Chombezo : Play Boy
Sehemu Ya Pili (2)
Furaha kubwa ikanitawala coz mlimbwende wangu helleiner alikuwa njiani anakuja hivyo wazo la michelle sura mbaya likafutika, nikiwa bado maeneo ya pale magomeni mapipa mara nilishangaa naguswa mabegani ile nageuka nyuma yangu,
"jeff unakwenda wapi sasa..? Nakupigia simu hupatikani mpenzi..?"
Oooh my God, alikuwa ni Michelle sura mbaya na aliniona nilipokuwa...
Songa nayo..
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Nani Jeff..? midada mingine sijui vipi imetoka uko na miarufu ya kikwapa inavamia vamia tu..?”
Nilimkazia kwa jicho la kigumu kana kwamba simfahamu.
“Jamani Jeff kwahiyo ndio umeamua kuutesa moyo wangu mpenzi..?”
Sikuwa hata na chembe ya huruma. Ilinibidi kujiondoa ile sehemu asije helleiner. Niliondoka lile eneo huku nikimwacha Michelle sura mbaya akiendelea kunishangaa kana kwamba ni kweli kanifananisha.
“Jeff?? Jeff? Utaona wewe si mjanja? Umeniitamwenyewe tukutane halafu sasa hivi unajifanya hunijui siyo enhh?”
Michelle sura mbaya aliendelea kulalamika kwa sauti ya kupaza hali iliyofanya eneo lote wamshangae kwa makelele aliokuwa akiyatoa. Sasa macho yangu yakawa yameonana na nyumba ya pembeni nikaingia moja kwa moja nakujifanya naijua hiyo nyumba. Moja kwa moja mpaka eneo la uani nikatoa simu yangu nakumpigia mlimbwende wangu Helleiner.
“Hello beiby umefika wapi?”
“Jeff mie ndio nakaribia kushuka muda wowote kuanzia sasa nitakuwa hapo kituoni, si umesema magomeni mapipa..?”
“Ndio niko hapa nakusubiria mpenzi..”
Nilitoka kwa machale uku nikiangalia pande zote huku na kule nakumuangalia kama michelle sura mbaya ameondoka kwa maana angeharibu sherehe yangu ya leo. Mpaka nakaribia kituoni sikumuona michelle sura mbaya. Kidume nikaweka pozi kusubiria, mara simu ikaita haraka haraka hata sikutaka kuangalia namba.
“Helleiner jamani umeshashuka..?”
“Shhhhuuuuu*&&^%$, umenichokoza sasa utanijua pumbavu zako lazima ulale na mimi tu ”
Nilipokea fyonyo la haja. Sikutaka kuamini macho yangu kama ni Helleiner ndio ameniambia maneno hayo. Nikakaa kimya nakuisogeza simu yangu mpaka usoni nakuangalia kama ni kweli Helleiner wangu.
“Ahaaa haaa haaa hili gogo nilipeleke wapi Jeff mie..”
Nilicheka kwa sauti ya juu hali iliyofanya abiria wote pale kituoni wanishangae. Hakuwa Helleiner bali alikuwa ni Michelle sura mbaya akinipigia simu. Niliikata simu yake. Kitendo cha kurudisha tu simu mfukoni nikashangaa kuguswa bega.
“Michelle niache nakwambia..”
Niling’aka kwa sauti ya juu lakini hakuwa Michelle kama nilivyodhania.
“oooh My beiby Helleiner..!!”
Helleiner akanisukuma. Nikamrudia kwa lengo la kutaka kumkumbatia.
“Michelle ndio nani Jeff”
“ Ahhh haaa Helleiner, huwa napenda sana kumfanyia surprise mchumba wangu. Na hii ni kama surprise kwako. Hilo jina la Michelle hata silijui limenitoka tu akilini na yote hiyo nikupime tu una haisra kiasi gani..? kweli nimeamini unanipenda na ndio maana una wivu na mimi”
“haya mpenzi wangu twende sasa huko beach..”
“Poa tuchukuwe daladala ya kivukoni ndio itakuwa rahisi kufika mikadi beach”
*********
Mwendo wa nusu saa ulitosha kabisa kwa mimi na kipenzi changu Helleiner kufika mikadi beach. Tulijikuta wote kwa pamoja kufurahia mandhari ya upepo wa bahari.
“My love, hapa itatubidi tuogelee”
“mmh mie Jeff ni muoga sana wa maji!”
“Anhhaaa Helleiner wangu acha kkuniaibisha basi.. Leo hapa hakuna hata watu wengi zaidi ya sisi na wengine wale kule tena mbali tu. Haya vua nikufundishe kuogelea..”
Helleiner akavua nguo zake zote nakubakiwa na kichupi tena kichupi chenye muundo wa bikini. Juu akabakiwa na sidiria yenye mikanda ambayo ilikuwa ikiyaacha maziwa yake nusu. Kidume nikavua nguo zote na kubakiwa na kikaptura cha ndani (boxer). Kwakuwa mazingira yale hayakuwa na mtu. Tukaziweka nguo zetu pembeni kisha nikamvuta mtoto Helleiner mpaka ndani ya maji.
“Jeff maji yabaridi sana jamani..? halafu ona yale kule mengine yanakuja kasi, aku mie sitaki bwana Jeff!!”
Helleiner alikuwa mbishi lakini mbele ya play boy mimi Jeff Ryder alitulia. Nilimweka kifuani kisha nikasonga naye ndani ya maji huku tukifurahia raha ya maji. Mwili wangu wote ukaonesha kuingiwa matamanio kwa asilimia mia. Tukasonga na maji nakuelekea sehemu ya mbali mbali ambayo mtu hawezi kutuona tunachofanya. Nikajikuta moyo ukiifosi akili kutaka kufanya mapenzi na Hellleiner ndani ya maji.
“Helleiner?”
Nikaita kwa sauti ya kimahaba huku Helleiner nikiwa nimemshusha tumekumbatiana.
“Abee”
“I love you, nakupenda san asana!”
“Jeff huna mwanamke mwingine”
“Hapana na ningekuwa naye kwa sasa ungenikuta tayari nipo naye hapa beach. Wewe ndio niliokuchagua ndani ya moyo wangu. Nakupenda.”
Niliyakakamua machozi mithili ya filamu zetu za bongo movie. Nikayatoa machozi haswa kumshinda hata yule muigizaji wanayemuita Riyama. Kidume nikausogeza mdomo wangu mpaka karibu ya mdomo wa Helleiner. Helleiner akaonekana macho kumlegea sana. Akaukubali mdomo wangu nakusaidiana kuzinyinya ndimi. Kidume mimi mwili wote ukanisisimka nakujiona niko dunia nyingine. Nikautoa mkono wangu mabegani mwa Helleiner nakuusogeza mpaka katika eneo lake la sehemu za siri nakuanza kuzitekenya.”
“Jeff, jeff Jeff stoooooop”
Helleiner alitumia nguvu za kike za kuutoa mkono wangu katika sehemu zake za siri.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Jeff siko tayari kufanya mapenzi kabisa”
“Helleiner hivi kweli unanipenda? Nimeshakukabidhi moyo wangu na hapa unaponiona sijawahi hata kuujua mwili wa mwanamke maishani mwangu mie..”
“Sawa nimekuelewa lakini siku nyingine tutafanya tu..”
Niliona kama ananipotezea muda. Nikachukuwa mdomo wangu nakuanza kumnyonya ndimi zake. Nikamlegeza haswaa akalegea.
“Jeff una kondomu”
“Beiby kwenye maji kondomu za nini tena na hata hivyo unamaana huniamini siyo, mbona mimi nakuamini..?”
Niliendelea kumfosi lakini bado akaonesha na msimamo.
“Haya Jeff nimekubali kufanya mapenzi na wewe lakini siyo hapa..”
Kidume mimi nikajiangalia vizuri nikafurahi na moyo wangu mtoto kuingia katika kumi na nane zangu. Akili yangu ikawa sawia na ufunguo wa ghetto kwa mshkaji ambao niliuweka ndani ya suruali. Nikajipa msemo kichwani mwangu kuwa ‘kuku wa kwangu mwenyewe manati ya nini?’
Tukatoka ndani ya maji nakuelekea sehemu tulipokuwa tumeziacha.Tahamaki! hakukuwa na nguo hata moja katika eneo lile. Si Helleiner wala mie tulikuwa tumechanganyikiwa kwa kushikwa na butwaa.
"jeff.. ona sasa yote umeyataka wewe...?"
"...helleiner tuache kulaumiana huu si wakati wake.."
Kiukweli helleiner alikuwa akilia sana tena kwa sauti ya juu huku kwikwi ikimbana, mara akatokea mshikaji mmoja tena alikuwa anaonesha ana haraka ya hali ya juu..,
"...samahanini jamani,tena nawaombeni radhi.., nilikuwa mbali na hapa.."
"...oyaa samahani yanini tena mwana...?"
"...mimi ni muhusika katika eneo hli la beach..."
Kabla hajamalizia kuongea nikamwahi hapo hapo na swali..,
"kwa hiyo nguo zetu zipo wapi...?"
"...nilizichukuwa na nikazifungia mule ndani ila msijali viko salama tu..."
Tuliongozana naye mpaka eneo alilohifadhi nguo zetu.., yani hatukuweza kuamini kabisa kwani vitu vyote tulivikuta hivyo tukavaa fasta fasta,
"...jef nakupenda sana...!"
"..hata mi nakupenda helleiner pliz tudumishe penzi letu..."
"..kwahilo tu usijali mpenzi jeff kuanzia sasa utafuahi tena sana tu.."
Nilifurahi kimoyo moyo huku nikijipa uhakika sasa tayari namiliki kifaa na tena kifaa chenyewe ni mtoto helleiner.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"...beiby sasa hivi ni kama saa 12 hivi so tunaelekea home kwangu kama tulivyoongea au...?"
"..hapana jeff nimechelewa sana nyumbani,lakini usijali tutakwenda siku nyingine mpenzi..."
"...aaah helleiner japo mara moja upajue tu then mi ntakusindikiza mpaka kwenu nipajue vizuri..."
"jeff kwa kung'ang'ania tu..? Haya twende.."
Mzee mzima nikawa nimeshajiwekea uhakika tukishafika tu itakuwa kosa kubwa kumwacha nisi sex naye,nikajisachi ufunguo huku na kule mara eeh siuoni, akili ikaanza kunichemka kila nikijisachi mifukoni sioni kitu ikanibidi niulizie kwa yule mtu aliyetuhifadhia nguo zetu,
"...oyaa mwana nilikuwa nimeweka funguo kwenye suruali mbona siuoni..?"
"funguo...? Embu jisachi vizuri bhana..!"
Nilijicheki tena lakini sikuuona,
"aaah powa nimekumbuka ninao wa ziada nyumbani.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikimshika mkono helleiner wangu nakuondoka naye,nilipofika mbali kidogo yule jamaa aliniita,
"..oyaa mwana samahani tena nakuomba mara moja sorry sana.."
Ikanibidi nimsikilize,
"..mwana sorry, alikuja demu wako hapa akadai kuwa anaitwa michelle mwavua na akasema nimpe tu ufunguo atangulie nyumbani mtamkuta nyie niwaache muendelee kuogelea tu...!"
"unasemaje...? Whaaaaat...? Embu huyo demu alivaaje...?"
"Suruali ya kitambaa nyeusi na tisheti nyeupe.."
Dah nilivyoelekezwa ni vile vile alivyokuwa leo mchana, lakini nani atakuwa amemwambia nina ufunguo na hata getto kwa mshikaji amepajuaje..?
Nilijiuliza sana bila kupata majibu kiukweli michelle sura mbaya alikuwa ameshaharibu siku yangu,
"...aaaahh lakini mi ndo jeff ryder bhana na ole wake nimkute huko nitamuharibu sura yake mara mbili alivyo pale...?"
Niliongea peke yangu chini chini huku nikimfuata helleiner na kuondoka naye mpaka magomeni getto kwa mshikaji..
~ Ndani ya Nusu Saa ~
Tulikuwa tayari tumeshaingia ndani ya magomeni mapipa huku breki ya kwanza getto kwa mshkaji na kwa bahati nzuri nikamkuta yupo nje kwenye kiduka,
Aliponiona na helleiner tu akanivuta kwa pembeni na kuninong'oneza kitu.
"..oyaa jeff kuna demu wako mwingine amekuja yupo chumbani amesema anakusubiri umekwenda beach na umemwachia ufunguo atangulie..."
"umesema...?"
"ndo hivyo mwana.."
Nilijihisi kuchanganyikiwa..,nilimwacha helleiner pale nje na mshikaji huku nikiingia ndani nakumdanganya helleiner,
"baby wacha niingie ndani niwashe taa then nitakuita si unajua naishi alone brother angu ninayeishi naye bado yupo kikazi south africa.."
"kwani funguo ulizipata...?"
"usijali nilikuwa nazo za akiba.."
Nilimdanganya nakuingia ndani huku nikimwacha na mshikaji wangu pale nje, nilifungua mlango vizuri tu kwani haukuwa umefungwa moja kwa moja mpaka chumbani na nilipofika tu nikawasha taa nakumshuhudia michelle sura mbaya akiwa uchi kama alivyozaliwa huku akionesha kupitiwa na usingizi..,
"we michelle...? Unafanya nini hapa embu ondoka, tena toka kabla sijakutoa uchi humu ndani..."
"...jamani jeff embu punguza hasira mpenzi mbona hivyo..."
"nani mpenzi wako..?, mshenzi nini we.., kwanza mi ni hadhi yako enhe..? Si naongea na wewe enhe..?"
Nilikuwa na hasira kali lakini michelle sura mbaya hakuonesha kukasirishwa kwangu,akasimama nakunikumbatia huku chuchu zake zikichoma kifua changu,
"...niache michelle nimesema niaaaaache..!"
"..jeff.., jeff nakupenda sana mpenzi wangu..."
Kusema hivyo tu kidume mimi nikaanza kulegea hivyo nikajikuta namkumbatia kisha michelle sura mbaya akanivua nguo zangu,
Nilimparamia huku akilini nikijiwekea picha fulani kama vile na sex na Jlo au beyonce..,
Nili sex naye kwa nguvu zote bila kuchoka mpaka nikamaliza bao la kwanza nikamlalia hapo hapo kifuani mwake nikihema juu juu.., japokuwa ni mbaya wa sura na umbo lakini alikuwa na matiti mazurii na anajua kusex mbayaa nadhani atakuwa alifundwa maana hivyo viuno vyake duh..
Tukiwa bado tunasex mara nikasikia sauti,
"..we jeff..? jeff..? leo tu umeshanisaliti..?"
Maskini ilikuwa ni sauti ya helleiner tena ikitokea dirishani kwani alikuwa anatuchungulia na dirisha lilikuwa halijashushwa pazia na mbaya zaidi taa ya chumbani nilivyoiwasha nilipoingia tu,
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"..helleiner nooou..! Usiondoke pliz.."
"jeff sitaki tena kukuona hata kukusikia kuanzia sasa.. Utaniua jeff..! Magonjwa mengi jeff..! Kaa na huyo huyo mi kwangu sikutaki teena..!"
Nilijikuta natoka uchi mpaka nje bila kujali chochote na kabla sijafika nje niliwahiwa na michelle sura mbaya,
"...achana naye twende zetu chumbani tukaendelee jeff mpenzi.."
Nilijikuta namchapa bonge la kibao michelle sura mbaya, kwakweli alikuwa amekomaa kweli hakusikia chochote zaidi ya kuendelea kunivuta kuelekea chumbani...
"..michelle noou..! nimesema noou..! sikutaki tokaaa.."
Hakusikia chochote zaidi ya kunipa mdomo wake niunyonye...
"..nimesema niache michelle..?"
"...lakini yote haya umeyataka we mwenyewe jeff.."
"..unasemaje..?"
Nilimwangalia kwa jicho la dharau huku mdomo wangu nikiukaza kuonesha kweli nina hasira tena mithili ya kuku anapopokonywa kifaranga chake na mwewe.
Nilienda mpaka chumbani huku michelle sura mbaya akinifuatilia kwa nyuma,nilipofika tu nilivaa nguo zangu fasta,
"...haya na wewe uvae fasta hapa unadhani kwenu...? Vaaa nitakuacha hivyo.."
"..Noo jeff usiniache..."
Alivaa kisha nikafunga mlango nakumpa mshikaji ufunguo na baada ya hapo ni mwendo wa fasta fasta kuelekea stendi kwani nilikuwa nikiishi tandale tena ile ya wachafu haswaa,ile tunafika tu kituoni pale magomeni mapipa kwa mbaali nikamwona helleiner tena ndio anapanda gari,
"...helleiner..? helleiner pliz nisubiri...!"
Maskini hakusikia sauti yangu lakini nilichokifanya,
"...michelle mpenzi kwaheri, tutawasiliana kwenye simu..."
"...usijali jeff nakupenda na roho yangu imeridhika leo, nikifika tu nyumbani ntakujulisha..."
Nilitoka spidi zote mpaka kwenye ile gari aliyokuwa amepanda helleiner ambayo ilikuwa inaelekea makumbusho ikipitia mwananyamala, nilimkuta helleiner kakaa siti ya peke yake nami nikatulia pembeni yake huku nikianza kumbeleza bila kujali umati wa abiria waliokuwa wananitolea macho.."
"...helleiner mpenzi jua bado nakupenda pliz nisamehe kwa yote yaliotokea.."
"...akusamehe nani..? Jeff nilishakwambia sitaki kuiona sura yako husikii...? Mwanaume gani hufai wewe...?"
"...helleiner pliz pliz najua mi nimkosaji lakini pia nahitaji kusamehewa mpenzi.."
Muda wote huo helleiner alikuwa kabadilika sura na macho yake yalikuwa mekundu sana kwa kulia sana huku machozi yakiendelea kumtoka bila kuyafuta, mara konda akapita anataka nauli nikatumia ujanja wa fasta kuchomoa buku mfukoni mwangu nakumpatia konda,
"...kata wawili konda mi na huyu dada hapa.."
Helleiner aliniangalia kwa mshangao wa hali ya juu huku akiitazama pochi yake nakuchomoa mia tano kisha akampatia konda..
"..dada si umeshalipiwa na mshika hapa..."
"..sitaki kulipiwa nimesema chukuwa nauli yangu nipe na chenchi yangu kabisa..."
Kweli helleiner alikuwa seriaz lakini nilijipa moyo nakushuka nae mpaka aliposhukia na kilichofuatia nikumfatilia nyuma nyuma mpaka akafika nadhani ni kwao kwani alifungua geti kwa hasira nakuingia mpaka ndani huku akirudishia kwa kulibamiza.
"..ahhh....! kumbe ndio kwao hapa enh.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikijirudia zangu stendi kupanda gari.
Akili yangu ilikuwa kama imechanganyikiwa kidizaini kutokana na kuchezea bahati tena kwa mtoto mlimbwende kama helleiner,
Nilipokuwa ndani ya daladala nikapata wazo lakumpigia simu lakini ilikuwa inaita tu bila kupokelewa hivyo nikabadilisha tena wazo lakuingia facebuk,maskini jef mimi sikufanikiwa kuiona hata profile yake hivyo nikaingia inbox yangu ili niweze kuona meseji zake za zamani nazo sikuzipata ikanibidi nim search kwa jina lake napo halikutokea hivyo akili yangu ikanituma moja kwa moja kuwa keshani toa kama rafiki au kuni block lakini sikulitilia maanani nikaendelea mpaka nikaingia profile ya michelle sura mbaya,nikakutana na status aliyoiandia muda c mrefu,
'..LEO NINA RAHA, NILIYEMPATA KANIRIDHISHA VYA KUTOSHA...'
Niliangalia mara mbili mbili nakuanza kufuatilia comment za watu ndipo nikakutana na comment ya helleiner,
'..Hongera Shosti usimwache tena hakikisha mpaka amekuoa kabisa...'
Hasira kali zilianza kunipanda huku nikiwa sijiamini amini kwa nilichokiona.
".....kumbe helleiner ni mutual friend kwa helleiner sura mbaya..?"
Nilijikuta naropoka kwenye dala dala nakufanya umati wa abiria kunitolea macho,
"..helleiner kitu gani bhana nitampata mwingine tena zaidi yake.."
Bado nilikuwa kama mtu aliyechanganyikiwa huku wengi wa abiria wakinitolea macho na kutingisha vichwa vyao kuonesha kuwa wananisikitia na ninachoropoka....
*********
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"...we jeff leo unamatatizo gani wewe..?"
"...hapana mama mbona niko pouwa tu.."
"...nakushangaa tangu umerudi hueleweki hueleweki hata kubadilisha hiyo minguo yako hujabadilisha.., ebu angalia ulivyopauka.., kwani leo ulikuwa wapi..?"
Ilikuwa ni sauti ya mama akinilalamikia kwani kiukweli nilikuwa kama mtu aliyechanganyikiwa, sikutaka hata nile chakula na nilipofika tu home nikapitiliza chumbani kwenda kujilalia zangu..
~ Saa 8 za usiku ~
Kilichokuja kunishtua ni mlio wa sms ambapo nilijisahau kupunguza sauti,akili yangu ilikuwa imechoka sana,nikajivuta taaratibu kuisoma ile sms,
'..Jeff bado nakupenda.., kwanini umenifanyia hivi..? Kwanini..?'
Kucheck vizuri ile namba kumbe alikuwa ni helleiner hapo hapo usingizi ukanikata huku nikiwa na shauku kubwa ya kutaka kuiskia tena sauti yake, nikiwa bado sijiamini amini nikapiga ile namba yake kuhakikisha kama ni yeye ndo alionitumia hiyo sms au la.
"hellow...?"
Kimya.., sikusikia chochote zaidi ya simu yangu kupokelewa bila kusikia sauti yeyote,
"hallow...?"
"jeff..?, Ona sasa nakosa usingizi kwa ajili yako, machozi yote kwa ajili yako kwanini...?"
"..helleiner imetokea bahati mbaya elewa nakupenda na nahitaji kuendelea kuwa na wewe milele.., nakupenda helleiner niamini...!"
"...hapana jeff utanitenda tena tu..!"
"...Pliz nakuomba unipe nafasi ya mwisho helleiner..."
"...jeff unajua ni kwa kiasi gani nimetendwa na kidonda hata hakijapona umenitonesha tena... Unajua hilo..? Kwanini mimi jeff..? kwanini...?"
"..no.., no.., nielewe helleiner.., sitokutenda tena.., i love you..."
Tukiwa bado katikati na maongezi mara simu ikakatika..,mwanzoni nikajua labda salio limeniishia lakini haikuwa hivyo.
Nikapiga tena simu yake ikawa haipatikani hivyo akili yangu moja kwa moja ikanijia kuwa kanizimia simu, mapigo yangu ya moyo yakaanza kwenda kasi huku nikikata tena tamaa kwa mara ya pili kuwa zali ndo lishapotea hivyo.
Mara nikapigiwa tena simu yangu kwa mara nyingine lakini namba ilikuwa ni tofauti nikaipokea bila woga.
"hallow..?"
"jeff ni mimi hapa helleiner..,natumia cmu ya dada, ya kwangu imezima haina chaji kabisa..."
"ok.., helleiner, but pliz nakuomba sahau yaliotokea tuanze mapya.."
"jeff nina uhakika hujajua tu thamani yangu kwako but utaijua tu siku moja..."
Nilijihisi moyo umenipasuka ghafla baada ya kusikia maneno hayo, furaha ya ajabu ikanijia kidume mimi kwani sikuamini kabisa kama mtoto karudi kwangu tena kiulaiini.
"helleiner.., kesho nitakuja maeneo ya kwenu.."
"..jeff mi huwa sitokagi hovyo lakini anyway niambie utakuja mida ipi...?"
"..Kuanzia saa 10 jioni.."
"ok, usiku mwema na nakupenda jeff wangu.."
"hata mimi pia.."
Sikupata tena usingizi baada ya maongezi nilitamani sana kukuchwe mapema na ifike hata jioni ili nimshuhudie helleiner wangu, na laiti kama helleiner angelikuwa anajua ninachotaka kwake ni sex tu then namwacha wala hata asingethubutu kujirudi.
~ kesho yake sa 10 jioni ~
'..Mnama Grocery..' Ndipo ilikuwa egesho langu maeneo ya mwananyamala kituo kimoja kabla sijafika kwa akina helleiner..
Nikiwa nimejipigilia pamba zangu haswa,fasta fasta nikamtumia sms.
"..niko maeneo ya kwenu hapa Mnama Grocery.."
Ndani ya sekunde kadhaa nikajibiwa.
"nakuja sasa hivi usihofu my love..."
Ndani ya dakika chache
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Nilijiangalia mara mbili mbili mpaka nikajihisi ninamakengeza kwani jinsi walivyokuwa wanakuja ndivyo walinifanya kuingiwa na woga zaidi.
"..jamani jamani mkosi gani tena huu, yule si michelle sura mbaya anakuja na helleiner au...?"
Nilijihisi kujikojolea huku nikitetemeka na kuanza kuinuka taaratibu kwenye siti nakutaka kukimbia lakini ile nataka kuondoka tu wakawa wameshanishtukia,
"..we jeff unaenda wapi tena..?
"...amh..! mh..! mh..! mh..! nilikuwa naelekea counter kuuliz..."
Kabla sijamalizia kujitetea nikawahiwa na swali tena..
"...jeff..! jeff..! embu acha vituko vyako bhana embu kaa hapo sisi wala hatuitaji kinywaji chochote..."
Bado nilikuwa nikitetemeka na kiukweli alikuwa ni helleiner na michelle sura mbaya na michelle aliponiona alijifanya kama vile hanifahamu wakati nimeshatembea naye.
"Jeff.., huyu ni mfanyakazi wetu tunaishi naye nyumbani.,nayeye anaitwa michelle au miche lakini anapenda sana kujiita michelle mwavua kama dada, si unajua jina la mwavua ni la ukoo..?"
"aah..! ok.., nashukuru kumfahamu..."
"miche..?"
"abee dada...!"
"...huyu ni mchumba wangu anaitwa Jeff ryder, unamkumbuka picha yake nilishakuoneshaga kwenye facebuku...?"
"..ndio dada namkumbuka...!"
Michelle sura mbaya alijifanya kama vile hanijui wakati ni jana yake tu usiku nili sex naye, dah kumbe ni beki 3, nguvu ziliniishia huku nikijikaza kiume inshu isijulikane.
"...so jeff, nimeamua kumchukua michelle ili.."
Kabla hajamalizia kuongea chochote hapo hapo nikamuwahi.
"...sweety sorry wacha niende chooni kukojoa fasta narudi.."
Nilichoropoka nakuingia uani na nilipofika choöni breki ya kwanza nikamtumia sms michelle sura mbaya fasta.
' ...Ole wako umwambie tunajuana..? Nitakuwa sikupendi sawa..? I love u baby zamu yako kesho tutakutana...'
Nilipoituma tu nikatoka chooni nakuwafuata walipokaa lakini kitendo cha mimi kufika pale nikamshuhudia helleiner akiongea na mtu kwenye simu tena kupitia simu ya michelle,
"...ndio mumy nipo naye, wala hatuko mbali tunakuja sasa hivi.."
Helleiner alipomaliza tu kuongea na simu
"..jeff wacha twende home mama anatuulizia.."
Nilibaki nimenyong'onyea nisijue nifanyaje zaidi ya kuwaangalia tu huku nilijitahidi kumkonyeza michelle asome sms niliyomtumia.
"..helleiner samahani embu niazime hiyo simu mara moja nataka ku copy hii namba mara moja.."
Nilimdanganya.
"ok.., chukuwa tu hii yakwangu.."
Dah kama vile helleiner alikuwa anajua nilichotaka kukifanya akanipa simu ya kwake na yeye akabakiwa na simu ya michelle sura mbaya.
"..miche tangulia mpaka hapo mbele nisubiri wacha nimalizane kwanza na shemeji yako.."
"sawa dada na simu yangu.."
"...subiria kwanza bado naitumia.."
Kitendo cha helleiner kuendelea kuing'ang'ania ile simu ya michelle sura mbaya kilinifanya kuwa na woga sana sana endapo atagundua meseji ambayo niliituma muda si mrefu.
Michelle alipiga hatua mbili tatu kisha akasimama huku akituangalia kwa macho yenye huruma akimsubiria mwenzake hellainer ili waondoke.
" jeff naomba unisamehe sana kwa kuwa haraka haraka kiasi hiki,yani nikiwaga nyumbani mwenzako huwa nabanwa sana ni bora hata ninavyoendaga kuishi hostel huko huko."
"...usijali helleiner nimekuelewa but tutapanga siku nyingine tena utakapokuwa nakajinafasi.."
"..pouwa jeff mpenzi..."
"..akanikumbatia kisha akanipa busu la mashavuni huku akimalizia la mdomoni
"..bye jeff.."
"ok.., bye my love.."
Alimchukuwa mwenzake na kuondoka naye huku akiwa na furaha,nilibaki nimesimama nakuduwaa huku nikiwakodolea macho mpaka niwaone watakapoishia.., waliongozana huku wakipiga stori mara ghafla helleiner akasimama nakuangalia kitu kwenye simu aliyokuwa nayo. Akakodoa macho kisha akatoa sauti kubwa na kali huku wapita njia wakimshangaa,
"...jeff..? jeff..? jeff.. jeff..?..
"...jef usiondoke pliz nisubiri hapo..."
Nikawa sina tena ujanja zaidi ya kusimama nakumtolea macho hellleiner aliyekuwa anakuja fasta fasta huku mkononi kashikilia simu mbili moja yake na nyingine ya michelle sura mbaya..,
"...jeff embu niambie ukweli wala usinifiche kitu...?"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Nilianza kutetemeka huku akili ikinituma kuwa huenda keshasoma ile sms niliyomtumia michelle sura mbaya,
"...kitu gani tena helleiner mbona unanitisha hivyo...?"
"...unajua kuwa nimeshakusamehe na nahitaji kuwa na wewe milele...?"
"ok.., niambie basi kitu gani hicho...?"
"supriiise.....!"
"...mhh..! mhh..! helleiner mbona unanifanya hivyo...?
"..tomorrow is my birthday.., nilisahau kukwambia sweetie..!"
Mapigo ya moyo yakatulia huku pumzi ikinishuka nakumtolea macho ya furaha..,
"..don't tell me helleiner.., sure...?"
"yeah.., sure..!"
Nilimkumbatia tena kwa mara ya pili kwa shangwe zote huku nikiamini hiyo ndio itakuwa nafasi yangu ya ku sex na helleiner na hapo hapo nikumtema tu nikishamaliza shida yangu..
"so.., utaifanyia wapi...?"
"home..!, coz tupo tunaishi na mummy na mummy mwenyewe kesho hatakuwepo anaenda bagamoyo asubuhi sana na atalala huko huko kwa bibi mpaka kesho..,
"...na daddy wako je..?"
Alionesha kubadilika sura huku akisikitika kisha akanijibu..,
"...my daddy alishafariki kwenye ile ajali ya meli zanzibar..."
"oh sorry...!, pole sana baby wangu..."
"...thanx jef and i love you..."
"...ok, so...?"
"...kesho uje tushinde wote nyumbani kuanzia asubuhi mpaka usiku tusherekee..."
"..waaaoooh..! kwa hilo tu usijali tutakuwa pamoja.., nitakupa company mpaka utafurahi mwenyewe.."
"ok, c you tomorrow jeff.."
Niliondoka pale kwa shangwe zote huku nikiwa sijiamini amini kama kweli helleiner amesoma ile sms au la.
Mpaka nafika home nilikuwa bado ni mtu wa shangwe tu muda wote, yani hata chakula kwangu ilikuwa inshu zaidi ya kununua chipsi kavu nakula kisha nikanunua vocha za kutosha kumpigia mtoto mlimbwende helleiner.
Kama kawaida nilitegea mpaka ilipofika saa 6 za usiku nikampigia simu helleiner na alipopokea tu alionesha kuwa na usingizi sana,
"..baby vipi ushalala..?"
"yap dear.."
"..can i say somthng 4 u...?"
"yeah..."
"...happy birthday my lovely one..."
"oh thanx mwaaah.., mwaaah..! mwaaah..! sweetie..."
"...kwakuwa unausingizi sana.., nitakupigia kesho we pumzika tu baby wangu..."
"pouwa swetie i love you...!"
"me too...!"
Nilikata simu kisha nikavuta ki iPod changu nakufungulia ile nyimbo ya Recho inayoitwa kizunguzungu taaratibu nikawa naisikiliza huku navuta hisia na usingizi kwa mbaaali.
~ KESHO YAKE ASUBUHI ~
Mishe mishe kwangu zilikuwa nyingi sana, japokuwa nilikuwa muongo muongo lakini kwetu tulikuwa nakauwezo kidoogo,na tangu nilipoishia 4m four nilikataa kuendelea na chuo zaidi ya vijikozi tena vile vya computer navyo sikumaliza niliona vinanipotezea muda tu.
Asubuhi asubuhi mfukoni nilikuwa na kama elfu 20 na yote hiyo nilimwongopea maza akanipa hivyo zoezi kubwa lilikuwa ni zawadi ambayo nitamnunulia mtoto helleiner
Kwakuwa mi ni play boy nilifanikiwa kumnunulia dozeni ya chupi kwa shilingi elfu 15 huku nusu yake ikiwa ni za bikini then nikafunga kwenye gift paper vizuri nakubakiwa na elfu 5 na hapo hapo nikamu sms helleiner..,
' ..Baby niko njiani nakuja..'
Haikukaa muda akanijibu.
' ..tunakusubiri kwa hamu sweetie..'
Ndani ya dakika kama 40 tayari nilikuwa getini kwa kina helleiner huku nikiwa na mzuka wa hali ya juu na nilipofika getini nilimu sms helleiner,
' ...nimeshafika nipo nje...'
Mara geti likafunguliwa lakini hakuwa helleiner wala michelle sura mbaya,
" ..ooh are you Jeff Ryder..?"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"yap..,helleiner yupo..?"
Amenipigia simu nikufungulie umeshafika yeye kaenda maeneo ya pale dukani lakini atarudi sa hivi tu, karibu ndani mi naitwa..."
Kabla hajamaliza kuongea nikawa nimeshamgundua kwa sauti yake tu haikuwa ngeni maskioni mwangu kabisa..,
"..we si michelle au hellein..?"
"...dat'z correctly jeff..."
"...sauti yako haibadiliki kabisa yani..."
"...jeff nimeamini sasa, ua so handsome boy...!"
"thanx miche..!"
Niliingia ndani kwa bwembwe zote huku nikimtolea mijicho miche au hellein kiukweli alikuwa kifaa kushinda hata mdogo wake helleiner then alikuwa ni mweupeee dah..,
"...hapa simwachi hata mmoja.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku tukiingia sebuleni na tulipofika tu nilishangaa kukumbatiwa,
"...ahh shemeji jeff..?, karibu.. karibu.."
"ahsantee..."
Alikuwa ni michelle sura mbaya na yeye aliponiona tu alinikumbatia kwa shangwe..,aliponikaribisha tu aliniaga nakuelekea jiköni huku akiniacha na dada yake helleiner.
"..shem ujue tangu tuwasiliane siku ile hukunipa hata namba yako ya simu.."
Alisema dada yake na helleiner...,
"ok.., chukuwa ni 0713133633.."
nilivyomaliza kumpa tu helleiner naye akawa ameshakuja..,
"..my jeff...? Come an hug me pliz..!"
Nilimfuata nakumkumbatia kisha nikamalizia kwa denda huku michelle sura mbaya na mwenzake wakinishangaa.
"..vipi umekuja sa nyingi enh...?"
"...hapana nimekuja muda si mrefu.."
Nililetewa juicy pale sebuleni huku wakienda jikoni kuendelea na kupika mahanjumati,
Dah kiukweli kina helleiner walikuwa tajiri tena zaidi ya pesa,nikiwa bado nimezubaa sebuleni peke yangu mara michelle sura mbaya akanifuata sebuleni na kuninong'oneza kitu,
"...leo nahitaji kusex na we jeff nimekumis sana.."
"...Shh.! tena unyamaze sasa hivi..?"
"...jeff usitake nitoe siri sasa hivi nikakuharibia.., unajua siku ile nilimkatalia kuwa sikuwa mi alivyotufumania kule kwako..?"
"...ok, nimekuelewa nenda kwa wenzako jikoni huko, watatukuta hapa pliz..!"
"...so umenielewa lakini..? Mwenzako nina nyege..!"
"...ok, baadaye basi..!"
"pouwa..!"
Huyoo akaenda zake jiköni,
Nikiwa bado sijielewi elewi mara sms ikaingia
' 0758211153' namba yangu hiyo mi dada yake helleiner, siyo siri jeff natamani kama ninge sex na we hata leo pliz...'
Dah sikuamini kabisa kama ile meseji imetoka kwa dada yake helleiner au, mara akatokea sebuleni nilipokuwa tena safari hii alikuwa akitingisha huku akiönesha mapaja yake kwa maksudi mbele yangu nakujifanya anapanga vyombo kabatini..,
"jeff..?"
"..mhh.., yeah..!"
"..umepata sms yangu..?"
Aliongea kwa sauti ya chini chini..,
"nimeipata.."
"...zingatia pliz n pliz am so hot..."
"..don't worry.."
"sure...?"
"yeah..!"
Aliondoka kwa shangwe zote huku na mi nikiwa na furaha mara akatokea helleiner na sahani aliyokuwa ameiwekea bites bites akaja kukaa namimi kochi moja huku akinilisha..,
"..karibu sweety wangu..!"
"thanx baby..."
"...jeff..?, nahitaji twende chumbani now pliz pliz...
*********
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"...sikiliza helleiner kwani chakula tayari...?"
"...jeff we twende sa hivi then hatukai sana jamani tunarudi kula na hawa wenzangu..."
Helleiner alikuwa amelegea sana kuanzia macho yake mpaka viungo vyake vyote vilionesha kumlegea sana..
"ok.., but nielekeze kwanza chooni ni wapi nikajisaidie then tunaenda huko chumbani..."
"...haya pita kwenye haka kakorido then mlango wa pili kushoto fungua ndio hapo hapo chooni..."
Niliondoka na kuingia chooni,nilifungua mlango na nilipoingia tu chooni,
"...Sshhhh..! kimya wala usipige kelele zozote jeff..."
Alikuwa ni michelle sura mbaya nadhani alinisikia nilipokuwa naulizia chooni hivyo akawa ameniwahi kuingia nakujificha..,
"jeff..? mwili wote ni wako huu hapa chukuwa..."
Aliongea kwa sauti ya chini chini na yakimahaba huku akitanua mapaja yake akiwa amekalia choo cha kukaa..
"..noo.., noo.. michelle, leo sina mzuka kabisa wa ku sex..."
"...unasemaje jeff...?, Nitapiga kelele sasa hivi niseme unanibaka.., unabisha...? Unabisha...?"
"noo.., noo.., usifanye hivyo..!"
Sikuwa na jinsi zaidi ya kuvua suruali yangu na kuanza ku sex na michelle sura mbaya huku akifurahia na kutoa sauti ya mahaba taaratibu..
"..jeff..! jeff..! tuendelee pliz naskia utamu sana, we unajua ku..."
"...nou michelle siku nyingine nitakupa zaidi ya hapa wacha nitoke watatushtukia..."
"..hawawezi bwana nipe tena jeff pliz..!"
"nimesema nou...?"
"..nitapiga kelele..?"
"..piga tu hapa mimi si sex tena..! kwanza nimechoka.."
"unasemaje jeff...?"
"..nimechoka sitaki ku sex...? Sitaki..! usikii enh...?"
"..jeff...? Embu ingiza ihyo nanii yako hapa kwangu..?"
"..sitaki..!"
"jeff 1..? jeff 2...? Je..."
"...haya.., haya basi chukuwa, utaniwi na wewe ehh..!"
Sikuwa na jinsi zaidi ya ku sex tena kwa mara ya pili na michelle sura mbaya hivyo hivyo tena bila ya hata kutumia condom.
Nikiwa bado katikati ya sex mara hodi ikapigwa kwa nje..,
"jeff..? jeff..? bado hujamaliza kujisaidia tu mpenzi wangu...?"
Ilikuwa ni sauti ya helleiner akiníita, haraka haraka nikachomoa nakutaka kuvaa nguo zangu ili nitoke ile navaa tu mara nikavuliwa hapo hapo na michelle sura mbaya..,
"..jeff unaenda wapi...?"
Aliongea michelle sura mbaya kwa sauti ya chinichini..
"hujaskia hodi.., helleiner huyo ananihitaji..."
"Hamna kwenda embu endelea huko...!"
"noo..! noo siwezi...!"
"N i i i i i i i i n i ...? Sasa utanijua vizuri leo mi ni nani..?"
"..inamaana hujaridhika tu jamani..?"
"ndio sijaridhika na wewe jeff.., unajua sana ku sex ndio maana siridhiki..!"
Niliona kama ananizingua kama nitaendelea kupiga naye stori..,
"..aaahh..! liwalo na liwe.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikizivaa nguo zangu nikimwacha michelle sura mbaya akinikodolea mijicho yake kwa hasira ya hali ya juu...
"...Oooh sorry helleiner wangu nilibanwa na tumbo la kuhara...!"
"...pole sana jeff wangu, na mi mwenyewe nilitaka kushangaa chooni muda wote huo..? Pole sana mpenzi wangu..."
"..thanx u baby.."
"embu ngoja nikimbie hapo nje kwetu mbele kidoogo kuna duka la dawa wacha nikufuatie, kwani tumbo linakuuma sana..?"
"yeah siyo sana.."
"ok.., pumzika kidogo hapo sebuleni wacha nikakununulie 'flagile' unywe mpenzi wangu.."
"ok..."
Helleiner alichomoka fasta fasta nakuelekea nje kunitafutia dawa bila kujua kwamba nimemdanganya, na alipotoka tu nilisikia kama mtu anaoga bafuni hivyo akili yangu moja kwa moja ikanituma kuwa atakuwa ni michelle sura mbaya ndio anaoga tu, nilichokifanya mnyamwezi nikatafuta mlango wa jikoni mpaka nikaujua nakuingia..,
"..hellow dada yake helleiner..?"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"..yap jeff.., helleiner yupo wapi...?"
"..kaenda dukani nje uko...!"
Nilipomwambia tu hivyo bila ya kuchelewa akau lock ule mlango wa jiköni fasta nakunivulia ile kanga moja yake kisha..,
"...haya jeff kama nilivyokuambia am so hot.., uwanja wako sasa jimwage..."
Nilibaki nimeduwaa kwani kiukweli michelle sura mbaya alishanichokesha,sikutaka kuonekana mi si rijali pale pale nikavua suruali yangu kisha nikaanza kumnyonya dada yake helleiner kuanzia kwenye matiti yake kupitia kitovuni mpaka kwenye nanii yake huku nikimwacha amelegea vibaya mno..,
"...jeff kumbe we mtundu kiasi hicho, uuhh..! Uuhh..! uuhh..! jeff..! jeff..!"
Nilichukuwa vidole vyangu nakumdumbukizia kwa kumtekenya kwenye nanii yake huku nikivuta hisia ya hali ya juu..,
"...jeff..? ingiza basi..!, ingiza...!"
"...noo.., noo.., sina condom....!"
"Ooh shit...! whaaat..? whaaat jeff...?"
"...i don't have any condom here..."
"...just dry jeff..! pliz..!"
"..dry...? Nou..! nou..! nou..!"
"..jeff..? jeff pliz..!"
Tukiwa bado tunazozana na dada yake helleiner pale chini mara tukasikia sauti ya helleiner akija.
"..jeff wangu..? Jeff my love upo wapi...?"
"yupo chooni..."
Nilisikia sauti ya michelle sura mbaya akimjibu kwa sauti ya mbaali..,
Hapo hapo nikamvaa dada yake helleiner hivyo hivyo kavu kavu bila ya kutumia condom huku akifurahia mapenzi yangu haswa na nilipomaliza cha kwanza tu..,
"...jeff..?, one more pliz....!"
"..noo noo enough alwayz iz enough let us do another day...!"
"..whaat jeff.., nahitaji sasa hivi tena..."
"..siku nyingine bwana tena nitakupa zaidi ya hapa.."
"..sitaki nataka sa hivi..?"
"...si umemsikia helleiner ananiulizia...?"
"...sasa ukikataa mi ntamwita aje ashuhudie hapa mi nawewe tunachokifanya sasa hivi..."
"...nou nou usifanye hvyo pliz..."
"...haya tuendelee..!"
Kidume cha mbegu sikuwa na jinsi zaidi ya kumfanyia tena mautundu huku nikimpagawisha vya kutosha zaidi ya alivyokuwa anataka.
Tukiwa katikati ya dimbwi la mapenzi mara kwa mbaali tukasikia sauti ya helleiner akiongea tena na michelle sura mbaya..,
"..mböna nimemwangalia tena huku chooni uliposema yupo hayupo enh...?"
"...kweli dada aliaga anaenda chooni we muangalie vizuri tu...!"
"...inamaana mi chizi niliyeingia chooni nakuona hamna kitu enhe...?"
"...basi tufanye mi sijui alipoenda.."
"...na dada yuko wapi...?"
"..dada bado yuko jikoni anapika..."
"...ngoja nikamuulize huko huko jeff alipo labda anajua..."
Nilianza kutetemeka huku nisielewe nitafanyaje kuepuka soo pale..,
"...ufunguo wakutokea mlango wa huku nyuma upo wapi...?"
"...upo sebuleni juu ya kabati..."
"Ooh my God...!!! tumekwisha tutafanyaje sasa...?"
"..Mmh mwenyewe sina ujanja jeff wacha atufumanie tu tena sivai nguo yeyote hapa..."
"unasemaje...?"
"...wacha atu.. fuma.. nie.. tu...!!!"
Hodi ikaanza kupigwa kwanguvu zote huku nikisikia sauti ya helleiner ikilalamika kwa hasira ya hali ya juu..,
"...jeff..? jeff..?, dada..? dada...? Fungua..!!"
Sikuwa na jinsi zaidi ya kwenda mpaka mlangoni kwa lengo la kuufungua mlango huku nikimwacha dada yake helleiner akiwa amelala hoi pale chini tena akiwa amejifunika kanga moja tu, na nilipofungua tu kitasa mara nikamuona Helleiner.
"...jef vipi tena..?"
"...am mh..! mh..! ona dada yako alivyokuwa...!"
Nilipofungua tu mlango dada yake helleiner akaanza kutapatapa, na pale pale nilivyomuelezea helleiner akawa amemuwahi nakuanza kumpepea..,
"...jeff tusaidiane embu tumbebe tumpeleke mpaka sebuleni..."
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Sikuamini kama helleiner atakuwa yupo seriouz kiasi kile, tulisaidiana kumbeba mpaka sebuleni kisha helleiner akawasha a/c ili impepee,
"..jeff, sorry kwa kutokwambia mapema..."
"...usijali helleiner mpenzi.."
"..dada huwa anasumbuliwa sana na ugonjwa wa kuanguka kila inapofika tarehe 6 au 7 ya mwezi, na leo tulikuwa na wasiwasi ataweza kutokewa na hiyo hali..."
"dah..! poleni sana.."
Nilibaki na maswali kibao nikijiuliza au labda nafanyiwa mchezo wakuigiza tena kama wa zile muvi za kibongo zakina ray na kanumba hapa..
Tulikaa pale sebuleni kama dakika ishirini nzima ndipo dada yake helleiner akazinduka.
"...dada pole, pole sana.."
Mtu wa kwanza kumpa pole alikuwa ni michelle sura mbaya.
"ahsanteni..."
Aliinuka pale nakuelekea chumbani kisha baada ya muda akarudi ameshavalia nguo vizuri kuonesha kuwa ameshaoga kabisa..
~ Muda wa kuparty ~
Tulisherekea vizuri ikiwa ni pamoja nakula misosi tofauti, hakukuwa na watu wengi zaidi ya wao wenyewe tu pamoja na mimi,
Mitego ilikuwa ni mingi sana kwani kila mmoja alitaka kucheza na mimi hata pale ilipokuwa nyimbo ya bluez ikiimba na si kucheza na mimi tu bali walikuwa wakinitaka kimapenzi tena kwa nyakati tofauti lakioi niliwatosa..
"...jeff, baada ya hapa nataka tutoke tukalale hotelini.."
"...sawa nimekuelewa lakini leo sina kitu mbona..?"
Ilinibidi aibu niiweke kando then nimwambie ukweli halisi niliokuwa nao kwa kipindi hiki..
"...jeff usiwe na tatizo lolote kwani pesa ninayo..."
"ok..,sasa tutaenda hotel ipi..?"
"...we niachie kila kitu mimi nitafanya.."
"pouwa..! pouwa..!"
Tulimaliza sherehe vizuri nafikiri ilikuwa kwenye mida ya saa 4 za usiku, michelle na dada yake helleiner walinilazimisha sana tusherekehe mpaka asubuh lakini ikawa haiwezekani hivyo tukachukuwa tax..,
"..hapa mpaka oysterbay sh. Ngapi..?"
"elfu 6 tu..."
"ok..., tupeleke 'sall's hotel...'
Hapakuwa mbali sana lakini dah ni bonge la hotel na kwa jinsi mtoto helleiner alivyokuwa amelipuka kazima uta appriciate kuwa ana hadhi ya kulala katika hotel ile., moja kwa moja akamlipa dereva tax na kilichofuata breki ya kwanza ni mpaka reception..
"..Sista chumba sh. Ngapi..?"
"..elfu 45 single.., self 60.."
"...tupe self..."
Alilipia chumba na kuingia ndani huku tukifurahia upepo wa kiyoyozi, kiukweli mwili ulikuwa umechoka sana haswa katika eneo la kiunoni kutokana na kusex sana na dada yake helleiner pamoja na michelle sura mbaya.
Tuliingia bafuni kupata maji huku tukifurahia ndani ya sinki la kuogelea na kila mmoja akimmwagia maji mwenzake..
Usiku ulikuwa mzuri kwangu kwani niliumalizia kwa kumpiga bao 1 helleiner kisha tukalala hadi asubuhi ambapo kulipokuchwa nilimsindikiza mpaka kwao nami nikarudi nyumbani kwetu tandale.
~ Nyumbani kwetu ~
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"...tena bora umejileta mwenyewe jeff..."
Nilipofika tu home nilipokelewa kwa maneno kutoka kwa maza huku sura yake ikioneshwa kukerwa na kitu flani hivi..
"..hivi we jeff unamatatizo gani mwanangu...?"
"..maza mbona sikuelewi kwani kuna tatizo gani hapa...?"
"...unajijua mwenyewe ujinga uliofanya, shule umekataa na bado unaendelea kufanya ujinga tu halafu si tunakuangalia kweli jef mwanangu..? Inamaana sisi wazaz wako hatuna akili si ndivyo jeff..?"
"...maza mbona lawama kihivyo we c uniambie nimefanya kosa gani nijue..?"
"..ingia..! Ingia sebuleni huko ukaone ulichokifanya.
Mapigo ya moyo yakaanza kunienda kasi huku nikinyemelea taaratibu nisijue kitu gani nilichofanya..
Nilipokaribia tu sebuleni nikachungulia kwanza..,
"Jesus...!"
Kumbe alikuwa ni jacky tena akiwa na mama yake, kichwa changu kikawa hakinipi kabisa,nikajua hapo mzee mzima itakuwa ndoa ya mkeka tena manake duh huyo jacky alivyoking'ang'anizi...?
Fasta fasta nikanyata kwa lengo la kutoka nje ili nitoroke kuua soo lakini ile nafika tu nje..,
"...umeshaenda uko sebuleni nilipokwambia...? Si nakuuliza we jeff...?"
"...naenda maza nimesahau kuvua viatu..."
Ilinibidi kuzuga kwanza lakini sikuwa na jinsi tena zaidi ya kurudi tena sebuleni huku maza akinisindikiza kwa nyuma na kwa maneno...
"...haya sasa jeff lenyewe hili hapa limesharudi..."
Dah kweli maza alinikamia mbaya coz hata cjakaa pale sebuleni kaanza na maneno yake.
"...jeff mwanangu hujambo...?"
"...sijambo shikamoo mama..."
Alikuwa ni mama yake na jacky...,
"...marahaba, jeff vipi unamjua huyu ...?"
"mhh..! mhh..! simj..."
"jeff..? jeff..? unajua mi siyo mpumbavu kuja hapa...?"
Alianza kubadilika na kuniogopesha lakini nilijipa moyo kuwa mi ni kidume cha mbegu tu hawaniwezi kwa chochote...
"...ndio mama namfahamu...!"
Nilijibu kwa kujiamini zaidi..
"...basi kama unamfahamu na hii mimba uliyompa utakuwa unaifahamu..."
"mimba...? Mimba gani tena...?"
"mi sina mengi.., mama jeff nadhani mwanangu jacky ndo huyu hapa namkabidhi rasmi hapa kwenu na nitakuja kumuona akishajifungua..."
"..ahh..! ahh..! ahh..! mama mi sijampa mwanao mimba bhana mnanisingzia tu..."
"...ndo nimeshamwacha hivyo., muishi kwa upendo na nawatakiwa mafanikio mema katika maisha yenu..!"
"...lakini mzazi mwenzang..."
Mama alitaka kunitetea lakini kabla hajamalizia akawahiwa haraka,
"...yani ni bora nimemkabidhi mimi kwani baba yake na jacky ana RB kabisa ya huyo jefF kwani jacky ndio kwanza ana miaka 17 sasa fanyeni kuitoa hiyo mimba mtamjua yeye ni nani,kama jeff ajaozea ndani..."
Nilihisi kujiharishia huku tumbo likiniunguruma nishindwe cha kujitetea.
Hapo hapo mama yake jacky akaondoka zake nakuniacha mimi na maza pamoja na huyo jacky.,
Alipotoka nje tu,
"jacky mpenzi"
Sikumuogopa maza yangu nikamuita pale pale nakumpeleka mpaka chumbani kwangu.
"sasa hapa ndo chumbani kwangu na ole wako utoke nje.."
Nilimfungia mlango kwa ufunguo huku akili ikinituma kwenda kutafuta sindano za kutoa mimba...
"...ukisikia jeff ryder kaua ndio leo kwani iwe isiwe lazima nimtoe tena kwa mikono yangu mwenyewe"
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikiongoza kwenda duka la madawa,nilipofika dukani bila kuogopa nilimuagizia yule muuzaji akawa ananipa ile nazishika tu sindano pamoja na madawa ya kutuliza maumivu mara uso kwa uso na mama yake jacky tena akiwa nadhani ni baba yake jacky,
"...jeff unafanyaje hapo..? Na hiyo uliyoshika nini..??"
...si nakuuliza we jeff hicho ulichoshika ni nin..?"
"mhh..! mhh..! mama hizi si dawa za kutulizia maumivu tu..."
Fasta fasta nikazificha zile sindano na kumuonesha dawa za kutulizia maumivu ambazo zilikuwa ni dicloper..
"...aaahh.., kumbe unamjali enh.., na muishi vizuri huko..."
Niligeuka na kumuangalia kwa jicho la dharau tena kimya bila ya kumjibu chochote..
Nilipofika home tu kabla cjaelekea chumbani nikakutana uso kwa uso na baba sebuleni na alikuwa na hasira kama mbogo..,
"..jeff..? kuja hapa...?"
"..naam baba...!"
"...embu niambie mwanangu unamatatizo gani wewe...?"
"...hapana mzee"
"..huna tatizo enh..?, haya kuanzia sasa sitaki kukuona kwangu na umchukuwe huyo mwanamke huko ndani mkatafute sehemu ya kuishi naye na si kwangu mpumbavu mkubwa we...!"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
******************************
**** U play boy sasa unaonekana dhahiri kumwendea Jeff kombo.. Ameshaharibu nyumbani kwao unavyodhani ataenda wapi kuishi na maisha yake yatakuwaje kwani hata kazi hana..?
*** Je ni kweli mimba aliyonayo Jacky kapewa na Jeff..?? Vipi kuhusu wazazi wa Jacky watarudi tena kuwafatilia kina Kujua Jeff ataishi vipi na mtoto wao..??
*** Simulizi hii ndio kwanza inaendelea kunoga kila kukicha kamwe usikose hata sehemu kwani uhondo wake ni balaa..
ITANDELEA
0 comments:
Post a Comment