Chombezo : Nilambe Tena
Sehemu Ya Pili (2)
“Nimekuelewa Lina. Lakini mbona zimebaki siku chache kwa wewe
kuondoka? Hiyo kazi nitaikamilisha vipi?”
nilimuuliza Lina wakati huo akipaki gari
pembeni ambapo sikuchelewa
kumbandika swali linguine kabla
hajanijibu ya awali. “Mbona unapaki kabla hatujafika? Au
umeona sehemu iliyobakia nitembee kwa
mguu?”
“Si kweli maswali yako na vilevile
nikikujibu nitakudanganya kwa wakati
huu. Cha muhimu yatazame macho yangu halafu utajua nini namaanisha na
kipi nakihitaji toka kwako.” Nikamtazama
kama alivyotaka. Macho yake malegevu
kama vile kipo alichokula kuyalegeza
zaidi. Lakini pamoja na kumuangalia
moyo wangu ulikuwa ukinienda mbio. Lina hakuwa na haraka kama mama
yake. Kudhihirisha usomi wake, akanihoji
swali lililonitia kigugumizi.
“Una mahusiano ya kimapenzi na mama
yangu?” niweke wazi nilishindwa kumjibu
swali lake. Niliogopa kumdanganya. Nikahamishia macho yangu chini.
Sikutaka kumtizama tena usoni.
“Namfahamu vyema mama yangu.
Kwahiyo usiogope kunijibu. Huenda jibu
lako kwangu likakuepusha na mengi.”
Hapo alinishtua kidogo. Litakalotokea basi! Nilijisemea kabla ya kumjibu.
Nasema hivyo kwasababu hadi wakati
huo hata kama ningekorofishana nao,
sikuwa na lolote la kupoteza kwao.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Hapana. Ila leo nd’o ilikuwa tuweke
uhusiano. Wewe ndiye umevuruga.” Baada ya jibu langu, akapandisha vioo
vya pande zote kisha akaniomba namba
ya simu yangu. Nikampatia. Akaondoa
gari kwa kasi kufuatana na vile
nilivyomuelekeza. Akanifikisha nyumbani
na kuniaga. Nikaingia ndani kwangu na kujitupa kitandani kwasababu ya kuhisi
usingizi.
Kilichonishtua ni simu yangu kuita.
Wakati nikilala, niliisahau mfukoni.
Nikaingiza mkono mfukoni na kuitoa.
Namba ilikuwa ngeni lakini haikunishtua kwasababu kazini kwangu niliiandika juu
ya mlango kwaajili ya wateja wakinihitaji
nisipokuwepo kazini. Nikapokea na
kuiweka sikioni.
“Habari yako kijana” ilisikika sauti ya
mwanaume. Dah! Nilitamani nimvute kwenye simu muda uleule nimchape
vibao. Mwenziye nilitaraji ni Lina. Kumbe
sauti nzito kama injini ya meli. Loh!!
“Nzuri.” Nilimjibu lakini nikitamani akate
simu muda uleule.
“Nilikuja leo kazini kwako haukuwepo. Shida yangu si kubwa sana lakini inayo
malipo mazuri. Naamini wewe ni
mtaalamu wa kuziremba kucha za
wanawake. Nilitaka uzifanyie mambo
kucha za mke wangu maana tuna safari
siku mbili zijazo.” Aliongea cha maana. Si kazi jamani? Nani anayechukia kufanya
kazi ya fedha? Kama upo wa aina hiyo
basi hustaili katika nchi yetu na hata kwa
wenzetu. Tulikubaliana kesho yake
nikaifanye kazi yake kama alivyoihitaji.
Akakata simu nami nikateremka kitandani na kuandaa maji ya kwenda
kuoga.
Nilipomaliza kuoga na kubadili nguo,
nilitoka na kwenda kupata chochote
tumboni mwangu. Hayo ndiyo yalikuwa
maisha yangu ya kila siku. Chumbani kwangu sikuwa na kikombe wala sufuria.
Ndoo na beseni kwa ajili ya kufulia,
pamoja na jagi ili asubuhi niweze
kuswaki pasipo tabu. Sikuwa nikipika
wala sikutamani linizoee kabisaa neno
kupika. Maisha ya kula hotelini sikuyachoka kwasababu niliyachagua
mwenyewe. Kama umepanga kama mimi
usiniige katika hilo kwakuwa usiwaone
wacheza mpira ukadhani wote
wanafaidika nao. Pole!!
“Umelala? Ilikuwa ni meseji iliyoingia katika simu yangu baada ya kutoka kula
na kujilaza kitandani. Mwishoni mwa
meseji ile, alijitambulisha mtumaji ili
asinipe tabu ya kuuliza ni nani maana
namba ilikuwa ngeni. Siyo mdada
unadundadunda kitaani unajiita mjanja wa town vitu kama hivyo huvijui. Muda
wa kuandika sms ya kuulizwa wewe nani,
huenda angekutumia hata meseji ya
kukusifia. Alaa! Unamchosha mtu buana.
“Bado sijajikunyata Lina lakini nipo
kitandani.” Nilimjibu. “Poa.” Ehee! Nikashangaa mtu kanianza
yeye lakini kwa muonekano kama vile
alinikatishia juu kwa juu. Yupo sahihi.
Mwanamke pozi. Kama huna pozi basi
pole yako maana hata mnyama jike
lazima amsumbue dume weeee. Wakimbizane weee mpaka. Maksudi
ilikuwa ni kunipatia namba yake. Sasa
kamaliza acha mjomba nianze kutupa
tufe. Lakini najikakamua kwasababu
nilishaona yupo tayari. Hivyo mimi ni
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
kumalizia tu mpira ndani ya nyavu kwakuwa golikipa alishakata upepo
upande wa kushoto. Unajua kwanini
nakwambia kurusha tufe? Siyo zile
mambo za ooo nakupenda kama moyo
wangu. Unampenda kama moyo wako?
Acha uongo basi ndugu yangu maana moto ukizuka ndani hutasubiri atoke
ndipo ufuatie wewe. tena huenda
ukampiga hata kikumbo uanze kutoka
wewe.
“Lina” niliandika na kuruhusu. Nikasubiri
jibu. “Nashukuru kunipa lifti maana hizi adha
za daladala si mchezo”
“usijali mbona kawaida tu?” alinijibu.
Nilikuwa nilishamshukuru lakini nilirudia
maksudi ilia one najali.
“Poa. Naomba nikuulize kitu kama hutojali” mwanzo wa chombeza zangu
sasa.
“Eti unapenda utani?”
“Ndiyo. Maana nami najua kutania tena
usipoangaliwa waweza kulia kama mtoto
aliyeringishiwa nyonyo” alinijibu vyema. Nikavimba kichwa kikawa kama sim tank
la lita buku mbili.
“Vizuri. Kwani umelala?”
“Ndiyo nipo kitandani najibembeleza.”
“Mh! Unajibembeleza au
unabembelezwa?” Nilimhoji swali hilo maksudi tu ili tu nipate kumsogeza karibu
na utani wa kitandani.
“Ningekuwa nabembelezwa wala
usingeona nikijibu meseji zako kila
unapotuma.”
“Mh! Nisamehe katika hilo. Vipi unapendelea nguo ya rangi gani wakati
wa kusinzia usiku?”
“Pink na green.”
“Hapo ulipo umevaa rangi gani kati ya
hizo?”
“Green” “Natamani nikuone katika vazi hilo”
bahati mbaya kabla hajanijibu, simu
yangu ilizima chaji. Dah! Bahati mbaya
sikuwa nimepanga nyumba yenye
umeme kwamba niweke kwenye chaji
muda huohuo. Nikapitiwa na usingizi huku akili yangu ikiwa na matamanio ya
kundelea kuchat na Lina lakini nd’o hivyo
haikuwezekana.
**
Ni jumatatu majira ya saa nne asubuhi.
Nipo ndani ya gari la mzee Abas akinipeleka nyumbani kwake kwa ajili ya
kuifanya kazi yake kwa mkewe. Tulifika
mkewe akanionyesha uchangamfu wa
hali ya juu. Ni watu walioonekana kuwa
na maisha mazuri kutokana na mazingira
yao ya kimaisha. Baada ya kunifikisha, mzee Abas akatuaga na kuondoka hii
ikiwa ni baada ya kupigiwa simu na mtu
ambaye alionyesha kumhitaji haraka
iwezekanavyo. Nikatoa vifaa vyangu vya
kazi na kuanza kwa kumuosha kucha
mkewe. Nilipomaliza kumuosha kucha zake, nikaandaa rangi alizozitaka lakini
kabla sijampaka, simu yake ikaita.
Akainuka na kwenda kuichukua
chumbani. Kama dakika tatu alitumia
huko chumbani. Aliporudi akaniuliza, “hivi
mwanaume ni muoga kama mwanamke?” “Sina uhakika kwasababu hata usiku
mwanamke ndiye huomba kusindikizwa
nje tofauti na mwanaume ambaye
hutoka tu.”
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Jibu zuri sana.” Aliposema hivyo,
akachukua pochi yake iliyokuwa juu ya sofa na kutoa noti kumi za elfu kumi
akanitaka kuzipokea huku akiniomba
nimtulize kwa dakika chache tu.
Nilistaajabu sana. Ni jambo ambalo
sikulitegemea. Nikaawaza labda ni
mtego nimewekewa nije kugeuzwa mke. Kabla sijajitetea, akaenda kufunga
mlango na kuvua nguo. Akabaki uchi na
kunisogelea. Nilihisi kudungwa GANZI.!!
Nilihisi kudungwa sindano ya ganzi
lilikuwa ni jambo lililonishtua kwa kiasi
kikubwa. Sikulitegemea hakika. Nikaduwaa wakati huo akianza
kunipapasa. Nilikuwa nimekaa juu ya
zulia, hivyo haikumpa tabu hata kidogo.
Akanisukuma nami nikalala chali.
Akanitoa suruali yangu na kumalizia na
boxer. Hakunichelewesha wala hakuwa na mbwembwe za kushikanashikana. Si
haraka? Mwanaume tayari
nilishasimamisha. Niko imara na bunduki
yangu kuingia vitani. Akawa juu yangu na
kuanza kujihudumia huku akiingiza
mikono ndani ya t-shirt yangu na kuanza kunipapasa. Mzuka ukanipanda na
kusahau kama pale ni vya kuiba.
Nikamvuta vyema na kukutanisha
midomo yetu. Bado nikaona
hatanikumbuka. Nikamgeuza yeye akawa
chini lakini kwa mtindo w ubavuubavu huku mimi nikiwa nyuma yake. Hivyo
nikaishika shingo yake na kumbania
mdomoni kwangu. Akawa hapati nafasi
ya kunizungushazungusha na kiuno
chake. Hakuchelewa kumaliza kile
alichokuwa na pupa nacho. Akafika huku mimi nikiwa nd’o kwanza nataka lakini
akaniomba nimuache atatafuta siku
nyingine yenye uhuru anifaidi.
Nikamuachia pasipo kupenda. Akainuka
na kuchukua nguo zake. Akavaa nami
nikavaa. Akauacha mlango wazi kama awali ndipo tukaendelea na kazi.
“Napata kila kitu lakini sifaidi mapenzi.”
Aliniambia lakini kabla sijamhoji, mume
wake akaingia. Lakini akaonyesha hali ya
mashaka. Akapitiliza chumbani.
Nikafanya harakaharaka na kumaliza. Nikalipwa fedha yangu na kuondoka.
Nilipofika nyumbani, nikaoga naa
kubadilisha nguo. Nikaelekea hotelini
kupata chakula cha mchana huku akili
yangu nikiiwaza kauli ya mke wa Mzee
Abas. “Napata kila kitu lakini sifaidi mapenzi.” Sikuipa kipaumbele sana ili
isinichanganye kichwa. Nikala chakula
changu nilichokiagiza pamoja na juisi.
Nilipomaliza sikurudi nyumbani,
nikaelekea kazini kwangu kumalizia
kitanda cha jamaa mmoja ambaye ni mkorofi kweli maana akitoa kazi hulipa
fedha yote kabla ya kumalizika kwa kazi
yake.
“Za kunisahau?” hiyo ilikuwa ni majira ya
jioni nikiwa naelekea nyumbani. Alikuwa
ni Lina. Meseji yake ilinifanya kuhisi aibu kwasababu ilikuwa na ukweli ndani yake.
“Nisamehe kwa hilo japo leo nilibanwa
na kazi tangu asubuhi na simu niliisahau
nyumbani nikashindwa kurudi kuichukua
kwasababu nilisimamiwa na jamaa
mmoja hadi nimalize kazi yake.” Ulikuwa ni uongo lakini sikuwa na namna
nyingine.
“Usijali. Pole na kazi.” Kwa upole
alinijibu.
“Asante.”
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Tunaweza kuonana?” aliniuliza nami sikuwa na shaka juu ya hilo.
Nikamkubalia tuonane. Akaniambia
atakuja kunichukua nyumbani twende
mahali tuzungumze.
Nilipofika nyumbani, haraka nikaoga na
kuvaa nguo nyingine tayari kutoka na Lina. Nilijiongopea. Haikupita muda
mwingi. Saa moja nikasikia mlango
ukigongwa. Sikuwa na mazoea na mtu
yeyote pale ndani wala Lina hakuwahi
kufika pale zaidi ya ile siku aliyonipa lifti
wala hakuteremka kwenye gari. Nikainuka na kwenda kuangalia ni nani.
hamali! Alikuwa ni Lina. Ebwanawee!!
Mzuri halafua anajua avae nini ili
apendeze. Siyo miguu kama bamia
halafu unavaa sketi fupi hadi mapajani.
Si tutakufananisha na kijiti ndani ya buti. Nikamkaribisha ndani huku nikihema kwa
kasi. Sikutegemea kama siku moja
ingetokea mwanamke mzuri kama Lina
angeingia katika chumba changu japo
hakikuwa kibaya sana.
“Umependeza Lina” ilinibidi tu nimsifie wakati huo akikaa juu ya kitanda maana
ndani ya chumba changu, hata stuli
haikuwemo ilihali nilikuwa fundi wa vitu
hivyo.
“Asante” alinijibu huku akinikazia macho.
Nikasogea nami nikakaa kitandani kwasababu nd’o kiti, vilevile nd’o kitanda.
Kwa uchokozi nikakaa karibu yake.
“Tunaelekea wapi?” nilimuuliza.
“Kwako.” Alinijibu kwa ufupi na kunifanya
niduwae. Tupo kwangu halafu
ananiambia tunaelekea kwangu. “Si uliniambia unataka tutoke?”
Nilimuuliza lakini hakunijibu. Akajilaza
kitandani huku miguu yake ikining’inia.
Nikawaza kama dakika mbili kabla ya
kuiga kile alichokifanya. Nikimaanisha
nami nikalala kama yeye. “Yani nikafa sahivi nitakulaani maana
unanionea.” Ndiyo kauli aliyoitoa huku
akigeukia upande wa pili. Nilishajua
lengo lake muda mrefu lakini hiyo yote
kuchelewachelewa ni kujibaraguza tu
wala si vinginevyo. Nikamgeukia na kuinua kichwa changu kisha nikapeleka
mkono kichwani kwake na kumgeuza ili
tutizamane. Taa ilikuwa ni sawa na ile
inayowekwa kwenye mabanda ya
kufungia vifaranga wa kisasa. Mwanga
mkali haswaa. Macho yake yalijidhihirish a pasipo kinywa chake kufunguka na
kunena jambo. Alionyesha kutweta na
macho kulegea. Nikamsogeza karibu na
kinywa changu. Midomo yetu ikakutana.
Wacha mapigo yaniende mbio. Sikuwahi
kufikiria kubadilishana na mwanamke mzuri kama Lina. Mwanamke Midomo
laini kama bamia ilipikwa kwa masaa
mawili. Siyo midomo migumu kama
msasa wa kusugulia mbao. Midomo laini
kwelikweli. Sikuishia kwenye mate tu,
nikapeleka mkono kifuani kwake. Nikaanza kuziminyaminya taratibu
chuchu zake wakati huo nikimnyima
pumzi kinywani mwake kwa kunyonya
mate yake kwa fujo. Akaonekana
kulegea na kukosa nguvu tofauti na
mwanzo. Nikamuachia na kumvua sketi yake akaachia mapaja yake nikaitoa
sketi bila tabu. Sikuwa na haraka.
Chakula nshapewa bila jasho halafu
nitumie haraka? Ya nini?? Taratibu kwa
pozi. Nikayavamia mapaja yake na
kuanza kuyapitishia ulimi kwa mtindo wa panda shuka. Sauti ikabadilika na kuwa
miguno kama mbuzi dume ampandapo
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
jike. Nikamvua taiti na kumkakiza na
nguo ndogo tu ya ndani. Ghafla akainuka
na kunishika kichwa changu kunizuia
nisiendelee na zoezi langu kwasababu baada ya kumtoa taiti, nilirudia
kumlamba mapajani.
“Siziamini kinga na sipendi hata siku
moja mwanaume kuingia kwenye mwili
wangu na kinga” alinishtua kweli.
Nilishajihakikishia kwamba hana ujanja nimeshammaliza kilichosalia ni bunduki
kuwekwa risasi kisha isikike milio tu.
“Kiasi sijakuelewa.”
“Wewe unaniamini?” aliniuliza.
“Ndiyo. Uzuri wako unatosha
kunithibitishia ya kuwa u salama kwasababu nasikia wengi wenye
maambukizi, hawakosi madoadoa na
hata ngozi yao hukunjamana.” Sikuwa
nimepita shuleni zaidi ya shule za ufundi
hii ni kutokana na uhaba wa fedha. Hivyo
masuala ya magonjwa sikuwa nikiyatambua kwa kina.
“Usinitafsiri wala usiniamini kwa kigezo
cha uzuri wangu. Yapo magonjwa mengi
ya zinaa si UKIMWI peke yake. Yote ni
hatari. Yote hayo hayaonekani kwa
vipimo vya macho. Tusijiambukize magonjwa wenyewe kwasababu ya
tamaa za muda mfupi ikawa kilio cha
muda mrefu.” Hadi hapo mwili
ulishanipoa. Hamu ilishatoweka katika
ufahamu na viungo vyangu.
“Nimekuelewa.” Nilimjibu na kumfanya atabasamu.
“Vizuri kama umenielewa kwasababu
hiyo ni kwa faida yetu wote.”
“Asante kwakuwa mwalimu wangu japo
leo kulala itakuwa vigumu kwasababu
nitakuwaza mno.” “Usijali. Leo tuko pamoja mpaka
asubuhi.” Nilidhani kauli yake ni utani
lakini si hivyo. Tuliongea mengi na ahadi
zilikuwa nyingi mno hasa akirejea toka
masomoni. Hadi tunapitiwa na usingizi,
alikuwa kifuani mwangu bila nguo za juu. Nikalifaidi joto lake hadi asubuhi lakini si
kimapenzi. Ni mwanamke jasiri na makini
haswaa. Acha nizidi kumsifia. Mzuri na
makini. Eti na wewe unainua pua na
macho kwa nyodo. Oohh!! Sina shida mi
mzuri hata akiniacha kesho napata mwingi. Unalo dada’angu maana
ukiguswa tu tayari ushajivua nguo
mwenyewe hata hujali kilio chako kesho.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Unadhani kuna mtu atakuonea huruma?
Asubuhi alikuwa wa kwanza kuamka.
Akaniamsha. Dah!! Akanibusu na kunishukuru kwa ujasiri. Ikawa furaha.
Saa mbili na nusu tulikuwa mbele ya
daktari akitunyonya damu zetu.
Zikapimwa sote tulikuwa salama.
Akanikumbatia palepale mbele ya dokta.
“Twende ukanifungue” sikuelewa maana yake mwanzo hadi hapo baadaye.
**
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment