbuyu.

    “Shaka.”

    “Mmh!”

    “Amka mpenzi wangu.”

    Shaka aliamka akipiga miayo na kujinyoosha.

    “Vipi Shaka?”

    “Mmh! Nipo hoi tamu lakini wee acha tu.”

    “Utazoea tu, huu ni mwanzo.”

    “Mmh! Nikizoea mbona nitafaidi.”

    “Mi ndiyo nitafaidi zaidi, hujazoea lakini raha unazonipa sikutegemea kuzipata kumbe, ningemfukuza nyuki na kuupoteza utamu bure. Shaka wewe sasa hivi ni nyuki wangu naufaidi utamu bila kikomo.”

    “Kumbe naweza?” Shaka hakuamini kauli ya Betty.

    “Unaweza sana Shaka.”

    Walikwenda kuoga tena na kupata mchemsho wa kuku kisha Betty alimpa Shaka Red Bull ambayo ilimchangamsha na yeye kunywa whisky kuuchangamsha mwili wake.

    Siku ile walishinda mpaka usiku ndipo Shaka aliporudi kwao kulala kwa vile siku ya pili alitakiwa kwenda shule. Kabla ya kuondoka Betty alimpa laki mbili ya kununua nguo na viatu ili aendane naye.

    “Shaka ukitoka shule kafanye shopping nataka uendane na mimi si unaniona nilivyo?”

    “Ndiyo mpenzi.”

    “Basi nataka tukiongozana tofauti yetu ibakie kwenye umri tu.”

    “Sawa mpenzi nimekuelewa.”

    “Basi nikutakie usiku mwema, yaani isingekuwa shule ningekuhamishia hapa.”

    “Namaliza muda si mrefu, je akija shemeji?”

    “Kazi hiyo niachie mimi, sawa?”

    “Sawa mpenzi.”

    Shaka aliagana na Betty na kwenda kwao kulala huku mwili ukiwa umechoka sana. Alipofika nyumbani alipanda kitandani kulala na usingizi ulimchukua.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

                                 ***

    Penzi la Betty na Shaka lilishamiri huku mwanafunzi akishika mafunzo yote aliyopewa kiasi cha kumfanya Betty atamani kuachana na mpenzi wake kutokana na kila alipokutana naye alimuona akimpaka shombo mpaka alipomvuta Shaka kwenye akili ndipo alipofika safari yake.

    Tatizo likabakia kwa Shaka, hakuwa na kitu zaidi ya kutumia nguvu zake kama mtaji na kuzingatia mafunzo aliyopewa na kuyafuata kwa ufasaha kitu kilichozidi kumchanganya Betty na kufikiria kutafuta fedha ili aachane na mpenzi wake ammiliki Shaka peke yake.

                                   ***

    Shaka naye alikuwa na madiliko makubwa shuleni kwani alianza kuvaa pamba kali na viatu vya nguvu. Wasichana wengi waligundua kumbe Shaka alikuwa mvulana mzuri pale shuleni tofauti na zamani walivyokuwa wakimuona. Waliamini kama angetafutwa mwanaume mzuri shuleni basi Shaka angeshika nafasi ya kwanza.

    Kila msichana mzuri alijikuta akijutia nafasi aliyopewa zamani ya kutongozwa na Shaka na kumtolea nje, wengi walijikuta wakitafuta njia ya kumrudisha mikononi mwao.

    Stella, mtoto wa tajiri, mmoja wa wasichana wakali pale shuleni aliyekuwa akijisikia sana, alijikuta akiingia kwenye mateso ya kumtaka Shaka, mvulana ambaye mwanzo hakutaka hata salamu yake.

    Siku moja alijificha darasani na kumchunguza Shaka dirishani aliyekuwa amesimama nje ya darasa bila kujua kuna mtu anampiga chabo. Stella aligundua Shaka alikuwa bonge la handsome.

    Wakati akiyapa macho yake nafasi ya kumsanifu Shaka, alitokea shoga yake kipenzi, Diana ambaye alipofika nje ya darasa alimkuta Shaka amesimama kama anasubiri kitu.

    “Aah! Shaka.”

    “Sema.”

    “Shaka mambo?”

    “Poa,” Shaka alimjibu kwa mkato na kuendelea na mambo yake.

    “Shaka mbona nazungumza na wewe huoneshi ushirikiano?”

    “Diana unataka ushirikiano upi?”

    “Mmh! Makubwa, siku hizi umekuwa hivyo?”

    “Diana mi si saizi yako, nitakupaka shombo la kikwapa tu.”

    “Jamani Shaka bado unayo ya zamani, yale yalishapita.”

    “Sasa tatizo nini?”

    “Nakupenda Shaka,” kauli ile ilimchefua sana Stella aliyekuwa akijipanga kwa ajili ya kumvaa Shaka. Alitamani kusema yeye ndiye mpenzi wa Shaka lakini alihofia kuonekana malaya.

    “Asante,” Shaka alimjibu Diana bila ya kumtazama.

    “Basi naomba jioni tuonane.”

    “Mmh! Kwa leo itakuwa vigumu.”

    “Lini?”

    “Nitakwambia.”

    “Basi Shaka usiniangushe.”

    “Poa.”

    Baada ya kuzungumza na Shaka, Diana aliingia darasani. Alipofika tu Stella alimvaa juujuu.

    “Diana ndiyo nini?”

    “Kuhusu nini tena shoga?”

    “Kwa nini kila ninapotoa mguu na wewe lazima ukanyage.”

    “Sijakuelewa unamaanisha nini?”

    “Utajilengeshaje kwa Shaka wakati unajua ni mpenzi wangu?”

    “Stella ningejuaje kama Shaka ni mpenzi wako?”

    “Si ungeuliza?”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Niulize nini, kwanza wewe ndiye uliyesema Shaka ananuka kama dume la mbuzi.”

    “Mbona unanisema mimi, wewe je?”

    “Tuache utani sasa hivi Shaka anakimbiza shule nzima,” Diana alimsifia Shaka.

    “Yaani hapa nilikuwa namuibia kwa chati, Shaka mzuri atakayejichanganya  anga zangu nitamfanyia kitu mbaya.”

    “Stellaaa! Lakini uhusiano na Shaka umeuanza lini?”

    “Wiki sasa.” "Mmh! Stella muongo.”

    “Kama mi muongo muulize.”

    “Mbona alikubali tuonane?”

    “Si ameamua kukuyeyusha.”

    “Mmh! Tutaona.”

    Stella alibakia na siri yake na kupanga jioni ya siku ile ahakikishe anatengeneza mazingira ya kuwa karibu na Shaka kabla shoga yake hajagundua kitu.

                                           ***

    Muda wa kutoka shuleni, Shaka alielekea kituo cha daladala kupanda gari japokuwa Betty alimpa fedha ya bodaboda kila siku. Alipokaribia kituoni alisikia akiitwa nyuma na mmoja wa wanafunzi wa kiume wa kidato cha chini.

    “Shaks,” aligeuka bila kuitikia.

    “Ha, Jay! Vipi mwana?” alimuuliza baada ya kukuta ni mwanafunzi anayemfahamu.

    “Nina ujumbe wako.”

    “Ujumbe! Upi?” Shaka alishtuka.

    “Kutoka kwa Stella.”

    “Stella! Yupi?”

    “Unayesoma naye.”

    “Ooh! Anasemaje?”

    “Amenipa bahasha hii.”

    Shaka aliipokea na kuiweka kwenye begi la shule na kuelekea kwenye daladala na kuwahi zake nyumbani. Alipofika nyumbani hakukaa sana, alibadili nguo na kwenda kwa mpenzi wake, Betty.

    Alipomuona alijawa na furaha.

    “Jamani mpenzi wangu za shule?”

    “Nzuri mamito.”

    “Mmh! Makubwa kumbe nawe mwingi wa habari. Haya patito wangu umesoma kweli au ndo unaniwaza mimi muda wote?”

    “Walaa, sasa hivi ndo nasoma ile mbaya ili nipasue niweze kukumiliki.”

    “Mmh! Jitahidi.”

    Kama kawaida waliingia ndani na kujifungia chumbani na kuweka mkanda wa blue print, ukawafanya wapandwe na mzuka na kujikuta katikati ya mnazi wakishindana kuangusha madafu.

    Kwa vile walikuwa wamezoeana walifanya ya hamu na siyo ya shibe tena huku wakijua siku ya kuchimbika bila jembe ilikuwa mwisho wa wiki ambayo Shaka haendi shule.

    Baada ya kupeana raha na Shaka kurudi nyumbani kwao majira ya usiku akiwa chumbani kwake alikumbuka kwamba alipewa ujumbe kutoka kwa Stella na kuuweka kwenye mfuko wa shule. Alikwenda anapoweka mfuko wake na kutoa bahasha kisha akarudi kitandani na kujilaza kwenye kitanda chake cha sita kwa sita alichonunuliwa na Betty.

    Aliichukua na kuifungua ndani na kukuta kuna noti nyekundu kumi. Alitabasamu na kusoma kipande cha barua kilichokuwemo kwenye bahasha ile kilichokuwa na ujumbe huu:

    Mpenzi Shaka najua utashtuka kupokea waraka wa mapenzi kutoka kwangu. Najua atajiuliza vitu vingi, naomba yaliyopita yawe yamepita. Inawezekana wakati ukinitaka nilikuwa na mambo mengi kichwani.

    Lakini naomba kukueleza ukweli Shaka nakupenda toka zamani na huu ndiyo wakati wangu wa kudhihirisha penzi langu kwako. Naomba unipe nafasi hii.

    Shaka nipe nafasi nikuoneshe mapenzi, naomba nikumiliki peke yangu, nitakulinda kwa gharama yoyote, nakupenda Shaka mpaka bhaaaasi.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Shaka alijikuta akifurahi na kujirusha kitandani huku akisema:

    “Uhuuuu!!”

    Katika wasichana waliokuwa wakiutesa moyo wake basi alikuwa Stella, mtoto wa kigogo mwenye fedha kama mchanga nchini. Moyoni aliapa kumshikisha adabu baada ya kumdharau kipindi cha nyuma.

    Shaka alilala akitamani kesho ifike upesi ili akarudishe jibu la kukubali kumiliki malkia wa nyuki wa shule aliyekuwa akiamini kwake kumpata ni kama ndoto.

                                             ***

    Siku ya pili Shaka alipokwenda shule alijifanya hajui lolote japokuwa Stella aliteseka kutaka kusikia jibu la ombi lake la jana yake, hata akili ya kushika masomo hakuwa nayo siku hiyo.

    Alitamani apate jibu la Shaka ili ajue kama amepata au amekosa. Siku zote katika maisha yake aliwashangaa wasichana wanaowatongoza wanaume. Kutokana na kujiamini yeye ni mzuri tena mtoto wa tajiri, alikuwa na nyodo na kumchagua mwanaume anayemtaka yeye katika watakaomtongoza basi awe na vigezo anavyovitaka.

    Katika nyodo zake ukimtongoza hukuangalia chini mpaka juu, akikuheshimu anaondoka bila kukusemesha, lakini akikudharau hukutemea mate na kuondoka.

    Katika watu waliowahi kukutana na dharau ile pale shuleni mmoja wapo alikuwa ni Shaka kutokana na muonekano wake wa kimaskini. Lakini baada ya kugundua uzuri wa Shaka alikuwa yupo radhi kulamba matapishi yake kumtongoza mwanaume.

    Aliamini kama atachelewa kusema asubiri kutongozwa basi kuna wasichana vipanga kama shoga yake Diana aliyemshuhudia kwa macho na masikio yake mwenyewe akijitongozesha kwa Shaka ingekula kwake.

    Akiwa darasani muda mwingi aliibia kumwangalia Shaka kwenye dawati lake, kila alipotabasamu moyo ulimpasuka na kutamani tabasamu lile lingekuwa lake. Muda ulikatika bila kuona dalili zozote za kupata jibu.

    Shaka naye muda mwingi alijipanga kurudisha jibu, lakini mazingira yalikuwa hayaruhusu hivyo alitulia kutafuta nafasi.  Diana shoga ya Stella alitoka kwenda msalani,  Shaka aliitumia nafasi ile kutoka ili akampe ujumbe wa shoga yake.

    Alipotoka alisubiri muda kidogo naye alijifanya kwenda msalani na kikaratasi cha ujumbe wa Stella mkononi.  Alitembea taratibu ili kuvuta muda akutane na Diana njiani.

    Alipokaribia msalani alimuona Diana akitoka msalani, alijua watakutana njiani. Walipokutana  Shaka alinyoosha mkono kama anataka kumsalimia:

    “Mambo Dia.”

    “Poa Sweet.”

    “Diana acha hizo, naomba karatasi hii mpe Stella.”

