Search This Blog

Monday, October 24, 2022

JAMANI KAKA CHENI …NDIYO NINI SASA?! - 3

 





    Chombezo : Jamani Kaka Cheni … Ndiyo Nini Sasa?!

    Sehemu Ya Tatu (3)





    Ilipita wiki moja tangu wazazi wampige marufuku kaka Cheni kutoka nyumbani. Siku hiyo, mama na baba walikwenda kijiji cha mbali kidogo, kulikuwa na harusi ya mtoto wa mjomba wangu.

    Nyumbani nikabaki mimi na kaka Cheni…

    “Sista,” aliniita kaka…

    “Niambie…”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Mimi nataka kuleta mgeni wangu hapa, sasa ole wako uje kumwambia baba au mama…utanijua mimi ni nani hapa duniani…”

    “Usinitwishe mzigo kaka Cheni. Kila unalolifanya lifanye kwa binafsi yako. Ukijulikana msala ni wako, mimi sihusiki kwa lolote lile,” nilimwambia.

    “Je, ukija kuulizwa kama nilitoka utajibuje?”

    “Nitasema ukweli.”

    “Upi?”

    “Kwani wewe unataka kufanyaje sasa hivi?”

    “Nataka kutoka…”

    “Sasa huujui ni ukweli gani nitakaousema?”

    Nilimwona kaka Cheni anakuwa mpole. Ukweli ni kwamba, tulikuwa tukimwogopa sana baba. Ndiyo maana hakuna aliyekuwa na uwezo wa kwenda kinyume na maagizo yake. Sasa alichokuwa anataka kukifanya kaka Cheni ni kujiingiza yeye kwenye songombingo na baba pia kuniingiza na mimi kama itatokea atajulikana…

    “Poa tu bwana…baba anaweza akaja ghafla halafu kikaninukia,” alisema…

    “Sasa wewe kaka Cheni kumbe unajua, unataka kimnukie nani?” nilimuuliza kwa ukweli kutoka moyoni.

    Aliniangalia kwa hasira sana, macho yalimtoka…

    “Kwanza we unaonekana hata nikileta demu utasema…”

    “Itategemea…mademu wenyewe kama akina Chausiku hawa, nitasema tu.”

    Ghafla nikamwona kaka Cheni akinifuata kwa macho juu, akanishika na kunisukumia ukutani. Nilianguka, akanikaba huku akiniambia…

    “We ni mjinga. Wasichana wenzako wote wanawapenda mawifi zao wewe unamchukia Chausiku. Dada gani wewe?”

    “Niache kaka Cheni…nimesema niache.”

    Nilimsukuma, akaangukia huko, nikasimama na kukimbilia chumbani kwangu. Akanifuata. Nilijitupa kitandani, akaja na kuniminya huku akinishika mikono yote. Nikamkumbatia kwa nguvu, akaachia tabasamu.



    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Hakuna aliyesema jambo lolote. Ikawa sasa ni vitendo tu. kaka Cheni bila soni wala aibu akanichojoa bwana…

    “Utasema?” aliniuliza.

    Nikatingisha kichwa kuashiria kwamba sitakuja kusema.

    “Ukisema shauri zako.”

    “Sisemi kaka Cheni.”

    He! Kuja kushtuka, tuko sare, miili yetu haina nguo. Nilikuwa nahema kwa kasi ya ajabu maana ni kaka Cheni sasa, si yule jamaa yangu.

    Alinitega, nikategeka. Akaniweka sawa, nikakaa sawasawa. Akanipeleka uwanjani, nikaingia huku nikiwa napashapasha misuli moto.

    Wote tukawa uwanjani tunacheza mechi yetu kwa umoja na uhuru wa hali ya juu.

    Nilikuwa nasitasita kutoa ushirikiano lakini mwisho wa siku nikasema huu ujinga sasa. Yaani watu tumeshajivua udugu halafu nasitasita, maana yake nini? Kama ni nyama ya ng’ombe kula yenye nundu ijulikane moja. Na mimi niliamua kufanya hivyo, niliamua kula nyama yenye nundu bwana!

    Du! Ila kaka Cheni nyie, acheni tu. yaani kumbe ndivyo alivyo bwana. Mimi nilikuwa sijui. Si alikuwa haramu kwangu! Basi, we acha tu! mara kulia, mara kushoto, mara juu kwa juu. Ah! Mimi hoi. Nikamwambia mimi niko hoi, akasema sawa.

    Lakini sawa yake bado akaendelea kushambulia. Mikiki aliyokuwa akipiga ilihitaji kipa kwelikweli, Tanzania One na si kipa wa daraja la pili ngazi ya mkoa…teh! Teh! Teh!

    Sasa pumzi zilikata, kaka Cheni ndiyo kwa mbaali nikamwona anakohoa na kufika kwenye kituo cha safari akiwa na mabegi mawili kwenye mkono mmoja.

    Akiwa amepindukia huko na mimi kule, tukapitiwa na usingizi mzito sana! Kuja kushtuka, saa kumi za usiku. Majogoo yenye kiherehere yalishaanza kutoa ujumbe kwa mabosi wao kwamba kunakucha sasa…

    “Kaka Cheni…kaka Cheni,” nilimwita huku nikimtingisha.

    “Nini bwana?”

    “Kumekucha…”

    “E…ee! Kumekucha? Kwani saa ngapi sasa?”

    “Saa kumi.”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Sasa saa kumi ndiyo kumekucha. Ngoja ifike saa kumi na mbili ndiyo uniamshe.”

    Nilimsikiliza nikamwacha, lakini moyoni nikasema huyu si ajabu akiamka tu atakurupukia chumbani kwake mimi ataniachaje sasa! nikaanza kumshikashika sehemu mbalimbali za mwili.

    Nilimwona akibonyea na kunesa, akibonyea na kunesa. Nikasema huyu amekubali kwa kile ninachokitaka mimi. Nikamgeuza maana alikuwa akiangalia mlangoni, mimi nilikuwa nimelala nyuma yake.

    Aligeuka, akakaa sawa na mimi nikamrahisishia kwa kukaa sawa pia. Kazi ikaanza tena. Safari hii nilikuwa nimeshamzoea kaka Cheni kwa hiyo sikupata tabu sana. kazi ikawa nyepesi na nzuri kwani wote tulifurahia ushindi kwa wakati mmoja.

    Mpira uliisha wakati kumeshaanza kuwa kweupe. Saa ya kwenye simu yangu ya mkononi iliniambia ni saa kumi na moja kasoro dakika kumi na tano…

    “Sasa huendi kaka Cheni?” nilimuuliza.

    “Kwani saa ngapi?”

    “Saa kumi na moja kasorokasoro.”

    “Mpaka kumi na mbili bwana.”

    “Wewe kaka Cheni, wakija wazazi je?”

    “Hakuna anayeweza kuja saa kumi na mbili.”

    Basi, tukalala raundi nyingine lakini raundi hii mimi sikupata usingizi hata kidogo. muda wote nikawa nakifikiria kitendo tulichokifanya na kaka Cheni.

    Kuna sauti kichwani ilikuwa ikiniuliza maswali haya…

    “Hivi wewe unavyoona katika watu wako wa karibu umeshamsikia nani anatembea na kaka yake wa damu?”

    “Hakuna hata mmoja,” nilijikuta najibu hivyo.

    “Sasa kama hakuna kwa nini wewe umefanya hivyo lakini?”

    Kusema kweli niliumia sana. sauti ikaendelea kuuliza…

    “Sasa utamwita kaka Cheni au my sweetheart?”

    “Nooo!” nilisema kwa sauti, nikashtuka na kukaa kitandani. Kaka Cheni naye alishtuka, akakaa pia kama mimi.

    “Vipi sista?”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nilianza kulia chini kwa chini…

    “Nini sista? Mbona umesema noo halafu ukashtuka?”

    “Kaka Cheni nasikia uchungu moyoni mwangu…”

    “Uchungu wa nini?”

    “Sijui wa nini,” niliamua kumkwepesha maana ningeutaja ningemwambukiza na yeye na si ajabu ingekuwa kilio cha msiba…

    “Uchungu wa nini sista? Niambie.”

    “Hivi hapa nyumbani pana watu kweli? We nani..?” ilikuwa sauti ya mama.

    Kaka Cheni alitoka kitandani, akaingia mvunguni huku akivuja jasho…

    “Abe mama…”

    “Bado umelala?”

