IMEANDIKWA NA : ANDREW CARLOS
*********************************************************************************
Chombezo : Play Boy
Sehemu Ya Kwanza (1)
"Nimesema ctaki ctaki na kama hela yako sihitaji..."
"..aah Jacky kwani mi napenda hivyo..."
"mwanaume gani huna hata huruma enh..? Nimekupa bado hutosheki tu..."
Mimi ndiye Play Boy a.k.a Jef Ryder mtoto kama huyu kwangu ni kazi ndogo tu.
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikimtolea macho Jacky ambaye kwa namna moja au nyingine nilikuwa tayari nimeshamlegeza pale kitandani lakini alikuwa ni mbishi sana katika mambo flani flani.
"Jacky..? Unajua ni jinsi gani nakupenda."
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"skia Jef mi nimechoka we kila tukionana ni sex tu sex tu hakuna hata maongezi...?"
Alizidi kuninyong'onesha kwa maneno yake lakini niliendelea kujipa moyo nakuamini nitapata kila kitu kwani kwa Jacky huwa hana ujanja na mi hata siku moja.
"Jacky, nakupenda tena zaidi ya sana..."
"nimeshakwambia Jef leo sitaki kufanya chochote enh usikii"
Jacky alivuta taulo kwa nguvu huku akiongoza kuelekea bafuni kuoga,niliendelea kumtolea jicho huku akinitingishia kisha akaingia mpaka bafuni.
Sikuridhika kabisa mpaka nikaenda kwenye kitundu cha mlango kisha nikaendelea kuchungulia.
Kiukweli Jacky alikuwa ameumbika asikwambe mtu japo alikuwa anasex na mi mara kwa mara lakini kuhusu kuridhika kwake ilikuwa si jambo la kitoto kwani mtoto ushepu alikuwa nao kuanzia figa,makalio,guu guu.
Nilijikuta mwili wangu wote ukinisisimka mara akawa amemaliza kuoga,fasta fasta nikajitupia kitandani nakujifunika shuka upande kidogo huku nikimsubiria Jacky atoke kuoga, alitoka bafuni huku akiwa tepetepe akijifuta kuanzia nywele zake mpaka mapajani kisha,
"Jef.., Jef, enh umeshalala mara hii..."
"mh sijalala mpenz wangu,niambie...?"
"leo nakupa kwa mara ya mwisho mpaka mwezi ujao tena ctaki habari za kila cku sex sex sawa...?"
Sikuamini kama kweli yale maneno yanatokea kwa Jacky au..!
Niliinuka pale kwa nguvu zote huku mkojo ukinibana hivyo nikaelekea kwanza chooni kukojoa na nilipotoka tu nilishangaa jacky akiikodolea cmu yangu huku akivimba mdomo akionesha kukasirishwa na kitu,
"chukuwa cmu yako kuna meseji imeingia hapa"
Sikutaka kumsikiliza zaidi nikavuta simu yangu nakuisoma,
"NJOO GETTO KWAKO NA LEO NINA HAMU KWELI WE ACHA TU"
Mapigo ya moyo yalinienda mbio huku nikianza kutetemeka,
"nenda..! nenda c unasubiriwa uko nenda Jef.."
Nilishindwa kujielewa nifanyaje kwani kote kote nilikuwa nataka lakini kilichoniumiza ni kwa huyu Jacky anajua sana mapenzi kuliko hata Ney.
Nilikaa huku najiuliza mara mbili mbili nisipate jibu lolote kwani kote kote nilikuwa nakutaka nilichokifanya niliizima cmu yangu.
"jacky we ndo kila kitu kwangu.."
"na hiyo mesej kwenye cmu yako..?"
"hiyo ni wrong number tu sweety..!"
"we we we weee..! ishia hapo hapo tena uciendelee kuongea.."
"hivi jack mbona huniamini jaman..?"
Nilijitahidi kuukwepa ukwel ili ni sex naye lakin bado alikuwa mbish.
"Jef.., ukitaka nikuelewe nipe hiyo cmu.."
Nilijiumauma lakini nikajipa moyo mi mtoto wa kiume, alichukuwa cmu yangu then akaiwasha nakupiga ile namba ya Ney kisha baada ya muda.
"na unabahati hapatikani ningekuumbua sasa hivi"
Ilinibidi nishushe pumzi huku nikiwa na uhakika rasmi wakulala na mtoto.
"umeamini sasa kuwa hyo ni wrong number..?"
"we unajua kila kitu unajifanya kukwepa kwepa cyo ipo cku nitajua tu"
Nilichekelea kimoyo moyo huku nikielekea kuzima taa kisha kilichofuata nikurukia kitandan tayar kwa kumkabili mtoto Jacky, nilimpapasa kuanzia kichwani mpaka miguuni huku nikiyumbisha ulimi wangu ndan ya mdomo wake,alikuwa ni wamoto sana na kitu alichoniaminia ni kwamba nilikuwa nafahamu nyege zake ziko wapi hvyo taratibu nikachukuwa mikono yangu nakumparua mgongon kwa kutumia kucha zangu na mdomo nikauamishia maskioni mwake,
"Jef jef.., uh uh uhf uuhf uuhf...!"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"jacky una..., uhf uuh shit.."
Alivuta mkono wake taratibu mpaka kwenye boxer yangu nakuchomoa nanii yangu kisha kilichofuata nikuinyonya mpaka nikaishiwa nguv.
Nikiwa nimenogewa kwenye dimbwi la mapenz mara nikahisi kama mtu anaingia ndani tena kwa kunyata nyata taaratibu,
"nan wewe..? nan?"
Yule mtu aliwasha taa,
"jef..? jef..? yani huyu ndo anakufanya unizimie hadi cmu...?"
Nilijikuta naaibika bila hata kufanya sex kwan kiukweli alikuwa ni Ney yule aliyekuwa akinisumbua kwenye cmu na safar hii cjui nan alimwambia nipo hapa geto kwa mshkaji.
"..we unayedandia waume wa watu embu nipishe mwache mchumba wangu pliz.."
Ilikuwa ni saut ya Ney akimkaripia Jacky huku tukiwa bado tupo uchi wa mnyama pale kitandani.
Hasira kali zilimpanda Jacky nakujikuta akivuta nguo zake nakuzivaa kwa hasira huku akiondoka kwa kutingisha makalio yake na alipokaribia mlangoni kabla hajatoka nje.
"Jef.., utanikumbuka"
Aliongea jacky kwa hasira uku akibamiza mlango kwa nguvu nakuniacha mi na Ney..
"nani akukumbuke wewe...!"
Nilijisemea kimoyomoyo huku akili yote nikiiamishia kwa mchumba wangu Ney.
"usiniguse niache uko...!"
Ney alikuwa kabadilika kama mbogo kwani bado alikuwa na uchungu juu ya ya kunifumania na Jacky.
Nilitumia muda mfupi tu kumbembeleza mpaka akakubali c unajua tena mademu walivyo wepesi kusahau,haikupita muda mwenyewe akaanza kuongea taaratibu,
"Jef.., nakupenda usije ukanitenda tena pliz..!"
"usijali mpenzi wangu ni shetani tu alinipitia..."
Mzuka wa ajabu ukanijia huku nikimkumbatia kwa nguvu zote nakumpa madenda uso mzima, niliitelezesha mikono yangu mpaka kwenye chuchu zake huku nikitaka kusogea yale maeneo yetu ya kujidai mara..
"no..! no..! no..! Jef pliz...!"
"...nini tena mpenzi.."
"una condom..?"
"hapana lakini..."
"Lakini nini...? Nimemaliza kubleed juzi tu, co pliz nenda kanunue condom..."
Niliamua kumkubalia fasta fasta huku nikivaa pensi yangu nakumwacha Ney kalegea mwili wote nikatoka nje kwenda kununua condom na nilipofungua mlango tu.
"njoo hapa shhh...!"
"Jacky hujaondoka tu...?"
Kumbe alikuwa ni jacky na alikuwa akituchungulia muda wote huo kwa kupitia tundu la mlangoni.
Aliubamiza mlango kwa nguvu kisha akavua nguo zake zote,
"...ulivyonichezea vyote vile ulitaka nani nimpe..? Ng'ombe umle wewe ushindwe kumaliza kula na mkia..?"
Aliendelea kuongea Jacky huku akinivua pensi yangu na kilichofuatia nikusex naye pale pale kwenye korido chini huku Ney nikimwacha ndani akinisubiri.
Nilisex bila ya kutumia condom huku nikifurahia raha ya mapenzi,kiukweli jacky anakatika tena dah mpaka tukajikuta tunatoa sauti ya juu ile ya mahaba.
"jacky..! jacky..! inatosha pliz...!"
"nini...? Hata hujanifikisha kileleni eti inatosha, embu endelea huko..."
Jacky hakutaka kunielewa kabisa mpaka nikampa alivyokuwa anataka akaridhika,
"..haya sasa mfuate huyo mkeo ndani ukammalizie..."
Aliongea jacky kwa nyodo huku akivaa nguo yake na kutoka nje,niliongozana naye nikaishia dukani huku nikimwacha jacky akiendelea na safari yake,fasta fasta nikarudi ndani,
"...mbona umechelewa hivyo Jef...?"
"si unajua leo jumapili maduka mengi yamefungwa mapema na nimezipatia mbali sana..."
"nikwambie kitu Jef...?"
"..enh..! niambie tu..."
"nimeghairi sitaki tena utumie condom kama kunipa mimba we nipe nitailea tu.."
"Ney..? Ahh..! ahh..! ahh..!"
"mi ndo nimesema hivyo jef embu tupa vikondomu vyako kuleee..."
Ney alikuwa yuko seriaz kweli kwani nilimzoesha vibaya kila ninapokutanaga naye huwa ni kavu kavu kwenda mbele.
Kwa moyo wa ujasiri nikamvaa ili nisex naye ile nataka tu kumvua mara mlango ukafunguliwa kwa nguvu,
"chukua chupi yako umenibadilishia lete yangu..!"
Alikuwa ni Jacky karudi ndani kwa hasira zote huku akishikilia chupi yangu mkonöni,
"inamaana Jef umesha sex na huyu kabla yangu...?"
Ney alinigeukia kwa mshangao huku akiwa hajiamini amini kama nimeshamzunguka ndani ya muda mfupi...
******
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Nilimpa chupi yake kisha akanitupia yangu na kuondoka zake,nilijihisi kama amekuja na gundu flani kwani hata cku moja cjawahi kukutana na vituko kama hivi.
"hivi Jef..., embu niambie lini utaacha umalaya wako wewe...? hivi upendwaje wewe...?"
Kiukweli Ney alikuwa amechoshwa na tabia yangu lakini kidume ni kidume tena mi nikidume cha mbegu haswa.
Ney aliongea mpaka ikafikia hatua akaanza kutoa mchozi.
"ney acha kulia pliz mi ni wako tu..."
"Jef...? nalia kwasababu yako,hupendeki kwanini jamani...? Au sikuridhishi...?"
"hapana jamani sweety wangu..."
"hapana nin..? Haya na leo nakupa vyote uende tena kwa hao wengine..."
Nilichekelea ushindi kimya kimya huku tukianza mapenzi ya nguvu,mpaka mwenyewe akanikubali japo cku zote jembe huwa halichoki hata akipata madem kumi kwa siku.
Tulipomaliza nikafunga mlango kisha nikaweka funguo juu ya mlango nakuandika mesj kwa mshikaji wangu alionipa getto.
'MWANA KAZI IMEISHA THENX U KWA GETTO...'
*******
Ni cku mbili zimepita tangu nimefanya sex na wote wawili Ney na Jacky ambapo sasa mzuka ulikuwa umenirudia tena lakini kwa kutaka mademu wengine na c wale wale,nikiwa nipo home kwetu kama kawaida yangu nikaingia mtandao wa kijamii facebuk nakuanza kutafuta mtu wa kumzingua.
"Dah huyu dem anajifanyaga ananata wacha leo niingie kichwa kichwa tu"
'Hellein Mganga' ndio jina lililosomeka miongoni mwa friend wangu wa facebuk waliokuwa hewan kwa muda huu,nikamtumia mesej fasta.
'Jaman mambo...? Nimependa pozi lako kwenye pic...'
Haikufika muda akawa ameshairudisha majibu.
'thenk u friend..'
Ikawa kama kosa kurudisha majibu kwa kidume mimi.
'...c vibya nikaskia japo sauti yako sa hiv kabla cijalala my friend'
' kivipi...? Hivi hivi kwa mesej inatosha Jef...'
Alininyong'onesha lakini kidume mimi ckukata tamaa zaidi ya kumkazia.
'...pliz japo unibip basi, my number ni 0713133633...'
'Nimesema noouw.., G9t...!'
Dah..! inamaana ndo nshatoswa tena hivi jamani, nilitafakari mara mbili mbili bila kupata majibu, mara cmu yangu ikaita,kucheki nakutana na namba ngeni, ikabipu then ikakata fasta,amani na furaha ya ajabu ikaanza kunijia nakuamini mtoto kashaingia laini, nikapiga ile namba fasta kwa mbwembwe zote.
"helloow beiby...!"
"dah mwana cku hizi tunaitana beib...?"
"ahh..! sorry mwana nani mwenzangu..."
"acha mambo ya kisenge..."
Mara ile cmu ikakatwa kumbe alikuwa ni mshkaji, baada ya hapo nikakutana na missed call namba nyingine tena ambayo siifahamu,
"yale yale yatakuwa..."
Nilijisemea kimoyomoyo huku nikiinyanyua tena cmu yangu nakuipiga kwa mzuka wa hali ya juu huku nikiilegeza sauti yangu kama mwanzo.
"hellow...!"
"yap mambo.."
"Oops..! naongea na nani mrembo...?"
"helleiner..!"
"Omg... inakuwaje pande hizo..?"
"freiish...!"
"nikwambie kitu helleiner...?"
"yap...!"
"ua so sexy more dan sex..."
"thenx Jef.."
"vyip umevaa nini ucku huu..."
"only 9t dress..."
"...i wish nikuöne cku moja da way ulivyo coz una swagga, unajua how to dress dah..! hivi una date na nani vile....?"
"whaaaaaaaaaaaaaattt..?"
Alikata simu,nakunifanya nibaki na kigugumizi.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"...hapa sikubali hata kidogo mpaka kieleweke..."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikiinua simu yangu kwa kupiga tena kwa mara ya pili, iliita bila kupokelewa nikajaribu tena kwa mara ya pili ndio akapokea,
"...hellow helleiner...!"
"enh...? Unasemaje...?"
"mbona umenikatia cmu jamani...?"
"Jef..,sikia nikwambie,nawaogopa sana wanaume wa huku facebuk,kwanza ni waongo..."
"lakini mi siko hivyo,kwanza mi ni rafiki yako tu.."
"hata kama...! Umeniuzi sana uliponiuliza natoka na nani kwani niliyekuwa naye nilimpatia humu humu facebuk na akanitenda vibaya..."
"ooh so sorry...!"
"thanx jef..."
"helleiner...,naona kama tu change mada vile coz mi mwenyewe cpendi haya mambo kihivyo..."
"poa..! poa...!"
"ujue napenda sana kuwa karibu na friendz kushare nao idea mbali mbali..."
"waooohh...!"
"yap..!, so kama vip ningependa kesho tuonane..."
"usiwe na shaka Jef,we niambie tu tumit wapi...?"
"ok,we kesho saa 8 mchana tukutane pale mgahawa wa facebuk kinondoni..."
"pouwa G9t hellainer...."
"u 2..."
Yeeeees...!,nilikata cmu huku nikiwa nafuraha za ajabu nikiongea maneno maneno ya ajabu,
"...aliweza Obama akawa Rais sembuse mimi..."
Nilivuta shuka langu nakujifunika tayari kwa kupata usingizi.
~ Kesho yake saa 8 mchana ~
Kama kawaida yangu yakutupia nilijipigilia tisheti yangu ya mistari ya pinki huku nikivaa suruali model na chini supra ya pink dah i wish kama ungenichek kidizain vile,
"leta Juicy ya mango..."
Fasta fasta nikaagiza kwa mhudumu.
Juicy ikaletwa kwa mapozi nikaitupia huku namsubiria mtoto helleiner mara,
"aaah Jef my love upo...?"
"mhh beiby shwari...?"
Dah nilijiona kama nagundu flani vile kwani Ney aliniona na ndiye aliyenifuata hadi hapa nilipo cjui hata alikuwa anaelekea wapi ikabidi nizuge ili aondoke,
"Ney..., pliz cna hata muda mrefu hapa"
"kwani unaenda wapi sweety wangu..."
"Ney naelekea pale ATM sina pesa.."
"usijari leo nina pesa hata ukiniambia twende wapi naenda kukuhudumia..."
Yaani Ney alikuwa mbishi utadhani alikuwa anajua inshu yangu ya mi kuwa hapa.
Tukiwa bado tunapiga story na ney huku tukinywa juicy,nikachomoka nakuelekea choöni mara moja kukojoa, ile narudi tu nakutana uso kwa uso na helleiner kiti cha pembeni kabisa na upande wa pili yupo ney niliomwacha pale huku kofia na miwani yangu vikiwa pale juu ya meza
"...mi ndio Jef Ryder bhana wataniweza nini hapa..."
Nilijipa moyo huku nikimfuata helleiner nakumwacha Ney kama vile simjui.
"mambo Helleiner..."
"safi tu Jef,vipi umefika saa nyingi enh...?"
"dah..! hapana wala hata siyo sana vipi..! agizia..? unakunywa nini..."
"juicy inatosha..."
Ile nageuka tu kumwita mhudumu mara macho yangu yakakutana uso kwa uso na Ney akinifuata mezani nilipo na Helleiner....
"wee Jef..?
"...haya nidanganye tena sasa..? Na huyu ni nan..?"
Nilibaki mdomo wazi huku tukimtolea macho Ney kama vile hatumjui.
"we dada vipi unamatatizo enh...?"
"Jef unaniambiaje..?"
Ney alikuwa ni mwepesi sana wa hasira pale pale machozi yakaanza kumtoka huku akitupa kofia yangu na miwani nakuniacha pale na helleiner.
"bora liende huko..."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikimgeukia helleiner.
"sorry helleiner kwa kilichotokea, c unajua wasichana wa uswahilini wakikuona umependeza lazima wakuzingue.."
"usijari Jef ondoa shaka na mimi kabisa"
Tuliendelea kupiga story pale lakini malengo yangu yote hayakuwa vile,
"enh nikuulize kitu helleiner...?"
"uliza tu usijali"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"unasoma au...?"
"yap nipo chuo.."
"dah the same to me lakini mi nipo cbe, vip kwani wewe upo wapi..?"
"nasoma IFM.."
Hapa leo lazima kieleweke
Nilijisemea kimoyomoyo huku nikilikodolea jicho la helleiner,tulimaliza juicy pale kisha kilichofuatia,
"helleiner ningependa ukapajua japo ninapoishi"
"Usijali Jef hata cku nyingine.."
"nou jaman pliz pliz..."
"jef nawe,embu niambie unaish wapi...?"
"hapo tu magomeni wala c mbali kutokea hapo..."
"ok twenzetu lakini hatutakaa c kupajua tu.."
"yap...!"
Sikuamini macho yangu kwani nilimuongopea helleiner tukaenda magomeni huku akijua eti ni home kwetu kumbe kwa mshikaji getto,fasta nikamtumia mesej kumuweka sawa.
'OYA MSHKAJI NIKO NJIANI PLIZ FUNGUO KAMA KAWA JUU YA MLANGO NAKUJA NA MTOTO HUKO'
* baada ya nusu saa *
Tayari kidume mimi nilikuwa mitaa ya migomigo kucheki taimu yangu ilikuwa kama mida ya saa 11 kasoro,
"Jef,nikuulize kitu.."
"uliza tu..."
"embu niambie unaishi na nani huku tunapokwenda..?"
"nipo na kaka yangu mkubwa ila amesafiri kwa muda yupo south africa atarud mwezi ujao.."
Nilimdanganya huku tukiingia ndani,niliingia kwa mbwembwe zote,
"karibu friend hapa ndo home...!"
"enh pazuri...."
"kawaida tu...."
Fasta fasta nilielekea mpaka chumbani huku nikiweka mazingira fresh kisha nikarudi mpaka sebuleni nakukaa karibu kwenye kochi moja huku tukipiga story za kawaida.
Uzalendo ukaanza kunishinda kidume mimi kwani nilijikuta napiga story huku mkono mmoja kila mara nikiuweka mapajani mwa helleiner,hakuonesha mkali hivyo ukawa mwanya kwangu wa kuzidisha kumshika hadi nikajikuta nataka nimkumbatie,
"noo..! noo...! noo..! noo jef.., unataka kufanyaje...?"
"amm.. mm.. mh.. mh.. mh... Sifanyi chochote"
"...na hapa pajani kwangu mkono wako unafuata nini...?"
"ah helleiner kawaida tu mbona ,but nikwambie kitu..?"
"yap sema..."
"pliz japo nikubusu shavuni then tuondoke..."
"what...?, unasemaje...?"
nilijikaza kiume bila kuogopa chochote kwani jef ryder huwa hashindwi kitu kwa mademu tena kama hawa.
"haya nibusu tuondoke..!"
Nilimbusu huku nikimwacha akisisimka mwili wote nakujikuta akiropoka.
"jef....?"
"nilishangaa analeta mdomo wake kwangu nakumtupia romance, nilinogewa huku mikono yangu nikiishusha mpaka kifuani mwake nakuanza kushika shika matiti yake huku akianza kutapatapa.
"jef, chezea pote kuanzia juu mpaka kifuani, ila kuanzia kitovuni mpaka chini pliz niache usiguse..."
"yap mambo c ndo hayo kiulaiini..."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikimshika matiti nakuanza kumnyonya kuelekea kitovuni,kila nilipotaka kusogea maeneo yetu yale alikuwa mkali sana.
"jef inatosha basi.., basi.."
"nou...! nou..! jaman pliz"
Kila nikimshika mapaja alikuwa mbishi mpaka baadae kabisa akakubali kuzivua nguo zake huku akibakiwa na chupi tu,
"jef, niambie kwanza utakuja utanisaliti...?"
"ondoa shaka na mimi kabisa pliz ntakuwa wako daima..."
Nilimuongopea huku nikivua nguo yangu nakubakiwa na boxer tayari kwa kutaka ku sex.
"jef nimetokea kukupenda..!"
"hata mi pia.."
"nikwambie kitu jef..?"
"niambie tu.."
"tuta sex siku nyingine pliz..."
"why isiwe leo jaman helleiner...? Nitateseka usiku helleiner mpenzi..."
"na bleed ndo mana nakwambia hivyo jef, cku nyingne tutasex niamini pliz.."
Niliona kama ananidanganya hivyo kilichofanyika nikamlegeza upya mpaka akalegea na nilipomvua chupi tu nilikutana na pedi tena ina damu damu nikiwa bado nashangaa mara ile nachungulia dirishani tu macho yangu yakakutana na tax ikishusha mizigo kwa nje huku nikimshuhudia kama maza ake na mshikaji aliyeniachia getto akishuka kwenye ile gari...
*********
Niligeuza macho yangu mara mbili mbili huku nikiangaza nje kwa kupititia dirishani na tayari nilikuwa kama mtu aliyechanganyikiwa vile..,
"vip jef unamatatizo gan mbona umebadilika ghafla...?"
"mhh..! ahh..! ahh..! ahh..!hamna kitu mpenzi...!"
Nilijitahidi kuwa kawaida lakini bado akili yangu haikuwa fresh kabisa mpaka pale nilipomuona yule mama kama kweli anakuja humu ndani au la, alipomaliza kushusha mizigo yake nilishuhudia akija kupokelewa na ndugu zake ndipo nikashusha pumzi chini nakuamini kuwa nilimfananisha kumbe haikuwa nilivyofikiri.
Mzuka wa ajabu ulikuwa umeshanianza tena pale pale nikamgeukia helleiner,
"..jef c nimekwambia na bleed hunielewi...?"
"nashindwa kuzuia hisia zangu mpenzi pliz..."
"haya tu sex hivi hivi na damu c ndo unavyotaka..?"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"hapana helleiner ila..."
"...ila nini....? Ona unachotaka kukifanya..?"
Dah kumbe kweli alikuwa aki bleed.
"...embu nielekeze chooni wapi...?"
"pita kuleee..."
Fasta fasta alielekea chooni nakuniacha pale nikiwa sebuleni na ki boxer changu.
Ndani ya muda mchache alikuwa keshamaliza akarudi.
"jef, nilikuwa nakuongopea mwenzio si bleed na hapa nilipo umeniamshia nyege zote yani hapa cjielewi elewi kabisaa...!"
Nilibaki cjiamini amini kwa anachosema but ilinibidi kuanza kuamini kwa sababu alikuja ameshikilia chupi mkononi huku akionekana hana damu damu yeyote kuashiria ana bleed.
"helleiner..? twende huku.."
"wapi tena..?"
"huku chumbani.."
Niliondoka naye mpaka chumbani huku nguo zetu tukiziacha sebuleni, kweli jef mi nilipatikana kwani alikuwa ni Play Gal kwa kuwa alinidanganya ana blded wakati sivyo,
Tulijirusha kitandani na kuanza mautundu yote huju vidole vyangu vikifanya kazi haswa kwani nilimdumbukiza mdomoni kidole kimoja huku akikilamba kwa dizaini ya romance na kisha baada ya hapo nilimnyonya maskio yake haswa mpaka macho yake yakamlegea,
"jef tufanye pliz tufanye mwenzio na.."
"uhh.., uhh.., subiri ohh.., ohh.., sweetie...!"
Nilimdanganya kwa sauti ya mahaba huku nikiutelezesha ulimi wangu kwenye chuchu zake nakuzinyonya, tukiwa tumenogewa na mapenzi mara simu ya helleiner ikaita,
"...achana nayo dia tuendelee tu.."
Tuliendelea nakuanza kusex naye mpaka akalegea na mwili kumchoka huku akionesha kushikwa na usingizi kabisa baada ya kumaliza bao la kwanza.
Hapo hapo ukawa mwanya kwangu wakuweza kumjua vizuri kupitia cmu yake kwani nilianza kuifungua kwa upande wa meseji, nilikutana na meseji za ajabu ajabu nakati ya hizo nyingi ni za wanaume tena zile za mapenzi hivyo nikamgundua helleiner ni Play gal tena yule asiyeshikika,hapo hapo kwa hasira nikamwamsha kisha nikaanza kumchezea mwili wake huku nikitaka ku sex kwa bao la pili,
"...mtoto mzuri kama huyu c wakutumia condomu kabisa.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikianza kusex tena bila ya condom,
"jef pliz usikojolee ndani pliz.., pliz.., uhhf.., uhhf.., uhhf..!"
"yeh..! noo..! noo cwez baby cwez ohh..! ohh..! ohh my God..."
"nilijikuta utamu umenizidia nakuachia bao humo humo ndani.
"no no jef, umekojoa...?"
"yeah dia..!"
"whaaaaaaaaaaaaat....?"
"no way out sweetie nimekojoa ndani...!"
Helleiner alionesha kuchanganyikiwa huku akiwa hajielew elewi dizaini kama alikuwa na presha coz jasho la ghafla lilimtawala,
"jef jef ushanipa mimba.., mimba jef seriouz.."
"unasema...?"
"jef nipo kwenye hatari na umekojolea ndani ohh..! ohh..! ohh...!"
Aliendelea kulalamika huku kijasho chembamba kikizidi kumtoka mpaka akapoteza fahamu nakuzimia pale pale.
Nilianza kumpepea bila mafanikio nikamvalisha nguo nakukimbia nje kuita tax nimkimbize hospitali ile nafika tu mlangoni nafunguo uso kwa uso na Jacky tena akionesha ana hasira,
"namtaka huyo anayejifanya kijike kwa waume za watu..?"
"mbona hakuna mtu kwan vipi...?"
Jacky hakuelewa chochote zaidi ya kuelekea chumbani nilipomuacha helleiner kazidiwa..
Nilimfuata jacky kwa nyuma mpaka chumbani na nilipoingia tu helleiner akawa kashazinduka,
"jef jef umenipa mimba..? jef nitasema nini nyumbani jef...? Cjawah kutoa mimba nitakufa jef..?"
"ufe tu mbwa we...?"
Aliropoka jacky huku akiachia fyonyo kali nakuanza kumburuta helleiner pale kitandani huku akiwa uchi wa mnyama,
"jacky mwacheeee...."
"simwachi...!"
Jacky alizidi kumburuta helleiner mpaka sebuleni
"...haya chukuwa vinguo vyako uvae na uondoke hapa..."
Jacky alimwambia helleiner kwa hasira kubwa,
Sikuwa na akili yoyote yakumtetea kwani wote nilikuwa nawapenda hivyo nilimshuhudia helleiner akivaa nguo zake kisha akaniangalia kwa macho ya ukali na yenye machozi,
"jeff najutia kuwa na wewe, najutia hata kuja hapa,sirudii tena...."
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
¤¤¤¤¤¤¤¤
Ile nakuja kushtuka kumbe mda wote nilikuwa ndotoni tena zile ndoto za mchana, nakumbuka nilipoachana na helleiner tu pale mgahawa wa facebuk nilirudi zangu nyumbani kwetu peke yangu huku nikiwa na furaha ya ajabu kukutana na mtoto mzuri wa facebuk 'helleiner',
Nilipofika tu nyumbani usingizi ukanishka ile nakuja kushtuka eti nimeshafanya sex na helleiner tena mpaka jack akatufamania duh ndoto nyingine bwana,
"dah natamani ingekuwa kweli ile ndoto..."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikivuta simu yangu tayari kwa kuchati na helleiner.
'Hujafika tu home..? Mbona hujaniambia jaman..'
Ndani ya muda mchache akanijibu.
'jeff sorry nilipitia kwa rafiki yangu so sa hivi ndo naelekea nyumbani
'...jamani ukifika uniambie..'
'pwaa...!'
Nilikuwa nafuraha kwani niliamini kwa asilimia zote mtoto ataingia laini tu.
Nilichukuwa simu yangu nakuingia facebook tena kwa kuchat na marafiki, nilipoingia tu nikakutana na status ya 'Michelle mwavua' iliyokuwa inasema hivi,
'NATAFUTA MWANAUME ALIYETULIA, NILIYENAE AMENICHOSHA...'
Niliguna kwanza kisha nikafungua info yake kujua mambo yake,sikuweza kutambua umri wake lakini sehemu aliyokuwa anaishi ni mabibo na kazi anafanya kama modelling.
Yap,hapo hapo nikaingia kwenye meseji nakumu inbox,
'...UKO SERIAZ...?'
Nilipomaliza tu nikaingia kwenye profile yangu nakubadilisha picha yangu nakuweka ile ya u handsome haswaa niliyopiga photo point.
Ndani ya muda mchache nikajibiwa,
'..KWELI KABISA NIPO TAYARI KWA YEYOTE..'
Sikutaka kuchelewesha kabisa zali kama hili pale pale nikamtumia number zangu za simu.
'0713133633'
Nikaendelea na mambo mengine ya kutafuta mwingine kati ya marafiki zangu,nikiwa bado naperuzi mara meseji ikaingia kwenye simu yangu hapo hapo nikaifunga facebuk nakuanza kufungua sehemu ya meseji huku nikiwa namzuka wa hali ya juu nakuamini huenda atakuwa ni huyu michelle niliyemwachia number yangu ya simu ile nafungua tu.
'...Nimefika salama jeff, have a g9t...'
Nilinyong'onyea kwani alikuwa ni helleiner,ikanibidi nipige msosi wa ucku kisha nikalale,nikiwa kitandani natafuta usingizi wazo likanijia la kumchokoza helleiner,
'miss u helleiner..!'
'me 2...'
'i wish culd be there..!'
'jeff...?'
'real dia...'
'ok me too...'
'can i kiss u thru sms...?'
'yeah u can..!'
'waaoh.., mwaaaaaaaah..'
'mwaaaaah tøo...!'
Hapo hapo ukawa mwanya wa wakumpigia cmu..,
"hallow helleiner..?"
"yap jeff..."
"sijaridhika na busu la sms.."
"jeff acha vituko bhana.."
"jaman pliz niko seriaz.."
"ok, mwaaaaaah.."
"thankx u nakupenda friend.."
"usijali hata mi nakupenda rafiki yangu.."
Anajifanya nayeye ananiita rafiki siyo ngoja nimbadilishie mada,
"helleiner..?, ujue nashindwa kulala coz of u...?"
"jeff..? Kwani nimekufanyaje mpaka usilale...?"
"nashindwa kuzuia hisia zangu kila ninapochati na we, nimetokea kukupenda seriaz toka tulipoachana pale mgahawa wa facebuk..."
"jeff ni mapema mno kusema hivyo na hata kukubalia..."
"kumbuka hisia ni kitu ambacho hakizuiliki..."
"ok.., Tutaongea siku nyingine..."
Yap...,keshajileta mwenyewe huyo hapa nikummega tu kwenda mbele then tupa kule.
Nilijisemea kimoyomoyo huku nikijiwekea uhakika asilimia mia nishampata.
"jeff..., nina dada yangu anataka akusalimie..."
"pouwa...!"
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
"mambo jeff..."
"pouwa.., unaitwa nani jamani...?"
"naitwa miche.., au ukipenda michelle mwavua ni pacha wake na helleiner..."
"mhh.., mhh.., mhh.., umesema unaitwa..?"
Nilikuwa sijiamini amini kama tayari nimeshaharibu jeff mimi kwani muda si mrefu nimetoka kumwachia number yangu demu wa facebuk anaitwa michelle mwavua,
"we si Jeff Ryder...?"
"hapana.., mi naitwa jeff ramso..!"
Nilimdanganya nione atasemaje,
"we jeff ryder bhana wa facebuk.."
Nguvu ziliniisha nakuona sasa ntakuwa nimeshawapoteza wote tena kumbe ni ndugu na ni mapacha duh..
"Jeff...?"
Kwa aibu kubwa ilinibidi nikate kwanza simu huku nisielewe nifanye nini.
Haikupita muda cmu tena ikaita kucheck jina ni ya yule yule helleiner, kiukweli nilitamani u play boy wangu uishie hapo hapo,
"aaah.., mi ndo jeff ryder bhana sishindwi chochote hapa..."
Nilijipa moyo nakupokea huku malengo yangu yakiwa katika uongo kwa kwenda mbele,
"yap.., helleiner...!"
"mbona ulikata simu jef...?"
"amm.., mhh.., mhh.., nadhani ni network c unajua tena tiGO inavyosumbua..."
"ok..,endelea kuongea na dada michelle..."
"yap.., mambo tena miche...!"
"pouwa...,embu niambie vizur jeff maana tunabishana hapa na helleiner..."
Kabla hajaendelea kuongea nikaanza kusisimka huku meno yakiumana na mapigo moyo kwenda fasta ile kishenzi..,
"enhe niambie kitu gani hcho...?"
"eti ile picha uliyoweka kwenye facebuk ni wewe...?"
"ndio mimi kwani vipi...?"
"tunabishana sana na helleiner mi bado hata siamini kama ni wewe"
"kwani helleiner kakwambiaje..."
"kaniambia leo umeonana naye na ni wewe kabisa, kama ni kweli jeff we ni bonge la handsome..."
"thanx miche..."
"ok,can i say g9t...?"
"no.., no.., no.., niambie unatumia jina gani facebuk...?"
"hellanie mganga.."
"heee..! majina yanafanana na la mwenzako...?"
"yeye si anatumia helleiner mganga..."
"..ok mi nilidhani unatumia michelle mwavua..."
"mhh hapana ilo jina nilitumia shule huwa silipendi kulitumia..."
Ilinibidi nishushe pumzi nakuamini kuwa siye michelle yule niliyemdhania.
"ok nipe helleiner niongee naye..."
"pouwa..."
"hellow ryder..."
"mh una swaga na wewe,ok mambo niaje mtu wangu..."
"kawaida tu"
Ok karibu tulale helleiner"
"mh tanx dia"
"lini tutaonana tena helleiner manake dah sijakaa sana na we then nahitaji tuongee sana na wewe..."
"mayb next wikiend niambie wapi...?"
"bt this time ningependa twende beach au wewe hupendi...?"
"mh napenda..."
"ok jumamoc basi tutaenda.., mida ipi unapenda..?"
"jeff mi napenda kuanzia mchana..."
"pouwa kuanzia sa 6 basi jiandae tutaondoka"
"sawa jeff najua nita enjoy vya kutosha.."
"we acha tu mi mwenyewe napenda hata ingekuwa ni kesho..."
¤¤¤¤¤¤¤¤¤
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Leo ni alhamis na nisiku kama tatu zimepita tangu nichat na helleiner pia ninamuda mrefu sijaingia facebuk hivyo ngoja nifungue nakuanza kuperuzi,
Ile naingia tu nakutana na inbox kama 3 huku nikiwa na furaha ya ajabu sikutaka kupoteza muda kabisa nilizama kuichek na kwa bahati moja ilikuwa ni ya michelle yule niliemtumia namba yangu ya simu,na kwa muda huu alikuwa amenitumia namba yake ya simu '0718334141'
Fasta fasta nikampandia hewani ili kujua kama ni ya kweli au la.
"hallow..."
"yap nani mwenzangu...?"
"...Unaongea na jeff ryder wa fabebuk.."
"Ahh...! mambo jeff"
"Safi tu..,vipi ile status yako iliishiaga wapi vile..?"
"ipi tena jeff..?"
"si ile ya kutafuta mtu wa kuishi naye..?"
"anhaaaa...! we jeff nawe hutaniwi tu...?"
"jaman kweli mi mwenyewe nipo alöne na nilikuwa nahtaji mtu wa karibu wa kuniliwaza...!"
"usijari utampata tu..."
"si ndio wewe jaman...?"
Mara simu ikakatika kucheck vocha ikawa imeniishia hvyo sikuwa na ujanja zaidi yakukopa tigo then nikamtwangia tena.
"michelle nakuomba kesho tukutane japo nikusalimu ntaridhika..."
"mh, kwa kesho nitakudanganya tufanye jumamosi..."
"...Mh niliguna huku nikiamini jumamosi nina appointment na mtoto helleiner..
"haya jumamosi iwe mida ya asubuhi coz mchana nitakuwa bize mpaka jioni.."
"ok but tuonane wapi jeff...?"
"njoo magomeni ukianza safari uniambie ili nikuelekeze vizuri..."
"..ok pouwa jeff"
~ JUMAMOSI ~
Tayari nilikuwa nimeshazitengeneza appointment mbili yakwanza ni ya mtoto michelle na nyingne ni ya helleiner, mzee ile asubuh asubuh nikahakikisha cmu yangu iko full chaji na full mavocha then nikajipigilia haswa haswa full kuoga mapafyumu mwili wote.
Ilipotimia tu mida ya saa tatu nilikuwa mtu wa kwanza kumtumia meseji michelle,
"vipi umeamkaje miche...?"
"safi tu..."
"vip ushajiandaa...? Mwenzio nakusubiria huku..."
"ndo nataka kuingia bafuni nikianza safar ntakushtua..."
"pouwa..."
Nikamweka sawa na helleiner..
"hey helleiner...?"
"yap jeff upo...?"
"nipo yan full kukuwaza naona kama muda hauendi vile..?"
"jef kwa vituko..? Ok mi mwenyewe muda c mref naanza kujiandaa usijari"
"pouwa pouwa utanitaarifu..."
Nikajipigilia chai kila kitu nilipomaliza tu kuchek muda tayari ni saa nne na nusu,mara sms ikaingia kuchek kumbe ni michelle,
"nakaribia magomeni natokea mabibo huku niambie nishukie wapi...?"
"shuka magomeni mapipa utanikuta stendi nimevaa shati la mistari meusi na meupe na suruali nyeusi chini raba..."
Fasta fasta nikaelekea kwa mshikaji kuchukuwa ufunguo na nilipotoka pale nikakimbia kituoni huku nikijificha nisionekane kwanza mpaka nimjue yupoje,ndani ya nusu saa nikapigiwa simu na huyo huyo michelle,
Kabla cjapokea nikaangaza huku na huku kumuangalia jinsi alivyo.
"...nimeshafika uko wapi sasa jeff...?"
Nilivyomchek tu nikakata simu nakuizima kwani dah alikuwa si mtu wakawaida.
"...ama kweli facebuk...?"
Nilijisemea kimoyomoyo huku nikijiondokea kwani huyo michelle mwenyewe ungemuöna sura yake ungecheka tu, kama dume vile tena limejazia,na ile picha aliyoweka facebuku siyo ya kwake.
Nilinyong'onyea mwili wote huku nikikasirika kwa kupoteza muda wangu hapo hapo nikaondoka zangu.
"..labda amsubiri jeff mwingine siyo mimi.., anahadhi yakuwa na handsome kama mimi..? wacha lisubiri mpaka lichoke litaondoka tu..."
Niliongea kidharau uku nikijiondokea.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Nikiwa njiani mara nikapata wazo la kuiwasha simu isije akawa helleiner anitafuta,nilipoiwasha tu ikaingia sms,nikaanza kuzubaa huku nikiisoma kwani ilikuwa inatokea kwa helleiner,
"sweety nimeshamaliza naelekea kupanda daladala vipi nishuke wapi..?"
Nikamjibu fasta fasta,
"shuka hapa magomeni mapipa nakusubiria"
"pouwa pouwa nipe dakika kama 10 kwani natokea mwananyamala"
"ok pouwa"
Furaha kubwa ikanitawala coz mlimbwende wangu helleiner alikuwa njiani anakuja hivyo wazo la michelle sura mbaya likafutika, nikiwa bado maeneo ya pale magomeni mapipa mara nilishangaa naguswa mabegani ile nageuka nyuma yangu,
"jeff unakwenda wapi sasa..? Nakupigia simu hupatikani mpenzi..?"
Oooh my God, alikuwa ni Michelle sura mbaya na aliniona nilipokuwa...
***********************
***** je ni kweli Michelle sura mbaya ndiye aliyekutana na Jeff? Jeff atafanyaje na u play gal wake kwa msichana mbaya kama Michelle sura mbaya..??
**** Itakuwaje kama Atafumaniwa hapo alipo na Helleiner..? Nini hatma ya Jeff Ryder katika simulizi hii tamu..??
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment