Search This Blog

Monday, October 24, 2022

MAJANGAAA MBONA MAJANGAAA ! - 4

 





    Chombezo : Majangaaa Mbona Majangaaa !

    Sehemu Ya Nne (4)



    ote watatu wakashtuka kuona wamevamiwa, Eddy akaanza kutafuta nguo za kujistili hali kadhalika kwa Rehema.

    “Kuna nini jamani?” alisema Mwamvua ambaye alikuwa wa kwanza kuingia chumbani humo.

    Hakuna aliyemjibu, bali Rehema na Queen waliendelea kuvutana kwa lengo la kushikishana adabu.

    Baada ya kuona kile kilichokuwa kikiendelea, Mwamvua akapiga kelele na kuwaita watu wengine ambao walikuwa wameishia mlangoni na kumtanguliza yeye kama chambo.

    Nao wakazama chumbani humo na kukuta kimbembe kikiwa kimekolea, Rehema na Queen walikuwa wamevaana na kuangushana chini kila mmoja alikuwa akifoka kivyake vyake.




    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Jamani tafadhali jamani, hebu waamulieni…”alisema baba mwenye nyumba ambaye naye alishafika.

    “Kuna nini kwani? nyumba hii kila siku majanga…” alisema mama mwenye nyumba.

    Kila mmoja kati yao, Rehema na Queen hawakuweza kusema kile kichowafanya wagombane.

    “Hebu wewe baba twambie…” baba mwenye nyumba alimgeukia Eddy.

    “Hata miye sijui kilichokuwa kikiendelea, nilikuwa nimelala mara wakaja hawa…” alisema.

    “Siyo hawa, akaja huyu malaya kutuharibia starehe zetu…” alisema Rehema.

    “Malaya mwenyewe…” alijibu Queen na kuwa tayari kujipapatua mikononi mwa watu waliokuwa wamemzuia.

    “Eti kweli baba?”

    “Ni ni kweli kama nilivyosema, walikuja hawa na kila mmoja alikuja kivyake…” alizidi kujitetea Eddy.

    “Hukuwa na miadi nao?” baba mwenye nyumba aliongeza udadisi.

    “Nimesema kila mmoja alikuja kwa wakati wake…” alisema Eddy.

    “ Nani ni mpenzi wako kati ya hawa wawili…?” mama mwenye nyumba naye hakuwa nyuma katika kuuliza maswali.

    “Wote,” alijibu Eddy na kuwafanya watu wote waliokuwa chumbani humo kucheka.

    “Hebu sikilizeni nyie mabinti,” alisema baba mwenye nyumba na kuwageukia Rehema na Queen “imekuwaje kuja kugombania kwa mgeni, kwani kuna yeyote mwenye uhusiano naye kati yenu?”.

    Hakuna aliyejibu zaidi ya kukodoa macho yao. Baba na mama mwenye nyumba pamoja na wapangaji wengine walikuwa wanakijua kilichokuwa kikiendelea lakini walikuwa wakitaka kupata uhakika kutoka katika vinywa vya wahusika.

    “Mbona hamsemi mmekuwa mabubu nini...?” alihoji baba mwenye nyumba.

    “Au tuwafungie humu ndani na mwanaume wao, tuwaache waoneshane ujuzi…” alidakia msichana aitwaye Kidawa na kuwafanya watu wote kuangua vicheko.

    “Tatizo hawataoneshana ujuzi wa mambo, bali wataoneshana ujuzi wa kupigana…” alisema mama mwenye nyumba na kufutiwa na vicheko vingine.

    Baada ya kuonekana kwamba imeshindikana kuwapatanisha chumbani kutokana na watu wengi kufurika ikabidi watolewe nje ili kesi iamuliwe.

    Baba mwenye nyumba akapendekeza kesi hiyo ihamie uwani, basi kundi zima likatoka chumbani humo na kwenda uwani kwa ajili ya kusikiliza kesi hiyo.

    Minong’ono ilikuwa mingi na kila mmoja alikuwa akisema lake. Pamoja na kuwa ni usiku mrefu lakini majirani nao walishafika na kutaka kujua zogo lile lilikuwa limetokana na nini.

    “Jamani kulikoni?” alisema mama Kibena ambaye siku zote alikuwa hapitwi na jambo mtaani pale.

    “Wote twendeni uwani…” alisisitiza baba mwenye nyumba huku akitaka Rehema na Queen wasiwekwe karibu.

    Watu wote walitii na kwenda uwani ambako kulikuwa kama uwanja mkubwa kama wa mpira kwa ukubwa na watu wakachukua nafasi zao kwa kukaa chini kusikiliza kile kitakachojiri.

    Tayari ilishatimu saa tisa za usiku, baba mwenye nyumba akaongoza kikao hicho.

    “Hebu niambieni nini kimeendelea, maana nimeshachoshwa na makelele ndani ya nyumba hii…” alisema.

    Bado hakuna aliyekuwa tayari kuzungumza chochote, wakabaki wakiangaliana kama vile majogoo yaliyokuwa yamechoka baada ya kupigana kwa muda mrefu.

    Katika nafsi zao, Rehema na Queen walijiona wajinga kwa kupigana kisa kikiwa mwanaume lakini kila mmoja bado alikuwa hataki kushindwa.

    Pia wakawa wanashindwa kuweka wazi kile kilichotokea kutokana na kukumbwa na aibu, hawakupenda kuonekana kama walikuwa wakigombania mwanaume.

    “Huyu mwanaume ndiye atuambie kilichotokea…” alisema mama mwenye nyumba.

    “Haya wewe twambie…” alidakia tena baba mwenye nyumba.

    Eddy akajiumauma na kisha kuanza kusema kile kilichotokea, alianza kusema siku ya kwanza tu alipoingia ndani ya nyumba hiyo alikuwa amevutiwa na mwonekano wa Rehema.

    Kisha akasimulia jinsi alivyokutana na Queen ambaye naye alikuwa hajambo kwa uwezo wake wa majambozi.

    Muda wote aliokuwa akihadithia matukio hayo baadhi ya wasichana walikuwa wakicheka na kuingiza vidokezo vya kunogesha stori yake.

    “Pasuaaa… pasuaaaa… siku ya kwanza tu umegonga ngoma mbili!.... kweli majangaaa…,” alisema Mwamvita.

    Baada ya kumwaga mchele hadharani wakatakiwa wasichana wale nao waseme kile kichotokea, ndipo Rehema alipojikaza na kusema:

    “Kama mlivyosikia, nikiwa na mpenzi wangu ndani tukiwa tunakula raha zetu ndipo huyu malaya akatuvamia…”

    Nini kiliendelea? Usikose kufuatilia kwenye Gazeti la Risasi Mchanganyiko, Jumatano ijayo.

    Queen hakuvumilia kauli hiyo, akambwatukia Rehema kwa kumtolea tusi kali, ikabidi Rehema naye achoropoke pale alipokuwa amesimama na kumfuata pale alipokuwa amesimama.

    “Unanitukania nini sasa…?” alihoji.

    “Mdomo,” alijibu Queen.


    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Mara wakavaana na kuangushana chini, safari hii baba mwenye nyumba akataka waachiwe ili washikishane adabu.

    “Waacheni, hakuna kuingilia, wakimaliza kupigana ndipo wataheshimiana…” alisisitiza baba huyo.

    Hali ilikuwa mbaya kwa Rehema ambaye alikuwa ameelemewa na kipigo, Tabu hakupendezwa na hali ile lakini hakuwa na budi kunyamaza huku roho ikimuuma.

    “Jamani watauana hapa kisha tutapewa kesi,” alisema mwanamke wa jirani na kuwafanya wote washtuke na kuamulia ugomvi huo uliokuwa umepamba moto na kutimua vumbi la uwani.

    “Bahati yako ningekuulia mbali…” alijitapa Queen.

    “Umue nani wewe kwani umeshaua wangapi…?” Rehema bado alikuwa ngangari katika kujibu huku moyoni akishukuru kwa kuamuliwa ugomvi ule kwa kuwa alikuwa amezidiwa vibaya.

    Baba mwenye nyumba akawarudi tena kwa Eddy na kumwambia achague mmoja kati ya wasichana hayo ili kuondoa ugomvi kati yao.

    “Mimi nawapenda wote kwa kuwa wote ni wazuri,” alijibu Eddy na kuwafanya watu waendelee kuambulia burudani ya kucheka.

    “Acha utani bwana, siye tunataka kuamua ugomvi huu ili tumjue nani ni nani kwako, kwa kuwa ukimchagua mmoja atayemwingilia mwenzake atakuwa mgomvi, haya chagua unamtaka nani?” alisema tena baba mwenye nyumba.

    “Siwezi kuchagua, kama nilivyosema mwanzo wote nawapenda…” alijibu tena Eddy.

    “Au tumpe notisi mmoja na mwingine abaki…” alisema mama mwenye nyumba.

    “Hapana wapewe notisi wote… tena miye nataka niwekewe chumba kimoja ili nihamie huku...” alisema mama Kibena. 






     “Pasuaaa… pasuaaaa… siku ya kwanza tu umegonga ngoma mbili...kweli majangaaa…,” alisema Mwamvita.

    Baada ya kumwaga mchele hadharani wasichana wale nao wakatakiwa waseme kile kichotokea, ndipo Rehema alipojikaza na kusema:


    “Kama mlivyosikia, nikiwa na mpenzi wangu ndani tukiwa tunakula raha zetu ndipo huyu malaya akatuvamia…”


    QUEEN hakuvumilia kauli hiyo, akambwatukia Rehema kwa kumtolea tusi kali, ikabidi Rehema naye achoropoke pale alipokuwa amesimama na kumfuata Rehema alipokuwa amesimama.

    “Unanitukania nini sasa…?” alihoji.

    “Mdomo,” alijibu Queen.

    Mara wakavaana na kuangushana chini, safari hii baba mwenye nyumba akataka waachiwe ili washikishane adabu.

    “Waacheni, hakuna kuingilia, wakimaliza kupigana ndipo watakapoheshimiana…” alisisitiza baba huyo.

    Hali ilikuwa mbaya kwa Rehema aliyekuwa ameelemewa na kipigo, Tabu hakupendezwa na hali ile lakini hakuwa na budi kunyamaza huku roho ikimuuma.

    “Jamani watauana hapa kisha tutapewa kesi,” alisema mwanamke wa jirani na kuwafanya wote washtuke na kuamulia ugomvi huo uliokuwa umepamba moto na kutimua vumbi la ua huo.

    “Bahati yako ningekuulia mbali…” alijitapa Queen.

    “Umuue nani wewe kwani umeshaua wangapi…?” Rehema bado alikuwa ngangari katika kujibu huku moyoni akishukuru kwa kuamuliwa kwa kuwa mpinzani wake alikuwa amemdhibiti vibaya.

    Hata hivyo, Rehema alikuwa akiamini kuwa alikosea ‘taimingi’ tu na siyo kama alikuwa hamuwezi Queen.

    Baba mwenye nyumba akamrudia tena Eddy na kumwambia achague mmoja kati ya wasichana hayo ili kuondoa ugomvi kati yao.

    “Mimi nawapenda wote kwa kuwa wote ni wazuri,” alijibu Eddy na kuwafanya watu waendelee kuambulia burudani ya vicheko.

    “Acha utani bwana, siye tunataka kuamua ugomvi huu ili tumjue nani ni nani kwako, kwa kuwa ukimchagua mmoja atayemwingilia mwenzake atakuwa mgomvi, haya chagua unamtaka nani?” alisema tena baba mwenye nyumba.

    “Siwezi kuchagua, kama nilivyosema mwanzo wote nawapenda…” alijibu tena Eddy.

    “Kama ni hivyo waoe wote…” alisema Mwamvita.

    “Au tumpe notisi mmoja na mwingine abaki…” alisema mama mwenye nyumba.

    “Hapana wapewe notisi wote… tena miye nataka wakipewa notisi nihamie huku na ikiwezekana niingie katika kile chumba anachokaa Rehema...” alisema mama Kibena.

    Hali hiyo ilizua zogo kubwa na kuwafanya wapangaji wengine kuwatetea wasichana hao na ili wasipewe notisi.

    Wengi wao walipendekeza Eddy ndiye apewe notisi kwa kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo hayo.

    “Ikiwezekana huyo mwanaume ndiye apewe notisi kwa kuwa kabla hajahamia katika nyumba hii watu walikuwa wakiishi kwa amani,” alipendekeza Tabu na kuungwa mkono na watu wengi.

    Huo ulikuwa ni mtihani mkubwa kwa baba mwenye nyumba kwa kuwa hakuwa na fedha za kumrudishia Eddy kodi yake ya mwaka aliyolipa.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Kikubwa alichokuwa akizingatia ni watu wengi kushindwa kuhamia katika nyumba yake kutokana na mambo mengi ya kiswahili.

    Baba huyo anakumbuka jinsi alivyopata tabu kukipangisha chumba alichoingia Eddy kwa kuwa kilikaa zaidi ya miezi sita bila ya kupata mpangaji.

    “Hapana hilo niachieni mwenyewe nitaliamua, nafunga mjadala mpaka kesho ndipo nitakapotoa uamuzi wangu,” alisema na kuwataka watu wote wakalale.

    Siku mbili zilipita bila ya baba mwenye nyumba kutoa jibu lolote la kile alichokuwa amekiahidi.

    Kwa upande mwingine hali ya uhasama kati ya Rehema na Queen ilizidi, kila mmoja alikuwa akitaka kujionesha kwamba yuko karibu na Eddy kuliko mwenzake.

    Lengo kubwa kila mmoja alikuwa akitaka kuonesha kuwa yeye ni mshindi. Hivyo mmoja akimpelekea Eddy chai, mwingine alikuwa akihakikisha kwamba anampelekea chakula cha mchana.

    Katika kufanya hivyo hawakuwa wakienda wao wenyewe, bali walikuwa wakiwatumia wapambe wao.

    Rehema alimtumia mpambe wake Tabu wakati Queen alimtumia mdogo wake Pat, ikatokea siku Tabu naye uvumilivu ukamshinda akawa anataka kujua kile kilichowafanya Rehema na Queen wagombane kwa ajili ya Eddy.

    Msichana huyo akataka kuingia katika himaya ya wakubwa zake, akataka kumsaliti mtu aliyekuwa akimshabikia.

    Siku hiyo alikuwa ameingia chumbani kwa Eddy kwa lengo la kumpelekea chakula cha mchana, alipoingia ndani akaanza kujisemesha hili na lile.

    “Hivi kwa nini unafikia hadi unagombewa na wanawake?” Tabu alimuuliza Eddy.

    “Wee bado mdogo huwezi kujua,” Eddy alimjibu kwa kifupi ili kuondoa bughudha mbele yake bila kujua lengo la Tabu.

    “Mi mdogo miye?

    “Ndiyo, huwezi kujua mpaka ukikua ndipo utajua kwa nini wale walikuwa wakinigombea,” Eddy aliendelea kumjibu.

    Bado Tabu hakutosheka na maneno yale yaliyokuwa yakiashiria kitu kingine kabisa tofauti na kile alichokifikiria.

    “Watu wengi wananidharau kutokana na umbile langu lakini nataka kukuhakikishia kuwa miye siyo mtoto…” alisema Tabu kurudia kauli yake ya awali.

    “Wee bado mtoto tu…” Eddy alisisitiza.

    “Wewe nione mtoto lakini usidharau wembemba wa reli, unabeba hata treni…” alisema tena Tabu.

    “Kweli?”

    Kweli vile…”

    Eddy alichukua fursa hiyo kumkagua vizuri msichana huyo, akagundua kitu, msichana huyo alionekana ndiyo kwanza anachipukia katika anga la mapenzi.

    Chuchu zake zilikuwa zimechongoka na hipsi zake zilikuwa zikitanuka taratibu, Eddy alifikiria kwamba ukubwani mwake atasumbua kutokana na kuendelea kukua.

    Midomo ya binti huyo ilikuwa mipana na kutengeneza vishimo ‘dimples’ pale alipokuwa akitabasamu.


    Bado katika akili yake Eddy alijua kwamba anaweza kuwa mtu wa kwanza kuvunja ngome ya msichana huyo, aliamini hivyo kutokana na mwonekano wa binti huyo.
    Akazidi kumvutia upande wake na kumhamisha kutoka pale walipokuwa wamesimama, wakasogea hadi katika uwanja wa fundi seremala na hapo akazidi kumpandisha ‘wazimu’ wake.
    Eddy alihakikisha anamfanyia binti huyo utundu wote anaoujua, hali hiyo ikawa inamfanya Tabu kupiga kelele za kuashiria kuhamasika na kusisimka huku akipoteza umakini wake.


    Eddy alikuwa amempania kumuonesha binti huyo utundu wake wote na kwamba alikuwa jabali katika mambo hayo ya faragha.

    Pia, alifanya hivyo huku akiwa na kiu ya kutaka kuondoa kizuizi cha binti huyo kama siyo kupasua ngome kwa mara ya kwanza.

    Katika maisha yake ya mapenzi, Eddy hakuwahi kufanikiwa kuipasua ngome ya binti ye yote, hivyo akaweka imani kwamba angeweza kubahatisha kwa Tabu kwa kuwa siku zote alikuwa akikutana na wale wazoefu tu.

    Hivyo, alihahakisha anampigisha ‘kwata’ za kutosha Tabu kwa lengo la kumpagawisha binti huyo ambaye alimkadiria kuwa na miaka 19.

    Katika hilo alifanikiwa kwa asilimia kubwa kwa kuwa Tabu alianza kubadili mikao na kuzungusha macho kama vile alikuwa akitaka kukata roho.

    Mtoto wa watu alichanganyikiwa na kuwa mbendembende kutokana na manjonjo aliyokuwa akioneshwa na Eddy ambaye alihakikisha anapita katika kila idara yake.

    Baada ya maandalizi ya mechi hiyo Eddy akapuliza kipyenga na kuzialika timu katikati ya dimba la fundi seremala.

    Askari wake akiwa amekasirika zaidi kwa vile alikuwa amevutiwa na mwonekano wa binti yule aliyekuwa bado mbichi.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Macho yaliyojaa uoga na embe sindano zilizokuwa zikivutia zikiwa zimechomoka kama zimetundikwa kifuani mwake.

    Kama vile haitoshi, Eddy alivutiwa na harufu ya Tabu ambaye alikuwa na kijasho cha kuonesha kwamba bado hakuwa na uzoefu wa mambo yale.

    Jasho lake lilikuwa halikeri katika pua za Eddy, Tabu alikuwa akinukia harufu za kitoto kwa kuwa hakuwa mzoefu wa mambo ingawaje yeye alikuwa akijiona ni mkubwa wa kuweza kufanya kile kilichokuwa kikifanywa na watu wengine wenye jinsia kama yake.

    Baada ya kuhakikisha amempagawisha vya kutosha,Eddy alibadilisha somo kumchukua askari wake na kumzamisha kisimani.

    Tabu aliachia ukulele mkubwa kiasi ambao ungeweza kusikika nje kama Eddy asingekuwa makini na kuwahi kumziba mdomo.

    Ni kama vile alikuwa amejiandaa, mkono huo ukaganda kwenye kinywa cha Tabu kwa muda na alipomuona ametulia aliuachia taratibu huku akihisi kwamba amevunja ngome ya binti huyo.

    Tabu hakuendelea kupiga kelele tena, akatulia tuli huku akionesha kukubaliana na kile kilichokuwa kikiendelea kati yake na Eddy.

    Baada ya Eddy kumuona ametulia akautoa mkono wake katika mdomo wa Tabu na kushusha macho yake kumwangalia askari wake kama alikuwa amepasua ngome au la.

    La hasha haikuwa hivyo, kulikuwa na kila dalili kwamba ngome ilishapasuliwa muda mrefu.

    Pamoja na kuona hali hiyo, Eddy wala hakukata tamaa kwa kulikuwa na vitu kadhaa ambavyo alivibaini katika mechi hiyo, kwanza alithibitisha kwamba Tabu hakuwa mtoto bali alikuwa mkubwa mwenzake.

    Hivyo mategemeo yake ya kuwa mwanaume wa kwanza wa kukata ‘siri’ au kuvunja ngome ya binti huyo yakatoweka kama mafuta ya samli katika kikaaongo cha moto.

    Baada ya kuona nanga yake ikizima majini bila ya kipingamizi.

    Kumbe zile kelele za Tabu zilikuwa ni moja ya mbwembwe zake katika kufanikisha na kumpagawisha Eddy ambaye aliyekuwa na matarajio makubwa ya kupasua ngome.

    Pamoja na kwamba binti huyo alikuwa tayari ameshaanza mambo hayo mapema lakini kulikuwa na vitu vingine ambavyo Eddy hakukitegemea kabisa kuviona.

    Vitu hivyo vikawa faraja kubwa sana kwake, kwanza ni pale alipogundua kwamba Tabu hakuwa ameguswa na watu wengi kwani aliiona tofauti kati ya binti huyo na akina Queen pamoja na mwenzake Rehema.

    Kwa kutumia uzoefu wake, aliamini kuwa kama hakuwa mwanaume wa pili kwa Tabu baada ya yule wa kwanza aliyekata utepe basi alikuwa ni wa tatu.

    “Kama siyo wa pili, basi nitakuwa wa tatu,” alijisemea kimoyomoyo huku gemu likiendelea.

    Imani hiyo ilitokana na mvutano kama ule wa ‘sumaku’ aliokuwa akikumbana nao askari wake mara baada ya kuzama kwenye kisima cha ‘bintani’ huyo.

    Aliamini binti huyo hakuwa amechezewa vya kutosha, akaongeza ufundi zaidi ili kumuonesha kwamba hao wengine hakuwa na kitu mbele yake.

    Kingine kilichomshtua Eddy ni pale alipoona kwamba mechi ile haikuwa ya upande mmoja, kwani Tabu alikuwa akijibu mashambulizi kwa aina ya pekee.

    Hali hiyo ilimfanya kukubaliana na kauli ya binti huyo ambaye mwanzo alimwambia kwamba asidharau wembamba wa reli kwa kuwa unabeba hata treni.

    Tabu alikuwa akijua kufanya vitu ambavyo hata wale wengine waliokuwa wamekutana na Eddy hawakuwa wakiweza kuvifanya.

    Alionesha uzoefu wake wa kucheza ‘sindimba’ na kumfanya Eddy ainjoyi kwa kiasi kikubwa na kuamini kuwa mechi hiyo ilikuwa ni moja kati ya nzuri alizowahi kucheza katika maisha yake.

    Eddy hakuchukua muda mrefu kumaliza raundi ya kwanza, kwa hali ilivyokuwa hakuwa ameridhika kutokana na raundi ile kuisha haraka.

    Akataka raundi ya pili ipigwe fasta, haraka akakata rufaa na kuomba raundi ya pili, akilini mwake aliamini kuwa katika raundi hiyo utamu utakolea zaidi.

    Kitu kingine kilitokea, akili yake ilicheza sawa na kile alichokuwa akikifikiria kutokana na askari wake kusimama imara na kuwa tayari kwa gemu.

    Kwa kasi ya ajabu askari wa Eddy aliweza kusimama imara na kuanza kutimiza jukumu hilo kwa mara ya pili. Hata raundi ya pili haikuchukua muda mrefu.

    Eddy alijikuta akiwahi kumaliza kufunga goli la mbali bila ya kutarajia, alishangaa kuona nyavu za timu ya upinzani zikitikisika

    Alijua sababu ni uzuri wa kile kitu alichokuwa akila kwa wakati ule. Alihitaji tena raundi ya tatu lakini alikuwa amechelewa, Tabu alishaifuata kufuli yake na kuitia maungoni mwake.

    “Vipi?” Eddy alihoji.

    “Nimechoka na nataka kuwahi ili nisionekane…” alisema huku akiwa tayari kutoka ndani ya chumba cha Eddy.

    “Poa, lakini usimwambie mtu, kisha nataka siku nyingine tutoke hapa, nataka tukakutane sehemu nyingine nzuri, sawa?”

    “Sawa,” alijibu Tuma huku akijiandaa kutoka chumbani humo.

    Mpaka Tabu anatoka chumbani kwa Eddy alikuwa ameiva macho kwelikweli. Alipotoka tu, uso kwa macho akakutana na Pat ambaye alikuwa akitokea uwani na kuingia chumbani kwa dada yake.

    Tabu aliogopa sana, kwa kuwa alikuwa amebadilika na macho yake yamekuwa mekundu, mwili wake ulikuwa umechoka na kama aliyekuwa ametoka kubeba mizigo mizito.

    “Tabu,” Pat alisimama na kumwita.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Abee,” aliitikia.

    “Una nini?” aliuliza Pat ambaye alikuwa amejawa na udadisi baada ya kumuona Tabu akiwa katika hali tofauti.


    Hata hivyo, Tabu hakutaka kuendelea kumsikiliza Pat, alijifanya kama vile hakumwelewa, ingawaje alishajua kwamba udadisi wa msichana huyo ulikuwa umebaini kitu fulani.

    Moja kwa moja Tabu akaamua kuingia katika chumba alichokuwa akilala na wasichana wengine huku akijitahidi kumkwepa Pat.

    “Tabu… Tabu… Tabuu…,” aliendelea kuita Pat bila ya mafanikio. Pamoja na kuona kwamba hakuitikiwa, Pat hakukata tamaa akaingia chumbani humo.

    Alipoingia akamkuta Tabu akiwa amejitupa kitandani, akamwita tena na tena lakini Tabu alijikausha kimya kama vile alikuwa hamsikii.

    “Wee Tabu unaumwa au…?”

    Bila ya kugeuka na kumwangalia, Tabu akiitikia kwa kichwa kukubali kwamba alikuwa anaumwa kwa kuwa alishaona Pat alikuwa amemsaidia kumtafutia jibu la kumpa.

    “Nini kinakusumbua?”

    “Tumbo…” alijibu swali hilo huku mikono yake akiwa ameiviringisha kwenye tumbo lake kuonesha kwamba lilikuwa likimsumbua.

    “Pole sana… lakini Tabu mbona nguo yako imejikunja? Na hata nywele zako zimevurugika halafu nimekuona ukitokea katika chumba cha Eddy?” alihoji Pat.

    “Haaa hamna kitu…” alijibu Tabu huku akigeuka na kujiweka sawa nywele zake na kujaribu kuikunjua nguo yake iliyokuwa imejikunja.

    “Hamna kitu, haiwezekani… kuna kitu… tena angalia macho yako yamekuwa mekundu, hebu niambie ulikuwa ukifanya nini chumbani kwa Eddy?” Pat aliendelea kumkomalia Tabu.

    Tayari kengele ya hatari ilikuwa imeshagonga akilini mwa Pat, akahisi kuwa Tabu alikuwa ametoka kugonga shoo na Eddy.

    “Kwani wewe unafikiria nini?” alijibu Tabu kwa swali huku akisimama.

    “Hee yamekuwa hayo tena… kwani tumbo limepona, hebu niambie basi ulikuwa ukifanya nini chumbani kwa Eddy?” Pat alizidi kumdodosa Tabu.

    “Hayakuhusu… kila mtu ana mambo yake, kwa nini unapenda kufuatilia mambo ya watu?”

    “Mambo gani niliyofuatilia?”

    “Si haya ya kuniuliza kwamba nimetoka kufanya nini chumbabi kwa Eddy kwani wewe unafikiria nimetoka kufanya nini? Mbona miye sijakuuliza huko ulikotoka umetoka wapi?” alisema Tabu kwa hasira.

    “Wee niambie tu umetoka kufanya nini?”

    “Kumpelekea chakula…?”

    “Chakula gani?”

    “Kwani wee unajua kuna chakula gani na gani? Nakuomba uelewe kwamba nimetoka kumpelekea chakula…” alisisitiza Tabu.

    “Samahani kama nimefuatilia mambo yako, lakini kumpelekea chakula tu ndiyo nguo yako ikunjikekunjike na macho yako yawe mekundu…?”

    “Kwani wewe unataka nini, nishakwambia kuwa nimetoka kumpelekea chakula kwa nini huelewi?”

    “Kweli umempelekea chakula maana una kila dalili kwamba umepeleka chakula chenye ladha ya nyama ya binaadamu… lakini ole wako dada Queen na Rehema wajue kama umempelekea chakula hicho chenye ladha ya nyama ya binaadamu,” alisema.

    “Watafanifanya nini…?”

    “Ngoja wajue ndiyo utajua watakufanya nini, wee si unajifanya mwanamke kweli…?”

    “Ndiyo mimi ni mwanamke kweli… nina kila kitu ambacho wao wanacho na ninaweza kufanya chochote kile ambacho wao wanaweza kufanya…” alisema Tabu kwa hasira.

    “Sawasawa, nimekuelewa…” alisema Pat huku akitoka nje akiwa amehisi kwamba pamoja na Tabu kudai kwamba alikuwa amempelekea chakula Eddy lakini kulikuwa na zaidi ya chakula alipoingia chumbani kwake.

    Tabu akarudi kitandani na kujipumzisha kutokana na kile alichokuwa amekifanya na Eddy, huku akiwa na wasiwasi kwamba Pat anaweza kwenda kusambaza maneno hayo kwa watu wengine.

    “Shauri yake, kama anataka kwenda kusema mwache aseme… kwani ana ushahidi gani?” alijifariji.

    Mara baada ya kutoka nje, Pat akagongana na Eddy akiwa anatoka chumbani kwake, akamwangalia kwa udadisi na kujiuliza mwanaume huyo ana nini mpaka anawapanga foleni wasichana wa nyumba hiyo.

    “Shikamoo?” akatoa salamu.

    “Marhaba…” Eddy akaitikia huku akifunga mlango wake kuashiria kuwa alikuwa akitoka na kwenda mbali na eneo hilo.

    Pamoja na kusalimiana Pat aliendelea kumkodolea macho Eddy kama vile ndiyo kwanza alikuwa akimuona.

    Kitendo hicho kilimshangaza Eddy na kujiuliza, kwa nini msichana huyo alikuwa akimwangalia kwa umakini kiasi hicho.

    “Vipi mbona unaniangalia hivyo?”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Aaah, nilikuwa nakuangalia tu,” alijibu Pat huku akiona aibu kwa jinsi alivyoshtukiwa na Eddy.

    “Sema unataka tutoke wote nini?”

    “Walaaa!” alijibu huku akiumauma vidole vyake vya miongoni.

    Eddy alitoka zake huku akimwacha Pat pale ukumbini akiendelea kumwangalia kwa udadisi. Moyoni mwake Pat aliamini kwamba kijana huyo alikuwa na kitu cha ziada kwa wasichana.

    “Kwanza mchangamfu halafu amekaa vizuri…” aliwaza moyoni mwake huku akiwa anasumbuliwa na kutaka kujua kama kweli Tabu alikuwa amegonga naye shoo.

    Baada ya kutafakari kwa muda, Pat akatoka na kuamua kumfuata tena Tabu chumbani ili kwenda kumuuliza kama kweli alikuwa amevunja amri ya uzinzi na Eddy.


    Alipoingia chumbani akamkuta Tabu akiwa bado amelala, akaanza kumwamsha kwa upole tofauti na mwanzo alivyoingia chumbani humo kwa mara ya kwanza na kumwamsha kwa ukali.

    Mbali na kufanya hivyo, awali alikuwa akimlazimisha Tabu kuhusu ishu ya kugonga shoo na Eddy, safari hii ilikuwa tofauti.

    Tabu alipoamka, Pat akaanza kumuuliza kwa upole ili aweze kujua ukweli, moyoni wivu ulikuwa ukimtafuna kwa kuhisi kuwa amepigwa bao na msichana mwenzake.

    “Shoga hebu tuache utani mimi na wewe ni marafiki wa muda mrefu, hebu niambie kile ulichokifanya na Eddy chumbani kwake…” alianza kwa kumbembeleza.

    “Wee si umesema unaenda kuwaambia dada Rehema na Queen? Nenda tu miye wala sina wasiwasi…”

    “Hebu tuachane na hayo, miye na wewe ni damu damu, yale yamepita shoga’angu maana nimekutana na huyu mwanaume hapo ukumbini, wee acha tu…”

    “Unamaanisha nini kwani na wewe unamtaka?”

    “Hivi katika akili yako kuna mwanamke ambaye anaweza kukataa kuwa na mwanaume kama yule?” Pat alijibu kwa kuuliza swali.

    “Mh! Makubwa.”

    “Madogo yana nafuu shoga, hebu niambie basi kama mwenzangu umeshawahi?” alichombeza Tabu.

    Tabu hakuweza kumjibu Pat akabaki akicheka na kumfanya Pat kuendelea kuhisi kwamba kulikuwa na ukweli kwa kile alichokuwa akikifikiria ndani ya nafsi yake, hata hivyo hakutaka kujiridhisha kwa hisia tu, akataka kuambiwa ukweli na mhusika.

    Akaendelea kumuuliza Tabu ili amwambie kwa mdomo wake kile kilichojiri.

    Baada ya kutafakari kwa kina, Tabu akaona hakukuwa na haja ya kumficha, akaamua kumwambia Pat kile kilichojiri chumbani kwa Eddy.

    “Yaani shoga wee acha tu,” akaanza kusema huku akijiinua kutoka kitandani na kukaa.

    “Mh! Lete habari…” Pat alichombeza huku naye akijiweka sawa kwa ajili ya kupata ukweli kamili.

    “Yule mwanamme sijui hata ana nini… maana ghafla tu nilijikuta nikimtamani… lakini alifanya kosa moja tu, alianza kunidharau… pale aliponiambia kwamba miye ni mtoto mpaka nilipomhakikishia kwamba miye ni mkubwa mwenziwe…”

    “Kweli…?” alihoji Pat na kumfanya Tabu kuendelea kuhadithia kile kilichotokea kati yake ya Eddy…

    “Nilipomhakikishia hivyo, akanifuata pale nilipokuwa nimesimama, ilikuwa ni katikati ya chumba na kunipeleka kwenye uwanja wa fundi seremala.

    “Hapo akapitisha mikono yake kwenye nywele zangu na kuzichambua kwa vidole vyake, kisha akachora ramani mwilini mwangu kwa kutumia mikono yake na kunisisimua vya kutosha.

    “Kisha akaanza kutumia silaha ya nyoka…” Tabu alisema na kukatishwa na Pat.

    “Silaha ya nyoka ndiyo nini Tabu mbona unaniacha kama kishada kinachokwenda halijojo…?”
    “Aaah aaah kumbe nilikuwa nakuacha…, pole shoga’angu si unajua inanibidi nitumie lugha ya tafsida, basi namaanisha ile silaha anayoitumia nyoka akitaka kutema sumu yake.””

    “Hapo nimekupata ni ulimi…” alisema Pat.

    “Yesii, ulimi wake ulipita nyuma kidogo ya shingo yangu na kuzidi kunipandishwa wazimu… nilikuwa nasikia raha kama vile natambaliwa na sisimizi shingoni,” aliendelea Tabu na kumfanya Pat kukaa vizuri ili kupata uhondo zaidi.

    “Baada ya hapo akawa anasafiri na ulimi wake kwa kupita kila sehemu aliyoiona inafaa, sehemu ya kuweka kituo kwa muda aliweka na kuendeleza utundu wake.

    “Kisha akahamia kwenye embe sindano zangu, akawa anazivuta kwa ndani na kisha kuzitoa nje kwa kutumia njia yake ya kupitishia chakula, weee acha tu… wazimu si wazimu raha si raha, sijui hata nikwambieje…”

    “Mh!”

    “Alipotoka hapo alipitisha silaha ya nyoka katika maeneo mengine nyeti kwenye maungo yangu na kunifanya nizidi kumchemka kwa hisia kali, akafika hadi kwenye kile kitu ambacho mara baada ya mtoto kuzaliwa baada ya muda huwa kinakatika chenyewe…”

    “Nini hicho?”

    “Kwani wee hujawahi kusikia kuanguka kwa kitovu cha mtoto…?”

    “Aaah nimewahi kusikia shoga…” aliitikia Pat.

    “Basi alipofika hapo, mashetani yalitaka kunipanda… nilitamani hata kupiga kelele ili anichie au nipate msaada wa kusaidiwa maana aliniweza kwelikweli…”

    “Wee acha utani…” Pat alihoji.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Kweli vile…” alisisitiza Tabu.

    “Mh! Basi makubwa,” Pat aliguna.

    Mwili ulinitoka vipele kama vile nilikuwa nikitambaliwa na sisimizi au nilikuwa nikitaka kuugua ugonjwa wa malaria. Alipotosheka akapitiliza hadi kwenye bastola zangu…”

    “Halafu… ikawaje…” Pat alijawa na udadisi wa kina wa kutaka kujua kile kilichoendelea.

    “Hapo kwenye bastola zangu hakukaa sana, akaenda moja kwa moja kumsalimia bibi kule shambani.”

    “Acha utani…?”

    “Kweli vile, yule kijana ana heshima kwelikweli… kwani alipofika kwa bibi aliamua kumwamkia kwa heshima zote, alipiga magoti na kumsalimia kwa kuzungumza naye kwa kinywa chake… huku silaha yake ikiwa ni ileile anayoitumia nyoka.”

    “Aiseee…” Pat aliropoka bila ya kujijua na kumfanya Tabu ageuke na kumwangalia.

    “ Hapo ndipo nilipoanza kusikia kizunguzungu kama siyo kichinachina… nilisi kama vile nataka kukata roho, kuna wakati nilifikiria kama vile sikuwa duniani… kweli dada Rehema na Queen walikuwa wanafaidi…

    “Mh! Endelea basi akawa anafanyaje…? Pat alikuwa akitaka kujua uhondo huo aliokuwa akisimuliwa na Tabu jinsi ulivyonoga.

    “Wee acha mwanaume pale yupo, alipomaliza kumsalimia bibi wakati huo miye nusu nilikuwa duniani na nusu nilikuwa peponi, nilikuwa kama vile niko ndotoni…”

    “Aisee ulifaidi…” Pat alisema.

    “Si kidogo, lakini mchezo kamili ulikuwa kwenye shoo yenyewe maana hiyo yote ilikuwa ni kama rasharasha vile vumbi lenyewe lilitimka pale alipoingiza kisu kwenye ala ndipo nilipochoka… kweli nilijiona ni mtoto…,” alisema Tabu.

    “Kwa nini,” Pat aliendelea kuhoji.

    “Kisu chake kilipoingia kwenye ala nilisikia kama vile mawimbi ya maji yakipiga kisimani, kali mawimbi yenyewe yalikuwa yanafanana na yale ya baharini lakini hayo yalikuwa kama yana mvutano wa umeme, aah Pat wee acha nilipiga kelele,” alisema Tabu.

    “Kwa hiyo umemvulia kofia…?”

    “Si kidogo hapa unaponiona niko hoi, ulipokuwa ukinisemesha muda ule nilikuwa nakuona kama vile ulikuwa unanizungua tu…” alisema Tabu.

    “Kumbe?”

    “Eeeh wee acha tu, Eddy anajua kuizungusha funguo katika kufuli kwelikweli…” alisisitiza Tabu na kumfanya Pat kuanza kupatwa na hamu ya kile alichokuwa akifanyiwa mwenzake.


    Mpaka kufikia hapo, Pat alikuwa amesha-lowanisha kila nguo iliyokuwa katika maungo yake. Kijasho chembamba kilikuwa kikimvuja kutokana na kile alichokuwa akihadithiwa na Tabu.

    Binti huyo naye alikuwa hajiwezi tena, hali yake ilikuwa mbaya akatoka na kwenda msalani ili kujiweka sawa.

    Hilo lilitokana na Pat kupagawisha na kile alichokuwa akihadithiwa na Tabu jinsi alivyopiga shoo na Eddy mawazo yake aliyachukua na kujiona kama vile yeye ndiye aliyekuwa msambweni akigonga shoo na mwanaume huyo.

    Alifikiria kama kuhadithiwa tu amedata je akikutana na mwanaume huyo itakuwaje? Akaweka wazo kwamba na yeye lazima agonge bonge la shoo na kijana huyo.

    Alikuwa amechanganyikiwa kabisa, akajuta kuchelewa kukutana na Eddy, alitamani angekuwa wa kwanza kukutana na mwanaume huyo kabla ya Tabu, Queen na Rehema.

    Moyoni alihisi kwamba wenzake hao walikuwa wamefaidi kwelikweli.

    Baada ya muda Pat alirejea tena chumbani kwa Tabu na kuanza kuzungumza na msichana huyo na kumwambia msimamo wake kutokana na kile alichokisikia.

    “Tabu ndugu yangu, kitu kizuri kula na nduguyo, kuna haja ya miye kupiga shoo na Eddy,” alisema Pat na kumfanya Tabu amshangae.

    “Yaani kukuhadithia kidogo tu umedata na unataka kuchonga mzinga, je ningekupa kila kitu ingekuwaje?”

    “Kwa hiyo hicho ulichonihadithia ni kidogo? Basi nitamtafuta Eddy anipe kikubwa zaidi maana naona wewe unataka kunibania,” alisema Pat.

    “Siyo hivyo, kwanza utaanzaje kumwingia kijana wa watu, kwani unajua kama anakutaka au hakutaki? Nakushangaa sana shoga’angu.”

    “Nitajua cha kufanya wala hilo lisikupe shida ninachotaka ni kumtia mikononi mwangu, iwe kwa kujitongozesha au kwa kunitongoza yeye mwenyewe,” alisema Pat kwa kujiamini.

    “Miye sitakuwa na tatizo kwa kuwa miye mwenyewe ni mwizi tu, tatizo ni kwa Rehema na Queen wakijua umekwisha, utahama humu ndani…” Tabu alimtisha.

    “Kwa hiyo wewe ushajipanga kuhama?”

    “Utajuaje?” Tabu alijibu kwa swali na kufanya Pat kuzidi kuchanganyikiwa kama asuke au anyoe.
    ***

    Wakati Pat akiwa na mawazo ya kumwingia Eddy ili aweze kupata kile ambacho roho yake inataka, wakati huo mama mwenye nyumba alikuwa chumbani kwake, alikuwa amemwita mwanaye Mwamvita kwa ajili ya maongezi muhimu.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Mama huyo alikuwa amesubiri muda huo kwa kuwa mumewe ambaye ni baba mwenye nyumba hiyo hakuwepo, alikuwa ameenda kucheza bao nyumba ya jirani.

    “Mwamvita mwanangu hivi utakuja kuolewa kweli wewe…?”

    “Kwa nini unasema hivyo mama?”

    “Nakuona umejikalia tu wakati wenzio wanachangamkia tenda…” alisema mama mwenye nyumba bila ya kufafanua na kumfanya mwanaye atawaliwe na maswali.

    “Bado sijakuelewa mama, unamaanisha nini?”

    “Utanielewa tu, unaona wenzio wanavyomchangamkia mgeni wewe umejikalia tu huna mbele wala nyuma.”

    “Mama unamaanisha kwamba unataka na mimi nimgombee huyu mgeni aliyehamia humu ndani?”

    “Siyo umgombee, unatakiwa umchukue kabisa na kummiliki awe wako kabisakabisa…” mama mwenye nyumba alisema.

    “Hai mamaaa…”

    “Ndiyo hivyo, nataka uache kuhangaika na vibwana vyako uchwara, unatakiwa kuwa na mwanaume kama yule ambaye anaweza hata kuleta kilo ya sukari nyumbani… siyo kile kijamaa chako kinachoitwa Beka… mpaka leo sijakula hata senti yake…” alisema mama mwenye nyumba.

    “Mama achana na Beka, sasa hivi niko na Peter ambaye tayari umeshakula pesa yake, kwanza hata Beka umeshakula hela yake, sema umesahau tu…?”

    “Labda unikumbushe, lakini hata kama nimekula… ni lini alileta hata nusu kilo ya sukari humu ndani wakati unajua kabisa maisha yetu ni ya mkandamkanda…?” aliendelea kuhoji mama huyo.

    “Hilo halijafanyika si kwa kuwa bado hawajanioa… mmoja wao akinioa atafanya hivyo unavyotaka,” alijibu Mwamvita.

    “Mmoja wapo akinioa atafanya…,” alisema mama mwenye nyumba huku akimwigiza mwanaye kisha kumwambia:

    “Utabaki hivyohivyo, mwanaume yuko humu ndani wewe unahangaika na hao wahuni, wanakuchezea kama ganda la mua.”

    “Mama lakini sasa unafika mbali…”

    “Sifiki mbali, siku hizi mwanangu watu wanaangalia uwezo wa mwanaume… siyo mapenzi, siye zamani ndiyo tulikuwa tukijali mapenzi, hatima yetu si unaiona?”

    “Lakini mama unasema kweli, inaonekana enzi zako ulikuwa unamtii baba kwelikweli…”

    “Nakushangaaa wewe una kila kitu halafu unakubali kuchezewa sijui na Beka sijui na nani… shauri yako… mwanaume yuko humuhumu ndani…”

    “Sasa unanishauri nifanyeje?” Mwamvita alimuuliza mama yake huku akionekana kuanza kukubaliana na ushauri aliopewa.

    “Hilo ndilo jibu, kwani mkoleni tulikupeleka kufanya nini?”

    “Akishaingia kwenye kumi na nane, nitajua cha kufanya lakini kabla ya hapo ndiyo nashindwa kwa kuwa namuona yuko na Queen na Rehema…?”

    “Usiwe na shaka, wewe jilengeshe na siku zote nataka kukwambia kitu kimoja, mwanaume hana ujanja kwa mwanamke…”

    “Ndiyo nifanyeje sasa?” Mwamvita aliendelea kuhoji huku akiwa ameweka masikio yake wazi kuweza kupata elimu hiyo kutoka kwa mama yake.


    “Lakini wakati mwingine mama huwa unaona mbali…” alisema Mwamvita akionekana kukubaliana na mawazo ya mama yake. “Msaada mkubwa nitakupa… ukimnasa tu, nitakwambia cha kufanya kisha tutaenda kwa yule mtaalamu wa kule Tandale…” alisema mama mwenye nyumba. “Tukamroge…?” Mwamvita alitahamaki na kuhoji. “Wee mtoto sijui unaishi dunia gani, hivi mpaka leo unadhani mambo huwa yanakwenda hivihivi…?” “Sasa ndiyo mpaka tukamroge?” “Shauri yako, humu ndani kuna mambo ya ajabu kama hujui wee kaa hivyohivyo kama hujazeekea hapahapa, unatoka chumba kile unahamia kile…”
    POROMOKA NAYO…
    “Dah… kwa hiyo natakiwa kufanya nini mama?” “Unaniuliza miye? N’shakwambia kila kitu…” alisema mama mwenye nyumba huku akiinuka na kupangusa makalio yake na kuondoka akimuacha mwanaye Mwamvita.
    “Sijui nifanye nini?” aliwaza Mwamvita huku akianza kutafakari kauli za mama yake. Kauli ambayo ilimsumbua kichwa ni ile ya kumwambia “Humu ndani kuna mambo ya ajabu kama hujui wee kaa hivyohivyo.” “Ina aana hata akina Rehema na Queen wamemroga Eddy? Kama ni hivyo hii si itakuwa vita kubwa!” Baada ya kutafakari kwa muda akaona hakuwa na njia nyingine zaidi ya kujiingiza katika vita ya kumwania mwanaume huyo.
    Alijua alikuwa na upinzani na watu wiwili tu, Queen na Rehema, hakuwa akijua kama Tabu na Pat nao walikuwa ni washindani wengine wasiojulikana. Usiku wa siku hiyo Mwamvita akaanza pilikapilika za kumnasa Eddy. Hakutaka watu wengine wajue lakini aliamini kuwa anaweza kuwaambia mashoga zake wawili tu juu ya mpango huo. Mashoga zake hao hawakuwa wengine zaidi ya Pat na Tabu, aliwaamini sana marafiki zake hao kwa kuwa walikuwa ni rika lake na kwamba hawakuwa na ndoto za kuwa na Eddy.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
    Wakati akipiga hesabu hizo, Pat naye alikuwa akipiga hesabu zake za kumnasa mwanaume huyo, Tabu hali kadhalika alikuwa akiwaza jinsi atakavyoweza kumdhibiti mwanaume huyo asiweze kuangukia katika mikono ya Pat. Kama vile haitoshi, vita ya Rehema na Queen ilikuwa palepale kama wapinzani wakuu wa mchakato huo wa kumwania Eddy.
    ***
    Siku hiyo, Queen alijitahidi hadi akaonana na Eddy uso kwa uso, alichokifanya ni kumuwahi maeneo ya nje ya nyumba hiyo, yaani alikwenda kumfanyia ‘taimingi’ kituoni kabla ya mwanaume huyo hajafika nyumbani na wakazungumza kwa kina. “Sasa pale imeshakuwa balaa, miye naonekana nimeingilia penzi la Rehema,” alisema Queen. “Sasa tufanyeje?” alihoji Eddy. “ Hakuna cha kufanya, ila wewe endelea na mwanamke wako.. miye niache..” “Haiwezekani…” Eddy alisisitiza. “Haiwezekani kwa nini… unajua hata miye nina bwana wangu, lakini nilimweka pembeni kwa sababu yako…” “Kwa hiyo unataka kuniambia nini?” “Nataka kukukwambia kwamba wewe endelea na mwanamke wako na miye niendelee na bwana wangu…” “Halafu miye na wewe?”
    “Ndiyo inakuwa adiosi amigo tena…” “Haiwezekani…” alisema tena Eddy. “Miye sioni ugumu wa hilo au ukitaka… lakini hapana ni heri kila mmoja awe na mpango wake.” “Ulikuwa ukitaka kusema nini kwani?” “Nilitaka kusema wewe uwe na mwanamke wako na miye niwe na bwana wangu na tuendelee na uhusiano wetu kwa siri, wewe huruhusiwi kuleta mwanamke mwingine mle ndani na miye siruhusiwi kuleta mwanaume mwingine zaidi ya huyo bwana wangu…” “Halafu miye na wewe tutakuwa tunaduu wapi?” “Nje ya nyumba ile, tukiwa pale kila mmoja akimuona mwenzake ni heshima na adabu kwa kwenda mbele…”
    “Utaweza kuvumilia kuniona na Rehema tukitanua?” “Kimpango wako, ila tu asiwepo mwanamke mwingine zaidi ya Rehema, sawa?” “Sawa, nawe usiwe na mwanaume mwingine zaidi ya huyo bwana wako, kwanza sijui hata anaitwa nani? “Muddy…” “Oke, nawe usiwe na bwana mwingine zaidi ya huyo Muddy, sawa?” “Sawa,” alisema Rehema. Wakakubaliana na kila mmoja akarudi katika nyumba wanayoishi akiwa ameridhika na makubaliano yao ambayo waliamua kuyafanya kuwa siri.
    ***
    Eddy aliingia chumbani na kubadilisha nguo, kisha akatoka na kwenda zake msalani kwa lengo la kujisaidia na kisha akaingia bafuni kwa ajili ya kujimwagia maji. Akachota maji yake katika ndoo na kuingia nayo bafuni, akiwa huko akaanza kuoga huku akiwa na raha akiamini kuwa makubaliano yake na Queen yalikuwa ya msingi sana. Akiwa ameshajimwagia makopo kadhaa ya maji na kujipaka sabuni usoni alihisi kitu kikimnyemelea, akashtuka na kuwahi kunawa maji usoni. Alipofumbua macho alishangaa kumuona Pat akiwa bafuni humo. Kwa sauti ya upole huku akihangaika kulitafuta taulo lake ili ajihifadhi akamuuuliza:
    “Wewe Pat umefuata nini humu?” “Nimekufuata wewe…” Pat alimjibu akiwa haoneshi wasiwasi wowote kama alikuwa amefanya kitu kibaya. Ndiyo kwanza alikuwa akijiandaa kusaula viwalo vyake ili ajumuike na Eddy katika kuoga. Eddy akavuta kumbukumbu ya mchana wa siku hiyo mara baada ya kutoka kula raha na Tabu, akakumbuka jinsi binti huyo alivyokuwa akimwangalia. “Haya sasa majanga!” akawaza na kushangazwa jinsi ambavyo wasichana wa nyumba hiyo walivyokuwa wanakubali kujitoa sadaka kwake. “Umenifuata kufanya nini?” Eddy alingong’ona tena


    Kuja kukuogesha na kukupaka sabuni kisha nikupe raha ambayo hujawahi kuipata sehemu nyingine yoyote,” alijibu Pat kwa sauti ya kunong’ona.

    “Huogopi?”
    “Niogope nini kwani kuna kitu gani cha ajabu?” Pat alimjibu Eddy kwa kumuuliza swali.

    “Huoni kama miye ni mkubwa kwako?”

    “Umri ni namba tu lakini kiakili na kimaarifa tunaweza kuwa sawa au miye nikakuzidi…” alisema Pat na kumshangaza zaidi Eddy.

    Eddy hakuwa na nguvu ya kuendelea kuuliza maswali zaidi ya kutii kile ambacho Pat alikuwa ameamua kukifanya kwake.
    Kitendo bila ya kuchelewa baada ya kumaliza kusaula viwalo vyake, Pat akaichukua sabuni iliyokuwa mikononi mwa Eddy na kuanza kumpaka mwanaume huyo kila sehemu ya mwili wake.

    Alianzia chini ya mwili wa mwanaume huyo na kuja juu, alihakikisha sabuni hiyo anaipaka kwa mikogo.

     Eddy hakukitegemea kitendo hicho, ila hakuwa na budi kukubaliana na kile alichokuwa akifanyiwa, akachukua taulo na kulitundika mlangoni.
    Taratibu bila ya kuwa na haraka, Pat akawa anaipitisha sabuni katika kona zote za mwili wa Eddy huku kijana huyo akimwangalia kwa udadisi mkubwa.

    Kwa kufanya hivyo, Pat alikuwa akimpandisha ‘wazimu’ Eddy kwa kuwa sehemu alizokuwa akizipitia ni zile zenye kupagawisha kama siyo kumsisimua mwanaume yeyote mwenye akili timamu na aliyejaliwa urijali.
    “Mh!” Eddy aliguna kwa sauti ndogo pale alipoguswa ikulu.

    “Unaguna nini?” Pat alimuuliza kwa sauti ileile isiyovuka mipaka ya bafu walilokuwemo.

    “Nimefurahi,” alisema Eddy.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/
    “Bado sijakufurahisha,” alijibu Pat huku akiinua macho yake na kumwangalia Eddy ambaye naye alikuwa amebaki akiwa haelewi aanzie wapi kuanzisha mashambulizi.

    Kabla hata hawajafika mbali, nje zilisikika sauti za nyayo za mtu zikitembea kuelekea msalani. Eddy akamzuia Pat kufanya kile alichokuwa akikifanya kwa kuhofia kuwa mtu huyo angeweza kuwasikia.
    Kwa kasi ya ajabu, Eddy akachukua kopo la maji na kujimwagia ili kutoa ishara kwa mtu aliyekuwa akipita nje kuwa bafuni kulikuwa na mtu aliyekuwa akioga.

    Kijana huyo akachukua kopo la maji na kujimwagia ili kutoa ishara kwa mtu aliyekuwa akipita nje kuwa bafuni kulikuwa na mtu akioga.
    Akaendelea kujimwagia maji hadi pale mtu aliyeingia msalani alipotoka, hapo ndipo alipomuachia Pat aendelee kufanya utundu wake.

    Kwa kuwa walikuwa wamekatizwa stimu, Pat akaamua kuanza upya na kwa spidi, ari na nguvu mpya.

    Moja kwa moja akaamua kuukamata usukani na kuanza kuendesha gari mwenyewe, safari hii hakutaka tena kutumia sabuni bali alikuja na staili nyingine kabisa.
    Alitumia njia yake ya kupitishia chakula kuweza kumpagawisha Eddy.

    Kitendo hicho hakikutegemewa na Eddy hata kidogo, lakini aliamini kuwa Pat alikuwa akijua mambo mengi tofauti na umri wake.

    Alionekana alikuwa amejifunza na kujiandaa kwelikweli kuweza kumpagawisha, kwani kitendo alichokuwa akikifanya wakati huo hakikuwa cha kuigiza bali alikuwa akikifanya kwa uzoefu mkubwa.
    Pat alikuwa fundi haswa wa ‘kumeza nyoka’ na hakuwa kama wengine ambao huwa wanalamba nyoka kwa kufananisha na ‘ice cream’ kama wengine wanavyosema.

    Muda ulikuwa unakwenda kwa kasi, kila mmoja alikuwa na mshawasha na mwenziwe kwa kuwa Eddy naye alishachukua fursa hiyo na kumpagawisha Pat kisawasawa.
    “Unapenda kucheza mtindo wa bendi gani?” Pat alimuuliza Eddy.

    “Mtindo?” Eddy alishangaa kisha akasema:

    “Nyimbo nyingi za siku hizi hazina mitindo na hata kama zina mitindo basi haina umaarufu mkubwa… wee tucheze bora liende tu…”

    Pat akaachia kicheko ambacho kilimshangaza Eddy.

    “Kwa nini unacheka?”
    “Nakushangaa hujui kama tunaweza kucheza Ngololo au Kiduku?”

    “Ndiyo inachezwaje hiyo?”

    “Basi ngoja tufanye kitu kimoja, miye nitaandika namba saba na wewe uandike namba moja, sawa?”

    “Sawa…” moja kwa moja Eddy alielewa kile alichokuwa akikimaanisha Pat. Hata alipochora namba saba mbele yake kwa msaada wa ndoo ya kuogea, yeye hakupata tabu ya kutengeneza namba moja ili kuweza kufurahisha nafsi zao.
    Wawili hao walikuwa mzigoni, kila mmoja alikuwa akivuta pumzi zake za mwisho, Eddy alikuwa akipiga kelele na Pat pia.

    Wakawa wamejisahau kama walichokuwa wakikifanya kingeweza kusikika nje, wakawa kama vile wako kwenye uwanja usiokuwa na shaka kila mmoja akijiachia kwa raha zake.

    Raha zikawazidia zaidi na zaidi, sauti zao zikamvutia mtu aliyekuwa nje ambaye naye usiku huo alikuwa akitaka kuingia bafuni ili akaoge.
    Akiwa uani, akanyata taratibu na kuelekea kule ambako kelele hizo zilikuwa zikitokea, kadiri alivyokuwa akisogelea usawa wa bafu ndivyo kelele hizo zikaongezeka.

    Akabaini watu waliokuwa bafuni ndiyo waliokuwa wakisababisha kelele zile, akataka kuwajua ni akina nani waliokuwa wakifanya mchezo ule.
    Akataka kurudi ndani ili ahakikishe kama watu wote walikuwepo vyumbani mwao lakini alisita kwa kuamini kuwa kitendo chake cha kutoka eneo hilo angeweza kupoteza ushahidi wa karibu zaidi wa kushuhudia tukio hilo kwa macho yake.

    Akatafuta upenyo wa kuchungulia bafuni bila ya kupiga kelele, kwa kuwa choo kizima kilikuwa kimejengwa na mabati mabovu aliweza kuona ndani.
    Pamoja na kuona michakato ya kugonga shoo ikiendelea lakini hakuweza kuwatambua waliokuwa wakifanya vile.

    Aliamini kabisa kwamba watu wale walikuwa wanaishi mle ndani akapania kuwaingilia mle bafuni ili aweze kuwaumbua.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Akasogea hadi katika mlango wa bafuni, hakuwa na shaka kabisa kwamba walikuwa ni watu wawili wakila uroda kwa raha zao.
    Mshawasha kama siyo kilarularu kikaanza kumsumbua naye wazimu ukampanda kabisa, akataka kujumuika katika gemu lile bila ya kuwajua wachezaji ni akina nani.
    Unataka kujua nini kiliendelea? Usikose kesho wapendwa wangu






    ITAENDELEA


0 comments:

Post a Comment

Blog