    “Hapana mama, niko macho.”

    “Mbona kama hujatoka kuamka sasa hivi wewe, isijekuwa ulitoka ndiyo umerudi?”

    “Hapana mama, nimeamka muda, nilikosa usingizi tu.”

    “Kaka yako yupo chumbani kwake?”





    “Sijajua mama.”

    “Usiku alikuwepo?”

    “Alikuwepo mpaka mimi nakwenda kulala.”

    Mama aliufuata mlango wa chumbani kwa kaka Cheni, akaushika na kutikisa kitasa huku akiita…

    “We Cheni…Cheni.”

    Mimi miguu ilitetemeka, nusu nianguke. Najua kaka Cheni yuko chumbani kwangu tena chini ya kitanda, sasa itakuaje!

    Mama alizungusha kitasa, mlango ukafungua huku akiendelea kuita…

    “Wewe Cheni…Cheni…”

    “Kama katoka itakuwa asubuhi hiihii mama, lakini mpaka anakwenda kulala usiku nilimsikia akifunga mlango,” nilisema mimi huku dhamira ikinisuta vilivyo.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Yaani mama ajue kaka Cheni yuko chumbani kwangu, sijui tutambebea mbeleko gani huyu mwanamke.

    Aliachana na kaka Cheni akaingia ndani kwake. Kama nilivyosema, chumba changu na cha kaka Cheni vilikuwa uani na vilipakana. Chumba cha mama na vyumba vingine vilikuwa nyumba kubwa.

    Niliingia haraka chumbani, nikainama kuangalia chini ya kitanda…

    “Kaka, kama umeingia chumbani kwangu, toka haraka sana lisije likazuka balaa.”

    “Wee sista, nisije nikatoka nikakumbana naye kwenye mlango?”

    “Hamna bwana, toka chapuchapu! Nilikwambia mimi tangu majogoo yanawika hukusikia. Ona sasa!”

    “Si wakati wa lawama huu sista, kwani si tulistarehe wote.”

    “Mimi sizungumzii ushetani wetu, nazungumzia ubishi wako wa kukataa kuondoka mapema.”

    Kaka Cheni alitoka, akasimama mlangoni…

    “Ngoja nimwangalie kwanza,” nilimtahadharisha.

    Niliingia nyumba kubwa hadi sebuleni na kubaini kwamba, mama yuko chumbani kwake. Nikatoka mbio.

    Kufika chumbani kwangu nilimshika mkono kaka Cheni, nikamtoa haraka sana, akaingia chumbani kwake. Ile anafunga mlango tu, baba anaingia…

    “Mungu wangu,” nilisema kwa sauti ya moyoni…

    “Shikamoo baba…”

    “Marhaba, umeamkaje?”

    “Salama, poleni na msiba.”

    “Tumepoa mama.”

    Baba aliingia ndani nyumba kubwa. Baada ya kama dakika kumi akatoka akiwa ameongozana na mama…

    “Kaka yako yuko?” aliuliza baba.

    “Yupo.”

    “Amerudi saa ngapi?” aliuliza mama…

    “Anasema alikwenda kununua sabuni ya kuogea,” nilimtungia uongo…

    “We Cheni,” aliita mama.”

    “Naam.”

    Kaka Cheni alikuja, lakini niligundua kwamba, nilimtungia uongo mbaya sana…

    “Ulikwenda wapi?”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Dukani…”

    “Kununua nini?”

    Mimi nilijua kaka Cheni alisikia niliposema alikwenda kununua sabuni, kumbe hakusikia…

    “Kununua wembe,” alisema na kwenda kinyume kabisa na maelezo yangu…

    “Wewe na dada yako nani muongo? Yeye amesema ulikwenda kununua sabuni ya kuogea, wewe unasema ulikwenda kununua wembe,” mama alikuja juu.

    “Hata sabuni nilinunua mama,” alisema kaka Cheni.

    Baba akadakia…

    “Haya, kalete huo wembe na hiyo sabuni.”

    Kaka Cheni alinikata jicho hilo, huku akiingia ndani kwake.

    “Leo tunaumbuka, sijui kwa nini tumefanya mambo ya kijinga namna hii sisi, hakika tukio hili likipita salama naapa sitarudia tena na nitamheshimu kaka Cheni na kuogopa kuwa naye karibu,” niliwaza.

    Baada ya muda kaka Cheni akatoka na sabuni ya kuogea ikiwa kwenye boksi jipya, mwenyewe nikashangaa…

    “Huo wembe uko wapi?” aliuliza mama…

    “Nimeupoteza.”

    “Umeupotezaje wakati wewe ndiye uliyeununua?” mama alimwuliza kaka.

    “Siyo nimeupoteza kwa maana ya kuuangusha, nimesahau nilipouweka mama,” kaka Cheni alijitetea.

    “Ukisikia uzembe ndiyo huo, kwa mfano zingekuwa pesa si ingekuwa umepata hasara?” mama alimwuliza kaka.

    “Ingekuwa hivyo mama, lakini siyo kwa kupenda,” kaka Cheni alimwambia mama aliyeishia kumwangalia tu.

    Kifupi mimi nilijifunza kitu kwamba, maisha wanayotaka wazazi niyaishi mimi na kaka Cheni ni mabaya sana kuliko kutupa uhuru.

    Kaka Cheni na ubwanga wake wote lakini anaambiwe asiwe anatoka nyumbani ni balaa!

    ***

    Yaliisha, usiku ukaingia. Baba alikaa sana nje siku hiyo, najua alikuwa akimlenga kaka Cheni asitoke. Ilipofika saa sita usiku, baba akaingia ndani kulala.

    Mimi nikamchokoza kaka Cheni kwa meseji…

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Dingi ndiyo kaingia, utatoka?”

    “Kwenda wapi?”

    “Si mademu zako.”

    “Hata wewe demu wangu, njoo basi huku.”



    Nilitabasamu mwenyewe kwanza, lakini moyo ukanisuta kwa swali langu kwa kaka Cheni kwani alichoniambia si ndiyo ukweli! Kama si ukweli kwa nini nilimuuliza vile?

    Halafu ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kumuuliza swali kama lile kwamba, haendi kwa mademu wake?

    “Mh!” Niliguna nikiwa na maana nina wasiwasi na kuniita kwake…

    “Unaguna nini sasa?” kaka Cheni aliniuliza.

    “Nimefurahi tu.”

    “Umefurahi mimi kukuita au?”

    “Nimefurahi leo hutoki.”

    “Mdingi kaloga. Saa hizi ningekuwa kitaa,” alisema kaka Cheni kwenye meseji yake…

    “Teh! Teh!” mimi nilicheka tu.

    Lakini kichwani akili yangu ilikuwa inagongana. Kwamba kama kaka Cheni atakazana niende chumbani kwake. Je, niende kweli au nikatae?

    Nilijikuta nawaza sana kwa muda huku nikiwa sina uamuzi kama ikitokea…

    “Oyaa,” kaka Cheni alituma meseji hiyo baada ya ukimya mrefu kidogo.

    “Niambie.”

    “Waja au?”

    “Mh! Kaka Cheni bwana, mi naogopa ujue.”

    “Unaogopa nini sasa?”

    “Mfano baba akitoka je?”

    “Kwani kuna siku ametoka akaingia kwako au kwangu?”

    “Najua hawezi lakini akiniulizia?”

    “Basi mimi nije kwako.”

    “Ndiyo itakuwaje sasa?”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Akiniulizia mimi hakuna noma hata kama atajua nimeondoka nyumbani, msala utakuwa kwangu mwenyewe.”

    “Mh! Kaka Cheni wewe…huogopi?”

    “Siogopi.”

    “Sasa mfano ukija, utakaa kwangu mpaka muda gani?” nilimuuliza swali la mtego. Maana asitegemee akija akalala mpaka jua linatoka…

    “Chapuchapu tu,” alijibu fasta.

    “Mh!” Nilimgunia kwanza…

    “Mbona unaguna sista?”

    “Nimefurahi tu.”

    “Sasa…si muda unakwenda?”

    Kaka aliponiambia hivyo, sikumjibu kwa wakati kwani bado moyo ulikuwa ukinisuta kwa kitendo cha kufanya mapenzi na kaka yangu.

    “Oya sista, mbona sikusomi, nije au unakuja wewe?” kaka aliniuliza tena.

    Aliponiuliza hivyo, nikakambuka jinsi alivyokuwa akinishika, kunibusu, kunifinya na alivyonipa denda lake tamu, nikajikuta mwili ukinisisimka, nikatamani kuwa naye.

    “Njoo,” nilimuita kwa meseji fupi tu hiyo.

    Lakini moyoni niliamini kwamba, tabia za wazazi kutuzuia kutoka zinachangia kutokea kwa hali ile.

    “Haya yote wameyasababisha baba na mama kwa sababu ya ukali wao, yaani wanatuchunga kama mbuzi, shauri yao bwana,” nilijisemea moyoni.

    Nilimsikia kaka Cheni akitoka kitandani kwake. Mimi nikaenda kufungua mlango wa chumba changu. Nikamsikia akifungua mlango wake, akatoka. Nikamsikia akishika mlango wangu, akaingia ndani, akaufunga.

    “Nizime taa?” nilimuuliza nikiwa nimejiinamia…

    “Ndiyo maana yake,” alisema.

    Tulitumia sauti ndogo sana kuwasiliana ili lisisanuke.

    Nilizima taa mwenyewe mwenye chumba kisha nikarudi kitandani. Kaka yeye alishapanda kitandani zamani sana akinisubiri.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nilipopanda, nilipita hadi ukutani…

    “Lakini kaka Cheni wewe… tukifumwa shauri yako,” eti nilijivua.

    “Hamna. Akija baba nazama chini ya kitanda kama asubuhi halafu kesho namwambia nilikwenda kununua wembe.”

    “Mh!” Niliguna…

    “Halafu wewe unapenda sana kuguna. Kwa nini lakini?”

    “Basi tu kaka Cheni nimezoea kufanya hivyo.”

    “Mimi sii-pendi hiyo tabia yako ya kuguna,” kaka Cheni akaniambia.

    “Nisamehe kaka,” nikamwambia.

    Tukawa tunasikilizana tu sasa. hakuna aliyemgusa mwenzake. Mimi nilikuwa naogopa, nilikuwa natetemeka. Kichwani nilikuwa nina maswali kibao kuhusu uamuzi wa kutembea na kaka yangu wa damu moja.

    Kaka Cheni ndiye aliyeanza kunishika, akanigeuzia kwake maana nililala naangalia juu…

    “Vipi?” Eti nilimuuliza kama sijui kwa nini alinigeuzia kwake. Yaani mpaka mtu anaingia ndani kwangu, anapanda kitandani nilikuwa sijui ni kwa nini?

    “Kwani hujui?” naye aliniuliza, nikacheka ndani kwa ndani.

    Niligeuka. Hapo nilikuwa ndani ya kanga moja tu. Kaka Cheni akaivuta ikatoka, nikawa kama nilivyozaliwa sasa…

    “Mh!” Niliguna, nikakumbuka alivyosema kwamba napenda sana kuguna, nikamwomba samahani. Hakunijibu, nikamwona anainua miguu juu na kuvua bukta…

    “We kaka Cheni, hebu sikiliza nje, kama kuna mtu anatembea,” nilimwambia.



    “Hakuna mtu bwana…” aliniambia akisikilizia kama maneno yangu yalikuwa na ukweli wowote.

    “Yupo, we husikii? Inawezekana ni baba!”

    “Uoga wako tu, mbona kuko kimya.”

    Kaka Cheni aliongea huku akinisogelea zaidi maana tayari bukta yake ilikuwa pembeni wala mimi kanga yangu sikujua wakati huo ilikuwa kona gani, tukawa saresare maua. Kwa pozi za taratibu aliupitisha mkono wake wa kulia na kuanza kunipapasa taratibu.

    Mh! Mwenzenu, hali niliyoisikia baada ya kaka Cheni kuanza kufanya hivyo haikuwa ya kawaida, akili zangu zote zikaniruka, nikawa kama natetemeka vile kwa homa ya ghafla. Bila kutegemea nikajikuta naanza kuhema kwa pupa.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “We kaka Cheni wewe unajua baba atatukuta?” niliongea kwa kudeka f’lani huku macho nimeyalegeza nikimvutia kwangu zaidi na zaidi.

    Kaka Cheni hakuongea neno lolote, tayari mikono yake ilikuwa imekwisha chachamaa akinigusa hapa na pale katika mwili wangu, aliponichanganya zaidi ni pale alipoanza kuutumia ulimi wake kuufanyisha ziara ya utalii mwilini mwangu. Nilihisi akinimaliza akili zangu bure, nguvu zote zikaniishia, nikalegea mno na kuanza kutoa miguno iliyoashiria kuzidiwa na mihemko, nikaanza kumsisitiza kaka Cheni kama ni uwanjani tuingie tucheze halafu asepe maana sikuwa naamini sana siku hiyo.

    Lakini yeye alizidi kukazana kunishikashika, mara nikashtukia akinihemea kwenye sikio langu la upande wa kushoto. Joto la kukumbatiana  likazidi kunipanda zaidi, bila kutegemea nilishindwa kujizuia nikamwingiza uwanjani ili tusakate mpira.

    Nafikiri kaka Cheni alifahamu tayari nilikuwa nimekwishazidiwa kihisia, hakutaka kuwa na hiyana na yeye aliamua kuucheza mpira huo kwa ustadi wa hali ya juu.

    Kila mmoja wetu alikuwa na akili zake kwani wakati kaka Cheni akikazana na mpira, mimi nilisikilizia nje, nikasikia sauti ikiita…

    “We Cheni…Cheni, upo..?”

    Alikuwa ni baba.

    Kaka Cheni akakurupuka kitandani akitaka kuniacha peke yangu, nilijaribu kumng’ang’ania asiondoke kwanza lakini alinizidi nguvu, akasimama kando ya kitanda huku akihema kwa kasi, kisha haraka nikamuona akiokota bukta yake na kuivaa.

    Moyoni niliumia sana huku nikimchukia baba kuliko kawaida maana nilihisi wakati huo alininyanyasa mimi kuliko wakati mwingine wowote ule, tayari mwili wangu ulinyong’onyea na kukosa nguvu.

    Baba alinikata stimu, sikuwa na jambo la kufanya zaidi ya kukubaliana na hali halisi maana tayari kilikuwa kimekwisha nuka.

    Wakati huo pia tofauti na mwanzo, sauti ya baba nilianza kuisikia kutoka kwenye dirisha langu ikiniita. Nafikiri ni baada ya kuona chumbani kwa kaka Cheni kuko kimya ndipo baba alihamia kwangu.

    “Tufanyeje?” kaka Cheni aliniuliza kwa sauti ya chini huku nikijifunga kanga na yeye akivaa sawasawa bukta yake.

    “Ingia huku,” nilimwambia kaka Cheni…

    “Chini ya uvungu?”

    “Ndiyo.”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Harakaharaka kaka Cheni alizama chini ya uvungu wa kitanda, mimi nikajilaza kitandani taratibu mfano wa mtu aliyekuwa ameshtuka wakati amekwisha anza kupitiwa na usingizi niliitika.

    “Umekwisha lala?” baba aliniuliza.

    “Ndiyo.”

    “Haya, huyo kaka yako sijui yuko wapi?”

    “Si chumbani kwake baba!”

    “Hayumo.”

    “Mh! Labda msalani.”

    “Haya wewe lala, atanitambua tukionana.”

    Nilisikia hatua za baba akiondoka. Nilimsindikiza kwa hasira aa ndani kwa ndani huku moyoni nikimlaani kwa kitendo chake cha kutuchunga sana kama mbuzi, lakini kilichoniudhi zaidi wakati huo ni kitendo cha baba kunikatisha stimu.

    Baada ya kuhisi baba amekwishaondoka, nilimwambia kaka Cheni atoke chini ya uvungu, akafanya hivyo, lakini na yeye alionekana kuchukizwa na kitendo cha baba kukaa anatuchunga kila wakati.

    “Wazee wengine nuksi kweli,” kaka Cheni alisema, mimi nikacheka nikimpa pole kwa adha aliyokutananayo chini ya uvungu.

    “Ngoja niende asije akarudi tena,” alisema kaka Cheni.

    “Mh…mh…” niliguna nikitingisha kichwa kumaanisha sikukubaliana naye.

    “Nini sasa?”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Usiondoke.”

    “Mh! We kweli hunitakii mema.”

    “Ameshakwenda chumbani kwake kulala.”

    “Hawezi kulala huyo. Akili yake yote iko kwangu, ngoja nilisovu hili kwanza nitarudi tena.”



    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog