Chombezo : Nitakupenda Usiku Tu
Sehemu Ya Pili (2)
Niliendelea kukodoa mimacho utadhani naangalia picha bandani. Siyo picha ya kupigwa la hasha! ni picha za video tena zile za kuingia kwa kiingilio cha shilingi mia moja mpaka shilingi mia mbili na zile za kikubwa ambazo zilikuwa zikijulikana kwa jina la picha za ‘pilau’ au X zenyewe zilikuwa kati ya mia tau hadi mia tano. Uhondo ulioje kushuhudia mipaja hadharani nje nje tena ikijifunua pasipo kulazimisha wee acha tu.
Mawazo yaliniteka, yakaniteka, yakaniteka tena haswa kisha yakanirudisha mpaka mbele ya macho yangu nakuangalia kinachoendelea. Kumwangalia jimama aliyekuwa ameniachia vito vyake vya thamani nakuvifuata visichana vidogo vilivyokuwa vikijiuza miili yao. Vilivyokuwa vimeshamchambua jimama langu matusi ya nguoni. Havikujali. Vingejali nini wakati vilishakula kiapo cha kutokumuogopa mwanamke mwenzao yoyote pindi wawapo mawindoni?
“ Haya nyie vinyago mlikuwa mkiongea nini?” Aliongea yule jimama.
“Kinyago wewe na yule mpumbavu mwenzako!”
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Kwani anataka nini huyu tumzime kwa sigara sisi” Kalidakia kasichana kadogo kakiizima sigara kwa kutumia skuna yake iliokuwa imechongoka kwa maeneo ya mbele. Hakakuwa na nguvu kwa muonekano wake. Kilivalia kisketi kifupi kilichokuwa kimezibwa na mtandio kiunoni. Lakini hata sikuelewa ni kitu gani kilichokuwa kikimfanya kujiamini kiasi kile, nilifikiri sana huenda hata kuwepo kwa wenzake wengi ndio kitu kilichokuwa kikimpa kiburi. Kikavua mtandio wake nakuutupa pembeni yake.
Alichokifanya yule jimama alikishika vilivyo kile kisichana. Vile vingine vyote vikaanza kutoa makelele ya mbwembwe pasipo kuweza kumsogelea tena yule jimama. Nikajisogeza kwa karibu japo kwenda kumchukua yule jimama aachane navyo tu lakini kitendo cha kusogelea kwa kwaribu vile visichana woga ukawajaa. Vikadhani sasa na mimi nitakuwa nimeudhika.
Mwili wangu uliokuwa umekomaa kwa kuwa na misuli kuanzia mikononi mpaka miguuni kwa kulima vitunguu na nyanya nyumbani kwetu Iringa ndio uliwaogopesha sana. Vikaanza kutawanyika kila mmoja kutafuta njia yake nakujiondokea. Nikamsogelea yule jimama.
“Achana navyo havina inshu hivyo!! chukuwa vitu vyako twende”
“Unasemaje na wewe?”
“Chukuwa vitu vyako twende tu achana nao hao”
Mwanzoni jimama lilionesha kama kutokunielewa lakini likakaa sawa. Likakiachia kile kisichana nguo ambayo ilikuwa imeng’ang’ana haswa na mikono yake.
Likachukuwa vitu vyake kwangu nakuvivaa.
“Umesema ni mtaa gani kwako”
“Tumeshakaribia kwani kwa hapa napafahamnu kabisa nilishawahi kupita sana, tukikunja kile kichochoro cha upande wa kule tutakunja tena ndio mtaa huo huo.”
“Twende”
Tulitoka pale uku lile jimama likinishika mkono na sikujua kwanini lilinishika mkono kwa nguvu zile sijui ndio lilijua huenda nikalikimbia. Kiakili hakuna. Kama ningelitaka kulikimbia ningeweza kufanya toka mwanzo aliponiachia tu vitu vyake. Tukaanza kukatiza kichochoro kimoja baada ya kingine. Hapakuwa na umbali sana kufikia getto niliokuwa nikiishi. Sikuwa muoga kutokana na chumba changu na hata wapangaji kutokuwa na mazoea na mimi. Na hii ni kutokana na kazi yangu. Kazi ya kushinda ndani siku nzima nikijifungia ndani nakutengeneza kahawa yangu na ikifika jioni kuchochea moto nakuosha vijikombe vya kahawa nakuingia mtaani. Hata mwenye nyumba mwenyewe sikuweza kumfahamu zaidi ya pesa yangu ya kodi kuwa nikimpatia mtoto wake tu.
“Mhh kumbe unakaa mbali hivi,”
“Ndio lakini tushafika!”
“Vigodoro hivyo!! sherehe haziwahusu mmevamia tu lakini kwa leo unabahati kukutana na tinginya kama mimi na umeona raha zake”
Likakenua meno uku likinitingishia makalio yake kiuchokozi. Tukatimba kwangu!!
“Ndio hapa, karibu najisikie uko nyumbani”
“Ndio kwako hapa?”
“Ndio”
“Kwako au kwenu”
“Kwangu nimepanga ingia wala usivue viatu”
Likazama kama msemo wa vijana wa siku hizi wasemavyo. Udogo wa chumba changu ulimfanya kupata tabu mule ndani. Kakitanda kadogo kakuunga na madumu ya maji kwa chini chaga zisiweze kupasuka ndicho alichokalia. Mwanzoni niliogopa sana. Nilijua tu naelekea kuumbuka. Kuumbulka kwa kulemewa kwa kitanda changu nakujikuta akizama mpaka chini lakini haikuwa hivyo.
“Sasa hapa, mhhh kweli ndio maana huna hata mke, unaishije chumba kidogo joto kali hewa nzito”
“Ndio maisha hayo nilioanza usijali mambo yanabadilika”
“haya nishapajua naenda”
“Sawa unaenda lakini ujue mpaka sasa sijakujua jina lako”
“Naitwa Mash, ni jina niliokulia nalo mtaani kwetu kote kule kutokana na mtoto nilivyojaaliwa. ndio wakanitungia jina la ‘Mashallah’ kifupi Mash.”
“Kweli umejaliwa Mash”
“Haya naaga tena nataka kwenda mwenzako”
Aliongea huku akiniangalia mara mbili mbili kana kwamba kunakitu amesahau. Alinyanyuka nakutaka kukaa tena. Akanyanyuka tena nakunisogelea mpaka karibu. Kisha akanong’ona kitu.
“Mashine yangu nitunzie kesho nitakuja kuitumia lakini nitakuja usiku tu”
Sikuwa na jinsi zaidi ya kumuitikia tena kwa kichwa kumuonesha kuwa nimekubaliana naye. Kimtazamo hakuonesha kabisa kuridhika na maneno yangu ya kumkubalia kirahisi hivyo.
“Nikwambie kitu Seif”
“Nambie”
“Nipe kwa mara ya mwisho basi mashine yako”
Kabla hajamalizia kusema lolote alinivagaa na limwili lake lote. Mdomo wake akanisogezea kwa karibu sana nakutaka ndimi ziweze kugusana. Mikono yake moja kwa moja akaisogeza mpaka chini kwa kasuku wangu ambaye ndio kwanza alikuwa akihesabu moja na moja kupata mbili anashindwa kusimama. Akihesabu mbili na mbili kupata nne bado alishindwa kabisa. Kifupi hali ilikuwa ile ile kwake. Aliweka kamgomo kwa muda. Mgomo wa kutokubali kusimama kabisaa.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Usinifanyie hivyo Seif ujue hujanimalizia kabisa”
“Hata mie nashangaa ni yenyewe tu ndio inaleta magumashi”
Likanuna!!. Domo likapindua kuonesha kama limesusa kwa muda. Likaachana na kasuku wangu nakuniangalia mwa mara nyingine.
“Haya nisindikize”
Nilifungua mlango wangu nakutoka kwa utaratibu kama nyumba ya gesti kumbe ni kwangu. Sikutaka kwa muda kama huu kuwe na kelele kutokana na usiku kuingia na wote wapangaji walionesha kuwa kimya vyumbani mwao.
“Wewe ishia hapo hapo mie nshafika. Tutaonana kesho narudi kazini mimi”
“Haya poa kesho!”
Sikutaka hata kuuliza ni kazi gani anafanya japo nilihisi tu atakuwa akijiuza kutokana na mazingira aliyokuwa akiishi. Pili maneno yake aliokuwa akiyaongea kwa Jof pindi alipobisha hodi kwake yalinitia wasiwasi sana. Nilibaki nikimkodolea macho kumuangalia kwa upande wa nyuma kwa jinsi alivyokuwa kweli ameumbika uku kichwa changu akikiacha katika changamoto kubwa sana.
Sikutaka kabisa kuamini kama kweli jimama kama lile leo hii limeingia kwangu kiulaini kivile. Nilihisi huenda basi itakuwa ni ndoto lakini kila nikiyapikicha macho yangu nakuyafungua jibu lilliendelea kubaki pale pale kuwa ni ukweli kabisa nimetoka kuwepo na jimama.
***********
Nilirudi zangu getto nakujilaza kitandani uku picha na mawazo yote nikiyaelekezea kwa usiku mzima ulivyokuwa. Sikuweza kuupata usingizi wa kawaida zaidi ya kuwa na usingizi ule wa mang’amu ng’amu nadhani unaelewa hata na wewe usingizi wa machale kwa jinsi ulivyo.
Ilipowadia asubuhi na mapema Jof alikuja kwangu nakunikuta nikisafisha birika langu la kahawa tayari kwa kuandaa kuingia kazini.
“Seif Seif”
“Niambei Jof”
“Haya wewe na jimama lako ndio mkanisaliti jana?”
“Unajua Jof yaani sikuwa na ujanja wowote pale jana!”
“Nakujua kwakuwa ilikuwa ni mara yako ya kwanza, haya niambie mshkaji ulikumbuka kutumia zana?”
“Zana? ndio nini?”
“Seif acha ushamba wako wa kijijini hapa. Mjini ukiambiwa zana inamaana ya kondomu, ulikumbuka?”
“Anhh Jof, utamu wote ule eti nitumie kondomu, kwanza maduka yalikuwa yameshafungwa usiku ule!”
“Angalia Seif! kitendo cha mimi jana usiku kuja kule kwake ni kukuletea zana kwani nikiendaga vigodoro ni lazima niwe nazo si unajua pale ni kama kazini lolote linakukuta unalifanyia kazi tu”
Niliganda kwa muda nikiyavuta maneno ya Jof kichwani mwangu. Nikaanza hesabu zile za chekechea kichwani mwangu. Nikatoa kwa mbili nikajumlisha kwa tatu. Mwili ukatetemeka nakutetemeka kwa kusahau kutumia kondomu. Maneno ya baba na mama yakanijaa akilini. Maneno makali ya husia ambayo waliniambia kabla sijaja mjini kutafuta maisha. Neno kubwa lililoniumiza ni kuhusu ugonjwa wa ukimwi. Nikawakumbuka sana wazungu waliokuja kutembelea kijijini kwetu. Wakatuonesha na sinema kabisa jinsi maambukizi ya ukimwi yalivyo. Nikakaa kwa muda kisha nikamjibu Jof.
“Nilitumia bwana nilikuwa nakutania. Yule jimama alijipanga kwake alikuwa nazo nyingi tu”
Nilijikuta nikiyaropoka maneno kwa Jof kwa kuficha tu aibu kuwa nilikumbuka kutumia kinga.”
“Kama ni hivyo sawa” Aliongea Jof. Akazama mifukoni kwake nakutoka na kipakiti kimoja cha kondomu.
“Hiki hapa weka mfukoni utakuwa ukizurula nacho uko kwenye kuuza kahawa yako na hata tukienda vigodoro. Sawa Seif”
“Dah poa Jof, hapa safi”
“Haya unajua leo jumangapi?”
“Leo si jumamosi?”
“Sasa jana ile ilikuwa trela na si unanijua mimi mzee wa vigodoro. Jana hukuona ladha kabisa wewe. Hii ya leo inaitwa hakuna kulala ni kutimbwirika mpaka majogoo. Usiku nataka nikupeleke Tandale kulee kwa Tumbo kuna bonge la kigodoro mtoto wa Bi Zai anaolewa hivyo kuna mkesha, unajua mishangingi wewe? unajua mitinginya wewe? achana na lile ulilolipata jana usiku hapa nazungumzia mijimama ya kulea inayoishi magomeni uko, Sinza, lazima mtu akae!” Aliongea Jof kwa mbwembwe.
Udenda ukawa unataka kunitoka, unarudia mdomoni. Kiukweli jana usiku ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuzama katika kigodoro lakini utamu nilioupata niliapa na shingo yangu hata kiwe wapi siwezi kukikosa. Nilitamani hata hiyo usiku ifike haraka tu twende na Jof.
“Jof?”
“Nambie”
“Nimeshaghairi leo kutengeneza kahawa. Wacha nijiandae hapa kutengeneza hii kwanza chai yangu na maandazi kisha niingie mtaani. Nikitoka hapo leo haina kuandaa kahawa ya kwenda kuuza jioni ni mwendo wa kigodorrooooo!”
“Umeona enhhh”
******
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Mpaka inatimia saa kumi na mbili jioni nilikuwa nimeshamaliza kufanya kila kitu. Niliingia bafuni kukoga. Nilitoa tabasamu kubwa sana baada ya kasuku wangu kuona sasa nimeachana na ukapera. Si unajaua ukapera bwana wewe!
Ile bughuza ya kasuku wangu kutumiwa kwa sabuni na mafuta hata wakati mwingine kupikicha mikono ilimradi tu kasuku wangu aweze kutapika sikuwa nayo tena. Aliponea chupuchupu na kilichomuokoa ni kigorodo cha mara ya kwanza na sasa alikuwa na uhakika uko niendako kwenye kigodoro kingine.
Muda wa dakika kumi ulitosha kabisa kujiandaa. Nguo zile za sikukuu ambazo nilikuwa nikipenda kuuzia sana sura kijijini kwetu nilizitandika mwilini mwangu. Nilijikoleza sana mafuta ya mazito mwilini. Jof hakuwa mbali na muda. tayari alikuwa amekwisha ripoti kwangu na hatukukaa kwakuwa nilikuwa tayari kujiandaa. Safari ya kwenda kwa mguu kutokea Tabata dampo kupitia chochoro ya Kigogo kisha kutokea Manzese ilianza. Njia nzima ilikuwa ni kukaza miguu tuweze kufika fasta. Kwa mtu mwingine haswa wale wa kishua haikuwa rahisi kutembea kamwendo kama haka lakini mbele ya kigiodoro tuliweza kuchanja mbuga na Jof wangu hatimaye tukaingia Tandale. Mara Tandale kwa Tumbo.
Niliyoyakuta huko yalinitoa Jasho!! Jasho lakutiririka kama mkondo wa maji mwilini! Kila kona kulikuwa kumezungukwa na majimama yakiwa katika sare ya manguo marefu mepesi na mitandio kwa juu. Mimacho yao ilikuwa imelambwa kope za kufa mtu na mawanja meusi mengine ya kijani na bluu. Hata na Jof naye alionesha uzalendo kumuelemea kidogo. Alishindwa kujizuia. Alisogeza mdomo wake mpaka karibia na sikio langu. Akanong’ona kitu!
“Seif unacheki mambo hayo. Nikuone leo kama utaweza na usifikiri kuna kusaidiwa kama jana,Leo utaopoa na akili yako”
“Hilo tu wala usijali”
“Vipi lakini zana umekumbuka kubeba?”
Nilishtuka kwa muda. Nikashusha mikono yangu mfukoni nakujikagua. Nilikuwa nimezisahau chumbani kwangu kwenye ile suruali alioniwekea mara ya mwisho. Sikutaka kumuonesdha Jof kama nimesahau. Angenilaumu. Angelaumu sana kwa ninavyomjua. Angedhani labda nimefanya makusudi wakati nimesahu kwa bahati mbaya.
“ Siwezi kusahau ninazo mfukoni hapa”
Nilijifanya kama zipo uku nikitingisha mifuko ya suruali. Kwakuwa kulikua na kagiza hakuweza hata kuona mfuko wa suruali yangu kama umetuna kwa kuwepo kwa kondom au la!
Mbwembwe zilianza katika himaya hii ya Tandale kwa Tumbo. Kila mmoja alionesha kuanza kupagawa. Niliamini kabisa kuwa bado ni mapema kidogo. Nilihisi kama siyo saa nne itakuwa inakimbilia tano za usiku kwa jinsi watoto wadogo walivyokuwa wakipungua mmoja mmoja. Vijana wa mtaani walianza kuzongea na kuucheza muziki wa kigodoro.Taa zilizimwa nakuacha taa moja tena ilikuwa mbali sana na eneo la muziki ulipokuwa ukipigwa na kuchezwa. Kama kawaida yangu macho yalikuwa juju kwa kuzungua uku na kule kutazama mijimama ilivyoumbika japokuwa mingi ilikuwa imeketi chini ikipiga stori.
Jof kama kawaida yake alikuwa ameshadumbukia katika mduara ambao ulikuwa umeanzishwa na vijana wa mtaani japokuwa haukuwa mduara wa wasichana wengi. Alinogewa kwa kuucheza muziki wa kigodoro. Damu yangu haikuupenda muziki bali ilikuwa imeingia moja kwa moja kwa mijimama haswa inayotingisha miili yao katika kuucheza muziki huu wa kigodoro.
Masaa yakachanja mbuga!! Yakasonga nakusonga mpaka umati ukaonekana kulewa kwa muziki. Hakukuwa na mtoto tena japokuwa mitaa kama hii inasifikaga sana kuwa na watoto wengi wa mitaani. Kutokuwa na watoto ikaleta mshtuo ndani ya kichwa changu kuwa nichangamke umeshatimia usiku sana pengine hata saa saba au nane za usiku. Kelele za kikubwa zikatawala katika kuucheza muziki. Kama kigodoro cha jana yake usiku hakikupishana tabia. Majimama mawili yakukata na shoka na mwembamba mmoja wakawa wametanda kwa pembeni wakicheza peke yao. Mikononi mwao walikuwa na chupa za bia na wengine glasi na sigara mdomoni.
“Mhh wa uku ni kiboko!” Nilijisemea kimoyo moyo.
Mtetezi wangu Jof alikuwa hajielewi kabisa. Duara zima alikuwa akizunguka akiwa anapepesuka. Nilichokuja kumgundua kumbe nayeye mkononi alikuwa ameshika chupa ya bia. Sikuweza kufahamu mara moja alikuwa ametolea wapi. Nilimfuata nakumvuta pembeni.
“Jof mambo gani tena unafanya haya? tutarudi vipi nyumbani na unaona ni mbali sana na wewe unakunywa tu! ona sasa umeshalewa?”
“Seif hii stimu tena nzuri. Hii kitu cha safari imechanganywa na konyagi kidogo yaani ni balaa!! onja?”
“Hapana!! hapana sijawahi kunywa maishani mwangu na siwezi kuja kunywa labda kahawa zangu ninazotengeneza lakini siyo hii kitu yenu”
“Seif? kidogo tu utaona! kwanza utajua kuucheza huu muziki kwa staili zote. Pili wale majimama watakufuata wenyewe”
Maneneo ya Jof yakacheza ndani ya kichwa changu. Yakapea pea!!
Sikuweza kuamini hata mara nmoja kutokana hata kijijini kwetu tunafahamu kuwa pombe hazileti kitu chochote zaidi ya kutukana ovyo na kupepesuka kukuacha ukipoteza kumbukumbu kwa muda.
“Kunywa mwenyewe na nakuacha mimi narudi zangu!”
Nilimtishia Jof ili tu aachane nakuendelea kuinywa ile pombe. Alifanya hivyo. Aliiweka chini kabisa kisha akaufuata ule mduara nakuunga tela akiendelea kucheza kigodoro.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
Akili yangu ikawa mrejeo! nikarudisha kichwa changu mpaka kwenye ule mduara wa majimama mawili na mwembamba mmoja. Nikaanza kupiga hatua moja baada ya nyingine nikikaribia mpaka walipokuwa wakicheza kivyao vyao. Nikawakaribia!!
Viuno vyangu feki nikaanza kuvitoa nikijidai namimi nauweza ule muziki. Kasuku wangu akataka kuniaibisha. Akavimba nakutamani kutoka adonoe. Nikamzuia kwa mapaja uku nikiucheza muziki kwa uwoga nikiwa nimeyabana mapaja yangu.
Kadri muda ulivyokuwa ukizidi kuyoyoma ndivyo na wale majimama na yule mwembamba mmoja walionesha kulewa sana ni kile kinywaji walichokuwa wamekishikila kwa muda mrefu sana mikononi. Jimama mmoja akaingia ndani nakumuacha jimama mmoja na mwembamba mmoja. Aliyekuwa ameshika glassi aliitupa na hata mwenye bia mkononi naye aliitupa. Taarabu ya mzee Yusuph iliokuwa imefanyiwa maujanja na watoto wa mtaani kuchanganya vionjo na kuupeleka kasi muziki ule ndio ulinogesha zaidi. Yule mwembamba akawa akicheza kama kwa kupepesuka. Mwili wake ulionesha kuchoka kidogo. Muziki uliponoga zaidi alinifuata mbele yangu nakuinama chini akiniachia sehemu ya makalio yake nakukatika vilivyo. Ule umati uliokuwa ukijichezea mduara wenyewe ukanizonga. Makelele yakaanza kwa kupiga makofi na mluzi. Nikayapindua macho uku na kule namimi kujifanya nayajua mauno. Nikaanza kukatikia mauno feki. Safari hii akili yangu ikapishana kidogo na mwili. Kwani sikuwa nahitaji mwanamke mwembamba bali majimama. Kweli bwana! jimama moja kati ya yale mawili waliokuwa wakicheza pamoja likatoka mkuku nakutuvamia. Likauvua mtandio wake nakuutupa upande wa pili. Likaanza kusasambua. Yule mwembamba aliokuwa chini yangu naye akaanza kujibu mapigo. Jimama akishusha minguo yake mepesi na yeye anavua vinguo vyake. Wote mpaka wakavua vimini nakubakiwa uchi wa mnyama. Mnene akawa mbele yangu na mwembamba akawa nyuma yangu. Utamu ukanoga. Ukanogaje! kasuku akawa njia panda. Akashindwa adonoe wapi na hata matapishi ayatapikie wapi. Muziki ukakolea. Sikuwahi kuzigusa shanga kiunoni mwa mwanamke lakini kwa mara ya kwanza zikanatana mikononi mwangu. Mikono ikanogewa!! Mmoja ukawa kwa jimama nyuma na mwingine kwa mwembamba mbele ukirahatwika!! Nikaanza kuzipapasa shanga zao uku nikikatika kiuno cha kuibia. Jimama mwingine naye akatoka nje kwa fujo. Si umeshamkumbuka yule jimama aliyeingia ndani muda ule. Ndio huyu! Akatufikia karibu. Akakuta wenzake wakiwa hawajielewi kwa kunikatikia kimuziki. Akaanza kunisasambua nguo zangu. Akaanza kunivua shati langu. Akalitupa kule! Akalala chini kabisa, na mimi nikalazimishwa kumlalia kwa kusukumwa na lile jimama lingine. Likaja kwa juu yangu na yule mwembamba akamaliza juu yao tena. Kupumua siwezi!! Kuongea siwezi!! kudonoa siwezi!!
********
Mbele ya utamu tena!! Kimoyomoiyo nikajisemea kanyaga twende. Sijui walikuwa wamepanga njama! lile jimama lililokuwa nyuma chini yangu likarefusha mkono wake mpaka karibia na suruali yangu. Likavuta zipu yangu. Likafanikiwa kuifungua. Likamchoropoa kasuku wangu aliokuwa akizubaa mwenyewe ndani kwa ndani. Lile jimama la juu ya kifua changu nalo kama ishara likawa limeshajua. Likabadilisha mkao. Likaacha kunilalia kifudi fudi. Likayalaza makalio yake mbele yangu. Mbele ya kasuku wangu tena!!. Kasuku akasalimiana na limwili lake. Ndembwendembwe!!. Akaanza kudonoa eneo ambalo lilikuwa bichi sana. Lilikuwa limelowa kwa jasho jasho na utelezi wa kufa mtu! Akili yangu ikakumbuka kitu. Ikakumbuka kuwa nimesahau kumvalisha kasuku wangu kondomu. Nikajumlisha na maneno ya Jof. Nikakumbuka kuwa Jof nilishamdanganya ninayo. Nikatamani nikurupuke nimfuate Jof japo kumdanganya kuwa zimeniishia, Jof akawa mbali na mimi nikalemewa kiakili! nikaachana naye nikiendelea kufaudu!!
“Ayaaaaa!!!” Nilineng’eneka mwenyewe.
Nilihisi kama kiuno changu kupoteza uelekeo kabisa. Hakikuwa kikikatika tena kama kilivyokuwa kikifanya hapo awali kutokana na uzito mkubwa kutoka kwa mijimama miwili na msichana mwembamba mmoja. Mbele ya utamu tena!! Nikaunganisha kukatikia tu. Tamaa mbele mauti nyuma!! Nikaendeleza libeneke!! Nikajipinda mzee wa kazi japo kishida shida kwa kutumia nguvu za ziada za kijijini kule. Nguvu za kulimia shamba nikazileta mjini. Sikushauri na wewe uwe hivi, hapana ni utamu tu katika mambo yetu yalee!!. Kutokana na giza kuendelea kufunika, taa kuzimwa makusudi na Dj aliokuwa akiupiga huu muziki na kutokana pia na sheria ya kuupiga huu muziki gizani ulizidi kumchochea kila mtu na sana sana yule jimama wa chini aliokuwa amenilalia kuja kwa juu yangu. Udenda ukatanda. Ukamtanda yule mwembamba kadhalika na lile jimama niliolilalia chini. Likaendelea kunitamani!!
Likahamia juu rasmi. Utamu kutoka kwangu ukawa umeshalitosheleza lile jimama la kwanza likachukuwa vitu vyake nakuingia ndani nakuliacha lile jingine sasa.Lile lililokuwa chini utupu. Likaniangalia tu pasipo kufanya chochote. Sikujua sababu ya kunifanyia vile. Likachukuwa mtandio wake sambamba na nguo zake pale chini kisha likatimka nakukimbia mpaka ndani kabisa nakuniachia yule mwembamba. Mwembamba akaanza kwanza kucheza peke yake chini ardhini kabisa akiwa utupu.
Ndani kwa ndani nikahisi kasuku wangu katapika mpaka kuchoka japokuwa alikuwa bado ametuna. Hamu ilikuwa imeshaniishia kutokana na kuridhishwa na lile jimama moja. Ule umati ukaanza kutawanyika ukijichezea muziki ule peke yao na hii yote ni kutokana na majimama yote kuondoka kukimbilia ndani. Waliamini kuwa mijimama ilikuwa na msisimko zaidi kuliko yule mwembamba niliokuwa nimebaki naye. Wakaniacha ‘alone’ mzee mwenyewe wao wakiwa kwa mbali kidogo wakiendeleza muziki.
Yule mwembamba akaachana na kuucheza muziki ule na safari hii akanisogelea karibu vijana wa siku hizi wanasema ‘ziro distance’ moyoni nikatamani nimchane makavu nimwambie siwezi lakini mdomo wake
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/ukawa umeshawahi kugusana na wangu. Sikuweza kutoa neno lolote zaidi ya kushangaa mate mate yake yakichirizika katika mdomo wangu. Nikayapokea nakumpatia yangu. Dahh!! raha ilioje. Msisimko wa ajabu ukanitawala. Akasogeza mdomo wake mpaka karibia na masikio yangu nikahisi ubaridi ukinipuliza. Sikuweza kuamini mara moja kama nipo kwenye kigodoro kwani ilikuwa ni zaidi ya muziki laini ule ninaosikilizaga redioni tena kupitia kiredio mbao changu getto.
“ Unaitwa nani?” Aliniuliza kwa sauti ya utaratibu.
“Seif”
“Nipe namba yako ya simu?”
Nikakaa kimya kama dakika moja nzima kisha nikajiuliza maswali karibia kumi bila ya kupata majibu. Kiukweli hata simu ya maboksi sikuwa nayo. Jof nayeye kwa ujanja wake kwa kuja kwenye vigodoro mara kwa mara hakuwa na simu. Na nilivyokuwa nimejipanga ninunue simu angalau mwezi huu kwani nakodi nayo nilikuwa nimeshamaliza kulipia.
“Simu nimeiacha kwangu chaji”
“Utaachaje simu sasa? mimi nilitaka nikupigie baada ya muda nikawatoroke wenzangu ndani baadaye nije nikupe mautamu au huyapendi mautamu haya? mwenzako tayari nimeshalowa na mume wangu hajielewi kanywa mipombe humo toka asubuhi mpaka sasa hivi anatapika ovyo ndani hana hata nguvu itakuwaje sasa au nitafute tu mwingine akanitoe vizuri haya mautelezi niliokuwa nayo?” Aliongea kwa kulegea.
“Hapana ngoja kuna rafiki yangu anayo simu nimekuja naye hapa ngoja nimuombe yupo hapo kwenye mduara huo”
“Fanya haaraka kabla sijabadilisha uamuzi wa kutafuta mwingine”
Niliachana naye fasta. Akaanza kuzivaa nguo zake vizuri. Sikuwa na jinsi zaidi ya kumwendea mshauri wangu Jof akanishauri tufanyaje. Kufika jof nayeye sijui ndio alipewa pombe nyingine kwani mkononi alikuwa na bia nyingine na safari hii alipepesuka sana na kutoa maneno yasioeleweka akitishia hata kupigana kwa chupa na watu asiowafahamu wa Tandale.
Nikageuza kidume mimi mpaka kwa yule msichana mwembamba nilipomuacha.
“Haya niambie hiyo namba, ngoja niende ndani nikachukue simu yangu”
“Sasa jamaa sijamuona ila”
“Ila nini sasa Seif”
“Ila wewe si unakaa hapa kwenu?”
“Aliokuambia kwetu nani? unajifanya hata hujui kuna nini hapa? hapa ninavyokuwambia tumetoka kwetu Tanga kuja kwenye harusi ya mdogo wetu. na hata wale majimama uliowaona wamewaacha waume zao wapo mikoani kikazi mie mme wangu nimekuja naye na kama nilivyokuwambia kuwa yupo hoi hajielewei na tusipofanya leo inamaana kesho asubuhi atakuwa na akili yake na atanitoa yeye”
“Basi tufanye hivi, nenda kaage sasa hivi twende popote”
“Ila sitaki gesti? kuna mashemeji zangu wameenda kunywa mtaa wa pili hapo?”
Mzee mzima nikavuta taswira ya getto kwangu Tabata dampo palivyokuwa mbali. Nikaunganisha na kipande cha kutoka Tandale kwa mtogole mpaka Tabata dampo tena kwa mguu kwani hata na hela ya bajaji sikuwa nayo. Hela ya daladala yenyewe ilikuwa haitoshi kutokana na hela zangu zote za mahesabu mchana kuziacha getto. Nikainua kichwa baada ya kujipigia hesabu mbili tatu kichwani.
“Twende nzetu!”
“Pita upande wa kule na mimi upande wa huku tukutane kwa mbele kule?”
“Poa!”
Pepo!! Pepo mbaya alishanikumba kichwani. Pepo mmoja tu. Pepo wa mapenzi. Kiu yangu ya kutokupata mwanamke kwa miaka kadhaa nikiwa kijijini iliniyanyasa sana. Sikutaka kuchezea kabisa nafasi kama hizi japo zilikuwa zimekuja mfululizo sana ndani ya siku mbili tu. Kwa jinsi alivyoniambia kuwa mumewe yupo hoi sikuwa na wasiwasi. Wasiwasi kidogo tena sana nilipelekea kwa mashemeji zake aliodai kuwa wameenda kunywa mtaa wa jirani. Kila hatua niliokuwa nikiipiga ndivyo na mapigo yangu ya moyo yalivyokuwa yakinidunda. Niliifahamu Tandale kidogo kutokana na biashara yangu ya muda mfupi ya kuuza chai asubuhi na mchana kisha Kahawa jioni. Niliendelea kupiga hatua mpaka nikakaribiana na nyumba ya pembeni kwa mbali kidogo kutoka eneo lililokuwa likipigwa kigodoro. Nilijihisi kuchanganyikiwa kwani kila nikipiga akili ya kutafuta japo kichaka nilishindwa.
CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
“Huyu leo atakamuliwa uchochoroni tu, Liwalo na liwe!!” Nilijisemea kimoyomoyo uku nikimsikilizia.
Nilishakubaliana na yote kutokanana tamaa ya mwili wangu. Mwili ulinipekesha kuliko hata akili. Nikiwa katika limbi la mawazo mara kwa upande wa mbele kidogo nikamuona yule msichana akiwa na mwanaume mwingine.
“Au ndio mmoja wa mashemeji zake nini, sasa kwanini anakuja maeneo alioniambia tukutane huku” Nilijiuliza mwenyewe pasipo jibu.
Walizidi kusogea karibu. Nikajibanza kwenye kauchochoro. Kwenye kaeneo kulipokuwa na giza. Nikaanza kutupia jicho.kodo!!. Yule msichana bado alikuwa hajielewi, Hajielewi kwa kupepesuka ovyo akishikwa vizuri na yule mvulana kila hatua.
“Masikini kuku wangu mwenyewe analiwa namuona!!” Nilianza kujilaumu.
Yote hiyo ilikuwa ni baada ya jamaa na yule msichana mwebamba kufika maeneo ya karibu yangu. Alinipita bila hata kunisemesha wala kunitambua. Nilijilamu sana kumsubiria. Alipofika karibu yangu akalazwa pembeni yangu kwenye kale kale kauchochoro nilichopanga nifanye naye. Akaanza kuvuliwa nguo na jamaa la mtaani lililoonekana kuwa na uchu zaidi yangu. Kwa papara jamaa likamvua nakuanza kufanya mambo yetu yale tena kwa haraka haraka bila kutumia kondomu kama mimi uku yule msichana akilalamika kwa uchungu. Nikatamani kuvamia ile show lakini nafsi ikanizuia. Ikanivuta kuwa niachane nao. Nikayaacha macho yaendelee tu kuona na mwili kutamani uku akili ikikataa kufanya lolote.
*********CHANZO: https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
ITAENDELEA
0 comments:
Post a Comment