Search This Blog

Monday, October 24, 2022

MAJANGAAA MBONA MAJANGAAA ! - 5

 





    Chombezo : Majangaaa Mbona Majangaaa !

    Sehemu Ya Tano (5) 



    Mtu aliyekuwa akifuatilia sauti hizo hakuwa mwingine zaidi ya Mwamvita ambaye alikuwa amehaha kutaka kujua mahali alipokuwa Eddy kwa wakati huo.

    Alichungulia chumbani kwake, akaona taa ilikuwa ikiwaka lakini hakukuwa na dalili za uwepo wake, aliporidhika akaendelea na uchunguzi wake katika chumba cha Rehema nako akaambulia patupu.

    Kwa kuwa alikuwa na uhakika kwamba Eddy alikuwa amerudi akasogea hadi katika chumba cha Queen ili kuhakikisha kama alikuwemo humo.

    Alipopata jibu kwamba hakuwemo, akatoka hadi uwani ambako aliingia hadi msalani ili kuhakikisha kama Eddy alikuwa huko.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Akiwa msalani ndipo alipoweza kusikia mtu akimwaga maji bafuni, hapo akaamini kwamba mwanaume huyo alikuwa akioga.

    Aliporidhika akawa hataki kutoka uwani, akawa anarandaranda ili aweze kumnasa Eddy kwa kuongea naye papohapo lakini alikaa kwa muda mrefu bila ya kuona dalili ya mtu kutoka bafuni.

    “Kwa nini hatoki, mbona amechukua kitambo kirefu sana,” aliwaza.

    Akiwa anamfikiria mwanaume huyo ndipo alianza kupatwa na wasiwasi kama kule bafuni kulikuwa na usalama wa kutosha, akasogea na ghafla akasikia sauti za watu wakiwa wanapiga shoo.

    Hakuweza kuamini mara moja, akaamini kuwa labda kulikuwa na mtu ambaye alikuwa akijichua peke yake lakini hilo lililkuwa gumu kuliamini kadiri alivyokuwa akisogea na kuzifuatilia sauti zilizokuwa zikitoka bafuni.

    Akaamini kabisa kwamba kulikuwa na watu wawili, tena wenye jinsia tofauti.
    ***

    Stimu zilikuwa zimewapanda, Eddy na Pat walikuwa katika harakati za kutafuta kilele cha mlima na kila mmoja alikuwa ameongeza spidi zake ili kuwahi kufika kwenye kilele hicho.

    Kelele zao zikazidi kuongezeka, walikuwa hawana habari kama kulikuwa na mtu aliyekuwa akikaribia kuwaharibia zoezi lao hilo.
    ***

    Ndipo Mwamvita alipoanza kunyata na kuzifuata kelele hizo ili aweze kubaini kama kweli zilikuwa zikitoka bafuni mle.

    Akaufikia mlango wa bafu. Jinsi ya kuufungua mlango wa bafuni kwa mtu aliyekuwa akiujua vyema haikuwa ngumu hata kama mtu huyo alikuwa nje ya bafu hilo.

    Ilikuwa ni kazi rahisi sana kwa Mwamvita, kwa kuwa bafu hilo halikuwa limeezekwa kwa juu, hivyo aliingiza mkono wake usawa wa mlango na kuupachua msumari uliokuwa umeuzuia mlango.

    Kwa kuwa alikuwa ni mzoefu wa bafu hilo, alijua sehemu ya msumari huo ulipokuwa, hivyo akaupachua na kisha kujitoma ndani.

    Alipoingia tu, aliwaona Eddy na Pat wakiwa katika raha zao, kwa msaada wa mwangaza wa mbalamwezi iliyokuwa ikiwaka wakati huo.

    Hamadi! Eddy na Pat walishtuka mtu akiingia bafuni humo wakati wakiwa katikati ya starehe.

    Mwamvita hakusema kitu alibaki akiwaangalia wawili hao kwa muda huku nao wakisitisha kile walichokuwa wakikifanya.

    “Ahiii jamaniiii…” alisema Mwamvita katika hali ya kupagawa na kutawaliwa na kilaruralu.

    Pat alijibaraguza na kumwangalia Mwamvita, akawa anajiweka sawa huku uso wake ukionekana kusawajika kwa aibu kutokana na kufanyiwa fumanizi lisilotarajiwa.

    “Mnafanya nini huku?” Mwamvita alizungumza kwa sauti ndogo akijifanya kama vile hakuwa akijua kile kilichokuwa kikiendelea.

    Hakuna aliyempa jibu, wote walikuwa kimya wakiangaliana kwa staili ya kila mmoja akimtaka mwenzake ndiye azungumze kile walichokuwa wakikifanya.

    Kwa upande wake, Eddy alichanganyikiwa zaidi akaona bwawa limeshaingia ruba, akahisi aibu kwa vile alijua tukio lile lingezua gumzo lingine katika nyumba ile.

    Akakumbuka makubaliano yake na Queen kwamba asishiriki tendo la ngono na mwanamke mwingine ndani ya nyumba, akajisikia vibaya kwa kuwa safari hii stori itakuwa kubwa kwa kuwa amenaswa bafuni.

    “Mnafanya nini?” Mwamvita alirudia kuuliza huku akiwasogelea na kuwaangalia kwa zamu.

    Hofu kubwa haikuwa kwa kuwa wamekutwa wakifanya tendo hilo tu lakini kukutwa na mtoto wa mwenye nyumba ilikuwa ni soo kubwa zaidi.

    “Mi nilikuwa naogaa… ndiyo…… Eddy akaingia…” aliongopa Pat kwa aibu huku akitaka kutafuta nguo zake ili aweze kujistiri.

    “Hapana … haikuwa hivyo…,” Eddy naye alisema.

    “Sikieni, sitaki kusikia utetezi wenu, nataka muendelee kufanya kile mlichokuwa mkikifanya la sivyo nitawajazia watu…” Mwamvita aliwapiga mkwara na kumzuia Pat kuvaa nguo zake.

    Eddy na Pat waliangaliana tena na kuona kwamba itakuwa ni vigumu kuendelea na zoezi hilo mbele ya mtu mwingine ambaye hakuwepo wakati walipokuwa wakianza kupiga shoo yao.

    Mwamvita alishayasoma mawazo yao na kukazia wazo lake la kuwataka wawili hao waendelee pale walipoishia.

    “Itakuwa vigumu…” alisema Eddy.

    “Hakuna ugumu wowote… sasa hivi nawataka muendelee na miye nitakuwa mwamuzi wa pambano lenu ninawahakikishia kwamba sitamwambia mtu,” alisema.

    “Haya…” Pat alikubali.

    “Tafadhali sitaki ujanja wowote na kama mtashindwa kufanya hivyo, nitapiga kelele na kuwaita watu…” Mwamvita alizidi kuwatisha.

    Eddy na Pat hawakuwa na ujanja, ikawabidi kurudia kile walichokuwa wakikifanya awali ingawaje hawakuwa katika hisia zilezile za mwanzo.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Wazimu wao ulikuwa umeshakatika, hawakuwa na wazimu kama ule wa mwanzo kabisa, ikawabidi wafanya ili mradi kama alivyokuwa akitaka Mwamvita.

    Wakajaribu kurudia mtindo uleule, lakini nyoka wa Eddy aligoma kabisa, hakuwa na nguvu, alikuwa ameshalala doro na kukosa nguvu yake.

    Mwamvita akawataka waaanzie kwa kupashana miili yao moto ili kuweza kuvuta msisimko upya kwa shingo upande wakafanya hivyo.

    Bado, nyoka wa Eddy hakuwa na nguvu, ndipo msichana huyo aliyekuwa amesimama kando yao akachukua jukumu la kumsaidia Pat ili aweze kufanikiwa kumshtua Eddy aweze kurudi sawasawa.

    Mwamvita aliishika ‘maiki’ ya Eddy na kuanza kurap kama mwimbaji wa nyimbo za kufokafoka. Kwa mbali hisia za Eddy zikaanza kurejea.

    Nyoka wake akaanza kusisimka na kurudia katika hali yake ya kawaida baada ya hofu kumtoka akilini mwake, akaona kuwa mtu aliyewakuta wakiduu alikuwa upande wao.

    Hata Pat, akarejea katika hali ya kawaida, akamwomba Mwamvita ampishe ili aendelee kutoka pale alipoishia, ndipo walipoweza kufanya kile walichokuwa wakikifanya mwanzo huku Mwamvita akishuhudia.


    Kila kitu kikawa kinakwenda sawasawa, Eddy hakuwa tena na hofu hali kadhalika kwa Pat, gemu likaendelea chini ya usimamizi wa mwamuzi kama siyo refarii Mwamvita aliyekuwa akishuhudia wawili hao wakicheza mechi bila ya kuvaa jezi.

    Mwendo ukawa mdundo, hakuna kati yao aliyekuwa akimwogopa tena Mwamvita ambaye awali walikuwa wakimuona kama adui kutokana na kuwabamba wakiwa wanapiga shoo isiyoruhusiwa.
    Eddy na Pat walimuona msichana huyo kama mwenzao kwa kuwa aliwapa wazo la kushirikiana nao katika kufanikisha kile walichokuwa wakikifanya ili kuzifurahisha nafsi zao.

    Kama ni muziki ulikuwa umekolea na kama ni chombezo lilikuwa limetulia kila kitu kilikuwa ni burudani, raha ndani ya roho.

    Pat alikuwa akitoa ushirikiano wa hali ya juu huku akionesha juhudi zake zote tofauti na awali alipoanza zoezi hilo na Eddy.
    Kisa cha kufanya hivyo kilikuwa ni kumuonesha Mwamvita kwamba alikuwa fiti katika masuala ya kupiga shoo na hakuwa mtu wa kuburuzwa kama wengine walivyokuwa wakidhani.

    Akilini mwake Pat alijua kuwa kama angeonesha ugoigoi katika kupiga shoo hiyo huku Mwamvita akishuhudia ugoigoi wake, basi hali hiyo ingekuwa na madhara kwake kwa njia moja ama nyingine.
    Alikuwa akifanya hivyo huku akizingatia kwamba siku zote maisha yana pande mbili, kupatana na kukosa kwani kuna leo na kesho na binadamu anayajua ya leo hayajui ya kesho.

    Alijua kwamba kwa wakati huo alikuwa akipatana na Mwamvita lakini kama siku wakitokea kukosana, msichana huyo atamtolea udhaifu wake hadharani.
    “Ngoja nimuoneshe ufundi wangu ili tukikosana asije kuninanga mbele za watu,” aliwaza Pat wakati akiwa mzigoni.

    Msichana huyo hakutaka kuonekana mzembe ndani ya mchezo huo ambao siku zote ufundi wake ulikuwa ukitegemea jitihada za mchezaji mmoja mmoja.

    Mwamvita hakubaki nyuma akawa anamzidishia Pat moto kwa kumshika nido zake huku akizipikicha na wakati mwingine alikuwa akimpetipeti kila pale alipohisi kwamba panaweza kumpandisha mori.
    Kweli wazimu ulimpanda, Pat akawa anapanda na kushuka kwa kasi ili kukamilisha jukumu alilokuwa akilifanya na Eddy.

    Alikuwa kama yuko vitani, jasho lilimvuja kama siyo kumchuruzika kila pande za mwili wake. Maishani mwake hakuwahi kupania shoo lakini ilimbidi kupania hiyo ili kuweza kulinda heshima yake.
    Muziki wake ulikuwa mkubwa, kwani baada ya muda utamu ukakolea zaidi na zaidi, Pat akaanza kuuvutavuta mwili wake na kama vile haitoshi akaanza kupiga kelele huku mwili wake ukisisimka kutokana na hisia zake kupanda maradufu.

    Hali hiyo ilimfanya Mwamvita kuwa na kazi ya ziada ya kumtuliza ili kelele zake zisiweze kuvuka mipaka na kuwashtua watu wengine nje ya sehemu hiyo.
    Mwamvita alipoona Pat alikuwa akizidisha kupiga kelele akajua kuwa alikuwa akitaka kufikia kwenye kilele cha mlima, hivyo akaongeza jitihada za kumsaidia ili afike kwa raha zake.
    Pia, Mwamvita akawa na jukumu lingine la kumziba mdomo Pat kwa kutumia mikono yake ili kuzizuia kelele zake zisiweze kuharibu mambo.
    Kwa kufanya hivyo, Mwamvita alifanikiwa kiasi kuzipunguza kelele hizo na kuzifanya zishindwe kufika mbali ingawa wao waliendelea kuzisikia kelele hizo.

    Hiyo ilitokana na Pat kuunguruma kama paka aliyekuwa ametoa makucha kumkamata panya aliyekuwa akitaka kuponyoka ili kusalimisha maisha yake.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
    Hatua ya mwisho ilifika pale, Pat alipozidisha spidi na kutoa meno yake kiasi cha kumng’ata Mwamvita na kisha kuishiwa nguvu na kulegea kama siyo kutepeta kabisa.

    Hakufanya hivyo kwa hiari yake bali ni kutokana na kuzidiwa na msukumo wa damu mwilini mwake na kumfanya ajiachie na kujikuta akilazimika kujifunga goli hilo.

    Lilikuwa ni goli maridadi lililozidi kumfanya Eddy kuzidisha spidi ili naye aweze kufika juu ya kilele alichokifikia mwenzake.

    Haikuchukua muda kijana huyo naye akafuata nyayo za Teddy na kufunga bao kwa kasi ya ajabu.
    ***

    Mara baada ya kukamilisha furaha yake, Eddy alijikuta akivamiwa tena na Mwamvita naye akitaka waingie msambweni.

    Eddy hakuwa na budi, kwa shingo upande akawa analazimika kumpa huduma hiyo Mwamvita.

    Moyoni mwake alisema: “Kama janga haya sasa ni majanga…” kwa kuwa alikuwa amechoka na alihitaji kuvuta pumzi ili apate nguvu mpya.
    Hata hivyo, aliogopa kugoma kutoa huduma hiyo kwa Mwamvita kwa kuhofia kile alichokuwa akikihofia mwanzo wakati msichana huyo alipowakuta yeye na Pat wakicheza segere.

    Kwa upande wake, Mwamvita hakujali kama Eddy alikuwa amechoka ama la, kwani naye shetani wake alikuwa ameshampanda na alikuwa akihitaji kitu kimoja tu, kupungwa.
    Mwamvita alijua jinsi ya kumrudisha mchezoni Eddy, alimpetipeti kwa dakika kadhaa kisha damu ya kijana huyo ikachemka na mwili wake ukasisimka na kumfanya nyoka wake atutumke na kutaka kummeza chura.

    Ulipofika wakati wa nyoka kupewa chakula chake , Mwamvita hakuwa na budi kumruhusu Eddy kuingia katika himaya yake.
    Wakati zoezi hilo la Eddy na Mwamvita likiendelea,Pat alikuwa ameshapata nguvu na kugeuka kuangalia kile kilichokuwa kikiendelea kati ya Eddy na Mwamvita, akakumbuka ukarimu wa Mwamvita.

    Naye akawa anamsaidia msichana huyo kwa kumpetipeti kama vile alivyokuwa akimfanyia yeye wakati alipokuwa msambweni na Eddy.
    ***

    Wakati huo Rehema alikuwa akitaka kujua sehemu alipokuwa Eddy. Alifanya hivyo baada ya kumuona mwanaume wa Queen ambaye alikuwa amefika muda huo na kuingia chumbani kwa msichana huyo.
    Lengo la Rehema lilikuwa ni kutaka kumuonesha Eddy kwamba msichana huyo alikuwa na jamaa yake ili kujihakikishia ushindi wa yeye kummiliki mwanaume huyo.


    Rehema alitoka hadi barazani kumtafuta Eddy lakini hakumuona, akafika hadi chumbani kwake lakini pia hakumuona ingawaje aliona dalili za mwanaume huyo kurudi.

    Ishara kubwa aliyoiona ni taa ya chumbani kwa Eddy ambayo ilikuwa ikiwaka na kuashiria kwamba alikuwepo, Rehema akatoka hadi uwani na kuangaza huku na kule ili kujiridhisha kwamba labda mwanaume huyo alikuwa ametoka na kwenda msalani.

    Akaangaza huku na kule lakini hakumuona Eddy, akasimama hapo na kujiuliza mwanaume huyo alikuwa amekwenda wapi.

    Akiwa anatafakari nini cha kufanya, akajisikia haja ya kwenda msalani.

    POROMOKA NAYO…

    Rehema akawa anaelekea msalani lakini akilini mwake alikuwa akiwaza ni wapi Eddy alipokuwa. Alikuwa na kiu kubwa ya kumuona mwanaume huyu ili amwambie kuhusu Queen kuleta mwanaume mwingine ndani ya nyumba hiyo.

    Rehema alihisi kwamba, Eddy akijua kwamba Queen ambaye ndiye mpinzani wake pekee ndani ya nyumba hiyo akimuona mwanaume wa msichana huyo ataamua kuachana naye na yeye atabaki kuwa peke yake.

    Akionekana kuwa na mawazo mengi, Rehema alipiga hatua kuelekea msalani, ghafla mbele yake akamuona msichana akitoka msalani.

    Kwa kuwa giza lilikuwa limetanda hakuweza kumfahamu kwa haraka, akasimama ili aweze kupishana naye.

    Aliposogea, aliweza kumtambua kuwa ni Pat aliyekuwa akitokea upande wa bafuni. Hata hivyo hakuweza kusalimiana naye kwa kuwa alimuona kama adui yake kwa kuwa alikuwa ni mdogo wa Queen.

    Rehema akasita kwenda msalani kwa kuingiwa na hofu ukizingitia msalani kwao hakukuwa na taa, akiwa amesimama kwa muda bila ya kuamua cha kufanya mbele yake tena akamuona mtu mwingine akija usawa wake.

    Akamwangalia kwa umakini kutaka kumjua kama alikuwa Eddy au nani… alipokaza macho yake vizuri akamtambua kuwa aliyekuwa akitokea kule alikuwa ni msichana.

    “Weee nani…?” alimuuliza.

    “Mwamvita…”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Aaaah kumbe wewe…” alisema Rehema na hofu kumtoka kidogo.

    Maneno yao yalisikika kwa Eddy aliyekuwa amebaki bafuni kwa kuwa walikuwa wamepanga kwamba awe mtu wa mwisho kutoka bafuni humo baada ya wasichana hao wawili kutoka.

    Hata hivyo, Rehema alipatwa na wasiwasi kuona Pat na Mwamvita wakiwa wanatokea bafuni muda huo na kujiuliza kulikoni wawili hao watoke bafuni kwa wakati mmoja.

    Aliyaondoa mawazo ya kuwafikiria vibaya na hisia zake zikamwambia kwamba labda walikuwa wakioga pamoja baada ya mmoja wao kuogopa kuoga peke yake.

    “Mwamvita…!” aliita Rehema.

    “Abee!”

    “Nisubiri hapa wakati nikiingia msalani… si unajua kuwa kunatisha kwa kuwa hakuna taa…”

    “Sawa…” aliitikia Mwamvita huku moyoni kiroho kikimdunda.

    Kwa uwepo wa Mwamvita pale nje, Rehema aliweza kuelekea msalani na alipoingia msalani aliiachia haja ndogo karibu kabisa na mlango.

    Akiwa anaendelea kujihudumia alihisi kama kuna mtu amepita kutokea bafuni, awali alihisi ni uoga wake lakini akili yake ikamwambia kuwa kuna mtu ametoka bafuni tena kwa kunyata.

    Hakumuona mtu huyo ila hisia zake ndizo zilizomtuma kuamini hivyo, akaziamini ingawaje hakuweza kuacha kumalizia jukumu lililompeleka msalani humo na kumfuatilia mtu huyo.

    Alijua tu Mwamvita atamwambia ni nani aliyetoka bafuni kwa kuwa alikuwa amepanga kumuuliza mara baada ya kutoka msalani.

    Baada ya kumaliza haja yake akatoka lakini alipofika nje hakumkuta Mwamvita wala kivuli chake.

    Akajiuliza kama msichana huyo alikuwa amemdharau au kulikuwa na kitu kinachoendelea ambacho kilimfanya asimsubiri kama alivyomtaka.

    “Kama amefanya makusudi atakuwa akimjua mtu aliyetoka bafuni…” aliwaza Rehema akapanga kumfuata Mwamvita na kumuuliza kwa nini aliondoka bila ya kumsubiri.

    Rehema akapata wasiwasi mkubwa ndani ya nafsi yake bila ya kujua kile kilichotokea.

    Akiwa na wasiwasi wake akaamua kurudi ndani, cha kwanza kumshangaza alipofika usawa wa chumba cha Eddy ni dalili za kuwepo kwa mtu ndani ya chumba hicho.

    Aliziona kandambili za mwanaume huyo zilizokuwa zimelowana maji, wasiwasi wake ukaongezeka na kuhisi kwamba huenda Eddy ndiye aliyekuwa mtu wa tatu kutoka bafuni.

    Hakutaka kuamini hilo pamoja na kwamba hakutaka kumchukulia dhamana mwanaume huyo, akaamua kugongea mlango ili aweze kuonana naye na ikiwezekana amuulize kabla ya kumvaa Mwamvita.

    Eddy alipatwa na wasiwasi pale aliposikia mikono ya kike ikiugonga mlango wake, akawa anajiuliza ni nani.
    Kwanza alihisi labda ni mmoja kati ya wale wasichana aliokuwa nao bafuni ndiye aliyekuwa akigonga wake muda huo.

    Pili, akahisi kwamba mgongaji angeweza kuwa ni Queen lakini akaliondoa wazo hilo baada ya kukumbuka makubaliano yake na msichana huyo kwamba wasiwasiliane wanapokuwa ndani ya nyumba hiyo.

    Tatu akamfikiria Rehema kwamba, angeweza kuwa ni yeye kwa kuwa hakuwa ameonana naye usiku huo.

    Hata hivyo, hakutaka kujipa usumbufu wa akili kwa muda mrefu, akaamua kuusogelea mlango na kuufungua.

    Macho yake yakagongana na Rehema, haraka akayakwepesha na kuangalia pembeni, kisha akarudi chumbani kwake na kuendelea kufanya kile alichokuwa akikifanya.

    Rehema aliingia chumbani humo na moja kwa moja akamsogelea Eddy na kumkumbatia kwa nyuma akipitisha mikono yake kiunoni kwa mwanaume huyo kisha akamwita:

    “Baby…!”

    “Eeeh!” Eddy aliitikia bila ya kuonesha uchangamfu uliokuwa umezoeleka kati yao.

    “Una nini?”

    “Sina kitu,” alijitetea Eddy huku akitaka kuvaa bukta yake ya kulalia.

    “Hauko kawaida, kuna nini hebu niambie…?” Rehema aliendelea kusema katika hali ya kuonesha kwamba alikuwa akitaka kupata undani wa kile kitu alichokuwa akikitaka.

    “N’shakwambia kwamba hakuna kitu…” alisema Eddy kwa ukali kidogo.

    Rehema hakukubali akamgeuza Eddy upande wake na kuwafanya waangaliane, kisha akamzuia kuvaa bukta, akamsogeza hadi kwenye uwanja wa fundi seremala.

    Bila ya Eddy kutarajia, akiwa amesimama huku akiangaliana na Rehema, msichana huyo akamsukuma kidogo na kumwangusha Eddy juu ya uwanja huo.

    Kabla ya Eddy hatajatafakari kitendo cha kuangushiwa dimbani, Rehema akampandia juu yake na kulala juu ya kifua chake na kuhakikisha kwamba nyuso zao zinagusana na macho yao yanaangaliana.

    “Nimekutafuta kwa muda mrefu ulikuwa wapi?” Rehema alisema kwa sauti ya upole iliyojaa kila aina ya bashasha za mahaba.

    “Nilikuwepo…” Eddy alipoa kidogo

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Wapi?” alisisitiza Rehema na hapohapo akafanya kitu ambacho Eddy hakukitarajia.

    Rehema akaushusha mkono wake hadi kwenye ikulu ya Eddy na kugusa msumari.

    “Kha! Kwa nini iko hivi?”

    “Kwani ikoje?” alisema Eddy huku akitaka kujiondoa chini ya udhibiti wa msichana huyu, kwani alishajua kwamba mambo yatakuwa makubwa kama akiendelea kujilegeza.

    “Mbona siku zote haiwagi hivi…?”

    “Ikoje?” Eddy aliendelea kuhoji akimtaka Rehema amwambie anahisi msumari wake umekuwaje.


    “Hujui?”

    “Sijui…” alijibu Eddy

    “Mbona inaonekana kama vile umetoka kufanya kazi muda si mrefu?”

    “Sikuelewi…” alijitetea Eddy.

    “Unaonekana kama vile ulikuwa bafuni…”
    “Ndiyo…”

    “Lakini mbona nimewaona yule mtoto wa mwenye nyumba na Pat nao wakitoka bafuni?”

    “Miye nilitoka kabla yao,” alijitetea Eddy.

    “Siyo kweli… miye nilitoka kukuangalia barazani hukuwepo, nikaja chumbani kwako, hukuwepo…nikaenda uani ndipo nilipowaona wao wakitoka kisha nikahisi mtu akitoka bafuni, nadhani ulikuwa wewe…” alisema Rehema.
    Moja kwa moja Eddy akatengeneza picha kichwani mwake, akaamini kwamba mwanamke huyo alikuwa sahihi katika maongezi yake.

    Lakini siku zote Eddy alikuwa amejifunza kitu kimoja tu, kukataa kitu chochote ambacho kingeweza kumfanya mtu amfikirie vibaya.
    “Sasa kama umewaona wao wananihusu nini mimi?”

    “Siyo kukuhusu, inawezekana ulikuwa nao bafuni…”

    “Umenichoka sasa…” alisema Eddy huku akionesha hasira usoni mwake na kutoka katika mikono ya Rehema, akasimama na kuvaa bukta yake.
    Ilimbidi kufanya hivyo ili kuweza kukwepa kuingia msambweni na Rehema kwa kuwa alihisi msichana huyo hakuwa na lingine zaidi ya wivu na kutaka kutimiziwa jambo hilo.

    Aidha Eddy alifikiria kwamba asingekuwa na nguvu za kupiga naye shoo kwa kuwa muda mchache alikuwa ametoka kugonga shoo za nguvu.

    “Sasa unaenda wapi?” Rehema aliuliza kwa jazba.
    “Nitakaaje na wewe ambaye unanihisi vibaya hata kwa vitoto vinavyonuka haja ndogo?”

    “Siyo hivyo, nilikuwa nikihisi tu kutokana na mazingira na wewe hujaniambia ulikuwa wapi mpenzi wangu…” Rehema alianza kupunguza wasiwasi wake.

    “Sawa ndiyo unihisi na vile vitoto?”

    “Basi rudi nikwambie kitu kingine.”
    “Kuhusu nini?”

    “Kuhusu Queen, roho ya Eddy ikashtuka na kutaka kujua kuhusiana na msichana huyo.

    “Kafanya nini?”

    “Nilijua lazima hilo hutataka kulisikia tu.”
    “Tatizo lako wewe wivu umejaa, unanihisi kila mtu ni halali yangu… ndiyo maana unaniudhi,” Eddy alitengeneza ndita za uongo usoni mwake.

    “Basi usikasirike, ni kwamba Queen amekuja na mwanaume wake… wako chumbani kwao…”

    “Mimi inanihusu nini?”

    “Si mpenzi wako?”
    “Mpenzi wa nani? Miye sijawahi hata siku moja kutoka na Queen wewe mawazo yako yanakutuma vibaya,” alisema Eddy na kutoka nje.

    Moja kwa moja, Eddy alitoka hadi barazani na kuwakuta Muddy na Queen wakiwa huku baada ya kutoka chumbani kwa msichana huyo.
    Queen alipomuona Eddy akafurahi na kuona ni sehemu ya kuweza kuweka mambo yake sawa, akamwita na kumtambulisha kwa Muddy.

    “Huyu ni shemejio anaitwa Eddy ni mgeni hapa nyumbani kwetu, anakaa chumba kile cha mwisho...” Queen alitoa utambulisho huo mfupi.
    “Sawasawa nimefurahi kukufahamu bwana Eddy…” alisema Muddy.

    “Na huyu ni Muddy, ni mpenzi wangu wa muda mrefu sana, hapa katikati alipotea kutokana na kuzuzuliwa na wasichana wa mjini,” Rehema alimtambulisha Muddy kwa Eddy.

    “Sawasawa, nami nimefurahi kukufahamu bwana Muddy karibu sana kwetu… ndiyo tumeanza maisha…” alihitimisha Eddy huku akishikana mkono na Muddy.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
    Wakati hayo yakiendelea Rehema alishatoka ndani na kushuhudia utambulisho huo.

    Akabaki akishangaa na kujiuliza maswali mengi kama kweli Queen hajawahi kutembea na Eddy.

    Siyo yeye peke yake, hata Pat, Mwamvita na Tabu nao walikuwa barazani hapo wakishuhudia kitendo hicho.
    Wote walibaki midomo wazi, wakashangaa kwa nini Eddy anakubali kutambulishwa kwa mwanaume mwenzake.

    Wote hao walikuwa na uhakika wa asilimia mia kwamba Eddy alishatembea na Queen, Pat mdogo wake Queen alijua hivyo, Mwamvita alijua hivyo na hata Tabu alilijua hilo.
    Mbali na kujua hivyo, wote walikuwa wakijua kwamba tayari walishatembea na mwanaume huyo, maswali yakawavagaa akilini mwao na kushindwa kupata jibu.

    Walikuwa wakijiuliza kwamba, Eddy alikuwa akikubali kutoka moyoni au alikuwa akiigiza?
    Pamoja na Rehema naye kujua kwamba aliingia katika ugomvi na Queen kwa sababu ya Eddy lakini kidogo alifarijika na kuamini kuwa mwanaume huyo alikuwa mkweli.

    Hakuona sababu ya kumhisi Eddy vibaya, aliamini kwamba kama Eddy angekuwa ametembea na Queen asingekubali kutambulishwa kwa mwanaume mwenzake.
    Hapohapo Rehema akawa mpole, akafuta mawazo yote mabaya juu ya Eddy.

    Akahisi hata kuhusu wale watoto, Pat na Mwamvita zilikuwa ni hisia zake tu.

    Akapanga kuondoa tofauti zake na Queen huku akidhamiria kumuomba msamaha kwa ugomvi wao wa siku za nyuma.

    “Eddy…” Rehema hakutaka kulaza damu hapohapo akamwita mwanaume huyo.

    “Unasemaje?”
    “Twende ndani tukaongee,” alisema Rehema huku akimvutia ndani mwanaume huyo. Bila kinyongo Eddy akamfuata kama vile mbwa anavyomfuata chatu.

    Kitendo hicho kilimfurahisha sana Queen kwa kuona kuwa ameweza kuwahadaa wote waliokuwa wakimfikiria vibaya juu ya Eddy, akatoka kumsindikiza jamaa yake.

    “Samahani mpenzi wangu?” Rehema alijikuta akisema mara baada ya kuingia chumbani na Eddy.
    “Samahani ya nini?”

    “Kwa jinsi nilivyokuwa nikikufikiria vibaya, naomba unisamehe juu ya Queen..-.”

    “Ni hilo tu?” Eddy alihoji

    “Na mengine yote nayo naomba unisamehe…” Rehema alijikuta akiwa mtumwa ghafla wa kufuta mawazo yake na kusadiki mawazo ya mtu mwingine.
    “Na kuhusu Queen?” Eddy alisema huku akimkazia macho Rehema.

    “Hata yeye niko radhi kumuomba msamaha pia…” alisisitiza


    “Wala sikijui, hebu nipe utamu shoga…”

    “Si nimemkuta Pat na mgeni wakiwa wanakula uroda?”

    “Mhhh! Pat au unamsingizia?” alihoji Tabu.
    “Nimsingizie kwa nini?”

    “Si anajua kama Queen amekula uroda na mgeni kwa hiyo ameamua kula chungu kimoja na dada’ke?”


    “Sijui kitu gani kimemfika…?”

    “Hebu nipe mchapo ilikuwaje..?” Tabu alitaka kujua zaidi.

    “Nilikuwa natoka bafuni, ghafla nikasikia kelele za kimahabati zikirindima upande wa kutokea bafuni… si nikazifuatilia?”

    “Enheee…” Tabu akachombeza kutaka kujua zaidi huku roho ikimuuma kwa kuwa alikumbuka kwamba na yeye alikuwa ameshakula uroda na mgeni.
    Pia, akakumbuka jinsi Pat alivyomhisi siku alipokuwa akitoka chumbani kwa Eddy, ndani ya nafsi yake akasema kumbe msichana huyo aliamua kumfuatilia Eddy na kwenda kula naye raha bafuni.

    “Basi kila nilivyokuwa nikisogea ndivyo kelele zilivyokuwa zikiongezeka…, acha mchezo Pat akiwa mchezoni anajua kulalamika shoga,” alisema Mwamvita kumsifia mwanamke mwenzake.
    “Mwanzo nilidhani nilihisi kuna mtu alikuwa akinyongwa nikazama hadi bafuni… nikamkuta Pat kaandika namba saba na mgeni kaandika namba moja nyuma yake…”

    “Weee…” Tabu alishtuka.

    “Ndiyo nakwambia…”

    “Enhee, ukafanyaje au wakafanyaje?” alihoji huku akikaa vizuri.
    “Nikawaangalia kwa muda kisha nikawashtua, baada ya hapo wote wakanywea na kama vile walikuwa wamelowana na mvua…”

    “Mh ikawawaje?” ushawishi ukamzidi Tabu.

    “Pat alikuwa akitaka kujifanya mjanja kwa kujitetea, nikaona isiwe tabu, kwa kuwa jogoo la mgeni lilikuwa limeshanywea, nikaingia mzigoni na kuanza kulipandisha ili liweze kufanya kazi….
    “Mtoto wa kike nikachukua usukani na kuanza kumpekecha mgeni ili kumpandisha mori upya, Pat akashangaa, kitu kilipokuwa sawasawa, nikampisha ili aendelee na starehe zake…”

    “Na wewe ulitoka nje au ulibaki mle bafuni?”

    “Niende wapi wakati miye ndiye niliyekuwa kocha mwenyewe tena…nikakaa na kuangalia mapigo yao.”

    “Tobaaa!” alisema Tabu huku akiushangaa uamuzi huo wa Mwamvita.
    “Sasa unashangaa nini…?”

    “Miye nisingeweza kupiga shoo huku mwanamke mwenzangu akiwa ananiangalia…” Tabu alisema na kuongeza “ Hebu niambie lakini hadi mwisho ikawaje?”

    “Ulitaka iweje, alipomaliza raundi yake moja na miye nikaingia kwenye gemu… nikamuonesha jinsi ya kupiga shoo kiutu uzima,” alisema Mwamvita na kuzidi kumshangaza Tabu.
    “Ina maana na wewe ukapiga shoo?” Tabu alisema huku akitaka ufafanuzi kutoka kwa Mwavita kwa kuwa alikuwa hajamuelewa kile alichokuwa akikimaanisha. “Unasema?”

    “Sirudii kwa kuwa miye sitangazaji matangozo ya vifo shoga…” alisema kwa utani Mwamvita huku macho yake yakiwa makavu.

    “ Hivi ulichosema ni kweli au nimekusikia vibaya?” Tabu aliendelea kudadisi.

    “Naamini kabisa kwamba masikio yako hayana matatizo, yako sawasawa, utakuwa umenisikia vizuri…”
    “Kwamba baada ya Pat kumaliza na wewe ukachukua nafasi yake…?”

    “Ndiyo maana yake…” alisema Mwamvita.

    Ghafla baada ya kauli hiyo, Tabu akaonekana kukosa raha na kuonesha kama vile hakuwa amependezwa na maneno yake yale lakini Mwamvita akaendelea kushusha mistari yake:
    “Basi nikagonga shoo ya nguvu…” Mwamvita alikuwa akiendelea kumwadithia Tabu lakini msichana huyo aligundua tofauti iliyokuwepo wakati walipokuwa wakianza mazungumzo yao na hadi hapo walipofikia.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Vipi mbona kama vile umekatika stimu gafla, kuna kitu kimekugusa nini…? Maana nakuona huna raha na umekuwa mpole ghafla…?”
    “Kuna kitu nataka nikuambie…” Tabu alisema na kuonekana dhahiri kwama alikuwa ameguswa na kitu ambacho hakikumpendeza.

    “Kitu gani hicho, Kinahusiana na mambo haya niliyokuadithia au una lingine shoga?”

    “Kuhusiana na huyohuyo mgeni…” alisema Tabu kisha kumeza funda la mate.
    “Haya mwaga mtama shoga… isiwe na wewe umeshagonga naye shoo?” Mwamvita alisema huku akijiweka sawa na yeye kusikia kile alichokuwa akitaka kukisema Tabu.

    “Unajua…” Tabu alianza.

    “Sijui…” Mwamvita alimdakia na kumkazia macho kwa umakini mkubwa.
    “Acha utani shoga nataka kukuambia kitu cha maana sana maana naiona hatari mbele yetu…”

    “Sijakuelewa…” Mwamvita alisema.

    “Unajua kama Queen ametembea na mgeni…?”

    “najua…” Mwamvita alisema.
    “Unajua tena kama Rehema ametembea na mgeni?”

    “Hata hilo hakuna asiyejulia, kwa maana hata sasa wako msambweni…” alijibu Mwamvita kwa kujiamini.

    “ Hapa unaniambia kuwa Pat ametembea na mgeni…?”

    “Siyo Pat peke yake na miye vilevile nilikuwepo na nikashiriki katika tendo lao…” alisema Mwamvita.
    “Haya sasa na miye nimetembea na huyo mgeni…” alisema Tabu na kumfanya Tabu kuachama mdomo bila ya kusema kitu kwa muda mrefu.

    “Na wewe tayari…?”

    “Ndiyo maana yake,” alijibu Tabu kwa unyonge kama mtu aliyekata tamaa.
    “Haya sasa Majanga…” alijibu Mwamvita.

    “Siyo Majanga tu, ni zaidi ya Majanga… hivi unadhani mmoja wetu akiwa ameathirika hapa inakuwaje, si wote tutaondoka na ugonjwa huu wa Ukimwi?” alihoji Tabu.

    “Katika siku zote leo ndiyo umeongea jambo la msingi, sasa tutafanyaje?”
    “Hebu tumwite Pat hapa kisha tupange mkakati wa kuweza kuchukua hatua zaidi…” alipendekeza Tabu.

    Mwamvita alisimama na kwenda kumwita Pat ili waweze kumweleza kuhusiana na mkakati ambao wanaweza kuupanga kutokana na kuchanganywa na mwanaume huyo.
    “Eeeh mnasemaje?” Pat aliuliza baada ya kuitikia wito huo.

    Mwamvita akachukua jukumu la kumwambia ukweli wa kile kilichotokea.


    sawa nimekubali

    *****************

    Baada ya muda eddy alitoka chumbani kwake

    unaenda wapi eddy.......pat aliuliza

    naenda guest............

    guest haina jina? pat aliuliza huku amekasirika

    haina ua iwe ina jina ww inakuhusu nini?

    sawa.......pat alijibu kiunyonge

    baada ya muda marafiki zake pat waliingia na kuanza kuwasimulia kilichotokea baina yake na eddy

    “Gesti gani?” alihoji Mwamvita.

    “Hakunitajia…” alisema.

    “Hebu mwangalie ameshatoka?”
    “Zamani…” alijibu Pat.

    “Umefanya kosa kubwa sana, unajua hiyo ndiyo ilikuwa sehemu mwafaka ya kuweza kumnasa, tungetengeneza bonge la fumanizi…” alisema Tabu.

    POROMOKA NAYO…
    Siku zikapita na wakawa wamemkosa kumfumania Eddy akiwa na Queen.

    Wasichana hao wakaendeleza umoja wao huo wa kutaka kumfedhehesha Eddy, wakaambiana kwamba wasikubali kumpa uroda na ikitokea mmoja wao akimwingiza kwenye anga zake basi kwa njia yoyote ile awashtue wenzake ili wamfumanie naye.

    Makubaliano hayo yakapita bila ya wasiwasi. Jumapili moja, Pat alikuwa amekaa kihasarahasara nyumbani huku akiwa hana cha kufanya na kukosa pa kwenda.
    Siku hiyo nyumba ilikuwa nyeupe kila mtu alikuwa amekwenda kwenye mihanjo yake.

    Bila ya kutegemea, Pat akiwa anapita ukumbini na Eddy akitoka chumbani wakakutana uso kwa uso.

    Pat hakuwa na ili wale lile, Eddy wazimu ulikuwa tayari umeshampanda, akawa anataka kukata kiu yake, hivyo moja kwa moja akalikumbuka lile chombezo liliwahi kuandikwa na Mommadou Keita la Kamata dagaa Piga.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
    Akili ikamtuma kwamba alikuwa akiweza kupiga shoo ya fastafasta kisha kuambulia ushindi wa goli moja bila ya majibu.

    Tayari alishasoma mazingira ya nyumba jinsi ilivyokuwa, wakati akipishana na Pat, ghafla akahama upande wake na kumshika mkono msichana huyo.

    Pat hakutaka kugusana na mwanaume huyo akataka kujinasua mkononi mwake lakini hakuweza.
    Kila alivyojitahid ili kujichomoa katika mikono ya Eddy, ndivyo mwanaume huyo alivyoendelea kumdhibiti kisawasawa.

    Eddy, akaupeleka ulimi wake mdomoni mwa Pat, lakini msichana huyo hakuupokea akaufumba mdomo wake.

    Eddy akajua kwamba binti huyo alikuwa amekasirika na hakutaka kufanya vile alivyokuwa akitaka yeye, akaanza kumfanyia utundu wake.

    Akamshika kwenye nyonga na kumminya kidogo, Pat akapiga kelele:
    “Nini bwanaaa…?” Eddy hakumjibu akaendelea kumminya sehemu nyingine za maungo yake ili kumlainisha.

    “Aaaah bwanaaa…!” Pat alisema tena na kumwachia upenyo Eddy kupenyeza ulimi wake kwenye kinywa chake.

    Mpaka kufikia hapo, Pat hakuwa na nguvu za kuuzuia ulimi huo, akajikuta akiupokea na kutoa ushirikiano kwa kiwango kikubwa.
    Pat aliamini kuwa labda akifanya hivyo, Eddy atamwachia, kumbe haikuwa hivyo mwanaume huyo akazidisha utundu zaidi akahamisha mkono wake wa kuume na kuupeleka kwenye embe sindano ya kushoto ya Pat, akaiminya kidogo.

    Taratibu Pat akawa ananyong’onyea kwa kuishiwa nguvu, macho yake yakaanza kubadilika rangi na kuwa mekundu kuliko hata wekundu wenyewe.

    Pamoja na kuwa na hali hiyo, bado Eddy hakumuacha, akazidi kumchanganya kwa kuisambaza mikono yake katika maungo ya msichana mmoja.
    Hatimaye Pat akajikuta akinogewa na kila alichokuwa akifanyiwa na Eddy, akaanza kulialia kwa kutoa sauti yake halisi ya kike.

    Mwanaume huyo akaamua kujiokotea dodo chini ya mwembe na kumshika Pat kisha akamnyanyua na kumwingiza chumbani kwake, wala hakutaka kumpeleka kwenye dimba la fundi seremala, mechi ilihamia mchangani chini ya sakafu kwenye zuria, segere likaanza kuchezwa.
    Kukurukakara hizo zikawa zimehamia chumbani humo, Pat akajikuta akiishiwa nguvu kabisaaa, akawa hajitambui kwa machejo aliyokuwa akipewa, hatimaye akajikuta chuma kikoli moto.

    Pat akajikuta akiokota mpira wavuni baada ya kufungwa bao la tik-tak na Eddy. Mara baada ya kumaliza ndipo akakumbuka maazimio aliyokuwa amekubaliana na wenzake.

    Msichana huyo akaanza kulia, kitendo kilichomshangaza sana Eddy.

    “Nini tena, mbona unalia…?”
    “Sitaki…!” alisema Pat kwa hasira huku akiutoa mkono wa Eddy maungoni mwake.

    “Unalia nini baby?” Eddy aliendelea kuuliza bila ya kujua kile kilichomo kwenye akili ya Pat.

    “Wee si umetembea na dada Queen?”

    “Kwani siku zote ulikuwa hujui…?” Eddy naye alimuuliza Pat huku akinyanyuka sakafuni na kuchukua taulo kwa ajili ya kwenda kuoga.
    ***

    Mpaka usiku ulipokuwa ukiingia Pat hakuwa na raha hata kidogo na kuamua kwenda kulala mapema hali iliyowashangaza wenzake Tabu na Mwamvita.

    Wasichana hao hawakujua kilichomsibu mwenzao, wakaamua kumtafuta mwenzao huyo. Walipompata walimuona akiwa mnyonge sana wakamuhoji kulikoni.

    “Sijui yule mwanaume ana dawa…?” alianza kusema Pat.

    “Nani tena?” Tabu akauliza.
    “Si huyo Eddy…”

    “Kafanyaje tena…?” Tabu aliuliza tena na kumfanya Pat ashindwe kusema kitu chochote na kunyamaza kimya hali iliyomtia hofu Mwamvita.

    “Au umempa?” alihoji Mwamvita.

    Pat wala hakutaka kujibu ila aliangua kilio na kuwafanya wote wapate jibu la swali alilouliza Mwamvita kwamba Pat alikuwa ametoa uroda.
    “Ilikuwaje kwani…?” Tabu alidadisi tena.

    “Yaani ni vigumu hata kuelezea mazingira yenyewe… ni aibu tu…,” alijitetea Pat kisha akaanza kushusha kisa kizima jinsi kilivyotokea mwanzo hadi mwisho.

    “Nawe ulijilegeza tu… mtoto wa kike kama hataki hataki tu hata mwanaume afanye nini…” alisema Mwamvita.
    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
    ilipofika usiku eddy alirudi na kuignia chumbani kwake kumbe wakati huo Mama Mwavita nae alikuwa akimsubirti ili ajue utamu wa kijana huyo ..............alipoingia tu eddy chumbani kwake Mama mwavita nae akamfuata chumbani kwake

    Haaaaaaa!!!!! na wewe unataka nini?

    "Ssshhhhhhh? mama mwavita akamuwekea kidole mdomoni

    "njoo nikupe raha za dunia achana na vinuka mkojo

    muda huo eddy alikuwa bado anafikiria kwann wanawake wnamshobokea sana ghafla akavutiwa kitandani na lile lijimama na shughuli ikaanza

    **************************************

    "Ameingia tayari" pat aliwaambia mwavita na tabu

    una uhakika" mwavita aliuliza

    ndio nina uhakika tena ameingia na mwanamke nadhani atakuwa ni rehema"

    basi wewe mwavita anza kuingia ili tujue kama kweli yupo au hayupo halafu sisi tuvamie

    sawa" alijibu mwavita na kuvamia chumba

    "Mwavita alipoingia chumbani kwa eddy na kukuta eddy akiwa na mama yake wakilisakata pale kitandani

    ""Haaaaaaahhhhhhhh Eddy

    wote walishtuka

    Mwavita Alizimia palepale… hali hiyo iliwashtua wenzake nao walipovamia nao hawakuamini kile walikiona mbele yao.

    MALIZIA UHONDO HUU…
    Mke wa baba mwenye nyumba, mama yake na Mwamvita ndiye aliyekuwa akigonga shoo na Eddy.

    Lilikuwa jambo la kushtua na lisilotarajiwa na wasichana wote waliokuwa wakiishi katika nyumba hiyo.

    Mama huyo alitoka chumbani kwake na kumuacha baba mwenye nyumba akiwa amelala na kwenda kula uroda na Eddy.
    Wasichana wote walipowaona wawili hao walipigwa na bumbuwazi, hawakutaka kuamini kama ni kweli lakini hawakuwa na budi kwa kuwa kila kitu kilikuwa hadharani.

    “Haya sasa ni majanga… jamani majangaa,” alisema Rehema ambaye siku zote alikuwa haivi chungu kimoja na mama mwenye nyumba huyo.
    Wasichana wengine wakazinduka na kuanza kupiga kelele zilizowafanya majirani na watu wengine kuamka na kudhani labda nyumba hiyo ilikuwa imeingiliwa na wezi.

    Kila mtu aliyesikia kelele hizo alitoka chumbani kwake huku akiwa na silaha, aliamini kabisa kwamba hazikuwa kelele za bure.

    Mwamvita alikuwa bado amezimia kutokana na kushindwa kustahamili aibu iliyokuwa mbele yake, kutokana na kushuhudia mama yake akigonga shoo na mwanaume aliyekula naye uroda.
    Aibu hiyo aliiona kuwa kubwa kuliko ile ya Pat na Queen kutembea na mwanaume mmoja.

    Tabu, Rehema, Queen pamoja na Pat waliendelea kupiga kelele na vishindo vya watu kuzifuatilia kelele zao vilikuwa vikisikika.

    Machale yakamcheza Eddy akiwa mtupu kama alivyotoka tumboni kwa mama yake, akachomoka kama mshale na kukimbia nje huku akiwakwepa wasichana hao na watu wengine waliofika kufuatilia kasheshe hilo.
    Kutokana na kasi yake, hawakuweza kumzuia, alikimbia huku wengine wakimkimbiza kwa nyuma, kabla hajatoka mlango wa mbele akakutana na jirani aliyebeba mchi na kumtwisha nao kichwani, Eddy akaanguka chini na kuzirai.

    Baada ya kelele kuwa nyingi baba mwenye nyumba aliyekuwa amelala fofofo chumbani kwake alishtuka, akapapasa kumgusa mkewe lakini hakuwepo.
    Akatoka, akauliza kulikoni, akapewa kisa na mkasa mzima, alipomuona mkewe, ghafla naye akaanguka chini na kuzimia.

    “Hii nyumba imezidi majanga,” alisema jirani mmoja na kuungwa mkono na wenzie ambao walipendekeza iuzwe.

    Eddy, baba mwenye nyumba na Mwamvita walibebwa na kupelekwa hospitali, baada ya kupewa matibabu walizinduka.

    Baba mwenye nyumba aliamua kumwandikia talaka mkewe, Eddy aligoma hata kurudi kwenye nyumba hiyo kuchukua vitu vyake, akaamua kwenda kuishi kwa rafiki yake, Salim Raha, Gongo la Mboto akiwa hajui hatma yake.
    Hali kadhalika kwa Mwamvita naye aliamua kuhama katika nyumba hiyo ya baba yake kutokana na aibu aliyoipata.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Hakutaka kujua hatma ya afya yake, yuko mtaani anarandaranda na maisha na kuendelea kuwaumiza wengine bila ya kujijua.

    Kwa upande wao, Queen, Tabu, Pat na Rehema wakazungumza suala hilo kwa undani.

    Queen alisikitika kutambua kama alikuwa akila chungu kimoja na mdogo wake Pat, hali kadhalika kwa Rehema aliumia kufahamu kwamba Tabu naye alikuwa akigonga shoo na Eddy.
    Wakachukua jukumu la kwenda kupima afya zao, wakajikuta wameambukiza Ugonjwa wa Ukimwi.

    Kila mmoja akajutia kile walichokuwa wakikifanya, wakakubali makosa yao na kuishi kwa matumaini.

    Wameamua kuishi pamoja kama ndugu na kuachana na uhasama wao wa zamani.
    Kila wakikumbuka maisha yao ya nyuma wanajuta na kusema ulikuwa ni ushamba kugombea mwanaume, lakini pia kila siku wanaimba wimbo wa Majanga ulioimbwa na Snura Mushi.

    “Majanga mbona majanganga…”
    Mwisho.

0 comments:

Post a Comment

Blog