    “Poa, lakini pamoja kuwa mpenzi wa Stella nitahakikisha unakuwa mpenzi wangu hata kwa day worker (deiwaka).”

    “Bidii yako tu.”

    Shaka alimjibu na kuelekea msalani ili kutimiza alichotaka kukifanya. Alipogeuka nyuma alishangaa kumuona Diana akisoma kile kikaratasi alichompa ampe shoga yake.

    Alimshangaa kusoma ujumbe wa shoga yake, lakini haikumsumbua alijua wanajuana wenyewe. Diana baada ya kupewa kikaratasi na Shaka moyo wake ulimsukasuka sana na kutaka kujua kimeandikwa nini ndani ya ujumbe ule.

    Ujumbe alioukuta ulimshtua na kuona kumbe shoga yake alimdanganya. Ujumbe ulisomeka hivi;

    Kuhusiana na ombi lako la jana jioni, nimekubali ila ukileta za kuleta nakupiga chini.

    “Mmh! Mbona Stella alisema Shaka ni mpenzi wake wiki sasa kumbe ombi lenyewe ni la jana jioni. Mmh! Nikimzodoa lazima atajua nimesoma ujumbe wake, sina budi kukaa kimya ili asijue nimemgundua. Lakini lazima mla mbuzi alipe ngombe,” Diana aliwaza baada ya kuona ule ujumbe.

    Aliukunja na kuurudisha kama alivyopewa na kumpelekea shoga yake aliyekuwa kama mgonjwa siku ile. Alipofika karibu na dawati lake alimkuta amezama kwenye lindi la mawazo, macho yake yakiwa yametazama mlangoni.

    “Stella,” alimwita huku akimwinamia.

    “Ee..ee..ee,” Stella alishtuka kama anatoka usingizini.

    “Vipi shoga leo sikuelewi una nini?”

    “Nipo sawa, kwani nipo vipi?”

    “Kama huumwi basi kuna kitu kinakuchanganya au bado Mose anakuchanganya?”

    “Mose hanijui siku zake zinahesabika,” Stella alisema huku amekunja uso.

    “Mmh! Pole nina ujumbe wako.”

    “Kutoka kwa Joel, kwa nini kile kivulana hakisikii, kiambie  mimi siyo hadhi yake awafuate wanuka mikojo wenzie. Unajua kuna wanaume hawajui wanawake wa saizi yao mimi na Joel wapi na wapi.”

    “Mbona kwa Shaka ulisema hivyohivyo leo hii anakuchanganya?”

    “Shaka alikuwa kama nyoka alijificha kwenye gamba sasa hivi katoka mwenyewe live, Shaka bonge la ‘handsome’.”

    “Kwa hiyo ujumbe niliokuletea nisikupe?”

    “Kama unatoka kwa Joel naomba uuchane tu.”

    “Siyo kwa Joel.”

    “Kwa nani?”

    “Shaka.”

    “Shakaaa! Muongo!” Stella alishtuka na kutoa macho kama kaona ng’ombe akitoa maziwa.

    “Kweli, nimekutana naye msalani amenipa kikaratasi hiki nikupe.”

    “Mungu wangu sijui kaandika nini?” Stella alishika mikono kifuani kuteremsha presha.

    “Vipi shoga?” Diana alimshangaa shoga yake.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Mmh! Wee acha tu.”

    “Au nisikupe leo nikupe kesho naona haupo vizuri.”

    “Hapana we nipe hata ukiwa mbaya nipe sina jinsi, upo wapi?”

    Diana alimpa shoga yake kwa chati na kisha aliondoka kurudi kwenye dawati lake haraka na kujifanya yupo bize lakini jicho lake lilikuwa kwa shoga yake amuone ataupokeaje ujumbe ule.

    Stella baada ya kutulia alikifungua kikaratasi huku mikono ikimtetemeka kama ana malaria kali. Alipofungua alianzia chini na kukutana na neno lililoandikwa nakupiga chini. Mapigo ya moyo yalimwenda mbio na kijasho chembamba kilimtoka.

    Kabla ya kupandisha juu kusoma aliishusha pumzi ili kujipa ujasiri na kuanza kusoma akiwa anamini kabisa Shaka lazima atalipa kisasi cha kumtoa nishai siku za nyuma.

    Swali lililomuumiza akili lilikuwa kama Shaka amemtolea nje atauweka wapi uso wake kwa shoga yake Diana aliyejitangaza kwake kuwa Shaka ni mpenzi wake.

    Alipeleka macho juu na kukutana na neno Kuhusiana na ombi lako la jana jioni, nimekubali ila ukileta za kuleta nakupiga chini.

    Stella alijikuta akijisahau kama yupo darasani, akapiga yowe la furaha.

    “Come ooon, sasa watanikoma wavimba macho na hapa hapigwi mtu chini.”

    Kauli hiyo iliwashangaza baadhi ya wanafunzi na kujiuliza wavimba macho gani na nani hapigwi chini? Alikaa chini na kurudia kukisoma kile kikaratasi na kukikumbatia kifuani kisha alikibusu na kukiweka kwenye mfuko wa sketi.

    Kwake ilikuwa furaha lakini kwa shoga yake yalikuwa maumivu makali moyoni mwake kwa kuamini shoga yake alimfanyia umafia mkubwa wa kumchukulia mpenzi wake kwa hila za uongo.

    Lakini aliapa kula naye sahani moja kama hakula nyama basi lazima aambulie hata mchuzi. Shaka alipotoka msalani alirudi kwenye dawati lake na kutulia kama hajui kilichokuwa kikiendelea darasani.

                                      ***

    Stella  baada ya kupata jibu alilokuwa akilisubiri kwa hamu aliona muda ukichelewa, hamu yake ilikuwa kuzungumza na Shaka ili kupanga penzi lao litakavyokuwa baada ya kukubaliwa.

    Muda wa kutoka shule ulipofika, alijitahidi kujisogeza kwa Shaka ili kumpa ujumbe aliokuwa ameuandika kwenye karatasi. Alipomfikia karibu alimshikisha kikaratasi mkononi kwa haraka, baada ya kumkabidhi alichepua mwendo kuwahi eneo la tukio na kuwacha Shaka aliyekuwa akizungumza na rafiki yake Issa ambaye hakujua kilichokuwa kikiendelea.

     Kitendo kile kilikuwa kikifuatiliwa na Diana ambaye alikuwa nyuma. Alishangaa kuona shoga yake siku ile anaondoka bila kumuaga baada ya kumsogelea Shaka bila kufanya kitu na kuondoka bila kugeuka na kutoka nje ya geti la shule.

    Naye aliona ile ndiyo nafasi yake ya kutia neno lake kabla hajatoka nje ya shule kwa vile hakujua shoga yake yupo wapi. Alichepua mwendo hadi kwa Shaka aliyekuwa akitembea taratibu.

    “Shaka,” alimwita.

    Shaka aligeuka bila kuitika na kukutana na Diana.

    “Sema Dia.”

    “Poa Sweet naomba tuzungumze kidogo.”

    “Poa,” Shaka alisema huku akimfuata alipokuwa amesogea pembeni.

    “Vipi?”

    “Poa,” Diana alisema akiwa ameangalia chini kwa aibu.

    “Lete stori umetumwa na Stella?” alimuuliza akiwa amemkazia macho.

    “Walaa.”

    “Ulikuwa unasemaje?”

    “Shaka kwa nini umenifanyia hivyo?” Diana alianza kulalamika.

    “Kukufanyia nini tena Stella?” Shaka alishtuka.

    “Yaani mimi nikuwahi, mapenzi umpe Stella ni haki kweli?”

    “Mbona sikuelewi unamaanisha nini?”

    “Shaka unajua, lakini ulichonifanyia si kitu kizuri,” Stella alizungumza kwa sauti ya kilio ikifuatiwa na machozi.

    “Diana usilie nimekuelewa.”

    “Kwa hiyo?”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Si tupo pamoja tutayamaliza.”

    “Hapana Shaka nipe jibu langu leo.”

    “Itakuwaje ikiwa tayari nipo na shoga yako?”

    “Kama kuanza nimeanza mimi yeye kadandia, kama vipi kila mtu ale kwa wakati wake.”

    “Mmh! Nimekuelewa, je, Stella akijua?”

    “Hawezi kujua penzi letu halitakuwa la matangazo kama lake.”

    “Poa nimekuelewa basi mengine tutapanga tukiwa pamoja?”

    “Lini sasa?”

    “Punguza presha, kwa vile tupo pamoja kila kitu kitakwenda sawa.”

    “Nashukuru sana Shaka.”

    “Poa.”

    Shaka aliachana na Diana na kurudi kwa Issa aliyekuwa amesimama pembeni akimsubiri.

    “Issa twende zetu.”

    “Shaka vipi unaangusha mnyama nini?”

    “Kwa nini?”

    “Yule demu anajifanya matawi sana.”

    “Kivipi?”

    “Si anachukuliwa na mtoto wa waziri basi nyodo kibao kila mwanaume shuleni anamuona hafai.”

    “Umeishatia timu?”

    “Mara kibao kuna siku nilimtangazia mzigo lakini akanitolea nje.”

    “Na shoga yake Stella?” Shaka alimdodosa Issa bila kujua.

    “Yule si ndiyo anajifanya malkia wa shule, kweli Stella mzuri pia kwao wana umatemate lakini amezidisha mashauzi anaringa sana na kutuona wanafunzi wenzie kama kinyesi.”

    “Unataka kuniambia Stella hana mwanaume hapa shuleni?”

    “Hana, naye anachukuliwa na mtoto wa mzee Songwe tajiri mwenye fedha kufuru. Nasikia alimnunulia gari baba yake akakataa.”

    “Duh! Nani Mose?”

    “Huyohuyo.”

    “Nasikia jamaa kwa mademu koma.”

    “Hata shoga yake Diana nasikia jamaa kaangusha.”

    “Wachaa.”

    “Kweli, wale mademu si wanajifanya wa matawi.”

    “Shaka,” msichana mmoja wa kidato cha tatu alimwita.

    “Ooh!  Sofia, unasemaje?”

    “Stella anasema vipi mbona kimya?”

    Kauli ile ilimfanya Shaka akifungue kikaratasi alichopewa na Stella na kukisoma na kukutana na ujumbe:

    “Shaka mpenzi nakusubiri Queen Soft Drink.”

    “My God, Issa tutaonana baadaye kuna sehemu nilielezwa niende nikitoka shule.”

    “Poa basi tumoro.”

    Shaka aliachana na Issa na kufuatana na Sofia aliyetumwa na Stella. Walikwenda hadi Queen Soft Drink kwenye vyumba vya ndani na kumkuta Stella amejaa tele.

    “Karibu Shaka.”

    “Asante.”

    “Sofia Shaka umemkuta na nani?” Stella alijifanya kulia wivu.

    “Nimemkuta na Issa Sharobaro.”

    “Mmh! Bahati yako, ungekuwa na mwanamke pangechimbika. Shaka mimi ndiye mkeo shuleni na nyumbani.”

    “Sawa mpenzi.”

    “Eti Sofia, Shaka anafaa?”

    “Mmh! Sasa Shaka ndiyo habari ya shuleni, yaani anakimbiza. Kila msichana anamzungumzia yeye.”

    “Basi Sofia waambie wenzako sasa hivi ana mwenyewe.”

    “Stella mi niwaache wapendao,” Sofia aliaga.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Nashukuru kwa msaada wako,” alisema huku akimpa asante ya shilingi elfu tano.

    Baada ya kuondoka Sofia walibakia Shaka na Stella aliyeonekana kupagawa kuwepo kwa Shaka pale.

    “Niambie Shaka.”

    “Nakusikiliza wewe.”

    “Unatumia kinywaji gani?”

    “Utakachonichagulia.”

    Alimwita mhudumu na kuagiza juisi mchanganyiko na pizza. Alipotaka kuagiza nyingine Shaka alisema:

    “Unajua nini mpenzi?”

    “Hata sijui Shaka.”

    “Sisi ni wapenzi haipendezi kila mtu ale yake, tutakula pizza moja, glasi moja ya juisi na mrija mmoja au hunipendi?” Shaka alitikisa kiberiti.

    “Aah! Shaka usinifanye nikalia, basi nisamehe nakupenda sana mpenzi wangu,” Stella alipiga magoti kuomba msamaha bila aibu na kumfanya mhudumu kushangaa huku Shaka akiamini mtoto wa kike kaimeza ndoano yote.

    “Aaah! Baby nyanyuka,” Shaka alimnyanyua huku akiwa haamini binti mwenye nyodo kama Stella kumpigia magoti.

    “Hapana baby bado hujanisamehe.”

    “Nimekusamehe  mpenzi wangu japo kwangu sioni kosa lako.”

    “Asante mpenzi wangu.”



    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog