Search This Blog

Monday, October 24, 2022

NYUMBA ILIYOJAA DHAMBI - 5

 







    Chombezo : Nyumba Iliyojaa Dhambi

    Sehemu Ya Tano (5)



     Pembeni kulikuwa na duka, nikalisogelea, nikamuona mshikaji fulani akiuza, kwa kumwangalia tu nilijua kwamba alikuwa Mchaga, hivyo nikaanza kuongea naye. Nilimuuliza kuhusu msichana yule, akaanza kunizungusha, hakutaka kuniambia ukweli.

    Yeye ni Mchaga, nilijua udhaifu wake, nikaingiza mkono mfukoni na kutoa elfu kumi na kumuwekea karibu na kidirisha cha duka lake.

    “Niambie kidogo kuhusu yeye, halafu hii utakunywa soda,” nilimwambia huku nikimuonyeshea ile pesa. Ile kuiona tu, macho yakamtoka.

    “Unamzungumzia msichana yupi?” aliniuliza.

    “Yule aliyeingia nyumba hiyo nyekundu,” nilimjibu.

    “Humo kuna wasichana watawili halafu mapacha, wewe unamzungumzia Doto au Kulwa?” aliniuliza.CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Mapacha?”

    “Ndiyo!”

    “Sasa kama mapacha hapo nitasema namzungumzia yupi? Wote watakuwa wanafanana...ila niambie wanaitwa nani!” nilimwambia.

    “Mkubwa anaitwa Glory na mdogo anaitwa Esta.”

    “Oh! Ahsante! Wanasoma?”

    “Mmoja anasoma Ardhi na mwingine anasoma IFM,” alisema.

    “Wa Ardhi yupi?”

    “Esta!”

    “Sawa.”

    Nikampa ile elfu kumi, kwangu pesa haikuwa tatizo, nilichokuwa nikihitaji ni kumpata msichana niliyekuwa nimemfuata. Yaani kipindi hicho sikukumbuka kabisa kuhusu Halima, nilikuwa bize na huyu msichana niliyekuwa nimemfuatilia.

    Nilipofika getini nikaanza kugonga hodi bila kuogopa kitu chochote kile. Niligonga kwa sekunde kadhaa mlango ukafunguliwa na msichana mmoja mdogo, alifanana na yule aliyeingia, bila shaka alikuwa mdogo wake.

    “Shikamoo!” aliniamkia.

    “Marahaba! Esta yupo?” nilimuuliza.

    “Ndiyo yupo.”

    “Naomba uniitie!”

    “Ingia...” aliniambia, nikazama ndani.

    Kwa jinsi alivyoniambia niingie ilionekana kuwa rahisi sana, wala sikuogopa, nilihisi kwamba hakukuwa na mtu, nilipozama tu, macho yangu yakatua kwa wazee wawili, nahisi walikuwa wazazi wao, walikaa kibarazani kwenye viti wakipunga upepo, nilipoingia tu, wakayapeleka macho kwangu na kuniangalia.

    Nilishtuka mno, kijasho chembamba kikaanza kunitoka, nilitamani kukimbia lakini nilishindwa kabisa. Mzee huyo alikuwa akiniangalia huku akionekana kuhitaji kufahamu ni kitu gani nilikuwa nakihitaji nyumbani hapo.

    Nikapiga moyo konde, nikawasogelea, nikawasalimia kwa heshima kubwa na kuwaambia kwamba nilikuja kumuona Esta.

    “Wewe ni nani?” aliniuliza.

    “Nasoma naye!”

    “Unasoma naye wapi?”

    “Ardhi!”

    “Unamjua Esta?” aliniuliza kwa ukali kidogo.

    “Namjua!”

    “Sawa. Stela! Kawaite dada zako,” alisema mzee yule.

    Tayari nilijua kulikuwa na balaa hapo, yule mtoto akaingia ndani kwenda kuwaita. Nilibaki pale nje na wazazi wao huku nikiwa na hofu mno ila uso wangu ulikuwa kwenye tabasamu pana.

    Baada ya dakika moja, yule mtoto akarudi na hao dada zake, nilipowaangalia moyo ukapiga paa. Yaani kama duniani kulikuwa na mapacha waliokuwa wanafanana basi hawa walikuwa balaa. Walifanana, walikuwa wazuri kiasi kwamba nilichanganyikiwa.

    Kilichotokea sasa, sikujua yule msichana ambaye nilikutana naye nje alikuwa yupi kwani hata nguo alikuwa amebadilisha. Niliwaangalia kwa makini lakini sikumgundua kabisa, nikabaki nikishangaa.

    “Aya mchukue huyo Esta uongee naye, si umesema unasoma naye,” aliniambia yule mzee kwa sauti ya kutaka kunikomoa, mtu mzima nikaloa, halafu watu wenyewe nilivyokuwa nikiwaangalia, wote walikuwa wakinishangaa.

    Yaani ghafla nilitamani tu ardhi ipasuke nitumbukie ndani, au niwe mchawi, nipotee na nitokezee nyumbani kwangu kwani hata huyo Esta sikumjua ni yupi kati ya wale wawili waliosimama mbele yangu.

    CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    Niliwaangalia kwa makini sana, wasichana hawa wawili walifanana kupita kawaida, kila mmoja alikuwa na kidoti na kila kitu katika mwili wao vilikuwa vikifanana.

    Nilishindwa kuelewa yule Esta alikuwa yupi kati ya wale wawili waliosimama mbele yangu. Niliwaangalia kwa sekunde kadhaa na mmoja kati yao kutoa tabasamu la ghafla, nikaamini kama huyo ndiye alikuwa Esta.

    “Huyo hapo!” nilimwambia mzee yule na kumuonyeshea mmoja wa mabinti zake, wakaangaliana na mkewe na kutoa tabasamu.

    Sikuwahi kuonana nao hata kidogo, waliniruhusu kuzungumza naye na kuingia sebuleni, hawakunihofia kwa sababu walijua kwamba endapo ningekuwa mtu mbaya basi nisingeweza kwenda nyumbani pale kwa kujiamini kiasi kile.

    Tukaingia sebuleni na Esta na kuanza kuzungumza naye, yule pacha mwenzake akaelekea chumbani. Esta alinichangamkia mno kiasi kwamba mpaka nikabaki nashangaa kwani kule nje alininyamazia ila humu ndani alikuwa muongeaji mno.

    “Unajua mimi sikufahamu kabisa, ndiyo kwanza nakuona leo,” aliniambia.

    “Najua! Mwanzo nilitamani sana kuongea nawe ila ukaninyamazia, kwa sababu nilitokea kukupenda, nikaamua kuja mpaka ndani,” nilimwambia huku nikimwangalia.

    Alionekana kufurahi mno, tuliongea kwa dakika kama ishirini hivi, tukabadilishana namba za simu na kuwaaga nyumbani pale na kunisindikiza mpaka barabarani.

    Muda wote huo Halima alikuwa akinipigia simu, sikutaka kupokea kwani niliamini ningeharibu kila kitu. Esta alipoondoka tu, nikachukua pikipiki na kurudi nyumbani.

    “Mbona hukuwa unapokea simu zangu?” aliniuliza Halima mara baada ya kumpigia.

    “Aiseee wewe acha, nimefanya ujinga mmoja mkubwa sana,” nilimwambia.

    “Ujinga gani?”

    “Nilikwenda kununua vinywaji, halafu simu nikasahau nyumbani. Upo wapi?” nilisema na kumuuliza.

    Aliniambia alipofika na kumfuata huko. Siku hiyo alivyovaa aliniacha hoi sana. Alivalia juba jeusi lakini lile la kishetani zaidi, yaani namaanisha lililokuwa likionyesha maungo yake ya ndani na kuona kila kitu.

    Nahisi alivaa kama kunitega kwani mpaka michoro ya nguo yake ya ndani nilikuwa nikiiona kitu kilichonifanya kugundua kwamba shetani alikuwa na nguvu sana kwani yale mavazi ya heshima ambayo kwa kila aliyoyavaa ulimuona mtu mwema yalibadilishwa na kuwekewa manjonjo ilimradi tu mwanaume akiyaona basi asisimke mwili, tena yalimbana kiasi cha kuyachora maungo yake.

    “Leo ni vita,” nilijisemea moyoni huku nikiangalia wezere zake zilivyokuwa zikipishana.

    Baada ya dakika kadhaa tukafika nyumbani. Niliibadilisha kwa kiasi kikubwa sana, ilikuwa kama nyumba ya bilionea fulani kumbe alikuwa akiishi mzushi kama nilivyokuwa.

    Sebuleni hapo tukapiga sana stori, aliniambia mambo mengi, akajichekesha wee lakini nikasema wewe cheka tu, tabasamu lakini mwisho wa siku safari yako inaishia katika mlango ule paleeee.

    “Ila Mungu ameyabadilisha maisha yako, yaani si kama ulivyokuwa,” aliniambia huku akiiangalia ile nyumba.

    Muda wote huo kichwa changu kilikuwa kikipiga hesabu kubwa kuhakikisha namuondoa pale kwenye kochi na kumpeleka ndani, tulizungumza lakini baada ya dakika chache, nikamsogelea na kumwangalia lile jicho la nipe nikupe.

    “Una kinywaji gani?” aliniuliza.

    “Kuna kila kitu, wewe unataka nini?” nilimuuliza.

    “Nahitahi yogurt,” aliniambia.

    Kiukweli sikuwa nayo, nilimwangalia, ni kweli alihitaji yogurt, nikahisi kuna kitu kwani isingekuwa rahisi mgeni kuja na kuomba yogat. Kwa sababu zilikuwa zikipatikana madukani nikamwambia anisubiri na mimi kwenda huko.

    Nilikuwa na haraka, yaani kama ungeniona jinsi nilivyokuwa natembea kwa kasi kuelekea dukani ungesema muda wowote ule ningeanguka. Nilipofika, nikanunua na kuanza kurudi nyumbani. Nilipoingia tu, nikamkuta amebaki na khanga tu.

    Hapo ndipo nikapata jibu juu ya kwa nini aliniambia anahitaji kitu ambacho hakikuwepo humo ndani, nilimwangalia, nilisimama huku kama nimepigwa na shoti ya umeme, sikutaka kujua alihitaji nini hapo, haraka sana nikaweka yogurt mezani na kumsogelea.

    Nilipofikia tu, yakatokea mambo machafu kidogo, nikambeba na kumpeleka chumbani kisha kumuweka kwenye kitanda na kurudi sebuleni. Pale sebuleni nikafungua friji na kutoa barafu ambalo nikalipasuapasua na kuchukua kipande kikubwa na kukiweka mdomoni na kurudi chumbani.

    Nilipofika, nikaitoa ile khanga na kuanza kushughulika na mwili wake kwa kuweka mdomo wangu kila kona huku nikiugusa kwa kutumia kile kipande cha barafu kilichokuwa mdomoni mwangu.

    Nilimsikia akibadilika kabisa, alikuwa mweupe lakini kadiri muda ulivyozidi kwenda mbele niliyaona mabadiliko kabisa, mwili wake ulikuwa unaelekea kwenye wekundu na sikutaka kumuacha kabisa.CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Alilalamika, si kwa maumivu bali kwa raha aliyokuwa akiisikia. Kile kipande cha barafu kilikuwa na nguvu ambayo sikuitegemea kabla, ulikuwa ni kauchawi ambacho si watu wengi sana walikuwa wakiujua.

    Niliufanya utundu huo mpaka kipande kile cha barafu kilipokwisha, sikuridhika, nikakichukua kingine na kuendelea. Nilihitaji kumaliza kila kitu ndani ya dakika chache, faragha, kutumia muda mrefu si sifa bali unaweza kutumia muda dakika ishirini tu lakini utalii wako ukawa mkubwa kuliko hata yule ambaye angetumia masaa mawili.

    Sihitaji kukuandikia yote hapa, ila kwa kifupi jua nilifanikiwa kwa asilimia mia moja kiasi kwamba akahitaji kulala hapohapo. Sikuhitaji hilo, kwenye kitu ambacho siwezi kufanya ni kulala na mwanamke, hasa katika nyumba kama hiyo.

    Kama ningelala naye, nilijua kabisa baadaye Esta angeanza kunisumbua, sikutaka ajue kama nilikuwa na mtu, nilihitaji kumuonyeshea kwamba nipo singo na ndiyo maana usiku nilihitaji kuwa huru kabisa.

    Basi baada ya kumaliza kila kitu, tukaelekea bafuni, tukaoga na kutoka. Hakunimaliza, kila aliponiangalia, nilijua alikuwa akijiuliza ni kwa kiasi gani nilikuwa nayafahamu hayo yote!

    “Barafuuuu...” aliniambia huku akiniangalia.

    “Unamaanisha nini?”

    “Umejifunza wapi? Sikuwahi kufanyiwa kitu kama hiki, na sikuwahi kufikiria maishani mwangu,” aliniambia.

    “Hahaha! Kawaida tu, kuna siku ukija, nitakupaka asali,” nilimwambia.

    “Unipake asali?”

    “Ndiyo!”

    “Kwa nini?”

    “Nataka niilambe mpaka yote iishe mwilini mwako,” nilimwambia, nilimwangalia, niliona jinsi alivyosisimka.

    “Mh!”

    “Ila si kwa leo, usijali, kuna mambo mengi sana yatakuja,” nilimwambia huku nikimwangalia usoni.

    Tulizungumza mambo mengi sana na baada ya dakika kadhaa tangu atoke kuoga akavaa na kuondoka zake. Nilimsindikiza kwa gari mpaka karibu na nyumba yao na kurudi zangu.

    Moyo wangu uliridhika sana, nililala na mke wa Issa, haikuisia hapo, nikalala na mdogo wake. Kutembea na demu wangu lilikuwa jambo dogo sana, unaweza kuona hivyo lakini moyoni mwangu lilikuwa kubwa mno kiasi kwamba sikuwa radhi kuvumilia.

    Usiku wa siku hiyo nikaanza kuchati na Esta. Nilitokea kumpenda, nilikumbuka kwa jinsi alivyokuwa mzuri, alivyopendeza na hata kutembea kwa maringo.

    Kwenye chatting zangu nilikuwa noma, nilijua kucheza na maneno, nilijua kumsoma mtu kwa kutumia maneno yangu matamu kabisa. Nilimchangamsha mni, nilitaka ajisikie vizuri kabisa na aone katika dunia hii hakukuwa na mtu aliyekuwa akimpenda kama nilivyokuwa mimi.

    Nilimsifia kuanzia chini mpaka juu, kwamba alijua kuvaa, kutembea na hata tabasamu lake lilikuwa likiniua kila nilipokuwa nikilifikiria. Basi akafurahi weee pasipo kujua kwamba naye nilikuwa namtengenezea mazingira ya kumalizana naye.

    “Eti mimi mzuri! Edward una mambo,” aliniambia kwa kutumia meseji.

    “Huo ndiyo ukweli, kama nadanganya, kanishtaki,” nilimjibu.

    “Uzuri wangu nini sasa?”

    “Jinsi ulivyo, yaani kama ni malipo ya DSTV basi wewe ni full package, yaani Premium,” nilimjibu, yaani nilikuwa nikichati naye huku nikitabasamu kana kwamba aliliona tabasamu langu.

    Niliendelea kumsifia kwa kipindi kirefu mpaka usiku mnene ambapo nikajiandaa kulala na kusindikizwa na ujumbe mfupi kutoka kwa Naijath uliosema ‘Nakupenda baba watoto, lala salama’.



    Huwa ninajifunza mambo mengi kuhusu mafanikio. Katika kipindi cha nyuma ambacho sikuwa na kitu nilipokuwa nikienda dukani, nilishangaa kuona vitu vikiwa na gharama kubwa mno. Yaani home theatre inauzwa milioni moja, televisheni milioni mbili, ni gharama sana na mtu unaomba upunguziwe lakini nilipokuwa na pesa, niliona utofauti mkubwa sana.

    Kwenye maduka hayohayo, bei hiyohiyo bado unakuwa na hofu kwamba inawezekana vitu hivyo ni feki hivyo unauziwa kwa bei ndogo. Yaani kitu kikiuzwa kwa milioni moja, unahisi ni feki kwa sababu tu una pesa.CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Ndivyo ilivyokuwa kwa mademu. Unajua unapokuwa hauna pesa, unachukua demu yeyote yule, awe mbaya, wewe hujali. Tena demu huyo akikwambia naomba elfu kumi, unashtuka, nitampaje elfu kumi, mbona nyingi? Na wakati kuna watu wanahonga magari.

    Sikuacha tabia yangu, niliendelea kubadilisha wasichana kwa sababu ilikuwa moja ya tabia niliyokuwanayo. Esta alionekana kuwa mgumu, hakuingilika kirahisi, nilimwambia sana kwamba nilitaka kuonana naye lakini ilishindikana.

    Aliniambia alikuwa bize, eti ana kazi nyingi. Alinichanganya sana na wakati mwingine nilikuwa nakwenda kwao usiku na kuonana naye sehemu fulani hivi, hapo tuliongea, sikuwa na kawaida ya kumtongoza, tangu lini mwenye pesa anatongoza ila kwa huyu Ester, sikuwa na jinsi, nilianza kupiga ndogondogo lakini aligoma kabisa.

    Nikasema siyo kesi. Hapo nilipokuwa nikiishi kulikuwa na mshikaji alikuwa jirani yangu, aliitwa Ndimbo. Huyu jamaa alikuwa mchangamfu sana, alipokuwa akiniona naingia na mademu alinishangaa sana, kwake, nilionekana kuwa mtu hatari sana.

    Akaanza kujenga mazoea nami, mara salamu na mambo mengine na mwisho tukawa washikaji sana. Alinijua kwamba ugonjwa wangu ni mademu, tena nilikuwa namwambia ukweli, yaani mimi zipite siku mbili bila demu, siku hiyo nitaumwa sana.

    “Kwa hiyo?’ aliniuliza.

    “Wewe unasoma ama?”

    “Ndiyo! Nasoma hapo UDSM.”

    “Acha masihara! Nasikia kuna watoto ile kishenzi hapo!” nilimwambia.

    “Kaka pale ni shida. Kama una mtoto wako, acha akasome UDOM na vyuo vingine vya Tanzania lakini si pale, kwanza wajanja lazima wang’oe, yaani utake usitake,” aliniambia.

    Alinichanganya sana, alisema hapo kuna mademu wakali ile kishenzi, sikuamini sana ila nilitaka kuhakikisha kwa macho yangu. Siku moja nilimwambia kwamba nataka kwenda huko, kuwaona hao mademu, ni kweli walikuwa wazuri kweli au alinidanganya.

    “Hahaha! Usije kuchanganyikiwa tu,” aliniambia huku akicheka.

    Na kweli tukaenda, tulipofika huko, nilishangaa sana, macho yangu hayakutulia, ni kweli niliwahi kuona mademu wakali, wenye maumbo ila wale wa pale, duuh walikuwa balaa mno.

    Watoto walijua kuvaa, kutembea, kutabasamu, wapo waliokuwa wamejazia lakini pia kulikuw na wale portable, niliwaangalia na kumuuliza ni kwa jinsi gani ningeweza kuwapata kirahisi, kama walikuwa wanahitaji pesa, nilikuwanazo.

    “Tufanye house party,” aliniambia.

    “Ipo vipi hiyo?” niliuliza, si unajua nilitoka kwenye maisha ya kilofa hivyo hata baadhi ya mambo sikujua kabisa.

    “Yaani hiyo tunaandaa party home, kunakuwa na pombe tu, tunazichanganya kwenye ndoo moja na watu wanajichotea tu," aliniambia.

    “Halafu?”

    “Kunakuwa na muziki, yaani watu wanacheza, wanapiga kelele lakini mwisho wa siku wanalala,” aliniambia.

    “Na ukitaka mambo yetu?”

    “sasa hapo nani atakunyima? Yaani unakuwa huru, unaweza kusema namtaka huyu, unamchukua, hata wanne kwa usiku mmoja, wewe tu,” aliniambia.

    Akazidi kunichanganya mno, unajua mimi mtu akishaniambia kuhusu mademu akili yangu inachanganyikiwa kabisa. Nilimuuliza jinsi ya kuwapata hao mademu, tena wawe wakali, akasema siyo tatizo, yeye alikuwa na wake na kulikuwa na mshikaji wake ambaye naye alikuwa na mademu, yaani huyo hata ungehitaji mademu ishirini, anakuletea. Nikamwamia ampigie simu. Ikapigwa na kumuweka loud speaker.

    “Oya Juvenile...nataka niandae house party,” alisema Ndimbo, alikuwa akizungumza na huyo jamaa.

    “Acha masihara...upo siriazi?’ aliuliza.

    “Ndiyo! Pombe zipo za kumwaga, kama vipi tuletee mademu,wapo?” aliuliza.

    “Hahaha! Unanichukuliaje? Nakuletea mademu kama wote! Yaani tukifika hapo, mimi nakuachia mademu wako, nachukua shot zangu nakaa pembeni, nyie endeleeni na mademu,” alisema Juvenile.

    “Basi poa, tuletee mademu kama wote!”

    “Haina noma. Lini sasa?”

    “Kesho si ndiyo Jumamosi, tunafanya kuhusu pombe usijali,” alisema.

    “Haina noma. Ngoja niwacheki wachuchu.”

    Yaani hakukuwa na siku ambayo nilipagawa kama siku hiyo, akili ikawaka ile kinoma, niliamini kweli nilikuwa napoteza muda wangu kudili na mademu wengine na wakati kulikuwa na mademu wa chuo, tena waliokuwa wakikaa hostel ambao ulikuwa na uwezo wa kuwafanya chochote kile.

    Kwa sababu walisema kwamba kwenye shot moja inakuwa na pombe nyingi kali, hivyo nikaamua kuzitafuta pombe kali zaidi. Nilizipata kadhaa zikiwemo Spirytus (hii ni pombe kali kuliko zote duniani, ina ulevi wa 98%) na niliinunua kwa milioni mbili na kikapewa glasi zake.

    Ukiachana na hiyo nikanunua Pincer, Balkan, Konyagi, Johnny Walker, Sant Anna na nyingine kisha kuziweka kwenye ndoo moja na kuzichanganya ila zile Spirytus, Pincer na Balkan niliweka vijiko viwili tu kwani zilikuwa kali ile kinoma.CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Siku iliyofuata, nikazima simu, sikutaka kuwasiliana na mtu yeyote yule. Sebuleni nikatoa makochi, meza, nilibakiza televisheni na home theatre tu.

    Nilinunua vitanda vingine viwili na kuweka katika chumba kingine, yaani siku hiyo nilijua kabisa uchafu ambao ungefanyika, usiku wa manane unaweza kushtukia nyumba imepaa kwa kuwa uchafu umekuwa mwingi mno.

    Ilipofika majira ya saa moja, Ndimbo akafika na mademu zake, walikuwa hatari, alinitambulisha, walikuwa wanne, nawakumbuka watatu kwa majina, kulikuwa na Farida, Samiah, Nasra, huyu mwingine jina lake lilikuwa gumu.

    Nikawakaribisha, hapo sebuleni walibaki wakishangaa tu, hawakuamini kama kijana mimi nilikuwa naishi maisha ya kishua kama hayo.

    “Huyu ndiye bosi mtoto, anaishi hapa na hata demu wala mke,” alisema Ndimbo, basi mimi kichwa hicho.

    “Pazuri!” alisema Nasra.

    “Nimepapenda, natamani nisitoke,” alidakia Samiah.

    Niliwaangalia tu, baada ya dakika kadhaa Juvenile akapiga simu na kusema yupo njiani, alipofika, akaja, alikuwa ameongozana na mademu nane, wote walikuwa warembo ile balaa, kulikuwa na mademu mpaka wenye asili ya Kiarabu.

    “Ndimbo! Mademu zenu hao hapo, shot zangu zipo wapi?” aliuliza hata kabla ya salamu.

    “Hizo hapo, ushindwe wewe,” nilimwambia huku mziki ukiwa mkubwa.

    Siku hiyo ilikuwa ni party kweli, wasichana wale wakavua nguo zao na kubaki na nguzo za ndani tu na bra. Nikaona naishi kizembe sana na mimi nikasaula, yaani ilikuwa ni kuyafurahia maisha, ujana kwa sababu hakukuwa na nyakati nyingine za kula maisha kama hizi.

    Sikunywa pombe, mimi si mtumiaji wa hayo mambo, ila nilikuwa nikiwaangalia tu jinsi walivyokuwa wakijiachia. Nikatoka hapo na kwenda bafuni, nikaanza kuoga, nikiwa najipaka mafuta, nikashtukia mlango ukifunguliwa na msichana mmoja kuingia, alikuwa Juliana.

    “Vipi?” niliuliza.

    “Na mimi nasikia joto!”

    “Ila kuna AC sebuleni!” nilimwambia.

    “Bado nilisikia joto!”

    Sikusema kitu chochote kile, nikajiongeza kwani nilijua alihitaji nini. Nashindwa kumtolea maelezo huyu Juliana kwa kuwa wengine watahisi natukana, ila nikisema alikuwa chura najua wote mnajua namaanisha nini.

    Basi kama Adolf Hitler alisababisha Vita vya Pili vya Dunia basi leo hii mimi Edward nilisababisha Vita vya Kwanza vya Bafuni manake ilikuwa si mchezo.

    Tulioga na kuinjoi kwa dakika arobaini na kuelekea sebuleni, bado macho yangu yalikuwa yakiangalia huku na kule kama popo, bado nilikuwa nalinda, nilikuwa naangalia ni chakula gani kilitakiwa kuliwa muda huo.

    Kwa kuwa hata yule Samiah naye alikuwa balaa, nikamsogelea, pombe zilianza kumchukua kwani hata macho yake yalikuwa yamelegea.

    “Inakuwaje?” nilimuuliza.

    “Unasemaje? Unataka tukalale?” aliuliza kwa sauti kubwa huku akiusogeza mdomo karibu na sikio langu kwani kulikuwa na sauti kubwa ya muziki na tayari ilikuwa ni saa tano usiku.

    “Ndiyo! Nataka tukalale na kulaliana...” nilimwambia.

    “Subiri kidogo! Leo mimi sisi ni wako,” aliniambia maneno yaliyonitia mzuka na kuona ni lazima nyumba hiyo ibomoke kwani maovu yaliyokuwa yakitarajia kufanyika yalikuwa ni zaidi ya kule kuzimu.



    House party ilikuwa si mchezo, siku hiyo ilikuwa ni sawa na kumtumikia shetani kwa nguvu zote kwani kwa yale yaliyokuwa yakitendeka humo ndani yalikuwa ni balaa.

    Ilikwenda vizuri, nakumbuka siku hiyo nililala na wanawake watatu kwa usiku mmoja tu, walikunywa mpaka asubuhi. Sikuwa nimekunywa pombe yoyote ile, nilikuwa nawaangalia tu jinsi walivyokuwa wamechoka, asubuhi nikaagiza supu sufuria zima kutoka kwa mama muuzaji na kuanza kunywa.

    Ilipofika majira ya saa tano, wasichana wote wakaondoka na hivyo kubaki mimi na Ndimbo hivyo kuanza kufanya usafi wa nyumba nzima.

    Wakati nikiendelea na usafi, Nurat akanipigia simu, alihitaji kuniona na kuzungumza nami kwani kulikuwa na jambo muhimu sana alihitaji kuniambia.

    Hilo halikuwa tatizo, nilikubali kuonana naye na kwenda Sinza Lion kukaa na kuanza kuzungumza. Aliponiona alishtuka sana, nilipendeza na hakutarajia kuniona nikiwa namna ile. Aliniangalia, alikuwa na hamu ya kuniuliza maswali mengi ambayo aliamini majibu ambayo ningempa yangemshangaza mno.CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Imekuwaje?” aliniuliza huku akiniangalia.

    “Kuwaje kivipi?”

    “Sikuelewielewi ujue!” aliniambia.

    “Kivipi?”

    “Umependeza sana!”

    “Ooh! Kumbe sitakiwi kupendeza?” nilimuuliza huku nikitoa tabasamu pana.

    Naye akatabasamu.

    Akaniambia kilichokuwa kimemleta mahali pale, alinitafutia kazi katika supamaketi fulani iliyokuwa Upanga ambayo aliniambia kila kitu kwamba mshahara wake ulikuwa ni laki tatu.

    Alipanga kila kitu, aliwaseti wenye supamaketi hiyo na kuwaambia kwamba mimi ni kijana mwaminifu na sikuwa na tatizo lolote lile. Nilimwangalia, alikuwa msichana wa tofauti sana ambaye alionyesha ni kwa jinsi gani alinijali.

    Ila kazi ya supamaketi ningeifanyaje na wakati nilikuwa milionea? Nilimwangalia huku nikionekana kuwa makini kumsikiliza.

    “Nurat! Nashukuru sana!” nilimwambia huku nikimuonyeshea uhalisia wa kushukuru vilivyo.

    “Kwa hiyo wamesema kesho ukaanze!” aliniambia.

    “Nikaanze? Hapana bwana!”

    “Kwa nini? Umepata kazi?”

    “Hahah! Sifanyi kazi. Ila kama nitakwenda huko, basi waniambie hiyo supamaketi ni kiasi gani niinunue iwe yangu,” nilimwambia.

    Nurat alishangaa sana, hakuamini nilichomwambia. Aliniangalia vizuri, sikutaka kuonekana kuwa siriazi sana, nikajifanya kama kuwa na utani mwingi.

    “Acha utani Edward. Unajua nimesumbuka sana kukutafutia kazi, naomba usiniangushe,” aliniambia kwa upole sana.

    “Nurat! Nashukuru ila sitoweza!” nilimwambia.

    “Kwa nini?”

    “Inuka twende nyumbani, huko tutazungumza kwa vitendo,” nilimwambia na kumuinua pale.

    Tulitembea huku tukizungumza mambo mengi. Kwa jinsi nilivyomwangalia msichana huyo, ilionekana kabisa alikuwa akijiuliza mambo mengi kuhusu mimi, ilikuwaje mpaka niwe hivyo? Mbona nilibadilika sana?

    Sikumjibu, ila nilijua baada ya kufika nyumbani angepata majibu ya maswali yake yote aliyokuwa akijiuliza. Tulipofika, nikafungua geti kwa ufunguo na kuingia.

    Nurat alibaki akishangaa, hakuamini kile alichokuwa akikiona, aliniangalia mara mbilimbili, alihitaji kufahamu mambo mengi kuhusu nyumba hiyo.

    Tukaelekea mpaka ndani na kukaa kwenye kochi. Aliangalia vizuri, jinsi mazingira yake yalivyokuwa, yalipendeza kupita kawaida.

    “Edward! Hebu niambie kitu! Hapa ni kwa nani?” aliniuliza huku akiniangalia.

    “Kwangu!”CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Kwa nini hukuniambia kama una maisha haya?” aliniuliza, nilibaki kimya kwani hata kwa jinsi alivyoonekana, alionekana kukasirika.

    “Sikutaka ujue undani wa maisha yangu. Niliishi vile kwa kuwa nilihitaji msichana atakayenijali kwa hali niliyokuwanayo,” nilimwambia.

    “Na umempata?”

    Nikatabasamu, nikamsogelea pale alipokaa na kukaa karibu yake. Sikufichi, pamoja na umalaya wangu lakini Nurat nilitokea kumpenda sana.

    Ni msichana anayejali, unapokuwa hauna kazi, halafu msichana anatokea kukutafutia kazi, kukusaidia kwa kukupa pesa huyo anakuwa ni mtu wa tofauti sana.

    Si kwa sababu nilimsaidia baba yake, ila ni kwa sababu aliuona undani wangu kwamba nilihitaji msaada mkubwa katika maisha yangu hivyo akaamua kunisaidia kwani alikuwa na uwezo hata wa kunitelekeza hata kama nilimsaidia baba yake.

    “Ninakupenda Nurat,” nilimwambia.

    “Ila kwa nini hukuniambia kuhusu maisha yako?” aliniuliza.

    “Kwa sababu ungenikataa! Na niliogopa kukataliwa na wewe,” nilimwambia.

    “Umekosea Edward!”

    “Ndiyo maana naomba msamaha! Najua nilipokosea, naomba unisamehe!” nilimwambia.

    Wanaume wengi huwa wanakosea hapa, wanahisi kumuomba msichana msamaha ni udhaifu, hakuna kitu kama hicho. Unapokosea, unapomkasirisha mpenzi wako, kuwahi kumuomba msamaha kunaufanya moyo wake kulainika.

    Wasichana wengi wanajua kwamba wanaume ni wababe sana, hawataki kushaurika sasa inapotokea ukamuomba msamaha, lazima akusamehe kwa sababu umetenda binadamu lakini pia umemuonyeshea thamani kwa kukubali kosa ulilolifanya.

    Akasimama na kuniinua kisha kunikumbatia. Nilitamani kumchukua na kumpeleka chumbani lakini sikuwa na nguvu za kutosha kwa kuwa nilizitumia sana usiku.

    Ikabidi nibaki naye sebuleni na kuzungumza naye huku nikimwambia kwamba hapo palikuwa pake kwa kuwa tulitarajiwa kuwa mwili mmoja.

    “Unafanya biashara ama?” aliniuliza.

    “Yeah! Ninafanya biashara nyingi sana,” nilimwambia na kuanza kuziorodhesha.

    Alishangaa sana, hakuamini kama ningeweza kuuigiza umasikini kama kipindi cha nyuma. Hakujua kama kweli nilikuwa masikini ila ni almasi ya baba yake ndiyo iliyobadilisha maisha yangu.

    Tulizungumza mengi kisha ilipofika majira ya saa nane nikamuingiza ndani ya gari na kumpeleka nyumbani kwao huku akionekana kuwa na furaha mno.

    “Nakupenda Edward,” aliniambia.

    “Nakupenda pia.”

    Nilimuaga na kuondoka, sikutaka kuingia kwao, nilimwambia ningefika hapo siku nyingine. Nikaondoka zangu, nikiwa njiani, mara nikapokea ujumbe wa simu kutoka kwa namba ngeni.

    “Umenichunia!” niliisoma meseji hiyo, kwanza nikapaki gari pembeni.

    “Nimekuchunia, kivipi? Kwani wewe nani?” niliuliza.

    “Esta!”CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Esta? Ooh! Ua namba nyingine?”

    “Ndiyo! Ila samahani sikukwambia. Upo wapi?” aliniuliza.

    “Nipo home.”

    “Halafu hukuwahi kunipeleka kwako,” aliniambia. Nikachanganyikiwa, nikaamua kumpigia kabisa.

    Nilianza kuzungumza naye, alilalamika kwa kuwa nilimficha, hivyo ili kuondoa lawama nikamwambia nampitia kwao ili nimchukue na kwenda naye nyumbani.

    “Nyumbani usije, niambie wapi nije,” aliniambia.

    Nikamuelekeza.

    Kwa kuwa nilikuwa Morocco ya Kinondoni nikitokea Upanga alipokuwa akiishi Nurat, nikaendesha gari kama kichaa. Nilipofika nyumbani, sikukaa hata dakika kumi, akawa amefika barabarani na kwenda kumchukua.

    Siku hiyo Esta alipendeza sana, alinukia na nguo aliyoivaa ilikuwa si mchezo. Nikamchukua, nikamsifia na kuelekea naye nyumbani. Hicho ndicho nilichokitaka, msichana huyu alinisumbua sana nilipokutana naye siku ya kwanza na siku hiyo nilitaka kumpelekea moto wa kibabe mpaka mwenyewe ashangae.

    Tulipofika nyumbani, tukaingia ndani. Alikuwa akishangaa tu, hakuamini kama kulikuwa na kijana mdogo kama mimi niliyekuwa nikiishi maisha yale, alinisifia, tulikaa sebuleni kwa dakika chache, nikambeba na kumpeleka chumbani.

    Esta alikuwa binti mdogo, kifua chake kilidhihirisha hivyo, mwili wake ulijigawa sana, alinidatisha na nikasema kama kufa, basi siku hiyo nilikuwa tayari kufa ila si kumuacha.

    Huwa sipendi kuyaandika yale yaliyofanyika kitandani ila jua kuwa nilitumia ufundi wangu wote, vifaa vyote, mabarafu ya kutosha mpaka yeye mwenyewe alishangaa kwani hakuamini kama kulikuwa na mwanaume aliyekuwa na pumzi kama mimi.

    “Wewe kiboko!” aliniambia.

    “Kwa nini?”

    “Kwa msichana yeyote akikutana na wewe, hatokuacha,” aliniambia huku akiwa pembeni yangu nikivuta pumzi ya kuendelea na mchezo baada ya ngwe ya kwanza kuchukua dakika hamsini.

    Hapohapo nikaupeleka mkono wangu kwenye sehemu moja ya mwili wake, akashtuka na kujisogeza pembeni kidogo kwani hakutaka tuendelee tena mpaka akaoge.

    “Naomba nikaogea kwanza, halafu tutaendelea,” aliniambia.

    “Sawa. Chukua taulo kabatini,” nilimwambia na kuchukua taulo kuelekea bafuni.

    Nikasimama na kuelekea sebuleni, huwa ninapokuwa na msichana chumba sipendi kabisa kuwa na simu huko kwani najijua, mimi mzee wa majanga, linaweza la kutokea.

    Nilipofika huko, nikachukua simu yangu, kulikuwa na ujumbe wa maneno kutoka kwa mtu ambaye kama nikimwambia, utashangaa sana.

    Alikuwa Esta! Tena kwa namba yake uliosema.

    “Baby! Nimekuwa bize chuo, ila nikitoka nitakushtua, nadhani mpaka saa kumi na moja nitakuwa nyumbani.”CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nikashtuka. Kama huyo aliyetuma meseji alikuwa Esta, tena kwa namba yake, inamaana huyu niliyekuwanaye chumbani hakuwa Esta bali alikuwa pacha wake, Glory.

    “Mh! Niliguna. Nikaamua nimpigie simu kabisa.

    “Samahani nilikuwa kikaoni. Upo wapi now?” nilimuuliza.

    “Nipo njiani, ila nitafika nyumbani nioge kwanza, halafu nitakuja kwako!” aliniambia.

    “Sawa.”

    Nikakata simu, nikaiacha na kurudi chumbani. Nilitakiwa kuwa mjanja, nishajua kwamba huyu niliyekuwa naye chumbani hakuwa Esta bali Glory hivyo nilitakiwa nijue kuwatofautisha.

    Alimaliza kuoga na kuja chumbani, akakaa kitandani. Nikamsogelea, nikamtoa taulo na kubaki mtupu na kuanza kumfanyia utundu mwingi. Lengo langu halikuwa jingine zaidi ya kutafuta alama ya kumtofautisha.

    Niliupitisha ulimi wangu kote, nilipofika mapajani, nikaona ana doa fulani jeusi, lilikuwa dogo tu, nahisi la kuzaliwa nalo.

    Nikajua kwamba hiyo inaweza kuwa alama pekee ya kuwatofautisha hawa wawili. Pale kitandani alikuwa akiugulia kwa raha na sikumuacha. Nilijua kwamba huyu si Esta sasa nilitaka kumfanyia mchezo ambao asingeusahau maisha yake yote.

    “Can we ride a bicycle?” (tunaweza kuendesha baiskeli?) nilimuuliza.

    “How?” (kivipi?) aliniuliza.

    Hii Kamasutra iliuharibu kabisa ubongo wangu, nilifahamu mambo mengi kuhusu sex kuliko hata michongo mingi ya kutafuta pesa. Nikamwambia jinsi ilivyo, alishangaa kwani hakuwahi kuwekwa kama nilivyomuweka.

    Baada ya hapo, kilichosikika ni kilio ambacho sikuwahi kukisikia. Sasa niliamua kumfanyia kwa sifa, nilihitaji atakapotoka pale, awe amekoma.

    Ilikuwa ni kubadilikabadilika, nilicheza michezo zaidi ya minne, yaani kama kwenye mechi uwanjani basi kocha alikuwa akibadilisha formation kila baada ya dakika kadhaa.

    Baada ya dakika thelathini nikamuacha, nikamwambia kwamba nilitakiwa kumfanyia kitu kimoja tu.

    “Kipi?” aliniuliza kwa sauti ya chini iliyokuwa hoi.

    “From toe to the head,” kutoka dole gumba mpaka kichwani) nilimwambia.

    Hiyo ndiyo ilikuwa njia ya kummaliza msichana yeyote duniani. Ila hii hufanyika kwa msichana ambaye una malengo naye, labda umempata mtoto wa kishua hivi na unataka kumuoa na wazazi wanabana, au umempata demu aliyekuwa akikudharau kwa kusema una kibamia, au umempata demu ambaye unataka kujenga naye maisha, basi unamfanyia hivi.

    Hii haitakiwi kufanywa kwa demu ambaye hauna ndoto naye, kama ni wa kupita, achana nayo kwani atakusumbua maisha yako yote.

    Nikaichukua miguu yake, nikamnyoosha, akalala chali na kuanzia kwenye vidole gumba, niliviingiza mdomoni na kuanza kuvichezea huku nikiupapasa unyayo.

    Alianza kupiga kelele, sikuacha, niliendelea na zoezi hilo, alikuwa akihangaika, mara atake kunitoa, nilichokifanya, nikamuacha, nikachukua pingu na kuifunga mikono yake kwenye vyuma vya kitanda na kumrudia.CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nilianza kufanya vilevile, kwa dakika mbili, nilipomwangalia, alikuwa akilia, alizidiwa mno, ndiyo kwanza nilikuwa miguuni, nilianza na vidole vyake, unyayo, nilikaa kwa dakika kadhaa na kuanza kupanda juu, nilipofika magoti, nikatulia na kuanza kuyang’atang’ata...



    Nilifurahi sana kuwa na Glory siku hiyo, alichanganyikiwa mno, alikuwa akining’atang’ata kimahaba tu kitandani pale. Alichanganyikiwa, nilimfanyia kwa sifa mpaka tulipomaliza alikuwa hoi.

    Sikutaka akae nyumbani kwani ndugu yake naye alitakiwa kuja, hivyo nikamuaga na hatimaye kuwasiliana na Esta mwenyewe na hivyo kuja nyumbani.

    Kama alivyoshangaa ndugu yake naye alikuwa akishangaa hivyohivyo. Nikikwambia hii ni nyumba iliyojaa dhambi, elewa hivyo. Nilifanya uchafu wa kila aina na wasichana mbalimbali. Kiukweli sikuwahi kutumia mpira ila nilikuwa na njia ambayo hata kama nilikuwa nikifanya mapenzi na msichana mwenye Ukimwi sikuwa nikiupata.

    Kitu kinachoogopwa ni michubuko tu. Kama unahisi wewe ni dhaifu, huwezi kutumia mpira basi ni lazima ujue kucheza na mwanamke kitandani, kusiwe pakavu tena, yaani utundu wako unatakiwa kuwa hapo tu.

    Baada ya hao mapacha, walifuata wengine na wengine, mpaka nilipoamua kuwa na Nurat na kuzaa naye watoto, niliacha wasichana wote na kutulia na huyo mmoja tu.

    Hiyo nyumba kwa sasa nimeipangisha, ninaishi kwangu Tegeta na familia yangu. Ni miaka mingi imepita, nilihitaji nikwambia hili, ujue ni kwa namna gani niliishi katika maisha mabaya kama hayo.

    Sikukuhadithia ili unione mimi ni mtaalamu kitandani, sikukuhadithia ili na wewe ukawafanyie wengine, ila nimekuhadithia kwa sababu ninahitaji ujue kwamba unaweza kufanya uchafu wote duniani lakini bado ukabadilika na kuwa mtu mzuri tu.

    Leo nipo na familia yangu, sina hamu na wasichana wa nje. Nimefanya na wanawake wote unaowajua wewe, wazuri, wabaya, wenye maumbile, wembamba, wanene, weusi na weupe lakini hakuna aliyekuwa tofauti, au aliyekuwa na ladha zaidi ya mwenzake.

    Ninapomuona msichana mrembo barabarani, huwa ninajisemea kwamba ladha ya yule ni kama Nurat, hawajatofautiana kwa lolote lile, hata akiwa mtundu kwa kiasi gani bado atakuwa vilevile tu.

    Kwa ujumla tangu nihamie ndani ya ile nyumba niliwaingiza humo wasichana si chini ya hamsini lakini mimi kama mwanaume mwenye msimamo bado nilitakiwa kuonyesha mabadiliko.

    Nipo salama kwenye maisha yangu na familia yangu, huyu Nurat ni mwanamke anayejali sana, si mbaguzi, nyumbani kwao walishangaa sana kuamua kuwa na mimi, yeye ni Mwarabu mimi ni Mweusi lakini maisha yetu yamejengwa kwa upendo na mapenzi ya dhati.

    Tuna amani. Si kwamba huwa hatugombani, wakati mwingine tunapitia huko, ila tunasameheana kwa kuwa tunakumbuka kwamba sisi si malaika, si Mungu, ni binadamu wa kawaida ambao kukosea ni sehemu ya maisha yetu.CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Vijana wenzangu! Kama hujaridhika, kila shimo unataka kuingia ni lazima ujue kila kitu kina mwisho wake. Hakuna msichana anayempenda mwanaume asiyekuwa na pesa, kama wapo ni wachache sana akiwemo Nurat.

    Cha msingi unachotakiwa kufanya ni kutafuta pesa tu, halafu hayo ya mademu yatafuata kwani watakuja wenyewe, hutochukua namba zao ila watakupigia simu.

    Tubadilike! Na mbali na hayo yote, tutumie mpira kwa kila tendo. Si kumwamini mtu kwa macho, kuna wengine hawaaminiki na magonjwa hayapimiki kwa macho.

    Kama unaweza kutumia mpira, tumia na kama huwezi basi utatakiwa kuwa na utalaamu wa kipekee pa kufanya njia ilowe hasa ndiyo upite, vinginevyo, nakukumbusha tu kwamba kuna magonjwa, tena yale yanayoambukizwa na vijidudu usivyoviona kwa macho.



    MWISHO.









0 comments:

Post a Comment

Blog